Wednesday, August 16, 2017

JE, UNAFAHAMU KUWA ISRAEL INAMILIKI VISIWA VIWILI VYA SAUDI ARABIA TANGIA 1967?


Hii ni siri kubwa inayo wekwa na Waarabu. Israel imekuwa inamiliki visiwa viwili vyenye ukubwa wa Kilometa 113 "113 Square Km" tangia mwaka 1967. Visiwa hivi vipo kwenye mdomo wa Gulf of Aqaba, kuelekea kwenye bandari ya kusini mwa Israel ya Eilat na kwenda kwenye Bahari ya Sham "Red Sea"
Ingawa Serikali ya Saudi Arabia inadai kuwa, eti, hivyo visiwa ni vidogo na haivijali, lakini la maana ni kuwa, anaye viongoza hivyo visiwa ndie anaye ongoza Gulf ya Aqaba. Hivi visiwa ni vya maana kama ilivyo kwa Hanish archipelago kwenye upande wa pili wa Bahari ya Sham.
Utawala wa Israel kwenye visiwa hivyo vya Tiran na Sanafir unathibitisha kuwa, Israel ni nchi babe kwa Saudi Arabia na ndio wanaweka masharti ya nani aongoze Gulf ya Aqaba.
Kwa habari kamili ingia hapa:

IPO WAPI AYA KUTOKA QURAN INAYO SEMA KUVUTA SIGARA NI DHAMBI? (SEHEMU YA KWANZA)

Image may contain: 1 person, closeup
Bibilia inatuamuru kuwa tusihiruhusu miili yetu “itawaliwe” na kitu cho chote. (1 Wakorintho 6:12). Uvutaji bila kukana ni mazoea. Baadaye kwa ujumbe huo huo tumeambiwa, “Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu? Wala ninyi si mali yenu wenyewe; maana mlinunuliwa kwa thamani. Sasa basi, mtukuzeni Mungu katika miili yenu” (1 Wakorintho 6:19-20). Uvutaji bila shaka unadhuru afya yako. Uvutaji umethibitishwa kuwa unaharibu mapafu na moyo.
Acheni tuchunguze madhara matatu yanayojulikana sana ya kuvuta sigara na tuone maoni ya Biblia.
HUSABABISHA URAIBU
Tumbaku ina kemikali iitwayo nikotini ambayo husababisha uraibu haraka zaidi. Nikotini husisimua na vilevile kutuliza hisia. Kuvuta sigara hupeleka nikotini haraka kwenye ubongo tena na tena. Mvuto mmoja wa sigara ni sawa na dozi moja, hivyo mvutaji wa kawaida anaweza kuvuta dozi 200 kwa siku, ambacho ni kiwango cha juu kuliko dawa yoyote ile. Ndiyo maana nikotini husababisha uraibu mkubwa sana. Mtu aliyezoea kuvuta sigara hujihisi vibaya anapokawia kuvuta.
Biblia inatusaidia kuelewa jambo hilo inaposema hivi: “Je, hamjui kwamba ikiwa mnaendelea kujitoa wenyewe kwa yeyote kuwa watumwa ili kumtii yeye, ninyi ni watumwa wake kwa sababu mnamtii yeye?” (Waroma 6:16) Mtu anapofikiria kila mara kuhusu kuvuta sigara, anakuwa mtumwa wa tabia chafu. Hata hivyo, Mungu, ambaye jina lake ni Yehovana sio Allah, anataka tuwe huru, si uhuru tu wa kuepuka madhara ya kimwili bali pia madhara ya kiroho, yaani, mtazamo wetu wa akili. (Zaburi 83:18; 2 Wakorintho 7:1) Hivyo, mtu anapojifunza kumpenda na kumheshimu Mungu, anatambua kwamba Mungu anastahili kilicho bora na kwamba hawezi kumtumikia Mungu huku akiwa mtumwa wa tabia inayodhuru. Mtu akitambua ukweli huo atachochewa kuepuka tamaa mbaya.
Olaf, anayeishi Ujerumani alianza kuvuta sigara alipokuwa na umri wa miaka 12, na alifanikiwa kushinda zoea hilo lililodumu miaka 16. Alisema hivi: “Nilipovuta sigara mara ya kwanza sikuona ubaya wowote. Lakini baada ya miaka kadhaa ikawa vigumu sana kuacha. Siku moja sikuwa na sigara, nilikata tamaa hivi kwamba nikakusanya vipande vya mabaki ya sigara na kutengeneza sigara kwa kutumia karatasi. Ninapokumbuka jambo hilo ninaaibika sana.” Aliachaje kuvuta sigara? Anasema hivi, “Jambo lililonisaidia ni tamaa yangu ya kumpendeza Yehova. Niliacha kabisa baada ya kujifunza kuhusu upendo wa Mungu kwa wanadamu na tumaini la wakati ujao.”
USIKOSE SEHEMU YA PILI === KUVUTA SIGARA HUHARIBU MWILI===
Jarida The Tobacco Atlas linasema hivi: “Kuvuta sigara . . . kumethibitishwa kisayansi kwamba kunadhuru karibu viungo vyote mwilini na husababisha magonjwa na kifo.”
Shalom,
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu na Mwokozi wetu.

IPO WAPI AYA KUTOKA QURAN INAYO SEMA KUVUTA SIGARA NI DHAMBI? (SEHEMU YA PILI)

Image may contain: one or more people, people sitting, people playing musical instruments and smoking
KUVUTA SIGARA HUHARIBU MWILI
Jarida The Tobacco Atlas linasema hivi: “Kuvuta sigara . . . kumethibitishwa kisayansi kwamba kunadhuru karibu viungo vyote mwilini na husababisha magonjwa na kifo.” Inajulikana kwamba kuvuta sigara husababisha magonjwa kama vile kansa, ugonjwa wa moyo, na wa mapafu. Kulingana na Shirika la Afya Ulimwenguni, kuvuta sigara ni chanzo kikuu cha vifo vitokanavyo na magonjwa ya kuambukiza kama vile kifua kikuu.
Kupitia Neno lake, Biblia, Mungu anatufundisha jinsi ya kuwa na maoni yanayofaa kuhusu uhai, mwili na uwezo wetu. Mwanaye, Yesu, alikazia jambo hilo aliposema hivi: “Lazima umpende Mungu wako kwa moyo wako wote na kwa nafsi yako yote na kwa akili yako yote.” (Mathayo 22:37) Bila shaka, Mungu anataka tutumie vizuri na kuthamini uhai na mwili wetu. Tunapoendelea kujifunza kumhusu Mungu na ahadi zake, tutapendezwa na kuthamini wema wake. Hilo litatuchochea kuepuka jambo lolote linalochafua mwili wetu.
Jayavanth, ambaye ni daktari nchini India, alivuta sigara kwa miaka 38. Anasema hivi: “Nilisoma kuhusu madhara ya kuvuta sigara kwenye majarida mbalimbali ya afya. Nilijua ubaya wa kuvuta sigara na niliwashauri wagonjwa waache sigara. Hata hivyo, nilishindwa kuacha licha ya kujaribu mara tano au sita.” Ni nini kilichomsaidia afaulu? Anasema: “Niliacha kuvuta sigara baada ya kujifunza Biblia. Tamaa ya kumpendeza Mungu ilinichochea kuacha kabisa tabia hiyo.
Shalom,
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo.
==== USIKOSE SEHEMU YA TATU ====
KUVUTA SIGARA HUWADHURU WENGINE
Moshi wa sigara una madhara sana. Kupumua moshi unaotoka kwa mtu anayevuta sigara kunaweza kusababisha kansa na magonjwa mengine, na kila mwaka watu 600,000 wasiovuta sigara hufa, hasa wanawake na watoto. Shirika la Afya Ulimwenguni linaonya hivi: “Moshi wa sigara unaweza kumdhuru mtu asiyevuta bila kujali kiwango cha moshi anachopumua.”

IPO WAPI AYA KUTOKA QURAN INAYO SEMA KUVUTA SIGARA NI DHAMBI? (SEHEMU YA TATU)

Image may contain: 1 person
KUVUTA SIGARA HUWADHURU WENGINE
Moshi wa sigara una madhara sana. Kupumua moshi unaotoka kwa mtu anayevuta sigara kunaweza kusababisha kansa na magonjwa mengine, na kila mwaka watu 600,000 wasiovuta sigara hufa, hasa wanawake na watoto. Shirika la Afya Ulimwenguni linaonya hivi: “Moshi wa sigara unaweza kumdhuru mtu asiyevuta bila kujali kiwango cha moshi anachopumua.”
Kulingana na Yesu, kumpenda jirani, yaani, familia yetu, rafiki zetu, na wengine ni amri ya pili, ya kwanza ikiwa ni kumpenda Mungu. Yesu alisema hivi: “Mpende jirani yako kama wewe mwenyewe.” (Mathayo 22:39) Tukiwa na tabia inayowadhuru wengine, hatuwezi kusema tunampenda jirani. Upendo wa kweli unatuchochea kufuata ushauri huu wa Biblia: “Kila mmoja na aendelee kutafuta, si faida yake mwenyewe, bali ile ya yule mtu mwingine.”—1 Wakorintho 10:24.
Armen, anayeishi Armenia anakumbuka hivi: “Watu wa familia yangu walinisihi niache kuvuta sigara kwa sababu iliwaathiri. Hata hivyo, sikukubali kwamba kuvuta sigara kuliwasababishia matatizo.” Anasema hivi kuhusu kilichomsaidia: “Mambo niliyojifunza katika Biblia na kumpenda Yehova kulinisaidia niache kuvuta sigara na kukubali kwamba kuvuta sigara kuliniathiri mimi na wengine pia.”
KUVUTA SIGARA KUTAKOMESHWA MILELE!
Kujifunza Biblia kuliwasaidia Olaf, Jayavanth, na Armen kuacha tabia iliyowadhuru wao wenyewe na pia watu wengine. Waliacha kuvuta sigara si kwa sababu tu walijua madhara yake, bali pia kwa kuwa walimpenda Mungu walitamani kumfurahisha. Upendo unakaziwa kwenye andiko 1 Yohana 5:3, linalosema: “Kwa maana kumpenda Mungu humaanisha hivi, kwamba tuzishike amri zake; na bado amri zake si mzigo mzito.” Huenda ikawa vigumu kufuata kanuni za Biblia, lakini ukimpenda Mungu kwa moyo wote, ni rahisi kumtii.
Kupitia mpango wa elimu wa ulimwenguni pote, Mungu anawaweka watu huru kutoka kwenye utumwa wa tumbaku. (1 Timotheo 2:3, 4) Hivi karibuni, Mungu kupitia Ufalme wake, yaani, serikali ya mbinguni inayoongozwa na Mwanawe, Yesu Kristo, ataondoa mfumo wa kibiashara wenye pupa ambao umesababisha mamilioni ya watu kuwa watumwa wa tumbaku. Ataondoa janga la kuvuta sigara na kuwasaidia wanadamu kuwa wakamilifu kimwili na kiakili.—Isaya 33:24; Ufunuo 19:11, 15.
Ikiwa unatamani kuacha kuvuta sigara, usikate tamaa. Ukijifunza kumpenda Mungu na kukubali maoni yake, wewe pia unaweza kufanikiwa kuacha kuvuta sigara.
Shalom,
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo, Mungu Mkuu na Mwokozi weyu.

TUKIWA NA YESU TUNAYAWEZA YOTE

Image may contain: text


Bwana wetu Yesu Kristo anatuambia hivii,
Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa baba ila kwa njia ya mimi.
Pia Yesu anaendelea kusema hivii,
Amin, amin nawaambieni, Yeye aniaminie mimi, kazi nizifanyazo mimi, yeye naye atazifanya, naam, na kubwa kuliko hizo atafanya, kwa kuwa mimi naenda kwa baba. Nanyi mkiomba lolote kwa jina langu, hilo nitalifanya, ili baba atukuzwe ndani ya mwana.
Tutafakari mistari hii je Bwana Yesu alikuwa na maana gani alivyokuwa anasema maneno haya? Je unaamini kuwa bila Yesu hautaweza kuuona ufalme wa Mungu? Basi sasa kama bado haujampokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi ndani ya maisha yako tafakari kwa makini kuhusu mstari huu. Mpokee leo naye atabadili hali ya maisha unayoishi sasa na utapata burudiko la moyo na furaha ya kweli kwani yeye ndiye njia pekee ya wewe kuweza kumwona Bwana.
Je unajua kuwa ukimwamini Yesu na kazi alizozifanya angali hapa duniani na wewe waweza kufanya kama yeye na kubwa kuliko alizozifanya Yesu? Cha msingi ni wewe tu kumwamini na kuamini kuwa Yesu ni Bwana, na ya kuwa miujiza aliyoitenda na wewe waweza kuifanya. Kwa maana aliyeko ndani yako baada ya kumpokee na kumwamini ana nguvu na ni mkubwa kuliko hayo mapepo, magonjwa nk. Yesu aliweza kumfufua Lazaro aliyekaa kaburini siku nne basi hakika na wewe waweza kufufua. Yesu aliponya vipofu, viziwi na wewe utaweza kuwaponya watu pia anasema na mengine makubwa zaidi yake utaweza kufanya, unachotakiwa ni kumwamini tuuuu.
Anaongeza kusema pia ukiomba lolote kwa jina lake atafanya? haijalishi ni kitu gani unachoomba mradi uombe kwa jina lake Yesu hakika atakutendea, iwe ni amani, furaha, ndoa, watoto, kazi, fedha, na mengineyo mengi atakupa bila hiyana.
Tumwamini yeye na tuyashike maagizo yake basi naye atatutendea na pia kwa nguvu ya uweza wake tutafanya mambo makubwa hata yale ambayo kwa akili zetu za kibinadamu yasingewezekana kutendeka na kwa sababu ameahidi na hakika atatenda.
Roho Mtakatifu atuwezesha na atufafanulie kwa hekima yake maneno haya ya Bwana wetu Yesu Kristo na pia yawe ni chachu na nguzo ya kutusogeza karibu na baba na kutuwezesha kuamini.
Barikiwa mpendwa.

USIOGOPE, SIMBA WA KABILA LA YUDA YUPO PAMOJA NAWE

Image may contain: text
Ufunuo 5:5 Na mmojawapo wa wale wazee akaniambia, Usilie; tazama, Simba aliye wa kabila ya Yuda, Shina la Daudi, yeye ameshinda apate kukifungua kile kitabu, na zile muhuri zake saba.
Mungu ni wa ajabu sana nilipokuwa najisomea Biblia na kufika katika Mstari wa tano nikayaona maneno hayo Simba aliye wa
Kabila la Yuda! Maneno hayo yalinishangaza sana ni wazi kuwa Simba anayetajwa hapo ni Yesu Kristo hilo halina mjadala, ni
wazi kuwa Yesu ni Masihi na masihi alikuja kupitia ukoo wa Yuda hilo pia halina mjadala, Daudi pia alitokea ukoo huu wa kabila la Yuda hilo halikuwa na mjadala, Jambo kubwa lililovuta hisia kwangu ni kutajwa kwa Yuda mwenyewe hapa ndipo penye mjadala.,
Mkabidhi maisha yako Simba wa Yuda.
Shalom,
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo, Mungu Mkuu na Mwokozi wetu.

UNAYAJUA MADHARA YA KUANGALIA PICHA ZA UTUPU "PONOGRAFIA"? (SEHEMU YA KWANZA)

Image may contain: text
Nini maana ya ponografia?
Neno “ponografia”—linalotokana na maneno ya Kigiriki pornē na graphos yanayomaanisha “kuandika kuhusu makahaba.” Leo ponografia inafafanuliwa kuwa kuonyesha tabia za kimahaba katika vitabu, picha, sanamu, sinema, na kadhalika, kwa kusudi la kuamsha nyege.”
Ingawa watu wengi hawaoni kosa lolote au hatari ya kutazama ponografia, Biblia haiungi mkono maoni hayo. Inasema waziwazi kwamba matendo yetu yanaongozwa sana na mambo tunayojaza akilini mwetu. Mwanafunzi Mkristo Yakobo anaonyesha kwamba “kila mmoja hujaribiwa kwa kuvutwa na kutongozwa na tamaa yake mwenyewe. Kisha tamaa, wakati imetungika mimba, huzaa dhambi.” (Yakobo 1:14, 15) Yesu alisema: “Kila mtu ambaye hufuliza kumtazama mwanamke ili kuwa na harara kwa ajili yake tayari amefanya uzinzi pamoja naye moyoni mwake.”—Mathayo 5:28.
Kufikiria mambo ya kingono isivyofaa kunaweza kuathiri ibada yetu kwa Mungu. Hiyo ndiyo sababu Paulo aliandika hivi: “Kwa hiyo, fisheni viungo vya mwili wenu . . . kwa habari ya uasherati, ukosefu wa usafi, hamu ya ngono, tamaa yenye kuumiza, na tamaa, ambako ni ibada ya sanamu.”—Wakolosai 3:5.
Katika andiko hilo Paulo alionyesha kwamba hamu ya ngono inahusiana na tamaa, ambayo ni kutaka sana kuvipata vitu usivyokuwa navyo. Tamaa ni namna ya ibada ya sanamu. Kwa nini? Kwa sababu yule anayetamani huweka kitu anachotamani mbele ya mambo mengine yote, hata Mungu. Ponografia huamsha tamaa kwa ajili ya kitu ambacho mtu hana. “Unatamani maisha ya kingono ya mtu. . . . Huwezi kuwa na jambo jingine akilini ila tu kutamani kile ambacho huna. . . . Kile tunachotamani, tunakiabudu,” akasema mwandishi mmoja wa mambo ya kidini.
USIKOSE SEHEMU YA PILI.
Shalom,
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo, Mungu Mkuu na Mwokozi wetu.

500 Christians Flee Persecution in Iran…


VAN, Turkey – Some 500 Christian converts from Iran have sought asylum in Turkey following what they say is persecution by the authorities. A man and his family who converted to Christianity from Islam say they used to practice their faith in secret.
 
Of those Rudaw talked to in Turkey’s Van, close to the Iranian border — all Kurds — none revealed their name and some chose not to appear on camera for fear of reprisals.
 
One young man who converted only after he arrived in Van said that he did not think he could be the person he wanted to be if he remained Muslim. He did not want to give his name or appear on camera.
 
He said he is now feeling “comfortable” as a Christian.
 
Another young man felt safe enough to show his face. He said Iran is punishing many Kurds with the death penalty though many of them share the same religion.
 
He said that hundreds of Kurdish youth in Iran have abandoned Islam and embraced Christianity.
 
“I changed my religion because I did not see anything in Islam. Whatever I saw was wrong,” he explained.
 
“It is a fact that the government of Iran is an Islamic one, yet our youth, are getting executed. In Iraq [it’s] the same,” he continued. “There is ISIS and [they] are killing people in the name of Islam, and there are vulnerable people who are being beheaded there. They have fled to Turkey, and we came to Turkey. That is why I did not see any good from Islam."
 
The majority of people in Iran are Shiite Muslims, while the majority of Iranian Kurds follow Sunni Islam.
 
The rights organization Open Doors USA that focuses on serving persecuted Christians in 60 countries says Iran considers Christianity to be a “western influence.”
 
“Converts to Christianity from Islam make up the largest group of Christians and experience the most persecution,” the organization states on its website, adding that historical Christians in Iran are protected by law but are treated as “second-class citizens.”

The Chaldean Catholic archbishop of Tehran, Ramzi Garmou, told AFP in December they are grateful that they live in peace in the country as opposed to the rest of the Middle East, which is plagued by violence.

“Thanks to God, we really live in peace and security, but our neighbors live in anguish and violence," he said.
 
There are three seats reserved for Christians in the Iranian parliament.
 
A man, his wife, and his children converted to Christianity while in Iran. He said they used to practice their embraced religion underground.
 
He did not want his family to appear on camera. He also wore glasses in order not be recognized by his relatives.
 
“[In Iran] there is not an accurate figure to say how many people have become Christians because everything is secret,” he said. “When a Muslim converts to Christianity, they do so in secret. Rituals are secret since they are in danger ... ours was secret, too.”
 
There are about 1,500 Kurdish asylum seekers in Van, some of whom cite political, ethnic, or cultural reasons as their impetus to leave Iran. But nearly 500 of them have converted to Christianity.
 
The majority of the people Rudaw talked to want to go to the United States or Canada, while others are hoping to go to Europe.

Tuesday, August 15, 2017

Video Shows Palestinian Mother Training Kids to Shoot Israelis…

As a group of policemen walk by on the Temple Mount in Jerusalem, three Muslim children pull out toy rifles, and start screaming at the policemen as they “open fire.”
Their proud mother can be seen laughing as she films her future terrorists-in-training.
Other Muslims watching the shocking scene can be heard laughing in amusement as these brainwashed children shoot the police, just weeks after three Muslim terrorists murdered two policemen on the Temple Mount.

Is this what one teaches their children to do on a holy site? Murder policemen!
Video will load in a moment:

Haj Season Kicks Off with 31 Deaths…

Muslim pilgrims die in Saudi Arabia as Hajj begins

At least 31 Muslim Hajj pilgrims died on Sunday in Saudi Arabia, the country's official news agency reported.
No further information was given by authorities about the cause of their deaths, however, the Saudi Press Agency said that the deceased were all foreign nationals.

The annual Hajj pilgrimage draws around 2 to 4 million people each year to the Muslim holy city of Mecca.
Over 620,000 pilgrims arrived in Saudi Arabia by 12 August, the Saudi Press Agency reported.

Last year, Saudi authorities have tightened security at pilgrimage sites following a deadly stampede that killed at least 2,297 pilgrims during 2015's Hajj.

This year, the annual Hajj takes place following a warning by the World Health Organisation in July that Yemen's cholera epidemic may put pilgrims to Saudi Arabia at risk.

TRENDING NOW