ALLAH NA WOTE WANAOMWABUDU WATAISHIA JEHANAM
Mwisho wa wanaomwabudu Allah ni wapi? Tunajua kuwa Wakristo tutaishi na Mungu wetu Yehova milele (tazama 1Thesalonike 4:13-17 na Ufunuo 21:3-7) Hivyo Mungu wetu hana mwisho ni wa milele. Lakini tunaposoma Qurani na Hadithi za Muhammad, mtume wa Waislamu tunaona mafundisho hayo.
Qr. 51 au Surat Adh-Dhaariyat 56 (sur aya upepo) yasema, Sikuwaumba majini na watu ila wapate kuniabudu
Qr. 6 Surat Al An-Am 128 (Sura ya wanyama)
Na (wakumbushe) siku atakapowakusanya wote (awaambie) "Enyi makundi ya majini! Hakika nyinyi mmechukua wafuasi wengi katika wanaadamu" na marafiki wao katika wanadamu (watawagombania) waseme "mola wetu! Tulinufaishana sisi na wao, na tumefikia muda wetu uliotuwekea" Basi (Mungu) atasema:"moto ndio makazi yenu, mtakaa humo milele.. katika aya hizi tunaona kuwa majini pamoja na watu wote watatupwa motoni.

Je Allah naye ni vipi? Tunaposoma kitabu cha hadith za mtume (s.a.w) cha Sahih al-Bukhari Vol: VI Hadithi No: 371.ukurasa wa 353 Kuna maneno haya:
Quran 50 au Surat Qaf 30 (kuapa) Siku tutakayoiambia Jahanamu, ‘Je! Umejaa?’ Nayo itasema ‘Je kuna ziada (zaidi? Naije tu!
Quran 50 au Surat Qaf 30 (kuapa) Siku tutakayoiambia Jahanamu, ‘Je! Umejaa?’ Nayo itasema ‘Je kuna ziada (zaidi? Naije tu!
Imesimuliwa na Anas kuwa: mtume alisema watu watatupwa jahanamu, Naye Allah ataiuliza jahanamu akisema je umejaa nayo jahanamu itasema kwani kuna nyingine zaidi na ije tu? Mpaka Allah atakapo ingiza mguu wake nayo jahanamu itasema inatosha! Inatosha
Hadithi hii ya Anas inasomeka hivi: