QURAN IMEJAA SHAKA NA MASWALI YA KUTATANISHA
ALLAH HAJUI NANI ALIKWENDA KWA MARYAM MAMA YA YESU
Leo tutaangalia utata mkubwa uliopo kwenye Quran kama ifuatavyo:
Sura 19:17 inaonyesha kuwa Allah alimpeleka Roho wake kwa Mariamu lakini Sura 3:42 inasema walikuwa malaika wengi.
MADAI YA KWANZA:
Surat Maryam 17. Na akaweka pazia kujikinga nao. Tukampelekea Roho wetu, akajifananisha kwake sawa na mtu.
Surat Maryam 17. Na akaweka pazia kujikinga nao. Tukampelekea Roho wetu, akajifananisha kwake sawa na mtu.
Katika Surat Maryam hapa tunasoma kuwa Allah anampeleka Roho wake kwa Maryam:
LINGANISHA NA
MADAI YA PILI:
Al Imran 42. Na angalia pale Malaika walipo sema: Ewe Maryamu! Kwa hakika Mwenyezi Mungu amekuteuwa, na akakutakasa, na akakutukuza kuliko wanawake wote.
Al Imran 42. Na angalia pale Malaika walipo sema: Ewe Maryamu! Kwa hakika Mwenyezi Mungu amekuteuwa, na akakutakasa, na akakutukuza kuliko wanawake wote.
Kwenye Surat Al Imran Allah anadai kuwa walio tumwa kwa Maryam sasa ni Malaika na sio tena Roho wake. HUU NI MSIBA MKUBWA SANA KWA WAISLAM.
Iweje Allah anashindwa kukumbuka nani alikwenda kwa Maryam?
Hakika Quran si kitabu cha Mungu. Waislam nawakaribisha kwa Mungu wa Biblia ambaye alimtuma Mwanawe kuja Duniani kwa ajili ya dhambi zetu.
Karibuni kwa Yesu.
Ni mimi Max Shimba, mtumwa wa Yesu Kristo, Mungu Mkuu. Tito 2:13
For Max Shimba Ministries Org,
MAX SHIMBA MINISTRIES ORG ©2016. ALL RIGHTS RESERVED
Everyone is permitted to copy and distribute verbatim copies of this license document, but changing it is not allowed.
No comments:
Post a Comment