Saturday, July 2, 2016

KWANINI MUHAMMAD ALIRUHUSU UCHOMWAJI WA QURAN


NI NANI ALIYECHOMA QURAN? NI NANI ANAYEENDELEZA UCHOMAJI WA QURAN?**********************************************************
Sasa inefahamika kuwa aliyekuwa wa kwanza kuchoma kitabu kinacho daiwa ni cha "haki, kikamilifu na kisichokuwa na dosari" kiitwaacho "QURAN TUKUFU" ni yule yule aliyeandika Quran.
Caliph Uthman aliandika Quran na kuchoma aya ambazo hakupendezwa nazo!
(Sahih Bukhari 6:61:510)
CALIPH UTHMAN ALIANDIKA QURAN NA KUCHOMA AYA AMBAZO HAKUPENDEZWA NAZO!-(Sahih Bukhari 6:61:510)
Caliph Uthman hakuchoma tu aya za Quran bali aya zingine alizifuta kwa maksudi. (Bukhari 6:61:527).
HAPA MASWALI NYETI YANAIBUKA;
**************************
Je, ni aya gani hizo alizozichoma?
Je, aliakuwa anaandika Quran kwa manufaa ya nani?
Je, aliandika Quran kwa mamlaka ya nani?
Je, mwenye mamlaka hayo hakumwongoza aandike Qurani mufti bila dosari kama wanavyodai waumini wa kiislamu kuwa kuran haina dosari?
SWALI:-KWANINI BASI WAISLAMU WALALAMIKE KUWA QURAN YAO INACHOMWA?
JIBU:-WAO NDIO WALIOANZISHA UCHOMAJI NA HADI SASA HAO NDIO WANAOENDELEZA UCHOMAJI WA KURAN.
Kumbe Quran inachomeka.
Kumbe Quran haikuteremshwa.
Kumbe Quran iliandikwa na viumbe dhaifu.
Max Shimba Ministries Org

MAHAKAMA YA KADHI HAIPO KWENYE QURAN

Ndugu wasomaji.
Leo ningependa kusema kuwa, dai la Waislam wa Tanzania la Mahakama ya Kadhi halina msingi wala usaidizi wa Quran.
Kwa wanao ifahamu Quran, watakubaliana na mimi kuwa HAKUNA AYA HATA MOJA ambayo Allah alisema na au Waamrisha Waislam waende kwenye Mahakama ya Kadhi.
Narudia tena hakuna aya.
SASA NDUGU WAISLAM:
1. Who appoints Chief Kadhi and Kadhis?
- Nani anawachagua wamchifu wa kadhi na ipo wapi aya inayo sema hivyo?
2. What are the qualification for appointment to the office of a Kadhi (including a Chief Kadhi)?
- Zitaje sifa zinamfanya mtu apewe hiyo kazi ya uchifu nk Leteni aya kutoka Quran.
3. Since the Kadhis are not trained lawyers who understand the Evidence Act and the Civil Procedure Act, how and/or what will they use to administer their Courts?
- Kwasababu wanao ongoza hizo Mahakama sio Mawakali walio somea na hakuna aya kutoka Quran inayo wapa uongozi huo, je, hoa viongozi watatumia nini kuweka haki katika hizo mahakama?
4. Muslims are mainly of two sects in Tanzania - the Sunni and Shia. Majority of the Muslims in Tanzania are Sunni Muslims but there is a significant population of Shia Muslims too and consideration ought to be given to the appointment of Kadhis of the Shia Sect to cater the interest of the Shia Muslims. Will they have two different Courts? For Sunni and Shia?
- Kuna madhebu makubwa mawili ya Waislam, Suni na Shia. Wengi wao wa Tanzania ni Suni, ingawa kuna Shia wengi vile vile, Je, watakapo chagua hao viongozi wa kadhi, watachaguaje maana Suni na Shia hawakai kiti kimoja? Je, watakuwa na mahakama mbili tofauti?
5. How will Muslim Women be protected since: Muslim law regards women as less than men in matters of both marriage and divorce, as well as devolution of property: Holy Quran Surah 2:228-232, and Surah 65:1-7 (only a man may divorce his wife even if he is required to provide for her); a man may beat his wife, even if lightly, the evidence of two women, is equal to evidence of one man (Surah 2:282). The application of such beliefs of faith are contrary to the Constitution.
- Je, ni kivipi Mwanamke wa kiislam analindwa maana Allah alisha sema kuwa Mwanamke yeye ni nisu ya Mwanaume(Surah 2:282) katika maswala ya mirathi? Zaidi ya hapo Quran inampa haki Mume tu kutoa talaka na mke anaachwa bila ya haki yeyote ile Quran Surah 2:228-232, and Surah 65:1-7? Je, ikiwa mke anataka kutoka talaka, atatumia aya zipi za Quran?
Sheria za taifa la Tanzania zinapingana na hii Kadhi, je, Waislam watafuata sheria za nchi au watafuata sheria za kadhi na kuvunja sheria za nchi?
Islamic "Kadhi" courtsis illegal and discriminatory.
Mahakama ya Kadhi inapinga sheria za nchi.
Waislam, kwanini mnamsaidia Allah kwa kuanzisha Mahakama ya Kadhi?
Hakika ni dhambi kubwa kumzulia uongo Allah na kumsaidia Allah ambae kasema hana msaidizi na ni muweza wa yote.
Karibu katika Ukristo ambao utawaweka huru kutoka vifungo vya sheria.
“Kwa maana Mungu alimfanya Yeye asiyekuwa na dhambi kuwa dhambi kwa ajili yetu, ili sisi TUPATE KUFANYWA HAKI YA MUNGU katika Yeye.” (Wakor.5:21). Mstari wa maana sana na mwenye uzito! Na tena imeandikwa, “Kwa maana kama vile kwa kutokutii yule mtu mmoja wengi walifanywa wenye dhambi, vivyo hivyo kwa kutii kwa mtu mmoja wengi WATAFANYWA WENYE HAKI.” (Warumi 5:19). Huu ni ukweli wa Mungu – kutokana na dhambi ya Adamu tulifanywa wenye dhambi. Kwa kuzaliwa kwetu kwa kwanza tulipata tabia ya mwenye dhambi, na sawasawa na tabia hiyo tunafanya dhambi. Sasa, VIVYO HIVYO kupitia utii na mateso ya Yesu Kristo msalabani TUMEFANYA WENYE HAKI! Kwa kuzaliwa kwa pili tunapata Roho ya Mungu na maisha ya Yesu ndani yetu na sawasawa na Uzima huo tumewekwa huru mbali na dhambi ili “tusitumikie dhambi tena.”
Yesu amevunja ile nguvu za dhambi katika maisha yetu. “Kwa sababu sheria ya ROHO WA UZIMA ule ulio katika Kristo Yesu imeniacha huru, mbali na sheria ya dhambi na mauti.” (Warumi 8:2). Sheria ya nje haina uwezo kuibadilisha hali ya kiroho yako au tabia yako. Kwa mfano, na tuweke sheria kwa ajili ya nyoka, na sheria hiyo inasema “uwe mwanakondoo!” Sasa, nyoka anaweza kujitahidi sana awe mwanakondoo; anaweza kujaribu kufanya hivi na hivi; anaweza kusali na kwenda kanisani, lakini anabaki nyoka! Hakuna mabadiliko! Kwa hiyo Yesu alisema, “Na kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa; ili kila mtu aaminiye AWE NA UZIMA WA MILELE KATIKA YEYE.”
Karibuni kwa Yesu na atakuweka huru kutoka Mahakama ya Kadhi na Sharia za Uislam.
Max Shimba Ministries Org
© Max Shimba Ministries 2013

KWANINI ALLAH NA MUHAMMAD WANAMCHUKIA ISA BIN MARYAM?


Ndugu msomaji,
Labda hukuwai jiuliza jambo hili, KWANINI ALLAH ALISEMA ISA BIN MARYAM SI CHOCHOTE?
KWANINI ALLAH HAKUWAI SEMA KWA MANABII WENGINE KUWA WAO SI CHOCHOTE, BALI ALIMDHIHAKI KWA CHUKI MBAYA ISA BIN MARYAM?
Hebu tusome kwanza aya kutoka Suratul Al Maidah:
Qur’an katika Suratul Al-Maidah, 5:75 “ Masihi mwana wa Maryam si chochote ila ni Mtume. Wamekwisha pita Mitume kabla yake. Na mama yake ni mwanamke mkweli. Wote wawili walikuwa wakila chakula. Angalia jinsi tunavyo wabainishia Aya, kisha angalia vipi wanavyo geuzwa.http://www.quranitukufu.net/005.html
Eti, Isa Bin Maryam si chochote na anageuzwa. Hivi kuna aya gani zingine kwenye Quran zinaita mitume wengine si chochote na wanageuzwa?
Hivi kwanini Allah na Muhammad wanamchukia Isa Bin Maryam namna hii? Huyu Isa bin Maryam aliwafanya nini Allah na Muhammad kiasi cha kusema eti "WAMEKWISHA PITA MITUME KABLA YAKE". Kwani Isa Bin Maryam alikuwa anashindana na Allah na mtume wake Muhammad, mpaka kusema eti wamekwisha pita mitume kabla yake? Nani hajui hilo kuwa kulikuwa na mitume kabla ya Isa bin Maryam? Mbona Allah hakusema maneno haya machafu na ya dhihaka kwa Muhammad?
Eti, Isa na Mama yake walikuwa wanakula chakula!! Hivi wapi Isa na Mama yake walisema hawali chakula? Allah mbona unaonyesha kupaniki namna hii?
Angalia jinsi Allah anavyo endeleza chuki zake kwa Isa Bin Maryam, MARA ASEMA KAZALIWA CHINI YA MTENDE, MARA ASEME ISA KAUBWA KWA KUSEMA KUWA NA ISA AKAWA.
UTATA WA KWANZA: ISA KAZALIWA CHINI YA MTENDE
Tofauti ya kuzaliwa Isa ni hii
- Isa alizaliwa katika shina la mtende, Qr, 19:23 Kisha uchungu ukampeleka kwenye shina la mtende; akasema: Laiti ningeli kufa kabla ya haya, na nikawa niliye sahaulika kabisa! http://www.quranitukufu.net/019.html
Umesoma mwenyewe kuwa Isa anazaliwa chini ya Mtende. SASA ONA MAAJABU YA ALLAH HAPA CHINI.
UTATA WA PILI: ISA BIN MARYAM KAUMBWA
Qr. 3 au surat Imran 59
“Bila shaka hali ya Isa kwa Mwenyezi Mungu ni kama hali ya Adam; alimwumba kwa udongo kisha akamwambia: “Kuwa”; basi akawa”http://www.quranitukufu.net/003.html
Ngugu msomaji, Isa bin Maryam haijulikani alikujaje maana Allah anaweka UTATA mkubwa sana. Mara asema kazaliwa na Maryam, mara asema kaumbwa kwa kusema kuwa na Isa akawa, hivi Isa Bin Maryam alimkosea nini Allah mpaka afanywe namna hii? Allah, kwanini unamchukia Isa Bin Maryam namna hii?
Allah anaendelea kusema kuwa eti, Isa atakapo kuja tena ataoa na kuzaa watoto. Hii nayo ni chuki kubwa kubwa kutoka kwa Allah.
Soma:
ISA BIN MARYAM ATAKAPORUDI, ATAOA NA KUZAA WATOTO
Mishkat Al- Masabih, vol 2 uk.1159 na Sahih Muslim, vol. 1 uk 92 wanadai kwamba Isa atakaporudi ataishi miaka arobaini (40), muda ambao atakuwa ameoa na kuzaa watoto, na atafanya ibada ya hija.
Hivi kwanini Allah anapenda kulazimisha mambo? Kama Isa Bin Maryam alitaka kuwa na Mke, si angeoa alipo kuja mara ya kwanza? Lakini Allah na Muhammad wanatuambia uongo eti Isa anakuja Kuoa, hivi, kwani kuoa ni lazima?
Ndugu msomaji, nategemea unaziona chuki kubwa kubwa za Allah kwa Isa Bin Maryam, ETI ISA BIN MARYAM SI CHOCHOTE, kama vile Isa Bin Maryam alikuwa anajigamba kwa Allah kuwa yeye ni zaidi? Hivi Allah kwanini unamchukia Isa bin Maryam?
Labda kwasababu Isa bin Maryam aliumba ndege kutoka UDONGO na Muhammad hakuwai fanya muujiza hata chembe moja.
Labda kwasababu Isa bin Maryam alizaliwa bila ya Baba na Allah hana uwezo wala ubavu wa kuwa na Mwana bila ya MKEWE Allat.
Zipo sababu nyingi tunaweza zitumia kama ushahidi wa Allah na Muhammad kumuonea WIVU Isa Bin Maryam.
Swali kwa Allah na Waislam: Kwanini Allah alisema " Masihi mwana wa Maryam si chochote ila ni Mtume"? Kwani Allah alifikiria Isa ni nani? Allah si anadai alimuumba yeye, mbona inaonekana kama vile Allah anajibizana na mtu? Allah, hivi Isa Bin Maryam ni nani kwako? Maana inaonekana kuwa umepaniki na humjui Isa Bin Maryam.
HIVI KWANI ISA BIN MARYAM ALIJIITA NANI? Mpaka uanze kutoa maneno makali na dhihaka namna hii ambayo hukuwai sema kwa Mtume mwengine?
Eti, Isa Bin Maryam si chochote, hivi, Isa bin Maryam alisema yeye ni nani mpaka uanze kujihami namna hii NA KUSEMA "ISA SI CHOCHOTE"?
Eti, Isa na Mama yake wanakula chakula: Kwani ISA NA MAMA YAKE walisema hawali chakula?
Allah, kwanini unamchukia Isa Bin Maryam namna hii?
Sina la ziada zaidi ya kuwaonea huruma Waislam wanao fuata Allah na marehemu Muhammad wenye chuki kubwa kubwa tena kwa viumbe anavyo wana dai kuwa vimeumbwa na Allah.
Poleni sana Waislam kwa msiba huu.
Katika huduma Yake,
Mungu awabariki sana.
Ni mimi Max Shimba, mtumwa wa Yesu Kristo,
For Max Shimba Ministries Org,
MAX SHIMBA MINISTRIES ORG ©2016. ALL RIGHTS RESERVED
Everyone is permitted to copy and distribute verbatim copies of this license document, but changing it is not allowed.
April 8, 2016

WAISLAM LETENI AYA KUTOKA QURAN AU BIBLIA INAYOSEMA KUWA PAULO HAKUWA MTUME WA MUNGU

Leo nimeamua kukata ngebe za Wafilisti kuhusu Mtume Paulo ambaye anawanyima usingizi kila siku Waislam na Allah wao. Paulo alikuwa Mtume wa Mungu, hebu tusome Biblia:
Wagalatia 1:1 Paulo, mtume, si mtume wa wanadamu aliyetumwa na mwanadamu, bali na Yesu Kristo na Mungu Baba aliyemfufua Yesu kutoka kwa wafu
Biblia ipo wazi kabisaa, kuwa Paulo alitumwa na Mungu, wakati Muham-mad alitumwa na Jibril ambaye si Mungu. Koran inakiri kuwa Muham-mad alikutana na Jibril na hakuwai kukutana na au ongea na Mungu. Lakini tunasoma katika Biblia kuwa, Paulo alipewa utume na Mungu mwenyewee.
Warumi 1:1 Paulo, mtumishi wa Kristo Yesu, ALIYEITWA KUWA MTUME na kutengwa kwa ajili ya Injili ya Mungu
Ningependa kuanzia leo, ieleweke kuwa Waislam wanafuata kanyaboya. Muham-mad hakuwai ongea na Mungu. Muham-mad hakutumwa na Mungu. Muham-mad ni Mtume Bandia asie na hili wale lile zaidi ya kuweweseka.
Mitume wote ambao tunawasoma katika Biblia, waliongea na Mungu moja kwa moja na bila ya kutumia msaada wa Malaika. Lakini Muham-mad anatumia msaada wa Jibril, kiumbe kinacho daiwa kuwa ni Malaika aliye tumwa na Allah. Kwanini Muham-mad ndie mtume pekee anayetumia c/o katika mawasiliano yake na mungu wa Islam? Je, Allah ni Mungu? Kama ni Mungu, mbona anatumia usaidizi katika kuongea na Muham-mad wa Islam? Mbona Mungu wa Biblia hakutumia usaidizi kuongea na Mitume wake?
Mkishindwa kutuletea aya kutoka Koran au Biblia inayo sema Paulo si Mtume wa Mungu, basi kushindwa kwenu ndio ushaidi tosha kuwa Muham-mad alikuwa Mtume Bandia na Paulo ni Mtume wa Mungu.
Waislam, tuleteeni aya kutoka Quran au Biblia ambayo inasema kuwa Paulo hakuwa Mtume wa Mungu.
Swali limeenda shule hilo
Max Shimba Ministries
Posted 1st December 2013 by Max Shimba

BIBLIA NA QURAN VITABU VYENYE NGUVU SANA


1. BIBLIA NI KITABU CHA MWENYEZI MUNGU "YEHOVA"
2. QURAN NI KITABU CHA ALLAH AMBAYE SIO MWENYEZI MUNGU
Historia ni kama ghala kubwa ambamo kumehifadhiwa kila kitu. Tunapochungulia kwenye ghala hili, tunaweza kujifunza kuhusiana na wapi tumetokea, na hatimaye wapi tuliko na kule tunakoelekea.
Bila shaka Biblia na Quran ni vitabu viwili ambavyo vina umuhimu mkubwa sana kwa wanadamu na ulimwengu. Hivi ni vitabu ambavyo ndivyo vinavyoumba maisha halisi ya idadi kubwa sana ya watu. Haya si tu maisha ya kula, kunywa na kuvaa hapa duniani, lakini pia vinaaminika kuwa vimebeba hatima ya milele yote kuhisiana na kila mwanadamu.
Ni wazi kwamba hakuna mwanadamu anayeweza kuamini na kutumainia kitu kisicho cha kweli kama anajua kuwa kitamletea hasara, na hasa kupoteza uzima wa milele. [Lakini hata kama atakiamini ilhali anajua kuwa si cha kweli, basi huyo anakuwa anataka faida fulanifulani za muda mfupi; yaani hata huyu naye hawezi kuamini kitu kwa lengo la kupata hasara].
Kwa mtu anayethamini na kuitafuta kweli, bila shaka atakuwa tayari kujifunza kutoka kwenye historia.
******************
Biblia na Quran zinatofautiana katika mambo mengi, lakini napenda nizungumzie machache, ambayo naamini yanaweza kutusaidia kujibu swali hili kwamba: Kati ya Biblia na Quran, kitabu kipi kinastahili kuaminika?
KUHUSU BIBLIA
Zifuatazo ni sifa za Biblia:
Idadi ya waandishi
Biblia ni kitabu kilichoandikwa na waandishi takribani 40. Waandishi 30 waliandika Agano la Kale na waandishi 10 waliandika Agani Jipya.
Nyakati
Waandishi wa Biblia waliishi katika nyakati tofautitofauti.
Kwa muda gani?
Kuanzia wakati wa Musa hadi wakati wa akina Paulo na Yohana, ilichukua miaka zaidi ya 1500 kupata kila kitu ambacho ndicho kimekuja kuwa Biblia hii tunayoifahamu.
Aina ya waandishi

MAHAKAMA YA KADHI NI HATUA YA AWALI KATIKA KUIFANYA TANZANIA KUWA TAIFA LA KIISLAM


Na Max Shimba
Mahakama ya Kadhi ni nini?
Mahakama ya kadhi ni chombo cha kiislam kwa ajili ya kufanya mashauri ya ndoa , mirathi na mambo ya kidini kwa kutumia Sharia.
SHARIA NI NINI?
Sharia ni mkusanyiko wa sheria za dini ya kiislam ambazo zinatokana na kitabu cha quran na tamaduni za kiislam kwa kufuata mafundisho na hadithi za Mtume Muhammad.
Mambo ya kidini yanayo hukumiwa na Mahakama ya kadhi ni yapi?
Ni mambo yote yanayokwenda kinyume na tamaduni za kiislamu. Mfano Kula hadharani wakati wa mwezi, wa ramadhani, kuchinja kwa mtu ambaye siyo muislamu, kufanya biashara ya vileo, biashara ya nyumba za kulala wageni, biashara ya nguruwe, mavazi yasiyoendana na tamaduni za kiislam kwa maana hiyo ili uwe salama kwa swala la mavazi sharti uvae hijabu kwa wanawake, kanzu na kibaragashia kwa wanaume, msuri na visuruari vizivyogusa viatu.
Kwa nini waislam wanataka Mahakama ya kadhi iingizwe kwenye katiba ya nchi?
Waislam wanataka mahakama ya kadhi iingizwe kwenye katiba ya nchi ili itambulike kisheria na iwe na nguvu kama mahakama za kawaida za makosa ya jinai na hiyo iwe na mamlaka ya kuhukumu watu wote waislam, wakristu na hata wapagani limradi tu hawaishi kwa kufuata tamaduni za kiislam. Mfano mtu atakaye kutwa anakula hadharani wakati wa mwezi wa ramadhani sharia itachukuwa mkondo wake na hukumu iliyotawala kwenye sharia kwa mtu anayeishi kinyume na tamaduni za kiislam ni kuuwawa kwa kuchinywa na jukumu hilo liko kwa Makadhi.
Hivyo basi mahakama ya kadhi ikiingizwa kwenye katiba itakuwa na nguvu za kuhukumu mambo ya siasa, kijamii na makosa ya jinai kwa ujumla kwa raia wote na si kwa waislam peke.
Muundo wa mahakama ya kadhi
Mahakama ya kazi inafuata muundo wa mahakama za kawaida hivyo zinaanzia ngazi ya chini kabisa kwenye wilaya na hadi ngazi ya kitaifa na mahakimu wa mahakama za kadhi ni makadhi amboa wote ni waislam
KAZI ZA MAKADHI
1.Kusikiliza mashauri na kuhukumu kwa kufuata sharia.
2.Kuhakikisha anatokomeza ukristu katika eneo lake na uislam unatawala.
3.Kuhakikisha hakuna kanisa linajengwa katika eneo lake na wala kanisa linapo bomoka halitaruhusiwa kukarabatiwa wala kujengwa tena. Kujenga kanisa ni kinyume na tamaduni za kiislam ndiyo maana utaona wameanza kuchoma makanisa huko Zanzibar na sehemu zingine za Afrika kama Nigeria.
MADHARA YA MAHAKAMA YA KADHI
1.Kuvunjika kwa umoja wa kitaifa uliopo kati ya waislam, wakristu na wapagani
2.Ugomvi wa kimasrahi kati ya wakristu, wapagani na waislam. Endapo Mahakama ya kadhi itaingizwa kwenye katiba ya nchi ni wazi itagharamikiwa na serikali na hivyo viongozi wa dini ya kiislam ambao ndiyo watakuwa makadhi watatumia fedha za walipa kodi wa Tanzania ambao ni waislam, wakristu na wapangani kujinufaisha wenyewe kwa kujitengenezea ajira. Vipi kuhusu viongozi wa dini za wakristu Maaskofu, Mapadri, Wachungaji na Viongozi wa dini za Jadi nao watakuwa wanalipwa na Serikali?
3.Kutoweka kwa wakristu kutokana na utawala wa sharia, sababu hukumu iliyo tawala kwenye sharia ni kifo hivyo wakristu
watauwawa kwa kuwa hawatakubali kuishi tamaduni za kiislam.
4.Kuporomoka kwa uchumi wa nchi na kuongezeka kwa tatizo la ajira kwa mfano mashule ya wakristu au taasisi za kikristu zitachomwa kama ambavyo unaona yanatokea nchini Nigeria.
MAHAKAMA YA KADHI NI HARAM=TANZANIA
Max Shimba Ministries Org.
For Max Shimba Ministries

KUMBE SHETANI ANAISHI MAKKA



Ndugu zanguni huu ni Msiba mwingine kwa ndugu zetu. Amini usi amini habari ndio hii na ukweli leo unaanikiwa hapa.
Inapo fika siku ya 10 ya Zhu Al-Hijjah , wana Hijaa huondoka kutoka Muzdalifah, huku wakiokota Mawe wakiwa njiani. Kufuatana na Sunna, katika siku hii ya kwanza (10), wanaruhusiwa kuokoka Mawe Saba tu. NAJUA UNASHANGAA, HAYA MAWE NI YA NINI NA WAISLAM WANAELEKEA WAPI. Endele kusoma huu mkasa.
Nyakati za kupiga mawe Shetani:
Siku ya An-Nahr – Sikukuu mosi, usipige mawe mpaka jua lichomoze:
((Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) alipokuwa Muzdalifah aliwatanguliza Minaa watu dhaifu na wazee na wanawake, akawaambia: “Musirushe mawe mpaka jua litoke”)) [Imepokewa na At-Tirmidhiy]
Mwenye udhuru anaweza kuchelewesha mpaka kabla ya Magharibi, lakini ni vizuri kupiga mawe baada ya kutoka jua na kabla haijaingia Magharibi kwa asiyekuwa na udhuru. (Baadhi ya Maulamaa wanajuzisha kupiga mawe baada ya Magharibi kwa udhuru, lakini bora ujaribu kupiga kabla jua kuzama).
Wakati wa kurusha mawe kwa siku mbili zilizobaki au siku tatu kwa wale wasiotaka kuharakisha, ni baada ya Zawal (wakati wa adhuhuri pale jua linaposogea kidogo baada ya kuwa katikati).
WANAPO FIKA "MINA", NDIO KAZI YA KUMPIGA MAWE SHETANI INAANZA.
1. Mahujjaj, hutupa mawe 7 'Jamrat Al-Aqabah'. Mahujjaj humtupia mawe Shatani huko Urabuni "MIRA" AKA MAKKA. Ndugu wasomaji, kumbe Shetani yupo Makka. Kumbe Shetani ni jamaa yao na wanampiga mawe. Huu ni Msiba mkubwa sna kwa Waislam wanao enda Hijja ili wampige Mawe Shetani.
2. Mahujaj hurudi tena Mina na kuanza kumpiga Mawe Shetani na kuka usiku huko katika siku ya 11 na siku ya 12.
Hivi, Shetani ana Mwili mpaka wampige Mawe? Hivi Allah hawezi kummaliza Shetani mapka atumie watu kumpiga Mawe? Hakika kuna Shaka sana kwenye hii dini ya Allah.
Mahujaj hufanya hii kazi ya kumpiga Mawe Shetani katika siku ya 11, 12, na 13, na hufanya hii kazi wakati w Usiku na sio Mchana. Hapo sasa ndio utafahamu kuwa Shetani ni sehemu ya hii dini.
Kuomba Du’aaNi vizuri kuelekea Qiblah na kuomba du’aa baada ya kumaliza kupiga kila Jamaraat isipokuwa Jamaraat la mwisho. Hadiyth iliyosimuliwa na Al-Bukhaariy na Imam Ahmad inasema:
((Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) alikuwa akeshapiga kila Jamaraat kwa mawe saba akisimama na kuelekea Qiblah na kuomba du’aa, isipokuwa baada ya kulipiga Jamaraat la mwisho hakusimama.)) [Imepokewa na Al-Bukhaariy na Imam Ahmad]
Siku Ya Kuharakisha
Ikiwa unataka kubaki hapo kwa mda wa siku mbili tu, basi siku ya tarehe Kumi na mbili Dhul Hajj ambayo hujulikana kama ni "Yawmul isti’ijaal" - Siku ya Kuharakisha – unapiga mawe na kuondoka Minaa kabla ya jua kuzama, na ikiwa utakawia kuondoka ukawepo hapo baada ya juwa kuzama itakubidi ubaki hapo siku moja zaidi. Ni vizuri kubaki usiku wa tatu ikiwa huna cha kukushughulisha.
Twawaaful Wida’a
Unapotaka kurudi nchini kwako baada ya kumaliza shughuli za Hajj, unatufu Twawaaful wida’a, (Twawaafu ya kuaga) nayo ni kama ifuatavyo:
Unatufu Al-Ka’abah mara saba na kufanya kama ulivyofanya katika Twawaafu za mwanzo, lakini mara hii bila ya kufanya Sa’ay baina ya Swafaa na Marwah.
NDUGU ZANGUNI,
Hii dini si ya Mungu wala hakuna sehemu kwenye Taurat au Injir au Zaburi ambayo Mungu anawaamrisha Waisrael wamtupie Mawe Shetani. Ndio maana huwa nasema kila siku kuwa, Allah hawezi kuwa Mungu wa Ada, Mungu wa Musa, Mungu wa Ibrahim, nk. Allah anaonyesha sifa tofauti kabisa na za Mungu wa Biblia.
Hivi Mtu na akili zako unaokota Mawe na kuanza kumpiga Shetani? Hakika hawa wamepotea wanao Mpiga Mawe Shetani.
HEBU SOMA TENA HIVI VIOJA NA UCHAWI WA KIISLAMUkishamaliza Twawaafu ya Ifaadhwah unarudi Minaa na unabaki hapo usiku wa tarehe 11, 12 na 13 kwa wasiokuwa na haraka. Hizo zinaitwa siku za Tashriyq. Inatosha kama utabaki hapo usiku wa tarehe 11 na wa 12 tu. Katika siku 2 au 3 hizo unapiga mawe Jamaraat zote tatu kila siku kwa mpangilio ufuatao.
Anza kupiga Jamaraat la mbali na Makkah, (Jamaraat dogo) kisha la kati, kisha Kubwa (Jamarat al Aqaba). Kila moja piga kwa mawe saba huku ukisema: "Allaahu Akbar", kila unaporusha jiwe. Hii ni kwa siku tatu zilizobaki.
Jamani. Nawasihi Wakristo wote duniani kuwaombea hawa Waislam wanao panda ndege na kwenda Makka kumpiga Mawe Shetani. Hawa ni vipofu na viziwi. Wnaihitaji upendo wa Yesu.
WAISLAM:1. Hivi kumpiga Mawe Shetani kunawasaidia nini?
2. Wapi tunasoma kuwa Abrham alimpiga Mawe shetani?
3. Mbona huu utamaduni wa kupiga Mawe Shetani upo kwenye Quran peke yake?
Nawakaribisha kwa Yesu Mungu Mkuu.
Max Shimba Ministries Org.

Je, ungependa kuwafahamu waandishi wa Koran?



KORAN HAIKUTEREMSHWA KUTOKA KWA ALLAH
Je, ungependa kuwafahamu waandishi wa Koran?
Katika somo letu la leo, tutajifunza kuhusu waandishi wa Koran. Je, ni kweli Koran ilishushwa? Je, kuna ushaidi wa kutosha wa kusaidia madai ya kuteremshwa kwa Koran?
Unaposema kuwa Allah ndie mwandishi wa Qur'ani, ni uongo mkubwa sana na wengi wameukubali huu uongo na udanganyifu kwamba eti Koran ilishushwa wakatia inafahamika kuwa iliandikwa miaka 1400AD.
Mtu mwenye fikra anaweza kusema bila ya wasiwasi kuwa Qur'ani iliandikwa na watu kadhaa ambao wanajulikana kimajina. Waandishi Mashuhuri zaidi miongoni mwao ni hawa hapa:
Imrul Qays-mshairi: wa kale wa Arabia ambaye alifariki miaka michache kabla ya kuzaliwa Muhammad
Zayd b. Amr b. Naufal:-'lililopotoka' wa wakati wake ambaye alihubiri na kupandwa Hanifism
Labid:-mshairi mwingine
Hasan b. Thabit:-mshairi rasmi wa Muhammad
Salman: – Mshauri wa Kiajemi wa Muhammad
Bahira:-Nestoraian Mkristo mtawa wa Kanisa huko Syria
Jabr:-Jirani wa Kikristo wa Muhammad
Ibn Qumta:-Mtumwa wa Kikristo
Khadija:-Mke wa kwanza wa Muhammad
Binamu Waraqa:- Ndugu ya Khadija
Ubay b. Katibu Ka'ab;-Muhammad na Mwandishi wake
Muhammad: – Mwenyewe
Hapa chini, nitaandika historia fupi ya baadhi ya waandishi wa Koran. Nitaanza na Bahira ambaye alikuwa ni Mtawa wa Kikrito.
Bahira

WAISLAM WENGI AFRIKA WANAOKOKA KWA KASI



“Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja” (Mathayo 24:14).


INJILI KATIKA ULIMWENGU WA KIISLAMU

Bwana Yesu ndiye Muumba wa dunia hii na wanadamu wote – ikiwa ni pamoja na Waarabu ambao viongozi wao wamefanya kila waliloweza kuhakikisha kwamba Neno la uzima haliwafikii. Kwa karne nyingi walionekana kama wamefanikiwa. Lakini Neno la Bwana ni juu ya wanadamu wote. Bwana amesema katika Neno lake: Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja. (Mathayo 24:14).

Na tena akasema: Kwa maana, amin, nawaambia, Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja ya torati haitaondoka, hata yote yatimie. (Mathayo 5:18).

Viongozi katika nchi za Kiislamu watafanya kila wawezalo ili kulinda imani yao na kuzuia watu kupokea uzima kutoka kwa Mwokozi wao, lakini Neno la Bwana ndilo litakaloshinda. Na hilo ndilo tunalolishuhudia hivi sasa.
*************
Ndugu uliye Muislamu, huu si wakati wa kuendelea kung’ang’ania mambo hata kama moyo wako unakushuhudia kabisa kwamba huna amani na wala hujafanikiwa kuyafanya mambo ya kumpendeza Mungu. Usishindane na hali halisi. Usikubali kuendelea kuishi katika maisha ambayo, mdomoni unasema hivi lakini moyoni unateketea kwa sababu hata wewe mwenyewe unajua kuwa kile unachokisema kwa kinywa chako, moyo unakikataa.

Njoo kwa Yesu, Mwokozi wako, ili akuweke huru leo. Yesu ni Mungu aliye hai. Nimekuwa nikitoa changamoto hii – nataka niitoe tena na kwako pia.

Iwapo Yesu ni mwanadamu tu na si Mungu kama dini yako ilivyokufunza, basi ongea naye, maana anasikia. Mwambie hivi, “Bwana Yesu, kama wewe ndiwe Mungu wa kweli, basi nionyeshe ukweli uliko.”
Naamini hili si tatizo kwako. Maana kama Yesu ni mwanadamu, bila shaka hutapata tatizo lolote. Lakini kwa kuwa Yesu ni Mungu aliyekuumba na kukuokoa msalabani, nina uhakika kwamba atakujibu.

An Academic Critique of Internal Contradictions in the Quran with Reference to Eschatological Descriptions of Hell’s Sustenance

  Title: An Academic Critique of Internal Contradictions in the Quran with Reference to Eschatological Descriptions of Hell’s Sustenance Au...

TRENDING NOW