Friday, June 3, 2016

UTHIBITISHO WA KIMAANDIKO KUHUSU MIGUU YA ALLAH


Ndugu msomaji,
ALLAH ANA MIGUU NA NYAYO KAMA VIUMBE
“Nyayo Za Mwenyezi Mungu” Na “Muundi Na Mguu” Wake!!”
Katika kitabu cha Tawhiid cha Ibn Khuzaimah, hadithi mbalimbali zinazohusiana na ‘MGUU’ na ‘NYAYO’ za ALLAH zimetajwa humo, aghalabu zikisimuliwa na Abu Huraira. Na zinaweza kupatikana vilevile katika Sahih Bukhari, Sahih Muslim, Sunan Tirmidhi, Musnad Ahmad Hanbal na Tafsiir za akina Tabari, Ibn Kathiir na Suyuti.
Abu Huraira anasimulia kutoka kwa Mtukufu Mtume (s.a.w.w.):
“Pepo na Jahannam zilikuwa na mzozo, kila kimoja kikijaribu kuonyesha ule ubora wake juu ya kingine.” Basi Jahannam ikazungumza: “Mimi nimependelewa kwa kuwepo kwa wale watu wenye kiburi na nguvu ndani yangu.” Pepo ikajibu: “Mimi sijui ni kwa nini hakuna mtu isipokuwa wale dhaifu na wanyenyekevu ndio walioingizwa ndani yangu!”
Hivyo Allah akaiambia Pepo:
“Wewe ndiye Msamaha Wangu, na kupitia kwako ninatoa msamaha kwa yeyote kati ya waja Wangu.”
Halafu Yeye akazungumza na Jahannam:
“Wewe ndio ghadhabu Yangu, na kupitia kwako wewe ninamuadhibu yeyote nitakaye kumuadhibu. Kila mmoja wenu atajaa.”
“Bali Jahannam haitajaa, hivyo ALLAH ATAINGIZA MGUU WAKE ndani yake.”
Kisha Jahannam itagutia:
“Tosha! Inatosha!”
HII HADITH INASEMA KUWA ALLAH ANA MIGUU MIWILI:
946- Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala) Ana Miguu Miwili - ´Allaamah Muhammad al-Jaamiy
ALLAH HAS HUGE FEET
Allah has huge feet. He puts His foot over hell–fire.
That’s right. Commenting on verse 50:30, Sahih Bukhari says exactly this. Let us first read verse 50:30.
050.030
YUSUFALI: One Day We will ask Hell, "Art thou filled to the
full?" It will say, "Are there any more (to come)?"
Here are the ahadith from Sahih Bukhari:
50:30 Allah puts his foot over hell fire...(Sahih Bukhari,
6.60.371, 373)
Sahih Bukhari, Volume 6, Book 60, Number 371
Narrated Anas:
The Prophet said, "The people will be thrown into the (Hell)
Fire and it will say: "Are there any more (to come)?' (50.30)
till Allah puts His Foot over it and it will say, 'Qati! Qati!
(Enough Enough!)'"
Sahih Bukhari, Volume 6, Book 60, Number 373
Narrated Abu Huraira:
The Prophet said, "Paradise and the Fire (Hell) argued, and the
Fire (Hell) said, "I have been given the privilege of receiving
the arrogant and the tyrants.' Paradise said, 'What is the matter
with me? Why do only the weak and the humble among the
people enter me?' On that, Allah said to Paradise. 'You are My
Mercy which I bestow on whoever I wish of my servants.'
Then Allah said to the (Hell) Fire, 'You are my (means of)
punishment by which I punish whoever I wish of my slaves.
And each of you will have its fill.' As for the Fire (Hell), it will
not be filled till Allah puts His Foot over it whereupon it will
say, 'Qati! Qati!' At that time it will be filled, and its different
parts will come closer to each other; and Allah will not wrong
any of His created beings. As regards Paradise, Allah will
create a new creation to fill it with."
Ndugu wasomaji, teyari mmesha uelewa kuwa Allah ni kiumbe kama binadamu, kina Miguu na nyayo.
Mungu awabariki sana.
Katika Huduma yake,
Max Shimba Ministries Org.
MAX SHIMBA MINISTRIES ORG ©2015. ALL RIGHTS RESERVED
Everyone is permitted to copy and distribute verbatim copies of this license document, but changing it is not allowed.

ALLAH ANASEMA YEYE NI MWENYE HILA NA MUONGO (Sehemu ya Kwanza)


Ndugu msomaji,
Kama kichwa cha habari kinavyo sema hapo juu kuwa Allah amejaa hila.
Maana ya Hila:
Hila maana yake ni udanganyifu na ujanja.
SASA TUANZE KUSOMA HILA ZA ALLAH:
Sasa hapa naomba sana Waislamu wanisaidie mimi: katika Sura ya 13:42 Surat Al Rad panasema “Hila” zote ni zake Allah. Tena katika Sura ya 10:21 Surat Yunusi inasema: Allah ndiye mwepesi wa kufanya hila.
Swali ambalo watu wote tungejiuliza hivi hila ni nini?
Na je mtu anafanyaje,hila anakubalika na jamii?
Nasema hivyo kwasababu katika lawama ambazo marafiki zangu wa Kiislamu waminitwishwa wiki iliyopita na kuniita mpumbavu mtu nisiyejua kitu ni kitendo kile cha kusema Allah siye Mungu aliyeumba. Kuitwa Allah kwa maana ya Mungu au God au Mulungu hakumuharalishi kuwa Mugu muumbaji iko miungu mingi lakini yuko Mungu mmoja tu muumbaji aitwaye YEHOVA. Huyu si muongo hana hila maana hila haikai ndani mwake na watu wake pia wanatakiwa wasiwe na hila.
Kama nilivyo sema, hila maana yake ni udanganyifu na ujanja. YEHOVA alitufundisha kuwa tujiepushe na hila na ujanja wa aina yeyote uliyo na uovu ndani yake. Katika Mithali 12:20 tunasoma haya: “Hila imo mioyoni mwao wafikirio uovu bali wafanyao mashauri ya amani kwao kuna furaha”.
Kwahiyo ninaposema Allah siyo Mungu wa kweli ninasema nikijuacho.
Katika Sahihi Muslim Vol iv hadithi nambari 2667 Abuu huraira amekariri Muhammad akimuelezea Allah kuwa ndiye awatiaye wanadamu wote katika tamaa mbaya, uongo na uasherati kila mmoja kwa kipimo chake maalumu.
Waislamu wote duniani huamini kuwa Mungu anapaswa kuabudiwa ni yule ambaye Makureshi walimtambua kuwa aliitwa Allah, hawachunguzi wala hawajiulizi huyu "mungu" aitwaye Allah asili yake ni nini? Biblia inasema msiamini kila roho bali zichunguzeni kama zimetoka kwa Mungu aliye hai. 1Yoh 4:1
Kwa kule kusema Allah hana mfano wa kitu chochote je kwatosha kuthibitisha Uungu wake? Maana tumesikia na tumezoea kuambiwa na Waislamu kuwa Allah hana mfano wala hafananishwi na kitu chochote hakuzaaa wala hakuzaliwa. Nami nikafanya utafiti wa kutosha katika Qur’an na vitabu vingine vya Kiislamu kuona ukweli huo.
Je, ni kweli au kuna hila inayotumika katika jambo hili?
Katika Qur’an ya kiingereza iitwayo THE NOBLE QUR’AN nilitafuta maana ya neno Allah, hiyo ikaishia kusema ni neno lililotumika ndani ya Qur’an zaidi ya mara 3000 hakuna zaidi kilichosemwa. Lakini ndani ya GLORIOUS QUR’AN Tafsiri ya Mohamed Marmaduke pickth neno Allah limetafsiriwa hivi:-
(The word Allah the stress is on the last syllable) has neither feminine not plural and has never been applied to anything other than unimaginable supreme being.
Tafsiri yake neno Allah mkazo hasa kwenye silabi ile ya mwisho. Halina ukike wala halina wingi na halijatumika kwa ajili ya kitu chochote zaidi ya uwepo wa ukuu usiofikirika. Hii ndiyo imani ya Waislamu wote.
Tafsiri hii pia inaonesha kuwa Allah hana mfano wa kitu chochote tukijuacho au tunachokiwaza kwa akili.
Hii inafanana na Tauhidi ya Kiislamu ambayo msingi wake ni Sura ya 112:1-4 ya Surat ikhlas. Katika sura hiyo aya ya mwisho inahitimisha kuwa Allah hana mfano. Hapa Waislamu husimama na kuwabeza Wakristo katika maneno yaliyomo katika Mwanzo 1:26 yasemayo “Mungu akasema na tufanye mtu kwa mfano wetu kwa sura yetu” Waislamu kwa kukosa kujua hufikiri Mungu aliposema hivyo anafanana nasi kwa njia gani. Basi tukijifunza tutajua ukweli. Nilipokuwa nikitazama katika Qur’an kitu ambacho Waislamu wanakiamini kuwa kitabu cha Mungu wao nikasoma katika Sura ya 24:35 Surat ana Nuru nikaona maneno haya:
“Mwenyezi Mungu nuru ya mbingu na ardhi. Na mfano wa nuru yake ni kama kishubaka kilichomo taa…….”
Sijui kama Waislamu wanaisoma aya hiyo! Aya inasema mwenyezi Mungu ni nuru yaani Allah ni nuru ya mbingu na ardhi. Nataka nijue ewe Muislamu kama ingekuwa ni somo la darasani ukiulizwa Mwenyezi Mungu ni nini kwa mujibu wa Sura 24:35 Surat an nuru kama hatasema Mwenyezi Mungu ni nuru ya mbingu na ardhi usishangae ukikosa.
Kwahiyo kila mwenye ufahamu atajua kuwa nuru ya mbingu na ardhi ina mifano mingi sana. Tazama sentensi inayofuatia aya hii nayo inatoa mfano wa huyo Mwenyezi Mungu kwamba nuru yake ni kama taa ya kandili. Kumbe Allah ana mfano isipokuwa hila imetumika Sura 112:1-4 kuwapumbaza watu wajue kuwa Allah hana mfano. Labda Waislamu wangenisaidia kujibu swali hili. Je, Waislamu wanamuabudu Allah yupi yule asiye na mfano kwa mujibu wa Sura 112:1-4 au yuleAllah mwenye mfano kwa mujibu wa Sura ya 24:35?

Malaysia: Muslim convert wins battle with authorities to become a Christian again after 33 years

Roneey Rebit has finally won a hard fought legal battle to become a Christian again in Malaysia. After 33 years as a Muslim, he has finally been given the green light by the High Court to return to the faith he was born into.
The 41-year was only eight years old when his Christian parents embraced Islam. As a minor, he was forced to follow the religion of his guardians. He has been battling the authorities as an adult to have his classification as a Muslim removed from his government-issued identity card.
He also sought to revert to his former name from his Muslim name Azmi Azam Shah. In Malaysia, it is the norm to adopt new names when converting to the religion. Identity cards also state the religion of the citizens.

Thursday, June 2, 2016

Nearly 3,000 accept Christ in India as hundreds miraculously healed

“Simon Haq, our evangelist, accepted an invitation from a local pastor to speak at a pastor’s conference and feeding event in the state of Assam in the Northeast. When he arrived he handed the pastor money to help pay for the event. To his surprise the pastor said, ‘You do not understand, we are paying for everything including your expenses.’ The pastors were blessed and by the time the feeding ended over 800 people had prayed to receive Christ, but that is not the end of the story.
When Simon returned to Delhi a pastor from Kunduli, Orissa called and pleaded with him to come to his village. Because the churches in Assam were led by the Holy Spirit to pay for their event Simon was able to accept the invitation to go to Orissa (one of the most Hindu-dominated and poor states in India) and do a second evangelistic feeding event in January.   What started out as a one-day event ended up being a three-day evangelistic feeding event. Below is a picture of approximately 2,000 people raising their hands as they prayed to accept Jesus as God’s Son and their Savior.


The following is the report of the event from Pastor John Ambedkar written by Madhu Singh, Simon’s Administrative Assistant.

1,000,000 souls come to Christ at Tent Meeting in India

Simon Haqq is an Elijah Challenge-trained Pastor in India
Report on Bible Mission Guntur 2014 in India
Top: the tent sprawled over several acres
Below: Simon at left along with friend Bill Willis

VIDEO: Kuwaiti Prince Abdullah al-Sabah Gets Salvation Jesus Christ

Kuwaiti Prince Abdullah al-Sabah: “I Have Converted to Christianity”

Prince Abdullah al-Sabah of Kuwait Announces… “I Have Converted to Christianity”

Originally by Marco Tosatti, Rome. From sharia unveiled

In an audio file posted on a Christian satellite TV channel, prince Abdullah al-Sabah declared his faith in Jesus Christ. Muslims have attacked him saying “he isn’t a member of the royal family”
According to reports, a Kuwaiti royal prince has become a follower of Jesus Christ. In an audio file posted with his name, he affirms that if he is killed because of a recording he made where he talks about his conversion, he firmly believes that he will meet Jesus Christ face-to-face. The news comes from Middle Eastern sources which state that al-Haqiqa – a Christian satellite TV channel in Arabic that transmits Christian religious programmes – broadcast an audio file attributed to the Kuwaiti prince, identified as Abdullah al-Sabah. The al-Sabahs are the royal family of Kuwait, a country rich in oil. The name Abdullah (servant of God) frequently appears in the Emir’s family tree.
In his audio file, Abdullah declared: “First of all, I fully agree with the distribution of this audio file and I now declare that if they kill me because of it, then I will appear before Jesus Christ and be with him for all eternity.” In this statement, the prince demonstrates his awareness of the fate in store for a martyr of the faith, according to Christian doctrine. The television channel stated that Abdullah is a member of the royal family, and that he recently renounced his faith in Islam and became a Christian, without specifying which particular branch of Christianity he had chosen. After stating his full name, the prince declared: “I will accept whatever they do to me, because the truth in the Bible has guided me towards the right path.”
In the audio file, Abdullah talks about the Islamic groups that are winning the elections in Egypt and declares: “Islamic communities have always wanted to attack in different parts of the world but God has preserved the world and still protects it. This is why we have recently seen disagreements appearing among Islamic groups who are now fighting with each other. They are about to divide further into different groups.”
Mohabat News, a Christian Iranian website which has been following the fate of Christian minorities in the Middle East closely and which has monitored Abdullah’s statement, confirms that this news was published briefly by Arabic news agencies and also by the Iranian state news agency. Some independent websites with Shiite leanings denied the reports and quoted another Kuwaiti prince, Azbi al-Sabah, who said: “There’s no one by that name in the Kuwaiti royal family.” In actual fact, the name Abdullah does not appear on the list of the 15 members of the royal family who rule this small, extremely wealthy country in different capacities: from the Sheikh down to Princess Nijirah al-Sabah, who testified in the US Congress under the assumed name of “Nurse Nayirah” on the humanitarian situation in the country after the invasion by Saddam Hussein’s Iraq and just before the Gulf War. That isn’t to say that this high-profile convert is not hidden somewhere within the extended family, under a different name.

Uganda: Imam allegedly beats 15-year-old daughter to death for converting to Christianity


Muhammad said: “Whoever changed his Islamic religion, then kill him” (Bukhari 9.84.57). The death penalty for apostasy is part of Islamic law according to all the schools of Islamic jurisprudence. This is still the position of all the schools of Islamic jurisprudence, both Sunni and Shi’ite. Sheikh Yusuf al-Qaradawi, the most renowned and prominent Muslim cleric in the world, has stated: “The Muslim jurists are unanimous that apostates must be punished, yet they differ as to determining the kind of punishment to be inflicted upon them. The majority of them, including the four main schools of jurisprudence (Hanafi, Maliki, Shafi`i, and Hanbali) as well as the other four schools of jurisprudence (the four Shiite schools of Az-Zaidiyyah, Al-Ithna-`ashriyyah, Al-Ja`fariyyah, and Az-Zaheriyyah) agree that apostates must be executed.” There is only disagreement over whether the law applies only to men, or to women also – some authorities hold that apostate women should not be killed, but only imprisoned in their houses until death.

MSIKITI WAGEUZWA KANISA BAADA YA WAUMINI WAKE WOTE KUOKOKA

Hii ni habari kubwa ambayo inatikisa ulimwengu.
Miujiza inaendelea na Yesu anaendelea kuishi nasi. Ndio maana dini na imani zote zinakiri kuwa Yesu yupo hai. Hakika Yesu ni Mweza wa yote.
HABARI KAMILI zinasema kuwa MSIKITI WOTE UMEGUZWA KANISA BAADA YA WAUMINI WAKE WOTE KUMPOKEA YESU/KUOKOKA NA KUWA WAKRISTO.

ALLAH AWALAANI WANAWAKE WANAO JIPAMBA NA KUJIPODOA, ASEMA KUJIPAKA MANUKATO NI KUWA KAMA MALAYA


1. Allah awakataza Wanawake kuvaa Wig
2. Allah awakataza Wanawake kujipaka Manukato.
3. Allah awakataza Wanawake kujipodoa.
Ndugu zanguni,
Leo ningependa tujifuze kidogo kuhusu mapenzi ya Allah kwa Wanawake alio waumba.
Hebu twende moja kwa moja kwenye Ushahidi:
Allah Anasema:
“Wala wasionyeshe uzuri wao isipokuwa unaodhihirika. … Na wala wasionyeshe uzuri wao ila kwa waume zao, au baba zao, au baba wa waume zao, au watoto wao…” (24: 31).
Pambo la mwanamke linajumlisha sehemu zake za kimaumbile kama uso, nywele na sehemu nyingine za kuvutia za mwili wake na nyongeza za uzuri wa bandia kama nguo, vito vya thamani, vipodozi na mfano wake. Haifai kwa mwanamke yeyote Muislamu kutoka nyumbani kwake akiwa amejipaka vipodozi au manukato.
ALLAH ASEMA WANAWAKE WANAPO TUMIA MANUKATO WANAKUWA NI SAWA NA MALAYA
Mwanamke wa kiislam anapo-tumia manukato mwilini mwake anakuwa Malaya....
Mishkat al-Masabih – vol 2, p. 255
MTUME MUHAMMAD ASEMA KUVAA WIGI AU NYWELE BANDIA NI HARAM
Mtume (s.a.w.w) amewataka Wanawake wazikirimu nywele zao kwa kuzitazama vyema, kuzipata mafuta na hata kuzitia henna na katm (mmea kutoka Yemen). Inafahamika kuwa mafuta, henna na katm zinabadilisha umbile la nywele, kwani zote hizo zina kemikali. Dawa za nywele zinaweza kutumiwa ikiwa zitabaki katika misingi ya Uislamu, miongoni mwayo ni: -
Na Mtume (s.a.w.w.) amesema: “Haifai kudhuru wala kulipana madhara” (Ibn Maajah na ad-Daaraqutniy).
Ikiwa zitamlazimu kutotia maji kichwani, hivyo hutaweza kutawadha wala kuoga na Swalah zitakuwa ni zenye kukupita au kupoteza mda mwingi kuwa katika saloon ili kutiwa hizo dawa badala ya kutekeleza mambo muhimu. Pia jambo hili litakufanya kutoweza kutekeleza haki zako kama mke kwa mume ambayo ni ‘Ibadah na thawabu kubwa.
Na ifahamike kuwa mambo ya mapambo ya nywele ambayo yamekatazwa kabisa na sheria ya Kiislamu. Mfano wake ni kukata au kukatwa nyusi kwani katika hili Mtume (s.a.w.w) amemlaani mwenye kukata na mwenye kukatwa.
ALLAH AMELAA NI WANAWAKE WANAO KATA NYUSI. ALLAH ASEMA HUKO NI KUBADILISHA MAUMBILE ALIYO UMBA ALLAH
((Allah Amemlaani mwanamke anayefanya tatoo (chanjo za kujichora) Na mwenye kuomba kufanyiwa, na anayetoa nyusi na mwenye kuomba kutolewa na anayechonga meno kuweka nafasi (mwanya), kubadilisha maumbile ya Allah kwa ajili ya kupata uzuri)) Al-Bukhariy Imetoka kwa 'Abdullah Ibn Mas'uud (r.a.)
MUHAMMAD ASISITIZA KUWA KUVAA WIGI NI HARAMU NA ALLAH HUTEREMSHA LAANA YAKE KWAKO
Na pia Uislamu umekataza mtu kuvaa wigi au kuongeza vipande vya nywele ikiwa ni za kwake au za mtu mwingine au ni za bandia. Mtume (s.a.w.w.) amewalaani wanawake wenye kazi ya kuunganisha (kutia) watu wigi (au vipande vya nywele) na wanawake wenye kuungiwa hizo nywele.
((Mwanamke wa Ki-Ansari aliyemuozesha binti yake ambaye nywele zake zilianza kung'ooka. Mwanamke huyo wa Ki-Ansari alikuja kwa Mtume (s.a.w.w.) na kumtajia kwamba: "Mumewe (mume wa mwanangu) ameona kwamba nimwachie avae nywele za bandia" Mtume (s.a.w.w.) akasema, "Usifanye hivyo kwani Allah Huteremsha laana Yake kwa wanawake kama hao wanaoongeza nywele za bandia")) Al-Bukhariy 7:133 kutoka kwa Bibi 'Aisha (r.a.)
Kwa hiyo ieleweke kuwa mambo haya yakifanywa na wanaume uovu unakuwa mkubwa zaidi na ni madhambi makubwa.
ALLAH ANASEMA KUWA: WANAWAKE WOTE NI MASHETANI NA WACHAFU KAMA SEHEMU ZA SIRI!!!
Wanawake ni mashetani; wao ni kama uchafu wa sehemu za siri.
Sahih Muslim - 8.3240, 3242; Ghazali - gombo la 2, p. 26, gombo la 2, p. 43
Baada ya Allah na Mtume wake kumwaga sheria kali kwa Wanawake wa Kiislam, Allah na Mtume wake wamalizia kwa kusema haya hapa:
Wanawake ni wabaya zaidi ya watu walio kufa (Maiti), hawaruhusiwi hata kufuata jeneza
Sahih Muslim - 4.2039
HIVI MWANAMKE WA KIISLAM UNAFANYA NINI HUKO?
WEWE NI MBAYA KULIKO MAITI ASEMA ALLAH
Ndugu zanguni, huu ndio Uislam unao pigiwa debe kila siku, lakini umejaa chuki kubwa kubwa kwa Wanawake na Mama zetu. Swali ninalo kuuliza wewe Mwanamke wa Kiislam, ni ahadi gani Allah amekupa baada ya kifo?
Hebu endelea kusoma Ahadi kubwa kubwa kwa Wanaume wenu baada ya kifo:
Sura 78: 29. Na kila kitu tumekidhibiti kwa kukiandika. 30. Basi onjeni, wala hampati kwetu ila kuzidishiwa adhabu tu. 31. Hakika wenye kumcha Mola wao Mlezi watapata kuokoka na adhabu, na wataipata Pepo, 32. Na mabustani yenye matunda, na mizabibu mizuri, 33. Na wanawari walio watipwatipwa wa hirimu yao, 34. Na bilauri safi (Matiti)zilizo jaa pomoni, Ushahid zaidi soma (QURAN 37:40-4) : (QURAN 44:51-55) (QURAN 52: 17-20): (QURAN 55:54-59): (QURAN 55:70-77): (QURAN 56:37-40): (QURAN 78:31-34)
Allah anamwaga baraka kwa Wanaume wa Kiislam, lakini hakuna hata sehemu moja kwenye Quran ambayo Allah ametoa ahadi kwa Wanawake.
Wanawake wa Kiislam, karibuni katika Ukristo ambako hakuna ubaguzi wa Mungu katika jinsia kama ambavyo Allah anaonyesha katika Quran yake.
Mungu awabariki sana.
Katika Huduma yake,
Max Shimba Ministries Org.
MAX SHIMBA MINISTRIES ORG ©2015. ALL RIGHTS RESERVED
Everyone is permitted to copy and distribute verbatim copies of this license document, but changing it is not allowed.

TRENDING NOW