Saturday, April 28, 2018

ALLAH NA MUHAMMAD WANAFUNDISHA UCHAWI KUPITIA QURAN

Ukweli Kuhusu Uchawi na Ulozi
Uchawi unaodhuru, hutumiwa kwa maadui. Inaaminika kwamba wale wanaoutumia wana nguvu za kutuma popo, ndege, nzi, na wanyama wengine wakashambulie watu. Watu wengi huamini kwamba uchawi husababisha mapigano, utasa, magonjwa, na hata kifo.
Ni kweli kwamba Shetani na roho wake waovu ni maadui hatari wa wanadamu. Wana nguvu za kudhibiti akili na maisha ya watu, na zamani hata waliwapagaa wanadamu na wanyama. (Mathayo 12:43-45) Ingawa hatupaswi kupuuza nguvu zao, hatupaswi pia kuziona kuwa kubwa mno.
Quran hufundisha uchawi na watu wanapaswa watoe kiapo cha utii kwake Allah kabla ya kufundisha uchawi wa aina yoyote. Elimu ya uchawi ni kuwadhuru watu wengine hasa waume na wake.
Katika sehemu hii tumwangalie huyo shetani au allah anayeruhusu na kufundisha uchawi.
Katika Suratul, al- Bagarah, (ng’ombe jike), 2:102 “ Wakafuata yale waliyoyafuata mashetani wakadai kuwa yalikuwa katika ufalme wa nabii suleimani na Suleiman hakukufuru bali mashetani ndiyo waliokufuru, wakiwa fundisha watu uchawi waliokuwa wakiujua wenyewe tangu zamani. Na uchawi uliteremshwa kwa malaika wawili Haruta na Maaruta katika mji wa Babeli wala malaika hao hawakumfundisha yeyote mpaka wamwambie hakika sisi ni mtihani wa kutazamwa kutii kwenu basi usikufuru wakajifunza kwao ambayo waliweza kumfarakisha mtu na mkewe na mengineyo wala hawakuwa wenye kumdhuru yeyote kwa hayo ila kwa idhini ya Mwenyezi Mungu……………………
Katika aya hiyo inaeleza kuwa uchawi ni kazi ya Allah na ndiye anaye idhinisha. Yeye atakuwa nani? Na pia kuna waganga wa kienyeji wa kiislamu ambao hutumia Quran katika uganga wao. Hiyo Quran na majini na uchawi, ulioletwa na Allah S.W. vina uhusiano gani?
Ona sheria ambazo Yehova Mungu wa Wakristo alipatia taifa la Israeli kuhusu uchawi na wale wanaoutumia:
● ‘Msifanye uchawi.’—Mambo ya Walawi 19:26, Biblia Habari Njema.
● “Mtu mume au mtu mke aliye na pepo, au aliye mchawi, hakika atauawa.”—Mambo ya Walawi 20:27.
● “Asionekane kwako . . . mtu atazamaye nyakati mbaya, wala mwenye kubashiri, wala msihiri, wala mtu alogaye kwa kupiga mafundo, wala mtu apandishaye pepo, wala mchawi.”—Kumbukumbu la Torati 18:10-14.
Tafakar
i
Image may contain: one or more people and people sittingImage may contain: one or more people, indoor and food


Image may contain: one or more people, indoor and food

No comments:

FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE

  **URGENT UPDATE**   **FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE** Shimba TV, New York has received distressing news ...

TRENDING NOW