Saturday, June 18, 2016

MUHAMMAD SIO MTUME KWASABABU HAKUWAI ONGEA NA MUNGU

Leo ningependa tujikumbushe mambo machache ambayo labda hatukuyatilia maanani. Mitume wote na manabii wote wa Biblia waliwai ongea na Mungu. Lakini, Mtume wa Allah ambaye sio Yehoah "Muhammad" hakuwai ongea na Mungu HATA MARA MOJA. Je, utume wake tutauamini vipi maana hakuwai ongea na aliye mtuma?
Lakini Mitume wote wa Biblia waliongea na Mungu.
1. Musa anoangea na Mungu: Kutoka 3:1-21
2. Elia anaongea na Mungu: 1 Wafalme 19- Soma yote
3. Yeremia anaongea na Mungu (Yeremia 1:5)
4. Yona anaongea na Mungu (Yona 3:2)
5. MTUME Paulo anaongea na Mungu: Matendo ya Mitume 18:9Wagalatia 1:1 Paulo, mtume, si mtume wa wanadamu aliyetumwa na mwanadamu, bali na Yesu Kristo na Mungu Baba aliyemfufua Yesu kutoka kwa wafu
Biblia ipo wazi kabisaa, kuwa Paulo alitumwa na Mungu, wakati Muhammad alitumwa na Jibril ambaye si Mungu. Koran inakiri kuwa Muhammad alikutana na Jibril na hakuwai kukutana na au ongea na Mungu hata mara moja. Lakini tunasoma katika Biblia kuwa, Paulo alipewa utume na Mungu mwenyewee.
Warumi 1:1 Paulo, mtumishi wa Kristo Yesu, ALIYEITWA KUWA MTUME na kutengwa kwa ajili ya Injili ya Mungu.
Hiyo ni mifano michache kutoka Biblia.
Kama Muhammad alikuwa Mtume wa Mungu, kwanini hakuongea na Mungu aliye Mtuma? Maana ya neno Mtume kwa kifupi: Ni Mtu aliye tumwa.
HEBU TUANGALIE, HUYU MUHAMMAD ALIZALIWAJE?
1.KUZALIWA KWAKE,
Abu Huraira (r.a) amesimulia kuwa "Mtume Muhammad (s.a.w) alikuwa na shetani tangu alipozaliwa, (Fat'hul Baary Juzuu ya 6 Uk. 389).
Je, kuna ushahid wowote ule kuwa Muhammad alitolewa Shetani? Kama upo Basi Waislam, tuleteeni tuuone.
2.BAADA YA KUTOKA PANGONI,
Basi Mtume akafanya khofu, akarejea kwa mkewe, akamhadithia, na pale pale homa kubwa kabisa, ikampanda, akataka afunikwe maguo, akawa anatetemeka kwa ngerema, na kuweweseka, na kusema, "Najikhofia nafsi yangu, kuchezewa na mashetani, na kuniharibu akili yangu na kunizuga"(Kitabu cha maisha ya Nabii Muhamaad s.a,uk.17 kilichoandikwa na Sheiky A.Farsy).
KUFUATANA KITABU CHA MAISHA YA NABII MUHAMMAD, tunajifunza kuwa Muhammad kwa mara ya kwanza kabisa alipata utume wake pangoni baada ya NAFSI YAKE KUCHEZEWA NA MASHETANI.
MASWALI:
(i). Kama Jibril ndie alitumwa na Allah, na huyo Allah ni Mungu, kwanini Muhammad alisema kuwa nafsi yake imechezewa na MASHETANI baada ya kukutana na Jibril?
(ii). Kama Jibril alitoka kwa Allah, kwanini Muhammad alipo toka pangoni alisema kuwa Jibril AMEMZUGA AKILI YAKE?
3.KUROGWA KWAKE,
Amesema Mwanaisha Mkewe Mtume kuwa "Yahudi Mmoja aitwaye Labiid bin Al'answan alimroga Mtume Muhammad, ikawa Mtume baadhi ya Nyakati huchanganyikiwa na kuanza kuita Ovyo ovyo na kupiga makelele. (Sahih Muslim J. 4 uk. 38-39)
MASWALI:
(a) Hivi, kuna Mtume au Nabii yeyote yule ambaye alikiri kurogwa?
(b) Hivi Allah alikuwa wapi wakati Muhammad anarogwa?
(c) Wapi tunasoma kuwa Muhammad aliombewa na kutoa huo uchawi/urogi aliofanyiwa na Labiid bin Al'answan?
YAANI INA MAANA MUNGU ALIKOSA MTU WA KUTUMA MPAKA ATUME MTU ALIYECHEWA NA MASHETANI KAMA HUYU?
Ndugu msomaji,
Muhammad hakuwa Mtume wa Mungu na wala hana sifa za KITUME.
1. Muhammad hakuwai ongea na Allah aliye mtuma.
2. Muhammad alikuwa na Shetani tokea kuzaliwa kwake.
3. Muhammad alikiri kuchezewa na Shetani wakati wa kusimikwa utume wake Pangoni.
4. Muhammad alikiri kuwa Shetani amechezea akili na nafsi yake.
5. Muhammad alikiri kuwa alirogwa na Labiid bin Al'answan.
SASA WAISLAM, NIONYESHENI, wapi kwenye Taurat, au Zaburi au Injili kama kuna Mtume aliye na sifa za ajabu kama za Muhammad.
Karibuni kwa Yesu ambaye ndie Njia Pekee ya Kwenda Mbinguni.
Max Shimba Ministries Org.

KWANINI ALLAH ANAAPA KWA YEHOVA "YAHUH" ALIYE UMBA KILA KITU?


1. Kumbe Allah sio Yahuh-Yehova.
2. Kumbe Allah hakuumba.
3. Kumbe Yesu ni Mungu.
Ndugu msomaji,
Kwanza tujifunze maana ya kuapa ili tuweze elewa kwanini Allah aliapa kwa Yehova.
Nini maana ya kuapa?
Kuapa, au Kula kiapo, au Kula Yamini, kunamaanisha kumthibitishia, kwa kutumia Jina la Mwenyezi Mungu, kwamba jambo fulani linaloapiwa – na ambalo halina ushahidi wazi wazi- ni kweli na sahihi kama linavyodaiwa na mwenye kula kiapo hicho na hivyo basi ni budi kusadikiwa madai hayo kwani Mdhamini Mkuu ni Mwenyezi Mungu, Mjuzi Pekee wa ukweli au uwongo wa mambo yaliyofichika nyoyoni!
katika Hadithi iliyopokelewe na Abdallah bin `Umar R.A.A. na iliyotolewa na L-Bukhari, “
"إِنَّ اللَّهَ يَنْهَاكُمْ أَنْ تَحْلِفُوا بِآبَائِكُمْ ، فَمَنْ كَانَ حَالِفًا فَلْيَحْلِفْ بِاللَّهِ أو فَلْيَصْمُتْ"
Maana yake, “Hakika Mwenyezi Mungu anakukatazeni kuapa kwa baba zenu, atakaeapa aape kwa Mwenyezi Mungu au anyamaze
Sasa tumsome Allah ambaye sio Yehova "Yahuh", je yeye anaapa kwa nani?
SURAT ASH-SHAMS 1-3
1. Naapa kwa usiku ufunikapo, 2 kwa mchana uingiapo, 3. na kwa aliye umba kiume na kike..
Hivi mtu anaye apa kwa mwengine anakuwa Mungu au binadamu? Je, nani kaumba hapo. Maana Allah anaapa katika aliye umba, na kuumba ni sifa ya Mungu. Kumbe Allah ambaye sie Yehova hakuumba.
Zaidi ya hapo, Allah anaapa kwa usiku. Kumbe usiku una mamlaka zaidi ya Allah. Allah anaapa kwa mchana, kumbe mchana una mamlaka zaidi ya Allah.
Mbona katika SURAT ASH-SHAMS Allah anaapa kwa (1) Usiku (2) Mchana (3) kwa aliye umba kiume na kike?
Je, ni nani huyu aliye umba Kiume na Kike ambaye Allah wa Islam anaapa kwake? Endelea kusoma...kutoka Biblia Takatifu….
Yeremia 27: 5 Mimi nimeiumba dunia hii, wanadamu na wanyama walio juu ya uso wa nchi, kwa uweza wangu mkuu, na kwa mkono wangu ulionyoshwa; nami nawapa watu kama inipendezavyo.
Sasa tunamsoma Yehovah ambaye ni Mungu wa Biblia kuwa yeye ndie aliye umba kila kitu, pamoja na Kiume na Kike ambacho Allah wa Islam anaapa kwake. Kwahiyo, Jehovah aliumba kiume na kike, na Allah wa Islam anaapa kwake, sasa jaza mwenyewe nani ni Mungu?
Je, Mungu anaweza kuapa kwa Mwengine? Endelea kupata elimu …
Waebrania 6:13 Mungu alipompa Abrahamu ahadi, aliapa kwa jina lake mwenyewe, maana hakuna aliye mkuu kuliko Mungu ambaye kwa huyo angeweza kuapa.
Jehova anasema hakuna Mkubwa wangu wa kuapa kwake, lakini Allah katika Kuran anasema kuwa yeye anaapa kwa aliye umba kiume na kike.
Hivyo basi leo tunafahamu kuwa aliye umba ni Jehona na Allah anaapa kwa Jehovah Mungu wa Biblia na Wakristo.
Mungu awabairiki sana
Ni mimi Max Shimba mtumwa wa yesu Kristo
Copyright © Max Shimba Ministries 2016

MUHAMMAD ANAAPA KWA YESU NA KUKIRI KUWA YESU ATAHUKUMU KWA UADILIFU

Soma Sahih hadith kutoka Al Bukhar:
Muhammad aseme haya katika (Bukhari hadithi na 425, juzuu 3) hadithi ya Abu Huraira amesema mtume wa Allah s.a.w):
Amesema Naapa kwa ambaye nafsi yangu iko ipo mkononi mwake karibu atateremka kati yenu Mwana wa Mariam atahukumu kwa uadilifu.
Kama Muhammad anaapa kwa Yesu na kukiri kuwa Yesu ndio atakaye hukumu, kwanini nimfuate Allah ambaye sio Yehova?
Kwanini Muhammad hakua-apa kwa Allah?
SASA KAMA KUAPA LAZIMA KUWE KWA MWENYEZI MUNGU, KWANINI MUHAMMAD ALIAPA KWA YESU?
KUMBE YESU NI MWENYEZI MUNGU.
katika Hadithi iliyopokelewe na Abdallah bin `Umar R.A.A. na iliyotolewa na L-Bukhari, “
"إِنَّ اللَّهَ يَنْهَاكُمْ أَنْ تَحْلِفُوا بِآبَائِكُمْ ، فَمَنْ كَانَ حَالِفًا فَلْيَحْلِفْ بِاللَّهِ أو فَلْيَصْمُتْ"
Maana yake, “Hakika Mwenyezi Mungu anakukatazeni kuapa kwa baba zenu, atakaeapa aape kwa Mwenyezi Mungu au anyamaze
SASA MSOME NABII MUHAMAMD ANAPAAPA KWA YESU:
(Bukhari hadithi na 425, juzuu 3) hadithi ya Abu Huraira amesema mtume wa Allah s.a.w):
Amesema naapa kwa ambaye nafsi yangu iko ipo mkononi mwake karibu atateremka kati yenu Mwana wa Mariam atahukumu kwa uadilifu.
KUMBE MUHAMMAD ANAJUA KUWA YESU NI MWENYEZI MUNGU.

Urithi wa Uislamu kutoka kwenye dini za kipagani za Uarabuni – Sehemu ya 2




Ka’aba

Katika sehemu ya 1 ya makala haya tuliangalia kuhusu asili ya Allah. Katika sehemu hii ya 2 tutaongelea kuhusiana na mji wa Makka na ka'aba, ambayo ni madhabahu kuu ya Uislamu.

Mji wa Makka ndio kitovu cha Uislamu duniani. Kwenye mji huu ndiko iliko Ka’aba, au kama wanavyoamini na kuiita Waislamu Bait – ul- Haram; au Bait – ul- Allah, yaani ‘nyumba ya Allah’ au ‘nyumba ya Mungu’. Na kila Mwislamu kokote duniani anatakiwa kuswali swala 5 kila siku huku akielekeza uso wake Makka iliko hiyo nyumba ya Mungu wao. Vilevile, kila mmoja wao anatakiwa kwenda Makka kuhiji walau mara moja katika maisha yake, maana hija ni moja ya nguzo kuu katika Uislamu. Kwa maana nyingine, Ka’aba ndiyo madhabahu kuu katika Uislamu.



Ka’aba ni nyumba ya umbo la takriban mchemraba ambayo, pamoja na vitu vingine vichache iliyo navyo, kuna kipande cheusi cha jiwe ambacho kimejengewa ukutani kwenye kona mojawapo. Hivyo, Waislamu wanapoenda Makka kuhiji huzunguka Ka’aba na pia kulibusu  jiwe hilo, au kuligusa tu, na kama ikishindi kana, basi japo kulinyoshea mkono.


Zamani, Allah anasema, kuwa Muhammad alikuwa akitazama mbinguni wakati anapoomba [nadhani kila mwenye imani juu ya Mungu anaamini kuwa Mungu yuko juu – na huo kusema kweli nadhani ndio mtazamo sahihi kabisa].
Lakini Allah akamwambia mtume wake:
We have certainly seen the turning of your face, [O Muhammad], toward the heaven, and We will surely turn you to a qiblah with which you will be pleased. So turn your face toward al-Masjid al-Haram. And wherever you [believers] are, turn your faces toward it [in prayer]. Indeed, those who have been given the Scripture well know that it is the truth from their Lord. And Allah is not unaware of what they do. (sura Al Baqarah 2:144) – Sahih International Version.
Yaani:
Hakika tumeona jinsi unavyogeuzia uso wako [ewe Muhammad], kuelekea mbinguni, nasi hakika tutakugeuzia kwenye qiblah utakachokifurahia. Hivyo elekeza uso wako kwenye al-Masjid al-Haram. Na kila mtakakokuwa [enyi mnaoamini] geuzieni nyuso zenu kuelekea huko [mswalipo]. Hakika, wale waliopewa Maandiko wanajua vema kuwa ni kweli kutoka kwa Bwana wao. Na Allah anajua kile wafanyacho.
Allah anasema hafurahii sana Muhammad na Waislamu kugeuzia nyuso zao juu mbinguni (aliko Mungu muumba wa vyote – ajabu sana! Ajabu mno!), badala yake akaamuru wageuzie nyuso zao kwenye ka’aba wawapo popote wakati wa kuswali.
Pia anasema kuwa wale waliopewa Maandiko (yaani watu wa kitabu) eti wanajua fika kwamba jambo hilo ni kweli kutoka kwa Bwana wao!

Wednesday, June 15, 2016

World Prayer Line in Albany New York US


  • Apostle John and his team shall be in Albany, New York on Saturday, July 30th for one night Prayer Line . The meeting will take place at: The Freedom Christian Center, 453 Delaware Ave., (between Cuyler Ave. and White Hall Rd.) Albany, New York 12209. The Prayer Line will be hosted by Green Island Tabernacle of Albany, NY. and Max Shimba Ministries Org: For more information, you can call

    Pastor Enoch Grant at: 347-963-7502 
    John Zavlaris Ministries Org, New Jersey office at: 516-647-0796
    Max Shimba Ministries Org at: (347) 770-4886


    Saturday, July 30 at 4 PM - 10 PM
  • 453 Delaware Ave., (between Cuyler Ave. and White Hall Rd.) Albany, New York 12209.

Monday, June 13, 2016

Yeshu Masih is the only way to ‘Moksh’. Acharya Vikas Massey explains the clear gospel in Ludhiana at meeting organized by Pastor Salim Khan.

Christina Grimmie’s tweet: “Don’t stop trusting God”
Church mourns the singer who was shot dead in Orlanado
Members of Fellowship Alliance Chapel were gathering to mourn Christina Grimmie when they were learning of 50 more people shot to death by another madman in Orlando, Florida. Grimmie, 22, was shot Friday night in Orlando while signing autographs after a concert. Kevin James Loibl, 27, fired at Grimmie before he was tackled by her brother Marcus. Loibl killed himself. Grimmie, a budding vocal star and a popular contestant on NBC’sThe Voice, was rushed to a hospital, where she was pronounced dead.  “We as a family, we mourn. We mourn Orlando this morning, which is going through a lot today, again,” said elder Bryan Russell, as congregants took their seats for the 11 a.m. service in the church Grimmie attended for most of her life. “It’s hard and it hurts and it seems senseless. Right now is a time for us to be able to grieve and ask questions.” Two hours earlier, Pastor Marty Berglund began the early service with a video tribute to Grimmie. Two large screens above the church sanctuary played a YouTube video of Grimmie belting out the song “In Christ Alone.” (The video has been watched more than 2 million times.) The song’s lyrics—which speak of the power of faith to conquer death—moved many of the congregants to tears. “When something happens like Christina Grimmie getting shot by a murderer, we have to remember that we are part of an unshakeable kingdom that Christina sang about… this is the faith Christina Grimmie had,” Berglund said as ushers passed boxes of tissues around.  A church greeter, Ed Letts, said he hopes some good might come of the tragedy. “We are people of faith, so as we see it, Christina now stands with Christ,” he said. “Knowing that in our hearts brings peace, and maybe through her videos she can now get that message out.”

http://www.thegospeltruthnewspaper.com/

Saturday, June 4, 2016

USTAADH NA HAKIMU WA MAHAKAMA YA KADHI AOKOKA NA KUSEMA KUWA UISLAM NI NJIA YA KWENDA JEHANNAM – Sehemu ya 1

Ahmed alikuwa ni injinia. Baadaye alishawishiwa na Ulama mmoja na kupandikiziwa chuki dhidi ya Wakristo na Wayahudi kiasi kwamba aliamua kuacha kazi yake na kwenda kusomea masomo ya dini ya Kiislamu (licha ya mama yake kupinga sana).
Masomo hayo yalimwezesha kuwa hakimu wa mahakama ya sharia. Kutokana na ukandamizaji mkubwa aliouona kwenye mahakama hizo na kukosekana kwa haki na pia kukosekana kwa msimamo juu ya tafsiri sahihi ya sheria za kiislamu, moyo wake ulikosa kabisa amani.
Kwa neema za Yesu Kristo, Ahmed alifunguliwa macho yake na sasa anajiuliza ilikuwaje akaamini Uislamu?
Ufuatao ni ushuhuda wake kwa maneno yake mwenyewe ambao ameupa kichwa cha habari: “Njia ya Allah Kuelekea Jehanamu au Njia ya Yesu Kuelekea Mbinguni.”
*********************
Njia ya Allah Kuelekea Jehanamu au Njia ya
Yesu Kuelekea Mbinguni
Hadithi ya Kweli
Kila kitu kilikuwa kinaniendea vizuri wakati mimi (mhandisi wa ujenzi) nilipokuwa naingia ofisini kwangu kila siku kufanya kazi. Baba yangu alikuwa karani, na japo mshahara wake hakutosheleza, mama yangu, ambaye alikuwa akitembeza vitu mtaani, aliweza kupata kipato kilichojazia kwenye upungufu. Kimsingi, alikuwa ni mama ndiye aliyetulipia watoto wote elimu yetu na matunzo. Nilipopata kazi, nilimpunguzia mama mzigo mkubwa wa matumizi, lakini baba yangu nilimpa kiasi kidogo tu kila mwezi.
Dunia yangu iligeuka ghafla pale nilipokutana na Ulama (mtu mtakatifu wa Kiislamu). Alinieleza jinsi Waislamu wanavyonyanyaswa na dini zingine na jinsi dunia ilivyosimama kinyume na Uislamu, huku Marekani ikiwa ndio kinara wa mambo hayo. Aliniambia kuwa Marekani, kwa makusudi, inalazimisha kuwapo kwa haki za binadamu kila mahali, maana ziko kinyume na sehemu kubwa ya imani ya Kiislamu, hivyo hilo linaufanya Uislamu uonekane umepitwa na wakati. Wayahudi nao wanawalaghai Wamarekani kwa ajili ya maslahi yao ili kuidhibiti Mashariki ya Kati. Allah alishaliona hili, na kusema kwenye Sura 5.51 ya Quran, kuwa tusiwe na urafiki na Wayahudi na Wakristo. Lakini nchi za Kiislamu zinaikubalia tu Marekani.
Kukosekana kwa Maustaadh (walimu wa dini) kwenye eneo langu, kunakowanyima Waislamu welewa wa kutosha juu ya uzuri na maajabu ya Uislamu, lilikuwa ni jambo jngine tuliloliongelea kwa kirefu sana. Baada ya mazungumzo ya ushawishi ya miezi kadhaa, niliulizia kwenye mji mkuu na nikapata taarifa zote kuhusiana na kujiunga na chuo cha kiislamu. Baada ya kujiuliza sana, ikiwa pamoja na chuki iliyopandikizwa ndani yangu, niliamua kuacha kazi yangu ya uhandisi, lakini mama yangu alipinga kabisa. Lakini mwishowe niliweza kumshawishi kwamba ilikuwa ni kwa ajili ya Allah, hivyo nikaenda kujiunga na Chuo cha Kiislamu.

Friday, June 3, 2016

UTHIBITISHO WA KIMAANDIKO KUHUSU MACHO YA ALLAH

Ndugu zanguni,
Waislam huwa wanapenda kusema kuwa Allah yeye hana mfano. Lakini tunapo zisoma aya na hadith mbali mbali tunagundua kuwa, Allah anafanana na binadamu.
ALLAH KAANDIKWA KAFIR KATI YA MACHO YAKE
Hadithi ya Anas (r.a) amesema, Mtume (s.a.w) amesema, "Hakuna Mtume aliyetumwa, isipokuwa amewahadharisha watu wake na mwenye Jicho moja mrongo. Eleweni kuwa yeye ana jicho moja na hakika Bwana wenu hana Jicho moja kati ya Macho yake pameandikwa neno 'KAFIRI." (Bukhari, Hadithi Na. 245, Juzuu ya 9).
Teyari Waislam wanapata mshtuko baada ya kusoma kuwa, Kumbe Allah ana MHURI kati ya macho yake unao sema yeye ni KAFIRI.
ALLAH ALIUGUA MACHO
"Wakati mmoja macho ya Allah yalikuwa yanauma, na Malaika walikwenda kumuona, na kwamba Allah alitokwa na Machozi, kwa ajili ya Mafuriko ya Nabii Nuhu mpaka macho yake yakawa mekundu. (Al Milal Wannihal J. 1 uk. 141)
Tokea lini Mungu akaugua macho? Kumbe Allah ndie aliye umba magonjwa.
Kumbukumbu na Bukhari katika al-Adab ul-Mufrad (namba 493), kuthibitishwa halisi na al-Albani
"Usitarajie mazuri, kwa sababu Allah ndiye huwapa magonjwa waumini wake kama kafara (kwa ajili ya dhambi yake) ili kumpumzisha, na kwa Makafiri ni kama ugonjwa ni kama Ngamia aliye fungwa na Bwana wake, humuachia huru pale anapotaka, ni hawezi kuelewa ni kwa nini alikuwa amefungwa, wala kwa nini ni huru. "
Kitu cha kushangaza, hawa Waislam wanakwenda Hospitali kupata matibabu huku wakifahamu kuwa Allah ndie aliye watupia Magonjwa. Huu ni Msiba katikaa Uislam.
ALLAH ANA MACHO MANGAPI?
Surat Muuminum 27. Tukampa wahyi: Unda jahazi MBELE YA MACHO YETU na uwongozi wetu! Basi itapo fika amri yetu na ikafurika tanuri, hapo waingize ndani yake wa kila namna dume na jike, na ahali zako, isipo kuwa yule ambaye katika wao juu yake imekwisha tangulia kauli. Wala usinitajie hao walio dhulumu. Kwani hao bila ya shaka watazamishwa.
Mkristo mwenye akili hawezi kumfuata Allah mwenye macho na anaye ugua macho kama viumbe.

USTAADH NA HAKIMU WA MAHAKAMA YA KADHI AOKOKA NA KUSEMA KUWA UISLAM NI NJIA YA KWENDA JEHANNAM - Sehemu ya 2


Ahmed alikuwa ni injinia. Baadaye alishawishiwa na Ulama mmoja na kupandikiziwa chuki dhidi ya Wakristo na Wayahudi kiasi kwamba aliamua kuacha kazi yake na kwenda kusomea masomo ya dini ya Kiislamu (licha ya mama yake kupinga sana).
Masomo hayo yalimwezesha kuwa hakimu wa mahakama ya sharia. Kutokana na ukandamizaji mkubwa aliouona kwenye mahakama hizo na kukosekana kwa haki na pia kukosekana kwa msimamo juu ya tafsiri sahihi ya sheria za kiislamu, moyo wake ulikosa kabisa amani.
Kwa neema za Yesu Kristo, Ahmed alifunguliwa macho yake na sasa anajiuliza ilikuwaje akaamini Uislamu?
Ufuatao ni ushuhuda wake kwa maneno yake mwenyewe ambao ameupa kichwa cha habari: “Njia ya Allah Kuelekea Jehanamu au Njia ya Yesu Kuelekea Mbinguni.”
Kwa kuwa hii ni sehemu ya 2, ili kupata picha kamili, tafadhali anza na Sehemu ya 1 HAPA.
*********************
Njia ya Allah Kuelekea Jehanamu au Njia ya
Yesu Kuelekea Mbinguni
Hadithi ya Kweli
Mafunzo yangu ya uhandisi yalinipa uwezo wa kuchambua jambo mojamoja. Mtume Muhammad hakuwa na unabii wowote kabla yake, lakini Yesu Kristo alikuwa nao. Allah hakuwahi kuzungumza moja kwa moja na nabii Muhammad (isipokuwa kwa kupitia malaika). Lakini Yesu Kristo alizungumza naye na alikuwa Mwana wa Mungu. Moja ya adhabu alizotoa Mtume Muhammad kwa mwizi ilikuwa ni kunyofoa macho ya mtu huyo (kulingana na Hadith za Bukhari), ambapo Kristo Yesu hakuwa na kingine zaidi ya msamaha na upendo kwa mtu yoyote. Wanawake katika Biblia hawalaumiwa kwa maovu yote katika ulimwengu huu kama ilivyo katika Uislamu, na wao na wanaume wanaangaliwa kwa usawa katika Ukristo. Allah alionekana yuko mbali sana, ilhali Yesu Kristo alionekana yuko karibu sana.
Katika Sura 3.7 ya Qur'ani, Allah anasema kuwa ni yeye tu ndiye anayeweza kutafsiri Quran vizuri. (Kwa mujibu wa Hadithi, ni aya takribani 700 tu kati ya aya zaidi ya 6,000 za Quran ndizo zinazoeleweka kwa mwanadamu – yaani ni chini ya 12%). Basi ni kwa nini Allah alitupatia Quran hiyo ambayo hakuna mtu anayeweza kuitafsiri sawasawa? Je, Qur'an si kwa ajili ya mwanadamu kama ilivyo Biblia? Tofauti na Biblia, aya nyingi za Qur'ani zinatafsirika kwa namna nyingi (open ended), hivyo zinafanya kuwepo na kubuni kwingi. (Hata kwa Mwarabu, haiwezi kueleweka wazi, kwa sababu imeandikwa kwa Kiarabu cha zamani - ni kama kwa Mwingereza wa sasa kujaribu kuelewa Kiingereza cha zamani au Kiingereza cha wakati wa Shakespeare).

UTHIBITISHO WA KIMAANDIKO KUHUSU MIKONO YA ALLAH


Ndugu msomaji,
Tunaendelea na mada kuhusu Allah ambaye ni kiumbe kama sisi.
Leo ninawaletea ushahidi kuwa, Allah ana MIKONO kama binadamu. Haya ungana nami na tuanze kusoma ushahid kutoka vitabu vya Kiislam.
ALLAH KAMUUMBA IBILISI KWA MIKONO YAKE
Muhammad bin Muslim alimuuliza Imam Muhammad al-Baqir (a.s.) kuhusu Ayah ifuatayo:2
قَالَ يَا إِبْلِيسُ مَا مَنَعَكَ أَنْ تَسْجُدَ لِمَا خَلَقْتُ بِيَدَيَّ ۖ {75}
“Akasema: Ewe Iblis, ni nini kimekuzuia kumtii yule niliyemuumba kwa mikono yangu?... (Swaad; 38: 75)
Swali ningependa kuwauliza Waislam, hivi kwanini mnasema kuwa Allah hana mfano wakati teyari Allah anajidhihirisha kuwa ana MIKONO? Je, Mikono sio mfano wa binadamu? Kwanini mnamzulia Allah uongo kuwa hana Mikono?
Kwanini Allah alimuumba IBILISI kwa Mikono yake?
ALLAH ANANYOOSHA MIKONO KAMA VIUMBE
“Mwenyezi Mungu huwa anashuka mpaka kwenye mbingu ya kwanza, na ananyoosha mikono Yake miwili na anasema…”
Halafu anaendelea kunukuu Ayah zifuatazo kwa ithibati ya madai yake:
وَقَالَتِ الْيَهُودُ يَدُ اللَّهِ مَغْلُولَةٌ ۚ غُلَّتْ أَيْدِيهِمْ وَلُعِنُوا بِمَا قَالُوا ۘ بَلْ يَدَاهُ مَبْسُوطَتَانِ يُنْفِقُ كَيْفَ يَشَاءُ ۚ {64}
“Na Wayahudi walisema: Mkono wa Mwenyezi Mungu umefumba. Mikono yao ndio iliyofumba, na wamelaaniwa kwa sababuya yale waliyoyasema. Lakini mikono ya Mwenyezi Mungu iwazi, hutoa apen- davyo …” (Al-Maida; 5: 64)
فَسُبْحَانَ الَّذِي بِيَدِهِ مَلَكُوتُ كُلِّ شَيْءٍ وَإِلَيْهِ تُرْجَعُونَ {83}
“Basi ametakasika yule ambaye mkononi mwake umo ufalme wa kila kitu, na kwake mtarejea.” (Yaasin; 36: 83)
قُلِ اللَّهُمَّ مَالِكَ الْمُلْكِ تُؤْتِي الْمُلْكَ مَنْ تَشَاءُ وَتَنْزِعُ الْمُلْكَ مِمَّنْ تَشَاءُ وَتُعِزُّ مَنْ تَشَاءُ وَتُذِلُّ مَنْ تَشَاءُ ۖ بِيَدِكَ الْخَيْرُ ۖ إِنَّكَ عَلَىٰ كُلِّ شَيْءٍ قَدِيرٌ {26}
“Sema: Ewe Mola Mwenye kumiliki ufalme, humpa ufalme umtakaye, na humnyang’anya ufalme umtakaye. Na humtukuza yule umtakaye na kumdhalilisha umtakaye. Kheri yote imo mikononi mwako. Hakika wewe ni Mweza juu ya kila kitu.” (Aali Imraan; 3: 26)
ALLAH ANA MIKONO MIWILI KAMA VIUMBE
Tunaamini kuwa Allah Anayo mikono miwili mitukufu.
Anasema:
بَلْ يَدَاهُ مَبْسُوطَتَانِ يُنفِقُ كَيْفَ يَشَاء
"Bali mikono yake (miwili - yadaahu) iwazi. Hutoa Apendavyo."
Al-Maaidah – 64
Na Akasema:
وَمَا قَدَرُوا اللَّهَ حَقَّ قَدْرِهِ وَالأرْضُ جَمِيعًا قَبْضَتُهُ يَوْمَ الْقِيَامَةِ وَالسَّماوَاتُ مَطْوِيَّاتٌ بِيَمِينِهِ سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى عَمَّا يُشْرِكُونَ
"Na wala hawakumhishimu Allaah kama Anavyostahiki kadiri Yake. Na Siku ya Qiyaamah ardhi yote itakuwa mkononi Mwake, na mbingu zitakunjwa katika mkono Wake wa kuume. Subhaanahu wa Ta’ala Ametakasika na Ametukuka na hayo wanayomshirikisha nayo."
Az-Zumar – 67
(Siku ya Ridhwaan Waislamu walipofungamana na Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) chini ya mti kwa kumpa mkono wote kwa pamoja, mmoja baada ya mwengine, na Allaah Akateremsha kauli Yake:
إِنَّ الَّذِينَ يُبَايِعُونَكَ إِنَّمَا يُبَايِعُونَ اللَّهَ يَدُ اللَّهِ فَوْقَ أَيْدِيهِمْ
"Bila Shaka wale wanaofungamana nawe, kwa hakika wanafungamana na Allaah. Mkono wa Allaah uko juu ya mikono yao."
Al-Fat-h – 10
Ieleweke kuwa Allaah Anaposema Anayo mikono au macho, ina maana kuwa mikono Yake ni sawa na mikono yetu, au macho Yake ni sawa na macho yetu - AstaghfiruLlaah.
ALLAH ATAKUNJA MBINGU KWA MIKONO YAKE
وَمَا قَدَرُوا اللَّهَ حَقَّ قَدْرِهِ وَالْأَرْضُ جَمِيعًا قَبْضَتُهُ يَوْمَ الْقِيَامَةِ وَالسَّمَاوَاتُ مَطْوِيَّاتٌ بِيَمِينِهِ ۚ {67}
“Na hawakumheshimu Mwenyezi Mungu heshima ipasayo, na siku ya Kiyama ardhi yote itakuwa mkononi mwake na mbingu zitakunjwa katika mkono wake wa kulia, …” (Az-Zumar; 39: 67)
“Mikono” Ya Mwenyezi Mungu Kama Ilivyosimuliwa Na Madhehebu Ya Makhalifa.
Wanazuoni wa madhehebu hiyo hapo juu wamesimulia ndani ya vitabu vyao kutoka kwa Abu Huraira ambaye amesimulia kutoka kwa Mtukufu Mtume (s.a.w.w.) kama ifuatavyo:
ETI MUSA ANAMWAMBIA ADAM KUWA, ALLAH ALIMUUMBA KWA MIKONO YAKE. HIVI MUSA ALIISHI WAKATI WA ADAM? HUU NI MSIBA.
“Adamu na Musa walikuwa na mazungumzo yafuatayo: Musa alisema: ‘Ewe Adamu! Mwenyezi Mungu alikuumba kwa mikono Yake Mwenyewe… Lakini uliwateremsha wanadamu kutoka kwenye bustani kwa sababu ya dhambi yako.’
Adamu akajibu: ‘Ewe Musa, Mwenyezi Mungu kwa hakika amekutukuza wewe, na akaandika Taurati kwa ajili yako kwa mikono Yake Mwenyewe.’”
ALLAH ANANYOOSHA MIKONO YAKE MIWILI
Katika hadithi nyingine iliyosimuliwa kutoka kwa Abu Huraira, tunakuta:
“Mwenyezi Mungu huwa anashuka mpaka kwenye mbingu ya kwanza, na ananyoosha mikono Yake miwili na anasema…”
Halafu anaendelea kunukuu Ayah zifuatazo kwa ithibati ya madai yake:
وَقَالَتِ الْيَهُودُ يَدُ اللَّهِ مَغْلُولَةٌ ۚ غُلَّتْ أَيْدِيهِمْ وَلُعِنُوا بِمَا قَالُوا ۘ بَلْ يَدَاهُ مَبْسُوطَتَانِ يُنْفِقُ كَيْفَ يَشَاءُ ۚ {64}
“Na Wayahudi walisema: Mkono wa Mwenyezi Mungu umefumba. Mikono yao ndio iliyofumba, na wamelaaniwa kwa sababuya yale waliyoyasema. Lakini mikono ya Mwenyezi Mungu iwazi, hutoa apen- davyo …” (Al-Maida; 5: 64)
فَسُبْحَانَ الَّذِي بِيَدِهِ مَلَكُوتُ كُلِّ شَيْءٍ وَإِلَيْهِ تُرْجَعُونَ {83}
“Basi ametakasika yule ambaye mkononi mwake umo ufalme wa kila kitu, na kwake mtarejea.” (Yaasin; 36: 83)
قُلِ اللَّهُمَّ مَالِكَ الْمُلْكِ تُؤْتِي الْمُلْكَ مَنْ تَشَاءُ وَتَنْزِعُ الْمُلْكَ مِمَّنْ تَشَاءُ وَتُعِزُّ مَنْ تَشَاءُ وَتُذِلُّ مَنْ تَشَاءُ ۖ بِيَدِكَ الْخَيْرُ ۖ إِنَّكَ عَلَىٰ كُلِّ شَيْءٍ قَدِيرٌ {26}
HERI YA ALLAH IPO MIKONONI MWAKE
“Sema: Ewe Mola Mwenye kumiliki ufalme, humpa ufalme umtakaye, na humnyang’anya ufalme umtakaye. Na humtukuza yule umtakaye na kumdhalilisha umtakaye. Kheri yote imo mikononi mwako. Hakika wewe ni Mweza juu ya kila kitu.” (Aali Imraan; 3: 26)
Muhammad bin Muslim alimuuliza Imam Muhammad al-Baqir (a.s.) kuhusu Ayah ifuatayo:2
قَالَ يَا إِبْلِيسُ مَا مَنَعَكَ أَنْ تَسْجُدَ لِمَا خَلَقْتُ بِيَدَيَّ ۖ {75}
“Akasema: Ewe Iblis, ni nini kimekuzuia kumtii yule niliyemuumba kwa mikono yangu?... (Swaad; 38: 75)
Ndugu wasomaji, teyari mmesha uelewa kuwa Allah ni kiumbe kama binadamu NA ANA MIKONO, KUMBE ALLAH SIO MWENYEZI MUNGU.
Mungu awabariki sana.

TRENDING NOW