Friday, October 25, 2013
KWA NINI WAKRISTO HAWAUTAKI UISLAMU?
Waislamu wamekuwa mahodari sana kutushawishi Wakisto tuufuate uislamu, wakidai kuwa ndiyo imani sahihi, wapo baadhi ya Wakristo walioamua kuufuata uislamu, kwa sababu ya kazi, kuoa, kudangaywa, na wengine wameingia kwenye uislamu kwa kuwa hawaujui vizuri, sasa sisi ambao tumeusoma Uislamu, tumezinduka tunagoma kuingia kwenye uislamu kwa sababu hizi zifuatazo.
(1) SHETANI NI MUSLAMU
Ni bahati mbaya kwamba Adamu Hawa hawakufanikiwa kufanya jitihada za kumwezesha shetani na wanae kuuomba msamaha kwa mwenyezi Mungu na kuwa Waislamu, ni mtume Muhammad tu ndiye aliyemsilimisha shetani akawa muislamu… (KITABU CHA ASILI YA MAJINI UK 20)
Sasa Ikiwa shetani ni muislamu, na sisi tunajua kuwa shetani yeye ndiye adui yetu namba moja ambaye sisi hatupaswi kushirikiana nae,
Yakobo 4:7 Basi mtiini Mungu. Mpingeni shetani, nae atawakimbia.
Sasa iweje tena tumfuate shetani katika uislamu? Kwa kuwa shetani ambaye aliwadanganya Adamu na Hawa ni muislamu,sisi Wakristo tunaojitambua hatuutaki Uislamu.
(2) UKIWA MUISLAMU MATAKO TAKO YANAKUWA NI SEHEMU YA SHETANI KUJIBURUDISHA KWA MICHEZO YAKE.
Kasema Mtume (s.a.w) “Anamwijia mmoja wenu shetani katika sala, basi anapuliza (anampuliza) katika matako yake, basi yule mtu inamwijia fikiria ya kuwa umemtoka upepo (kajamba) nae haukumtoka, basi akiona hali hiyo asiondoke kwenye sala mpaka asikie sauti ya kumtoka huo upepo au anuse harufu yake”. (KITABU CHA MKWELI MWAMIU, JUZUU YA 1 -2 HADITHI NA. 74, UK 42)
Sasa hiyo adha ya kupulizwa matako na shetani kwa kila unaposali nani anaitaka? Yaani kila ukienda kusali basi shetani yeye yupo matakoni tu, najiuliza hivi shetani ambaye ni muislamu hakuona sehemu nyingine mpaka akomae na matako tu? Kina mama Wa Kiislamu zindukeni, maana Wanaume wao wameshazoea, ndiyo maana hawataki ninyi mwende msikitini ili mpulizwe pamoja nao, hivyo sisi Waristo tunaojitambua, kwa tendo hilo la kupulizwa matakoni na shetani hatuutaki uislamu.
(3) UKIWA MUISLAMU BASI WEWE PUA YAKO INAKUWA KITANDA CHA SHETANI
Amesimulia Abu Huraira (r.a) Mtume (s.a.w) alisema “Mmoja wenu anapoamka kutoka usingizini, basa atawadhe na apandishe maji puani, na apenge mara tatu, kwa sababu shetani alilala ndani ya tundu za pua yake” (Bukhari, Hadithi na. 516, juzuu ya 4)
Hivi ni Mkristo gani mwenye kujitambua ambaye yupo tayari kuwa muislamu, ili pua yake ikawe godoro la shetani? Bila shaka hakuna, hivyo sisi Wakristo tunaojitamua hatuutaki uislamu.
(4) KWENYE UISLAMU NI RUKSA KUOA VITOTO VYAMIAKA SITA NA KUVIINGILIA VIKIWA NA MIAKA TISA, Hadithi ya Aisha (r.a) amesema, Mtume (s.a.w) amenioa nikiwa binti wa miaka sita, tukaja Madina tukafikia kwa Ban Al-Harith Khazraji nikapatwa na homa kali sana mpaka nywele zangu zikakatika katika baadae zikaja kuwa nyingi, Akanijia mama yangu Ummu Ruuman, akanikuta niko katika pembeya nikiwa na rafiki zangu, akaniita kwa sauti ya ukali, nikamwendea hata nisijue anachoniitia akanishika mkono mpaka akanifikisha mlangoni huku nina hema mpaka zilipotulia pumzi zangu akachukua maji akaanza kunifuta kwa maji hayo uso wangu na kichwa changu kisha akaniingiza ndani nikawakuta wanawake wa kiansari mle ndani wakasema, “uwe juu ya kheri na Baraka na uwe juu ya ndege bora, akanikabidhi kwao wakaniweka vizuri, sikustuka isipokuwa alipofika Mtume (s.a.w) asubuhi mama yangu akanikabidhi kwake, nami siku hiyo nilikuwa ni mschana wa miaka tisa” (BUKHARI, HADITHI NA. 234, Juzuu ya 5)
Sasa kama katika uislamu ufataki ni ruksa yaani mzee wa miaka 54 anaruhusiwa kuoa kitoto cha miaka sita, hivi kuna haja gani ya Mkristo kujiingiza kwenye Ufataki (UISLAMU) na kuanza kuharibu vitoto vya miaka sita? Yaani badala ya kufikiria Elimu kwa mtoto wako, huyo wa miaka sita, unafikiria kumuozesha kwa mzee wa miaka 54, kwa stahili hiyo sisi Wakristo tunaojitambua hatuutaki uslamu.
(5) HATUUTAKI UISLAMU KWA KUWA MUHAMMAD ALIROGWA
Thursday, October 24, 2013
Yesu Kristo ameumba mbingu, nchi, watu, na ulimwengu wote.
Biblia Takatifu inatuambia kwamba:
“...tuliumbwa katika Kristo Yesu...” (Waefeso 2:10)
Ni jambo lililo wazi kabisa kuwa sisi wanadamu wote pamoja na viumbe vyote ni kazi ya mikono ya Yesu. Yesu ameumba vitu vyote; tendo la mtu kuukana Uungu wa Yesu ni jambo la kumkosea heshima Mungu aliyekuumba. Ndio maana Yesu aliwaambia Wayahudi kwamba: “...ninyi mwanivunjia heshima Yangu...” (Yohana 8:49).
Tusomapo Biblia Takatifu katika kitabu cha YOHANA sura ya kwanza, tunaona pameandikwa:
“Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu... Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo Yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika... Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu Wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.” (Yohana 1:1,3,14)
Huyo “Neno” anayetajwa hapo ndiye Yesu Kristo. Mwandishi wa kitabu hicho cha YOHANA ametumia usemi wa: “...Neno alikuwako kwa Mungu...” akiwa anawafahamisha hususani Wayahudi waliokuwa wanajua kuwa YEHOVA ndiye Mungu wao. Kwa hiyo Yohana anasema “...Neno alikuako kwa Mungu...” kwa maana ya kwamba; huyu “...Yesu alikuwako kwa YEHOVA...” ambaye wao Wayahudi walimtambua kuwa ndiye Mungu wao.
Pia zaidi tunaona Yohana anafafanua kwa kusema kuwa; huyu “...Yesu alikuwa Mungu...” Ufafanuzi zaidi tunauona katika YOHANA 1:14 ambapo Yohana amefafanua kwa kusema; “...Yesu alifanyika mwili; akakaa kwetu...” Biblia Takatifu inamtaja kwa wazi kabisa kuwa Yesu ni Mungu na ameumba vitu vyote “...Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo Yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika...” (Yohana 1:3).
Yesu Kristo Ndiye anayekuja kuuhukumu ulimwengu wote siku ya kiyama
Jambo hili si mzaha wala uzushi bali ni kweli; Yesu Kristo anakuja kuhukumu ulimwengu wote. Yesu Kristo ametutamkia kwa kiywa Chake kwa kusema kwamba;
“Tena Baba hamhukumu mtu ye yote, bali amempa Mwana hukumu yote; ili watu wote wamheshimu Mwana kama vile wanavyomheshimu Baba.” (Yohana 5:22,23)
Katika hukumu siku ya kiyama hatutegemei kumwona YEHOVA akija kuhukumu ulimwengu, bali, Yesu Kristo ndiye ajaye kuhukumu ulimwengu. Hii itakuwa hivyo ili WATU WOTE WAMHESHIMU Yesu sawa sawa na jinsi ambavyo wanamheshimu YEHOVA. Hapo ndipo viumbe vyote watathibitisha kuwa Yesu ni Mungu. Biblia Takatifu inasema kwamba:
“...kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi; kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA...” (Wafilipi 2:10,11)
Hakika Yesu ni Mungu. Najua hapa huwachanganya baadhi ya watu hata wanaweza kuhoji;
Je! Wapo Miungu wangapi? Kwa maana tunasikia habari za Mungu Baba, Mungu Mwana, na Mungu Roho Mtakatifu? Inawezekanaje tuseme Yupo Mungu mmoja wakati hapo tunaona wapo watatu?
Ni kweli Utatu Mtakatifu wa Mungu umekuwa mgumu sana kueleweka kwa watu wengi kutokana na mafundisho dhaifu waliyoyapokea kutoka kwa viongozi wao wa madhehebu yao na imani zao. Je! Utatu Mtakatifu wa Mungu ni uzushi uliotungwa na wanadamu kwa lengo la kupotosha watu au Biblia Takatifu inatuthibitishia wazi wazi kuhusu Utatu Mtakatifu wa Mungu? Hebu twende katika neno la Mungu tuone jinsi lisemavyo.
Biblia Takatifu inatuambia kwamba:
Yesu Kristo anayo amri na mamlaka ya kusamehe dhambi
Kuna jambo lililowahi kutokea hadi likawashangaza watu; hebu fatilia kisa hiki. Biblia Takatifu inasema kwamba:
“Wakaja watu wakimleta mtu mwenye kupooza, anachukuliwa na watu wanne. Na walipokuwa hawawezi kumkaribia (Yesu) kwa sababu ya makutano, waliitoboa dari pale alipokuwapo; na wakiisha kuivunja wakalitelemsha godoro alilolilalia yule mwenye kupooza. Naye Yesu, alipoiona imani yao , akamwambia yule mwenye kupooza, Mwanangu, umesamehewa dhambi zako. Na baadhi ya waandishi waliokuwako huko, wameketi, wakifikiri mioyoni mwao,
Mbona huyu anasema hivi? Anakufuru. Ni nani awezaye kusamehe dhambi isipokuwa mmoja, ndiye Mungu?
Mara Yesu akafahamu rohoni mwake kwamba wanafikiri hivyo nafsini mwao, akawaambia, Mbona mnafikiri hivi mioyoni mwenu? Vyepesi ni vipi, kumwambia mwenye kupooza, Umesamehewa dhambi zako, au kusema, Ondoka, ujitwike godoro lako, uende?
Lakini mpate kujua ya kwamba Mwana wa Adamu anayo amri duniani ya kusamehe dhambi – Akamwambia yule mwenye kupooza,
Nakuambia, Ondoka, ujitwike godoro lako uende nyumbani kwako.
Mara akaondoka, akajitwika godoro lake, akatoka mbele yao wote; hata wakastajabu wote, wakamtukuza Mungu, wakisema, Namna hii hatujapata kuiona kamwe.” (Marko 2:3-12)
Yesu Kristo hajaumbwa bali alikuwepo tangu milele yote
Ni kweli kabisa kwamba Yesu alikuwepo tangu milele yote kabla ya kuumbwa kitu cho chote kile. Bwana Yesu kwa kauli ya kinywa chake mwenyewe anasema kwamba:
“Na sasa, Baba, unitukuze Mimi pamoja Nawe, kwa utukufu ule Mimi niliokuwa nao pamoja Nawe kabla ya ulimwengu kuwako.” (Yohana 17:5)
Neno “UTUKUFU” maana yake ni heshima, uweza, uzuri, umaarufu, nguvu, sifa na mamlaka. Mambo hayo yote Yesu alikuwa nayo kabla hata ulimwengu haujaumbwa. Yesu Kristo alikuwapo hata kabla ya kuzaliwa na Mariamu; jambo hili pia Yesu Kristo kwa kinywa Chake Yeye mwenyewe ametuthibitishia alipokuwa akiwaambia Wayahudi kwamba:
“Yeye aliye wa Mungu huyasikia maneno ya Mungu; hivyo ninyi hamsikii kwa sababu ninyi si wa Mungu.
Wayahudi wakajibu, wakamwambia, Je! Sisi hatusemi vema ya kwamba wewe u Msamaria, nawe una pepo?
Yesu akajibu, Mimi sina pepo; lakini Mimi namheshimu Baba yangu, na ninyi mwanivunjia heshima Yangu. Wala mimi siutafuti utukufu Wangu; Yuko mwenye kutafuta na kuhukumu. Amin, amin, nawaambia, Mtu akilishika neno langu, hataona mauti milele. Basi Wayahudi wakamwambia, Sasa tumeng’amua ya kuwa una pepo. Ibrahimu amekufa, na manabii wamekufa; nawe wasema, Mtu akuilishika neno langu, hataonja mauti milele. Wewe u mkuu kuliko baba yetu Ibrahimu, ambaye amekufa? Nao manabii wamekufa. Wajifanya u nani? Yesu akajibu, Nikijitukuza mwenyewe, utukufu wangu si situ; anitukuzaye ni Baba Yangu, ambaye ninyi mwanena kuwa ni Mungu wenu. Wala ninyi hamkumjua; lakini mimi namjua. Nikisema ya kwamba simjui, nitakuwa mwongo kama ninyi; lakini namjua, na neno lake nalishika . Ibrahimu baba yenu, alishangilia kwa vile atakavyoiona siku yangu; naye akaiona, akafurahi.
Basi Wayahudi wakamwambia, Wewe haujapata bado miaka hamsini, nawe umemona Ibrahimu? Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Yeye Ibrahimu asijakuwako, Mimi niko.” (Yohana 8:47-58)
Katika kisa tulichokisoma katika maandiko hayo (Yohana 8:47-57) tunajifunza mambo kadhaa hapo. Tumeona dhahiri jinsi ambavyo hata baadhi ya Wayahudi ilivyo wawia vigumu sana kumwelewa huyu Yesu ni nani; hata wakadiriki kusema kuwa Yesu anayo mapepo (mashetani). Hawakumwelewa kwa sababu walimtazama Yesu kibinadamu kama jinsi wao walivyo, lakini hawakujua kuwa Yesu ni alikuwepo hata kabla ya Yeye kuzaliwa na Mariamu. Huyo Ibrahimu anayeongelewa hapo ni yule ambaye habari zake tunazisoma katika kitabu cha MWANZO cha Biblia (Ibrahimu baba yake Isaka na Ishmaili). Wayahudi walishangaa; Inawezekanaje huyu Yesu aseme alimwona Ibrahimu aliyeishi na kufa miaka mingi tena zaidi ya elfu moja iliyopita, wakati huyu Yesu tumemwona utotoni mwake na hata sasa bado hajatimiza umri wa miaka hamsini? Hayo yalikuwa ni mawazo ya kibinadamu; tena inaezekana hata wewe ukawa ni miongoni mwa waliokuwa wanawaza hivyo; lakini, Yesu mwenyewe anatuthibitishia kwa kinywa Chake kwa kusema:
Sunday, October 20, 2013
The Name of God in the Bible and the Quran
Part Two: The Name of Allah
We have already presented proof that God’s name in the Bible is YHWH. We must now look at what the Quran calls the name of its god. After doing this, we shall see the implication of this on the relationship between the picture of God found in the Bible and the picture of God in the Quran.
What is the name of God in the Quran? Some passages give us an indication (quotations will be from Pickthall’s version):
Surah 1.1 (and before every Surah except #9)By analogy with the use of the name Jehovah (YHWH) in the following passages in the Bible, one could conclude that the name of God is Allah in the Quran (New American Standard Bible):
In the name of Allah, the Beneficent, the Merciful.
Surah 11.41
And he said: Embark therein! In the name of Allah be its course and its mooring. Lo! my Lord is Forgiving, Merciful.
Surah 12.66
He said: I will not send him with you till ye give me an undertaking in the name of Allah that ye will bring him back to me, unless ye are surrounded. And when they gave him their undertaking he said: Allah is the Warden over what we say.
Surah 12.80
So, When they despaired of (moving) him, they conferred together apart. The eldest of them said: Know ye not how your father took an undertaking from you in Allah's name and how ye failed in the case of Joseph aforetime? Therefore I shall not go forth from the land until my father giveth leave or Allah judgeth for me. He is the Best of Judges.
Surah 16.115
He hath forbidden for you only carrion and blood and swineflesh and that which hath been immolated in the name of any other than Allah; but he who is driven thereto, neither craving nor transgressing, lo! then Allah is Forgiving, Merciful.
Surah 27.30
Lo! it is from Solomon, and lo! it is: In the name of Allah, the Beneficent, the Merciful;
Deuteronomy 18:7Similar passages are Deuteronomy 18:22; 21:5; 1 Samuel 17:45; 2 Samuel 6:18; 1 Kings 18:32; 22:16; 1 Chronicles 16:2; 21:19; 2 Chronicles 18:15; Psalm 118:10-12, 26; 129:8; Isaiah 50:10; Jeremiah 11:21; 26:16, 20; 44:16; Zephaniah 3:12; Zechariah 13:3. As YHWH is most frequently used of the Supreme Being in the Old Testament, as Allah is used in the Quran, it would appear that Allah is the name of God in the Quran, like YHWH is the name of God in the Bible.
then he shall serve in the name of the LORD [YHWH] his God, like all his fellow Levites who stand there before the LORD.
1 Samuel 20:42
Jonathan said to David, "Go in safety, inasmuch as we have sworn to each other in the name of the LORD [YHWH], saying, ‘The LORD will be between me and you, and between my descendants and your descendants forever.’" Then he rose and departed, while Jonathan went into the city.
2 Kings 2:24
When he looked behind him and saw them, he cursed them in the name of the LORD [YHWH]. Then two female bears came out of the woods and tore up forty-two lads of their number.
2 Chronicles 33:18
Now the rest of the acts of Manasseh even his prayer to his God, and the words of the seers who spoke to him in the name of the LORD [YHWH] God of Israel, behold, they are among the records of the kings of Israel.
Psalms 124:8
Our help is in the name of the LORD [YHWH], Who made heaven and earth.
Jeremiah 26:9
"Why have you prophesied in the name of the LORD [YHWH] saying, ‘This house will be like Shiloh and this city will be desolate, without inhabitant’?" And all the people gathered about Jeremiah in the house of the LORD.
Micah 4:5
Though all the peoples walk Each in the name of his god, As for us, we will walk In the name of the LORD [YHWH] our God forever and ever.
Saturday, October 19, 2013
Subscribe to:
Comments (Atom)
Contradictions in the Quran: A Theological and Textual Examination
Contradictions in the Quran: A Theological and Textual Examination By Dr. Maxwell Shimba, Shimba Theological Institute Introduction Muslims ...
TRENDING NOW
-
Baba umenipa funguo muhimu katika Mathayo 16:19 za kufunga na kufungua. Ninatumia funguo hizo kufunga na kufungua, kuvunja na kubamiza kil...
-
Kuna watu wanapitia mateso mengi sana, wengine wamefungwa katika vifungo bila wao kujijuwa basi chukua muongozo huu utakusaidia au itasaid...
-
Adui anakuja kuiba, kuua na kuharibu kila kitu chetu, ni lazima kuwa tayari kupambana na maadui, tujue silaha zetu, na kutumia neno la Mun...
-
Twakusalimu kwa mara ingine katika jina tukufu na takatifu la Yesu Kristo Bwana wetu. Twazidi pia kukushukuru kwa ajili ...