Sunday, April 22, 2018

JE, MUHAMMAD ALITENDA MIUJIZA YEYOTE?

No automatic alt text available.
MUHAMMAD APEWA CHANGAMOTO ALIYOSHINDWA KUIKABILI
*****************************************************************************
SURA 17:90. Na walisema: Hatutakuamini mpaka ututimbulie chemchem katika ardhi hii.
SURA 17: 91. Au uwe na kitalu cha mitende na mizabibu, na utupitishie mito kati yake ikimiminika.
SURA 17:92. Au utuangushie mbingu vipande vipande kama ulivyo dai; au utuletee Mwenyezi Mungu na Malaika uso kwa uso.
SURA 17:93. Au uwe na nyumba ya dhahabu, au upae mbinguni. Wala hatutaamini kupaa kwako mpaka ututeremshie kitabu tukisome. Sema: Subhana Rabbi, Ametakasika Mola wangu Mlezi! KWANI MIMI NI NANI ISIPO KUWA NI MWANAADAMU NA MTUME?
SURA 17:94. Na nini kilicho wazuilia watu kuamini ulipo wajia uwongofu isipo kuwa walisema: Je! Mwenyezi Mungu humtuma mwanaadamu kuwa ni Mtume?
SURA 17:95. Sema: Ingeli kuwa duniani wapo Malaika wanatembea kwa utulivu wao, basi bila ya shaka tungeli wateremshia Malaika kuwa ni Mtume wao.
MOHAMMAD ATUMIA BIBLIA TAKATIFU KUJITETEA BAADA YA KUSHINDWA KUFANYA MIUJIZA:
SURA 3:183. Walio sema: Mwenyezi Mungu ametuahidi tusimuamini Mtume yeyote mpaka atuletee kafara inayo teketezwa na moto. Waambie: Walikujieni Mitume kabla yangu kwa hoja zilizo wazi na kwa hayo mnayo sema, basi kwa nini mkawauwa ikiwa mlikuwa wakweli?
Hapa mohammad anajitetea kutumia maandiko matakatifu (Biblia) kwa sababu anajua hawezi kufanya miujiza hata moja.
MOHAMMAD HAKUFANYA MIUJIZA YOYOTE KAMA WAISLAMU WANAVYODAI! TAZAMA HAPA;
SURA 3:184. Na wakikukanusha basi walikanushwa Mitume wengine kabla yako walio kuja na hoja waziwazi na Vitabu vyenye hikima, na Kitabu chenye nuru.
HAPA MOHAMMAD ANADHIBITISHA KUWA BIBLIA NI KITABU CHA HEKIMA NA NURU! JE, KWA NINI BASI WAISLAMU WAPINGE MAANDIKO MATAKATIFU (BIBLIA) KAMA MTUME MOH'D MWENYEWE ANATAMBUA DHAMANI YAKE???
MOHAMMAD ANASHINDWA KUTETEA DINI YAKE HIVYO KUTUMIA BIBLIA:-'AIBU KWA MTUME MKUU NA WA MWISHO!'
SURA 29:50. Na walisema: Mbona hakuteremshiwa Ishara kutoka kwa Mola wake Mlezi? Sema: Ishara ziko kwake Mwenyezi Mungu; ama mimi (Mohammad) kwa hakika ni mwonyaji mwenye kubainisha tu.
SURA 29:51. Je! Kwani hayakuwatosha ya kwamba tumekuteremshia Kitabu hiki wanacho somewa? Hakika katika hayo zipo rehema na mawaidha kwa watu wanao amini.
TATHMINI:
1) Mohammad hakufanya miujiza kama wanavyodai waislamu
2) Mohammad si mtume anavyodai yeye na wanavyodai waislamu
3) Mohammad si mtume wa kweli
4) Mohammad hana sifa za utume hata chembe.
5) Mohammad ni mwongo

No comments:

WHY CHRISTIANITY IS BETTER THAN ISLAM?

Has Islam Improved to Become Better Than Christianity? Does Muhammad fulfill and complete the mission and purpose of Christ? Muhammad emphat...

TRENDING NOW