Thursday, July 27, 2017

Isn’t this the way they hose off elephants in the zoo when it’s hot?


Muslim cleric is hosing off a group of burqa-clad women. Can only imagine what the stench in that room must be like.

SWEDEN: 48 semen stains found after at least nine Afghan Muslim invaders savagely gang-raped a mother of two


Ah yes, once again…securing Sweden’s place as the  undisputed (Muslim) rape capital of Europe.

Translated from Fria Tider via 10NEWS The Swedish mother of two was gang-raped to the sound of laughter and joyful shouts by at least nine refugees at a refugee camp in Småland Mariannelund, Sweden.

The woman was almost catatonic after the rape and still feels that she has something stuffed in the genital area. Today, the prosecutor presented the evidence, consisting of semen probes, against nine men, of whom several defends their actions against the woman.

‘She is a whore,’ says the Swedish Migration Board Muslim interpreter Bahaduri Rafi, (above) 25, who is one of the defendants.

Prosecutor Gunnar Brodin disclosed that forensic scientists found 48 semen stains in the refugee apartment where the gang rape took place. Inside the victim’s rectum and farther up the digestive system was recovered sperm from at least four people. In total, nine men are connected to the rape.

Besides the sadistic gang rape, which was committed by Afghan refugees, the mother of two was close to death because her airways was clogged during the rape, stated courtroom clerk Charlotte Bokelund during the trial. …

The mother of two, who have chosen to follow the trial, repeatedly felt so bad that she had to leave the courtroom to vomit.

But what can you say when you see idiotic statements like this from Swedish feminazis?

UTHIBITISHO KWAMBA MUNGU YUPO (SEHEMU YA TANO)

Image may contain: text

Hali ya kutambua/ kutambulika yatoka kwa Mwasisi-Mtambuzi
Ulimwengu uliobuniwa unatambulika. Kilimanjaro ya theluji au ngorongoro ya kijani yatambulika kwa macho. Ijapokuwa tunautambua ulimwengu lakini wenyewe haujitambui. Mata (matter) na nguvu (energy), mwamba na umeme, kompyuta na roboti havijitambui. Havina utambuzi wa nafsi. Haviwezi kutambua nafsini kwa kufikiri, kusikiliza, kukumbuka, kuongea, kuhisi, kuhiari, na hapo hapo kung’amua walichokitambua. Mwanadamu anatoa wapi utambuzi huo? Kama gesi iliyojilipukia (“big bang”) ilizua wanadamu wenye utambuzi, iweje chanzo kisichojitambua (mlipuko) kitofautiane na zao lake linalojitambua (mtu)? Hakika, wanadamu wenye ufahamu wametoka kwa Muumba mwenye-ufahamu. Mtu anamtambua Muumba na Muumba anamtambua mtu—wawili wanafahamiana hata kama wachukua muda kujuana. Mungu ndiye "akiisha kuwawekea walimwengu nyakati alizoziamuru tangu zamani, na mipaka ya makazi yao; ili wamtafute Mungu, ingawa ni kwa kupapasa-papasa, wakamwone, ijapokuwa hawi mbali na kila mmoja wetu." (Matendo 17:26b,27)
MAANGUKO KAMILI
La ajabu, miaka 100 kabla Babeli haijafikia kilele cha ukuu wake, nabii Isaya alishatabiria kuangushwa kwake kwa maneno thabiti sana. Katika kifungu kilichopewa kichwa cha habari 'Mzigo wa Babeli' ni hivi alivyosema.
"...Siku ya BWANA i karibu; itanyesha kama maangamizi yatokayo kwa Mwenyezi Mungu...Tazama, nitawaamsha Wamedi juu yao...Na Babeli, huo utukufu wa falme, uzuri wa kiburi cha Wakaldayo, utakuwa kama Sodoma na Gomora hapo Mungu alipoiangamiza. Hautakaliwa na watu tena kabisa... Mwarabu hatapiga hema yake huko, wala wachungaji hawatalaza makundi yao huko. Lakini huko watalala
hayawani wakali wa nyikani "(Isaya 13:6,17,19-21)
Hatima ya Babeli inaeleweka: wavamizi watakuwa Wamedi (taifa mashariki ya Babeli); jiji litakuwa maganjo, lisilokaliwa na mtu wala mnyama pori. Tukumbuke utabiri huu ulitolewa miaka 100 kabla ya Babeli kukua kufikia nguvu na utukufu wake.
Nabii mwingine, Yeremia, akiandika miaka 100 baadaye, wakati
Nebukadreza alipokuwa akikaribia kuivamia Yerusalemu, aliongeza mtazamo juu ya anguko la Babeli.
"BWANA asema hivi, Angalia, nitaamsha juu ya Babeli upepo uharibuo... Babeli umeanguka na kuangamia ghafla... Wekeni mataifa tayari juu yake, wafalme wa Wamedi... Babeli utakuwa magofu, makao ya mbwa-mwitu, ajabu, na mazomeo pasipo mtu kukaa huko... kuta pana za Babeli zitabomelewa kabisa, na malango yake marefu yatateketezwa... Ee BWANA, umenena habari za mji huu kwamba utakatiliwa mbali, usikaliwe na awaye yote, wala wanadamu wala wanyama, lakini uwe ukiwa hata milele..."
Na mwishowe nabii anaamriwa kufunga jiwe kwenye gombo la unabii ule na kulitupia ndani ya mto Frati, aseme, "Hivyo ndivyo utakavyozama Babeli, wala hautazuka tena..." (Yeremia:51:1,8,28,37,58,62-64) uwiano kati ya unabii wa Isaya, ulioandikwa miaka 100 kabla ya mamlaka ya Babeli kushamiri, na ule wa Yeremia, ulioandikwa wakati dola na jiji vilipokuwa
katika kilele cha utukufu wake ni mtimilifu. Kwa watu wa siku zile itakuwa ilionekana kama ilivyo kwetu leo tuambiwe miji mikubwa kama London, New York au Sydney itaangamizwa ibakie magofu milele. Katika enzi hii ya silaha za nyuklia, jambo hilo linawezekana; lakini manabii wa Israeli walitamka hayo zaidi
ya miaka 2500 iliyopita wakati hakuna ambaye angeweza kuota kwamba uharibifu kamili namna hiyo ungewezekana.
Historia inaonyesha jinsi ambavyo unabii huo wa maanguko ya Babeli ulivyotimizwa hatua kwa hatua. Wavunjaji wa Kwanza walikuwa Wamedi na Wajemi katika karne ya sita (K.K). Kuanzia wakati huo umwamba wa Babeli ulianza kufifia. Baadaye walikuja Wayunani chini ya Aleksanda Mkuu, wakifuatiwa na Warumi; baada yao makabila kadhaa yapendayo vita kama Wapathi, Waarabu na Watarta.
Kwa karne nyingi mahali halisi pa jiji la Kale la Babeli palikuwa mahame, yaliyoepukwa - wasafiri wasemavyo - na wahamaji wanaotangatanga. Ni hivi karibuni tu wataalamu wa kihistoria wachimbuao chini ( Archaeologists), walipochunguza eneo hilo katika nusu ya kwanza ya karne ya 19, na kugundua mabaki ya kuta kubwa, mahekalu ya nguvu na malango, na masanamu makubwa yaliyoonyesha ulimwengu ulioshikwa na butwaa jinsi ukuu wa Babeli ulivyokuwa enzi zake.
Kwa hiyo historia inatuonyesha jinsi Babeli 'Utukufu wa falme,'
ulivyoangushwa na kuachwa, kama manabii wa Israeli walivyotabiri ingekuwa.
Sasa tunageukia mfano wa pili unaotofautiana, unaotuonyesha pia uhakika wa unabii wa Biblia katika:-
====USIKOSE SEHEMU YA SITA ==== HATIMA YA MISRI
Misri iliwahi pia kuwa dola yenye nguvu kubwa katika Mashariki ya Kati.
Shalom,
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo.

UTHIBITISHO KWAMBA MUNGU YUPO (SEHEMU YA NNE)

Image may contain: one or more people and text


Ulimwengu ni sanaa iliyobuniwa. Tupia macho nyota za angani au maua ya kondeni. Ni nini mbele yako? Si uzuri huo? Aidhaa uzuri huo umebuniwa na mbuni aliyejipanga au umeibuliwa na mlipuko usiokusudiwa (wanafizikia wauita, “big bang”).
Lakini, iweje mlipuko usiopangilika uzue maumbile yaliyopangilika? Waweza kuamini herufi hizi usoni mwako ni matokeo ya wino uliojimwagikia badala ya binadamu aliyefikiria? Daima, sanaa hubuniwa na kubakia mali halali ya msanii. Kufurahia uvumbuzi na kutomtambua mvumbuzi ni nini kama si ubakaji wa sanaa, ukatili kwa msanii, na ukiukwaji wa haki ya msanii kutambulika? “Kwa sababu mambo yake [Mungu]….yanaonekana, na kufahamika kwa kazi zake; yaani, uweza wake wa milele na Uungu wake; hata wasiwe na udhuru” (Warumi 1:20;)
UNABII KUHUSU BABELI
Katika enzi ya manabii wa Israeli (Kama 850-560 K.K) kuliinukia dola mbili kuu katika maeneo yanayoizunguka mito ya Frati na Tigrisi, katika Iraki ya sasa.
Ya kwanza ilikuwa dola ya Ashuru iliyokuwa na makao makuu Ninawi. Kwa karne mbili, Waashuru walivamia ardhi ya mataifa waliowazunguka: kusini wakawatawala Wakaldayo na makao makuu yake Babeli; Magharibi wakaikalia Shamu, na kuendelea chini katika pwani ya Bahari ya Kati, kupitia Israeli mpaka Misri. Sera yao ilikuwa ya kigaidi. Lengo lao lilikuwa kuwatisha wakazi wa maeneo hayo watii na kulipa kodi kwa mwaka. Kufanikisha hili waliiswaga miji kiuporaji na kuichoma moto, wakavibamiza vijiji, na kuua wakazi na kuchukua maelfu ya mateka Ashuru.
Katika nusu ya pili ya karne ya saba (K.K), nguvu ya Ashuru ilipungua na Babeli ikaanza kupanda. Katika mwaka 612 (K.K), Ninawi uliangushwa.
Nebukadreza, mfalme wa Wakaldayo, haraka akaanzisha dola mpya. Mataifa madogo madogo Mashariki ya Kati yalipokuwa yanashangilia uhuru wao kutoka Ashuru, mara yakajikuta wakivamiwa na majeshi ya Babeli. Na hasa Nebukadreza akaivamia Israeli akaiteka Yerusalemu, akalichoma hekalu lake na kuchukua maelfu ya mateka Babeli. Akaendelea kusini zaidi na kuivamia Misri.
Dola ya Babeli ilikuwa ni awamu ya pili ya utawala huu wa kijeshi. Ulikuwa katika eneo la Frati.Na hasa Nebukadreza, mfalme wake mkuu kabisa aliujenga mji mkuu wa Babeli kuwa fahari ya dunia katika Mashariki ya Karibu. Alijenga Mahekalu makubwa na majumba ya kifalme, na kuzungushia jiji hilo ukuta mkubwa sana kuulinda. Babeli ukawa utukufu na fahari kuu kwa Nebukadreza mwenyewe na Wakaldayo wake.
Ni vigumu kwetu sisi kwa sasa kutambua athari za utawala kama huo wa kimabavu na uharibifu wa mali kwa wakazi wa mataifa madogo. Kwao dola za Ashuru na Babeli zitakuwa zilionekana tishio na zisizoshindwa.
=== USIKOSE SEHEMU YA TANO ========= MAANGUKO KAMILI
La ajabu, miaka 100 kabla Babeli haijafikia kilele cha ukuu wake, nabii Isaya alishatabiria kuangushwa kwake kwa maneno thabiti sana.
Shalom,
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo.

JE, IBADA ZA WAFU NI ZA KIBIBLIA?

Image may contain: text and outdoor

Ukweli hakuna Andiko lolote lenye pumzi ya Mungu mahali popote linasomeka kuwakumbuka marehemu, iwe kwa dakika moja au kwa dakika mbili. Lakini lipo Andiko linasomeka, "wafu hawana Ijara tena katika nchi ya walio hai". Kwa hiyo kwa mujibu wa andiko hilo, hata misa za wafu HAZIRUHUSIWI, ikimaanisha arobaini za marehemu wote hazina nafasi ndani ya Neno la Mungu.
WAFU/MFU NI NANI?
Utangulizi:-Neno wafu ndani ya Biblia limetumika likiwa na Maana zaidi ya moja, Linaweza kutumika kama
i. Ni hali ya Roho kutengana na mwili yaani Kifo cha mwili.(Luka 8:55, Muhubiri 9:5)
ii. Ni hali ya Mtu kutengana na Mungu au kuvunja uhusiano mwema na Mungu (Kutenda dhambi) yaani Kifo cha Kiroho (Ayubu 21:25)
Kifo cha kiroho. Kuna aina tatu ya wafu katika eneo hili ambayo mtu anaweza kufa kiroho lakini bado anaendelea kuwa hai kimwili. Huyu anaweza akatubu na kufufuka katika wafu akawa hai tena .Pia mtu anaweza kufa kiroho na kimwili maana yake Roho imekufa na mwili umekufa hana nafasi ya kutubu tena. (Ufunuo 20:5). Kifo hiki ni kibaya zaidi na kinatisha. Ambacho Bwana Yesu alisema msiwaogope wawezao kuuwa mwili bali Mungu mwenye uwezo wa kuuwa mwili na Roho, (Soma Matayo 10:28). Kifo cha tatu ni Mtu kufa kimwili lakini bado anaendelea kuishi Kiroho. Hapa Yesu alisema mtu akiniamini mimi na kutimiza neno langu ataishi hata kama akifa.
MAOMBI KWA AJILI YA WAFU
Viongozi wengi hufundisha kwamba hakuna kuokoka duniani na hao hao mtu akifa wanamwombea kwamba alazwe pema peponi kana kwamba kuna wokovu baada ya kufa. Biblia inasema baada ya kifo ni hukumu.(Waebrania 9:27).
Kanisa au Mchungaji au Padri, au Mtume haliwezi kuomba mfu kupumzika kwa amani pema peponi, Ndugu zangu wakati wa wokovu ni sasa hivyo baada ya kufa ni hukumu (Waebrania 9:27). Watakie kupumzika kwa amani wafu ila tambua kwamba huwezi kuwabadilishia makao yao ya milele, kama ni mbinguni ni mbinguni tu na kama ni motoni ni motoni tu.
Kuombea wafu huwafanya wenye dhambi kuendelea kutenda dhambi wakiamini kwamba baada ya kufa kanisa litaomba ili wao waingie mbinguni. Ndugu nakuambia tena WOKOVU NI SASA. Katika Luka 16:26…Na zaidi ya hayo, kati yetu sisi na ninyi kumewekwa shimo kubwa, ili wale watakao kutoka huku kwenda kwenu wasiweze; wala watu wa kwenu wasivuke kuja kwetu.'' Biblia inatuonyesha watu waliokufa wengine wako pema peponi na wengine wako kuzimu,’’ ’’ MUNGU humpokea mwenye dhambi ambaye hutubu kwa woyo na kujitakasa kwa msingi wa imani peke yake katika damu ya YESU KRISTO. Hivyo humpa uzima wa milele. 2 WaKorintho 6:2’’(Kwa maana asema, Wakati uliokubalika nalikusikia, Siku ya wokovu nalikusaidia;tazama,wakati uliokubalika ndiyo sasa; tazama siku ya wokovu ni sasa)‘’ Wakati wa wokovu ni sasa Wakati wa kuokolewa/kuokoka ni sasa Wakati huu ndio unatakiwa kuokolewa sio baada ya kufa.
Ndugu zanguni, ningependa kuwakumbusha kuwa, wakati wa Wokovu ni sasa na sio utakapo kufa. Mafundisho ya kuombea wafu hayapo kwenye Biblia na hatuoni Yesu akiombea wafu bali akifufua wafu. (Yohana 11:43-44; Luka 7:11 -15; Marko 5:35).
Mungu awabariki sana
Max Shimba Ministries Org.

JE, KUTAKUWA NA NDOA MBINGUNI?

Image may contain: 2 people, text and outdoor



Ndoa ni nini?
Katika tafsiri za kisheria Ndoa inatambulika kama mkataba wa kisheria kati ya mwanamke na mwanamume kuishi pamoja kama mume na mke ambao unaweza kuvunjwa wakati wowote. Sheria ya ndoa – mwaka 1971 kifungu cha 9).
Katika imani ya kikristo, Ndoa inaweza kutafsiriwa kama “AGANO KATI YA MWANAMKE NA MWANAMUME AMBAO WAMEKUSUDIA KWA HIARI KUAMBATANA NA KUISHI PAMOJA KAMA MKE NA MUME KWA SIKU ZOTE ZA MAISHA YAO.” Jambo la msingi kulitambua hapa ni kwamba Ndoa ya kikristo ni AGANO. Kuna tofauti kubwa kati ya kile kinachoitwa “AGANO” na “MKATABA” kimsingi agano ni zaidi ya mkataba kwa namna nyingi.
Biblia inatuambia, "Kwa maana katika kiyama hawaoi wala hawaolewi, bali huwa kama Malaika mbinguni" (Mathayo 22:30).
Hili lilikuwa ni jibu la Yesu alipokuwa akijibu swali la kuhusu mwanamke ambaye alikuwa ameolewa mara nyingi katika maisha, yeye ataolewa na nani mbinguni (Mathayo 22:23-28)?
Ni wazi kwamba, hakutakuwa na kama ndoa mbinguni. Hii haimaanishi kwamba mume na mke hawatambuana mbinguni. Hii pia haina maana kwamba mume na mke hataweza kuwa na uhusiano wa karibu mbinguni. Neno la Mungu linatuonyesha ni kuwa, mume na mke hawataoana tena mbinguni.
Kuna uwezekano mkubwa zaidi, hakutakuwa na ndoa mbinguni kwa sababu hatutajitaji ndoa. Wakati Mungu alianzisha ndoa, alifanya hivyo kutimiza mahitaji fulani.
Kwanza, aliona kwamba Adamu alikuwa na haja ya mwaharusi. "Mungu Bwana akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye" (Mwanzo 2:18).
Hawa alikuwa suluhizo kwa tatizo la upweke wa Adamu, kama vile haja ya kuwa na "msaidizi," mtu ambaye atakaa pamoja naye kama rafiki na kutembea naye katika maisha. Mbinguni, hata hivyo, hakutakuwa na upweke, wala hitaji lolote la wasaidizi. Tutazungukwa na wingu la umati wa waumini na malaika (Ufunuo 7:9), na mahitaji yetu yote yatatimizwa, ikiwa ni pamoja na haja ya urafiki.
Pili, Mungu aliumba ndoa kama njia ya uzazi na kujaza dunia na binadamu. Mbinguni, hata hivyo, mbinguni haitajazwa na uzazi. Wanaoenda mbinguni hufika huko kwa imani katika Bwana Yesu Kristo; hawataumbwa huko kwa njia ya uzazi. Kwa hiyo, hakuna kusudi kwa ndoa mbinguni kwa vile hakuna uzazi au upweke.
Shalom,
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo.

JE, UNAIJUA ALAMA YA MNYAMA 666?


No automatic alt text available.
Kulingana na kitabu cha mwisho cha Biblia, 666 ndiyo nambari, au jina, la yule mnyama-mwitu aliye na vichwa saba na pembe kumi anayepanda kutoka katika bahari. (Ufunuo 13:1, 15, 17, 18)
Marejeo mengine yanaweza kupatikana katika Ufunuo 14: 9, 11, 15:2, 16:2, 19:20, na 20:4. Alama hii hutumika kama muhuri kwa wafuasi wa Mpinga Kristo na nabii wa uongo (msemaji wa Mpinga Kristo). Nabii wa uongo (mnyama wa pili) ndiye ambaye husababisha watu kuchukua alama hii. Alama hasa huwekwa katika mkono au paji la uso na sio kadi mtu atabeba.
Nambari sita inamaanisha nini?
Nambari sita inaashiria kutokamilika.
Mara nyingi, namba hutumiwa kama ishara katika Biblia. Nambari saba huwakilisha ukamili au ukamilifu. Kwa kuwa nambari sita imepungua kwa nambari moja kutoka saba, inaweza kumaanisha kitu ambacho si kamili au kilicho na kasoro machoni pa Mungu, na inaweza kuhusianishwa na maadui wa Mungu.—1 Mambo ya Nyakati 20:6; Danieli 3:1.
Biblia inasema kwamba watu hupata ile “alama ya yule mnyama-mwitu” kwa sababu wanamfuata “kwa mshangao,” kufikia hatua ya kumwabudu. (Ufunuo 13:3, 4; 16:2)
Mafanikio ya hivi karibuni katika teknolojia ya matibabu ya kuwekewa sakiti changamano ya elektroniki imeibua hisia kwa alama ya mnyama ambaye inasungumziwa katika Ufunuo sura ya 13. Inawezekana kwamba teknolojia sisi tunaiona leo hii inawakilisha hatua ya mwanzo wa kile hatimaye kinaweza kutumika kama alama ya mnyama. Ni muhimu kutambua kwamba matibabu ya sakiti changamano ya elektroniki si alama ya mnyama. Alama ya mnyama itakuwa ni kitu kimepatiwa wale tu ambao huabudu Mpinga Kristo. Kuwa na matibabu au fedha ya sakiti changamano ya elektroniki kuingizwa katika mkono wako wa kulia au paji la uso si alama ya mnyama. Alama ya mnyama itakuwa nyakati za mwisho kitambulisho cha Mpinga Kristo kinachohitajika ili kununua au kuuza, na kitapewa tu kwa wale ambao wanamwabudu Mpinga Kristo.
*SIFA ZA ALAMA YA MNYAMA*
1. Jina la mnyama huyo.
Ufunuo 13:16
2. Hesabu ya jina lake.
Ufunuo 13:16
3. Ni jina la makufuru.
Ufunuo 17:5
4.Mnyama amekaliwa na mwanamke. Ufunuo 17:18
Wafafanuzi weengi wazuri wa Ufunuo hutofautina sana kwa asili kamili ya alama ya mnyama. Licha ya mwilini kuwa na sakiti changamano ya elektroniki, kisio lingine ni pamoja na kitambulisho cha, sakiti changamano ya elektroniki, ambayo ni chale katika ngozi, au alamatu ya kubainisha kama mtu ni mwaminifu kwa ufalme wa Mpingamizi. Mtazamo huu wa mwisho unahitaji angalau uvumi, tangu haina kuongeza taarifa yoyote zaidi kwa kile ambacho Biblia inatupa. Kwa maneno mengine, yeyote mambo hayo yanawezekana, lakini wakati huo huo mwingine hayo yote ni kisio. Tusichukue muda mwingi kudadisi juu ya maelezo sahihi.
Maana ya 666 ni siri pia. Baadhi ya uvumi kwamba kulikuwa na uhusiano na mwezi wa 6, 2006-06/06/06. Hata hivyo, katika Ufunuo sura ya 13, namba 666 hubainisha mtu, si tarehe. Ufunuo 13:18 inatuambia, "Hapa ndipo penye hekima. Yeye mnyama huyo; maan ni hesabu ya sita, sitini na sita." Kwa namna fulani, namba 666 humtambua Mpinga Kristo. Kwa karne silizopita watafsiri wa Biblia wamekuwa wakijaribu kutambua baadhi ya watu wenye 666. Hakuna kubaliano kamili. Hiyo ndio sababu Ufunuo 13:18 inasema namba hii inahitaji hekima. Wakati Mpinga Kristo atafunuliwa (2 Thes 2:3-4), itakuwa wazi yeye ni nani na jinsi ya namba 666 humbainisha yeye.
Nihitimishe sehemu hii kwa kusema kwamba, barcodes zilizomo kwenye bidhaa madukani sasa hivi sio chapa halisi ya mpinga Kristo bali ilikuwa ni sehemu ya maandalizi ya teknolojia itakayotumika (ambayo tayari ipo kazini).
Rafiki, usilale. Shetani anakuja; na Yesu naye anakuja! Kama wewe ni mmoja wa wale wanaosema kuwa Biblia ni uongo; au kwamba Biblia imechakachuliwa, hakuna tena muda wamalumbano na mabishano. Fungua macho yako utazame upya sawasawa! Kila kitu kiko wazi sasa!
Shalom
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo.

JE, UNAVIJUA VITA VYA MEGIDO?

Image may contain: airplane, sky, outdoor and text

Kitabu cha Biblia cha Ufunuo kinasema kwamba “wafalme wa dunia nzima inayokaliwa” watakusanywa pamoja “kwa vita vya ile siku kuu ya Mungu Mweza-Yote.” (Ufunuo 16:14) Kisha simulizi la kinabii linaongeza hivi: “Nayo yakawakusanya pamoja mahali panapoitwa katika Kiebrania Har–Magedoni.”* (Ufunuo 16:16) Sura zinazofuata za Ufunuo zinasema kwamba ‘wafalme wa dunia na majeshi yao watakusanywa pamoja ili kupigana vita na yule anayeketi juu ya farasi na jeshi lake.’ (Ufunuo 19:19) Mpanda-farasi huyo si mwingine ila Yesu Kristo.—1 Timotheo 6:14, 15; Ufunuo 19:11, 12, 16.
Magedoni maana yake nini?
Neno "Magedoni" linatokana na neno la Kiebrania Har- Magedoni, ambalo lina maana "Mlima Megido" na limekuwa na maana sawa na vita vya baadaye ambavyo Mungu ataingilia kati na kuharibu majeshi ya Mpinga Kristo kama alivyotabiri katika unabii wa Biblia (Ufunuo 16: 16; 20:1-3, 7-10). Kutakuwa na kundi kubwa la watu kushiriki katika vita vya Magedoni, kama mataifa yote yatakusanyika pamoja ili kupambana dhidi ya Kristo.“Katika historia yote, Megido na Bonde la Yezreeli yamekuwa maeneo ya vita ambavyo vimebadili kabisa ustaarabu,”
Ni nani watakaopigana katika Har-Magedoni?
Yesu Kristo ataliongoza jeshi la kimbingu kushinda maadui wa Mungu. (Ufunuo 19:11-16, 19-21) Maadui hao wanatia ndani watu wanaopinga mamlaka ya Mungu na wanaomtendea Mungu kwa dharau.—Ezekieli 39:7.
Bila shaka, neno “Har–Magedoni” linapotumiwa kwa njia ya mfano ni kwa sababu ya historia ya Megido na eneo hilo liko mahali panapofaa kwa ajili ya vita. Ingawa neno hilo linatajwa mara moja tu katika Biblia, muktadha wake katika kitabu cha Ufunuo unaonyesha waziwazi kwamba Har–Magedoni itakuwa na matokeo katika maisha ya kila mtu duniani.
Eneo halisi la bonde la Magedonini ni wazi kwa sababu hakuna mlima wa Magedoni. Hata hivyo, tangu "Har" inaweza pia kuwa na maana ya kilima, eneo lilo na uwezekano mkubwa ni nchi ya vilima jirani wazi vya Magedoni, umbali wa maili sitini kaskazini mwa Yerusalemu. Vita zaidi ya mia mbili vimekuwa vikipiganwa katika kanda hiyo. Tambarare ya Magedoni na tambarare ya karibu na Esidaloni ilikuwa kitovu cha vita vya Magedoni, ambavyo vitaikumba Israeli kutoka kusini mwa mji wa Edomu, hadi wa Bosra (Isaya 63:1). Bonde la Magedoni lilikuwa maarufu kwa ushindi mku wa mara mbili katika historia ya Israeli: 1) ushindi wa Baraka juu ya Wakanaani (Waamuzi 4:15) na 2) ushindi wa Gideoni juu ya Wamidiani (Waamuzi 7). Magedoni pia alikuwa tovuti kwa majanga mawili makubwa: 1) kifo cha Sauli na wanawe (1 Samweli 31:8) na 2) kifo cha Mfalme Yosia (2 Wafalme 23:29-30; 2 Mambo ya Nyakati 35:22).
Hali zitakuwaje wakati wa vita vya Har-Magedoni?
Ingawa hatujui jinsi Mungu atakavyotumia nguvu zake, atatumia silaha sawa na zile alizotumia zamani, yaani, mvua ya mawe, matetemeko ya nchi, mvua ya mafuriko, moto na kiberiti, radi, na magonjwa. (Ayubu 38:22, 23; Ezekieli 38:19, 22; Habakuki 3:10, 11; Zekaria 14:12) Kwa sababu ya kuvurugika, baadhi ya maadui wa Mungu watauana wenyewe kwa wenyewe, lakini mwishowe watatambua kwamba Mungu ndiye anayepigana nao.—Ezekieli 38:21, 23; Zekaria 14:13.
Kwa sababu ya historia hii, bonde la Magedoni likawa ishara ya mgogoro wa mwisho kati ya Mungu na majeshi ya uovu. Neno "Magedoni" huonekana tu katika Ufunuo 16:16, "Wakawakusanya hata mahali paitwapo kwa Kiebrania, Har-Magedonini." Hii inazungumzia wafalme ambao ni waaminifu kwa Mpinga Kristo kwa pamoja kwa ajili ya mashambulizi ya mwisho juu ya Israeli. Katika Magedonini "kikombe cha mvinyo ya ghadhabu ya hasira ya [Mungu]" (Ufunuo 16:19) kitakabidhiwa, na Mpinga Kristo na wafuasi wake wataangamizwa na kushindwa. "Magedoni" imekuwa neno la jumla kwamba linahusu mwisho wa dunia, si tu kwa ajili ya vita ambavyo hufanyika katika bonde la Megedon.
Biblia inafunua wazi kwamba waovu hawataachilia mamlaka yao kwa amani; na hiyo ndiyo sababu Mungu atahitaji kuchukua hatua ya kukata maneno kukomesha uovu wote, kutia ndani uovu wa vita. (Zaburi 2:2) Jina ambalo Biblia inayapa mapambano hayo ya pekee, yaani, Har–Magedoni, lina maana kubwa sana.
Shalom,
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo.

KIONGOZI WA UISLAM INDONESIA AMESEMA KUWA DINI YA KIISLAM IMEAHIDI SHEREHE ZA NGONO AKHERA


Indonesian TV Cleric: Islam Promises 'Sex Parties' in Heaven…
Syamsuddin Nur Makkah, aliyasema hayo alipo kuwa akitoa mawaidha ya kiislam kuwa Uislam ni dini nzuri ‘Islam Itu Indah’ na Allah ametoa ahadi ya sherehe ya ngono huko akhera.
Hutu Televisheni ya TRANS iliyatupa mawaidha hayo moja kwa moja katika kipindi chake, ilisabisha video hiyo kupata watazamaji wengi kwa kufuraia ahadi ya ngono wakiwa akhera.
Katika video hiyo, Ustadz Syam mwenye miaka 24 alisema kuwa QUOTE, “One of the pleasures in heaven are sex parties. Apologies, but this is why we have to withhold (sexual urges) in this world,” before going on to say that men have to work hard to withhold their sexual urges because women like to wear tank tops in the summer and, obviously, inside airplane cabins despite the cold.

JE, NI KWELI YESU ALIUKANA UUNGU?

No automatic alt text available.

NA UZIMA WA MILELE NDIO HUU, WAKUJUE WEWE ULIYE MUNGU WA PEKEE, WA KWELI NA YESU KRISTO ULIYE MTUMA
Ndugu wasomaji,
Leo nitaielezea aya ya Yohana 17: 3 ambayo Waislam wamekuwa wakiitumia mara nyingi sana kudai kuwa eti, Yesu amekana kuwa yeye ni Mungu. Waislam kwa kupitia mihadhara ya kidini na kwa kutumia vijarida mbali mbali wanatishia Umma wa Wakristo kuwa, Yesu ameukana Uungu. Je, hayo madai ya Waislam ni kweli? Je, hiyo aya ina la zaidi la kujifunza?
Ili uielewe Biblia vizuri, nilazima usome aya kadhaa ili upate kuelewa nini hasa Mungu anasema kupitia Neno lake. Hivyo basi, nimeweka aya ya 4 na ya 5 ili kufafanua nini hasa Yesu alikuwa anasema katika Yohana 17.
Ngoja niziweke aya zote hapa:
Yohana 17: 3 Nao uzima wa milele ndio huu, wakujue Wewe uliye Mungu wa pekee, wa kweli na Yesu Kristo uliyemtuma.4 Nimekutukuza Wewe duniani kwa kuitimizaile kazi uliyonipa niifanye. 5 Hivyo sasa, Baba, unitukuze mbele Zako kwa ule utukufu niliokuwa nao pamoja na Wewe kabla ulimwengu haujakuwako.
Yesu katika aya ya 5 [Hivyo sasa, Baba, unitukuze mbele Zako kwa ule utukufu niliokuwa nao pamoja na Wewe kabla ulimwengu haujakuwako] ==> YESU anasema kuwa
1. Yeye aliishi kabla ya Ulimwengu kuwepo! Hapo panaanza kukupa mwanga halisi, wa nini Yesu alikuwa anasema na Yesu ni nani. Imani zote zinakiri kuwa aliye kuwepo kabla ya vitu vyote ni Mungu. Lakini katika aya ya 5, Yesu nae anadai kuwepo kabla ya uumbaji.
2. Yesu anaendelea kusema katika aya hiyo hiyo kuwa, yeye alikuwa na adhama ya Mungu -"UTUKUFU". Yesu anamwambia Mungu Baba kuwa, AMTUKUZE YESU KWA UTUKUFU ALIOKUWA NAO KABLA YA ULIMWENGU HAUJAKUWAKO.
Sasa, kama Yesu, sio Mungu na alikuwa Binadamu wa kawaida, kwanini basi amwambie BABA YAKE AMTUKUZE? Yesu anatumia mamlaka gani hayo kudai Utukufu ambao sio wake bali ni wa Mungu pekee?
3. Kama Yesu sio Mungu. Je, alipo dai atukuzwe na Mungu Baba, huoni kuwa alikuwa anakufuru? Lakini Hatusomi kuwa YESU aliwai tenda dhambi yeyote ile. Hata dini ya Waislam, inakiri kuwa, Katika Binadamu wote ambao waliishi Duniani, ni Yesu pekee aliweza kuishi bila ya kuetnda dhambi na kuwa na dhambi.
Ndugu wasomaji, madai ya Waislam kuwa Yohana 17:3 INAPINGA UUNGU WA YESU ni Batili kabisa, maana, leo tumejifunza katika Yohana hiyo hiyo kuwa Yesu aliishi kabla ya Ulimwengu kuwepo na Yesu anautukufu wa Mungu.
Aya ya 5 NUKUU: Hivyo sasa, Baba, unitukuze mbele Zako kwa ule utukufu niliokuwa nao pamoja na Wewe kabla ulimwengu haujakuwako.
HOJA:
1. Yesu anadai kuwa aliishi kabla ya ulimwengu kuumbwa.
2. Yesu anadai kuwa anautukufu kama wa Baba yake.
SASA BASI:
1. Yesu ni nani mpaka adai utukufu kama wa Mungu tena kutoka kwa Mungu Baba?
2. Yesu ni nani mpaka aseme kuwa aliishi hata kabla ya kuumbwa kwa ulimwengu, tena anamwambia Mungu Baba?
Ndugu zanguni,
Mada imekamilika na kujibu maswali dhaifu ya Waislam kuwa Yesu aliukana uungu wake katika aya 3 ya Yohana 17.
Nawakaribisha wote Kwa Yesu Kristo aliye hai. Yeye ndie njia kweli na uzima. Njooni kwake ili mpate maisha ya milele na yenye uzima tele.
Katika Huduma yake,
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo.
Kwa Max Shimba Ministries
April 28, 2015 Max Shimba Ministries

Ancient Jewish Wedding Ceremony: “No man knows the day or hour, only the Father”

  The Ancient Jewish Marriage Rite: A Detailed Exposition of Betrothal, Preparation, and Consummation Dr. Maxwell Shimba Shimba Theological ...

TRENDING NOW