DHAKARI "UUME" WA ADAM NDIO KIUNGO CHA KWANZA KUUMBWA
Nabii wa Allah na Allah wanasema kuwa kiungo cha kwanza kuumbwa cha Adam ni UUME WAKE.
HIKI HAPA KISA CHA ADAM KUUMBWA UUME
Soma Kitabu cha Mkweli Mwaminifu, Ukurasa wa 01 Juzuu ya 3 na 4, Chapa ya Kumi na Nane 1432 Toleo la Mwana 2011
Kasema Mujahid ((Radh ya Mola iwe juu yake) Nae kutoka kwa Mtume mwenyewe S.A.W kwamba: Kitu cha mwanzo kilicho umbwa katika mwili wa Adam (AS) ni Utupu wake (DHAKARI YAKE), akaambiwa ewe Adam hii ni amana usiitumie ila kwenye mahali utakapo amrishwa kuitia.
Ninaposema Muhammad bin Amina ni mtume bandia huwa simzingizii. Allah kupitia Muhammad bin Amina anasema kuwa, kitu cha kwanza kuumbwa kwa Adam ni Uume wake, Inamaana Allah aliumba uume halafu akuweka sehemu kabla ya kuumba sehemu zingine za mwili wa Adam.
1. Kwanini Allah aliumba dhakari ya Adam hata kabla ya kuumba nafsi yake?
2. Hii dhakari ya Adam iliwekwa wapi baada ya kuumbwa na kwa muda gani?
3. Dhakari ya Adam ilipo umbwa inamaana Allah aliishika na kuhifadhi?
4. Je, ni haki au halali kwa Allah kushika dhakari ya binadamu?
Shalom,
Dr. Max Shimba for Max Shimba Ministries
No comments:
Post a Comment