Wednesday, August 10, 2016

HISTORIA FUPI YA BIBLIA NA UTHIBITISHO KUWA HAIJACHEZEWA WALA CHAKACHULIWA


Ndugu msomaji,
Katika nakala hii kuhusu Biblia, nitaanza kwa kujiuliza maswali:
Je, Biblia tunayo isoma hii leo imechakachuliwa?
Je, Biblia tunayo isoma hii leo imejaa shaka au imeharibika au ilibadilika au imechezewa?
Je, Biblia tunayo isoma hii leo, imetiwa mkono wa mtu?
Hayo ni maswali muhimu sana, maana waumini wa dini zingine ambazo hawatumii Biblia kama kitabu chao kikuu, huwa wanadai kuwa, eti Biblia imechakachuliwa na sio maneno ya Mungu.
Ikumbukwe kuwa vitabu vya Agano la Kale viliandikwa kutokea takribani 1400 BC (Kabla Yesu azaliwe) hadi 400 BC. Vitabu vya Agano Jipya viliandikwa kutoka wastani wa AD 40 hadi AD 90. Hivyo, popote kati ya 3400-1900 miaka imepita tangu kitabu cha Biblia kilipoandikwa. Pia wakati huu, vitabu vya Biblia vilikuwa vimenakiliwa tena na tena. Nakala ya nakala ya nakala zimechapishwa. Kwa mtazamo huu, tunaweza bado kuiamini Biblia kuwa bado ni thabiti na imekamilika.
Awali, Mungu aliwaongoza watu kuliandika neno lake, ilikuwa ni pumzi ya Mungu na isiyo na makosa (2 Timotheo 3:16-17; Yohana 17:17). Hakuna mahali Biblia inatumika nakala hizi za kitabu cha kwanza. Kwa kina kama walimu wa Sheria waliokuwa pamoja wametoa nakala zingine za maandiko, hakuna mtu mkamilifu. Kwa matokeo, tofauti ndogo ndogo za kiuchapishaji "typo" katika nakala mbalimbali za maandiko, hili ni jambo la kawaida katika uchapishaji wa kitabu chechote kile. Yote ya maelfu ya Kigiriki na Kiebrania ambazo ziko hii leo kama ilivyo gunduliwa mwaka 1500 AD.
Hata hivyo, msomi asiye na ubaguzi wowote atakubaliana nami kwamba Biblia imehifadhiwa vizuri sana katika karne zilizopita. Nakala ya Biblia ya karne ya 14 AD ii karibu sana kwa maudhui ya nakala kutoka karne ya 3 AD. Wakati nakala za bahari ya Shamu ziligunduliwa, wasomi walishangaa kwa kuona jinsi zimekaribiana na nakala nyingine ya kale ya Agano la Kale, hata kama nakala za Bahari ya Shamu zilikua za miaka Zaidi ya kitu chochote awali kugunduliwa. Hata wengi wa wakosoaji wa Biblia hukubali kwamba Biblia imevukishwa zaidi ya karne mbali kwa usahihi zaidi kuliko hati nyingine yoyote ya kale.

ALLAH SIO MWENYEZI MUNGU (SEHEMU YA PILI)


JE, MALAIKA MKUU WA YEHOVA NDIO YULE YULE WA ALLAH?
Ikiwa Allah ndiye Yehova, basi ni wazi kuwa Malaika Mkuu atakuwa mmoja pia. Ikiwa si mmoja hata Malaika mkuu watakuwa tofauti.
Tuanze kuangalia Allah anavyosimulia katika Qurani naye anasema hivi
Qr. 81 au surat At-Takwyr 19-21 (Kukunja/jua litakapokunjwa)
Kwa hakika hii (Qurani) ni kauli (aliyokuja nayo) mjumbe mtukufu (Jibrili) Mwenye nguvu, mwenye cheo cha hishima kwa Mwenyenzi Mungu. Anayetiiwa huko (mbinguni na malaika wenziwe) kisha muaminifu.
Ufafanuzi wa aya hizi. ulio ndani ya Qurani unaelezea aya hizi 19-21, unafundisha hivi…….
Mjumbe mtukufu na mwenye kutiiwa huko mbinguni ni Jibrili, ambaye ndiye mkubwa wa malaika wote
MALAIKA MKUU WA MUNGU YEHOVA NI HUYU
Yuda 1:9,
Lakini Mikaeli Malaika mkuu, aliposhindana na Ibilisi na kuhojiana naye kwa ajili ya mwili wa Musa, hakuthumbutu kumshitaki kwa kumlaumu bali alisema Bwana na akukemee
Hapa tunaona aya zinatufundisha waziwazi kuwa malaika mkubwa wa Allah anaitwa Jibril na Malaika mkuu wa Mwenyezi Mungu wetu Yehova anaitwa Mikaeli.
Swali; Kwa kuwa Malaika hao ni tofauti, je, Allah ndiye Yehova? Kwa kujua zaidi tofauti ya malaika, jipatie nakala ya somo la: Malaika Jibrili na Gabrieli, je ni Malaika mmoja. Somo hilo tunalo, jipatie.http://www.maxshimbaministries.org/…/malaika-gabriel-wa-bib…
Mwanzo1:26-27
Mungu akasema “Na tufanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu, wakatawale samaki wa baharini, ndege wa angani na wanyama, na nchi yote, pia na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi. Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba mwanamume na mwanamke aliwaumba. Hapa tunaona Mungu wetu Yehova ameumba mtu kwa mfano wake, lakini Allah anasema hana anayefanana naye hata mmoja……
Swali kwako mfuatiliaji:
Je, Allah ndiye Yehova?
Tafadhali usome aya hizi ili kujua zaidi (Mwanzo 5:1-2, 9:6, 1Korintho 11:7, Kolosai 1:15, 3:10, Matendo 17:28-29,Yakobo 3:9).
Pengine waweza kusema Je, Mungu amefanana na mimi kivipi? Jua kwamba Mungu ni Roho (Yohana 4:24) Naye alitupa pumzi (yaani roho ya uhai (Mwanzo 2:7) isitoshe Mungu ndiye Baba wa roho zetu (Waebrania 12:9) Mungu anasema Roho zetu ni mali yake (Ezekieli 18:4, Hesabu 16:22)
Leo tumejifunza kuwa Allah sio Mungu wa Biblia ajulikanaye kwa jina la YEHOVA.
FUATILIA SEHEMU YA TATU

UTAFITI: BIBLIA NDIO KITABU BORA NA KINACHO SOMWA SANA KULIKO VYOTE DUNIANI



Mtafiti aliyebobea James Chapman ameweka kumi bora ya vitabu vinavyo somwa sana duniani. Kwa taarifa yako, Biblia ndio kitabu kinacho ongoza kusomwa kuliko vitabu vyote hapa duniani. Quran HAIPO hata kwenye 20 bora. http://www.relevantmagazine.com/…/bible-tops-list-most-read…
Kwa upande mwingine, Biblia ndio kitabu kinacho somwa sana kuliko vyote duniani tokea dunia iumbwe. http://books.usatoday.com/…/the-bible-is-the-world…/690422/1
Huku Quran ikishika namba moja kwa kitabu chenye sifa na mafundisha mabaya kuliko vyote hapa duniani.http://www.danielpipes.org/comments/195861
Zaidi ya hapo, Biblia ndio kitabu kilicho chapishwa sana katika kipindi cha miaka 50 iliyo pita. Nakala zaidi ya BILIONI SITA zimesha chapishwa mpaka sasa.
Biblia inaongoza kwa kuwa na nakala zaidi ya Bilioni 4 zilizo chapishwa katika kipindi cha miaka 50.
Ikifuatiwa na kitabu cha "Works of Mao Tse-tung" chenye nakala Milioni 820. Kitabu cha Harry Potter nakala millioni 400, The lord of the Rings trilogy nakala milioni 103 na kitabu cha Paulo Coelho's the Alchemist chenye nakala millioni 65.
http://cdn1.relevantmediagroup.com/…/Screen%20Shot%202013-1

JINA LA YESU LINAMAMLAKA YA KURUDISHA MALI ZAKO ZOTE


Ndugu Msomaji: Leo ningependa tujikumbushe jambo Fulani kuhusu maisha yetu ya kila siku.
Hebu kwanza tusome neno la Mungu kama lilivyo andikwa katika Isaya:
Isaya 42:22‘Lakini watu hawa ni watu walioibiwa na kutekwa; wote wamenaswa katika mashimo, wamefichwa katika magereza; wamekuwa mawindo, wala hapana aokoaye; wamekuwa mateka, wala hapana asemaye, Rudisha.’
Inawezekana kabisa labda huelewi kuwa, shida zako zote zimesemwa katika hii aya hapo juu. Labda hufahamu kuwa wewe ni tajiri na Shetani amekuwa akikuibia mali zako. Labda hufahamu kuwa wewe ni Msomi na ulitakiwa uwe na Madigirii kadhaa. Labda hufahamu kuwa wewe ni Kiongozi Fulani ambae ameibiwa uongozi wake, “nyota yako”.
Leo ningependa ufahamu kuwa Shetani ni Mwizi na anaweza kukuibia wewe unae soma huu ujumbe. Ningependa ujiulize, hivi, Je, huyu Shetani alikuibiaje wakati wewe ni mtoto wa Mungu na umeokoka?
Katika Injili kutokana na Yohana 10:10 inasema kuwa: Mwivi haji ila aibe na kuchinja na kuharibu; mimi nalikuja ili wawe na uzima, kisha wawe nao tele.
Mpendwa katika Bwana. Ningependa ufahamu kuwa, hiyo ndio kazi kuu ya Shetani katika Maisha ya Mkristo. Shetani amekuja kukuibia mali zako, labda amekuja kukuibia amani yako ya wewe na familia yako. Labda amekuja kukuharibia watoto wako. Ndugu msomaji, jibu tunalo na tumekuwa nalo kila siku, lakini tumeshindwa kulitumia. Isaya anasema kwenye aya hiyo hiyo kuwa “wala hapana asemaye, rudisha”
Je, wewe umesha wai mwambia Shetani arudishe mali zako? Labda kwasababu hukuwai ziona na aliziiba kabla ya wewe kuzishika, haimaanishi kuwa wewe sio tajiri. Baba yetu aliye Mbinguni ni Tajiri Mkuu, hivyo elewa kuwa, wewe kama motto wake ni Tajiri vile vile. Hebu jisifie kidogo kuwa, wewe ni motto wa tajiri. Sema hivyo na anza kukiri kuwa wewe ni tajiri na sio maskini.
Biblia inasema katika Isaya 42:18 kuwa, tutoke kwenye upofu, tumebaki kuridhika na hali mbaya tuliyonayo tukiona amani tu! Kumbe tuko vipofu! Hatuoni uhalisia.

KUMBE MAMA YAKE NABII MUHAMMAD ALIKUFA KAFIRI


Bi Amina mamake na Muhammad kafa kafiri. tunasoma
عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُ قَالَ : قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ ((اسْتَأْذَنْتُ رَبِّي أَنْ أَسْتَغْفِرَ لأُمِّي فَلَمْ يَأْذَنْ لِي ، وَاسْتَأْذَنْتُهُ أَنْ أَزُورَ قَبْرَهَا فَأَذِنَ لِي )) مسلم
Kutoka kwa Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ‘anhu) ambaye amesema: Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: ((Niliomba ruhusa kutoka kwa Allaah kumuombea msamaha mamangu, lakini Hakunipa ruhusa. Nikamuomba idhini nilizuru kaburi lake (mamangu), Naye Akanipatia ruhusa)) [Muslim]
Inaelezwa katika Kitabu cha ‘Awn al-Ma’abuud:
“Kauli yake (Muhammad) ((lakini Hakunipa ruhusa)) ina maana kuwa (mama yake) alikuwa kafiri na hairuhusiwi kumuombea maghfirah kafiri.”
Huu ni msiba mwengine kwa Waislam. Wazazi wake Muhammad wote wamekufa na dhambi kubwa kubwa na huku wakiwa MAKAFIRI.
Hivi huyu Allah mbona aliwachukiwa sana wazazi wa Muhammad?
Je, unafahamu kuwa baba yake Muhammad na yeye alikufa akiwa KAFIRI na yupoe Jehannam?
Hakika kuna mambo ya ajabu ajabu kwenye uislamu.
LAKINI HATUSOMI KUWA MAMA YAKE YESU ALIKUFA NA DHAMBI.
Mungu awabariki sana.
Ni mimi Max Shimba, mtumwa wa Yesu Kristo,
For Max Shimba Ministries Org,
MAX SHIMBA MINISTRIES ORG ©2016. ALL RIGHTS RESERVED
Everyone is permitted to copy and distribute verbatim copies of this license document, but changing it is not allowed.

NI LINI ALLAH ATAZUNGUMZA NA MUHAMMAD?

Ndugu zanguni,
Hili swali limeenda shule.
Leo ningependa tujikumbushe mambo machache ambayo labda hatukuyatilia maanani. Mitume wote na manabii wote wa Biblia waliwai ongea na Mungu. Lakini, Mtume wa Allah "Muhammad" hakuwai ongea na Mungu HATA MARA MOJA. Je, utume wake tutauamini vipi maana hakuwai ongea na aliye mtuma?
Lakini Mitume wote wa Biblia waliongea na Mungu.
1. Musa anoangea na Mungu: Kutoka 3:1-21
2. Elia anaongea na Mungu: 1 Wafalme 19- Soma yote
3. Paulo anaongea na Mungu: Matendo ya Mitume 18:9Wagalatia 1:1 Paulo, mtume, si mtume wa wanadamu aliyetumwa na mwanadamu, bali na Yesu Kristo na Mungu Baba aliyemfufua Yesu kutoka kwa wafu
Biblia ipo wazi kabisaa, kuwa Paulo alitumwa na Mungu, wakati Muhammad alitumwa na Jibril ambaye si Mungu. Koran inakiri kuwa Muhammad alikutana na Jibril na hakuwai kukutana na au ongea na Mungu hata mara moja. Lakini tunasoma katika Biblia kuwa, Paulo alipewa utume na Mungu mwenyewee.
Warumi 1:1 Paulo, mtumishi wa Kristo Yesu, ALIYEITWA KUWA MTUME na kutengwa kwa ajili ya Injili ya Mungu.
Hiyo ni mifano michache kutoka Biblia.
Kama Muhammad alikuwa Mtume wa Mungu, kwanini hakuongea na Mungu aliye Mtuma? Maana ya neno Mtume kwa kifupi: Ni Mtu aliye tumwa.
HEBU TUANGALIE, HUYU MUHAMMAD ALIZALIWAJE?
1.KUZALIWA KWAKE,
Abu Huraira (r.a) amesimulia kuwa "Mtume Muhammad (s.a.w) alikuwa na shetani tangu alipozaliwa, (Fat'hul Baary Juzuu ya 6 Uk. 389).
Je, kuna ushahid wowote ule kuwa Muhammad alitolewa Shetani? Kama upo Basi Waislam, tuleteeni tuuone.
2.BAADA YA KUTOKA PANGONI,

KWANINI MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSAN?


Hadith Idadi 16,245: "maneno ya Washami," Hadith ya Mu'awiya Ibn Abu Sufyan": "Nilimwona Nabii wa Allah(saw) - akimnyonya ulimi na kulamba mdomo wa Al-Hassan Mwana wa Ali, Mwenyezi Mungu amrehemu, maana hakuna mtu atakaye teswa kwa Moto wa Jehannam baada ya kunyonywa ulimi na kulambwa midomo na Nabii wa Allah.
Hivi kwanini mnamfuata huyu Muhammad aliye vuka mipaka na sasa kufanya tabia kinyume na maumbile ya binadamu? Hii tabia ya kunyonya ndini ya mtu wa jinsia yako ndio utume huu au hii nayo ndio miujiza ya Nabii wa Allah?
Pia alisema, "Siku baadaye tuliomba muuguzi kwa ajili yake (Ali) lakini alikataa, basi tukamwita Nabii Muhammad - SAW -.ambaye alimnyonya ulimi "Ali" kwa kinywa chahe mpaka akalala. Hivi ndivyo Allah alivyo taka Ali afanyiwe na Nabii wake
Kama Muhammad alikuwa Mtume wa Mungu, mbona tabia zake zinaenda kinyume na maadili ya binadamu?
Hakina huyu Muhammad hakuwa Mtume wa Mungu bali Allah ambaye ni Mpinga Mungu na aliye mruhusu kuvunja maadili
.Biblia inasisitiza kila mara kwamba ushoga ni dhambi (mwanzo 19:1-13; mambo ya walawi 18: 22; warumi 1:26-27; wakorintho wa kwanza 6:9). Warumi 1:26-27 inatufundisha ya kwamba ushoga ni njia mojawapo ya kumkana na kutomtii Mungu. Mtu anapodumu katika dhambi na kutokuamini biblia inatuambia ya kwamba “Mungu huwaachilia” kutenda maovu zaidi ili wapate kujua ubatili wa maisha bila Uwepo wa Mungu. Wakorintho wa kwanza 6:9 inasema kuwa mashoga hawataurithi ufalme wa Mungu.

ALLAH SIO MWENYEZI MUNGU (SEHEMU YA TATU)


ALLAH NA WOTE WANAOMWABUDU WATAISHIA JEHANAM
Mwisho wa wanaomwabudu Allah ni wapi? Tunajua kuwa Wakristo tutaishi na Mungu wetu Yehova milele (tazama 1Thesalonike 4:13-17 na Ufunuo 21:3-7) Hivyo Mungu wetu hana mwisho ni wa milele. Lakini tunaposoma Qurani na Hadithi za Muhammad, mtume wa Waislamu tunaona mafundisho hayo.
Qr. 51 au Surat Adh-Dhaariyat 56 (sur aya upepo) yasema, Sikuwaumba majini na watu ila wapate kuniabudu
Qr. 6 Surat Al An-Am 128 (Sura ya wanyama)
Na (wakumbushe) siku atakapowakusanya wote (awaambie) "Enyi makundi ya majini! Hakika nyinyi mmechukua wafuasi wengi katika wanaadamu" na marafiki wao katika wanadamu (watawagombania) waseme "mola wetu! Tulinufaishana sisi na wao, na tumefikia muda wetu uliotuwekea" Basi (Mungu) atasema:"moto ndio makazi yenu, mtakaa humo milele.. katika aya hizi tunaona kuwa majini pamoja na watu wote watatupwa motoni.
Je Allah naye ni vipi? Tunaposoma kitabu cha hadith za mtume (s.a.w) cha Sahih al-Bukhari Vol: VI Hadithi No: 371.ukurasa wa 353 Kuna maneno haya:
Quran 50 au Surat Qaf 30 (kuapa) Siku tutakayoiambia Jahanamu, ‘Je! Umejaa?’ Nayo itasema ‘Je kuna ziada (zaidi? Naije tu!
Imesimuliwa na Anas kuwa: mtume alisema watu watatupwa jahanamu, Naye Allah ataiuliza jahanamu akisema je umejaa nayo jahanamu itasema kwani kuna nyingine zaidi na ije tu? Mpaka Allah atakapo ingiza mguu wake nayo jahanamu itasema inatosha! Inatosha
Hadithi hii ya Anas inasomeka hivi:

MUHAMMAD HATED MUSLIM WOMEN: ALLAH AKA HIS CREATOR HATED THEM


For detailed hatred of Muslim women go to:http://www.islamreform.net/new-page-187.htm
"[Muhammad] said, ‘Is not the evidence of two women equal to the witness of one man?' They replied in the affirmative. He said, 'This is the deficiency in her intelligence.'" [Bukhari 6:301]
Among the inmates of Heaven women will be the minority" (Sahih Muslim 36: 6600)
"I (Mohammed) have seen that the majority of the dwellers of Hell-Fire were women... [because] they are ungrateful to their husbands and they are deficient in intelligence" (Sahih Bukhari: 2:18:161; 7:62:125, 1:6:301).
Women Are Deficient In Intelligence
Males are to inherit twice that of females. [Quran 4:11]
Women Are Inferior to Men
Men are "a degree” above women. [Quran 2:228]
A woman is worth one-half a man. [Quran 2:282]
Women Are Dirty
“When it's time to pray and you have just used the toilet or touched a woman, be sure to wash up. If you can't find any water, just rub some dirt on yourself.” [Quran 5:6]
Most Muslim Women will go to Hell
“And it is said unto the angels): Assemble those who did wrong, together with their wives (no matter how they behaved), and what they used to worship.” [Quran 37:22-23]

MUHAMMAD AMEKIRI KUWA ADAM NA HAWA HAWAKUWA WAISLAM

HUU NI MSIBA MKUBWA SANA KWA WAISLAMU
=======================================
Ndugu zanguni, leo nataka kuwafahamisha Waislam kuwa, ADAM na HAWA hawakuwa waislam kama ambavyo wanavyo dai.
Ngoja nikusaidie kidogo:
Hivi unafahamu kuwa Uislam ulianzishwa na Muhammad na haukuwepo kabla yake?
Uislamu ambao ulianzishwa na Muhammad, Mtume wa Allah (s.w.t.) mnamo mwaka 610 A.D. huko Makka, na ulikamilishwa kwa msaada wa binamu yake, mshiriki na makamu wake, Ali ibn Abi Talib, mnamo mwaka 632 A.D. hapo Madina. Inahusisha kipindi cha miaka tisini kuanzia 570 A.D. wakati yeye Muhammad alipozaliwa huko Makka, hadi mwaka 661 wakati mrithi wake, Ali ibn Abi Talib, alipouawa huko mjini Kufah.
Kama unabisha nijibu yafuatayo:
1. Nionyeshe neno au jina "ISLAM" katika Taurat aliyo iteremsha Allah kwa Mousa kabla ya Quran.
2. Nionyeshe neno au jina "ISLAM" katika Zaburi aliyo iteremsha Allah kwa Daoud kabla ya Quran.
3. Nionyeshe neno au jina "ISLAM" katika Injil aliyo iteremsha Allah kwa Yesu kabla ya Qurann.
Kumbuka: Sina Muda na aya za Quran, maana Quran sio mkusanyiko wa vitabu "BIBLIA. Mimi nijibu kwa kutumia Taurat, Zaburi na Injili alizo ziteremsha Allah kabla ya Quran kuteremshwa kwa Muhammad.
Kama kuna Muislam yeyote yule hapa duniani atanionyesha "UISLAM" na au jina UISLAM na au neno UISLAM katika hivyo vitabu, LEO HII MIMI NITASILIMU NA KUWA MUISLAM.
Karibuni kwa Yesu aliye hai na Mungu Mkuu.
Ni mimi Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo.

TRENDING NOW