Thursday, May 10, 2018

ALLAH ALICHOKA KUUMBA

Image may contain: night and text
Hivi tokea lini Mungu anachoka kuumba? Allah anadai kuwa yeye alichoka kuumba mara ya kwanza.
Surat Al Qaaf 15. Kwani tulichoka kwa kuumba mara ya kwanza. Bali wao wamo katika shaka tu juu ya umbo jipya. http://www.theholyquran.org/…
Iweje Allah achoke kuumba wakati yeye ni Mwenyezi Mungu?
Zaidi ya hapo, Allah anadai kuwa alichoka kuumba mara ya kwanza, kwahiyo Allah alifanya uumbaji mara mbili. Je, mara ya kwanza kabla ya kuchoka aliumba nini?
Kama aya inamaanisha Allah alichoka kumuumba Adam mara ya kwanza, ni nani hao wamo katika shaka juu ya umbo jipya? Je, umbo kabla ya hapo lilikuwa na tatizo gani hadi likamchosha Allah kuumba na kumfanya aumbe mara ya pili?
Huu ni msiba mkubwa sana kwa ALLAH anaye CHOKA.
Shalom
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu. Tito 2:13

No comments:

WHY CHRISTIANITY IS BETTER THAN ISLAM?

Has Islam Improved to Become Better Than Christianity? Does Muhammad fulfill and complete the mission and purpose of Christ? Muhammad emphat...

TRENDING NOW