Wednesday, October 30, 2013

SCRIPTURES THAT SHOW THAT GOD IS A FATHER

Let’s take a look at the groundwork that Judaism and Christianity lay regarding God as Father. The God of the Bible is indeed a Father to His people. From both the Old and New Testament Scriptures we see God revealing and describing Himself as a Father. Here are some examples taken from the New International Version. [5]
1) Deut. 32:6
Is this the way you repay the LORD, O foolish and unwise people? Is he not your Father, your Creator, who made you and formed you?
2) Psalms 2:7
I will proclaim the decree of the LORD : He said to me, "You are my Son; today I have become your Father.
3) Isaiah 63:16
But you are our Father, though Abraham does not know us or Israel acknowledge us; you, O LORD, are our Father, our Redeemer from of old is your name.
4) Matthew 6:9
"This, then, is how you should pray: 'Our Father in heaven, hallowed be your name,'"
5) John 20:17
Jesus said, "Do not hold on to me, for I have not yet returned to the Father. Go instead to my brothers and tell them, 'I am returning to my Father and your Father, to my God and your God.'"
6) Romans 8:15
For you did not receive a spirit that makes you a slave again to fear, but you received the Spirit of sonship. And by him we cry, "Abba, Father."

YESU NDIE NJIA NA KWELI NA UZIMA. Kumbe Dini sio Njia

Katika Biblia tunasoma kuwa Yesu anasema yeye ndie "KWELI" na anaendelea kusema kuwa KWELI ndiyo itakuweka HURU. Hebu rejea kwenye hii aya: 

Yohana 14:6 Yesu akawaambia, “Mimi ndiye Njia na Kweli na Uzima; mtu hawezi kufika kwa Baba bila kupitia kwangu.

Kufuatana na aya hapo juu, Mtu yeyote yule hawezi kwenda kwa Baba na/au Mbiguni bila ya kupitia "KWELI" ambayo ni YESU. Kumbe basi dini haiwezi kukupeleka popote pale. Kumbe, NJIA PEKEE ya Uzima wa Milele ni YESU na SI DINI.

Kumfahamu Yesu ambaye ni KWELI kutakufanya umwelewe Mungu wa UKWELI!! Kumbe basi, Yesu ndie mwenye uwezo wa kukufanya uelewe KWELI ya Mungu.

Yohana 8:31-32 Kwa hiyo Yesu akawaambia wale waliomwamini, “Kama mkiendelea kutii maneno yangu mtakuwa wanafunzi wangu halisi. 32 Mtaelewa yaliyo kweli kumhusu Mungu na ukweli huu utawafanya muwe watu huru.

Kufuatana na aya hapo juu, inatuhakikishia kuwa mafundisho ya YESU PEKEE ndiyo yatakufanya uelewe KWELI na kumfahamu Mungu wa KWELI. Zaidi ya hapo, kuwa Mwanafunzi wa Yesu(Ukristo) ndio njia pekee ya kufahamu kweli.

Yesu Ndie Njia ya Kweli na Uzima.

Mwamini leo ili upate uzima wa milele.

Copyright © Max Shimba Ministries 2013

Accounts of People Raised from the Dead

1. Elijah raised the son of the Zarephath widow from the dead (1 Kings 17:17-22).

2. Elisha raised the son of the Shunammite woman from the dead (2 Kings 4:32-35).
3. A man was raised from the dead when his body touched Elisha’s bones (2 Kings 13:20, 21).
4. Many saints rose from the dead at the resurrection of Jesus (Matt. 27:50-53).
5. Jesus rose from the dead (Matt. 28:5-8Mark 16:6Luke 24:5, 6).
6. Jesus raised the son of the widow of Nain from the dead (Luke 7:11-15).
7. Jesus raised the daughter of Jairus from the dead (Luke 8:41, 42, 49-55).
8. Jesus raised Lazarus from the dead (John 11:1-44).
9. Peter raised Dorcas from the dead (Acts 9:36-41).
10. Eutychus was raised from the dead by Paul (Acts 20:9, 10).

UKRISTO NI NINI?


Leo nitajibu hoja ya, Je, Ukristo ni DINI AU NI NINI?

Neno Ukristo ni tegemezi ya kutoka kwa Jina "KRISTO". Hivyobasi, Mkristo ni mfuasi wa Kristo. Ni kama unavyoweza sema Mtanzania anatoka Tanzania na/ua neno Mtanzania ni tegemezi kutoka Tanzania.

Ukristo ni imani maalum kulinganisha na nyinginezo, Kwa sababu inasimamia zaidi ushirika na Mungu kuliko matendo ya kidini. Kinyume na kushikilia orodha ya masharti ya fanya haya na usifanye yale, Lengo la mkristo ni kutafuta ushirika wa karibu na Mungu Baba kupitia Mwana ambaye ni Yesu. Ushirika huo unawezeshwa na kazi aliyoifanya Yesu pamoja na huduma ndani ya maisha ya mkristo ya Roho Mtakatifu.

Wakristo huamini ya kuwa Biblia ni Neno la Mungu na mafundisho yake ndiyo mamlaka ya mwisho (Timotheo wa pili 3:16, Petro wa pili 1: 20-21). Wakristo huamini juu ya Mungu mmoja akaaye katika utatu, Baba na Mwana (Yesu kristo), na Roho Mtakatifu.

Kwa hivyo, huku dini nyingine zikitaka waumini wao watende mambo Fulani Fulani au wasitende mambo Fulani ukristo ni juu ya kuwa na ushirika na Mungu. 

Hivyo Basi, Ukristo ni Ufuasi wa Kristo ambaye ni Mungu. Yesu Kristo ni Mungu. 

Copyright © Max Shimba Ministries 2013

Monday, October 28, 2013

YESU ANASEMA: MSIDHANI NALIKUJA KULETA AMANI DUNIANI, LAAA! BALI UPANGA!


Leo nitajibu haya madai ya Upanga.

Waumini wa dini ya Kiislam katika Mihadhara mbalimbali ya kidini wamekuwa na tabia ya kutumia aya YA UPANGA iliyopo katika Mathayo 10: 34 inayo sema ''MSIDHANI NALIKUJA KULETA AMANI DUNIANI, LAAA! BALI UPANGA! Waislam wanadai kuwa, katika aya hii, Yesu alikuja kuleta UPANGA na si Habari Njema kama tufundishavyo sisi Wakristo.

Kwa kuwa Waislam kazi yao ni kutoa kashfa na kuutukana Ukristo, wahadhiri hao wa Dini ya Uislamu hufundisha jamii kwa kutumia Qurani na Biblia na kusema kuwa eti Yesu alikuja kuleta UPANGA  na Hivyo Basi Ukristo ni dini ya UPANGA. Fundisho hili la "MSIDHANI NALIKUJA KULETA AMANI DUNIANI, LAAA! BALI UPANGA! " wanalieneza kwa kupitia Mitandao mbalimbali kama ya  Radio, Vijarida, Mihadhara, vitabu na Kanda (cassettes) za Video na Audio. Na hivyo kuwafanya baadhi ya Wakristo kuingiwa na wasiwasi kutokana na jinsi hawa Wahadhiri wa Dini ya Uislamu wanavyo toa kashfa chafu kwa Yesu Kristo ambaye ni Masiah. Na baadhi ya Wakristo wengine ingawa hawajabadili dini wanaamini hivyo. Swali la muhimu la kujiuliza kwa kila Mkristo, je, ni kweli Yesu alikuja kuleta UPANGA? Nakusihi fuatilia somo hili kwa makini ili kujua Ukweli wa aya hii:

Ngoja niiweke hiyo aya:
Mathayo 10:34''MSIDHANI NALIKUJA KULETA AMANI DUNIANI, LAAA! BALI UPANGA!

Ukitazama na kusikiliza kwa haraka haraka namna wahadhiri hao wa Dini ya Uislamu wanavyoifunda hii aya ya Biblia unaweza ukashawishika kuamini hicho wanachokifundisha, lakini ni vyema tukajifundisha kwa undani kadiri maneno ya Yesu kuwa "MSIDHANI NALIKUJA KULETA AMANI DUNIANI, LAAA! BALI UPANGA!" kisha tuone kama kuna ukweli juu ya hayo mafundisho yao, ya kusema kuwa Yesu alikuja kuleta Upanga na si kutangaza Habari Njema kwa Mataifa yote. 

Haya tuanze utafiti wetu.
Kwanza tujiuluize, Je, Yesu analeta Upanga wa ainga gani? Yesu anazungumzi Upanga ambao ni “Neno la Mungu”.  Neno la Mungu linagawanya na au kukata Mabaya na kuacha mazuri.  Hebu kwanza tuyasome maagizo yake kwa wanafuzi. Mathayo 10 aya 16: Inasema: Sasa, mimi nawatuma ninyi kama kondoo kati ya mbwa mwitu. Muwe na busara kama nyoka, na wapole kama njiwa. Katika hii AYA, Yesu anawaambia Wanafunzi wake wawe na Busara na Wapole, Hatusomi katia hii aya kuwa anawaambia wabebe Upanga. Je, Yesu alipo sema Upanga, alimaanisha nini? Hebu tuendelee na somo letu.

Sasa tuangalie aya ya 1 inasema:  “Yesu aliwaita wanafunzi wake kumi na wawili, akawapa uwezo wa kutoa pepo wachafu na kuponya magonjwa na maradhi yote”. Upanga unao zungumziwa hapa ni uwezo ambao Yesu aliwapa Wanafunzi wake. Unaweza kuniuliza uwezo huo ni nini?

Hebu tusome Kitabu cha Waefeso ili tuweze kuelewa nini hasa maana ya Upanga na Uwezo wa kutoa Pepo na Kuponya kama alivyo wapa Wanafunzi wake.

Waefeso 6:17
17 Vaeni wokovu kama kofia ya vita vichwani na chukueni UPANGA wa Roho ambao ni neno la Mungu.
Kutokana na ayah hii ya Waefeso, tumeweza kufunguliwa macho yetu ya Kiroho na kuelewa kuwa UPANGA NI NENO LA MUNGU.
Kwasabau Waislam wanakubali kuwa Yesu kaleta Upanga ambao sasa tunaelewa nini maana yake kutoka na Ushaidi wa Waefeso. Basi leo hii hawa Waislam hawatakuwa na jinsi ya kujitetea bali kukubali kuwa Upanga ambao ni Neno la Mungu ni wa kufuatwa kama alivyo sema Yesu katika Mathayo 10: 34.
Ni matumaini yangu kuwa leo hii umeweza kujua kwa undani maana ya "MSIDHANI NALIKUJA KULETA AMANI DUNIANI, LAAA! BALI (UPANGA) NENO LA MUNGU!" na Yesu alipo sema hayo alikuwa anatufahamisha kuwa neon La Mungu ni Sawa na Upanga Mkali unao tenganisha na au toa Mabaya yote kwa Binadamu.

Mungu awabariki sana

Katika Huduma Yake

Max Shimba 


Copyright © Max Shimba Ministries 2013

Friday, October 25, 2013

KWA NINI WAKRISTO HAWAUTAKI UISLAMU?


Waislamu wamekuwa mahodari sana kutushawishi Wakisto tuufuate uislamu, wakidai kuwa ndiyo imani sahihi, wapo baadhi ya Wakristo walioamua kuufuata uislamu, kwa sababu ya kazi, kuoa, kudangaywa, na wengine wameingia kwenye uislamu kwa kuwa hawaujui vizuri, sasa sisi ambao tumeusoma Uislamu, tumezinduka tunagoma kuingia kwenye uislamu kwa sababu hizi zifuatazo.

(1) SHETANI NI MUSLAMU

Ni bahati mbaya kwamba Adamu Hawa hawakufanikiwa kufanya jitihada za kumwezesha shetani na wanae kuuomba msamaha kwa mwenyezi Mungu na kuwa Waislamu, ni mtume Muhammad tu ndiye aliyemsilimisha shetani akawa muislamu… (KITABU CHA ASILI YA MAJINI UK 20)

Sasa Ikiwa shetani ni muislamu, na sisi tunajua kuwa shetani yeye ndiye adui yetu namba moja ambaye sisi hatupaswi kushirikiana nae, 

Yakobo 4:7 Basi mtiini Mungu. Mpingeni shetani, nae atawakimbia.

Sasa iweje tena tumfuate shetani katika uislamu? Kwa kuwa shetani ambaye aliwadanganya Adamu na Hawa ni muislamu,sisi Wakristo tunaojitambua hatuutaki Uislamu.

(2) UKIWA MUISLAMU MATAKO TAKO YANAKUWA NI SEHEMU YA SHETANI KUJIBURUDISHA KWA MICHEZO YAKE.

Kasema Mtume (s.a.w) “Anamwijia mmoja wenu shetani katika sala, basi anapuliza (anampuliza) katika matako yake, basi yule mtu inamwijia fikiria ya kuwa umemtoka upepo (kajamba) nae haukumtoka, basi akiona hali hiyo asiondoke kwenye sala mpaka asikie sauti ya kumtoka huo upepo au anuse harufu yake”. (KITABU CHA MKWELI MWAMIU, JUZUU YA 1 -2 HADITHI NA. 74, UK 42)

Sasa hiyo adha ya kupulizwa matako na shetani kwa kila unaposali nani anaitaka? Yaani kila ukienda kusali basi shetani yeye yupo matakoni tu, najiuliza hivi shetani ambaye ni muislamu hakuona sehemu nyingine mpaka akomae na matako tu? Kina mama Wa Kiislamu zindukeni, maana Wanaume wao wameshazoea, ndiyo maana hawataki ninyi mwende msikitini ili mpulizwe pamoja nao, hivyo sisi Waristo tunaojitambua, kwa tendo hilo la kupulizwa matakoni na shetani hatuutaki uislamu.

(3) UKIWA MUISLAMU BASI WEWE PUA YAKO INAKUWA KITANDA CHA SHETANI

Amesimulia Abu Huraira (r.a) Mtume (s.a.w) alisema “Mmoja wenu anapoamka kutoka usingizini, basa atawadhe na apandishe maji puani, na apenge mara tatu, kwa sababu shetani alilala ndani ya tundu za pua yake” (Bukhari, Hadithi na. 516, juzuu ya 4)

Hivi ni Mkristo gani mwenye kujitambua ambaye yupo tayari kuwa muislamu, ili pua yake ikawe godoro la shetani? Bila shaka hakuna, hivyo sisi Wakristo tunaojitamua hatuutaki uislamu.

(4) KWENYE UISLAMU NI RUKSA KUOA VITOTO VYAMIAKA SITA NA KUVIINGILIA VIKIWA NA MIAKA TISA, Hadithi ya Aisha (r.a) amesema, Mtume (s.a.w) amenioa nikiwa binti wa miaka sita, tukaja Madina tukafikia kwa Ban Al-Harith Khazraji nikapatwa na homa kali sana mpaka nywele zangu zikakatika katika baadae zikaja kuwa nyingi, Akanijia mama yangu Ummu Ruuman, akanikuta niko katika pembeya nikiwa na rafiki zangu, akaniita kwa sauti ya ukali, nikamwendea hata nisijue anachoniitia akanishika mkono mpaka akanifikisha mlangoni huku nina hema mpaka zilipotulia pumzi zangu akachukua maji akaanza kunifuta kwa maji hayo uso wangu na kichwa changu kisha akaniingiza ndani nikawakuta wanawake wa kiansari mle ndani wakasema, “uwe juu ya kheri na Baraka na uwe juu ya ndege bora, akanikabidhi kwao wakaniweka vizuri, sikustuka isipokuwa alipofika Mtume (s.a.w) asubuhi mama yangu akanikabidhi kwake, nami siku hiyo nilikuwa ni mschana wa miaka tisa” (BUKHARI, HADITHI NA. 234, Juzuu ya 5)

Sasa kama katika uislamu ufataki ni ruksa yaani mzee wa miaka 54 anaruhusiwa kuoa kitoto cha miaka sita, hivi kuna haja gani ya Mkristo kujiingiza kwenye Ufataki (UISLAMU) na kuanza kuharibu vitoto vya miaka sita? Yaani badala ya kufikiria Elimu kwa mtoto wako, huyo wa miaka sita, unafikiria kumuozesha kwa mzee wa miaka 54, kwa stahili hiyo sisi Wakristo tunaojitambua hatuutaki uslamu.

(5) HATUUTAKI UISLAMU KWA KUWA MUHAMMAD ALIROGWA

Thursday, October 24, 2013

Jesus Loves You



Jesus Loves You 

Yesu Kristo ameumba mbingu, nchi, watu, na ulimwengu wote.


Biblia Takatifu inatuambia kwamba:
...tuliumbwa katika Kristo Yesu...” (Waefeso 2:10)
Ni jambo lililo wazi kabisa kuwa sisi wanadamu wote pamoja na viumbe vyote ni kazi ya mikono ya Yesu. Yesu ameumba vitu vyote; tendo la mtu kuukana Uungu wa Yesu ni jambo la kumkosea heshima Mungu aliyekuumba. Ndio maana Yesu aliwaambia Wayahudi kwamba: “...ninyi mwanivunjia heshima Yangu...” (Yohana 8:49).
Tusomapo Biblia Takatifu katika kitabu cha YOHANA sura ya kwanza, tunaona pameandikwa:

Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu... Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo Yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika... Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu Wakeutukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.” (Yohana 1:1,3,14)  

Huyo “Neno” anayetajwa hapo ndiye Yesu Kristo. Mwandishi wa kitabu hicho cha YOHANA ametumia usemi wa: “...Neno alikuwako kwa Mungu...” akiwa anawafahamisha hususani Wayahudi waliokuwa wanajua kuwa YEHOVA ndiye Mungu wao. Kwa hiyo Yohana anasema “...Neno alikuako kwa Mungu...” kwa maana ya kwamba; huyu “...Yesu alikuwako kwa YEHOVA...” ambaye wao Wayahudi walimtambua kuwa ndiye Mungu wao.

Pia zaidi tunaona Yohana anafafanua kwa kusema kuwa; huyu “...Yesu alikuwa Mungu...” Ufafanuzi zaidi tunauona katika YOHANA 1:14 ambapo Yohana amefafanua kwa kusema; “...Yesu alifanyika mwili; akakaa kwetu...” Biblia Takatifu inamtaja kwa wazi kabisa kuwa Yesu ni Mungu na ameumba vitu vyote “...Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo Yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika...” (Yohana 1:3).

Yesu Kristo Ndiye anayekuja kuuhukumu ulimwengu wote siku ya kiyama

Jambo hili si mzaha wala uzushi bali ni kweli; Yesu Kristo anakuja kuhukumu ulimwengu wote. Yesu Kristo ametutamkia kwa kiywa Chake kwa kusema kwamba;
Tena Baba hamhukumu mtu ye yote, bali amempa Mwana hukumu yote; ili watu wote wamheshimu Mwana kama vile wanavyomheshimu Baba.” (Yohana 5:22,23)
Katika hukumu siku ya kiyama hatutegemei kumwona YEHOVA akija kuhukumu ulimwengu, bali, Yesu Kristo ndiye ajaye kuhukumu ulimwengu. Hii itakuwa hivyo ili WATU WOTE WAMHESHIMU Yesu sawa sawa na jinsi ambavyo wanamheshimu YEHOVA. Hapo ndipo viumbe vyote watathibitisha kuwa Yesu ni Mungu. Biblia Takatifu inasema kwamba:
...kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi; kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA...” (Wafilipi 2:10,11)
Hakika Yesu ni Mungu. Najua hapa huwachanganya baadhi ya watu hata wanaweza kuhoji;

Je! Wapo Miungu wangapi? Kwa maana tunasikia habari za Mungu Baba, Mungu Mwana, na Mungu Roho Mtakatifu? Inawezekanaje tuseme Yupo Mungu mmoja wakati hapo tunaona wapo watatu?

Ni kweli Utatu Mtakatifu wa Mungu umekuwa mgumu sana kueleweka kwa watu wengi kutokana na mafundisho dhaifu waliyoyapokea kutoka kwa viongozi wao wa madhehebu yao na imani zao. Je! Utatu Mtakatifu wa Mungu ni uzushi uliotungwa na wanadamu kwa lengo la kupotosha watu au Biblia Takatifu inatuthibitishia wazi wazi kuhusu Utatu Mtakatifu wa Mungu? Hebu twende katika neno la Mungu tuone jinsi lisemavyo.

Biblia Takatifu inatuambia kwamba:

Yesu Kristo anayo amri na mamlaka ya kusamehe dhambi


Kuna jambo lililowahi kutokea hadi likawashangaza watu; hebu fatilia kisa hiki. Biblia Takatifu inasema kwamba:

Wakaja watu wakimleta mtu mwenye kupooza, anachukuliwa na watu wanne. Na walipokuwa hawawezi kumkaribia (Yesukwa sababu ya makutano, waliitoboa dari pale alipokuwapo; na wakiisha kuivunja wakalitelemsha godoro alilolilalia yule mwenye kupooza. Naye Yesu, alipoiona imani yao, akamwambia yule mwenye kupooza, Mwanangu, umesamehewa dhambi zako. Na baadhi ya waandishi waliokuwako huko, wameketi, wakifikiri mioyoni mwao,
Mbona huyu anasema hivi? Anakufuru. Ni nani awezaye kusamehe dhambi isipokuwa mmoja, ndiye Mungu?

Mara Yesu akafahamu rohoni mwake kwamba wanafikiri hivyo nafsini mwao, akawaambiaMbona mnafikiri hivi mioyoni mwenu? Vyepesi ni vipi, kumwambia mwenye kupooza, Umesamehewa dhambi zako, au kusema, Ondoka, ujitwike godoro lako, uende?

Lakini mpate kujua ya kwamba Mwana wa Adamu anayo amri duniani ya kusamehe dhambi – Akamwambia yule mwenye kupooza,
Nakuambia, Ondoka, ujitwike godoro lako uende nyumbani kwako.
Mara akaondoka, akajitwika godoro lake, akatoka mbele yao wote; hata wakastajabu wote, wakamtukuza Mungu, wakisema, Namna hii hatujapata kuiona kamwe.” (Marko 2:3-12)

TRENDING NOW