Tuesday, July 8, 2014

SEHEMU WATAYO KWENDA WATU AMBAO WALIMPOKEA YESU PUNDE BAADA YA KIFO

Biblia inatuambia kuwa wale ambao walifua "those who are saved" (11 Peter 1:18-19), will at death go to be with Christ in Paradise. Ngoja nikuonyeshe wapi ni Paradiso.

Yesu anasema kuwa watu ambao watakufa, wataenda Paradiso ambayo ni sehemu ya kwanza kabla ya kwenda kwenye permanent place. PALE MSALABANI, Yesu alimwambia yule Mwizi kuwa "LEO HII UTAKUWA NAMI PARADISO" haya yameandikwa katika Luka 23:43. Wale walio kufa katika Kristo, wataingia hii sehemu ambayo ndio waiting area wakisubiri kupewa final reward-and the future life in Heaven/New Earth as fully exhibited in the Bible.

Katika Agano jipya, Paradiso imesemwa mara nyingi. Mfano, Mtume Paulo was “caught up into Paradise” (2 Wakorintho 12:4). Bwana wetu Yesu anasema hivi, those who overcome shall “eat from the tree of life, which is in the midst of the Paradise of God” (Ufunuo 2:7).

Biblia inaendelea kutunua kuwa Yesu alipo kufa Msalabani alienda kwanza "Hades before He went back to the Father" na alipo fufuka ndio alikwenda kwa Baba yake. Katika Matendo ya Mitume 2:27 inatumabia kuwa [Kwa maana hutaiacha roho yangu katika kuzimu; Wala hutamtoa Mtakatifu wako aone uharibifu] His soul was not left in Hades and that His body did not see corruption. 

Lakini katima Metendo 2:32-33 inatuambia kuwa Kristo aliinuliwa na yupo upande wa Kuumbe wa Mungu Baba, inter-alia, we read in Ephesians 4:8-10 that when Christ “ascended on high, He led captivity captive.” Yesu alipo kwenda "Hades" alikwenda kuwaweka huru watu wa Agano(Saints) la kale maana wao walikuwa hawajaisia Injili na akawachukua to Paradise to be with Him. Kwasasa, wale ambao walio mpokea Yesu wakifa wanakuwa absent from the body na kuwa present with the Lord” (2 Wakorintho 5:8) in Paradiso.

SASA, aya tulizo zisoma zinatuhakikishia kuwa wale wambao WAMEOKOKA wanakijikuta Paradiso ounde tu wanapo kufa na WATENDA DHAMBI wao wanajikuta Hades/Hell punde baada ya kifo. Zaidi ya hapo, nini hasa kinaendelea wakati watu walio kufa wanafanya wakiwa either PARADISO au Hell/HADES, Biblia haikutuambia na au imekaa kimya (in these temporary abodes) is not revealed in Scripture.

SASA tunafahamu mamabo makuu mawili: Unbelievers watakuwa katika hali ya anguish and torment (Luka 16:2328; 2 Peter 2:9). WALIO OKOKA watakuwa in joyful satisfaction (Ufunuo 14:13; Matendo 7:59; Wafilipi 1:23; 2 Wakorintho 5:8).

Hawa walio mpokea YESU watakuwa Paradiso ya Mungu na watapokea MIILI MIPYA, na baadae wataingia makao yao mapya ambayo YESU ALISEMA KUWA He is preparing for His people (Yohana 14:1-3).

Mungu awabariki sana Watumishi

No comments:

FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE

  **URGENT UPDATE**   **FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE** Shimba TV, New York has received distressing news ...

TRENDING NOW