Mtu wa Awali, 
aliyejifundisha kusoma na kuandika katika Mji wa Makka alikuwa Bwana 
Harb bin Umayya-babu yake Bwana Muawiya. Alijifunza kwa watu wa Yaman, 
na yeye akaja kuwafundisha waliotaka katika mji wa Makka. Wakati Mtume 
alipopata utume walikuwako watu 6 tu katika Makka waliokuwa wakijiua 
kuandika. Wa 4 katika yao waliingia katika Uislamu, wakawa ndiyo 
waandikaji "Wahyi" (aya za Qur'an), watu hao walikuwa ni Sayyidna 
Abubakar. Sayydna Umar, Sayyidna Uthman na Sayyidna Ali. 
Kitabu cha Maisha ya Nabii Muhammad uk. 8,na Sheiky A.Falsy)
 SAYYIDNA ABUBAKAR,
Abubakar, Anasema: "Hakika mimi ninae shetani hunifikia mara kwa mara, basi wakati wowote atakaponifikia muniepuke" (Tabaqatul Kubra, J. 3 Uk. 212)
ETI KORAN IMETEREMSHWA NA ALLAH, THUBUTU
QURAN 2. SURA AL- BAQARA
97. Sema: Aliyekuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwaidhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na niuwongofu na bishara njema kwa Waumini.
SASA KAMA KILIANDIKWA NA MTU ALIYEKUWA NA SHETANI, KWANINI TUSIKUBALI KUWA NI AYA ZA SHETANI?

No comments:
Post a Comment