ALLAH: UTATA KATIKA UUMBAJI WA MAJINI
Je, Majini yaliumbwaje?
Leo hii tutajifunza UTATA wa Allah katika uumbaji wa Majini. Hebu tusome kwanza hii aya kutoka Koran iliyo shushwa na Jibril ambaye ni msaidizi wa Allah.
Quran 15: 27. Na Majini tuliwaumba kabla kwa moto wa upepo umoto. ***
Katika aya hapo juu tumesoma kuwa Allah aliumba Majini kwa "MOTO" wa upepo Umoto. Hivyo ndivyo Majini yaliumbwa kutokana na Koran. Lakini nilipo soma kwa uzaidi na au undani Je, Allah aliumba vipi vitu vyote vyenye uhai, nilibakia nikishangaa kama Majini nayo yapo kwenye viumbe vyenye uhai. Hebu soma hii aya hapa chini.
Quran 21: 30. Je! Hao walio kufuru hawakuona kwamba mbingu na ardhi zilikuwa zimeambatana, kisha Sisi tukazibabandua? Na tukaumba kwa maji kila kilicho hai? Basi je, hawaamini? ***
Katika aya tuliyo isoma ya 30. Allaha anasema kuwa aliumba kila kitu chenye uhai kupitia 'MAJI" Je, Majini ni viumbe vyenye uhai. Kama ni kweli, kwanini Koran inatuambia kuwa Majini yaliumbwa kupitia MOTO.
Ndugu zanguni, leo, kwa mara nyingine tena Allah amesema UONGO.
Kwanini tumfuate Allah mwenye kigeugeu namna hii?
Katika Huduma yake
Max Shimba Ministries Org.
Friday, November 8, 2013
Thursday, November 7, 2013
KUMBE MALAIKA WANA AKILI KULIKO ALLAH WA ISLAM!
Malaika
Watabiri Mwenendo wa Binadamu kabla ya kuumbwa. Allah atumia hila kuficha
udhaifu wake.
Katika
somo letu la leo, tutajifunza kuwa Malaika wa Allah wana Akili na ufahamu wa
mambo ya baadae kuliko Allah wa Islam.
Quran
Surah 2:
30.
Na pale Mola wako Mlezi alipo waambia Malaika: Mimi nitamweka katika ardhi
Khalifa (mfwatizi), wakasema: Utaweka humo atakaye fanya uharibifu humo na
kumwaga damu, hali sisi tunakutakasa kwa sifa zako na tunakutaja kwa utakatifu
wako? Akasema: Hakika Mimi nayajua msiyo yajua. ***
KATIKA
AYA YA 30. Tunasoma kuwa Malaika wanampa
darsah Allah, jinsi gani Mtu atakuwa kabla ya uumbaji wake. Malaika
wameonyesha upeo mkubwa kwa kufahamu maisha ya baada ya Adam/binadamu kabla ya
hata kuumbwa.
31.
Na akamfundisha Adam majina ya vitu vyote, kisha akaviweka mbele ya Malaika, na
akasema: Niambieni majina ya hivi ikiwa mnasema kweli. ***
Kwenye
aya 31 hapo juu, tunasoma kuwa Allah anamfundisha kwa siri Adam ili aweze
kuwazima mdomo Malaika. Kitendo cha Allah kumfudisha Adam ili kushindana na
Malaika haikuwa haki kwani Malaika walimpa changamoto Allah, Je, Allah ni
mwenye ufahamu wa yote?
32.
Wakasema: Subhanaka, Wewe umetakasika! Hatuna ujuzi isipokuwa kwa uliyo tufunza
Wewe. Hakika Wewe ndiye Mjuzi Mwenye hikima. ***
Je, Allah
alipo tumia udanganyifu na uongo ili kujitetea mwenyewe dhidi ya mashtaka kwa
Adamu kama yalivyo letwa na Malaika (mashtaka ambayo aligeuka kuwa ni sahihi)
ni sahihi?
33.
Akasema: Ewe Adam! Waambie majina yake. Basi alipo waambia majina yake alisema:
Sikukwambieni kwamba Mimi ninajua siri za mbinguni na za duniani, na ninayajua
mnayo yadhihirisha na mliyo kuwa mnayaficha? ***
34.
Na tulipo waambia Malaika: Msujudieni Adam, wakamsujudia wote isipo kuwa Iblis,
alikataa na akajivuna na akawa katika makafiri. ***
35.
Na tulisema: Ewe Adam! Kaa wewe na mkeo katika Bustani, na kuleni humo
maridhawa popote mpendapo, lakini msiukaribie mti huu tu; mkawa katika wale
walio dhulumu. ***
36.
Lakini Shet'ani aliwatelezesha hao wawili na akawatoa katika waliyo kuwamo, na
tukasema: Shukeni, nanyi ni maadui nyinyi kwa nyinyi. Katika ardhi yatakuwa
makaazi yenu na starehe kwa muda. ***
37.
Kisha Adam akapokea maneno kwa Mola wake Mlezi, na Mola wake Mlezi alimkubalia
toba yake; hakika Yeye ndiye Mwingi wa kukubali toba na Mwenye kurehemu. ***
38.
Tukasema: Shukeni nyote; na kama ukikufikieni uwongofu utokao kwangu, basi
watakao fuata uwongofu wangu huo haitakuwa khofu juu yao wala hawatahuzunika.
***
Katika
vifungu hapo juu, tumesoma kuwa Malaika wanaufahamu kama Mungu (Omniscient) na
ua wa Kimungu. Malaika waliweza kufahamu maisha ya Mwandamu kabla ya hata
kuumbwa. Jambo ambalo Allah wa Islam hakulifahamu na hakuwa na ufahamu huo.
Kwanza,
jinsi gani Malaika walijua hali ya mtu itakuwa kabla ya uumbaji wake? Malaika
walifahamuje kabla ya uumbaji kuwa, binadamu watakuwa na vurugu? Nani
aliwaambia? Nakala haisemi chochote juu ya Allah kuwapa kipande hiki cha
habari. Je, Malaika anayajua yote kama Mungu (Omniscient)?
Pili,
Mwenyezi Mungu kwa siri anafundisha Adam majina yasiyojulikana ili
kuwanyamazisha Malaika kwa kulalamika dhidi ya mtu. Je, hii ni haki? Kwa nini
Allah anatumia hila na hujmah, ili kuwafanya Malaika waonekane hawana ufahamu?
Je, Allah
alipo tumia udanganyifu na uongo ili kujitetea mwenyewe dhidi ya mashtaka kwa
Adamu kama yalivyo letwa na Malaika (mashtaka ambayo aligeuka kuwa ni sahihi)
ni sahihi?
Je,
si dhahiri kwamba Adamu angekuwa na ufahamu wakawaida kama Malaika kwasababu
Allah alikuwa bado hajawafundisha kuhusu uumbaji wake?
Kwanini
Allah wa Islam anatumia udanganyifu ili kuficha udhaifu wake katika uumbaji?
Ndugu
zanguni, leo tumejifunza kuwa Allah si msema ukweli na Allah hana ufahamu wa
mambo yote kama alivyo Yehova ambaye ni Mungu aliye semwa ndani ya Biblia.
Kama
unataka kufahamu kweli, basi nakusihi umpokee Yesu aliye hai, yeye ndie Njia,
Kweli na Uzima. Katika Yesu, hakuna udanganyifu wa Allah. Mpokee leo ili upate
uzima wa milele.
Katika
huduma yake.
Max
Shimba
For
Max Shimba Ministries
Copyright
© Max Shimba Ministries 2013
MUHAMMAD ANADAI KUWA ALIMUONA ALLAH: AISHA ANASEMA YEYOTE YULE ASEMAYE MUHAMMAD ALIMUONA ALLAH NI MUONGO
Kama
kawaida, naendelea kufunua uongo na vituko vilivyo jaa kwenye Koran na Hadith.
Katika somo letu la leo, tutajifunza uongo ulio semwa na Muhammad, eti,
alimuoana Allah. Soma aya ifuatayo kutoka Koran iliyo shushwa na Jibril.
Quran
81:15. Naapa kwa nyota zinapo rejea nyuma, ***16. Zinazo kwenda, kisha
zikajificha, ***17. Na kwa usiku unapo pungua, ***18. Na kwa asubuhi inapo
pambazuka, ***19. Kwamba hakika bila ya shaka hii ni kauli ya Mjumbe mtukufu,
***20. Mwenye nguvu na mwenye cheo kwa huyo Mwenye Kiti cha Enzi, ***21. Anaye
t'iiwa, tena muaminifu. *** 22. Na wala huyu mwenzenu hana wazimu. ***23. Na
hakika yeye alimwona Mwenyezi Mungu kwenye upeo wa macho ulio safi. ***24. Wala
yeye si bakhili kwa mambo ya ghaibu. ***25. Wala hii si kauli ya Shetani
maluuni. ***26. Basi mnakwenda wapi? ***27. Haikuwa hii ila ni ukumbusho kwa
walimwengu wote. ***28. Kwa yule miongoni mwenu anaye taka kwenda sawa. ***29.
Wala nyinyi hamtataka isipo kuwa atake Mwenyezi Mungu Mola Mlezi wa walimwengu
wote. ***
Katika
aya ya 23, Koran inatuambia kuwa Muhammad alimwona Bwana wake/Allah kwenye upeo
wa macho ulio safi. Lakini Maswahiba wa Allah walipo Muuliza mke wake Aisha
kama ni kweli Muhammad alimuona Allah, Aisha alikana na kusema asemaye kuwa
Muhammad alimwona Allah ni MUONGO. Pata ushaidi hapa chini:
(Sahih
al-Bukhari, Volume 9, Book 93, Number 477)
Amehadithia
Masruq:
Mimi
nilimuuliza 'Aisha, "O Mama! Je Mtume Muhammad aliwai kumuona Bwana
wake?" Aisha akasema, "Kile umesema hufanya nywele yangu kusimama juu
ya mwisho kujua kwamba kama mtu atakwambia moja ya mambo matatu yafuataho, HUYO
NI MUONGO!. Yeyote atakayekwambia kwamba Muhammad alimwona Bwana wake, NI
MWONGO"
Ndugu
zanguni, leo tumejifunza kuwa, kumbe Muhammad alikuwa MUONGO, pale alipo dai
kuwa eti, alimwona Bwana wake. Aisha amesema kuwa YEYOTE YULE ATAKAYE SEMA KUWA
MUHAMMAD ALIMWONA BWANA WAKE NI MUONGO.
Je,
Maneno ya Aisha yanaukweli, Hebu tuangalie Biblia inasema nini. Katika Injili
ya Yohana Biblia inasema kuwa, HAKUNA ALIYE MUONA MUNGU, ISIPOKUWA MWANA(YESU).
Yohana
1: 18Hakuna mtu ye yote aliyemwona Mungu wakati wo wote, ila ni Mungu Mwana
pekee, aliye kifuani mwa Baba ndiye ambaye memdhihirisha.
Biblia
ipo wazi kuwa, Mwenye uwezo wa kumwona Baba ni Mungu Mwana. Leo tumejifunza
kuwa Yesu ni Mungu Mwana. Mtu wa kawaida hawezi kumuona Mungu na akaishi. Zaidi
ya Hapo leo tumejifunza kuwa Mtume wa Allah ni MUONGO.
Nakukaribisha
kwa Mungu Mwana ambaye yeye yupo Upande wa Kulia wa Baba. Mwamini Yesu hii leo
ili upate uzima wa milele.
Katika
huduma yake.
Max
Shimba
For
Max Shimba Ministries
Copyright
© Max Shimba Ministries 2013
KORAN INADAI KUWA YESU ALIZEEKEA HAPA DUNIANI.
VIOJA NDANI YA KORAN.
KORAN INADAI KUWA YESU ALIZEEKEA HAPA DUNIANI.
Leo tunajifunza Vioja vya Allah na Koran. Koran kupitia Allah na Mtume wake Muhammad inaleta UTATA pale ilipo sema eti Yesu alizeeka.
Soma kwanza hii aya.
QURAN 5:110. Na pale Mwenyezi Mungu atapo sema: Ewe Isa bin Maryamu! Kumbuka neema yangu juu yako, na juu ya mama yako, nilipo kutia nguvu kwa Roho Takatifu, ukazungumza na watu katika utoto na uzeeni. Na nilivyo kufunza kuandika na hikima na Taurati na Injili. Na ulipo tengeneza udongo sura ya ndege, kwa idhini yangu, kisha ukapuliza ikawa ndege kwa idhini yangu; na ulipo waponesha vipofu na wakoma kwa idhini yangu; na ulipo wafufua wafu kwa idhini yangu; na nilipo kukinga na Wana wa Israili ulipo wajia na hoja zilizo wazi, na wakasema walio kufuru miongoni mwao: Haya si lolote ila ni uchawi mtupu!
Leo tumesoma kutoka Quran kuwa Yesu alizeeka. Sasa angalia UTATA huu hapa:
Huduma ya Yesu ilidumu hadi alipokuwa na miaka 33. Hii ni aya ilikubalika na Yusuf Ali katika maoni yak. 388 juu ya Sura 3:46.
Sasa leo tumejifunza tena Vioja na Utata ndani ya Koran.
Je, kweli Allah anaweza kufanya makosa ya namna hii? You Judge if Allah is God.
Katika Huduma yake.
Max Shimba
For Max Shimba Ministries

UTATA NDANI YA KORAN: NINI KITAKUWA CHAKULA CHA WATU JEHANNAM
Leo Allah ameamua kutueleza kuwa, watu watakuwa wanakula nini huko Jehannam. Soma aya hapa chini:
Quran 88:6. Hawatakuwa na chakula isipo kuwa kichungu chenye miba.
Quran 69: 36. Wala hana chakula ila usaha wa watu wa Motoni.
Sasa angalia UTATA UNAPO INGIA: Quran 39: 62-69
62. Je! Kukaribishwa hivi si ndio bora, au mti wa Zaqqum? ***63. Hakika Sisi tumeufanya huo kuwa ni mateso kwa walio dhulumu. ***64. Hakika huo ni mti unao toka katikati ya Jahannamu. ***65. Mashada ya matunda yake kama kwamba vichwa vya mashet'ani. ***66. Basi hakika bila ya shaka hao watayala hayo, na wajaze matumbo. ***67. Kisha juu yake wanyweshwe mchanganyo wa maji yamoto yaliyo chemka. ***68. Kisha hakika marejeo yao bila ya shaka yatakuwa kwenye Jahannamu. ***
Ndugu zanguni, Koran ni kitabu cha ajabu sana, maana kinapingana kila sehemu. Leo tumesoma nini watu watakula Jehannam. Hivyo, kuhusu mada hii moja peke yake, Qur'ani ina utata tatu:
"Kula matunda ya mti wa Zaqqum" (37:66) inapingana na "kula tu Dhari" (88:6).
"Kula matunda ya mti wa Zaqqum" (37:66) inapingana na "kula tu pus mchafu" (69:36).
"Kula tu Dhari" (88:6) inapingana na "kula tu pus mchafu" (69:36).
Koran imejaa UATATA na si kitabu cha Mwenyezi Mungu.
Mungu awabariki sana,
Katika Huduma Yake,
Max Shimba
For Max Shimba Ministries
Copyright © Max Shimba Ministries 2013

Wednesday, November 6, 2013
KUTOKANA NA KORAN: YESU ANAUMBA, ANAPONYA, ANAFUFUA WATU, LAKINI MUHAMMAD HAKUWA NA UWEZO HUO
Koran
leo imekiri kuwa Yesu ni zaidi ya Mtume. Ukisoma hii aya hapa chini utaona kuwa
Yesu aliumba, hii sifa ya kuumba ni ya Mungu Pekee. Yesu alifufua watu, Yesu
Aliponya watu. n.k. Lakini hatusomi kuwa Muhammad alifanya hayo. Hebu soma Koran.
Quran
5: 110. Na pale Mwenyezi Mungu atapo sema: Ewe Isa bin Maryamu! Kumbuka neema
yangu juu yako, na juu ya mama yako, nilipo kutia nguvu kwa Roho Takatifu,
ukazungumza na watu katika utoto na utuuzimani. Na nilivyo kufunza kuandika na
hikima na Taurati na Injili. Na ulipo tengeneza udongo sura ya ndege, kwa
idhini yangu, kisha ukapuliza ikawa ndege kwa idhini yangu; na ulipo waponesha
vipofu na wakoma kwa idhini yangu; na ulipo wafufua wafu kwa idhini yangu; na
nilipo kukinga na Wana wa Israili ulipo wajia na hoja zilizo wazi, na wakasema
walio kufuru miongoni mwao: Haya si lolote ila ni uchawi mtupu!
Ndugu
zanguni, leo tumejifunza kuwa Yesu hakuwa mtu wa kawaida. Alikuwa anafanya
mambo ambayo ni Mungu pekee mwenye uwezo wa kufanya hao. Ushaidi huu umewekwa
kwenye Koran. Madai ya kuwa Yesu alikuwa Mtume/Nabii kama wengine, yanashindwa
nguvu, baada ya kusoma hii aya ambayo imetuonyesha adhama ya Mungu ndani ya
Yesu. Je, kuna Nabii au Mtume yeyote Yule aliye wai kuumba?
Hebu
tusome hadith ifuatayo kutoka kwa Al Bukhar.
Ibn
'Abbas akasema, "Hiyo ilionyesha kifo cha Mtume wa Allah ambacho Allah
alimtaarifu." 'Umar alisema, "Sielewi haya isipokuwa kile wewe unakielewa."
'Aisha: Mtume katika maradhi yake ambayo yalimuua, Alikuwa akisema, "O'
Aisha bado nahisi maumivu yanayosababishwa na chakula nilicho kula nilipo kuwa
Khaibar, na kwa wakati huu, Najisikia kama aorta yangu inakatwa
kutoka sumu niliyo kula. "(Sahih al-Bukhari, Volume 5, Kitabu 59, Namba
713)
Kwenye
Hadith tuliyo soma tunaona kuwa Mtume wa Allah alikuwa anasumbuliwa na Sumu
aliyo lishwa kwa Mtego na Yule Mama wa Kiyahudi. Hadithi hii inatupa ushaidi
kuwa Mtume wa Allah alikuwa akiomba uponyaji kutoka kwa Allah. Swali la
kujiuliza, Je, Muhammad alipo baada ya maombi haya kwa Allah?
Endelea
kupata somo:
Kwenye
hadith ifuatayo hapa chini, tunasoma kuwa Jibril nayeye amekuja kumuombea uzima
Mtume wa Allah, lakini maombi hayo hayakumponya Mtume wa Allah.
Kutoka
kwa Ibn Sad ukurasa 265
Mtume
wa Mwenyezi Mungu aliugua na yeye yaani Gabriel, alimuombea juu yake, akasema,
"Kwa jina la Mwenyezi Mungu mimi nakuombea uzima na nazuia kutoka kwenu
kila kitu kibaya na madhara yeyote (kuizuia kwako wewe) dhidi ya hasidi kila na
kutoka kila uovu na Allah atakuponya.
Je,
Baada ya haya Maombi, Mtume wa Allah alipona? Kutokana na Hadith yetu ya
kwanza, Mtume wa Allah hakupona licha ya kupata Maombi kutoka Malaika Jibri.
Lakini katika Koran tunasoma kuwa Yesu alikuwa na uwezo wa kuponya watu, kufufua
watu, kuumba, jambo ambalo Jibril na Mtume wa Allah, Muhammad hawakuwa nalo.
Ndugu
zanguni,
Kwanini
mfuate Mtume ambaye hakuwa na uwezo wa kuponya?
Kwanini
mumsikilize, Malaika ambaye hakuwa na Nguvu za kuponya, licha ya kuwa alitumwa
na Allah?
Kwanini
Allah amtume Jibril kwenda kumwombea Mtume Muhammad, huku akifahamu fika kuwa
Muhammad hato pona?
Hayo
ni maswali machache tu ambayo unaweza jiuliza. Je, Allah ni Mungu? Kama ni
Mungu, kwanini alishindwa kuponya Mtume wake Muhammad (Pbuh)?
Biblia
inasema yafuato kupitia Injili kutokana na Marko.
Marko
16: 17“Nazo ishara hizi zitafuatana na wale waaminio: Kwa Jina Langu watatoa
pepo wachafu, watasema kwa lugha mpya, 18watashika nyoka kwa mikono yao na hata
wakinywa kitu cho chote cha kuua, hakitawadhuru kamwe, wataweka mikono yao juu
ya wagonjwa,
nao
watapona.”
Wakristo
wamepewa uwezo wa kuombea wagonjwa katika Jina la Yesu, jamba ambalo halipo
kwenye Uislam. Biblia inasema kwa Jina la Yesu, tutatoa Pepo Wachafu, n.k. Haya
mamlaka tumepewa na Yesu. Yesu ametupa Jina lake ambalo lipo juu ya majina
yote. Ndio jina pekee linaloweza kutoa pepo, kuponya, kufufua na kufanya mengi.
Yesu hakuwa Nabii au Mtu wa Kawaida. Matendo yake yanajidhihiriza kila siku
kupitia wafuasi wake.
Nawasihi
mumpokee Yesu ambaye alikuwa na uwezo wa kufufua watu, kuponya watu na kuumba.
Haya maneno yamesemwa na Allah kwenye Koran na Biblia inakiri hayo.
Kama kweli Allah ni
Mungu, kwanini alimtuma Jibril kumwombea Muhammad wakati akifahamu kuwa
Muhammad atakufa?
Mungu awabariki sana,
Katika Huduma Yake,
Max Shimba
For Max Shimba Ministries
Copyright © Max Shimba Ministries 2013
Mungu awabariki sana,
Katika Huduma Yake,
Max Shimba
For Max Shimba Ministries
Copyright © Max Shimba Ministries 2013
Tuesday, November 5, 2013
UTATA NDANI YA KORAN: NANI ALIKUWA MTEREMSHAJI WA KWANZA WA QURAN KWA MTUME MUHAMMAD?
Adui wa Jibril au Roho Takatifu?
Somo letu la leo tutazungumzia utata ulio jaa ndani ya Koran. Leo hii tutajinfunza kuhusu nani alikuwa wa kwanza kuteremsha Koran kwa Mtume wa Allah.
Katika Qura 2:97 tunasoma kuwa, Jibril ndie aliye kuwa wa kwanza kushusha aya za Quran kwa Mtume wa Allah. Soma kifungu hiki hapa:
Quran 2:97. Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
Hiyo aya hapo juu ipo wazi kabisa kuwa, aliye kuwa adui wa Jibril ndie aliye kuwa mshushaji wa Quran kwa Mtume wa Allah ajulikanaye kwa jina la Muham'mad. Hebu tuendelee kusoma Quran hiyo hiyo na tuone kama ni kweli adui wa Jibril alikuwa wa kwanza kufanya hiyo kazi au kulikuwa na mtu mwingine aliye kuwa anafanya kazi hiyo hiyo ya kushusha Quran kwa Mtume wa Allah.
Rejea hapa:
Quran 16:102. Sema: Ameiteremsha hii Roho takatifu kutokana na Mola wako Mlezi kwa haki, ili awathibitishe wale walio amini, na kuwa ni uwongofu, na ni bishara kwa Waislamu.
103. Na Sisi hakika tunajua kwamba wanasema: Yuko mtu anaye mfundisha. Lugha ya huyo wanaye muelekezea ni ya kigeni, na hii ni lugha ya Kiarabu mbayana.
Katika aya tulizo zisoma hapo juu, tunagundua kuwa Allah alimtumia Roho Takatifu kushusha Aya kwa Mtume wake na si Jibril kama wanavyo dai Waislam na tulivyo soma kwenye Surah 2 aya 97 ni Adui wa Jibril ndie aliye shusha Quran.
Katika Surah 2:97 tunasoma kuwa Mteremshaji wa Quran ni adui wa Jibril.
Katika Surah 16:102-103 tunasoma kuwa Roho Takatifi ndie anateremsha Quran.
Ndugu zanguni. Hivi kwanini Koran inamakosa namna hii? Nani alikuwa mteremshaji wa Koran? Ni Adui wa Jibril au Roho Takatifu?
Nimategemeo yangu kuwa, hili soma litawafungua macho na kufahamu ukweli kuhusu Quran. Kama kweli Allah ni Mungu na yeye ndie aliye kuwa anaishusha Quran kupita Jibril, basi asinge fanya kosa la kumsingizia Roho Takatifu kuwa na yeye alikuwa anashusha Quran au Adui wa Jibril.
Kama kweli Allah ni Mungu, kwanini afanye makosa makubwa namna hii?
Je, Roho Takatifu ni adui wa Jibril?

UTATA NDANI YA KORAN: JE, INJIL ILIKUWEPO WAKATI WA MUSA
Ndugu zanguni,
Leo nitazungumzia makosa na utata ndani ya Koran. Katika somo letu la leo, mtaona utata na makosa kutoka kwa Allah, alipo kuwa anamjibu Musa maombi yake. Allah anamjibu Musa na kumweleza kuwa eti Nabii asiye fahamu kusoma na kuandika yupo ndani ya Injili, huku ikifaamika kuwa Injili ilikuwa bado haikushushwa.
Aya nyingi katika Qur'ani zipo wazi kwamba Injil ilitolewa kwa Yesu ambaye alizaliwa miaka mia kadhaa [1400 BC] baada ya Musa.
Lakini cha kushangza, eti Musa aliye ishi miaka 1400 kabla ya YESU kuzaliwa na yeye anajibiwa na Allah kuhusu Injili ya Yesu kama vile yeye Musa alizaliwa baada ya Yesu. Soma majibu ya Allah kwa Musa hapa chini.
Quran 7: 155. Na Musa akawateuwa watu sabiini katika kaumu yake kwa miadi yetu. Na ulipo fika mtetemeko mkubwa alisema: Ewe Mola wangu Mlezi! Ungeli taka ungeli wahiliki wao na mimi zamani! Unatuhiliki kwa waliyo yafanya wajinga katika sisi? Haya si chochote ila ni mtihani wako, umpoteze umtakaye na umhidi umtakaye. Wewe ndiye Rafiki Mlinzi wetu. Basi tughufirie na uturehemu. Na Wewe ndiye mbora wa kughufiria. ***
156. Na utuandikie mema katika dunia hii na katika Akhera. Sisi tumerejea kwako. (Mwenyezi Mungu) akasema: Adhabu yangu nitamsibu nayo nimtakaye. Na rehema yangu imeenea kila kitu. Lakini nitawaandikia khasa wanao mchamngu, na wanao toa Zaka, na wale ambao wanaziamini Ishara zetu, ***
157. Ambao kwamba wanamfuata huyo Mtume, Nabii, asiye soma wala kuandika, wanaye mkuta kaandikwa kwao katika Taurati na Injili, anaye waamrisha mema na anawakanya maovu, na anawahalalishia vizuri, na ana waharimishia viovu, na anawaondolea mizigo yao na minyororo iliyo kuwa juu yao. Basi wale walio muamini yeye, na wakamhishimu, na wakamsaidia, na wakaifuata nuru iliyo teremshwa pamoja naye - hao ndio wenye kufanikiwa. ***
Koran imejaa mashaka kila sehemu. Leo tunaona Allah anamjimu Musa kuhusu Injili ambayo ilishushwa mika 1400BC. Hivi huyu Allah alipitiwa na kuanza kuzumguzia Isa Bin Maryama kwa Musa au ni kufichuka kwa siri kwamba Quran si kitabu cha Mungu?
Kama kweli Allah ni Mungu, kwanini afanye makosa makubwa namna hii?
Mungu awabariki sana,
Katika Huduma Yake,
Max Shimba
For Max Shimba Ministries
Copyright © Max Shimba Ministries 2013
Monday, November 4, 2013
UISLAM NDIO DINI PEKEE YENYE MTUME MWENYE WAZIMU
Ndugu
zanguni.
Biblia
inasema kuwa, mtawafahamu kwa matunda yao, hayo yalikuwa maneno kutoka Injili
ya [Mathayo 7:16 Mtawatambua kwa matunda yao. Je! Watu huchuma zabibu katika
miiba, au tini katika mibaruti? 17 Vivyo hivyo kila mti mwema huzaa matunda
mazuri; na mti mwovu huzaa matunda mabaya].
Mtume Muhammad
alishindwa kuonyesha uadilifu katika kazi yake. Kazi aliyo dai katumwa na
Mungu, ilijaa maswali mengi ambayo yaliwafanya watu wamuite yeye, Muhammad,
“Mwendawazimu”. Kitendo cha Mtume kuoa Mtoto wa miaka 6, kulileta kizungumkuti,
kwasabau kitendo hicho si cha kibinadamu na hakikufanywa na Mitume walio kuja
kabla yake. Hapa chini ni aya kutoka Koran iliyo teremshwa na mungu wa Islam
kupitia msaada wa Gibril.
Quran
15: 6. Na walisema: Ewe uliyeteremshiwa Ukumbusho! Hakika wewe ni mwendawazimu.
Muhammad
anaitwa mwendawazimu mbele ya kadamnasi. Hayo madai ya uwendawazimu
hayakukataliwa na mtume wa Allah. Alicho fanya Muhammad ni kukaa kimya, jambo
ambalo ni jibu tosha kuwa alikubali kuwa yeye ni Mwendawazimu. Uhakikisho wa
uwendawazimu wake upo kimaandishi.
Hebu
tusome Simulizi zake kidogo: "Kitab al-Tabaqat al-Kabir", (Kitabu cha Madarasa Meja), na
Ibn Sad, kutafsiriwa na S. Moinal Haq, [4], ukurasa wa 225; Muhammad akisema:
O Khadija, Ninaona Mwanga, na nasikia Masautisauti, nina hofu kuwa mimi nina Wazimu.
O Khadija, Ninaona Mwanga, na nasikia Masautisauti, nina hofu kuwa mimi nina Wazimu.
Kwenye hiyo simulizi yake, hapo juu, Mtume wa Allah anakiri
kuwa yeye ni mwendawazimu. Kukiri huko, kunatuletea maswali mengi, ambayo
nategemea mengi ya maswali hayo, yatakosa majibu. Lakini ni vyema tujiulize
maswali. Kwanini Allah aliteremsha aya inayo muita Mtume wake Mwendawazimu? Kwanini
Muhammad hakukataa kuitwa Mwendawazimu? Utume wa huyu Muhammad umejaa shaka,
pale alipo kubali kuwa yeye ni mwendawazimu. Rejea kwenye simulizi yake hapo
juu. Nita nukuu sehemu fupi ya kukubali kwake “O Khadija, …….nina
hofu kuwa mimi nina Wazimu”.
Hatujawai
soma kwenye vitabu vingine vitakatifu kuwa Mitume wa Mungu wa Biblia walikubali
kuwa wao ni Wendawazimu, lakini leo hii tumejifunza kuwa Muhammad mtume Allah,
anakubali kuwa yeye ni Mwendawazimu.
Hivi,
kwanini tufuate mtume aliye kubali kuwa yeye ni Mwendawazimu? Hilo ni swali la
msingi. Allah anasema kuwa watu wa Kitabu ambao ni Wayahudi na Wakristo ndio
wenye elimu na muwaulize wao, mtakapo kuwa na maswali.
Allah
amesha jibu. Wakristo ndio wenye majibu katika hii duni.
MUHAM-MAD ANASEMA:
"Nina hofu kuwa mimi nina Wazimu"
Copyright © Max Shimba Ministries 2013
Copyright © Max Shimba Ministries 2013
Hell pictures_ A Trip To Hell (Full version) / 지옥그림_지옥을 견학하다 (Full version)
http://www.youtube.com/watch?v=dWXkBBIaiVc
http://www.youtube.com/v/dWXkBBIaiVc?version=3&autohide=1&feature=share&showinfo=1&autohide=1&attribution_tag=hY2elLNSMwttZSEiiRSDCA&autoplay=1
http://www.youtube.com/v/dWXkBBIaiVc?version=3&autohide=1&feature=share&showinfo=1&autohide=1&attribution_tag=hY2elLNSMwttZSEiiRSDCA&autoplay=1
Subscribe to:
Comments (Atom)
Ancient Jewish Wedding Ceremony: “No man knows the day or hour, only the Father”
The Ancient Jewish Marriage Rite: A Detailed Exposition of Betrothal, Preparation, and Consummation Dr. Maxwell Shimba Shimba Theological ...
TRENDING NOW
-
Baba umenipa funguo muhimu katika Mathayo 16:19 za kufunga na kufungua. Ninatumia funguo hizo kufunga na kufungua, kuvunja na kubamiza kil...
-
Kuna watu wanapitia mateso mengi sana, wengine wamefungwa katika vifungo bila wao kujijuwa basi chukua muongozo huu utakusaidia au itasaid...
-
Adui anakuja kuiba, kuua na kuharibu kila kitu chetu, ni lazima kuwa tayari kupambana na maadui, tujue silaha zetu, na kutumia neno la Mun...
-
Twakusalimu kwa mara ingine katika jina tukufu na takatifu la Yesu Kristo Bwana wetu. Twazidi pia kukushukuru kwa ajili ...