Je, Wakristo na Waislam, wanaabudu Mungu mmoja?
Je, Allah ni Mungu wa Kipagani?
Je, Allah ni Mungu wa Kipagani?
Ndugu wasomaji, kwa mara nyingine tena, Nabii wa Allah amekiri kuwa Wakristo na Waislam hawaabudu Mungu mmoja na Allah ni mungu wa Kipagani.
Katika hiki kijarida tunaangalia ushahidi mbalimbali kuwa, Allah sio Mungu wa Adam, Musa na Mitume wote walio tajwa kwenye Biblia Takatifu.
Kutokana na Surat Al Kafirun iliyoteremka Makka, Muhammad anakiri kwa mdomo wake kuwa Wakristo na Wayahudi hawaabudu Mungu mbaye anaabudiwa na Waislamu.
Sura 109 1. Sema: Enyi makafiri! 2. Siabudu mnacho kiabudu;
3. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu. 4. Wala sitaabudu mnacho abudu. 5. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu. 6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.
3. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu. 4. Wala sitaabudu mnacho abudu. 5. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu. 6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.
Surah hii inamatatizo mengi sana ambayo ypo wazi kuwa, madai ya Wiaslam ya Mungu wa Wakrist na Mungu wao ni mmoja, ni batili na hayana ushahid.
TATIZO LA KWANZA:
Hivi, hii Surah inamzungumzia nani?
(a) Watu wa Kitabu (Wayahudi, Wakristo na labda Wasebia)?
(b) Makafir wa Makkah?
Hivi, hii Surah inamzungumzia nani?
(a) Watu wa Kitabu (Wayahudi, Wakristo na labda Wasebia)?
(b) Makafir wa Makkah?
Quran hapa imeshindwa kutueleza kuwa, Muhammad alikuwa anaongea na ummah upi.
TATIZO LA PILI:
Hata kama ni moja ya dai la (a) au (b) hapo juu, hii Surah ya 109 imejaa utata na kupinga aya mbaimbali za Quran ambazo zinadai kuwa Wakristo, Wayahudi na wengine wote wanaabudu Mungu mmoja ambaye anaabudiwa na Waislamu.