Huu ni msiba mwengine kwa Waislam na kwa Muhammad.
Yehova ni Jina la Mungu ambalo kwa Kiingereza anaitwa Jehovah na kwa Kiebrania anaitwa יהוה (YHVH) na kwa Kiarabu anaitwa (yahuh ) au ( يهوه ). ngoja niweke kwa urahisi ili wafuasi wa Muhmmad waelewe;
1. Kiebrania = יהוה (YHVH)
2. Kiingereza = Jehovah
3. Kiswahili = Yehova
4. Kiarabu = yahuh ( يهوه )
2. Kiingereza = Jehovah
3. Kiswahili = Yehova
4. Kiarabu = yahuh ( يهوه )
Allah katika Surat Bani Israil anasema kuwa yeye anamajina mazuri mazuri na kasema kuwa Allah ni Jina na sio Wasifa. Nilipo chunguza kwa makini katika Majina yake 99, sikuliona jina la Allah katika hayo 99. Ingia hapa na thibitsiha mwenyewe http://www.searchtruth.com/Allah/99Names.php
Lakini cha ajabu Allah anadai katika Surat Bani Israil 110 kuwa "ALLAH" ni jina lake angalia ushahid hapa chini.
Qr. 17 Surat Bani Israil 110 (Wana wa Israil)
Sema; muombeni (Mwenyenzi Mungu) kwa (jina la) Allah au muombeni (kwa jina la) Rahman. Kwa jina lolote mnalomwita (katika haya itafaa). Kwani ana majina mazuri mazuri………
Sema; muombeni (Mwenyenzi Mungu) kwa (jina la) Allah au muombeni (kwa jina la) Rahman. Kwa jina lolote mnalomwita (katika haya itafaa). Kwani ana majina mazuri mazuri………
Hivi huyu Allah anamatatizo gani? Maana ameshindwa kutupa jina lake. Sasa anasema kuwa Allah ni Jina lake, na nilipo angalia kwenye yale majina 99, ALLAH HALIPO. Na hata kama tukiliweka, basi ALLAH ATAKUWA NA MAJINA 100 na sio 99. Huu ni msiba mwengine kwa Waislam.
Allah ana majina mangapi, 99 au 100?
SASA TUMSOME MUNGU WA KWENYE BIBLIA:
Mungu anayejulikana
Mungu anayejulikana
Kutoka 6:2-3,
Kisha Mungu akasema na Musa, akamwambia, mimi ni YEHOVA;
Nami nilimtokea Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kama Mungu Mwenyezi, bali kwa jina langu YEHOVA sikujulikana kwao.
Kisha Mungu akasema na Musa, akamwambia, mimi ni YEHOVA;
Nami nilimtokea Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kama Mungu Mwenyezi, bali kwa jina langu YEHOVA sikujulikana kwao.