Wednesday, August 10, 2016

SIFA KUBWA YA KAFIRI NI KUPINGA KUWA YESU NI MWANA WA MUNGU



KAFIRI SIO TUSI BALI NI JINA TUU LENYE MAANA YA MPINGA IMANI AU DINI AU ANAEENDA KINYUME NA AMRI ZA MWENYEZI MUNGU ZILIZO KUWEPO KABLA YA QURAN.
KUMBE WAISLAM NI MAKAFIRI MAANA WANAPINGA KUWA YESU NI MWANA WA MUNGU.
SHALOM TENA,
Kwa mara nyingine twamshukuru Yehova Mungu kwa kutupa neema hii tena ili tuweze kukufikishia ujumbe huu wa Biblia na kweli zake kuhusu sifa ya Makafir. Watu wengi hawajua Kafiri ni nani na au tabia za Makfiri ni zipi.
Watu wengi huchukia na wengine kupigana kisa kaitwa kafiri.
Wengi hufuata mkumbo tuu bila kujua maana halisi ya neno Kafiri. Baada ya kuangalia katika wikipedia utakuta neno Kaffir ni neno la kiarabu lenye maana “non believer” yaani asiye muumini/mpingaji au mpinzani (protestant) wa dini au imani flani. Zaidi ya hapo, iliisha fafanuliwa katika Qur'an kuwa Kafiri ni mtu anaye kufuru, na au pinga Maneno ya Mwenyezi Mungu.
Biblia iliyo kuwepo miaka 632 kabla ya kuandikwa kwa Quran na kabla ya kuzaliwa kwa Muhammad inatuambia kuwa Yesu ni Mwana wa Mungu. Hivyo basi, kufuatana na ushahid wa NENO KAFIRI la MPINGAJI WA IMANI AU DINI FULANI, yeyote yule atakae kuja baada ya Hizi aya za Luka 1-30-35 ZINAZOKIRI KUWA YESU NI MWANA WA MUNGUI LAZIMA AWE KAFIR. Maana anapinga maneno ya Yehova Mwenyezi Mungu aliye umba kila kitu aliyoyasema miaka 632 kabla ya Quran.
Allah analifahamu hilo kuwa Yesu aliitwa Mwana wa Mungu na hakusema chochote kile kwa miaka 632. Lakini baada ya kuzaliwa Muhammad Allah anapinga Maneno ya Yehova wa kwenye Biblia kuwa Yesu ni Mwana wa Mungu. HII TABIA YA KUPINGA KILICHO KUWEPO KABLA NDIO SIFA MOJA WAPO YA KAFIRI. ALLAH NA WAISLAM WAMEFANIKIWA KUINYAKUA HII SIFA YA KAFIRI.
Hebu tuisome kwanza hiyo aya ya Yesu kuitwa Mwana wa Mungu.
YESU KRISTO: YEYE NI MWANA WA MUNGU.

JE, UNAFAHAMU KUWA UISLAM NDIO DINI YA MPINGA KRISTO?


1. Biblia inathibitisha kuwa Allah na Uislam ni Wapinga Kristo
2. Quran inakiri kuwa Yesu si Mwana wa Mungu
3. Kumbe Dini ya Uislam ni ya Mpinga Kristo
Ndugu Msomaji,
Leo nitawathibitishia kwa kutumia Biblia na Quran kuhusu nani ni Mpinga Kristo. Hebu tuanze kwa kusoam neno la Mungu.
WARAKA WA KWANZA WA YOHANA 4:1-6
Wapenzi msiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho kwamba zimetokana na Mungu, kwa sababu manabii wa uongo wametokea duniani. Katika hili mwamjua Roho wa Mungu , kila roho ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili yatokana na Mungu. Na kila roho isiyomkiri Yesu haitokani na Mungu. Na hii ndiyo roho ya Mpinga Kristo, ambayo mmeisikia kwa yaja , na sasa imekwisha kuwako duniani, ninyi watoto wadogo mwatokana na Mungu nanyi mmewashinda kwa sababu yeye aliye ndanii yenu ni mkuu kuliko yeye aliyeko katika dunia.hao ni wa dunia , kwa hiyo wanena ya dunia na dunia huwasikia. Sisi twatokana na Mungu . yeye amjua Mungu atusikia na yeye asiyetokana na Mungu hatusikii. Katika hili twamjua Roho wa kweli, na roho ya upotevu.
Kwanza: Biblia inatufundisha kuwa Mpinga Kristo ni yule ANAYEKATAA KUWA YESU KRISTO HAJAJA KATIKA MWILI…YANI SIYE MWANA WA MUNGU, Soma (2 Yohana 1:7) na hapa tunawaona Waisilamu ndiyo namba moja wa kukataa hilo, sasa je, ni nani ni Mpinga Kristo kama si nyinyi waislamu? Isitoshe bado mnakazania kuwa YESU SIYE KRISTO Kwa madai kuwa eti huyo Kristo ni wa Paulo, na hapo pia Biblia inatuthibitishia kuwa nyinyi waislamu ndiyo haswa ni Wapinga Kristo…tazama na uthibitishe mwenyewe kwenye (1 Yohana 2:22).
Sisi Wakristo lazima tufahamu kuwa Mpinga Kristo kwa mujibu wa Biblia ni yule anayekataa kuwa YESU KRISTO NI MWANA WA MUNGU ALIYESHUKA KATIKA MWILI ILI KUTUOKOA SISI WANADAMU HAPA DUNIANI…Huu ndiyo msingi wetu sisi Wakristo ambao Waislamu wote duniani wamefundishwa na mungu wao Allah kuupinga kabisa kabisa msingi huu…Sasa lazima tujiulize Mpinga Kristo haswa ni nani? Jibu ni rahisi mno ‘ALLAH NA DINI YAKE YA UISILAMU’.

WATU ZAIDI YA MILIONI MOJA NCHINI INDIA WAMEMPOKEA YESU NA KUWA WAKRISTO



Mkutano mkubwa wa Injili ya Bwana wetu Yesu Kristo uliofanyika India umethibitisha kuwa YESU NI YULE YULE JANA LEO NA HATA MILELE.
Bill Wills ambaye ni mmoja ya watu ambao wapo kwenye kampeni ya kuitangza Injili ya Yesu Kristo amesema kuwa, Yesu anaokoa kwa njia ya ajabu sana. Alisema, baadhi ya vijiji VIZIMA VIMEMPOKEA YESU KWA MPIGO.
HII NI HABARI NJEMA KWA MATAIFA YOTE. YESU NI YULE YULE JANA LEO NA HATA MILELE.
Isoma habari kamili hapa:

MAPEPO NI NINI? [SEHEMU YA TATU]

Somo: MAPEPO
Mada ndogo: “Mtu anawezaje kupata mapepo?”
Lengo kuu: kuzijua mbinu zamapepo na kujilinda nazo
Lengo mahsusi: kudumu katika maombi ya vita kuzipinga roho za kipepo.
Kama tulivyokwisha kuona kuwa pepo ni roho wachafu wasio na mwili wala umbo wenye uwezo wa kuingia ndani ya kiumbe hai na kuchukua umbo na sura ya kiumbe huyo,pamoja na namna mwanadamu anavyoweza kujikuta katika uhusiano na pepo kupitia ibada za sanamu, sadaka, kuyafuga n.k. hapa tutaendelea kujifunza juu ya habari hizi ambazo kila mtu ni vema akizijua.
Wakati mwingine, mtu huweza kujikuta katika hali ya kuvamiwa bila yeye kujua. Ndugu yangu mpendwa, kuvamiwa na pepo si mpaka uugue au ujisikie kuwa dhaifu, pepo huweza kuharibu vitu vyako pole pole, mtu aliyevamiwa na pepo, anaweza kumvuruga awe na hasira tu, asifanikiwe katika shughuli zake tofauti kama vile biashara, masomo, kazi ya ajira, ufugaji,kilimo n.k.
Mtu aliyefungwa kwa namna hii, huambiwa kuwa nyota yake imechukuliwa, na hapa ndipo waganga wa kienyeji na waaguzi husema kuwa umetupiwa mikosi au mizimu imekasirika na kupaswa kutaaswa kwa kuogeshwa dawa, kuchanjwa au kunyweshwa; hatua hii ni hatari sana, kwa humfanya mwanadamu aingie mikataba mingine na mapepo, na hii huwa ni njia ya moja kwa moja, baada ya kipindi fulani, ile hali ya zamani hujirudia na kulazimika kwenda kwa mganga tena ili kukupatia dawa kali zaidi, bila kujiujua unakuwa unafanya mikataba migumu zaidi na kuzidi kuangamia; utakuta mtu anapewa miiko mikubwa mikubwa ambayo haitekelezeki na mwisho wake mtu huyu anakuwa mtumwa na miiko ya kipepo na anapoivunja basi humwangamiza kabisa.
Mpendwa, dawa iko kwa Yesu, jisalimishe leo uwe huru. Yeye pekee ndiye anayeweza kukuweka huru, ndiye anayeweza kuisafisha nyota yako, ndiye anayeweza kukuinua, njoo kwake leo, usikubali kudanganywa,Yesu ndiye yote ndani ya yote. Haleluya.
Zifuatazo ni njia kuu tano za mtu kupatwa na mapepo;-

JE, UNAFAHAMU KUWA MAKAFIRI NDIO WANAOSEMA DINI MBELE YA MWENYEZI MUNGU NI UISLAM?



LAANA MBAYA YA KAFIRI NI KUMZULIA UONGO MWENYEZI MUNGU KUWA ANAYO DINI
KAFIRI SIO TUSI BALI NI SIFA AU JINA TUU LENYE MAANA YA MPINGA IMANI AU DINI AU KUMZULIA MWENYEZI MUNGU UONGO, AU ANAE ENDA KINYUME NA AMRI ZA MWENYEZI MUNGU ZILIZO KUWEPO KABLA YA QURAN.
SHALOM SHALOM
Ndugu msomaji,
Hakuna siri katika hili jambo la kumzulia UONGO Mwenyezi Mungu kuwa anayo dini. Waislam wamekuwa mstari wa mbele kuuliza hivi: NI IPI DINI YA KWELI YA MWENYEZI MUNGU? Mtafutaji ukweli mara nyingi anafikia mahali ambapo anatatizika pale anapotambua kuwa kila dini, Imani, dhehebu, ideolojia na falsafa yoyote inadai kuwa ndiyo njia ya pekee iliyo sahihi kwa mwanadamu. Kwa hakika, zote zinawahimiza watu kufanya mambo mema na mazuri. Hivyo, ipi ndiyo iliyo sahihi? Haiwezekani zote kuwa sahihi kwa vile kila moja inadai kwamba zile nyengine hazipo sawa. Kwa hivyo, vipi mtafutaji haki na ukweli ataweza kuchagua njia ya sawa.
Kafiri anasema moyoni mwake, ‘‘Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislam.’’ Wameharibika, matendo yao ni maovu kabisa, hakuna atendaye mema.
Njia sahihi ya kumtafuta Mungu lazima itoke kwa Mungu. [[Kwa maana Kristo naye aliteswa mara moja kwa ajili ya dhambi, mwenye haki kwa ajili yao wasio haki, ili atulete kwa Mungu. 1 Petro 3:18]] Na ndio maana Yesu alisema kuwa yeye ni Njia Kweli na Uzima. Mungu hana dini na hakuwai mwambia Adam awe na dini. Hakuna huu ushahid katika Taurat. Zaidi ya hapo hakuna ushahid wowote ule katika Zaburi au Injili kuwa Mungu aliwaamrisha watu wafuate dini yake, la hasha, ila tunasoma kuwa Yesu alikuja kutengeza njia ya kwenda kwa Baba yake. [[Mimi nalikuja ili wawe na uzima, kisha wawe nao tele. Yohana 10:10]]
ALLAH ANASEMA DINI MBELE YA MWENYEZI MUNGU NI UISLAM, AU SIO?

JE, IBADA ZA WAFU NI ZA KIBIBLIA?


Ukweli hakuna Andiko lolote lenye pumzi ya Mungu mahali popote linasomeka kuwakumbuka marehemu, iwe kwa dakika moja au kwa dakika mbili. Lakini lipo Andiko linasomeka, "wafu hawana Ijara tena katika nchi ya walio hai". Kwa hiyo kwa mujibu wa andiko hilo, hata misa za wafu HAZIRUHUSIWI, ikimaanisha arobaini za marehemu wote hazina nafasi ndani ya Neno la Mungu.
WAFU/MFU NI NANI?
Utangulizi:-Neno wafu ndani ya Biblia limetumika likiwa na Maana zaidi ya moja, Linaweza kutumika kama
i. Ni hali ya Roho kutengana na mwili yaani Kifo cha mwili.(Luka 8:55, Muhubiri 9:5)
ii. Ni hali ya Mtu kutengana na Mungu au kuvunja uhusiano mwema na Mungu (Kutenda dhambi) yaani Kifo cha Kiroho (Ayubu 21:25)
Kifo cha kiroho. Kuna aina tatu ya wafu katika eneo hili ambayo mtu anaweza kufa kiroho lakini bado anaendelea kuwa hai kimwili. Huyu anaweza akatubu na kufufuka katika wafu akawa hai tena .Pia mtu anaweza kufa kiroho na kimwili maana yake Roho imekufa na mwili umekufa hana nafasi ya kutubu tena. (Ufunuo 20:5). Kifo hiki ni kibaya zaidi na kinatisha. Ambacho Bwana Yesu alisema msiwaogope wawezao kuuwa mwili bali Mungu mwenye uwezo wa kuuwa mwili na Roho, (Soma Matayo 10:28). Kifo cha tatu ni Mtu kufa kimwili lakini bado anaendelea kuishi Kiroho. Hapa Yesu alisema mtu akiniamini mimi na kutimiza neno langu ataishi hata kama akifa.

TUMIA MAMLAKA ULIYOPEWA NA MUNGU


Mungu ametupa mamlaka ya kipekee sisi wanadamu katika ulimwengu huu sema tu ni kwamba tunashindwa kutumia hiyo mamlaka. Ukisoma katika Mwanzo 1:27-30 Biblia inasema Mungu akamuumba mwanadamu kwa mfano wake na pia akampa mamlaka ya kutawala samaki wa baharini na ndege wa angani na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu nchi, vyote hivi mwanadamu alipewa kuvitawala na Mungu. Swali la kujiuuliza ni kwamba je inakuwaje mwanadamu wa leo anakuwa hana uwezo wa kuvitawala vitu hivyo?
Tunaweza kuona kuwa baada ya anguko la Adam mwanadamu amekuwa akishindwa kuvitwala viumbe vyote na vyote vilivyomo duniani na hii imekuwa ni kifungo kikubwa kwa wanadamu hadi leo hii kwa maana toka Adamu afukuzwe katika bustani ya Eden watu wamekuwa wakihangaika huku na kule bila kujua nini cha kufanya sababu shetani amekamata fahamu zetu ili tusiweze kukumbuka na kutumia mamlaka hii tuliyopewa na Bwana. Lakini Mungu kwa upendo wake na huruma zake na kwa Neema yake ya pekee alimtoa mwana wake Yesu Kristo ili kutupatanisha naye kutuwezesha kutumia ile mamlaka ya kutawala dunia kama ilivyokuwa kusudi lake hapo awali la kumuumba mwanadamu.
Jambo la msingi na la kipekee ni kupokewa Neema hii tuliyopewa bure ya kumkubali Yesu kuwa ni Bwana na Mwokozi ndani ya maisha yatu ili tuweze kutumia tena yale mamlaka. Ukisoma ktk kitabu cha TITO 2:11-12 utaona kuwa Biblia inatuambia kuwa Neema ya Mungu imefunuliwa kwetu nayo inatufundisha kuukataa ubaya .... hii Neema iliyofunuliwa ndio wokovu wenyewe ambao unatuwezesha sisi wanadamu kukiri kuwa Yesu ni Bwana, kwani yeye alifanyika chombo cha kuweza kutubebea ile laana aliyoipata Adam baada ya anguko. Soma Isaya 53:4-5 .... kwa kupigwa kwake sisi tumpona. Hivyo basi Bwana wetu Yesu ameturejeshea ujasiri na nguvu na uweza wa kutumia ile mamlaka ambayo tunatakiwa kuwa nayo kwani kwa kuliita jina lake tu magonjwa, pepo, na nguvu zote za giza zinakimbia. Hakutakuwa tena na maonevu yaletwayo na yule mwovu shetani katika maisha yetu hofu, kuyumba katika kipato, biashara, ndoa, watoto hata katika ulimwengu wa kiroho kwani utakuwa tayari unajua ni jinsi gani unaweza kupigana vita na ukaweza kuvishinda hakuna kitakachoweza kukudhuru kwani uweza unao mikononi mwako tayari ni jinsi gani tu unaweza kutumia na ni silaha zipi utumie ili uweze kushinda.

MAPEPO NI NINI [SEHEMU YA NNE]


Somo: MAPEPO
Mada Ndogo: Dalili 10 za mtu mwenye mapepo.
Lengo kuu: kuyajua mapepo na kazi zake.
Lengo Mahsusi: Kila mtu kuweza kumpinga pepo na kazi zake zote kwa Jina la Yesu.
Bwana Yesu asifiwe sana,
Ndugu mpendwa, katika sehemu tatu zilizotangulia, tumejifunza maana, asili/ chanzo cha ,mapepo. Natumai umebarikiwa sana.
Haleluya! Ndugu mpendwa, napenda kukukarisha katika mwendelezo wa mafundisho yetu juu ya mapepo, ambapo kwasasa tutaangalia kwa kina tabia/dalili za mtu aliyevamiwa na mapepo.
Ni muhimu sana kujua hili. Tabibu mzuri, ni yule anaetibu ugonjwa anaoufahamu, hivyo ni muhimu sana, kujifunza habari hizi,ili kuweza kukabiliana na kila hali kwa usahihi wake.
Pamoja na dalili nyingine ambazo sitazitaja; kwapamoja tuzichunguze hizi zifuatazo:-
(a) Kuwa na nguvu nyingi. Kwa hali isiyo ya kawaida, mgonjwa aliyedhoofu na pengine kulala kwa muda mrefu akiwa hajiwezi, huweza kuwa na nguvu nyingi sana na za ajabu. (Luka 8:28, Marko 5:3&4, Luka 8:29, Matendo 9:15&16). Mtu huyu, huweza kuwa mkali sana, mgomvi na wakati mwingine huweza kuwa na uvutano kama umeme/shoti. Hujiamini sana na hukasirika zaidi anapowaona wanamaombi.
(b) Kujaa ujasili na kujiamini kupita kiasi. Mtu aliyevamiwa na pepo wachafu, hujiamini na kujiona shujaa; tukio hili hulenga kumchosha mwili, kuwaumiza wanaomuuguza na yeye mwenyewe. Anaweza kujiangusha bila sababu,kujiuma meno, kutafuna baadhi ya sehemu zake za mwili,kujipiga,kujiuma meno,kujikatakata n.k. (Mathayo 17:15, Marko 5:5). Pia,mapepom hutumia njia hii ili watu wamwogope washindwe namna ya kumsaidia mtu wa namna hii kwa kuhofia usalama wao, na kubaki kumwonea huruma tu.
(c) Huonesha maumivu hata anapojiumiza mwenyewe ila haachi kujiumiza. Hili hutokana na kuwa yeye hajitawali,bali hutawaliwa na kuongozwa na pepo wabaya. Huumizwa sana ndani kwa ndani,ila hulazimika kuendelea kufanya kile kitu kinachomuumiza. Mfano, kujikatakata,kujiangusha, kurukaruka n.k. (Marko9:20-22).

KIJIJI KIZIMA HUKO UFILIPINO CHA OKOKA NA KUWA WAKRISTO



Habari kutoka "Christian Aid Mission" zinasema kuwa Kijiji cha Mindanao chenye Kabila la Manobo kilicho Kaskazini ya Filipino kimegeuka na kuwa Kanisa.
Baada ya kuangalia sinema ya Passion of Christ, wanakijiji wa Mindanao walimpokea Yesu na kuwa Wakristo.
Mavuno ni mengi sana na Yesu anaendelea kuokoa vijiji kwa vijiji.

MWANA MUZIKI SNOOP DOGG HIVI KARIBUNI KUPITIA VIDEO KATIKA MITANDAO AMESEMA AFADHALI AWE NA YESU KRISTO KULIKO DHAHABU NA UISLAM ....................


Baada ya kuuchoka Uislam na kuona hauna tija, Mwanamuziki wa Rap Snoop Dogg ameamua kusema yaliyo kwenye moyo wake kuwa afahdali awe na Yesu.
Hii ni habari njema na pigo kubwa kwa Waislam ambao walikuwa wakisema kuwa Snoop amesilimu.
Kwa habari kamili ingia hapa:
Rapper Snoop Dogg recently surprised fans by sharing a video on social media in which he sings the famed Gospel song, "I'd Rather Have Jesus."
"I'd rather have Jesus than silver and gold," Snoop, real name Cordozar Calvin Broadus, Jr, repeatedly sings in the video which he posted on his Instagram account (@snoopdogg) on Sunday. "Silver [and] gold. @dashradio Cadillac music Sunday gospel mix," he captioned the video.
Premiere notes that the song was made famous during Billy Graham's evangelistic rallies by worship leader George Beverly Shae, and includes the lyrics "I'd rather have Jesus than worldly applause/I'd rather be faithful to His dear cause/I'd rather have Jesus than worldwide fame/I'd rather be true to His holy name."
While some fans expressed astonishment at the move, others were thrilled to see the rapper praising the Lord.
"Praise Him, Snoop!" wrote one fan.
"Fire refines silver & gold; but the good Lord refines the hearts of man," wrote another.
"Right on Snoop!! I start every day off with Jesus. Now I got you on my prayer list. God bless brother!" added another fan.
Others suggested the "Gin and Juice" singer may be experiencing a change of heart.

Ancient Jewish Wedding Ceremony: “No man knows the day or hour, only the Father”

  The Ancient Jewish Marriage Rite: A Detailed Exposition of Betrothal, Preparation, and Consummation Dr. Maxwell Shimba Shimba Theological ...

TRENDING NOW