KAFIRI SIO TUSI BALI NI JINA TUU LENYE MAANA YA MPINGA IMANI AU DINI AU ANAEENDA KINYUME NA AMRI ZA MWENYEZI MUNGU ZILIZO KUWEPO KABLA YA QURAN.
KUMBE WAISLAM NI MAKAFIRI MAANA WANAPINGA KUWA YESU NI MWANA WA MUNGU.
SHALOM TENA,
Kwa mara nyingine twamshukuru Yehova Mungu kwa kutupa neema hii tena ili tuweze kukufikishia ujumbe huu wa Biblia na kweli zake kuhusu sifa ya Makafir. Watu wengi hawajua Kafiri ni nani na au tabia za Makfiri ni zipi.
Watu wengi huchukia na wengine kupigana kisa kaitwa kafiri.
Wengi hufuata mkumbo tuu bila kujua maana halisi ya neno Kafiri. Baada ya kuangalia katika wikipedia utakuta neno Kaffir ni neno la kiarabu lenye maana “non believer” yaani asiye muumini/mpingaji au mpinzani (protestant) wa dini au imani flani. Zaidi ya hapo, iliisha fafanuliwa katika Qur'an kuwa Kafiri ni mtu anaye kufuru, na au pinga Maneno ya Mwenyezi Mungu.

Biblia iliyo kuwepo miaka 632 kabla ya kuandikwa kwa Quran na kabla ya kuzaliwa kwa Muhammad inatuambia kuwa Yesu ni Mwana wa Mungu. Hivyo basi, kufuatana na ushahid wa NENO KAFIRI la MPINGAJI WA IMANI AU DINI FULANI, yeyote yule atakae kuja baada ya Hizi aya za Luka 1-30-35 ZINAZOKIRI KUWA YESU NI MWANA WA MUNGUI LAZIMA AWE KAFIR. Maana anapinga maneno ya Yehova Mwenyezi Mungu aliye umba kila kitu aliyoyasema miaka 632 kabla ya Quran.
Allah analifahamu hilo kuwa Yesu aliitwa Mwana wa Mungu na hakusema chochote kile kwa miaka 632. Lakini baada ya kuzaliwa Muhammad Allah anapinga Maneno ya Yehova wa kwenye Biblia kuwa Yesu ni Mwana wa Mungu. HII TABIA YA KUPINGA KILICHO KUWEPO KABLA NDIO SIFA MOJA WAPO YA KAFIRI. ALLAH NA WAISLAM WAMEFANIKIWA KUINYAKUA HII SIFA YA KAFIRI.
Hebu tuisome kwanza hiyo aya ya Yesu kuitwa Mwana wa Mungu.
YESU KRISTO: YEYE NI MWANA WA MUNGU.