Leo Allah ameamua kutueleza kuwa, watu watakuwa wanakula nini huko Jehannam. Soma aya hapa chini:
Quran 88:6. Hawatakuwa na chakula isipo kuwa kichungu chenye miba.
Quran 69: 36. Wala hana chakula ila usaha wa watu wa Motoni.
Sasa angalia UTATA UNAPO INGIA: Quran 39: 62-69
62. Je! Kukaribishwa hivi si ndio bora, au mti wa Zaqqum? ***63. Hakika Sisi tumeufanya huo kuwa ni mateso kwa walio dhulumu. ***64. Hakika huo ni mti unao toka katikati ya Jahannamu. ***65. Mashada ya matunda yake kama kwamba vichwa vya mashet'ani. ***66. Basi hakika bila ya shaka hao watayala hayo, na wajaze matumbo. ***67. Kisha juu yake wanyweshwe mchanganyo wa maji yamoto yaliyo chemka. ***68. Kisha hakika marejeo yao bila ya shaka yatakuwa kwenye Jahannamu. ***
Ndugu zanguni, Koran ni kitabu cha ajabu sana, maana kinapingana kila sehemu. Leo tumesoma nini watu watakula Jehannam. Hivyo, kuhusu mada hii moja peke yake, Qur'ani ina utata tatu:
"Kula matunda ya mti wa Zaqqum" (37:66) inapingana na "kula tu Dhari" (88:6).
"Kula matunda ya mti wa Zaqqum" (37:66) inapingana na "kula tu pus mchafu" (69:36).
"Kula tu Dhari" (88:6) inapingana na "kula tu pus mchafu" (69:36).
Koran imejaa UATATA na si kitabu cha Mwenyezi Mungu.
Mungu awabariki sana,
Katika Huduma Yake,
Max Shimba
For Max Shimba Ministries
Copyright © Max Shimba Ministries 2013
Thursday, November 7, 2013
Wednesday, November 6, 2013
KUTOKANA NA KORAN: YESU ANAUMBA, ANAPONYA, ANAFUFUA WATU, LAKINI MUHAMMAD HAKUWA NA UWEZO HUO
Koran
leo imekiri kuwa Yesu ni zaidi ya Mtume. Ukisoma hii aya hapa chini utaona kuwa
Yesu aliumba, hii sifa ya kuumba ni ya Mungu Pekee. Yesu alifufua watu, Yesu
Aliponya watu. n.k. Lakini hatusomi kuwa Muhammad alifanya hayo. Hebu soma Koran.
Quran
5: 110. Na pale Mwenyezi Mungu atapo sema: Ewe Isa bin Maryamu! Kumbuka neema
yangu juu yako, na juu ya mama yako, nilipo kutia nguvu kwa Roho Takatifu,
ukazungumza na watu katika utoto na utuuzimani. Na nilivyo kufunza kuandika na
hikima na Taurati na Injili. Na ulipo tengeneza udongo sura ya ndege, kwa
idhini yangu, kisha ukapuliza ikawa ndege kwa idhini yangu; na ulipo waponesha
vipofu na wakoma kwa idhini yangu; na ulipo wafufua wafu kwa idhini yangu; na
nilipo kukinga na Wana wa Israili ulipo wajia na hoja zilizo wazi, na wakasema
walio kufuru miongoni mwao: Haya si lolote ila ni uchawi mtupu!
Ndugu
zanguni, leo tumejifunza kuwa Yesu hakuwa mtu wa kawaida. Alikuwa anafanya
mambo ambayo ni Mungu pekee mwenye uwezo wa kufanya hao. Ushaidi huu umewekwa
kwenye Koran. Madai ya kuwa Yesu alikuwa Mtume/Nabii kama wengine, yanashindwa
nguvu, baada ya kusoma hii aya ambayo imetuonyesha adhama ya Mungu ndani ya
Yesu. Je, kuna Nabii au Mtume yeyote Yule aliye wai kuumba?
Hebu
tusome hadith ifuatayo kutoka kwa Al Bukhar.
Ibn
'Abbas akasema, "Hiyo ilionyesha kifo cha Mtume wa Allah ambacho Allah
alimtaarifu." 'Umar alisema, "Sielewi haya isipokuwa kile wewe unakielewa."
'Aisha: Mtume katika maradhi yake ambayo yalimuua, Alikuwa akisema, "O'
Aisha bado nahisi maumivu yanayosababishwa na chakula nilicho kula nilipo kuwa
Khaibar, na kwa wakati huu, Najisikia kama aorta yangu inakatwa
kutoka sumu niliyo kula. "(Sahih al-Bukhari, Volume 5, Kitabu 59, Namba
713)
Kwenye
Hadith tuliyo soma tunaona kuwa Mtume wa Allah alikuwa anasumbuliwa na Sumu
aliyo lishwa kwa Mtego na Yule Mama wa Kiyahudi. Hadithi hii inatupa ushaidi
kuwa Mtume wa Allah alikuwa akiomba uponyaji kutoka kwa Allah. Swali la
kujiuliza, Je, Muhammad alipo baada ya maombi haya kwa Allah?
Endelea
kupata somo:
Kwenye
hadith ifuatayo hapa chini, tunasoma kuwa Jibril nayeye amekuja kumuombea uzima
Mtume wa Allah, lakini maombi hayo hayakumponya Mtume wa Allah.
Kutoka
kwa Ibn Sad ukurasa 265
Mtume
wa Mwenyezi Mungu aliugua na yeye yaani Gabriel, alimuombea juu yake, akasema,
"Kwa jina la Mwenyezi Mungu mimi nakuombea uzima na nazuia kutoka kwenu
kila kitu kibaya na madhara yeyote (kuizuia kwako wewe) dhidi ya hasidi kila na
kutoka kila uovu na Allah atakuponya.
Je,
Baada ya haya Maombi, Mtume wa Allah alipona? Kutokana na Hadith yetu ya
kwanza, Mtume wa Allah hakupona licha ya kupata Maombi kutoka Malaika Jibri.
Lakini katika Koran tunasoma kuwa Yesu alikuwa na uwezo wa kuponya watu, kufufua
watu, kuumba, jambo ambalo Jibril na Mtume wa Allah, Muhammad hawakuwa nalo.
Ndugu
zanguni,
Kwanini
mfuate Mtume ambaye hakuwa na uwezo wa kuponya?
Kwanini
mumsikilize, Malaika ambaye hakuwa na Nguvu za kuponya, licha ya kuwa alitumwa
na Allah?
Kwanini
Allah amtume Jibril kwenda kumwombea Mtume Muhammad, huku akifahamu fika kuwa
Muhammad hato pona?
Hayo
ni maswali machache tu ambayo unaweza jiuliza. Je, Allah ni Mungu? Kama ni
Mungu, kwanini alishindwa kuponya Mtume wake Muhammad (Pbuh)?
Biblia
inasema yafuato kupitia Injili kutokana na Marko.
Marko
16: 17“Nazo ishara hizi zitafuatana na wale waaminio: Kwa Jina Langu watatoa
pepo wachafu, watasema kwa lugha mpya, 18watashika nyoka kwa mikono yao na hata
wakinywa kitu cho chote cha kuua, hakitawadhuru kamwe, wataweka mikono yao juu
ya wagonjwa,
nao
watapona.”
Wakristo
wamepewa uwezo wa kuombea wagonjwa katika Jina la Yesu, jamba ambalo halipo
kwenye Uislam. Biblia inasema kwa Jina la Yesu, tutatoa Pepo Wachafu, n.k. Haya
mamlaka tumepewa na Yesu. Yesu ametupa Jina lake ambalo lipo juu ya majina
yote. Ndio jina pekee linaloweza kutoa pepo, kuponya, kufufua na kufanya mengi.
Yesu hakuwa Nabii au Mtu wa Kawaida. Matendo yake yanajidhihiriza kila siku
kupitia wafuasi wake.
Nawasihi
mumpokee Yesu ambaye alikuwa na uwezo wa kufufua watu, kuponya watu na kuumba.
Haya maneno yamesemwa na Allah kwenye Koran na Biblia inakiri hayo.
Kama kweli Allah ni
Mungu, kwanini alimtuma Jibril kumwombea Muhammad wakati akifahamu kuwa
Muhammad atakufa?
Mungu awabariki sana,
Katika Huduma Yake,
Max Shimba
For Max Shimba Ministries
Copyright © Max Shimba Ministries 2013
Mungu awabariki sana,
Katika Huduma Yake,
Max Shimba
For Max Shimba Ministries
Copyright © Max Shimba Ministries 2013
Tuesday, November 5, 2013
UTATA NDANI YA KORAN: NANI ALIKUWA MTEREMSHAJI WA KWANZA WA QURAN KWA MTUME MUHAMMAD?
Adui wa Jibril au Roho Takatifu?
Somo letu la leo tutazungumzia utata ulio jaa ndani ya Koran. Leo hii tutajinfunza kuhusu nani alikuwa wa kwanza kuteremsha Koran kwa Mtume wa Allah.
Katika Qura 2:97 tunasoma kuwa, Jibril ndie aliye kuwa wa kwanza kushusha aya za Quran kwa Mtume wa Allah. Soma kifungu hiki hapa:
Quran 2:97. Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
Hiyo aya hapo juu ipo wazi kabisa kuwa, aliye kuwa adui wa Jibril ndie aliye kuwa mshushaji wa Quran kwa Mtume wa Allah ajulikanaye kwa jina la Muham'mad. Hebu tuendelee kusoma Quran hiyo hiyo na tuone kama ni kweli adui wa Jibril alikuwa wa kwanza kufanya hiyo kazi au kulikuwa na mtu mwingine aliye kuwa anafanya kazi hiyo hiyo ya kushusha Quran kwa Mtume wa Allah.
Rejea hapa:
Quran 16:102. Sema: Ameiteremsha hii Roho takatifu kutokana na Mola wako Mlezi kwa haki, ili awathibitishe wale walio amini, na kuwa ni uwongofu, na ni bishara kwa Waislamu.
103. Na Sisi hakika tunajua kwamba wanasema: Yuko mtu anaye mfundisha. Lugha ya huyo wanaye muelekezea ni ya kigeni, na hii ni lugha ya Kiarabu mbayana.
Katika aya tulizo zisoma hapo juu, tunagundua kuwa Allah alimtumia Roho Takatifu kushusha Aya kwa Mtume wake na si Jibril kama wanavyo dai Waislam na tulivyo soma kwenye Surah 2 aya 97 ni Adui wa Jibril ndie aliye shusha Quran.
Katika Surah 2:97 tunasoma kuwa Mteremshaji wa Quran ni adui wa Jibril.
Katika Surah 16:102-103 tunasoma kuwa Roho Takatifi ndie anateremsha Quran.
Ndugu zanguni. Hivi kwanini Koran inamakosa namna hii? Nani alikuwa mteremshaji wa Koran? Ni Adui wa Jibril au Roho Takatifu?
Nimategemeo yangu kuwa, hili soma litawafungua macho na kufahamu ukweli kuhusu Quran. Kama kweli Allah ni Mungu na yeye ndie aliye kuwa anaishusha Quran kupita Jibril, basi asinge fanya kosa la kumsingizia Roho Takatifu kuwa na yeye alikuwa anashusha Quran au Adui wa Jibril.
Kama kweli Allah ni Mungu, kwanini afanye makosa makubwa namna hii?
Je, Roho Takatifu ni adui wa Jibril?
Mungu awabariki sana,
Katika Huduma Yake,
Max Shimba
For Max Shimba Ministries
Copyright © Max Shimba Ministries 2013
Somo letu la leo tutazungumzia utata ulio jaa ndani ya Koran. Leo hii tutajinfunza kuhusu nani alikuwa wa kwanza kuteremsha Koran kwa Mtume wa Allah.
Katika Qura 2:97 tunasoma kuwa, Jibril ndie aliye kuwa wa kwanza kushusha aya za Quran kwa Mtume wa Allah. Soma kifungu hiki hapa:
Quran 2:97. Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
Hiyo aya hapo juu ipo wazi kabisa kuwa, aliye kuwa adui wa Jibril ndie aliye kuwa mshushaji wa Quran kwa Mtume wa Allah ajulikanaye kwa jina la Muham'mad. Hebu tuendelee kusoma Quran hiyo hiyo na tuone kama ni kweli adui wa Jibril alikuwa wa kwanza kufanya hiyo kazi au kulikuwa na mtu mwingine aliye kuwa anafanya kazi hiyo hiyo ya kushusha Quran kwa Mtume wa Allah.
Rejea hapa:
Quran 16:102. Sema: Ameiteremsha hii Roho takatifu kutokana na Mola wako Mlezi kwa haki, ili awathibitishe wale walio amini, na kuwa ni uwongofu, na ni bishara kwa Waislamu.
103. Na Sisi hakika tunajua kwamba wanasema: Yuko mtu anaye mfundisha. Lugha ya huyo wanaye muelekezea ni ya kigeni, na hii ni lugha ya Kiarabu mbayana.
Katika aya tulizo zisoma hapo juu, tunagundua kuwa Allah alimtumia Roho Takatifu kushusha Aya kwa Mtume wake na si Jibril kama wanavyo dai Waislam na tulivyo soma kwenye Surah 2 aya 97 ni Adui wa Jibril ndie aliye shusha Quran.
Katika Surah 2:97 tunasoma kuwa Mteremshaji wa Quran ni adui wa Jibril.
Katika Surah 16:102-103 tunasoma kuwa Roho Takatifi ndie anateremsha Quran.
Ndugu zanguni. Hivi kwanini Koran inamakosa namna hii? Nani alikuwa mteremshaji wa Koran? Ni Adui wa Jibril au Roho Takatifu?
Nimategemeo yangu kuwa, hili soma litawafungua macho na kufahamu ukweli kuhusu Quran. Kama kweli Allah ni Mungu na yeye ndie aliye kuwa anaishusha Quran kupita Jibril, basi asinge fanya kosa la kumsingizia Roho Takatifu kuwa na yeye alikuwa anashusha Quran au Adui wa Jibril.
Kama kweli Allah ni Mungu, kwanini afanye makosa makubwa namna hii?
Je, Roho Takatifu ni adui wa Jibril?
Mungu awabariki sana,
Katika Huduma Yake,
Max Shimba
For Max Shimba Ministries
Copyright © Max Shimba Ministries 2013
UTATA NDANI YA KORAN: JE, INJIL ILIKUWEPO WAKATI WA MUSA
Ndugu zanguni,
Leo nitazungumzia makosa na utata ndani ya Koran. Katika somo letu la leo, mtaona utata na makosa kutoka kwa Allah, alipo kuwa anamjibu Musa maombi yake. Allah anamjibu Musa na kumweleza kuwa eti Nabii asiye fahamu kusoma na kuandika yupo ndani ya Injili, huku ikifaamika kuwa Injili ilikuwa bado haikushushwa.
Aya nyingi katika Qur'ani zipo wazi kwamba Injil ilitolewa kwa Yesu ambaye alizaliwa miaka mia kadhaa [1400 BC] baada ya Musa.
Lakini cha kushangza, eti Musa aliye ishi miaka 1400 kabla ya YESU kuzaliwa na yeye anajibiwa na Allah kuhusu Injili ya Yesu kama vile yeye Musa alizaliwa baada ya Yesu. Soma majibu ya Allah kwa Musa hapa chini.
Quran 7: 155. Na Musa akawateuwa watu sabiini katika kaumu yake kwa miadi yetu. Na ulipo fika mtetemeko mkubwa alisema: Ewe Mola wangu Mlezi! Ungeli taka ungeli wahiliki wao na mimi zamani! Unatuhiliki kwa waliyo yafanya wajinga katika sisi? Haya si chochote ila ni mtihani wako, umpoteze umtakaye na umhidi umtakaye. Wewe ndiye Rafiki Mlinzi wetu. Basi tughufirie na uturehemu. Na Wewe ndiye mbora wa kughufiria. ***
156. Na utuandikie mema katika dunia hii na katika Akhera. Sisi tumerejea kwako. (Mwenyezi Mungu) akasema: Adhabu yangu nitamsibu nayo nimtakaye. Na rehema yangu imeenea kila kitu. Lakini nitawaandikia khasa wanao mchamngu, na wanao toa Zaka, na wale ambao wanaziamini Ishara zetu, ***
157. Ambao kwamba wanamfuata huyo Mtume, Nabii, asiye soma wala kuandika, wanaye mkuta kaandikwa kwao katika Taurati na Injili, anaye waamrisha mema na anawakanya maovu, na anawahalalishia vizuri, na ana waharimishia viovu, na anawaondolea mizigo yao na minyororo iliyo kuwa juu yao. Basi wale walio muamini yeye, na wakamhishimu, na wakamsaidia, na wakaifuata nuru iliyo teremshwa pamoja naye - hao ndio wenye kufanikiwa. ***
Koran imejaa mashaka kila sehemu. Leo tunaona Allah anamjimu Musa kuhusu Injili ambayo ilishushwa mika 1400BC. Hivi huyu Allah alipitiwa na kuanza kuzumguzia Isa Bin Maryama kwa Musa au ni kufichuka kwa siri kwamba Quran si kitabu cha Mungu?
Kama kweli Allah ni Mungu, kwanini afanye makosa makubwa namna hii?
Mungu awabariki sana,
Katika Huduma Yake,
Max Shimba
For Max Shimba Ministries
Copyright © Max Shimba Ministries 2013
Monday, November 4, 2013
UISLAM NDIO DINI PEKEE YENYE MTUME MWENYE WAZIMU
Ndugu
zanguni.
Biblia
inasema kuwa, mtawafahamu kwa matunda yao, hayo yalikuwa maneno kutoka Injili
ya [Mathayo 7:16 Mtawatambua kwa matunda yao. Je! Watu huchuma zabibu katika
miiba, au tini katika mibaruti? 17 Vivyo hivyo kila mti mwema huzaa matunda
mazuri; na mti mwovu huzaa matunda mabaya].
Mtume Muhammad
alishindwa kuonyesha uadilifu katika kazi yake. Kazi aliyo dai katumwa na
Mungu, ilijaa maswali mengi ambayo yaliwafanya watu wamuite yeye, Muhammad,
“Mwendawazimu”. Kitendo cha Mtume kuoa Mtoto wa miaka 6, kulileta kizungumkuti,
kwasabau kitendo hicho si cha kibinadamu na hakikufanywa na Mitume walio kuja
kabla yake. Hapa chini ni aya kutoka Koran iliyo teremshwa na mungu wa Islam
kupitia msaada wa Gibril.
Quran
15: 6. Na walisema: Ewe uliyeteremshiwa Ukumbusho! Hakika wewe ni mwendawazimu.
Muhammad
anaitwa mwendawazimu mbele ya kadamnasi. Hayo madai ya uwendawazimu
hayakukataliwa na mtume wa Allah. Alicho fanya Muhammad ni kukaa kimya, jambo
ambalo ni jibu tosha kuwa alikubali kuwa yeye ni Mwendawazimu. Uhakikisho wa
uwendawazimu wake upo kimaandishi.
Hebu
tusome Simulizi zake kidogo: "Kitab al-Tabaqat al-Kabir", (Kitabu cha Madarasa Meja), na
Ibn Sad, kutafsiriwa na S. Moinal Haq, [4], ukurasa wa 225; Muhammad akisema:
O Khadija, Ninaona Mwanga, na nasikia Masautisauti, nina hofu kuwa mimi nina Wazimu.
O Khadija, Ninaona Mwanga, na nasikia Masautisauti, nina hofu kuwa mimi nina Wazimu.
Kwenye hiyo simulizi yake, hapo juu, Mtume wa Allah anakiri
kuwa yeye ni mwendawazimu. Kukiri huko, kunatuletea maswali mengi, ambayo
nategemea mengi ya maswali hayo, yatakosa majibu. Lakini ni vyema tujiulize
maswali. Kwanini Allah aliteremsha aya inayo muita Mtume wake Mwendawazimu? Kwanini
Muhammad hakukataa kuitwa Mwendawazimu? Utume wa huyu Muhammad umejaa shaka,
pale alipo kubali kuwa yeye ni mwendawazimu. Rejea kwenye simulizi yake hapo
juu. Nita nukuu sehemu fupi ya kukubali kwake “O Khadija, …….nina
hofu kuwa mimi nina Wazimu”.
Hatujawai
soma kwenye vitabu vingine vitakatifu kuwa Mitume wa Mungu wa Biblia walikubali
kuwa wao ni Wendawazimu, lakini leo hii tumejifunza kuwa Muhammad mtume Allah,
anakubali kuwa yeye ni Mwendawazimu.
Hivi,
kwanini tufuate mtume aliye kubali kuwa yeye ni Mwendawazimu? Hilo ni swali la
msingi. Allah anasema kuwa watu wa Kitabu ambao ni Wayahudi na Wakristo ndio
wenye elimu na muwaulize wao, mtakapo kuwa na maswali.
Allah
amesha jibu. Wakristo ndio wenye majibu katika hii duni.
MUHAM-MAD ANASEMA:
"Nina hofu kuwa mimi nina Wazimu"
Copyright © Max Shimba Ministries 2013
Copyright © Max Shimba Ministries 2013
Hell pictures_ A Trip To Hell (Full version) / 지옥그림_지옥을 견학하다 (Full version)
http://www.youtube.com/watch?v=dWXkBBIaiVc
http://www.youtube.com/v/dWXkBBIaiVc?version=3&autohide=1&feature=share&showinfo=1&autohide=1&attribution_tag=hY2elLNSMwttZSEiiRSDCA&autoplay=1
http://www.youtube.com/v/dWXkBBIaiVc?version=3&autohide=1&feature=share&showinfo=1&autohide=1&attribution_tag=hY2elLNSMwttZSEiiRSDCA&autoplay=1
ALLAH ANASEMA KATIKA KORAN KUWA WAISLAM WOTE WATAINGIA JEHANNAM
Jamani huu ni Msiba
katika taifa la Islam kwa kushindwa kusoma aya hii ambayo ipo wazi (Quran
40:60).
Katika mada hii,
nitawawekea aya kutoka Koran na simulizi za Muhammad ambazo zinatushuhudia
kuwa, Waislam wote wataingia Jehanamu.
Hebu tumsome kwanza Allah katika aya
aliyo iteremsha kwa Mtume wake Muhammad (Pbuh).
Quran 40: 60. Na Mola wenu Mlezi anasema: Niombeni nitakuitikieni. Kwa hakika wale ambao wanajivuna na kuniabudu Mimi wataingia Jahannamu wadhalilike.
Mungu wa Waislam ajulikanaye kwa
Jina la Allah amesema kiuwazi kabisa kuwa “wale wote ambao wanajivunia Uislam
na kumuabudu Allah wataingia Motoni”
Ndugu zanguni, huu ni Msiba, tena msiba mkubwa sana
katika dini na taifa la Kiislam. Allah amesha toa hukumu kwa wamfuatao na
inafahamika fika kuwa, Wale wote waingiao Jehannam, hao walikuwa hawafanyi
Mapenzi ya Mungu wa Biblia. Allah anasema kuwa, ukifanya
mapenzi yake, basi wewe utaingia Jehannam. Huu ushaidi ndio tulio usoma katika
Quran 40:60.
Sasa tuwasikilize
na maswahiba wa Mtume Muhammad.
Simulizi:
Pia imesimuliwa
na Ibn Jarir, iliyosimuliwa na Abu Kurayb, imesimuliwa na Ibn Yaman,
imesimuliwa na Ibn Malik Maghul, imesimuliwa na Ibn Ishaq ambaye alisema,
"Kila mara Abu Maysarah anapo kwenda kulala na akiwa kitandani kwake yeye
husema, 'Mimi nasikia Uchungu kuzaliwa na Mama yangu. 'na kisha anaanza kulia
kwa Machozi. Alipoulizwa kwa nini alikuwa akilia, alijibu ayafuatayo,'
Tuliambiwa kwamba SISI WAISLAMU tutaingia Jehannamu, LAKINI HATUKUAMBIWA kwamba
TUTATOLEWA HUKO JEHANNAMU NA HATUKUAMBIWA NI KIVIPI TUTATOKA HUKO'"
Mfuasi huyu wa
Muhammad anaoneka kupatwa na mshtuko mkubwa, pale alipo ambiwa kuwa, Waislam
wote wataingia Jehannam. Mshtuko huu umemfanya ailaani siku ambayo alizaliwa.
Kitu cha kujiuliza, kwanini Allah ambaye ni mungu wa Waislam anatoa ahadi ya Jehannam
na si Akhera kama wafundishavyo Waislam?
Ndugu zanguni, ningependa mfahamu kuwa, utakapo ingia Jehannam, kutakuwa
hakuna tena njia nyingine ya kutoka huko. Pale Jehannam ndio mwisho wa maisha
ya walio tenda dhanb. Allah anasema kuwa, ukifanya mapenzi yake, basi wewe utaingia Jehannam. Je,
kufanya mapenzi ya Allah ni sawa na kutenda dhanb? Je, Uislam ni dini ya haki,
kama wanavyo sema wafundishaji wa dini hiyo? Jiulize tena, kwanini Allah anatoa
ahadi ya Jehannam kwa wafuatayo mafundisho yake?
Lakini
Yesu anasema haya:
Yohana 14: 6 Yesu
akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa
njia ya mimi.
Ndugu
zanguni, mwamini Yesu ili uwe na uzima wa milele. Yesu anakupenda. Yesu Ndie
Njia Pekee. Yesu Ndie Uzima. Dini haita kupeleka kwa Baba aliye Mbingu, lakini
Yesu anasema Yeye NDIE NJIA.
Mungu
awabariki sana,
Katika
Huduma Yake,
Max
Shimba
For Max
Shimba Ministries
Copyright © Max Shimba Ministries 2013
Sunday, November 3, 2013
When was the Bible written and who wrote it?
The following dates are not always exact, but are very good estimates.
Old Testament
| Book | Author | Date Written |
| Genesis | Moses | ? - 1445 B.C. |
| Exodus | Moses | 1445 - 1405 B.C. |
| Leviticus | Moses | 1405 B.C. |
| Numbers | Moses | 1444 - 1405 B.C. |
| Deuteronomy | Moses | 1405 B.C. |
| Joshua | Joshua | 1404-1390 B.C. |
| Judges | Samuel | 1374-1129 B.C. |
| Ruth | Samuel | 1150? B.C. |
| First Samuel | Samuel | 1043-1011 B.C. |
| Second Samuel | Ezra? | 1011-1004 B.C. |
| First Kings | Jeremiah? | 971-852 B.C. |
| Second Kings | Jeremiah? | 852-587 B.C. |
| First Chronicles | Ezra? | 450 - 425 B.C. |
| Second Chronicles | Ezra? | 450 - 425 B.C. |
| Ezra | Ezra | 538-520 B.C. |
| Nehemiah | Nehemiah | 445 - 425 B.C. |
| Esther | Mordecai? | 465 B.C. |
| Job | Job? | ?? |
| Psalms | David | 1000? B.C. |
| Sons of Korah wrote Psalms 42, 44-49, 84-85, 87; Asaph wrote Psalms 50, 73-83; Heman wrote Psalm 88; Ethan wrote Psalm 89; Hezekiah wrote Psalms 120-123, 128-130, 132, 134-136; Solomon wrote Psalms 72, 127. | ||
| Proverbs | Solomon wrote 1-29 Agur wrote 30 Lemuel wrote 31 | 950 - 700 B.C. |
| Ecclesiastes | Solomon | 935 B.C. |
| Song of Solomon | Solomon | 965 B.C. |
| Isaiah | Isaiah | 740 - 680 B.C. |
| Jeremiah | Jeremiah | 627 - 585 B.C. |
| Lamentations | Jeremiah | 586 B.C. |
| Ezekiel | Ezekiel | 593-560 B.C. |
| Daniel | Daniel | 605-536 B.C. |
| Hosea | Hosea | 710 B.C. |
| Joel | Joel | 835 B.C. |
| Amos | Amos | 755 B.C. |
| Obadiah | Obadiah | 840 or 586 B.C. |
| Jonah | Jonah | 760 B.C. |
| Micah | Micah | 700 B.C. |
| Nahum | Nahum | 663 - 612 B.C. |
| Habakkuk | Habakkuk | 607 B.C. |
| Zephaniah | Zephaniah | 625 B.C. |
| Haggai | Haggai | 520 B.C. |
| Zechariah | Zechariah | 520 - 518 B.C. |
| Malachi | Malachi | 450 - 600 B.C. |
New Testament
| Book | Author | Date Written (A.D) |
| Matthew | Matthew | 60's |
| Mark | John Mark | late 50's early 60's |
| Luke | Luke | 60 |
| John | John | late 80's early 90's |
| Acts | Luke | 61 |
| Romans | Paul | 55 |
| 1 Corinthians | Paul | 54 |
| 2 Corinthians | Paul | 55 |
| Galatians | Paul | 49 |
| Ephesians | Paul | 60 |
| Philippians | Paul | 61 |
| Colossians | Paul | 60 |
| 1 Thessalonians | Paul | 50 - 51 |
| 2 Thessalonians | Paul | 50 - 51 |
| 1 Timothy | Paul | 62 |
| 2 Timothy | Paul | 63 |
| Titus | Paul | 62 |
| Philemon | Paul | 60 |
| Hebrews | (Paul, Apollos, Barnabas...?) | 60's |
| James | James, half brother of Jesus | 40's or 50's |
| 1 Peter | Peter | 63 |
| 2 Peter | Peter | 63 - 64 |
| 1 John | John | late 80's early 90's |
| 2 John | John | late 80's early 90's |
| 3 John | John | late 80's early 90's |
| Jude | Jude, half brother of Jesus | 60's or 70's |
| Revelation | John | late 80's early 90's |
Saturday, November 2, 2013
KORAN INAKIRI KUWA UISLAMU NI DINI YA WAARABU PEKEE
Katika
hii mada ninawaletea ushaidi kuwa Uislam ni dini ya Waarabu peke yao.
Waislamu
bila kuchoka wamekuwa wakidai kuwa Uislamu utatawala dunia nzima. Katika
kufanya hivyo, wao watakuwa wamekwenda kinyume na maneno ya Allaha kama yarivyo
teremshwa kwenye Qur'an. Kwa hiyo, ni haki kwa kusema wao ni Makafiri.
Quran 10: 47. Na
kila umma una Mtume. Alipo wajia Mtume wao walihukumiwa baina yao kwa uadilifu,
wala hawakudhulumiwa.
Angalia hii aya pia
Quran 14: 4. Na
hatukumtuma Mtume ila kwa ulimi wa kaumu yake ili apate kuwabainishia. Basi Allah
humuacha akapotea amtakaye, na akamwongoa amtakaye. Naye ni Mtukufu Mwenye
nguvu na Mwenye hikima.
Kama
aya hizi ni kweli, basi Uislamu si kwa mashirika/mataifa/ummah yasiyo ya
Waarabu. Quran inasema kwamba kila watu wamepokea ujumbe wao kutoka kwa Mungu
katika lugha yao wenyewe ili waweze kuelewa na Qur'ani akaishuka kwa Waarabu ili Waarabu waweze kulewa nini
Allah anasema.
Dhana
hii ya Allah kushusha Kitabu kwa kila lugha ni muhimu sana kwasababu imejirudia
mara nyingi na ndio msingi wa hili somo.
Quran 16: 36. Na kwa hakika kwa kila
umma tuliutumia Mtume kwamba: Muabuduni Mwenyezi Mungu, na muepukeni Shetani.
Basi kati yao wapo alio waongoa MwenyeziMungu. Na kati yao wapo ambao ulio
wathibitikia upotovu. Basi tembeeni katika ardhi, muangalie ulikuwaje mwisho wa
wanao kanusha.
Quran 5: 48. Na tumekuteremshia wewe, kwa haki, Kitabu hichi
kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake katika Vitabu na kuyalinda. Basi
hukumu baina yao kwa aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu, wala usifuate matamanio
yao ukaacha Haki iliyo kujia. Kila mmoja katika nyinyi tumemwekea sharia yake
na njia yake. Na lau kuwa Mwenyezi Mungu angeli taka ange kufanyeni nyote umma
mmoja, lakini ni kukujaribuni kwa aliyo kupeni. Basi shindaneni kwa mambo ya
kheri. Kwa Mwenyezi Mungu ndio marejeo yenu nyote, na atakuja kuwaambieni yale
mliyo kuwa mkikhitalifiana.
Quran 36: 5. Uteremsho
wa Mwenye nguvu, Mwenye kurehemu. 6. Ili
uwaonye watu ambao baba zao hawakuonywa , basi wao wamekuwa wenye kughafilika.
Hizi aya zimekamilka na kueleza kiuwazi kuhusu
kuja kwake kwa Waarabu pekee. Allah katika Koran anasema kwamba kila watu wamekuwa
na Mtume wao wenyewe ambao aliwaonya katika lugha zao wenyewe, na kwamba
amemtuma Muhammad kwa wale ambao bado hawajaanza mwongozo wowote, na ambao baba
zao hawakuonywa, yaani Waarabu. Kwa njia hii watakuwa hawana udhuru wowote na
hawezi kusema, lakini hatukuwai kupokea ujumbe wowote.
Endelea kusoma Koran hapa chini:
Quran 6: 156. Msije
mkasema: Hakika mataifa mawili kabla yetu yameteremshiwa Kitabu; na sisi
tulikuwa hatuna khabari ya waliyo kuwa wakiyasoma.
157. Au
mkasema: Lau kuwa tumeteremshiwa sisi Kitabu tungeli kuwa waongofu zaidi kuliko
wao. Basi imekufikieni bayana kutoka kwa Mola wenu Mlezi, na uwongofu, na
rehema. Basi nani aliye dhaalimu mkubwa zaidi kuliko yule anaye kanusha Ishara
za Mwenyezi Mungu, na akajitenga nazo? Tutawalipa wanao jitenga na Ishara zetu
adhabu kali kabisa kwa sababu ya kujitenga kwao.
Quran
ni wazi ilitumwa kwa Waarabu. Wale ambao si Waarabu hawawezi kuielewa Koran,
hayo ni maneno ya Allah. Waislamu wanasisitiza kuwa hakuna tafsiri ya Qur'ani inaweza
kuwa sahihi. Hivyo, haiwezi kamwe kuwa wazi kwa mashirika yasiyo ya Waarabu na
haikutumwa kwa mashirika/ummah yasiyo ya Waarabu.
Uthibitisho
mwingine kuwa Qur'ani ilitumwa tu kwa ajili ya Waarabu ni katika mistari
ifuatayo hapo chini:
Quran 26:
198. Na lau kuwa tungeli iteremsha juu ya mmoja wa wasio kuwa Waarabu, 199. Na akawasomea, wasingeli kuwa wenye kuamini.
Kama ambavyo Waarabu wana
haki ya kuto amini kitabu chechote kile kilichotumwa kwa lugha ambayo si
yakwao, ikimaanisha Kiarabu, vivyo hivyo, mashirika yasiyo ya Waarabu nao wana
haki ya kuto iamini Koran, kitabu kilichoandikwa kwa lugha ya Kiarabu. Ndio
kwasababu Koran inasema Allah atatuma mjumbe kwa kila lugha ili wao wenyewe kwa
wenyewe waweze kuelewa.
Kuhakikisha hakuta kuwa na kutokuelewana, Allah anashusha hii aya
05:19 Quran: Enyi Watu wa
Kitabu! Bila ya shaka amekujilieni Mtume wetu akikubainishieni katika wakati
usio kuwa na Mitume, msije mkasema: Hakufika kwetu mbashiri wala mwonyaji. Basi
amekujieni mbashiri na mwonyaji. Na Mwenyezi Mungu anao uweza wa kila kitu.
Kwa mujibu wa Qur'an watu wote wamepokea ufunuo. Aya ya hapo juu inasema
Qur'ani ni kwa wale ambao kamwe hawakupokea ufunuo, iliwasije kusema, `kuwa sisi
hatuja wai kutumiwa mbashiri na hakuna mjuonyaji aliye tumwa kwetu'.
Jambo hili ni wazi, lakini Allah anataka liwe wazi hata na kwa asiye
na ufahamu wowote ule aelewe kuwa Koran ilitumwa kwa Waarabu pekee kwa kuzitaja
sehemu halisi za kijiografia ambazo Muhammad alitumwa kama Mtume wa Allah.
Quran 6:92. Na hiki ni Kitabu
tulicho kiteremsha, kilicho barikiwa, chenye kuhakikisha yaliyo tangulia, na
ili uuwonye Mama wa Miji na walio pembezoni mwake. Na wenye kuamini Akhera
wanakiamini hichi, nao wanazihifadhi Sala zao.
Leo,
tumejifunza kuwa, Koran ilitumwa kwa Waarabu pekee na si kwa Mataifa yote. Sasa,
nina uhakika baadhi ya Waislamu wanaweza kuleta aya nyingine zinazosema kwamba Uislamu
ni kwa wanadamu wote. Kama Waislam watafanya hivyo, basi waelekuwa kwa kufanya
hivyo ni kuthibitisha kwamba aya hapo juu ni za uongo.
Ama
Quran ni pakiti ya uongo na utata au ni tu kwa Waarabu wa Makkah na jirani yake
kama alivyo sema Allah ambaye ni mungu wa Waislamu.
Katika
huduma yake,
Max
Shimba
Copyright © Max Shimba Ministries 2013
Yesu ni Mungu Kutokana na Koran (Sehemu ya Kwanza)
Waumini wa dini ya Kiislam
katika Mihadhara mbalimbali ya kidini kupitia wahadhiri wao wa Dini wamekuwa wakipinga kuwa Yesu Kristo si Mungu kwa madai
kuwa, Mungu hawezi kuzaliwa.
Ndugu msomaji, nakusihi ufuatilie
somo hili kwa makini ili ujue ukweli kuhusu Umungu wa Yesu Kristo katika Koran:
Je Yesu anazo sifa za kipekee za Mungu
kutokana na Quran? Hebu tuanze utafiti wetu kwa kusoma Quran na tujionee
wenyewe kama kweli Yesu ni Mungu au la.
Adhama ya Kwanza kutokana na
Quran: Mungu ni Mfalme:
Koran inasema kuwa, sifa Moja ya Mungu ni “Mfalme”.
Je, Yesu anayo hii sifa ya “Mfalme”? Haya tusome Quran kwanza.
Quran 59: 23
Yeye ndiye Mwenyezi Mungu ambaye hapana Mungu
isipo kuwa Yeye tu. Mfalme, Mtakatifu, Mwenye
salama, Mtoaji wa amani, Mwenye kuyaendesha Mwenyewe mambo yake, Mwenye nguvu,
Anaye fanya analo litaka, Mkubwa, Ametakasika Mwenyezi Mungu na hayo wanayo
mshirikisha nayo.
Sasa
tuangalie kama kweli Yesu anayo hii sifa ya Mfalme ambayo ni adhama ya Mungu pekee
kutokana na Koran.
Biblia
takatifi inasema yafuatayo kuhusu Yesu Kristo:
Ufunuo 17:14
Hawa
watafanya vita na Mwana Kondoo na Mwana Kondoo atawashinda, kwamaana yeye ni
Bwana wa Bwana na Mfalme wa Wafalme.
Katika
aya hii tunasoma kuwa Yesu anaitwa “Mfalme wa Wafalme” ambayo ni adhama ya
Mwenyezi Mungu kama ilivyo shaidiwa na Koran Surah ya 59 na aya 23. Hivyo basi
, Allah na Koran wamekiri kuwa Yesu ni Mungu kwasababu Biblia imetuthibitishia
kuwa Yesu ni Mfalme wa Wafalme katika Ufunuo 17 na aya 14.
Tuendelee
na ushaidi mwingine kutoka Koran ambao unatuhakikishia kuwa Yesu ni Mungu.
Adhama ya Pili kutokana na Quran:
Mungu ni Mtakatifu:
Je,
Yesu anayo hii sifa ya “Mtakatifu”? Tusome Quran kwanza:
Quran 59: 23 Yeye ndiye Mwenyezi Mungu ambaye hapana Mungu
isipo kuwa Yeye tu. Mfalme, Mtakatifu, Mwenye salama, Mtoaji wa amani, Mwenye kuyaendesha
Mwenyewe mambo yake, Mwenye nguvu, Anaye fanya analo litaka, Mkubwa,
Ametakasika Mwenyezi Mungu na hayo wanayo mshirikisha nayo.
Katika
Quran tumesoma kuwa, moja ya sifa za Mungu ni “Mtakatifu”, Je sifa hii ya
utakatifu Yesu anayo?
Nenda
kwenye hihiyo Kuran 19:19 Malaika akasema hakika mimi ni mjumbe ili nikupe Mwana
Mtakatifu -Isa Bin Maryam.
Koran
hiyo hiyo inatuhakikishia na kutujibu kuwa Yesu ambaye anajulikana kwa jina la
Isa Bin Maryam katika Quran ni Mwana Mtakatifu. Hivyobasi,
hii adhama ya Utakatifu ambayo ni ya Mungu pekee, tunasoma katika Quran
iliyoteremshwa an Allah kuwa Yesu ameinyakua. Yesu anaitwa Mwana Mtakatifu.
Adhama ya Tatu kutokana na Quran:
Bwana ni Mwenyezi Mungu
Hebu
tufungue Quran na tusome kuhusu Bwana:
Quran 3:39 Alipo kuwa kasimama chumbani akisali,
Malaika kamnadia: Hakika Mwenyezi Mungu anakubashiria Yahya, ataye kuwa mwenye
kusadikisha neno litokalo kwa Mwenyezi Mungu, na ni Bwana na mt'awa na Nabii kwa watu wema naye ni Nabii Isa.
Quran 39: 29
Mwenyezi Mungu amepiga mfano wa mtu mwenye
mabwana washirika wanao gombana, na wa mtu mwengine aliye khusika na Bwana Mmoja
tu. Je! Wako sawa katika hali zao? Alhamdulillahi, Sifa njema zote ni za
Mwenyezi Mungu! Lakini wengi wao hawajui.
Quran 39:29
inasema kuwa Mwenyezi Mungu ni Bwana na hiyo ni sifa njema kwa Mwenyezi Mungu.
Zaidi ya hapo, Koran hiyo hiyo (Quran 3:39) inasema kuwa Isa Bin Maryam ni Neno
litokalo kwa Mwenyezi Mungu na ni Bwana. Koran imejibu kuwa, sifa ya Bwana
ambayo ni ya Mungu pekee ni ya Yesu. Sasa tusome na Biblia kwa ushaidi zaidi
kuhusu Yesu ni Bwana.
Ufunuo 17:14
Hawa
watafanya vita na Mwana Kondoo na Mwana Kondoo atawashinda, kwamaana yeye ni
Bwana wa MaBwana na Mfalme wa Wafalme.
Katika
Ufunuo tunasoma kuwa Mwana Kondoo ambaye ni Yesu Kristo anaitwa Bwana wa
Mabwana. Hivyobasi, hii adhama ya “Bwana” ambayo ni ya Mungu pekee tunasoma
katika Quran iliyoteremshwa an Allah kuwa Yesu ni Bwana na ameinyakua,
vilevile, katika Biblia Takatifu tumesoma kuwa Yesu anaitwa Bwana, ambayo ni
Sifa ya Mungu Pekee kutokana na Quran.
Leo
nimejibu hoja ya Waislam kuwa, Je, Yesu ni Mungu? Koran pamoja na Allah wanasema
kuwa Yesu ni Mungu kwa kuwa Yesu anazo adhama zote na/au sifa zote za Mungu.
Katika
huduma yake,
Max
Shimba
Copyright © Max Shimba Ministries 2013
Subscribe to:
Comments (Atom)
TRENDING NOW
-
Baba umenipa funguo muhimu katika Mathayo 16:19 za kufunga na kufungua. Ninatumia funguo hizo kufunga na kufungua, kuvunja na kubamiza kil...
-
Kuna watu wanapitia mateso mengi sana, wengine wamefungwa katika vifungo bila wao kujijuwa basi chukua muongozo huu utakusaidia au itasaid...
-
Adui anakuja kuiba, kuua na kuharibu kila kitu chetu, ni lazima kuwa tayari kupambana na maadui, tujue silaha zetu, na kutumia neno la Mun...
-
Twakusalimu kwa mara ingine katika jina tukufu na takatifu la Yesu Kristo Bwana wetu. Twazidi pia kukushukuru kwa ajili ...