Saturday, June 18, 2016

VIOJA NA VIROJA KATIKA QURAN

Leo nawaletea burdan kutoka kwa Allah.
1. Eti "Sperms" zinatoka katika kifua cha Mwanaume " Soma (Quran 86:5-7).
2. Mfalme Sulemani alikuwa anazungumza na Ndege Soma (Quran 27:16).
3. Sulemani alikuwa anazungumza na Chunguchungu. Soma (Quran 27:18)
4. Allah kaumba Dunia kama Zulia "Carpet" The Qurân 20:53. (Qurân 13:3; 15:19; 18:7; 19:6; 21:30; 35:40; 41:10; 43:10; 50:7; 51:48; 55:10; 78:6; 79:30; 88:20)
5. Eti USIKU UNAOGELEA KATIKA anga. The Qurân talks of the earth in terms as if it were stationary, with the sun and stars moving around the earth (Qurân 2:258; 21:33; 36:40; 52:49; 53:1). "It is he who created the night and the day, and the sun and the moon: all (celestial bodies) swim along, each in it's rounded course" (21:33). We know today that the sun is far bigger than the earth, and is drawing the round earth in it's orbit.
Huyu ndie Allah wa ajabu ajabu. Anapenda sana kulazimisha vitu. Sasa anadai kuwa Solomoni alikuwa anaongea na Ndege, Chunguchungu. Huku Zaburi na Taurat vinakataa huo usanii wa Allah wa kwenye Quran.
ALLAH anadai eti "Sperm" zinatoka kwenye kifua, huku sayansi inapinga huo usanii wa Allah.
Allah anadai kuwa eti USIKI unaogelea katika Anga. Hivi huyu Allah ni kweli aliumba au ni msanii tu?
Sasa Allah anadai eti, Dunia ni kama Zulia "Carpet" huku ikifahamika kuwa dunia haipo kama Zulia. Ndio maana naendelea kusema kuwa Allah sio Mwenyezi Mungu. Allah sio Yehova. Allah sio Yehuh.

MAANA YA KUFUNGA KATIKA UKRISTO

Katika somo letu la "Maana ya kufunga katika Ukristo" tutajifunza maana ya neno "Kufunga na "Swaumu".
Nini maana ya KUFUNGA?
Neno “Kufunga“ linatokana na neno la Kiyunani “Nestevo“, ambalo ni muunganiko "consolidation" or "integral" wa maneno mawili ya Kiyunani “NE“ na “Esthio“. Neno “NE“ ikiwa na maana ya “bila“ au “hapana“, Kiingereza “no“ au “without“.
Neno “ESTHIO“ ikimaanisha “kula chakula au kunywa kinywaji“, Kiingereza “to eat solid food or drink liquid“. Neno “NESTEVO” sasa linaunga maneno hayo mawili ya Kiyunani ”NE” na “ESTHIO”, na lina maana “bila kula chakula au kinywaji chochote kile”. Hivyo maana ya kufunga, ni “bila ya kula chakuna na kinywaji chechote”.
Nini maana ya "SWAUMU"?
Neno Saumu katika lugha ya kiarabu maana yake ni 'Kujizuwia'. Yote sawa ikiwa kujizuwia na kula au kujizuwia na kusema, nk.
Bibi Maryam baada ya kumzaa Nabii Issa (Alayhas Salaam), alisema;
"Hakika mimi nimeweka nadhiri kwa (Mwenyezi Mungu) Mwingi wa rehema ya kufunga, kwa hivyo leo sitasema na mtu".
Maryam - 26
Kwa hivyo hapa Bibi Maryam (Alayhas Salaam) ametumia neno 'Sauma' pale aliposema ((Inniy nadhartu lilrahmani 'Sauma')), si kwa maana ya kujizuwia na kula, bali kwa maana ya kujizuwia na kusema.
Anasema Abu Ubaidah (Radhiya Llahu anhu);
"Neno 'Saumu' katika lugha ya kiarabu, maana yake ni 'Kujizuwia na kula au kujizuwia na kusema au na kwenda".
SASA TUNAGALIE, BIBLIA INASEMA NINI KUHUSU KUFUNGA:
Nyakati za Biblia, watu walifunga kwa sababu mbalimbali zilizokubaliwa na Mungu. Baadhi yao walifunga kwa sababu ya huzuni au toba (1 Samweli 7:4-6), wengine walifunga ili kuomba mwongozo wa Mungu au ili wapate kukubaliwa naye (Waamuzi 20:26-28; Luka 2:36, 37), au ili kukaza fikira walipotafakari.—Mathayo 4:1, 2.
Bibilia inawazilisha kufunga kama kitu ambacho ni kizuri, cha muimu na cha manufaa. Kitabu cha Matendo Ya Mitume kimerekodi kuwa Wakristo walifunga kabla ya kufanya uamuzi wa maana (Matendo Ya Mitume 13:2, 14:23). Kufunga na maombi kila mara zimeambatanishwa pamoja (Luka 2:37; 5:33). Kila mara, angazo la kufunga ni kutokuwa na chakula. Badala ya lengo kuwa, kufunga ni kuyapeleka mawazo yako nche ya vitu vya dunia na kiukamilifu kumtazamia Mungu. Kufunga ni njia mojawapo ya kudhihirishia Mungu na sisi wenyewe kwamba hatutaki mchezo katika uhusiano wetu na yeye. Kufunga kunatuzaidia kupata mtazamo na kufanya upya tegemeo letu kwa Mungu.
Katika matukio kadhaa katika Agano la Kale, kufunga kunahusishwa na maombi ya kuombea. Daudi aliomba na kufunga juu ya mtoto wake mgonjwa (2 Samweli 12:16), akilia kwa bidii mbele za Bwana katika maombezi (vv. 21-22). Esta alimsihi Mordekai na Wayahudi kufunga kwa ajili yake alipokuwa akipanga mbele ya mumewe mfalme (Esta 4:16). Ni wazi, kufunga na kuomba sina uhusiano wa karibu.
Kwa kuchukua macho mbali na vitu vya dunia, tunaweza zaidi kuyaweka mawazo yetu kwa Kristo. Kufunga sio njia ya kumfanya Mungu atende vile tunavyotaka. Kufunga kunatubadilisha, sio kumbadilisha Mungu. Kufunga sio njia ya kuonekana mwokovu sana kuliko wengine. Kufunga kunastahili kufanyika kwa moyo wa unyenyekevu na nia ya furaha.
Mathayo 6:16-18 yasema, “Tena mfungapo, msiwe kama wanafiki wenye uso wa kukunjamna; maana hujiimbua nyuso zao, ili waonekane na watu kuwa wanafunga. Amin, nawaambia, wamekwisha kupata thawabu yao. Bali wewe ufungapo, jipake mafuta kichwani, unawe uso; ili usionekane na watu kuwa unafunga, ila na Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi.
1. Katika Ukristo hakuna kula daku wakati wa kufunga.
2. Yesu hakula daku wala futari wakati alipo funga kwa siku Arobaini.
3. Yesu hakujioneysha kwa wanafunzi wake kuwa alikuwa anafunga bali ilikuwa ni siri yake.
4. Hakuna Sheria ya kufunga katika Injili.
5. Hakusomi katika Taurat au Zaburi au Injili kuwa wakati wa Biblia watu wali kula daku na hakuna aya inayo ruhusu kula daku.
FAIDA YA KUFUNGA:
Katika Biblia, tunaona jinsi ambavyo mambo yalivyobadilika baada ya kufunga na kuomba. Angalia mifano michache hapa chini:-
A. Wana wa Israeli walipigwa mfululizo katika vita na wana wa Benyamini. Baada ya kushindwa mfululizo, wakaamua kufunga na kuomba (WAAMUZI 20:20-22, 24-26). Baada ya kufunga na kuomba matokeo yakabadilika, Benyamini wakapigwa sana, na wana wa Israeli wakashinda vita (WAAMUZI 20:34-35, 41-45, 48). Tunaweza kuitia moto miji yote ya Shetani tukiwa wafungaji, na siyo kinyume cha hapo;
B. Ezra hakumtegemea mfalme, bali alifunga, na matokeo ya kufunga yakawa kwamba mkono wa Mungu ulikuwa pamoja naye na yeye na wenzake wakaokolewa na mkono wa adui (EZRA 8:21-28, 31-33). Ikiwa Kanisa linahitaji kuokolewa kutoka katika mkono wa adui, ni lazima liwe na wafungaji.
Mpendwa msomaji, unaona faida ya kufunga? Usifunge kama wale wanao jionyesha kwa kukunja nyuso zao na kusema Swaumu kali bali funga kwa siri maana anaye fahamu kuwa unafunga ni Mungu na yeye anajua ya moyoni mwako.
Mungu akubariki sana,
Ni mimi Max Shimba, Mtumwa wa Yesu Kristo

NDANI YA QURAN HAKUNA AYA INAYOSEMA KUWA BIBLIA SIO MANENO YA MUNGU


Allah anateremsha aya na kukiri kuwa Injil ya Yesu ni Nuru na inasadikisha Taurat.
Surat Al Maida 46. Na tukawafuatishia hao Isa bin Maryamu kuyahakikisha yaliyo kuwa kabla yake katika Taurati, na tukampa Injili iliyomo ndani yake uwongofu, na NURU NA INAYO SADIKISHA yaliyo kuwa kabla yake katika Taurati, na uwongofu na mawaidha kwa wachamungu.47. Na wahukumu Watu wa Injili kwa yale aliyo teremsha Mwenyezi Mungu ndani yake. Na wasio hukumu kwa yale aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu basi hao ndio wapotofu. Maelezo
Katika aya hapo juu, tunajifunza kuwa Injili ni NURU, na Biblia inasema kuwa YESU NI NURU YA ULIMWENGU. Allah anakiri kwa mdomo wake kuwa Injili ni Nuru na HAKUWAI SEMA KUWA Quran ni Nuru. ALLAH AMESHA ANZA KUKIRI KUWA BIBLIA NI NURU na haina shaka ndani yake.
KAMA KUNA MUISLAM ANABISHA, ANILETEE AYA KUTOKA QURAN INAYOSEMA KUWA BIBLIA SIO MANENO YA MUNGU.
Endelea kusoma
ALLAH ANATHIBITISHA KUWA BIBLIA HAINA SHAKA NA NI NENO LA MUNGU.
Surat Al Maida 48. Na tumekuteremshia wewe, kwa haki, Kitabu hichi kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake katika Vitabu na kuyalinda. Basi hukumu baina yao kwa aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu, wala usifuate matamanio yao ukaacha Haki iliyo kujia. Kila mmoja katika nyinyi tumemwekea sharia yake na njia yake. Na lau kuwa Mwenyezi Mungu angeli taka ange kufanyeni nyote umma mmoja, lakini ni kukujaribuni kwa aliyo kupeni. Basi shindaneni kwa mambo ya kheri. Kwa Mwenyezi Mungu ndio marejeo yenu nyote, na atakuja kuwaambieni yale mliyo kuwa mkikhitalifiana.
ALLAH katika Surat Al Maida aya ya 48 anaendelea kukiri kuwa KITABU-BIBLIA ni maneno ya Mungu na haina shaka ndani yake.
ALLAH ANAMWAMBIA MUHAMMAD katika Surat Yunus 94 KUWA, KAMA ANA SHAKA NAYE KUWA BIBLIA SIO MANENO YA MUNGU, BASI AWAULIZE WAKRISTO AMBAO WANASOMA "KITABU-BIBLIA".
HAPA ALLAH ANAHAKIKISHA NA KUTHIBITISHA KWA MUHAMMAD KUWA BIBLIA NI MANENO YA MUNGU.
Surat Yunus 94. Na ikiwa unayo shaka katika tuliyo kuteremshia, basi waulize wasomao Kitabu kabla yako. Kwa yakini imekwisha kujia Haki kutoka kwa Mola wako Mlezi. Basi usiwe miongoni mwa wenye shaka
Ndugu msomaji, unaona jinsi Allah anavyo KIRI KUWA BIBLIA NI MANENO YA MUNGU? Sasa kwanini Waislam wanabishana na Allah wao na Mtume wake kipenzi Muhammad kuwa Biblia sio maneo ya Mungu?
KAMA KUNA MUISLAM ANABISHA, ANILETEE AYA KUTOKA QURAN INAYOSEMA KUWA BIBLIA SIO MANENO YA MUNGU.

MUHAMMAD SIO MTUME KWASABABU HAKUWAI ONGEA NA MUNGU

Leo ningependa tujikumbushe mambo machache ambayo labda hatukuyatilia maanani. Mitume wote na manabii wote wa Biblia waliwai ongea na Mungu. Lakini, Mtume wa Allah ambaye sio Yehoah "Muhammad" hakuwai ongea na Mungu HATA MARA MOJA. Je, utume wake tutauamini vipi maana hakuwai ongea na aliye mtuma?
Lakini Mitume wote wa Biblia waliongea na Mungu.
1. Musa anoangea na Mungu: Kutoka 3:1-21
2. Elia anaongea na Mungu: 1 Wafalme 19- Soma yote
3. Yeremia anaongea na Mungu (Yeremia 1:5)
4. Yona anaongea na Mungu (Yona 3:2)
5. MTUME Paulo anaongea na Mungu: Matendo ya Mitume 18:9Wagalatia 1:1 Paulo, mtume, si mtume wa wanadamu aliyetumwa na mwanadamu, bali na Yesu Kristo na Mungu Baba aliyemfufua Yesu kutoka kwa wafu
Biblia ipo wazi kabisaa, kuwa Paulo alitumwa na Mungu, wakati Muhammad alitumwa na Jibril ambaye si Mungu. Koran inakiri kuwa Muhammad alikutana na Jibril na hakuwai kukutana na au ongea na Mungu hata mara moja. Lakini tunasoma katika Biblia kuwa, Paulo alipewa utume na Mungu mwenyewee.
Warumi 1:1 Paulo, mtumishi wa Kristo Yesu, ALIYEITWA KUWA MTUME na kutengwa kwa ajili ya Injili ya Mungu.
Hiyo ni mifano michache kutoka Biblia.
Kama Muhammad alikuwa Mtume wa Mungu, kwanini hakuongea na Mungu aliye Mtuma? Maana ya neno Mtume kwa kifupi: Ni Mtu aliye tumwa.
HEBU TUANGALIE, HUYU MUHAMMAD ALIZALIWAJE?
1.KUZALIWA KWAKE,
Abu Huraira (r.a) amesimulia kuwa "Mtume Muhammad (s.a.w) alikuwa na shetani tangu alipozaliwa, (Fat'hul Baary Juzuu ya 6 Uk. 389).
Je, kuna ushahid wowote ule kuwa Muhammad alitolewa Shetani? Kama upo Basi Waislam, tuleteeni tuuone.
2.BAADA YA KUTOKA PANGONI,
Basi Mtume akafanya khofu, akarejea kwa mkewe, akamhadithia, na pale pale homa kubwa kabisa, ikampanda, akataka afunikwe maguo, akawa anatetemeka kwa ngerema, na kuweweseka, na kusema, "Najikhofia nafsi yangu, kuchezewa na mashetani, na kuniharibu akili yangu na kunizuga"(Kitabu cha maisha ya Nabii Muhamaad s.a,uk.17 kilichoandikwa na Sheiky A.Farsy).
KUFUATANA KITABU CHA MAISHA YA NABII MUHAMMAD, tunajifunza kuwa Muhammad kwa mara ya kwanza kabisa alipata utume wake pangoni baada ya NAFSI YAKE KUCHEZEWA NA MASHETANI.
MASWALI:
(i). Kama Jibril ndie alitumwa na Allah, na huyo Allah ni Mungu, kwanini Muhammad alisema kuwa nafsi yake imechezewa na MASHETANI baada ya kukutana na Jibril?
(ii). Kama Jibril alitoka kwa Allah, kwanini Muhammad alipo toka pangoni alisema kuwa Jibril AMEMZUGA AKILI YAKE?
3.KUROGWA KWAKE,
Amesema Mwanaisha Mkewe Mtume kuwa "Yahudi Mmoja aitwaye Labiid bin Al'answan alimroga Mtume Muhammad, ikawa Mtume baadhi ya Nyakati huchanganyikiwa na kuanza kuita Ovyo ovyo na kupiga makelele. (Sahih Muslim J. 4 uk. 38-39)
MASWALI:
(a) Hivi, kuna Mtume au Nabii yeyote yule ambaye alikiri kurogwa?
(b) Hivi Allah alikuwa wapi wakati Muhammad anarogwa?
(c) Wapi tunasoma kuwa Muhammad aliombewa na kutoa huo uchawi/urogi aliofanyiwa na Labiid bin Al'answan?
YAANI INA MAANA MUNGU ALIKOSA MTU WA KUTUMA MPAKA ATUME MTU ALIYECHEWA NA MASHETANI KAMA HUYU?
Ndugu msomaji,
Muhammad hakuwa Mtume wa Mungu na wala hana sifa za KITUME.
1. Muhammad hakuwai ongea na Allah aliye mtuma.
2. Muhammad alikuwa na Shetani tokea kuzaliwa kwake.
3. Muhammad alikiri kuchezewa na Shetani wakati wa kusimikwa utume wake Pangoni.
4. Muhammad alikiri kuwa Shetani amechezea akili na nafsi yake.
5. Muhammad alikiri kuwa alirogwa na Labiid bin Al'answan.
SASA WAISLAM, NIONYESHENI, wapi kwenye Taurat, au Zaburi au Injili kama kuna Mtume aliye na sifa za ajabu kama za Muhammad.
Karibuni kwa Yesu ambaye ndie Njia Pekee ya Kwenda Mbinguni.
Max Shimba Ministries Org.

KWANINI ALLAH ANAAPA KWA YEHOVA "YAHUH" ALIYE UMBA KILA KITU?


1. Kumbe Allah sio Yahuh-Yehova.
2. Kumbe Allah hakuumba.
3. Kumbe Yesu ni Mungu.
Ndugu msomaji,
Kwanza tujifunze maana ya kuapa ili tuweze elewa kwanini Allah aliapa kwa Yehova.
Nini maana ya kuapa?
Kuapa, au Kula kiapo, au Kula Yamini, kunamaanisha kumthibitishia, kwa kutumia Jina la Mwenyezi Mungu, kwamba jambo fulani linaloapiwa – na ambalo halina ushahidi wazi wazi- ni kweli na sahihi kama linavyodaiwa na mwenye kula kiapo hicho na hivyo basi ni budi kusadikiwa madai hayo kwani Mdhamini Mkuu ni Mwenyezi Mungu, Mjuzi Pekee wa ukweli au uwongo wa mambo yaliyofichika nyoyoni!
katika Hadithi iliyopokelewe na Abdallah bin `Umar R.A.A. na iliyotolewa na L-Bukhari, “
"إِنَّ اللَّهَ يَنْهَاكُمْ أَنْ تَحْلِفُوا بِآبَائِكُمْ ، فَمَنْ كَانَ حَالِفًا فَلْيَحْلِفْ بِاللَّهِ أو فَلْيَصْمُتْ"
Maana yake, “Hakika Mwenyezi Mungu anakukatazeni kuapa kwa baba zenu, atakaeapa aape kwa Mwenyezi Mungu au anyamaze
Sasa tumsome Allah ambaye sio Yehova "Yahuh", je yeye anaapa kwa nani?
SURAT ASH-SHAMS 1-3
1. Naapa kwa usiku ufunikapo, 2 kwa mchana uingiapo, 3. na kwa aliye umba kiume na kike..
Hivi mtu anaye apa kwa mwengine anakuwa Mungu au binadamu? Je, nani kaumba hapo. Maana Allah anaapa katika aliye umba, na kuumba ni sifa ya Mungu. Kumbe Allah ambaye sie Yehova hakuumba.
Zaidi ya hapo, Allah anaapa kwa usiku. Kumbe usiku una mamlaka zaidi ya Allah. Allah anaapa kwa mchana, kumbe mchana una mamlaka zaidi ya Allah.
Mbona katika SURAT ASH-SHAMS Allah anaapa kwa (1) Usiku (2) Mchana (3) kwa aliye umba kiume na kike?
Je, ni nani huyu aliye umba Kiume na Kike ambaye Allah wa Islam anaapa kwake? Endelea kusoma...kutoka Biblia Takatifu….
Yeremia 27: 5 Mimi nimeiumba dunia hii, wanadamu na wanyama walio juu ya uso wa nchi, kwa uweza wangu mkuu, na kwa mkono wangu ulionyoshwa; nami nawapa watu kama inipendezavyo.
Sasa tunamsoma Yehovah ambaye ni Mungu wa Biblia kuwa yeye ndie aliye umba kila kitu, pamoja na Kiume na Kike ambacho Allah wa Islam anaapa kwake. Kwahiyo, Jehovah aliumba kiume na kike, na Allah wa Islam anaapa kwake, sasa jaza mwenyewe nani ni Mungu?
Je, Mungu anaweza kuapa kwa Mwengine? Endelea kupata elimu …
Waebrania 6:13 Mungu alipompa Abrahamu ahadi, aliapa kwa jina lake mwenyewe, maana hakuna aliye mkuu kuliko Mungu ambaye kwa huyo angeweza kuapa.
Jehova anasema hakuna Mkubwa wangu wa kuapa kwake, lakini Allah katika Kuran anasema kuwa yeye anaapa kwa aliye umba kiume na kike.
Hivyo basi leo tunafahamu kuwa aliye umba ni Jehona na Allah anaapa kwa Jehovah Mungu wa Biblia na Wakristo.
Mungu awabairiki sana
Ni mimi Max Shimba mtumwa wa yesu Kristo
Copyright © Max Shimba Ministries 2016

MUHAMMAD ANAAPA KWA YESU NA KUKIRI KUWA YESU ATAHUKUMU KWA UADILIFU

Soma Sahih hadith kutoka Al Bukhar:
Muhammad aseme haya katika (Bukhari hadithi na 425, juzuu 3) hadithi ya Abu Huraira amesema mtume wa Allah s.a.w):
Amesema Naapa kwa ambaye nafsi yangu iko ipo mkononi mwake karibu atateremka kati yenu Mwana wa Mariam atahukumu kwa uadilifu.
Kama Muhammad anaapa kwa Yesu na kukiri kuwa Yesu ndio atakaye hukumu, kwanini nimfuate Allah ambaye sio Yehova?
Kwanini Muhammad hakua-apa kwa Allah?
SASA KAMA KUAPA LAZIMA KUWE KWA MWENYEZI MUNGU, KWANINI MUHAMMAD ALIAPA KWA YESU?
KUMBE YESU NI MWENYEZI MUNGU.
katika Hadithi iliyopokelewe na Abdallah bin `Umar R.A.A. na iliyotolewa na L-Bukhari, “
"إِنَّ اللَّهَ يَنْهَاكُمْ أَنْ تَحْلِفُوا بِآبَائِكُمْ ، فَمَنْ كَانَ حَالِفًا فَلْيَحْلِفْ بِاللَّهِ أو فَلْيَصْمُتْ"
Maana yake, “Hakika Mwenyezi Mungu anakukatazeni kuapa kwa baba zenu, atakaeapa aape kwa Mwenyezi Mungu au anyamaze
SASA MSOME NABII MUHAMAMD ANAPAAPA KWA YESU:
(Bukhari hadithi na 425, juzuu 3) hadithi ya Abu Huraira amesema mtume wa Allah s.a.w):
Amesema naapa kwa ambaye nafsi yangu iko ipo mkononi mwake karibu atateremka kati yenu Mwana wa Mariam atahukumu kwa uadilifu.
KUMBE MUHAMMAD ANAJUA KUWA YESU NI MWENYEZI MUNGU.

Urithi wa Uislamu kutoka kwenye dini za kipagani za Uarabuni – Sehemu ya 2




Ka’aba

Katika sehemu ya 1 ya makala haya tuliangalia kuhusu asili ya Allah. Katika sehemu hii ya 2 tutaongelea kuhusiana na mji wa Makka na ka'aba, ambayo ni madhabahu kuu ya Uislamu.

Mji wa Makka ndio kitovu cha Uislamu duniani. Kwenye mji huu ndiko iliko Ka’aba, au kama wanavyoamini na kuiita Waislamu Bait – ul- Haram; au Bait – ul- Allah, yaani ‘nyumba ya Allah’ au ‘nyumba ya Mungu’. Na kila Mwislamu kokote duniani anatakiwa kuswali swala 5 kila siku huku akielekeza uso wake Makka iliko hiyo nyumba ya Mungu wao. Vilevile, kila mmoja wao anatakiwa kwenda Makka kuhiji walau mara moja katika maisha yake, maana hija ni moja ya nguzo kuu katika Uislamu. Kwa maana nyingine, Ka’aba ndiyo madhabahu kuu katika Uislamu.



Ka’aba ni nyumba ya umbo la takriban mchemraba ambayo, pamoja na vitu vingine vichache iliyo navyo, kuna kipande cheusi cha jiwe ambacho kimejengewa ukutani kwenye kona mojawapo. Hivyo, Waislamu wanapoenda Makka kuhiji huzunguka Ka’aba na pia kulibusu  jiwe hilo, au kuligusa tu, na kama ikishindi kana, basi japo kulinyoshea mkono.


Zamani, Allah anasema, kuwa Muhammad alikuwa akitazama mbinguni wakati anapoomba [nadhani kila mwenye imani juu ya Mungu anaamini kuwa Mungu yuko juu – na huo kusema kweli nadhani ndio mtazamo sahihi kabisa].
Lakini Allah akamwambia mtume wake:
We have certainly seen the turning of your face, [O Muhammad], toward the heaven, and We will surely turn you to a qiblah with which you will be pleased. So turn your face toward al-Masjid al-Haram. And wherever you [believers] are, turn your faces toward it [in prayer]. Indeed, those who have been given the Scripture well know that it is the truth from their Lord. And Allah is not unaware of what they do. (sura Al Baqarah 2:144) – Sahih International Version.
Yaani:
Hakika tumeona jinsi unavyogeuzia uso wako [ewe Muhammad], kuelekea mbinguni, nasi hakika tutakugeuzia kwenye qiblah utakachokifurahia. Hivyo elekeza uso wako kwenye al-Masjid al-Haram. Na kila mtakakokuwa [enyi mnaoamini] geuzieni nyuso zenu kuelekea huko [mswalipo]. Hakika, wale waliopewa Maandiko wanajua vema kuwa ni kweli kutoka kwa Bwana wao. Na Allah anajua kile wafanyacho.
Allah anasema hafurahii sana Muhammad na Waislamu kugeuzia nyuso zao juu mbinguni (aliko Mungu muumba wa vyote – ajabu sana! Ajabu mno!), badala yake akaamuru wageuzie nyuso zao kwenye ka’aba wawapo popote wakati wa kuswali.
Pia anasema kuwa wale waliopewa Maandiko (yaani watu wa kitabu) eti wanajua fika kwamba jambo hilo ni kweli kutoka kwa Bwana wao!

Wednesday, June 15, 2016

World Prayer Line in Albany New York US


  • Apostle John and his team shall be in Albany, New York on Saturday, July 30th for one night Prayer Line . The meeting will take place at: The Freedom Christian Center, 453 Delaware Ave., (between Cuyler Ave. and White Hall Rd.) Albany, New York 12209. The Prayer Line will be hosted by Green Island Tabernacle of Albany, NY. and Max Shimba Ministries Org: For more information, you can call

    Pastor Enoch Grant at: 347-963-7502 
    John Zavlaris Ministries Org, New Jersey office at: 516-647-0796
    Max Shimba Ministries Org at: (347) 770-4886


    Saturday, July 30 at 4 PM - 10 PM
  • 453 Delaware Ave., (between Cuyler Ave. and White Hall Rd.) Albany, New York 12209.

Monday, June 13, 2016

Yeshu Masih is the only way to ‘Moksh’. Acharya Vikas Massey explains the clear gospel in Ludhiana at meeting organized by Pastor Salim Khan.

Christina Grimmie’s tweet: “Don’t stop trusting God”
Church mourns the singer who was shot dead in Orlanado
Members of Fellowship Alliance Chapel were gathering to mourn Christina Grimmie when they were learning of 50 more people shot to death by another madman in Orlando, Florida. Grimmie, 22, was shot Friday night in Orlando while signing autographs after a concert. Kevin James Loibl, 27, fired at Grimmie before he was tackled by her brother Marcus. Loibl killed himself. Grimmie, a budding vocal star and a popular contestant on NBC’sThe Voice, was rushed to a hospital, where she was pronounced dead.  “We as a family, we mourn. We mourn Orlando this morning, which is going through a lot today, again,” said elder Bryan Russell, as congregants took their seats for the 11 a.m. service in the church Grimmie attended for most of her life. “It’s hard and it hurts and it seems senseless. Right now is a time for us to be able to grieve and ask questions.” Two hours earlier, Pastor Marty Berglund began the early service with a video tribute to Grimmie. Two large screens above the church sanctuary played a YouTube video of Grimmie belting out the song “In Christ Alone.” (The video has been watched more than 2 million times.) The song’s lyrics—which speak of the power of faith to conquer death—moved many of the congregants to tears. “When something happens like Christina Grimmie getting shot by a murderer, we have to remember that we are part of an unshakeable kingdom that Christina sang about… this is the faith Christina Grimmie had,” Berglund said as ushers passed boxes of tissues around.  A church greeter, Ed Letts, said he hopes some good might come of the tragedy. “We are people of faith, so as we see it, Christina now stands with Christ,” he said. “Knowing that in our hearts brings peace, and maybe through her videos she can now get that message out.”

http://www.thegospeltruthnewspaper.com/

Saturday, June 4, 2016

USTAADH NA HAKIMU WA MAHAKAMA YA KADHI AOKOKA NA KUSEMA KUWA UISLAM NI NJIA YA KWENDA JEHANNAM – Sehemu ya 1

Ahmed alikuwa ni injinia. Baadaye alishawishiwa na Ulama mmoja na kupandikiziwa chuki dhidi ya Wakristo na Wayahudi kiasi kwamba aliamua kuacha kazi yake na kwenda kusomea masomo ya dini ya Kiislamu (licha ya mama yake kupinga sana).
Masomo hayo yalimwezesha kuwa hakimu wa mahakama ya sharia. Kutokana na ukandamizaji mkubwa aliouona kwenye mahakama hizo na kukosekana kwa haki na pia kukosekana kwa msimamo juu ya tafsiri sahihi ya sheria za kiislamu, moyo wake ulikosa kabisa amani.
Kwa neema za Yesu Kristo, Ahmed alifunguliwa macho yake na sasa anajiuliza ilikuwaje akaamini Uislamu?
Ufuatao ni ushuhuda wake kwa maneno yake mwenyewe ambao ameupa kichwa cha habari: “Njia ya Allah Kuelekea Jehanamu au Njia ya Yesu Kuelekea Mbinguni.”
*********************
Njia ya Allah Kuelekea Jehanamu au Njia ya
Yesu Kuelekea Mbinguni
Hadithi ya Kweli
Kila kitu kilikuwa kinaniendea vizuri wakati mimi (mhandisi wa ujenzi) nilipokuwa naingia ofisini kwangu kila siku kufanya kazi. Baba yangu alikuwa karani, na japo mshahara wake hakutosheleza, mama yangu, ambaye alikuwa akitembeza vitu mtaani, aliweza kupata kipato kilichojazia kwenye upungufu. Kimsingi, alikuwa ni mama ndiye aliyetulipia watoto wote elimu yetu na matunzo. Nilipopata kazi, nilimpunguzia mama mzigo mkubwa wa matumizi, lakini baba yangu nilimpa kiasi kidogo tu kila mwezi.
Dunia yangu iligeuka ghafla pale nilipokutana na Ulama (mtu mtakatifu wa Kiislamu). Alinieleza jinsi Waislamu wanavyonyanyaswa na dini zingine na jinsi dunia ilivyosimama kinyume na Uislamu, huku Marekani ikiwa ndio kinara wa mambo hayo. Aliniambia kuwa Marekani, kwa makusudi, inalazimisha kuwapo kwa haki za binadamu kila mahali, maana ziko kinyume na sehemu kubwa ya imani ya Kiislamu, hivyo hilo linaufanya Uislamu uonekane umepitwa na wakati. Wayahudi nao wanawalaghai Wamarekani kwa ajili ya maslahi yao ili kuidhibiti Mashariki ya Kati. Allah alishaliona hili, na kusema kwenye Sura 5.51 ya Quran, kuwa tusiwe na urafiki na Wayahudi na Wakristo. Lakini nchi za Kiislamu zinaikubalia tu Marekani.
Kukosekana kwa Maustaadh (walimu wa dini) kwenye eneo langu, kunakowanyima Waislamu welewa wa kutosha juu ya uzuri na maajabu ya Uislamu, lilikuwa ni jambo jngine tuliloliongelea kwa kirefu sana. Baada ya mazungumzo ya ushawishi ya miezi kadhaa, niliulizia kwenye mji mkuu na nikapata taarifa zote kuhusiana na kujiunga na chuo cha kiislamu. Baada ya kujiuliza sana, ikiwa pamoja na chuki iliyopandikizwa ndani yangu, niliamua kuacha kazi yangu ya uhandisi, lakini mama yangu alipinga kabisa. Lakini mwishowe niliweza kumshawishi kwamba ilikuwa ni kwa ajili ya Allah, hivyo nikaenda kujiunga na Chuo cha Kiislamu.

An Academic Critique of Internal Contradictions in the Quran with Reference to Eschatological Descriptions of Hell’s Sustenance

  Title: An Academic Critique of Internal Contradictions in the Quran with Reference to Eschatological Descriptions of Hell’s Sustenance Au...

TRENDING NOW