Tuesday, July 21, 2015

WAABUDU NYOTA, MWEZI, JUA NA SANAMU MWISHO WAO NI JEHANAMU.

KUTOKA 20:1 – 6 MUNGU akanaena maneno haya yote akasema, mimi ni Bwana, MUNGU wako niliyekutoa katika nchi ya Misri katika nyumba ya utumwa. Usiwe na miungu mingine ila mimi. Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu chochote kilichopo juu mbinguni, wala kilichopo duniani wala kilichopo majini chini ya dunia. Usivisujudie wala kuvitumikia, kwa kuwa mimi BWANA MUNGU wako ni MUNGU mwenye wivu, nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukizao. Nami nawarehemu maelfu wanipendao, na kuzishika amri zangu. Ndugu msomaji wa makala haya ya Nabii Hebron, na uliyeumbwa na MUNGU tena umefanana na yeye, ni ili umwabudu yeye na kuzishika amri zake peke yake ili upone na ile siku ya mwisho na wewe ukafurahie pamoja na yeye paradiso ila ukienda kinyume na maagizo yake hakika ujijue 100% wewe hauta kwenda mbinguni hata kama unajifariji angalia matendo yako .

Ukisoma kutoka 20: 4 MUNGU anasema usije ukatengeneza sanamu yeyote halafu ukaitumia wakati wa kuomba, sanamu ya aina yeyote iwe ni ya mnyama, au mwanadamu kwa jinsia yeyote kike / kiume, wala kitu chochote kilichopo juu mbinguni (Nitaelezea hapa kidogo ili mpate kufunguka ufahamu na adui ambaye ndiye huyo miungu ya uongo asikupate tena. Biblia inasema na maneno haya ni MUNGU ndiye aliyeyasema na akatoa amri hii, usiabudu hata kitu kilichopo mbinguni). Sasa kuna watu baadhi yao wanaabudu mwezi,nyota, jua , hivi vipo juu ya nchi . Hii ni makosa na unaposhiriki tu , wewe tayari unakuwa unamwabudu MUNGU mwingine ambaye ni mungu wa uongo. MUNGU huyu ni kweli ndiye aliyeziumba hata hizo nyota, jua na mwezi. Na unapoviabudu au kuvisujudia matokeo yake na wewe unakuwa tayari umesha muasi MUNGU aliyekuumba wewe na ukaiacha njia yake ya kweli , ukaifuata ya uongo. Huyu ndiye MUNGU wa Ibrahimu, Isaka, Yakobo, na Eliya na ndiye aliyewaumba Adamu na Hawa pia ndiye Baba yake YESU KRISTO WA NAZARETI , na kwa jina lingine anaitwa Masihi. Akasema pia wala kilichopo chini ya maji kisiabudiwe yani viumbe vyote na hata vilivyopo duniani. Yeye alishajua kuwa haya yatatokea watu watakuja kudanganyika na shetani kama alivyosema ili mzivunje amri zake mpotee na yeye anasema katika kitabu cha Matendo 7:43 .

YESU NDIE ATAKAYE HUKUMU SIKU YA KIYAMA



HAKIKA YESU NI MUNGU
Ndugu msomaji:
Jambo hili si mzaha wala uzushi bali ni kweli; Yesu Kristo anakuja kuhukumu ulimwengu wote. Yesu Kristo ametutamkia kwa kiywa Chake kwa kusema kwamba;
“Tena Baba hamhukumu mtu ye yote, bali amempa Mwana hukumu yote; ili watu wote wamheshimu Mwana kama vile wanavyomheshimu Baba.” (Yohana 5:22,23)
Katika hukumu siku ya kiyama hatutegemei kumwona YEHOVA akija kuhukumu ulimwengu, bali, Yesu Kristo ndiye ajaye kuhukumu ulimwengu. Hii itakuwa hivyo ili WATU WOTE WAMHESHIMU Yesu sawa sawa na jinsi ambavyo wanamheshimu YEHOVA. Hapo ndipo viumbe vyote watathibitisha kuwa Yesu ni Mungu. Biblia Takatifu inasema kwamba:
“...kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi; kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA...” (Wafilipi 2:10,11)
Hakika Yesu ni Mungu. Najua hapa huwachanganya baadhi ya watu hata wanaweza kuhoji;
Je! Wapo Miungu wangapi? Kwa maana tunasikia habari za Mungu Baba, Mungu Mwana, na Mungu Roho Mtakatifu? Inawezekanaje tuseme Yupo Mungu mmoja wakati hapo tunaona wapo watatu?
Ni kweli Utatu Mtakatifu wa Mungu umekuwa mgumu sana kueleweka kwa watu wengi kutokana na mafundisho dhaifu waliyoyapokea kutoka kwa viongozi wao wa madhehebu yao na imani zao. Je! Utatu Mtakatifu wa Mungu ni uzushi uliotungwa na wanadamu kwa lengo la kupotosha watu au Biblia Takatifu inatuthibitishia wazi wazi kuhusu Utatu Mtakatifu wa Mungu? Hebu twende katika neno la Mungu tuone jinsi lisemavyo.
Biblia Takatifu inatuambia kwamba:
“Kwa maana wako watatu washuhudiao mbinguni: Baba, Neno, na Roho Mtakatifu; na watatu hawa ni umoja.” (1 Yohana 5:8 / 1 John 5:7)
Andiko hilo katika Biblia ya New King James Version inasema “...these three are one.” (1 John 5:7) kwa maana ya kwamba “...WATATU HAWA NI MMOJA.” Hebu tujiulize; je! Huo umoja wao unaowafanya watatu hao (YEHOVA, Yesu, na Roho Mtakatifu) hata wote wawe MMOJA ni upi?
Umoja wao upo katika Uungu. Wote watatu wanaungana kuwa Mungu mmoja kwa maana ya kwamba uumbaji wa vitu vyote umefanywa kwa pamoja na hawa watatu (yaani; YEHOVA, Yesu, pamoja na Roho Mtakatifu).
Tukirejea katika uumbaji; Neno la Mungu linasema kwamba:
“Mungu akasema, Na Tumfanye mtu kwa mfano Wetu, kwa sura Yetu...” (Mwanzo 1:26)
Pindi niliposoma andiko hilo kwa umakini nilijiuliza; Mbona Mungu hakusema;
"...Nimfanye mtu kwa mfano Wangu, kwa sura Yangu..."? Kwa nini Mungu ametumia maneno "...kwa mfano WETU, kwa sura YETU..."? Maneno hayo "...WETU..." na "...YETU..." yanadhihirisha hapo kuna zaidi ya mmoja. Je, ni nani mwingine aliye muumba mwanadamu zaidi ya Mungu?
Wakati nikiwa ninajiuliza maswali mengi, ndipo Roho Mtakatifu akanifundisha kwamba neno "Mungu" ni cheo, na sifa zake ndizo tulizojifunza hapo awali. Mungu hufanya kazi katika ushirika ambao katika Umoja huo ndipo aliumba vitu vyote.

QURAN IMEJAA SHAKA NA MASWALI YA KUTATANISHA



Waislamu wamekuwa na kawaida ya kufanya kila juhudi kuonyesha kwamba Biblia imepotoshwa, ingawaje jambo hilo si kweli hata kidogo.
Na juhudi hizi zote zinafanywa ili kutaka kuonyesha kwamba Quran ni neno la Mungu la kweli ambalo halijapotoshwa hata kidogo. Basi mimi naomba mnisaidie majibu ya maswali haya machache kati ya mengi:
1. Sura 54:19 inasema kuwa mji wa Aad uliharibiwa kwa siku moja na sura 69:6,7 inasema kuwa uliharibiwa kwa 'usiku' sita na siku nane (seven nights and eight days). Hapo kuna mkanganyiko au la?
2. Sura 19:17 inaonyesha kuwa malaika alimtokea Mariamu lakini sura 3:42 inasema walikuwa malaika wengi.
3. Sura 28:40 inasema kuwa farao alizama na kufia kwenye maji lakini sura 10:92 inasema kuwa farao huyo alipona.
4. Sura 18:86 inasema kuwa jua huzama kwenye chemchemi ya maji yenye tope. Unadhani hii ni sahihi. Jua lina joto la zaidi ya nyuzijoto 6000 kwenye uso wake. Lakini maji yakifika nyuzijoto 100 yanageuka mvuke. Je, maji yanayotajwa kwenye sura hii ni maji gani? Unadhani ni Mungu aliyeumba jua na maji ndiye anayesema haya?
5. Sura 15:19 inasema kuwa dunia ni bapa kama meza (flat). Kama Mungu ndiye aliumba dunia na ndiye alileta Quran, anaweza kusema jambo kama hili?
6. Sura 86:6,7 inasema kuwa manii ya mwanamume hutokea kati ya uti wa mgongo na mbavu. Hii ni sayansi ya wapi? Ni kutoka kwa Mungu aliyeumba wa mbingu na nchi na uti wa mgongo na mbavu kweli? Kama haitoki kwa Mungu basi hata kitabu chenyewe nacho hakitoki kwa Mungu, au siyo?
7. Sura 19:27,28 inasema kuwa Mariamu alikuwa ni dada wa Haruni. Lakini tangu Haruni aishi ilipita miaka 1300 ndipo alipozaliwa Mariamu. Ni Mungu gani basi anayeweza kusema maneno kama haya?
8. Sura 28:8 inasema kuwa farao na Hamani waliishi wakati mmoja na mahali pamoja. Lakini historia iko wazi kwamba kuna tofauti ya miaka takribani 1000 kati ya watu hawa. Vilevile, farao aliishi Misri wakati Hamani aliishi Uajemi kwenye ngome iliyoitwa Shushani.
Huu ni Msiba Mkubwa sana katika Uislam
Max Shimba Ministries Org

Monday, July 20, 2015

KUMBE MUHAMMAD ALIKUWA MZUNGU



Ndugu Msomaji,

Waislam mara nyingi hupenda kusema kuwa, eti Yesu alikuwa Mzungu na yule mcheza Sineama anaye muigiza Yesu eti ndio Yesu Mwenyewe. Leo nimeamua tujifunze kidogo kuhusu Nabii wa Allah. Je, alikuwa Mwarabu au Mzungu? Bila ya kupoteza muda, anza kusoma Sahih hadith zake. 

-Sahih Bukhari 1:3:63
Yeye alifanya Ngamia wake apige magoti katika Msikiti, halafu akamfunga Mguu wake kamba na kisha akauliza: "Ni nani kati yenu ni Mtume Muhammad" Wakati huo Mtume alikuwa amekaa miongoni mwetu (wenzake) huku akiwa ameegemea mkono wake. Sisi tukajibu, "Huyu MZUNGU aliye agemea mkono wake ndiye Muhammad." Kisha akasema naye, "O Mwana wa 'Abdul Muttalib." 


Juzuu 4, Kitabu 56, Namba 744: 
Narrated Isma'il bin Abi Khalid:
Nilimsikia Abii Juhaifa akisema: Nimemwona Nabii wa Allah, na Al-Hasan bin "Ali anafanana naye" Nikamwuliza Abu-Juhaifa, hemu niambie yuko, Akanijibu kuwa, Nabii wa Allah ni Mzungu na ndevu zake ni Nyeusi na zina mvi kidogo. Alituahidi kutupa watoto 13 wa kike wa Ngamia, lakini Nabii wa Allah alikufa kabla hajatimiza ahadi yake.

Kumbe Nabii wa Allah alikuwa Mzungu. Kumbe ndio maana Allah hawapendi Waafrika na anawaita Makafiri. 

Volume 2, Book 17, Number 122: 
Narrated 'Abdullah bin Dinar:
Baba yangu akasema, "Nilisikia Ibn 'Umar akisoma mistari ya mashairi ya Abu Talib : Na Mtu Mweupe (yaani Mtume) ambaye tulimwomba aombee Mvua Inyeshe na mwenye huduma ya watoto yatima na ni mlezi wa wajane. "


---
Volume 2, Book 17, Number 141: 
Narrated Anas bin Malik
Mtume kamwe hanyooshi mikono yake kwa ajili ya sala yoyote ile isipokuwa kwa ile ya Istisqa ' na alikuwa ananyoosha sana Mikono yake mpaka Weupe unaonekana kwenye Makwapa yake.  


---
Volume 1, Book 8, Number 367: 
Nabii wa Allah alionyesha Mapaja yake, na nikaona weupe wa Mapaja yake.

Nategemea umesoa hizo hadith za  Muhammad na umejifunza kitu kuhusu ukabila au utaifa wa Nabii wa Allah. Muhammad alikuwa Mzungu na hatusome sehemu yeyote ile akipinga Uzungu wake.

Kwanini Waislam wa Mwanzo walisema kuwa Muhammad alikuwa Mzungu?

Kwanini Muhammad hakupinga madai ya yeye kuwa Mzungu?

KUMBE MUHAMMAD ALIKUWA MZUNGU NA SIO MUARABU

Mungu awabariki sana,

Katika Huduma Yake,

Max Shimba Ministries Org.

MAX SHIMBA MINISTRIES ORG ©2015. ALL RIGHTS RESERVED

Everyone is permitted to copy and distribute verbatim copies of this license document, but changing it is not allowed.

Wednesday, July 15, 2015

KUMBE SHETANI ANAISHI MAKKA



Ndugu zanguni huu ni Msiba mwingine kwa ndugu zetu. Amini usi amini habari ndio hii na ukweli leo unaanikiwa hapa.

Inapo fika siku ya 10 ya Zhu Al-Hijjah , wana Hijaa huondoka kutoka Muzdalifah, huku wakiokota Mawe wakiwa njiani. Kufuatana na Sunna, katika siku hii ya kwanza (10), wanaruhusiwa kuokoka Mawe Saba tu. NAJUA UNASHANGAA, HAYA MAWE NI YA NINI NA WAISLAM WANAELEKEA WAPI. Endele kusoma huu mkasa.

Nyakati za kupiga mawe Shetani:
Siku ya An-Nahr – Sikukuu mosi, usipige mawe mpaka jua lichomoze:
((Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) alipokuwa Muzdalifah aliwatanguliza Minaa watu dhaifu na wazee na wanawake, akawaambia: “Musirushe mawe mpaka jua litoke”)) [Imepokewa na At-Tirmidhiy]

Mwenye udhuru anaweza kuchelewesha mpaka kabla ya Magharibi, lakini ni vizuri kupiga mawe baada ya kutoka jua na kabla haijaingia Magharibi kwa asiyekuwa na udhuru. (Baadhi ya Maulamaa wanajuzisha kupiga mawe baada ya Magharibi kwa udhuru, lakini bora ujaribu kupiga kabla jua kuzama).

Wakati wa kurusha mawe kwa siku mbili zilizobaki au siku tatu kwa wale wasiotaka kuharakisha, ni baada ya Zawal (wakati wa adhuhuri pale jua linaposogea kidogo baada ya kuwa katikati).

WANAPO FIKA "MINA", NDIO KAZI YA KUMPIGA MAWE SHETANI INAANZA.
1. Mahujjaj, hutupa mawe 7 'Jamrat Al-Aqabah'. Mahujjaj humtupia mawe Shatani huko Urabuni "MIRA" AKA MAKKA. Ndugu wasomaji, kumbe Shetani yupo Makka. Kumbe Shetani ni jamaa yao na wanampiga mawe. Huu ni Msiba mkubwa sna kwa Waislam wanao enda Hijja ili wampige Mawe Shetani.
2. Mahujaj hurudi tena Mina na kuanza kumpiga Mawe Shetani na kuka usiku huko katika siku ya 11 na siku ya 12.

Hivi, Shetani ana Mwili mpaka wampige Mawe? Hivi Allah hawezi kummaliza Shetani mapka atumie watu kumpiga Mawe? Hakika kuna Shaka sana kwenye hii dini ya Allah.

Mahujaj hufanya hii kazi ya kumpiga Mawe Shetani katika siku ya 11, 12, na 13, na hufanya hii kazi wakati w Usiku na sio Mchana. Hapo sasa ndio utafahamu kuwa Shetani ni sehemu ya hii dini.

Kuomba Du’aaNi vizuri kuelekea Qiblah na kuomba du’aa baada ya kumaliza kupiga kila Jamaraat isipokuwa Jamaraat la mwisho. Hadiyth iliyosimuliwa na Al-Bukhaariy na Imam Ahmad inasema:
((Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) alikuwa akeshapiga kila Jamaraat kwa mawe saba akisimama na kuelekea Qiblah na kuomba du’aa, isipokuwa baada ya kulipiga Jamaraat la mwisho hakusimama.)) [Imepokewa na Al-Bukhaariy na Imam Ahmad]

Siku Ya Kuharakisha
Ikiwa unataka kubaki hapo kwa mda wa siku mbili tu, basi siku ya tarehe Kumi na mbili Dhul Hajj ambayo hujulikana kama ni "Yawmul isti’ijaal" - Siku ya Kuharakisha – unapiga mawe na kuondoka Minaa kabla ya jua kuzama, na ikiwa utakawia kuondoka ukawepo hapo baada ya juwa kuzama itakubidi ubaki hapo siku moja zaidi. Ni vizuri kubaki usiku wa tatu ikiwa huna cha kukushughulisha.

Twawaaful Wida’a
Unapotaka kurudi nchini kwako baada ya kumaliza shughuli za Hajj, unatufu Twawaaful wida’a, (Twawaafu ya kuaga) nayo ni kama ifuatavyo:

Unatufu Al-Ka’abah mara saba na kufanya kama ulivyofanya katika Twawaafu za mwanzo, lakini mara hii bila ya kufanya Sa’ay baina ya Swafaa na Marwah.

NDUGU ZANGUNI,
Hii dini si ya Mungu wala hakuna sehemu kwenye Taurat au Injir au Zaburi ambayo Mungu anawaamrisha Waisrael wamtupie Mawe Shetani. Ndio maana huwa nasema kila siku kuwa, Allah hawezi kuwa Mungu wa Ada, Mungu wa Musa, Mungu wa Ibrahim, nk. Allah anaonyesha sifa tofauti kabisa na za Mungu wa Biblia.

Hivi Mtu na akili zako unaokota Mawe na kuanza kumpiga Shetani? Hakika hawa wamepotea wanao Mpiga Mawe Shetani.

HEBU SOMA TENA HIVI VIOJA NA UCHAWI WA KIISLAMUkishamaliza Twawaafu ya Ifaadhwah unarudi Minaa na unabaki hapo usiku wa tarehe 11, 12 na 13 kwa wasiokuwa na haraka. Hizo zinaitwa siku za Tashriyq. Inatosha kama utabaki hapo usiku wa tarehe 11 na wa 12 tu. Katika siku 2 au 3 hizo unapiga mawe Jamaraat zote tatu kila siku kwa mpangilio ufuatao.

Anza kupiga Jamaraat la mbali na Makkah, (Jamaraat dogo) kisha la kati, kisha Kubwa (Jamarat al Aqaba). Kila moja piga kwa mawe saba huku ukisema: "Allaahu Akbar", kila unaporusha jiwe. Hii ni kwa siku tatu zilizobaki.

Jamani. Nawasihi Wakristo wote duniani kuwaombea hawa Waislam wanao panda ndege na kwenda Makka kumpiga Mawe Shetani. Hawa ni vipofu na viziwi. Wnaihitaji upendo wa Yesu.

WAISLAM:1. Hivi kumpiga Mawe Shetani kunawasaidia nini?
2. Wapi tunasoma kuwa Abrham alimpiga Mawe shetani?
3. Mbona huu utamaduni wa kupiga Mawe Shetani upo kwenye Quran peke yake?
Nawakaribisha kwa Yesu Mungu Mkuu.
Max Shimba Ministries Org.
July 2015


Monday, July 13, 2015

Je, Yesu alisema kuwa Yeye ni Mungu?



“Wahubiri wa injili” wa Kiislamu huwa wanapinga kuwa Yesu ni Mungu na unapowakatalia wanakwambia, “Lete andiko.” Maandiko yapo mengi sana ndani ya Biblia juu ya ukweli kwamba Yesu ni Mungu. Ni mengi mno!

Ukishawapa andiko, wanabadilika na kusema, “Nataka maneno aliyoongea Yesu mwenyewe.”

Hiki ni kigezo POTOFU na si cha kibiblia hata kidogo. Ukweli ni kwamba, Biblia YOTE ni Neno la Mungu. Haijalishi amezungumza Musa, Isaya, Yohana, Petro au Yesu mwenyewe. Imeandikwa:
Maana unabii haukuletwa po pote kwa mapenzi ya mwanadamu; bali wanadamu walinena yaliyotoka kwa Mungu, wakiongozwa na Roho Mtakatifu. (2Petro 1:21).


Hivyo, kudai kwao eti, “Nataka maneno aliyosema Yesu mwenyewe,” ni kigezo batili na kisicho na mantiki hata kidogo.
  

Ufuatao ni ushahidi wa kibiblia kwamba YESU KRISTO  ni Mungu.

Yohana 8:58
Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Yeye IBRAHIMU ASIJAKUWAKO, MIMI NIKO.
NIKO ni jina la Mungu peke yake. Tunakutana na jina hilo pale Musa alipoongea na Mungu na kutumwa kuwakomboa wana wa Israeli kutoka Misri. Imeandikwa:
Musa akamwambia Mungu, Tazama, nitakapofika kwa wana wa Israeli, na kuwaambia, Mungu wa baba zenu amenituma kwenu; nao wakaniuliza, Jina lake n'nani? Niwaambie nini? Mungu akamwambia Musa, MIMI NIKO AMBAYE NIKO (Kutoka 3:13-14).

Mwanadamu yuko kwa sababu Mungu alisababisha awepo. Gari liko kwa sababu injinia au mbunifu alisababisha liwepo. Nyumba ipo kwa sababu fundi alisababisha iwepo. Lakini Mungu YEYE YUKO TU!! Hayupo kwa kusababishwa na yeyote! Ndiyo maana akasema MIMI NIKO AMBAYE NIKO! Yesu ni NIKO. Kwa hiyo, Yeye ni Mungu.

Yohana 10:30
Mimi na Baba tu umoja.
Waislamu wana msemo wao kwamba eti, Yesu na Mungu ni wamoja katika malengo, si katika asili yao. Basi huwa nawauliza swali kuhusu aya ifuatayo ya Isaya, nao wanazimika na kukosa jibu:

Isaya 9:6
Maana kwa ajili yetu MTOTO amezaliwa, Tumepewa MTOTO MWANAMUME; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, MUNGU MWENYE NGUVU, BABA WA MILELE, Mfalme wa amani.

Aya hii iko wazi kabisa. anayetajwa ni Yesu kwamba Yeye ni Mungu mwenye nguvu.

JE, YESU ALITUMWA KWA ISRAEL PEKE YAKE?




Waislamu “wanahubiri” kuwa Yesu  hakuja kwa ajili ya ulimwengu wote bali alikuja kwa ajili ya Wayahudi peke yao. Kisha wanasema kuwa Muhammad ndiye mtume sahihi kwa sababu huyo alikuja kwa ajili ya ulimwengu wote. Andiko wanalotumia kupinga utume wa Yesu kwa ulimwengu ni lile alilolisema Yesu wakati akiongea na mwanamke Mkananayo (yaani asiye Myahudi), ambaye alikuwa anaomba Yesu amponye mwanawe.

Imeandikwa:
Akajibu akasema,  Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. (Mathayo 15:26).


Mungu ni Mungu wa utaratibu na ratiba kamili. Ndiyo maana hakuumba kila mtu kwa mara moja. Alianza na mtu mmoja tu, kisha wengine wote tukatokea kwa huyo mtu. Vivyo hivyo, alianza kwa kujifunua kwa taifamoja tu duniani kote. Kisha kutokea hapo ndipo wokovu unasambaa kwenye mataifa yote. Ni ukweli ulio wazi kwamba, ukiacha Israeli, jamii zote zilizobakia duniani, kwa asili zilikuwa zikiabudu miungu (yaani mashetani). Ni Israeli peke yao ndio ambao kwa asili walianza na Mungu wa kweli.

Ndiyo maana Bwana Yesu alipoongea na mwanamke Msamaria pale kisimani alimwambia hivi:

Ninyi mnaabudu msichokijua; sisi tunaabudu tukijuacho; kwa kuwa wokovu watoka kwa Wayahudi. (Yohana 2:22).


Wokovu unatoka kwa Wayahudi kwa sababu hakuna taifa jingine lolote duniani ambalo lilimjua Mungu wa kweli – yote yalikuwa na dini za kipagani – iwe ni wazungu, Waafrika, Wahindi, Waarabu, n.k. Huo ndio ukweli.

Kusema kwamba Yesu hakuja kwa ajili ya mataifa yote hakuna tofauti na kusema kuwa, kwa vile Mungu alimuumba Adamu na Hawa peke yake, basi Yeye si wa familia yangu maana hakuniumba na mimi kama alivyomuumba Adamu.

Yesu aliongea na wanafunzi wake siku moja na akawaambia kuwa:

Ndivyo ilivyoandikwa, kwamba Kristo atateswa na kufufuka siku ya tatu; na kwamba mataifa yote watahubiriwa kwa jina lake habari ya toba na ondoleo la dhambi, kuanzia tangu Yerusalemu. (Luka 24:46-47). 

Je, unaona kwamba Injili inatakiwa kuanzia Yerusalemu? Na je, unaona pia kwamba anasema kwamba mataifa yote watahubiriwa kwa jina lake? Je, mataifa yote ni Israeli peke yake?

Mwanamke Mkananayo alikuja wakati usio wake. Huo ulikuwa ni wakati wa kuhubiri Injili kwa Israeli kwanza ndipo iende ulimwenguni kote.

Ufuatao ni ushahidi zaidi wa maneno ya Bwana Yesu mwenyewe kuthibitisha kwamba alitumwa kwa mataifa yote ulimwenguni na kwamba Yeye ndiye Masihi wa Mungu, yaani aliyepakwa mafuta kwa Roho Mtakatifu kwa ajili ya kuukomboa ulimwengu wote.

MTUME PAULO ANAVYO WANYIMA USINGIZI WAISLAM





Kati ya watu wanaowasumbua sana ndugu zetu Waislamu ni shujaa wa Bwana Yesu, Mtume Paulo. Na hii haikuanza kwa Waislamu pekee, bali kuanzia kwa washika torati waliokuwako wakati wake, yaani mafarisayo, wakuu wa makuhani, waandishi pamoja na Wayahudi wa kawaida waliofuata dini ya Kiyahudi.

Waislamu wanaendeleza tu ili roho ya upinzani dhidi ya Injili iokoayo ya Bwana wetu Yesu Kristo.

Zifuatazo ni baadhi ya sababu ambazo Waislamu wanasema zinawafanya wamkatae Mtume Paulo, kama nilivyozitoa kwenye facebook kwenye post mojawapo ya ndugu mmoja wa Kiislamu.



Wanasema:
MOJA: Eti aliweka amri ya watu wasitahiriwe, ndio maana Wakristo wengi leo wana magovi


JIBU:
Tohara ni suala la afya ya kawaida wala halina uhusiano na kwenda mbinguni. Yaani, ukitaka kufanyiwa tohara, ni faida kwa mwili wako tu na wala sio kwa roho yako. Kinachoenda mbinguni ni mwili na wala sio roho. Mwili uwe umetahiriwa au haujatahiriwa, ukifa ni kuozea tu ardhini. Kwa hiyo, Mungu alilitumia hilo suala la tohara kama ishara ya mambo halisi ya rohoni, na sio ya mwilini:

(Kumb 10:16) Basi, zitahirini govi za mioyo yenu, wala msiwe na shingo ngumu.


(Kumb 30:6) BWANA, Mungu wako, atautahiri moyo wako, na moyo wa uzao wako, ili umpende Bwana, Mungu wako, kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, upate kuwa hai.


(Yer 4:4) Jitahirini kwa BWANA, mkaziondoe govi za mioyo yenu, enyi watu wa Yuda na wenyeji wa Yerusalemu; ghadhabu yangu isije ikatoka kama moto, ikawaka hata mtu asiweze kuizima, kwa sababu ya uovu wa matendo yenu.


MBILI: Eti alikuwa gaidi wa kuwaua wanafunzi wa Yesu kisha akadai ni mtume wao ili azidi kuwaua kifkra

JIBU
Hii ni hoja kichekesho. Tangu lini mkawa na huruma na wanafunzi wa Yesu? Mnasemaje kuhusu makundi yenye itikadi kali ambayo yanaua Wakristo duniani hivi leo, yanavunja makanisa  na kuwalazimisha kufuata miungu yao? Je, nayo mnayalaani?

Paulo alikuwa muuaji KABLA ya kumjua Kristo kama ambavyo SISI SOTE nasi tulikuwa wenye dhambi kabla ya kumjua Kristo. Na Yesu anasema:

(Luk 5:31-32) Yesu akajibu akawaambia, wenye afya hawana haja na tabibu, isipokuwa walio hawawezi. Sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi, wapate kutubu.

Yesu anawaita wenye dhambi ili Yeye ndiye awape mioyo mipya iliyojaa upendo, huruma na msaada kwa wanadamu wengine. Yeye hakuja kumtafuta Paulo asiye na dhambi, maana hakuna Paulo wa hivyo au mwanadamu yeyote wa hivyo.
Kama Paulo alikuwa mwuaji, wa kulalamika alitakiwa awe Kristo Yesu mwenyewe na wala sio wewe uliye na chuki na Paulo.

TATU: Eti ndiye aliyeleta ushoga duniani

JIBU
Huu ni uongo kutoka kwenye shimo la kuzimu. Paulo anasema:
Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, (1Kor 6:9)

Jipime mwenyewe kama usemayo ni mambo yanayoingia akilini au la. Unayejidanganya ni wewe mwenyewe wala si mtu mwingine.


NNE : Eti ndiye aliyesema pombe ni dawa ya magonjwa.

JIBU :

Urithi wa Uislamu kutoka kwenye dini za kipagani za Uarabuni - sehemu ya 1





Allah alitokea wapi?

Uislamu unajinadi kwamba Allah ndiye Mungu yuleyule aliyejishughulisha ya Wayahudi tokea nyakati za Ibrahimu katika Agano la Kale. Je, jambo hilo ni kweli?

Uislamu ulianza na Muhammad kwenye miaka 600 baada Kristo. Je, kabla yake imani za Waarabu zilikuwaje? Je, yako mambo yoyote kutoka kwenye imani hizo ambayo yaliingia kwenye Uislamu? Kwa maneno mengine, je, Uislamu hauna upagani ndani yake?

Fuatana nami kwenye makala haya marefu yanayochambua chimbuko la Uislamu ili tuweze kuona iwapo upo uhusiano wowote kati ya Uislamu na upagani uliokuwa ukitawala miongoni mwa jamii za Waarabu kabla ya kutokea kwa Muhammad?


Asili Ya Allah

Jamii za wanadamu KOTE duniani zimekuwa na kawaida ya kujiuliza ni wapi ulimwengu huu umetokea, nini maana ya maisha na wapi watu huenda baada ya kufa. Matokeo yake, kila jamii ilifikia kuamini kuwa kuna aliye na nguvu (au walio na nguvu) kuliko wanadamu wote ambao ndio wanapaswa kuabudiwa na kuombwa msaada pale matatizo yanapotokea.

Hawa wenye nguvu wakajulikana kwa majina mbalimbali kwenye jamii tofauti. Vilevile, kila jamii ilianzisha utaratibu maalum wa kuwasiliana na hawa wenye nguvu, yaani miungu.

Lakini jambo moja ni dhahiri, kwamba UKIACHA JAMII YA WAYAHUDI PEKE YAO, jamii zote za wanadamu zilizobakia duniani – iwe ni Afrika, Ulaya, Asia, n.k. - zimeanzia kwenye ibada za kipagani.  Jamii hizi ziliabudu miungu mbalimbali. Na miungu hii iliwakilishwa na vitu kama vile milima, miti mikubwa, jua, mwezi, majoka makubwa, sanamu, wafalme, n.k. Kwa mfano, Warumi walikuwa na miungu kama vile artemi, jupiter, minerva, atlas, n.k. Tazama hapa. Wagiriki walikuwa na miungu kama vile chronos, dionysus, eros, ares, appolo, hermes, poseidon, n.k. Tazama hapa. Wahindi wana miungu kama vile durga, ganesha, garusha, brahma, n.k. Tazama hapa. Imani hizi za kipagani ziliweza hata kukua sana na kuenea maeneo mengi. Kwa mfano, imani ya ubudha ni imani ya kipagani lakini iliweza kuenea sehemu kubwa sana ya Asia – India, Japan, Sri Lanka, Uchina, n.k.

Kwa hiyo, jamii za Kiarabu, kama ilivyo kwa wanadamu wengine, vilevile hazikuwa tofauti. Jamii hizi nazo zilikuwa zina ibada zao za kipagani.

Waarabu walikuwa wakiabudu kile ambacho kinajulikana leo kama “star family”, au “familia ya nyota.” Tazama hapa. Inaitwa ‘familia ya nyota’ kwa sababu walichukulia miungu yao kwa tabia za kibinadamu. Mwezi ulichukuliwa kuwa ni mungu mwanamume na jua kama mke wa mwezi. Kisha hawa walizaa watoto. Kwa mfano, waliaminika kuwa walikuwa na mabinti watatu waliojulikana kwa majina ya al-lat, al-uzza na manat.

Ndiyo maana hata quran ikasema: Have you considered Al-Lat and Al- Uzzah, and another, the third (goddess) Manat? (Sura 53:19-20).

Yaani: Mmemwona Al-Lat na Al – Uzza, na mwingine, wa tatu (mungu mke) Manat?

Na hata Muhammad alikuwa akiabudu miungu hii kabla ya kuanzisha Uislamu. Tunasoma kutoka Hisham al-Kalbi, Kitab al-Asnam (Book of Idols), uk.17 kwamba:


'We have been told that the Apostle of Allah once mentioned al-Uzza saying, "I have offered a white sheep to al-'Uzza, while I was a follower of the religion of my people."

Yaani:
Tulishaambiwa kwamba Mtume wa Allah aliwahi kumtaja al-Uzza akisema, “Nilitoa kondoo mweupe kwa al-Uzza, wakati nilipokuwa nikifuata dini ya watu wangu.” Watu wake ni Waquresh.

Jina Allah linatokana na al-llahAl ni kama neno la Kiingereza, yaani article ‘a’; na ilah ni mungu. Kwa hiyo,al-ilah maana yake ‘a god’ au tu mungu kwa Kiswahili – maana Kiswahili hakina neno linalofanana na ‘a’.

Kwa sababu lugha huenda ikibadilika, ndipo jina hili likafupishwa na akuwa ‘allah’. Ni kama unavyoona kwenye Kiswahili utasikia mtu akisema ‘mambo ndo ivo bwana.’ Kumbe ‘ndo ivo’ ni kifupi cha ‘ndiyo hivyo’. Huenda miaka hamsini au mia ijayo watu hawatajua kuwa kumbe asili ya ‘ndo ivo’ ni maneno ‘ndiyo hivyo.’

Urithi wa Uislamu kutoka kwenye dini za kipagani za Uarabuni – Sehemu ya 2



Ka’aba

Katika Sehemu ya 1 ya makala haya tuliangalia kuhusu asili ya Allah. Katika sehemu hii ya 2 tutaongelea kuhusiana na mji wa Makka na ka'aba, ambayo ni madhabahu kuu ya Uislamu.

Mji wa Makka ndio kitovu cha Uislamu duniani. Kwenye mji huu ndiko iliko Ka’aba, au kama wanavyoamini na kuiita Waislamu Bait – ul- Haram; au Bait – ul- Allah, yaani ‘nyumba ya Allah’ au ‘nyumba ya Mungu’. Na kila Mwislamu kokote duniani anatakiwa kuswali swala 5 kila siku huku akielekeza uso wake Makka iliko hiyo nyumba ya Mungu wao. Vilevile, kila mmoja wao anatakiwa kwenda Makka kuhiji walau mara moja katika maisha yake, maana hija ni moja ya nguzo kuu katika Uislamu. Kwa maana nyingine, Ka’aba ndiyo madhabahu kuu katika Uislamu.



Ka’aba ni nyumba ya umbo la takriban mchemraba ambayo, pamoja na vitu vingine vichache iliyo navyo, kuna kipande cheusi cha jiwe ambacho kimejengewa ukutani kwenye kona mojawapo. Hivyo, Waislamu wanapoenda Makka kuhiji huzunguka Ka’aba na pia kulibusu  jiwe hilo, au kuligusa tu, na kama ikishindi kana, basi japo kulinyoshea mkono.


Zamani, Allah anasema, kuwa Muhammad alikuwa akitazama mbinguni wakati anapoomba [nadhani kila mwenye imani juu ya Mungu anaamini kuwa Mungu yuko juu – na huo kusema kweli nadhani ndio mtazamo sahihi kabisa].
Lakini Allah akamwambia mtume wake:
We have certainly seen the turning of your face, [O Muhammad], toward the heaven, and We will surely turn you to a qiblah with which you will be pleased. So turn your face toward al-Masjid al-Haram. And wherever you [believers] are, turn your faces toward it [in prayer]. Indeed, those who have been given the Scripture well know that it is the truth from their Lord. And Allah is not unaware of what they do. (sura Al Baqarah 2:144) – Sahih International Version.
Yaani:
Hakika tumeona jinsi unavyogeuzia uso wako [ewe Muhammad], kuelekea mbinguni, nasi hakika tutakugeuzia kwenye qiblah utakachokifurahia. Hivyo elekeza uso wako kwenye al-Masjid al-Haram. Na kila mtakakokuwa [enyi mnaoamini] geuzieni nyuso zenu kuelekea huko [mswalipo]. Hakika, wale waliopewa Maandiko wanajua vema kuwa ni kweli kutoka kwa Bwana wao. Na Allah anajua kile wafanyacho.
Allah anasema hafurahii sana Muhammad na Waislamu kugeuzia nyuso zao juu mbinguni (aliko Mungu muumba wa vyote – ajabu sana! Ajabu mno!), badala yake akaamuru wageuzie nyuso zao kwenye ka’aba wawapo popote wakati wa kuswali.
Pia anasema kuwa wale waliopewa Maandiko (yaani watu wa kitabu) eti wanajua fika kwamba jambo hilo ni kweli kutoka kwa Bwana wao!
We Allah wewe! Bwana wao yupi tena wakati wewe unasema ndiwe uliyesema na Ibrahimu ili akajenge ka’aba akitokea Kaanani – kilometa zaidi ya 1,000 kutoka Makka? [Tena basi Makka ambayo hata haikuwapo duniani hadi takriban kwenye miaka 400 baada ya Kristo - sasa sijui Ibrahimu alienda kujenga ka'aba porini kusiko hata na mtu mmoja]!! Ina maana kuna Bwana wao ambaye si wewe basi! Basi huyo Bwana wao ana Ibrahimu na Ishmael wa kwake; na wewe una Ibrahimu na Ishmael wa kwako, au siyo? 
Kulingana na Quran, ka’aba ilijengwa na Ibrahimu na mwanawe, Ishmael. Quran inasema kwamba:

Remember We made the House a place of assembly for men and a place of safety; and take ye the station of Abraham as a place of prayer; and We covenanted with Abraham and Isma'il, that they should sanctify My House for those who compass it round, or use it as a retreat, or bow, or prostrate themselves (therein in prayer). [Qur'an 2:125].

Yaani:

TRENDING NOW