Friday, January 17, 2014

Allah is not Akbar

Muslims tell us that Islam is the religion of... Allah cannot.

Allah cannot enter into his creation

Allah cannot speak any language other than Arabic

Allah cannot hear prayers in any other language than Arabic

Allah cannot hear prayers not said facing Mecca 

Allah cannot stop Satan from inhabiting your nose while you're sleeping

Allah cannot stop Satan from peeing in your ear when you oversleep

Allah cannot protect his books, even though he said he would

Allah cannot hear your prayers if a woman, a dog or a donkey is within a few feet of you

Allah's being cannot be too difficult for a Muslim to understand

Allah cannot defend his own religion and needs Muslims to torture and kill those who argue against Islam or criticize it and its prophet who is dead and no longer needs protection

Allah cannot love you unless you are his slave

Allah cannot defend his prophets against defenseless Jewish widows

Allah cannot protect Islam from powerful apostles like Paul, who Muslims say created the world's largest religion, almost double the size of Islam and still growing faster than any other religion today

Allah cannot save most women from hell, because they are deficient in their religion. But women are deficient in their religion because they have courses... which Allah gave them!

Allah cannot do miracles through "warners" like Muhammad to prove that he has been sent by God, which would have been especially important to do since Muhammad radically departed from what the Bible had taught for thousands of years

The list of what Allah cannot do just goes on and on

And so one has to ask...

Why on earth should anyone believe in this Allah who has so many limitations, rather than in the True Sovereign, Almighty, All-Knowing YHWH?

I'm going with Jesus, the Glorious YHWH, because with Him, NOTHING IS IMPOSSIBLE! (Luke 1:37)

Max Shimba Ministries 2014

Monday, January 13, 2014

YESU ANAKIRI KWA MDOMO WAKE KUWA YEYE NI MUNGU.


Ndiguzanguni, leo nawajibu Waislam kwa Mara nyingine tena kuwa, YESU NI MUNGU. Hii aya hapa chini katika kitabu cha Ufunuo ni ya Yesu mwenyewee akiongea na Yohana. Yesu anakiri kuwa yeye ni Mungu. Hebu tuisome kwanza:

Ufunuo 21: 6 Yesu Akaniambia, “Imekwisha kuwa. Mimi ni Alfa na Omega, Mwanzo na Mwisho. Yeye aonaye kiu nitampa kunywa kutoka katika chemchemi ya maji ya uzima bila gharama yo yote. 7 Yeye atakayeshinda atayarithi haya yote, Nami nitakuwa Mungu wake, naye atakuwa mwanangu.

Mara nyingi kumekuwa na mtanashi kutoka Wasialm kuwa eti Yesu hakuwai sema yeye ni Mungu. Mara zote wamekuwa wakidai kuwa, tuwaletee aya ambayo Yesu anasema yeye ni Mungu. Ingawa, Biblia imewajibu kuwa Yesu ni Mungu kutoka sehemu mbalimbali, lakini wamekuwa wabishi na kung'ang'ania waletewe aya, ili wabatizwe na kuwa Wakristo. Kwasababu Biblia imekamilika na haina shaka ndani yake. Leo Biblia inawajibu tena kuwa Yesu ni Mungu.

Aya ya 7 inasema kuwa, NUKUU: [Yeye atakayeshinda atayarithi haya yote, Nami nitakuwa Mungu wake, naye atakuwa mwanangu.]

Yesu amekiri kuwa mtu yeyote yule atakaye urithi ufalme wake, basi ifahamike kuwa. Moja: Yesu atakuwa Mungu wake
Pili: Wewe utakuwa Mwana wake.

Huu ni ushaidi mwingine kuwa Yesu ni Mungu. Waislam, ningependa mfahamu kuwa, Yesu ni Mungu kama ilivyo andikwa kwenye Ufunuo Sura 21 na aya ya 7.

Je, Upo tayari kumfuata Yesu ambaye ni Mungu? Kumbukeni kuwa, Yesu ndie Njia pekee ya kwenda Mbinguni. Dini haita wapeleka popote pale, lakini Yesu Kristo aliye hai ambaye sasa tunasoma kukiri kwake kuwa yeye ni Mungu, ndie njia pekee ya Uzima wa Milele.

Mpokee Yesu leo ili upate uzima wa milele.

Katika Huduma yake,

Max Shimba.

Kwa Max Shimba Ministries Org 2014

Thursday, December 26, 2013

ETI ALLAH AMEKUBALI KUTOA USHAIDI KWA VIUMBE VYAKE



 Je, nani atakuwa Hakimu wakati Allah anatoa Ushaidi?

NDUGU WASOMAJI, Hivi Allah anaweza kuwa shaidi wakati yeye ndie anadai kuwa alitoa Utume kwa Muhammad? Hivi Mungu anaweza kwenda kutoa Ushaidi kwa viumbe vyake? Nani atakuwa Hakimu wa hiyo Kesi?

Katika hii aya hapa chini, mhukumiwa ni Allah aliyedai katoa Utume kwa Muhammad, kivipi na tokea lini Mhukumiwa akawa shaidi katika Kesi yake ya jinai?

Quran 4:72 Surat Annisa inasema "wema uliokufikia unatoka kwa Mwenyenzi Mungu na baya lililokufikia linatoka nafsini mwako nasi tumekupeleka kwa watu kuwa Mtume na Mwenyenzi Mungu ni shahid wa kutosha wala hapaitajiwa shaid mwingine ila yeye"

Allah anadai kuwa yeye ndie aliye mpa Utume Muhammad na hapo hapo ALLAH anajihami kuwa mkibisha na au kuwa na shaka na utume wa Muhammad basi yeye ni Shaidi yake. Hivi, MFANO: Rais akimpa Mtu uwaziri, umesha wai sikia Rais anajihami kwa kusema kama wakikukataa mimi nitakuwa Shaidi yako? Kwani Allah ana mshindani mpaka atoe maneno ya kujihami? Je, Allah ni Mungu? Mbona anakubali kuchukia nafasi ya chini ya kuwa Shaidi kwa viumbe vyake? Au kuna Mungu mwingine ambaye ni zaidi ya Allah ndio maana Allah anajihami kwa kusema yeye atakuwa shaidi wa Muhammad?

Ndugu zanguni, tukisoma Biblia, hakuna hata sehemue moja na au aya yeyote ile inayo sema kuwa Yehovah alijihami kwa Mitume wake kuwa, kama wakikataliwa basi Yehovah atakuwa shaidi yao. Allah anadai kuwa yeye ni shaidi lakini ameshindwa kutuambia wapi hiyo kesi itakuwa na nani ni Hakimu!

Binadamu/Sisi labda ndio tunaweza kuwa Mashaidi wa Neno la Mungu lakini si Mungu mwenye Mamlaka yote awe shaid katika viumbe vyake na neno lake. Mungu huwa halizimishi mambo kama Allah wa Uislam. Yesu anasema kuwa yeye Ndie Mwanzo na Mwisho, Alfa na Omega. Hakuna zaidi yake, lakini Allah amekiri kuwa yeye anaweza kuwa shaidi pale mambo yanapokuwa magumu. Hakika Allah hana Mamlaka yeyote yake, ndio maana yeye ni shaidi na sio Mungu mwenye Mamlaka. Sijui nani atakuwa Hakimu wakati Allah amesimama kutoa Ushaidi?

Katika huduma yake

Max Shimba.

Max Shimba Ministries 2013

IS MUHAMMAD THE SPIRIT OF TRUTH?


Today I will answer Muhammadans with biblical proof that Muhammad was not the Spirit of Truth as promised to us by Jesus our Lord and Savior.

Many times Muslims asked, "Who is the Spirit of Truth Jesus was making the Prophecy about in John 16:12-14!"

I was just asking Muslims here the other day who they think the Holy Spirit is and they said it was "the angel" Jibril.

John 16:13 reads, "When the Spirit of truth comes, He will guide you into all truth. He will not speak on His own but will tell you what He has heard. He will tell you about the future."

Many Muslims claims that Jesus is referring to Muhammad, inter-alia, other claims that The Spirit is Jibril, in contrast and as fully exhibited in John 16:13 Jesus is talking about the Holy Spirit. We know this because we can read the verses ourselves to see if, in fact, Jesus is talking about someone other than the Holy Spirit

When one takes the time to do his homework and read the context of John 16:5-15. The minute you do, you can see all Muslims are wrong

But there's another way we can check if Muslims are correct in their interpretation of these verses by looking at EVERY SINGLE TIME Jesus uses the word "Spirit" in the Gospel of John to see if He is referring to Muhammad in ANY ONE of them. To wit:

John 1:32
Then John [the Baptist] testified, “I saw the Holy Spirit descending like a dove from heaven and resting upon Him [Jesus]..."

We all know that Muhammad isn't holy, cannot fly and that he came 600 years after Christ, so obviously this Holy Spirit is not him. One down

John 1:33 (John the Baptist continues speaking...)
"I didn’t know He was the One, but when God sent me to baptize with water, He told me, ‘The one on whom you see the Spirit descend and rest is the One who will baptize with the Holy Spirit.’

John echoes the statement in the verse above and then adds that Jesus will be the One Who will baptize with the Holy Spirit. In short, Jesus will send the Spirit (which is a power only GOD can have. Ehem! Ehem!). Is that Muhammad? Nope, because Jesus baptized the apostles and disciples at Pentecost, not long after His ascension into Heaven, again 600 years before Muhammad. Two down

John 3:5
Jesus replied, “I assure you, no one can enter the Kingdom of God without being born of water and the Spirit."

I don't think that there are ANY Muslims, even in this group, who are willing to say that Muhammad can give birth to anyone, so that makes it three down

John 3:6
"Humans can reproduce only human life, but the Holy Spirit gives birth to spiritual life."

Muhammad is immediately thrown out of the running in these words of Jesus, because #1, he was a human (and even worse now, a dead one), and #2, because again, this spiritual rebirth through the power of God the Holy Spirit, began 600 years before Muhammad. Four down

John 3:8
"The wind blows wherever it wants. Just as you can hear the wind but can’t tell where it comes from or where it is going, so you can’t explain how people are born of the Spirit.”

No one can be born of Muhammad. See above. Five down

John 3:34 (John says this of Jesus)
"For He is sent by God. He speaks God’s words, for God gives Him the Spirit without limit."

"For God gives him the Muhammad without limit?" Nope! Six down

John 4:24
"For God is Spirit, so those who worship Him must worship in spirit and in truth.”

God is NOT Muhammad, thank God, so that's seven down

John 6:63
"The Spirit alone gives eternal life. Human effort accomplishes nothing. And the very words I have spoken to you are spirit and life."

Muhammad cannot give eternal life, which is something only God can do, and that is why we know Jesus is God, because HE gives those who believe in Him eternal life. Eight down!

John 7:39
(When he said “living water,” He was speaking of the Spirit, who would be given to everyone believing in Him. But the Spirit had not yet been given, because Jesus had not yet entered into his glory.)

Muhammad would be given to everyone who believes in Jesus? Nope! NINE down

John 14:17
"He is the Holy Spirit, who leads into all truth. The world cannot receive Him, because it isn’t looking for Him and doesn’t recognize Him. But you know Him, because He lives with you now and later will be in you."

This is a favorite one among Muslims. Muhammad lived in the apostles in the 1st Century? Wrong on many levels! Ten down!

John 14:26
"But when the Father sends the Advocate as My representative—that is, the Holy Spirit—He will teach you everything and will remind you of everything I have told you."

And this one the Muslims DO NOT like, because in it Jesus CLEARLY states Who the Advocate is, the Third Person of the Holy Trinity, the Holy Spirit, who is a Person just like the Father and the Son. It is NOT Muhammad. Eleven down

John 15:26
“But I will send you the Advocate —the Spirit of truth. He will come to you from the Father and will testify all about Me."

Again, this is the beauty of following a teaching in its context. We saw in the verse above that Jesus already identified Who the Advocate was, and in fact, He reiterates the point here by saying "Advocate —the Spirit of truth." Twelve down

John 16:13
"When the Spirit of truth comes, He will guide you into all truth. He will not speak on His own but will tell you what He has heard. He will tell you about the future."

Same as above. Thirteen down!

John 16:15
"All that belongs to the Father is mine; this is why I said, ‘The Spirit will tell you whatever he receives from me.’

Same as above. 14 down! (Sidebar: note that Jesus says, "All that belongs to the Father is Mine..." Can a HUMAN BEING say that? Nope! Jesus is GOD. Just sayin' :))

And finally...

John 20:22
"Then He breathed on them and said, “Receive the Holy Spirit."

Jesus gives the apostles the Holy Spirit, just as promised. He did NOT give them Muhammad

So that is 15 verses, and in none of them at all do we see Muhammad

Today I have answered the question about the Spirit of truth Jesus was referring to.

In His Service,

Max Shimba

Max Shimba Ministries 2013

December 26, 2013

Wednesday, December 18, 2013

MCHAWI ANASWA KATIKA MKUTANO WA UFUFUO NA UZIMA MOROGORO




Ikiwa ni siku ya tatu ya mkutano wa ufufuo na uzima unaoendelea katika viwanja vya vya shule ya sekondari ya morogoro mchawi mmoja aliyejulikana kwa jina la Fatuma amekamatwa katika mkutano huo akiwa yuko katika shughuli zake za kila siku za kichawi.

Dada huyo aliyekamatwa na Nguvu za Mungu alielezea akasema alikuwa na wenzake ambao walitumwa na bosi wao ambaye ni mchawi na mganga wa kienyeji maarufu kutoka mjini Bagamoyo wilaya ya pwani kuja katika mji wa Morogoro kuchukua miili ya watu waliokufa katika nyumba za kuhifadhia maiti za hospitali(mochuari) kwa ajili ya kitoweo.

Akizungumza alisema yeye na wenzake walipoteana walipofika karibu na hospitali ya rufaa ya mji wa Morogoro ambapo ni eneo la jirani na sehemu mkutano unapofanyika, alipofika maeneo hayo alisikia nguvu inamvuta kwa nguvu na kumpeleka asipotaka yeye ndipo alipojikuta ametua katika viwanja shule ya sekondari ya Morogoro ambapo ndipo mkutano unapofanyika
Dada huyo aliyeonekana kuwa na wasi wasi alisema tulikuja mimi na wenzangu kwa usafiri wa njia ya fisi lakini tulipokaribia hospitali sijui nini kimetokea na mimi nikasikia nguvu zinanivuta nikajikuta niko mahali hapa

ALIANZAJE UCHAWI

MISUKULE WAENDELEA KURUDISHWA KATIKA MKUTANO WA UFUFUO NA UZIMA

Ikiwa ni siku ya tatu ya mkutano wa Ufufuo na Uzima mjini Morogoro  maelfu ya watu waliendelea kuhudhuria huku uweza wa Mungu wa namn aya ajabu ukiendelea kudhihirishwa kupitia mchungaji Josephat Gwajima

Mchungaji Josephat Gwajima alifundisha somo la NYOTA YAKO INATUMIWA NA MTU. Akifundisha alisema kila mtu anayo nyota katika maisha yake au kipawa ambacho Mungu ameweka ndani yake ili kupitia hiyo aweze kufanikiwa

Lakini wachawi na waganga wa kienyeji wanakua na uwezo wa kuichukua nyota ya mtu na kuitumia kwaajili ya kazi zao binafsi, akielezea mtu aliyechukuliwa nyota ana dalili zipi, mchungaji Josephat Gwajima alisema unakuta kwa mfano mtoto alikua ana akili darasani lakini  baada ya kuchukuliwa nyota yake unakuta ule uwezo wote unaondoka na anakua hawezi tena kufanya vile vitu alivyokua anafanya mwanzoni.

Baada ya kufundisha mchungaji Josephat gwajima alianza kuomba maombi ya kuwarudishia watu nyota zao na baada ya hapo aliwarudisha wale waliokua wamechukuliwa msukule.
Jina:Rose Mwakipesile
Anaishi mzumbe alichukuliwa na wachawi na wakampeleka kariakoo ambako alikua akitumiwa na wachawi kufanya biashara kariakoo ya nguo na alisikia sauti ikimuita njoo akajikuta yuko mkutanoni

Jina :Esther Anatory
Anaishi Modeko alichukuliwa shimoni na kazi yake ilikua kunyonyesha watoto baharini alisikia sauti inamuita njoo akajikuta yuko mkutanoni

Jina:Flora Mizambwa
Alichukuliwa msukule akawa anakaa msituni alichukuliwa na mwalimu ambae hamjui jina lakini ni mwanaume anaishi mazimbu alikua hali chochote na alisikia sauti inamuita njoo akajikuta yuko mkutanoni

Latifa Jane
Alichukuliwa akakaa polini na alikua analimishwa na wachawi chakula chake ilikua pumba na damu za watu alisikikia anaitwa njoo akajikuta yuko mkutanoni na ameacha watu wengi huko

Jina:Pendo Bahati
Alikua uvunguni alichukuliwa na mama mkwe wa kaka yake, alimkuta shuleni akamchukua, sababu iliyopelekea kumchukua ni kwasababu alikua na akili darasani, yule mchawi alipomchukua akamgeuza mbwa mweusi kichawi na kumpeleka kwao akawa kama ndie yeye hapo nyumbani kwao

Ashura Mohamed
Alichukuliwa akakaa pangoni na alisikia sauti inamuita njoo akajikuta yuko mkutanoni anaishi kirakala

Bali wote waliompokea(YESU KRISTO) aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa MUNGU, ndio wale waliaminio jina lake; -Yohana 1:12

Tuesday, December 3, 2013

MIKATABA INAYOTOKANA NA KAFARA Tar. 2.9.2012

Na Mchungaji Kiongozi Josephat Gwajima 


Utangulizi:
Wakristo wengi huwa hawazungumzii neno kafara kwasababu wanahisi kuwa ni la waganga wa kienyeji, lakini hili neno limeandikwa kwenye biblia mara nyingi sana. Hii ni kuonyesha kuwa  wapo watu wanatoa kafara.

KAFARA KWENYE BIBLIA:
Baada ya Yoshua na wana wa Israeli kuangusha ukuta wa Yeriko, Yoshua aliweka agano kuwa atakayeamua kujenga ukuta ataanza kwa kufiwa na mwanawe wa kwanza na akasema akimaliza atafiwa na mwanae wa pili.Yoshua 6:20-27. Lakini miaka mingi baadaye mtu mmoja akatoa kafara ya wanawe ili aweze kujenga ngome ya Yeriko kwa upya, Kumbe kafara yaweza kutolewa kwa ajili ya kujenga kitu duniani. Imeandikwa katika  1Wafalme 16:38.  

2Wafalme 3:20-27, Hapa tunaona habari ya Huyu Mfalme ambaye baada ya kuona anashindwa vita dhidi ya wana wa Israeli, akaamua kumtoa kafara mwanaye na hilo jambo likawa hasira juu ya Israeli na kashinda vita. Kumbe kafara inaweza ikamwezesha mtu kushinda vita. Ukisoma maandiko haya kwa haraka hutoweza kuelewa lakini ukikaa ukatafakari utaona kuna jambo la muhimu  sana hapo.

Kafara ya mtu kwenye biblia; 2Wafalme17:17,“Wakawapitisha watoto wao, waume na wake, motoni, wakapiga ramli, wakafanya uchawi, wakajiuza nafsi zao wapate kufanya yaliyo maovu machoni pa Bwana, hata kumkasirisha” kumpitisha mtoto motoni ni kumchoma moto kama kafara yaani ukisoma biblia ya kingereza inatumia neno “sacrifices “ Ezekieli 16:20-21, kumbe jambo la kafara lipo kwenye biblia,na hapa Ezekieli anasema wakawatoa kafara wanao kuwa chakula; na pia neno hili limeoneka na pia katika kitabu cha Ezekieli 20:31-32.

KWELI KUHUSU KAFARA:
Mtoto au mtu akitolewa kafara anakuwa ameuwawa Mwili na kupewa majini au mashetani, katika biblia shetani anayehusika na mambo ya kafara, Mambo ya Walawi 18:21;  ukisoma biblia ya Kiswahili unaweza ukahisi moleki ni mtu lakini tuangalie kwenye biblia ya kingereza “do not give out your children to be sacrifices..” Mambo ya Walawi 20:2 “who sacrifices..  kumbe inawezekana unaumwa na upo kwenye ugonjwa kumbe ndio unatolewa kafara hivyo..

Kumbe sasa waweza  kumwona mtu amekufa na ugonjwa Fulani kumbe ni kafara, mwingine anatoa kafara kwa ajili ya utajiri. Mambo ya Walawi 20:3, pia tunaona kuwa kumbe wachawi hawa wanatoa ndugu na si mtu ambaye hamjui. Yaani kama una ndugu wa karibu au wa mbali ambaye ni mchawi, Yule ndiye anayeweza kukutoa kafara, na kwenye kitabu cha Mambo ya walawi  shetani aliyekuwa anahusika na kafara aliitwa Moleki. Walawi 20:4,5 2Wafalme 20:10

Hayo maandiko ni ya agano la kale lakini pia katika agano jipya jambo hili limetajwa pia; 2Wakorintho 10:20 “.”

KWANINI WATU WANATOA KAFARA:

NYOTA KIBIBLIA

Mchungaji Kiongozi: Josephat Gwajima 23.9.2012


UTANGULIZI:
Huu ni mwendelezo wa somo la Nyota na Maisha mtu aliyonayo. Mathayo 2:1; Kama tulivyoona tangu mwanzo kuwa nyota ni kipawa, uweza, hatma au hali ya mtu ya baadaye. Tukaona nyota ya Yesu ilionekana kabla Yesu hajazaliwa na mamajusi wa mashariki walimwona kama Mfalme.

MAANA YA NYOTA:
Kama tulivyooa sehemu ya kwanza kuwa nyota ni kiashiria cha rohoni, kinachoonesha mtu atakuwa nani baadaye, mafanikio ya mtu au hatma ya mtu. Viashiria hivi ndivyo vinavyoitwa nyota.

NYOTA KATIKA BIBLIA:
Hesabu 24:14-17 Baraki alikuwa mfalme, na alipoona kuwa wanaisrael wanakuja ili kushambulia ufalme wake, akamtafuta Balaam amtabirie. Hayo ni maneno ya Balaamu aliyoona, Hivyo Balaamu alipoangalia taifa la Israel akaona nyota, kimsingi nyota ya mtu inaonyesha jinsi mtu atakavyokuwa baadaye. Hivyo balaamu aliweza kumuona Yesu tangu mwanzo na ndio maana mamajusi wa mashariki nao pia walimwona Yesu kama nyota.

Nyota yaweza kuonyesha kusudi la maisha ya mtu, na ndio maana ingawa Suleimani alizaliwa na mke wa Huria ambaye Daudi alimuua mumewe ili ampate lakini kwasababu nyota ya kujenga hekalu ilikuwa juu yake (yaani Suleimani), Mungu alimchagua kujenga Hekalu. Daudi alikuwa na watoto wengine wengi, lakini aliyechaguliwa kujenga ni Suleimani kwasababu ndio mwenye nyota ya kujenga yaani tangu anazaliwa

Isaya 47:8-12; Hapa biblia inataja neno “wajuao Falaki”, hii ni elimu inayohusu mambo ya nyota ambayo wachawi husoma. Katika Mathayo 2:1- Biblia inataja mamajusi, wao ni wasomaji wa nyota ambao waliiona nyota ya Yesu kabla ya Yesu hajazaliwa. Nyota ya Yesu iliwafanya mamajusi kumfuata kutoka mbali, na wakati huohuo Herode alifadhaika. Kumbe nyota ya mtu ikionekana watu wanaweza kuifuata na kukuletea unalohitaji. Watu wengi wapo katika vifungo mbalimbali kwasababu nyota zao zimefunikwa.

MAMBO 15 AMBAYO UTAYAONA KAMA NYOTA YA MTU HAIPO:
·        Umahiri na utendaji kazi wa mtu hauonekani; kama mtu hana nyota ule umahiri wa wake na utendaji kazi hauwezi kuonekana. Hata ajitahidi kufanya kazi kwa bidii umahiri hawezi kuonekana.

·        Hawezi kuwa mbunifu katika maisha; nyota huleta ubunifu sasa kama haipo basi ubunifu wa mtu hautaonekana. Mtu huyo atakuwa anashindwa kubuni kitu cha kufanya ili kupata mafanikipo katika maisha.

·        Hawezi kufanya kazi zake kwa ufanisi; nyota huleta ufanisi katika kazi, mtu akikosa nyota basi ule ufanisi wake hauwezi kuonekana, mtu huyo atakosa ufanisi katika kazi zake.

NYOTA YA MTU NA MAISHA ALIYONAYO

Na Mchungaji Josephat Gwajima 16.9.2012


Utangulizi:
Biblia imeeleza kuhusu nyota ya Yesu ilivyoonekana  kutoka mashariki,(Mathayo2:1); Hii inadhihirisha wazi kuwa kila mtu ana nyota yake. Hivyo katika mfulilizo wa somo hili tutaona maana ya nyota, kazi ya nyota, nyota yaweza kufunikwa kichawi, madhara ya kuishi bila nyota, dalili za kuchukuliwa nyota, nyota yaweza kurudishwa na namna ya kutambua nyota yako. Hapa hatuzungumzii kuhusu kusoma nyota au utabiri wa nyota bali tunaangalia nyota kama ilivyo katika Biblia.

MAANA YA NYOTA:
Nyota katika Biblia inawakilisha kipawa, hatma ya mtu, lengo lililomfanya Mungu akulete  hapa duniani na kusudi lako la maisha. Hivyo tunaposema nyota yako ipo au imechukuliwa maana yake hayo mambo yamechukuliwa au yapo. Kimsingi hakuna mtu asiye na maana tangu kuzaliwa kwake, kwasababu kila mtu aliye duniani amekuja kwa kusudi lake.
Kuna tofauti kati ya elimu na nyota; elimu sio nyota lakini elimu yaweza kunoa nyota. Na si kwamba kujifunza kunaleta nyota bali nyota ipo kwa wote lakini elimu inainoa nyota; na ndio maana ni rahisi kumwona mtu hana elimu lakini anamafanikio mahali fulani. Ukisoma Mhubiri 9:11 Biblia inasema wakati na bahati huwapata wote na sio swala la elimu au ujuzi tu.

KAZI YA NYOTA:
  •        Nyota humfanya mtu kuwa mahiri katika utendaji kazi wake. (Effectiveness)
  •        Nyota huleta ubunifu katika maisha ya kila siku (Creativity)
  •        Nyota inamfanya mtu anatenda kwa ufanisi (Efficiency)
  •        Nyota huleta mvuto kwa watu kutoka mbali ili kuleta vitu kwa ajili yako. (Attraction)
  •      Nyota humfanya mtu awe na maisha yenye mwelekeo na kibali mbele za watu. (Acceptance  and Favor)
  •        Nyota humfanya mtu kusikilizwa katika jamii.
Kuna vitu ambavyo mtu anaweza kuvipata kwasababu nyota yake imeonekana. Nyota yaweza kuvuta zawadi yaani vile vitu ambavyo hujavitaabikia, na ndio maana Yesu alipokuwa mdogo aliletewa zawadi na mamajusi wa mashariki. (Mathayo 2:11) kwahiyo nyota ikichukuliwa maana sahihi ni kwamba hayo mambo hapo juu yote hayapo.
Mathayo 2:1-2; Wakati Yesu anazaliwa kulikuwa na watu wanaitwa mamajusi, ambao walikuwa na uwezo wa kusoma nyota. Hivyo katika ulimwengu wa roho waweza kuona watawala wajao, maisha yajayo au yale yatarajiwayo.  Na ndio maana Mamajusi wa mashariki ya mbali waliweza kuifuata nyota ya Yesu.
Nyota inapoonekana inaweza kufuatwa, yaani watu waona zile kazi zake na kumfuata mtu. Kimsingi tunaposema mtu hana nyota maana yake umahiri, ufanisi na kibali vimechukuliwa. Lakini nyota ikionekana  maana yake haya mambo yote yamerudishwa na hapo utamwona mtu anafanikiwa hata kama elimu yake sio kubwa.

MIKATABA YA DAMU

Na Mchungaji Kiongozi: Josephat Gwajima. 9.9.2012 


UTANGULIZI:
Katika mfululizo wa masomo haya tayari tumekwisha kujifunza kuhusu kafara ya damu na tukaona pia kuhusu Kafara ya mwanakondoo ambaye ni Yesu kristo. Leo tunaangalia kuhusu mikataba inayoweza kusababishwa na damu iliyomwagika.

TABIA ZA DAMU KATIKA BIBLIA:
Mwanzo 4:10; Adamu alikuwa na watoto wawili mmoja aliitwa Kaini na mwingine Habili; Kaini alipomuua Habili; Mungu akamwambia Kaini, Damu ya ndugu yako inanililia. Kumbe damu yaweza kulia na inaweza kuongea pia.

Kumbukumbu 12:23 Mungu anasema kuwa “…damu ni uhai”. Kumbe damu ina uhai; kwa namna hiyo kuna tabia kadhaa za damu:
i)                   Damu ina sauti
ii)                 Damu yaweza kulia
iii)               Damu inaleta laana
Na ndio maana Mungu amekataza kula au kunywa damu, hii ni kwasababu hizi tatu Kumbukumbu7:27; Walawi 17:10,12

DAMU INA SAUTI (INANENA):
Damu iliyomwagika chini inaweza kunena mema au yaweza kunena mabaya,damu inenayo mema ni ya Yesu peke yake, Waebrania 12:24 inasema, “na Yesu mjumbe wa agano jipya, na damu ya kunyunyizwa, inenayo mema kuliko ile ya Habili.” Kumbe kuna damu inayonena mema (damu ya Yesu Kristo) na pia kuna damu inayonena mabaya (damu ya wanyama,ndege hata watu)

Damu yaweza kuongea mabaya juu ya mtu; damu ikimwagwa hunena na ndio maana hata nchi yaweza kuingia kwenye matatizo kwasababu ya damu inenayo iliyomwagika.

Mambo ya Walawi 19:26 “Msile kitu cho chote pamoja na damu yake; wala msifanye kuloga, wala kutumia utambuzi.” Mungu amekataza kula nyama pamoja na damu kwasababu damu ni uhai, na ina sauti. Na ukiangalia katika biblia kila mahali ambapo damu imekatazwa na uchawi pia umetajwa. Kwa maana hiyo tunajifunza kuwa uchawi upo na unaushirikiano wa karibu na matumizi ya damu.

MAFUNDO YA KICHAWI:

TRENDING NOW