MTUME PAULO ANAKIRI MUNGU NI MMOJA
JE, MTUME PAULO ALIKUWA MUISLAM MAANA ALIIKIRI MUNGU NI MMOJA?
1 Wakorintho Mlango 8: 6 lakini kwetu sisi Mungu ni mmoja tu, aliye Baba, ambaye vitu vyote vimetoka kwake, nasi tunaishi kwake; yuko na Bwana mmoja Yesu Kristo, ambaye kwake vitu vyote vimekuwapo, na sisi kwa yeye huyo.
HUWA KUNA HOJA YA WAISLAM KUWA, ETI YESU ALIKUWA MUISLAM KWASABABU ALISEMA MUNGU NI MMOJA.
JE, TUKITUMIA UTAALAMU NA AU MBINU HIYO HIYO NA TUWAULIZE WAISLAM. JE, MTUME PAULO ALIKUWA MUISLAM MAANA ALIKIRI MUNGU NI MMOJA?
Shalom,
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu. Tito 2:13
No comments:
Post a Comment