Ashangazwa kuona Jina la Mariam ndani ya Kuran na kupewa Suran nzima "Surah Maryam"
Aendelea kushanga baada ya kukuta Surah ya familia ya Maryam?
Ameshindwa kuelewa kwanini Allah hakuweka Surah hata moja ya Mama yake Muhammad au Wake zake Muhammad au Watoto wake Muhammad wa kike.
Ashtuka kuona Yesu katajwa mara 25 huku Muhamamd akitajwa mara 3
Ashangaa kuona Koran inamuita Yesu ni Neno, huku Koran hiyohiyo ikisema kuwa Neno ndio iliumba Mungu
Sikiliza mwenyewe na uojifunze kutoka Imam alie uacha Uislam na kuingia Ukristo.