Ndugu wasomaji.
Kwa mara nyingine tena, tunaziona sifa za Shetani ndani ya Allah wa dini ya Kiislamu. Adhama ya kuwaongoza watu ili waende Jehannamu ni ya Shetani kama ilivyo semwa kwenye Biblia Takatifu. Lakini nilipo soma Koran kwa makini, nikagundua kuwa kumbe na Allah anayo hii adhama ya kupeleka watu Jehannam.
Hebu tumsome Allah kwenye kitabu chake alicho kiteremsha kupitia Jibril kwa Wafuasi wake waitwao "WAISLAMU".
Kwanza: Tumsome Shetani anavyo jisifia kuwa yeye ndie anaye poteza watu. Soma:
Quran 4:119-120
119. Na hakika nitawapoteza na nitawatia matamanio, na nitawaamrisha, basi watakata masikio ya wanyama, na nitawaamrisha, basi watabadili aliyo umba Mwenyezi Mungu. Na mwenye kumfanya Shet'ani kuwa ni mlinzi wake badala ya Allah, basi huyo amekhasiri khasara ya dhaahiri. ***
Katika aya ya 119 hapo juu tumesoma kuwa Shetani amesema kiuwazi kabisa kuwa yeye ndie awapotezao watu ili wafuate njia iendayo Motoni.
120. Anawaahidi na anawatia tamaa. Na Shet'ani hawaahidi ila udanganyifu. ***
121. Hao makao yao ni Jahannamu, na wala hawapati makimbilio kutoka humo.
Shetani anaendelea kusema kuwa yeye ndie anaye tia watu tamaa mbaya na atawapeleka wote ambao watamfuata katika makao yake makuu ambayo ni Jehannam. Koran inasema kuwa Shetan ndie anaye wapoteza watu, au sio? Sasa tumsome Allah, anasema nini katika Koran hiyo hiyo?
Quran 16:93. Na Allah angeli taka, kwa yakini angeli kufanyeni umma mmoja. Lakini anamwachia kupotea anaye mtaka, na anamwongoa amtakaye. Na hakika mtaulizwa kwa yale mliyo kuwa mkiyafanya. ***
Allah nayeye anasema yaleyale aliyosema Shetani. Allah anasema kuwa yeye anamwachia binadamu apotee kwa matakwa yake. Ikimaanisha kuwa Allah na yeye anapeleka watu Jehannam kama afanyavyo Shetani. Hii sifa ya kupeleka watu Jehannam ni ya Shetani, lakini sasa tunaiona hii sifa kwa Allah ambaye ni mungu wa Waislam.
Hebu tuendelee kusoma Allah kwa ushaidi zaidi.
Quran 40: 60. Na Mola wenu Mlezi anasema: Niombeni nitakuitikieni. Kwa hakika wale ambao wanajivuna na kuniabudu Mimi wataingia Jahannamu wadhalilike.
Allah katika aya hapo juu ameamua kuwa muwazi zaidi kwa kusema kuwa, kumbe wale ambao ameamua kuwapeleka Jehannam ni Waislam ambao wanamuabudu na kujisifia kuwa wanafuata dini ya haki.
Ndugu zanguni, huu ni Msiba, tena msiba mkubwa sana katika dini na taifa la Kiislam. Allah kwa mara nyingine tena anasema kuwa Waislam wote wataingia Jehannam. Hayo ni matakwa ya Allah kutokana na Surah 16 aya 93.
Swali la kujiuliza ni hili: Ni Mungu gani huyu mwenye upendo awaingize watu wote wanao muabudu Jehannam? Je, Jehannamu ilitengenezwa kwa wanao mwabudu Mungu au wanao mwabudu Shetani? Je, kuna uwiano wowote ule kati ya mapenzi ya Allah na Shetani? Jibu umesha lipata kuwa Jehannam ilitengenezwa kwa ajili ya Shetani na Wafuasi wake, na si kwa wale wanao mfuata Mungu aliye hai, Mungu wa Biblia ajulikanaye kwa jina la Yehova. Allah kasema kuwa wale wote wanao mwambudu wataingia Jehannam. Je, Allah na Shetani ni yuleyule mmoja?
Ni mategemeo yangu kuwa, utachukua hatua na kuachana na Allah aliye sema kuwa ni matakwa yake kuwaingiza watu Jehannam.
Katika hudumua yake,
Max Shimba
Copyright © Max Shimba Ministries 2013
Saturday, November 16, 2013
MUNGU ANASEMA KUWA HAUNA HATIA TENA
Warumi 5:8-9
Tunawezaje kusema kwamba Bwana ametutangazia kuwa" hatuna hatia " ya dhambi zetu? Jambo la kwanza la kuelewa ni kwamba katika kitendo hiki cha kututangazia kuwa hatuna hatia ya dhambi ilikuwa ni kazi ya Mungu Mwenyewe. Sisi kama binadamu hatuna uwezo wowote ule wa kuondoa hata doa dogo la dhambi zetu wenyewe. Ni kwa sababu hii Mungu Baba alimtuma Mwanae Yesu Kristo ulimwenguni.
Biblia inatuambia kuwa, moja ya malipo ya dhambi ni mauti (Rum 6:23), na kwa sababu Mungu alitaka kutuokoa kutoka adhabu hiyo ya mauti, basi, alitutengenezea njia pekee ya wokovu. Alitoa sadaka kamili: Mwana wake, Yesu Kristo (Rum. 5:08 ) ili afe kwa ajili ya dhambi zetu.
Je, hili tendo la upendo lilikamilisha nini? Lilituwezesha sisi kumwendea Mungu kupitia njia iliyo safi na takatifu, Biblia inasema kuwa Yesu Ndie Njia na Kweli na Uzima, Mtu haji kwa Baba ila kupitia Yeye. Usafi wetu ambao unatuwezesha kwende mbele za Mungu, hauna uhusiano na kitu chochote kila ambacho sisi tumefanya, bali unahusiana na unatokana na ukweli kwamba tumetakaswa na damu ya Yesu. Hivyo basi, tunaweza kusema kwamba " Tumeoshwa na damu ya Yesu" ambayo ndio njia pekee ya kuondoa doa la dhambi zetu.
Hivyo basi, tunapokwenda Mbele za Mwenyezi Mungu kwa kupitia Njia ya Yesu Kristo, kitu kinacho tokea hapo ni kuwa, mbele za Mungu tunaonekana kuwa hatuna Hatia ya dhambi- [kwa maneno mengine, Mungu anatangaza kwetu kuwa "Hatuna hatia dhambi]." Hii ina maana kwamba kama waumini/walio kombolewa na damu ya Yesu, tunaweza kusimama mbele ya Mungu Mtakatifu kwa ukamilifu, kwa sababu sasa Mungu anatuona sisi ni Watoto wake mwenyewe.
Je, damu ya Yesu inatufanya tusitende dhambi tena? Hapana. Hata hivyo, sisi kwa imani yetu katika Yesu Kristo kama Mwokozi tumepewa msamaha wa dhambi zetu kupitia damu yake pale tunalipo tubu na tunakuwa tumeokolewa kutoka hukumu ya Mungu (Warumi 8:01).
Tumshukuru Baba yetu aliye Mbiguni hii leo, si tu kwa ajili ya kutusamehe dhambi zetu, lakini pia kwa ajili ya kutukomboa kutoka mzigo “wa hatia” kupitia Mwanawe wa Pekee Yesu Kristo.
Mungu awabariki sana
Max Shimba
GIVE THANKS TO GOD FOR HOW HE HAS BLESSED YOU IN YOUR LIFE AND ESPECIALLY FOR SENDING CHRIST TO DIE FOR YOU!
Oh give thanks to the LORD, for he is good; for his steadfast love endures forever!
Psalms 118:1
An old pastor and his wife invited a new young couple in the church over for Thanksgiving dinner. As the couple entered the home, they smelled the wonderful turkey and all the trimmings in the kitchen. As the four made their way to the dining room table, there was a great feast before them!
But as the young wife scanned the table, she noticed something out of place. Among the turkey, dressing, casseroles, and pies were three Chinese takeout cartons and a plate of egg rolls!
"I know what you're thinking," the old pastor said. "Why is there Chinese takeout on the table?"
"You see," he continued, "23 years ago on Thanksgiving Day, my dear wife burned the turkey and started a fire in our kitchen! In fact, our entire kitchen nearly caught fire and the whole Thanksgiving meal was charred black!"
"So after the fire department left," he chuckled, "we ordered Chinese takeout and that was our Thanksgiving meal! And every year since, we've had Chinese takeout as a part of our meal to remind us to be thankful for what we have!"
This year, I hope Thanksgiving wasn't just a holiday for you. It should be a way of life for every Christian. We serve a wonderful God who sent his Son to die for you. So as you continue to reflect on what you are thankful for this year, remember God's blessings in your life!
Max Shimba Ministries Org
Monday, November 11, 2013
JE, ISA NI JINA SAHIHI LA YESU WA BIBLIA?
Katika somo letu hili tutajifunza kuhusu jina sahihi la
Yesu/Yashua na tafsiri yake katika Kiarabu. Je, Isa ni jina la Yesu wa Biblia?
Jibu sahihi la kihistoria na la wataalam wa kutafsiri litatupa
ukweli halisi wa Jina la Yesu na kwanini alipewa Jina hilo katika "
sherehe ya kumtaja " (Luka 2:21). Jina ambalo aliitwa na Mama yake, Baba yake
wa Kambo, Ndugu zake na jamaa wengine, majirani zake , marafiki zake na wanafunzi
wake wakati wa maisha yake duniani. Hakuna kutokuelewana kuhusu ukweli kwamba jina
la Yeshua halikuwa la Kiarabu bali la Kiyahudi na Yesu/Yeshua mwenyewe aliishi
katika Israeli, na alizaliwa katika familia ya Wayahudi wacha Mungu.
Jina la Yesu bila ya shaka yeyote ile ni la Kiyahudi. (Maana
yake ni “kweli”). Tafsir ya jina la Yeshua Kiebrania katika Kiingereza itakuwa ni
Jesus. Jina la Yesu halikuchaguliwa kiholela na wazazi wake, lakini yeye
alipata jina lake moja kwa moja kutoka kwa Mungu (Mathayo 1:21 , Luka 1:31) kwa
sababu ya maana ya jina lake na nani alilileta, basi leo hii tunaelewa madhumuni
ya Yesu kuzaliwa na kuja hapa duniani (Mathayo 1:21 ).
Katika utamaduni na jadi ya Kiarabu. Jina la Yesu ni
Yasu na si Isa kama ilivyo andikwa kwenye Koran ya Kiislam. Na hata leo, jina
la Yasu linatumiwa na zaidi ya 99.99% ya Wakristo wote wa Kiarabu. Tembea
katika kanisa lolote la Kiarabu huto sikia wanatumia jina la Isa, Sikiliza
matangazo ya Wakristo wa Kiarabu katika Radio na Televisheni (za Kiarabu) huto
sikiwa Mkristo anatumia jina la Isa, bali wanatumia jina la Yasu. Matangazo
yote ya Kikristo katika Uarabu wanatumia jina la Yasu. Kamwe huto ona jina la
Isa kama lilivyo kwenye Koran ya Waislamu.
Katika jadi ya Kiarabu na utoaji wa tafsiri wa jina,
jina sahihi la Kiebrania (Yeshua) ni
Yasu katika Kiarabu. Kila uchaguzi wa tafsiri ya jina la kigeni katika lugha
tofauti ni uvumbuzi wa binadamu.
Kiisimu ipo wazi jinsi jina la Yeshua Kiebrania lilivyo
tafsiriwa na kuwa Yesu Kiswahili na
Jesus Kiingereza:
Yeshua '(Kiebrania) -> Ιησους (Kiyunani) -> Yesu
(Kilatini) -> Jesus (Kiingereza) -> Yesu (Kiswahili).
Mpito muhimu ni kutoka Kiyahudi kwenda Kigiriki. Hatua
hii ilifanyika miaka 200 kabla ya Yesu kuzaliwa. Watafsiri wa Septuaginta
(LXX), classical Kigiriki tafsiri ya maandiko ya Kiyahudi, kutokaa Yeshua
Kiebrania jina kama Ιησους katika Kigiriki. Injili ziliandikwa katika lugha ya
Kigiriki ilitumia utamaduni huu wa kutafsir kwa muda mrefu.
Kwasababu Kiyahudi na Kiarabu ni lugha mbili za
Kisemiti, na zina uhusiano wa karibu, kuna baadhi ya sheria maalumu ambayo
sauti/maneno/maandishi ya Kiebrania yanahusiana na ambayo sauti/maneno katika
Kiarabu. Hasa, Neno la Kiebrania Shin mara kwa mara linatumika kama Dhambi katika
Kiarabu, kwa mfano neno la Kiyahudi la amani, shalom ni sambamba na neno “salam”
la Kiarabu. Kulingana na sheria za lugha na mahusiano kati ya Kiyahudi na
Kiarabu, Yasu 'ni sahihi kwa Kiarabu na kwa Kiebrania ni Yeshua:
Yeshua '= Yod + + Shin Waw +' Ain
Yasu '= + Ya + Sin Waw
+' Ain
Tena, katika lugha sahihi, jina la Yasu ni Kiarabu sawa
na Yeshua Kiebrania. Hivyo, katika utamaduni na jadi ya Kiarabu jina la Yasu ndilo
sahihi na pekee kutokana na kiisimu. Mpito kutoka Yeshua kwa Yasu inafuata
sheria ya kawaida ya mabadiliko fonetiki kutoka Kiyahudi na Kiarabu. Yasu ni jina
la Kiarabu la Yesu. Kinyume chake, Yasu ndio jina lenye asili ya Yeshua.
Early Hebrew (long form):
Yehoshua' = Yod + He + Shin + Waw
+ 'Ain
Later Hebrew (short form):
Yeshua' = Yod + Shin + Waw + 'Ain
Arabic (Christian):
Yasu' = Ya + Sin +
Waw + 'Ain
Arabic (Muslim):
'Isa = 'Ain + Ya + Sin
+ Ya
“Ya” na “Waw” ni maneno dhaifu, katika lugha ya Kiarabu,
hufundisha kwamba mtu anaweza kurejea katika maneno mengine kama kuchukua juu
ya aina mbalimbali (declension, inflection). Hivyo, mtu anaweza kuona kwamba
fomula ya Kiislamu 'Isa kimsingi ni ya bandia/kutungwa na binadamu (inversion)
(pamoja na mabadiliko ya Waw ili Ya) kwa Mkristo wa Kiarabu jina la Yesu ni Yasu
na si Isa kama ilivyo andikwa kwenye Koran ya Kiislamu.
Nategemea leo umejifunza tofauti iliyopo kati ya Jina
la Yesu-Kiswahili, Yasu-Kiarabu na Yeshua-Kiebrani.
Jina la Yesu Libarikiwe Sana
Katika Huduma yake
Max Shimba
Copyright © Max Shimba Ministries 2013
Katika Huduma yake
Max Shimba
Copyright © Max Shimba Ministries 2013
YESU KRISTO ALIKUJA KWA MATAIFA YOTE
Bwana Yesu Asifiwe!!
Leo ningependa tujikumbushe kidogo kazi ambayo tulipewa na Yesu kristo ya kuhubiri Injili kwa mataifa yote.
Injili ikiwa na maana ya Habari Njema kama ilivyo fundishwa na Yesu Kristo, ndio Neno tulilopewa sisi Wafuasi wa Yesu kulitanganza kwa Mataifa yote.
Hebu tuendelee kusoma yale ambayo Yesu aliwaagiza wafuasi Wake wa kweli, ambao waliamini kwamba Yeye ni Mwana wa Mungu, ni Masiya.
Kueneza injili ni kazi ya wakristo wote ulimwenguni. Imeandikwa Mathayo 28:19-20 "basi enendeni mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi mkiwabatiza kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho mtakatifu na kuwafundisha kuyashika yote niliyo waamuru ninyi na tazama mimi nipo pamoja nanyi siku zote hata ukamilifu wa dahari."
Habari njema nilazima ihubiriwe kote kabla ya kurudi kwa Yesu. Imeandikwa Mathayo 24:14 "Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote kuwa ushuhuda kwa mataifa yote hapo ndipo ule mwisho utakapokuja."
Tumeitwa tuwe mabalozi wa Yesu imeandikwa 2Wakorintho 5:20 "Basi tuwajumbe kwa ajili ya Kristo kana kwamba Mungu anasihi kwa vinywa vyetu; twawaomba ninyi kwa ajili ya Kristo mpatanishwe na Mungu."
Kueneza injili nikuzungumza kwaniaba yake Mungu na kuutangaza ukweli wake imeandikwa Marko 16:15 na Yohana 13:35 "Akawaambia enendeni ulimwenguni mwote mkaihubiri injili kwa kila kiumbe... hivyo watu wote watatambua ya kuwa ninyi mmekuwa wanafunzi wangu, mikiwa na upendo ninyi kwa ninyi."
Injili ni zaidi ya kuhubiri na ushuhuda imeandikwa Isaya 60:1 "Ondoka ukaangaze kwakuwa nuru yako imekujia na utukufu wa Bwana umekuzunguka. Imeandikwa Isaya 61:1 " Roho ya Bwana Mungu I juu yangu kwa sababu Bwana amenitia mafuta ni wahubiri wanyenyekevu habari njema amenituma ili kuwanganga waliovunjika moyo kuwatangazia mateka uhuru wao na hao walio fungwa habari ya kufunguliwa kwao."
Yesu anamalizia mahubiri Yake yote kwa mfano. Bila shaka ni mfano wenye kuonyesha mahusiano kati ya wokovu na utii.
“Basi, kila asikiaye hayo maneno yangu na kuyafanya, atafananishwa na mtu mwenye akili, aliyejenga nyumba yake juu ya mwamba; mvua ikanyesha, mafuriko yakaja, pepo zikavuma, zikaipiga nyumba ile isianguke; kwa maana misingi yake imewekwa juu ya mwamba. Na kila asikiaye hayo maneno yangu asiyafanye, atafananishwa na mtu mpumbavu, aliyejenga nyumba yake juu ya mchanga; mvua ikanyesha, mafuriko yakaja, pepo zikavuma, zikaipiga nyumba ile, ikaanguka; nalo anguko lake likawa kubwa” (Mathayo 7:24-27).
Mfano wa mwisho wa Yesu si “njia ya kufanikiwa maishani” kama wengine wanavyotumia. Mada siyo jinsi ya kufanikiwa kifedha wakati mambo ni magumu, kwa kuziamini ahadi za Yesu. Hili ni hitimisho la yote ambayo Bwana Yesu alisema katika Mahubiri Yake pale Mlimani. Wale wanaotenda aliyosema ni wenye hekima nao watadumu; hawana haja ya kuogopa ghadhabu au hasira ya Mungu. Wale wasiomtii Yeye ni wapumbavu na watateseka kweli, na kupata “adhabu ya kuangamia milele” (2Wathes. 1:9).
Yesu aliwaambia wanafunzi Wake hivi: “Basi, enendeni mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi … na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi …” (Mathayo 28:19-20 – Maneno mepesi kutilia mkazo).
Jina la Yesu Libarikiwe Sana
Katika Huduma yake
Max Shimba
Copyright © Max Shimba Ministries 2013
Sunday, November 10, 2013
MUHAM-MAD SI MTUME WA AMANI - SI MTUME WA MUNGU YOYOTE
Baada ya kufanya utafiti wa makini wa Quran na maisha ya Muham-mad nimegundua kutwa Marehemu Muham-mad ahakuwai ongea na Allah wala Mjumbe yeyote yule kutoka kwa Allah na hakuwa na Ufuno wowote ule kutoka kwa Mungu, kama alivyo dai kwenye Koran ya Jibril.
(Sahih al-Bukhari, Volume 9, Book 93, Number 477)
Amehadithia Masruq:
Mimi nilimuuliza 'Aisha, "O Mama! Je Mtume Muhammad aliwai kumuona Bwana wake?" Aisha akasema, "Kile umesema hufanya nywele yangu kusimama juu ya mwisho kujua kwamba kama mtu atakwambia moja ya mambo matatu yafuataho, HUYO NI MUONGO!. Yeyote atakayekwambia kwamba Muhammad alimwona Bwana wake, NI MWONGO"
Quran 2:191. Na wauweni popote mwakutapo, na muwatoe popote walipo kutoeni; kwani fitina ni mbaya zaidi kuliko kuuwa. Wala msipigane nao kwenye Msikiti Mtakatifu mpaka wakupigeni huko. Wakikupigeni huko basi nanyi pia wapigeni. Na hivi ndivyo yalivyo malipo ya makafiri.
Quran 2:193. Na piganeni nao mpaka pasiwepo fitina, na Dini iwe ya Allah tu. Na kama wakiacha basi usiweko uadui ila kwa wenye kudhulumu.
Quran 2:216. Mmeandikiwa kupigana vita, navyo vinachusha kwenu. Lakini huenda mkachukia kitu nacho ni kheri kwenu. Na huenda mkapenda kitu nacho ni shari kwenu. Na Mwenyezi Mungu anajua na nyinyi hamjui.
Muham-mad alimzulia Allah na akamgeuza kuwa mungu wa makosa ya jinai na kujipa nguvu ya kisiasa kwa ajili yake mwenyewe na kutumia mafundisho yake alifanya ya kutungwa, inadaiwa alipokea ujumbe huu kutoka kwa Mungu Bandia, kama ambavyo wanazuoni walivyo halalisha ujangiri huu wa kidini na kisheria kwa ajili ya uhalifu wake. Allah aliishi ndani ya mawazo ya Muham-mad, lakini hakukuwa na kitu kama Mungu aitwaye Allah. Muhammad na Allah ni mtu mmoja na au kitu kilekile.
Quran 9:14. Piganeni nao, Allah awaadhibu kwa mikono yenu, na awahizi na akunusuruni muwashinde, na avipoze vifua vya kaumu ya Waumini
Quran 47:35. Basi msiregee na kutaka suluhu, maana nyinyi ndio mtakao shinda. Na Mwenyezi Mungu yu pamoja nanyi, wala hatakunyimeni malipo ya vitendo vyenu.
Kama alivyo dai kwenye Koran yake Bandia, Muhammad alifanya udanganyifu, alitesa watu, alifanya mauaji kwa watu wasio na hatia, mauaji ya watoto, mauaji ya akina mama, uporaji, wizi, utumwa na ubakaji na kuvifanya kuwa ni hala na (kisheria), kustahili ya peponi, kama muda wao walikuwa unaofanywa juu ya makafiri. Mafundisho haya mabaya na ya kishetani yakaingizwa kwenye Koran yake na kuwa sheria ya milele ya Allah mpinga Mungu. Muhammad hakuwa Mtume wa Mungu bali alikuwa mtenda dhambi na mwenye makosa ya Jinai.
For Max Shimba Ministries
Copyright © Max Shimba Ministries 2013
Saturday, November 9, 2013
KORAN HAIKUTEREMSHWA KUTOKA KWA ALLAH
Je,
ungependa kuwafahamu waandishi wa Koran?
Katika
somo letu la leo, tutajifunza kuhusu waandishi wa Koran. Je, ni kweli Koran
ilishushwa? Je, kuna ushaidi wa kutosha wa kusaidia madai ya kuteremshwa kwa
Koran?
Unaposema
kuwa Allah ndie mwandishi wa Qur'ani, ni uongo mkubwa sana na wengi wameukubali huu uongo na udanganyifu
kwamba eti Koran ilishushwa wakatia inafahamika kuwa iliandikwa miaka 1400AD.
Mtu mwenye
fikra anaweza kusema bila ya wasiwasi kuwa Qur'ani iliandikwa na watu kadhaa
ambao wanajulikana kimajina. Waandishi Mashuhuri zaidi miongoni mwao ni hawa
hapa:
Imrul
Qays-mshairi: wa kale wa Arabia ambaye alifariki miaka michache kabla ya
kuzaliwa Muhammad
Zayd
b. Amr b. Naufal:-'lililopotoka' wa wakati wake ambaye alihubiri na kupandwa
Hanifism
Labid:-mshairi
mwingine
Hasan
b. Thabit:-mshairi rasmi wa Muhammad
Salman:
– Mshauri wa Kiajemi wa Muhammad
Bahira:-Nestoraian
Mkristo mtawa wa Kanisa huko Syria
Jabr:-Jirani
wa Kikristo wa Muhammad
Ibn
Qumta:-Mtumwa wa Kikristo
Khadija:-Mke
wa kwanza wa Muhammad
Binamu
Waraqa:- Ndugu ya Khadija
Ubay
b. Katibu Ka'ab;-Muhammad na Mwandishi wake
Muhammad:
– Mwenyewe
Hapa
chini, nitaandika historia fupi ya baadhi ya waandishi wa Koran. Nitaanza na
Bahira ambaye alikuwa ni Mtawa wa Kikrito.
Bahira
Bahira alikuwa Mtawa wa Kikristo wa Nestorian aliyeishi katika Sham (Syria).
Jina lake la Kikristo lilikuwa Sergio Georgius. Inaaminika kwamba alifukuzwa
kutoka utawa baada ya makosa.
Katika
mji wa Makkah, alikutana na Muhammad, akawa karibu sana na yeye na kukaa pamoja
naye. Yeye alikuwa na mazungumzo ya siri na Muhammad, ambayo yeye hakika alimwambia
Muhammad mambo mengi ya Ukristo. Aya kadhaa
katika Qur'an zinazozungumzia Ukristo zilitoka kwa huyu Mtawa Bahira.
Mfano,
aya zote za ndani ya Kuran zinazozungumzia kitabu cha Zaburi zilihaririwa na
huyu Mtawa Bahira:
4.163
Hakika Sisi tumekuletea wahyi wewe kama tulivyo wapelekea wahyi Nuhu na
Manabii walio kuwa baada yake. Na tulimpelekea wahyi Ibrahim na Ismail na
Is-haka na Yaakub na wajukuu zake, na Isa na Ayub na Yunus na Harun na
Suleiman, na Daud tukampa Zaburi.
17: 55. Na
Mola wako Mlezi anawajua vilivyo waliomo mbinguni na katika ardhi. Na hakika
tumewafadhilisha baadhi ya Manabii kuliko wengine; na Daudi tulimpa Zaburi.
21:105. Na
hakika tulikwisha andika katika Zaburi baada ya Kumbukumbu, ya kwamba nchi
watairithi waja wangu walio wema.
2:113. Na
Mayahudi husema: Wakristo hawana lao jambo. Na Wakristo husema: Mayahudi hawana
lao jambo. Na ilhali wote wanasoma Kitabu hicho hicho (Biblia). Na kadhaalika
walisema wale wasio jua kitu mfano wa kauli yao hii. Basi Mwenyezi Mungu
atahukumu baina yao Siku ya Kiyama katika yale waliyo kuwa wakikhitilafiana.
UTATA KATIKA KUUMBA DUNIA: Je, Allah aliumba Dunia kwa siku 6 au 8?
UTATA KATIKA KUUMBA DUNIA
Je, Allah aliumba Dunia kwa siku 6 au 8?
Katika somo letu la leo, tutajifunza kuhusu
uumbaji wa Dunia. Allah wa Uislam, anasema kuwa yeye ni Mungu na aliumba Dunia
na vitu vyote vilivyo ndani yake. Hebu tuanze somo letu kwa kusoma aya za
Quran.
Allah anasema katika Sura 7:54, 10:3, 11:7,
na 25:59 kuwa, aliumba dunia kwa siku 6.
Soma aya hizi hapa chini kwa ushaidi zaidi.
Quran 7:54. Hakika Mola Mlezi wenu ni
Mwenyezi Mungu aliye ziumba mbingu na ardhi katika siku sita. Kisha akatawala
juu ya Kiti cha Enzi. Huufunika usiku kwa mchana, ufuatao upesi upesi. Na jua,
na mwezi, na nyota zinazo tumika kwa amri yake. Fahamuni! Kuumba na amri ni
zake. Ametukuka kabisa Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote.
Surah 10: 3. Hakika Mola wenu Mlezi ni Mwenyezi Mungu, ambaye ameziumba
mbingu na ardhi kwa siku sita, na ametawala kwenye ufalme wake, anaendesha
mambo yote. Hapana mwombezi ila baada ya idhini yake. Huyo ndiye Mwenyezi
Mungu, Mola wenu Mlezi. Basi muabuduni Yeye. Je! Hamkumbuki?
Lakini Ndugu zanguni, nilipo endelea
kuchunguza Quran nikagundua kuwa, kumbe Allah alidanganya pale alipo sema kuwa
aliumba Dunia kwa siku sita. Sasa ungana nami katika uchunguzi wa uumbaji wa
dunia kama ulivyo wekwa kiuwazi zaidi kupitia Quran iliyo shushwa na Jibril.
Sasa tutasoma Surah ya 41: 9-12. Katika hizi
aya tutakazo zisoma, utangudua kuwa Allah hakuumba Dunia kwa Siku 6 kama alivyo
dai hapo mwanzoni.
HII AYA INASEMA ALLAH KAUMBA KWA SIKU MBILI
(2)
Quran 41:9. Sema: Hivyo nyinyi mnamkataa aliye umba
ardhi katika siku mbili, na mnamfanyia washirika? Huyu ndiye Mola Mlezi wa
walimwengu wote.
+
HAPA ALLAH ANAUNGANISHA
MAWINGU NA ARDHI KWA SIKU NNE(4)
Quran
41:10. Na akaweka humo
milima juu yake, na akabarikia humo na akakadiria humo chakula chake katika
siku nne. Haya ni sawa kabisa kwa wanao uliza 11. Kisha akazielekea
mbingu, na zilikuwa moshi, akaziambia hizo na ardhi: Njooni, kwa khiari au kwa
nguvu! Vyote viwili vikasema: Tumekuja nasi ni wat'iifu.
+
HAPA ALLAH ANAZITENGENEZA
MBINGU KWA SIKU MBILI (2)
Quran
41:12. Basi akazifanya mbingu saba kwa siku mbili, na
akazipangia kila mbingu mambo yake. Na tukaipamba mbingu ya chini kwa mataa na
kwa ulinzi. Hichi ndicho kipimo cha Mwenyezi Mungu Mwenye Kujua.
HIZI ZOTE KWA PAMOJA NI SIKU NANE (8)
Siku mbili kwa ajili ya viumbe wa dunia, basi
siku nne kujaza ardhi na milima baraka, na chakula kwa ajili ya wakazi wake
wote, na mwisho kwa siku mbili zaidi ili kujenga mbingu saba na kujenga nyota
yao. Hii inaongeza hadi 2 + 4 + 2 = siku 8 kinyume na siku 6 zilizotajwa katika
aya nyingine.
NGOJA NIWEKE KWA UFUPI
Muundo ni wazi sana: Haya ni Matabaka Matatu ambayo
ni umbaji chini hadi juu:
Quran 41:9*** Mbingu
[angani, "dari" juu ya dunia] katika siku 2
----------
Quran 41:10*** BARAKA [kujaza dunia na kila kitu zinahitajika kwa
ajili ya maisha] katika siku 4
---------
Quran 41:12***EARTH [msingi] kukamilika katika siku 2
Ndugu
zanguni, hivi Allah alishindwa mahesabu au ndio kutuhakikishia kuwa yeye hakuwa
Muumbaji? Kwanini Allah afanye makosa makumbwa namna hii? Leo Allah kwa mara
nyingine tena ametuhakikishia kuwa yeye si Muumbaji. Uchaguzi ni wako, kufuata
Allah asiye fahamu aliumba Dunia kwa Siku Ngapi au Jehova ambaye alisema
aliumba Dunia kwa siku 6.
Katika huduma yake.
Max Shimba
For Max Shimba Ministries
Copyright © Max Shimba Ministries 2013
Friday, November 8, 2013
UTATA KATIKA KORAN: ADAM ALIUMBWAJE?
Binadamu aliumbwa kutoka nini? Tone la Damu? Maji? Udongo? Vumbi?
Jamani huu nao ni Msiba Mkubwa katika taifa la Allah. Hivi, Allah alikuwa msanii au alikuwa nani/ Maana anapenda sana kuchanganya madawa. Leo ALLAH AMELETA UTATA Katika uumbaji wa Binadamu. Sasa tuanze kwa kusoma kitabu chake kilicho shushwa na Jibril msaidi wake.
Je, Adam aliumbwa kwa tone la Damu?
Quran 96 1-2
1. Soma kwa jina la Mola wako Mlezi aliye umba, ***2. Amemuumba binaadamu kwa tone la damu, ***
Allah anasema kuwa, Binadamu aliumbwa kwa tone la damu. Endela kupa ilmu ya Koran.
Je, Adam aliumbwa kutokana na Maji?
Quran 25:54. Naye ndiye aliye muumba mwanaadamu kutokana na maji, akamjaalia kuwa na nasaba na ushemeji. Na Mola wako Mlezi ni Muweza. ***
Allah anachanganya madawa. Sasa anaumba Mwanadamu kupitia MAJI. Tuendelee kusoma usanii wa Allah.
Je, Binadamu aliumbwa kutoka kwa Udongo?
Quran 15:26. Na tulimuumba mtu kwa udongo unao toa sauti, unao tokana na matope yaliyo tiwa sura. ***
Allah amebadilika tena, sasa anaumba Mwanadamu kupitia Udongo. Jamani huu si Msiba?
Endelea kupata Elimu.
Je, Binadamu aliumbwa kutoka VUMBI?
Quran 30:20. Na katika Ishara zake ni kuwa kakuumbeni kutoka Vumbi. Kisha mmekuwa watu mlio tawanyika kote kote. ***
Ndugu zanguni, hivi kweli Koran ilishushwa kutoka kwa Mungu? Mbona kuna UATAT kila sehemu?
Binadamu aliumbwa kutoka nini? Tone la Damu? Maji? Udongo? Vumbi?
Kweli Allah anafahamu yote, ingawa hajui alimuumbaje Adam.
Katika Huduma yake
Max Shimba Ministries Org.
Jamani huu nao ni Msiba Mkubwa katika taifa la Allah. Hivi, Allah alikuwa msanii au alikuwa nani/ Maana anapenda sana kuchanganya madawa. Leo ALLAH AMELETA UTATA Katika uumbaji wa Binadamu. Sasa tuanze kwa kusoma kitabu chake kilicho shushwa na Jibril msaidi wake.
Je, Adam aliumbwa kwa tone la Damu?
Quran 96 1-2
1. Soma kwa jina la Mola wako Mlezi aliye umba, ***2. Amemuumba binaadamu kwa tone la damu, ***
Allah anasema kuwa, Binadamu aliumbwa kwa tone la damu. Endela kupa ilmu ya Koran.
Je, Adam aliumbwa kutokana na Maji?
Quran 25:54. Naye ndiye aliye muumba mwanaadamu kutokana na maji, akamjaalia kuwa na nasaba na ushemeji. Na Mola wako Mlezi ni Muweza. ***
Allah anachanganya madawa. Sasa anaumba Mwanadamu kupitia MAJI. Tuendelee kusoma usanii wa Allah.
Je, Binadamu aliumbwa kutoka kwa Udongo?
Quran 15:26. Na tulimuumba mtu kwa udongo unao toa sauti, unao tokana na matope yaliyo tiwa sura. ***
Allah amebadilika tena, sasa anaumba Mwanadamu kupitia Udongo. Jamani huu si Msiba?
Endelea kupata Elimu.
Je, Binadamu aliumbwa kutoka VUMBI?
Quran 30:20. Na katika Ishara zake ni kuwa kakuumbeni kutoka Vumbi. Kisha mmekuwa watu mlio tawanyika kote kote. ***
Ndugu zanguni, hivi kweli Koran ilishushwa kutoka kwa Mungu? Mbona kuna UATAT kila sehemu?
Binadamu aliumbwa kutoka nini? Tone la Damu? Maji? Udongo? Vumbi?
Kweli Allah anafahamu yote, ingawa hajui alimuumbaje Adam.
Katika Huduma yake
Max Shimba Ministries Org.
UTATA KATIKA UUMBAJI WA MAJINI
ALLAH: UTATA KATIKA UUMBAJI WA MAJINI
Je, Majini yaliumbwaje?
Leo hii tutajifunza UTATA wa Allah katika uumbaji wa Majini. Hebu tusome kwanza hii aya kutoka Koran iliyo shushwa na Jibril ambaye ni msaidizi wa Allah.
Quran 15: 27. Na Majini tuliwaumba kabla kwa moto wa upepo umoto. ***
Katika aya hapo juu tumesoma kuwa Allah aliumba Majini kwa "MOTO" wa upepo Umoto. Hivyo ndivyo Majini yaliumbwa kutokana na Koran. Lakini nilipo soma kwa uzaidi na au undani Je, Allah aliumba vipi vitu vyote vyenye uhai, nilibakia nikishangaa kama Majini nayo yapo kwenye viumbe vyenye uhai. Hebu soma hii aya hapa chini.
Quran 21: 30. Je! Hao walio kufuru hawakuona kwamba mbingu na ardhi zilikuwa zimeambatana, kisha Sisi tukazibabandua? Na tukaumba kwa maji kila kilicho hai? Basi je, hawaamini? ***
Katika aya tuliyo isoma ya 30. Allaha anasema kuwa aliumba kila kitu chenye uhai kupitia 'MAJI" Je, Majini ni viumbe vyenye uhai. Kama ni kweli, kwanini Koran inatuambia kuwa Majini yaliumbwa kupitia MOTO.
Ndugu zanguni, leo, kwa mara nyingine tena Allah amesema UONGO.
Kwanini tumfuate Allah mwenye kigeugeu namna hii?
Katika Huduma yake
Max Shimba Ministries Org.
Je, Majini yaliumbwaje?
Leo hii tutajifunza UTATA wa Allah katika uumbaji wa Majini. Hebu tusome kwanza hii aya kutoka Koran iliyo shushwa na Jibril ambaye ni msaidizi wa Allah.
Quran 15: 27. Na Majini tuliwaumba kabla kwa moto wa upepo umoto. ***
Katika aya hapo juu tumesoma kuwa Allah aliumba Majini kwa "MOTO" wa upepo Umoto. Hivyo ndivyo Majini yaliumbwa kutokana na Koran. Lakini nilipo soma kwa uzaidi na au undani Je, Allah aliumba vipi vitu vyote vyenye uhai, nilibakia nikishangaa kama Majini nayo yapo kwenye viumbe vyenye uhai. Hebu soma hii aya hapa chini.
Quran 21: 30. Je! Hao walio kufuru hawakuona kwamba mbingu na ardhi zilikuwa zimeambatana, kisha Sisi tukazibabandua? Na tukaumba kwa maji kila kilicho hai? Basi je, hawaamini? ***
Katika aya tuliyo isoma ya 30. Allaha anasema kuwa aliumba kila kitu chenye uhai kupitia 'MAJI" Je, Majini ni viumbe vyenye uhai. Kama ni kweli, kwanini Koran inatuambia kuwa Majini yaliumbwa kupitia MOTO.
Ndugu zanguni, leo, kwa mara nyingine tena Allah amesema UONGO.
Kwanini tumfuate Allah mwenye kigeugeu namna hii?
Katika Huduma yake
Max Shimba Ministries Org.
Subscribe to:
Comments (Atom)
BREAKING VIDEO: IDF pounding Hezbollah training compounds
BREAKING VIDEO: IDF pounding Hezbollah training compounds. The targets included a Radwan Force training facility used for weapons drills ...
TRENDING NOW
-
Baba umenipa funguo muhimu katika Mathayo 16:19 za kufunga na kufungua. Ninatumia funguo hizo kufunga na kufungua, kuvunja na kubamiza kil...
-
Kuna watu wanapitia mateso mengi sana, wengine wamefungwa katika vifungo bila wao kujijuwa basi chukua muongozo huu utakusaidia au itasaid...
-
Adui anakuja kuiba, kuua na kuharibu kila kitu chetu, ni lazima kuwa tayari kupambana na maadui, tujue silaha zetu, na kutumia neno la Mun...
-
Twakusalimu kwa mara ingine katika jina tukufu na takatifu la Yesu Kristo Bwana wetu. Twazidi pia kukushukuru kwa ajili ...