Wednesday, July 27, 2016

MUHAMMAD AKIRI KUWA BABA YAKE YUPO JEHANNAM


Ndugu msomaji,

Huu ni MSIBA MKUBWA sana kwa Waislam. Muhammad ambaye baba yake anaitwa Abdullah ikimaanisha "mtumwa wa Allah" imethibitshwa kuwa yupo Jehanna/motoni akichomeka.

Haya si maneno yangu na wala mimi simsingizii baba ya Muhammad, bali haya ni maneno ya Muhammad.

Soma uthibitisho hapa.

Imeripotiwa na Anas: Hakika, mtu mmoja alisema: Mjumbe wa Allah, baba yangu yuko wapi? Akasema: Yuko motoni. Alipogeuka kuondoka, akamwita na kusema: Hakika baba yangu na baba yako wako Motoni. (Sahih Muslim, Kitabu 001, Namba 0398).

Na swali ambalo tungependa wajiulize Waislam ni kuwa, kwa nini baba yake Muhammad, ambaye alikuwa mpagani aliitwa ‘Abdullah’?

Na kwa kuwa ‘Abdullah’ maana yake ni ‘mtumwa wa Allah’, hii ni ishara ya wazi kwamba wapagani wa kipindi cha jahiliyah walikuwa wakimwabudu Allah hadi kufikia kuwapa watoto wao majina kwa heshima ya Allah – kama ambavyo Wayahudi nao walikuwa wakiwapa watoto wao majina kwa heshima ya Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo.

Kwa mfano:
Yoshua – Yahwe ni wokovu;
Yothamu – Yahwe ni mkamilifu;
Yehoahazi – Yahwe ameshikilia;
Hezekia – Yahwe ametia nguvu;
Elisha – Mungu ni wokovu, n.k.

Jibu liko wazi. Allah alikuwa ni mungu wa kipagani aliyeabudiwa kabla ya Uislamu kuja. Na mungu huyu alikuwa ni ‘mungu mwezi’, yaani ‘al-ilah’. Jina lake jingine aliitwa ‘hubal.’ Mungu huyu wa kipagani aliabudiwa kote mashariki ya kati; wala si kwa Waarabu peke yake.

ZAIDI YA HAPO,

1. Kwanini Muhammad anakiri kuwa baba yake yupo Motoni?
2. Je, huyu Abdullah/abdallah alipata wapi hili jina lenye Allah ndani yake?
3. Je, inamaanisha kuwa Allah ambaye ni mungu wa kipagani alikuwepo kabla ya Muhammad?

Na ndiyo maana baba yake Muhammad, yaani Abdullah, alikoswakoswa kuchinjwa na babu wa Muhammad, yaani Abdul Muttalib. Abdul Muttalib alitaka kumchinja mwanawe huyo kama sadaka kwa Allah. Lakini mjomba wake Abdullah akamwokoa na hatimaye walichinjwa ngamia 100 badala yake. Na ifahamike kwamba machinjo hayo yalifanyikia kwenye kaaba (hili tutaliangalia huko mbeleni).

Tunaambiwa kwamba:

Mshale ulionyesha kwamba Abdullah ndiye aliyetakiwa kutolewa kafara. Kwa hiyo, Abdul Muttalib alimchukua yule kijana hadi kwenye Al-Kaaba pamoja na wembe kwa ajili ya kumchinja. Quraish, mjomba wake kutoka kabila la Makhzum na kaka yake Abu Talib, hata hivyo, walijaribu kugeuza mawazo yake. Walipendekeza kwamba amwite mwaguzi wa kike. Huyo aliagiza mishale ya uaguzi ichorwe baina ya Abdullah na ngamia kumi … hatimaye idadi ya ngamia ikafikia mia moja. (Ibn Hisham 1/151-155; Rahmat-ul-lil'alameen 2/89, 90).

Ndiyo maana Mungu wa Biblia alikuwa akiwaonya sana wana wa Israeli juu ya tabia za kipagani za jamii zilizowazunguka kuhusiana na masuala ya kuabudu familia ya nyota au jeshi la mbinguni. Kwa mfano, anasema:

ALLAH NA MUHAMMAD WAKIRI KUWA SHETANI NDIE KIONGOZI WA DINI YA UISLAMU



1. QURAN YAKIRI KUWA YESU NDIE MWOKOZI
2. QURAN YAKIRI KUWA WAISLAM WANABEBA MIZIGO MIBAYA SANA.
3. QURAN YAKIRI KUWA SHETANI ANAKAA KWENYE NJIA ILIYO NYOOKA – UISLAMU.
4. MUHAMMAD AMSILIMISHA SHETANI NA KUWA MUISLAMU.
Ndugu msomaji,
Waislam wamekuwa wakisema kuwa, mtu mwengine hawezi kukubebea mizigo yako, lakini, hayo madai yanapingwa na aya kadhaa za Quran.
Nasi tulipousikia uwongofu tuliuamini; basi anayemwamini Mola wake hataogopa kupunjwa wala kutwikwa (kubebeshwa) dhambi (za mtu mwengine).” (Qurani 72:13)
Quran inasema kuwa, anaye mwamini Mwenyei Mungu, hawezi kuogopa kubebeshwa dhambi za mtu mwengine.
Je, kuna watu wanaweza kubeba dhambi za Mtu mwengine?
Soma Quran Surat An Nahl(16) aya ya 25. Kuna watu wanawapoteza wengine Ili wabebe mizigo ya madhambi Siku ya Kiyama, na sehemu ya mizigo ya wale wanao wapoteza bila ya kujua. Angalia, ni mibaya mno hiyo mizigo wanayo ibeba!
Allah kupitia Quran anawaambia Waislam wote kuwa, hiyo mizigo ya dhambi wanayo beba, NI MIBAYA MNO, na wamepotezwa ili waibebe wenyewe mpaka siku ya kiyama.
SASA, kama kubeba Mizigo siku ya kiyama mbaya mno, je, tuipeleke wapi hiyo mizigo, SASA SOMA Zaburi 55: 22 Umtwike Bwana mzigo wako naye atakutegemeza, Hatamwacha mwenye haki aondoshwe milele.
BIBLIA INAWAJIBU WAISLAM KUWA, MTWIKE BWANA MZIGO WAKO. Ndio maana Wakristo wote tumegundua hili, ENDELEA KUSOMA Yohana 13:13 INASEA: Ninyi mwaniita, Mwalimu, na, Bwana; nanyi mwanena vema, maana ndivyo nilivyo.
Yesu anasema kuwa, NINYI MNANIITA MWALIMU NA BWANA, NANYI MWANENA VEMA. Endelea KUSOMA Yeremia 10:10 Bali Bwana ndiye Mungu wa kweli; Ndiye Mungu aliye hai, Mfalme wa milele; Mbele za ghadhabu yake nchi yatetemeka, Wala mataifa hawawezi kustahimili hasira yake.
YEREMIA 10:10 INAWAJIBU WAISLAM KUWA, HUYO BWANA NDIE MUNGU WA KWELI. SASA, Waislam wanashanga kivipi Yesu awe Mungu na Yesu huyo huyo afe Msalabani, ENDELEA KUSOMA
Quran 55:29 INAENDELA KUKUJIBU 29. Vinamwomba Yeye vilivyomo katika mbingu na ardhi. Kila siku Yeye yumo katika mambo.
QURAN inakujibu kwa ufasaha kuwa KILA KITU KILICHOPO MBINGUNI NA ARDHINI VINAMWOMBA YESU. Haya Mwislamu unaendelea kushangaa, Sasa angalia nini kilitendeka na au tokea Msalabani
SOMA: 1 Petro 3: 18 - 19 Kwa maana Kristo naye aliteswa mara moja kwa ajili ya dhambi, mwenye haki kwa ajili yao wasio haki, ili atulete kwa Mungu; mwili wake akauawa, bali roho yake akahuishwa, 19 ambayo kwa hiyo aliwaendea roho waliokaa kifungoni, akawahubiri;
Neno la Mungu linasema kuwa MWILI WAKE NDIO ULIUWAWA BALI ROHO YAKE AKAHUISHWA. Sasa hakuna kushangaa tena maana tufahamu ulio uwawa ni Mwili wake to bali Roho yake haikuuwawa.

Sunday, July 24, 2016

KWANINI MTUME MUHAMMAD ALIKUWA ANAVAA NGUO ZA WANAWAKE?



Ndugu msomaji,
Naanza kwa kusema HUU NI MSIBA MKUBWA SANA.
Ungana nami na ujifunze viroja vya nabii wa Allah, aitwae Muhammad aliye kuwa anavaa nguo za Wanawake.
Kufuatana na Sahih Hadeeth, Muhammad alikuwa anavaa Nguo za Wake zake. Hadeeth inasema kuwa Muhammad aliweza kupa Ufunuo mara kwa mara alipo vaa nguo za Aisha. Kweli vituko haviishi kwa Mtume huyu wa Waislam. Muhamamd ni mtume pekee aliye kuwa anavaa Nguo za Wanawake.
BIBLIA INAKATAZA WANAUME KUVAA NGUO ZA WANAWAKE NA KINYUME CHAKE, LAKINI MUHAMMAD YEYE ALIVAA NGUO ZA WANAWAKE:
Kumbukumbu la Torati 22: 5 Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa Bwana, Mungu wako.
Bila ya kupoteza wakati, soma ushahid huu hapa chini WA MUHAMMAD KUVAA NGUO ZA WANAWAKE:
************
From the Sahih Collection of al-Bukhari, Hadith Number 2442
Muhammad anasema yeye alikuwa anapata wahayi wakati amevaa nguo za Aisha.
************
From Sahih al-Bukhari, Hadith Number 2393.
Nabii wa Allah alikuwa anapata ufunuo wakati amevaa nguo za Wanawake Source- http://hadith.al-islam.com/Display/Display.asp…
***********
From Sahih al-Bukhari, Hadith Number 3941
Volume Title, “The Book of Virtues.”
Chapter Title, “The Virtues of Aisha.”
Nilikuwa napata ufunuo wakati nimezivaa nguo za Aisha:
**********
From the English translation of the Sahih collection of Imam Muslim, Book 031, Number 5984:
Aisha mke wa Muhammad alisema: Nabii wa Mwenyezi Mungu alikuwa anapata ufunuo wakati amevaa nguo zangu au amejifunika ushingi wangu.
The Book Pertaining to the Merits of the Companions of the Holy Prophet (Kitab Al-Fada'il Al-Sahabah) (http://www.usc.edu/…/fund…/hadithsunnah/muslim/031.smt.html…)
************
From the Sahih collection of Imam Muslim, Hadith Number 4472
Volume Title, “From the Virtues of the Companions.”
Chapter Title, “From the Virtues of Aisha.”
Imesimuliwa na al-Hassan ibn Ali al-Hilwani, ikasimuliwa na Abu Bakr ibn Nadir, ikasimuliwa na Abd ibn Hamid, ikapokelewa na Yakun ibn Ibrahim ibn Sa’d Ibn, ikasimuliwa na baba yake, ikasimuliwa na Salih ibn Shihab, ikasimuliwa na Muhammad ibn Abdel Rahman ibn Harith ibn Hisham akasema kuwa Aisha mke wa Nabii Muhammad alisema:
Mke wa Muhammad alimtuma Fatimah, na alipo ingia chumbani alikumkuta Nabii wa Allah amejilaza kitandani huku akiwa amevaa nguo za mkewe.
**********
From Mishkat Al Masabih, Volume II
Book XXVI- Fitan.
Chapter XXXVIII, “The Fine Qualities of the Prophet’s Wives.”
Nilimsikia Nabii wa Mwenyezi Mungu akisema ufunuo ulikuwa hauji kwangu isipokuwa nikiwa nimevaa nguo za Aisha
(Bukhari and Muslim.) (English translation with explanatory notes by Dr. James Robson, Sh. Muhammad Ahsraf Publishers, Booksellers & Exporters, Lahore-Pakistan, Reprint 1990, p. 1361; bold and capital emphasis ours)
LAKINI NILIPO ISOMA BIBLIA NIKANGUA KUWA, MWANAUME HARUHUSIWI KUVAA NGUO ZA WANAWAKE:
SOMA:
Kumbukumbu la Torati 22: 5 Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa Bwana, Mungu wako.
Je, tunaweza iamini Koran, jinsi ilivyo, tangie tufahamu kuwa aya zilikuwa zinateremshwa wakati Muhammad amevaa Nguo za Wanawake?
Hivi Allah alishindwaje kumfunulia nabii Muhammad wake mpaka akiwa amevaa nguo za Wanawake?
Huu ni MSIBA MKUBWA SANA KWA WAISLAM WANAO FUATA MTUME ANAYE VAA NGUO ZA WANAWAKE.

ALIVYOOKOKA SHEIKH ALHAJI RASHID ABUBAKAR WA MSIKITI WA MTAA WA MWANZA ILALA DAR ES SALAAM

Mtume Peter Rashid Abubakar


1. AKIRI KULA NYAMA ZA WATU
2. AKIRI KUNYWA DAMU ZA WATU
3. AKIRI KUMEZA MAJINI 360
4. ASEMA UISLAM NI DINI YA WACHAWI

Ndugu msomaji,
Soma huu ushuhuda wa kusisimua kutoka kwa Sheikh Alhaji Rashid Tahtashajara Abubakar aliye kunywa damu za watu, kuhamisha nyota za watu, na kumeza majini 360. 
Mwenyekiti wa waislamu waliookoka, Afrika Mashariki na Kati!
Alitokea kwenye familia ya kichawi, mama yake alijiita ni Mungu na kufanya miujiza mbalimbali ikiwemo ya kunyesha mvua. Sheikh Alhaji Rashid Tatashajara Abubakar, aliwahi kufanya shughuli za kisheikh katika msikiti wa Ilala mtaa wa Mwanza ambapo pia alikua mwanafunzi wa sheikh Yahaya Hussein ambaye ni marehemu kwa sasa.
Alianza kujifunza madrasa, akapanda vyeo na kusomea vyuo vya kichawi baada ya kuhitimu majaribio mbalimbali ikiwemo kufukua makaburi, kunywa damu za watu, kuhamisha nyota za watu, na kumeza majini 360 na kufanikiwa kuchaguliwa kuwa mwenyekiti mkuu wa wachawi Afrika mashariki na kati!
Anasema katika mambo hayo yote, alikua akitumwa kushambulia watumishi wa Mungu mbalimbali, aliwahi kujaribu kwa Moses Kulola, Emmanuel Lazaro na Askofu Mwanisongole. Lakini alishindwa na kupata mieleka iliyompelekea kuumwa sana.

Akielezea ushuhuda wake kwa ufupi, Jinsi alivyompokea Bwana Yesu, ilikuwa sababu ya mke wake wa pili kupita kwenye mkutano wa Injili na kuponywa tumbo lililomsumbua kwa muda mrefu bila mafanikio ya kupona “mke wangu alikuwa akirudi nyumbani na kuimba nyimbo za makafiri, baadaye anaenda kanisani, sasa adhabu ya mtu anayekiuka sheria ni viboko 40, nilipotaka kumchapa mkono ukaganda, ndio mke wangu akasema piga magoti chini, akaniombea na mkono ukarudi mahala pake, baada ya hapo mengi yalitokea kukatisha story Mungu alianza kunifundisha na kunitumia”
“Siku Moja mtaa wa Salender Bridge kama mliwahi kusikia kisa cha dada aliyeota manyoya, alifikishwa kwangu nikamuombea kwa Jina la Yesu naye akapokea uponyaji. Kwa sasa yuko Marekani! nimemuona Mungu kwa jinsi ya tofauti kule nilikotoka nilikua namtumikia shetani, kwa sasa namtumikia Bwana Yesu, na kila ulimi utakiri kwamba Yesu ndiye Mungu”
Alhaji Rashid Abubakary kwa sasa ni mwenyekiti wa waislamu waliookoka Afrika mashariki na kati. Mungu amekua akimtumia kwa jinsi ya tofauti na amealikwa makanisa mbalimbali na kueleza shuhuda nyingi ambazo Bwana Yesu amefanya na kufanya kwenye maisha ya watu wengine. Ameonekana kwenye Televisheni ya kikristo ATN, ushuhuda huu kwa ufupi ameutoa tarehe 26 Agosti 2011, Kanisa la City Christian Centre.
By permission 
 Max Shimba Ministries Org

Mtume Peter Rashid kwa sasa anatumika kwa viwango

Saturday, July 23, 2016

ATHARI YA MKRISTO KUOANA NA MUISLAMU



Imekuwa ni jambo la kawaida kushuhudia Wakristo na waislamu wakiishi pamoja kama mke na mume, na wengi wao huona ni jambo sahihi, kwa sababu Mungu wetu ni mmoja, kwa hivyo hata kama ataolewa na muislamu, hakuna tatizo kwake, tena kama ataoneshwa mapenzi ya dhati kwa kipindi fulani, basi hapo atajiona kuwa amefika sehemu salama, na wengine hujitetea kupitia andiko ambalo Paulo alitoa ushahuri kuhusiana na mtu aaminie kuishi na mtu ambae hana imani kama yake:
1 Korintho 7:12 Lakini watu wengine nawaambia mimi, wala si Bwana, ya kwamba iwapo ndugu mmoja ana mke asiyeamini, na mke huyo anakubali kukaa naye asimwache.
13 Na mwanamke, ambaye ana mume asiyeamini, na mume huyo anakubali kukaa naye, asimwache mumewe.
14 Kwa maana yule mume asiyeamini hutakaswa katika mkewe; na yule mke asiyeamini hutakaswa katika
Andiko hili Watu wengi hulitumia vibaya, wakidhani kwamba, limewapa ruhusa ya Mkristo kuolewa na mtu ambae si Mkristo, Kwanza hapo naomba ifahamke kwamba, katika maelezo hayo ya PAULO, hakuna ndoa baina ya mtu asie amini (Asiye Mkristo) na Mkristo ambae ameamini, ndiyo maana Paulo akasema:
1 Korintho 7:15 Lakini yule asiyeamini akiondoka, na aondoke. Hapo huyo ndugu mume au ndugu mke hafungiki. Lakini Mungu ametuita katika amani.
Amesema huyo asie amini kama ataamua kundoka, basi ni ruksa kwake kuondoka, na hapo hapatakuwa na kizuizi cha Mkristo kuoa au kuolewa, ushauri huo hakumlenga Mkristo na Muislamu, bali ulilenga juu wa watu ambao Walipelekewa Injili huko Korintho, kuna baadhi ya watu ambao walilipokea neno, wakaamini, lakini wengine hawakukubali, na miongoni mwa wale ambao hawakukubali, walikuwa tayari wanaishi na kama mume na mke na wale ambao wamekwisha kuamini, kwa hivyo Paulo hakutaka kuwatenganisha, akawataka wale walioamini waendelee kuishi nao, kwa ushauri wake Paulo, na si agizo la Yesu, maana aliamini kwamba kupitia jambo hilo, huyo asie amini anaweza kuongoka kupitia mume au mke alie ongoka, ila kwa wale ambao walioana katika ndoa inayokubalika kwa Mungu, aliweka msimamo wa Yesu mwenyewe akasema:
1 Korintho 7:10 Lakini wale waliokwisha kuoana nawaagiza; wala hapo si mimi, ila Bwana; mke asiachane na mumewe;
11 lakini, ikiwa ameachana naye, na akae asiolewe, au apatane na mumewe; tena mume asimwache mkewe.
Hapo aliposema kuwa waliokwisha kuoana, maana yake wale ambao ndoa zao zinatambulikana na Mungu, (Hawakuchukuana tu na kuanza kuishi pamoja) bali hao ni wale ambao tayari wameshaunganishwa na Mungu, kwa kufuata taratibu zote, akasema hakuna ruhusa ya kuachana, kama ilivyo kwa mtu asie amini na aaminie, hata kama mmefunga ndoa, ikatokea mmoja akakengeuka, hakuna ruhusa hiyo ya kuachana, mke akae bila kuolewa, na mume nae pia akae bila kuoa.
Mathayo 19:5 akasema, Kwa sababu hiyo, mtu atamwacha babaye na mamaye, ataambatana na mkewe; na hao wawili watakuwa mwili mmoja?
6 Hata wamekuwa si wawili tena, bali mwili mmoja. Basi aliowaunganisha Mungu, mwanadamu asiwatenganishe.
Kwa mafundisho haya ya Yesu, ni dhahiri kuwa, hakuna idhini ya Mke kumwacha mumewe, wala mume kumwacha mkewe, kama ulikurupuka, ukaja kumuona mwanamke mwingine ukataka awe mkeo, ukataka umwache mkeo, basi huna idhini hiyo, wala huna ruhusa ya kumpa talaka na kuoa mwingine:
Lakini ukija upande wa pili wa Uislamu, kama kuna mwanamke ambae anaishi na muislamu, hata kama wamekaaa mika 10 akiwa peke yake, asidhani kwamba, ndo dini yao nayo pia ipo kama ya Kikristo kwamba mke mmoja na mume mmoja, yaani Double M, Hapana, yeye ameambiwa hivi:
Quran 4:3. Na ikiwa mnaogopa kuwa hamtowafanyia mayatima uadilifu, basi oeni mnao wapenda katika wanawake, (madam mtawafanyia Insafu) wawili au watatu au wane. na mkiogopa kuwa hamwezi kufanya uadilifu, basi (oeni) mmoja tu, au (wawekeni masuria)wale ambao mikono yenu ya kulia imewamiliki. Kufanya hivi ndiko kutapelekea kutofanya jeuri.

MUHAMMAD NI NABII NA MTUME PEKEE ALIYE PATA UTUME KWA KUUGUA HOMA, NA ALIYEKUFA KWA KUUGUA HOMA




Sijambo la kustaajabisha kuwasikia Waislamu wa KIMNADI Muhammad kuwa ni mtume wa Mwenyezi Mungu, na tena mbaya zaidi husema kuwa yeye ndiye kiongozi wa mitume na mwisho wa Manabii, NA MBORA WAO.
Yaani wakiwa na maana kuwa, Ibrahimu, Isaka, Musa, Yusufu, Yona, Haruni, Eliya, Daudi, Yohana, Yesu Wapo chini ki ubora dhidi ya Muhammad, kwa hivyo Marehemu Muhammad, yeye ni mbora wao, maana yeye ni kipenzi cha Mwenyezi Mungu, jambo hili kwa mtu mwenye akili timamu, haliwezi kumuingia kabisa, kwani Muhammad thamani yake inazidiwa na hata Yuda Isakariote (Aliyemsaliti YESU) sembuse Manabii hao? Ukimzungumza Eliya tu pekee ambaye yeye kwa Yesu hafiki hata robo, bado Eliya yupo juu mara 100,0000. dhidi ya marehemu Muhammad, na pia ni Makosa makubwa sana kwa Mkristo kusema eti Muhammad siyo nabii wala siyo mtume, ukimkuta Mkristo anakataa utume wa Muhammad, basi tambua kuwa huyo Mkristo hasomi kabisa habari za Yesu Kristo, kwani kila Mkristo ni lazima atambue kuwan Muhammad ni Mtume na NABII, swali la msingi sasa ni hili
JE! NI MTUME NA NABII WA UKWELI?
Ukisema Muhammad siyo mtume wala nnabii, maana yake wamfanya Yesu kuwa muongo, maana yeye alisema kuwa watakuja Manabii na Mitume wa Uongo.
Mathayo 24:11 Na manabiii wengi wa uongo watatokea, na kudanganya wengi.
Ufunuo 2:2 Nayajua matendo yako na taabu yako, subira yako, na kuwa huwezi kuchukuliana na watu wabaya, tena umewajaribu wale wajiitao mitume nao sio, ukawaona kuwa waongo.
Kwa hivyo Muhammad ni miongoni mwa hao Mitume ambao ni waongo, ambao sisi kama Wakristo yatupasa kuutambua uwepo wao hapa Duniani, kwani tumeshapewa angalizo la kuwatambua hawa wanaojiita Mitume na Manabii, hali ya kuwa ni waongo
1 Yohana 4:1-3
1 Wapenzi msiamni kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu: kwa sababu manabii wengi wa uongo wametokea duniani.
2 Katika hili mwamjua Roho wa Mungu; kila roho ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili, yatokana na Mungu,
3 Na Kila roho isiyomkiri Yesu, haitokani na Mungu.
Na hiii ndiyo roho ya mpinga Kristo ambayo mliskia kwamba yaja; na sasa imekwisha kuwako duniani.
Kila nabii na mtume ambaye yeye hakubali kuwa Kristo alikuja katika mwili, kwa maana kuwa Mungu alidhihirishwa katika mwili, hiyo roho yaani huyo nabii si ambaye anatokana na Mungu, huyo ni Nabii anaetokana na shetani, kwa mujibu maandiko Matakatifu, Kristo alidhirishwa katika mwili.
1 Timotheo 3:16 Na Bila shaka siri ya utauwa ni kuu, Mungu alidhihirishwa katika mwili,
Akajulikana kuwa na haki katika roho,
Akaonekana na Malaika,
akahubiriwa katika mataifa.
akaaminiwa katika ulimwengu,
akachukuliwa juu katika utukufu,
JINSI YA KUPIMA UNABII WA MUHAMMAD:
SASA KAMA MNATAKA KUAMINI KUWA KWELI Muhammad ni nabii na mtume wa uongo, waulizeni wafuasi wake, Je! Kwa mujibu wa uislamu, Wanakubali kuwa Mungu alikuja kwa njia ya mwili wa kibinadamu na kuonekana? Wakikubali, basi tambueni kuwa Muhammad na mtume wa kweli, na wakikataa basi mjue kuwa ni nabii na mtume wa Uongo

ALLAH ANASEMA MUHAMMAD ALIKUWA ANATENDA DHAMBI KILA SIKU


Ndugu msomaji,
Wakati Biblia inasema Yesu alikuwa hana dhambi, hivi ndivyo Kuran na Bukhari Hadith zinavyosema kuhusu Muhammad.
1. Hebu tuanze kusoma Sahih hadith kuhusu Muhammad wa kwenye Quran.
Muhammad pamoja na watu wake waliteka nyara misafara ya wafanya biashara na wasafiri mbalimbali. Bukhari juzuu ya 3 kitabu cha 37 sura ya 8 na.495 uk.280 inasema "wakati Allah alipomfanya mtume kuwa tajiri kutokanana na ushindi" 1/5 ya mateka ya vita iliwekwa katika hazina na Sahih Muslim juzuu ya 2 kitabu cha 5 sura ya 401 na.2348 uk.519 inasema familia ya Muhammad ilikuwa na hisa ndani yake. Utekaji nyara wa mali za watu wa kwanza kufanywa na Waislam ulijulikana kama Nakha la Raid. Wakati wa mwezi wa kusimamisha vita kwa muda, wafuasi wake waliushambulia msafara kwa kuuvamia na kuua mtu mmoja, na kuwafanya watu waliosalia kuwa watumwa, na kuchukua nyara. Muhammad mwenyewe aliongoza uvamizi wa pili pale Badr. Muhammad aliongeza utajiri wake kwa kuyashambulia makazi ya Wayahudi ya Khaibr. Yeye na wafuasi waliokuwa waaminifu kwake walijitwalia nyara na wake (Je Muhammad alihitaji mke mwingine?) wa Wayahudi wanaume 700-1000 wa kabila la Banu Quraiza waliowakata vichwa baada ya kujisalimisha.
2. Allah anamsihi Muhammad aombe Msamaha wa Madhambi anayo tenda kila siku.
Katika sura 40:55 na 48:1-2, Allah anamwambia Muhammad kuomba msamaha kwa ajili ya dhambi zake (au udhaifu wake). Sasa, watu hawahitaji msamaha kwa ajili ya madhaifu ya miili bali maadili. Sahih Muslim juzuu ya 1 kitabu cha 4 sura ya 268 na.1695 uk.373 inasema Muhammad aliomba, "Nilijikosea mwenyewe na kufanya toba ya dhambi zangu. Nisamehe dhambi zangu . . ." Bukhari juzuu ya 1 kitabu cha 2 sura ya 13 na.19 uk.23; juzuu ya 1.12.57 na.781 uk.434; juzuu ya 6.60.3 na.3 uk.4; juzuu ya 8.75.3 na.319 uk.213; na juzuu ya 8.75.62 kabla ya na.407 uk.271 kabla ya kueleza dhambi za Muhammad. Mambo bayana yaliyoelezwa kwenye Bukhari juzuu ya 1.4.70 na.234 uk.148; Bukhari juzuu ya 8.82.1 na.794-795 uk.520 ni kukata watu mikono na miguu, kuchoma macho yao, na kuwanyima maji hadi kufa baada ya kukatwa miguu na mikono.
Angalia Bukhari juzuu ya 8.82.3 na.796 sura ya 4 uk.797; Bukhari juzuu ya 6 sura ya 150 kabla ya na.198 uk.158-159 pia Fiqh us-Sunnah juzuu ya 1 uk.133.

MUHAMMAD ATHIBITISHA KUWA ALLAH NDIE ALIYE UMBA NA KUWAPA WATU MAGONJWA YOTE



1. Allah akiri kuwa yeye ndie anaye anzisha magonjwa.
2. Allah aliugua Macho.
3. Allah hana uwezo wa kuponya Magonjwa
4. Allah amtupia ugonjwa Mtume wake Muhammad.
Ndugu zanguni,
Leo ningependa tuongelee kuhusu Magonjwa kutokana na Allah na dini ya Uislam. Je, nini hasa ni asili ya Magonjwa?
Kama ulikuwa haufahamu, dini ya Uislam inakiri kuwa Allah ndie asili ya Magonjwa na magonjwa yote yaliumbwa na Allah? Naam, nafahamu unashangaa na kudhania ninawasingizia Waislam, la hasha, hebu ungana nami kwa ushahdi zaidi,
ALLAH NDIE HUWAPA WATU MAGONJWA
Kumbukumbu na Bukhari katika al-Adab ul-Mufrad (namba 493), kuthibitishwa halisi na al-Albani
"Usitarajie mazuri, kwa sababu Allah ndiye huwapa magonjwa waumini wake kama kafara (kwa ajili ya dhambi yake) ili kumpumzisha, na kwa Makafiri ni kama ugonjwa ni kama Ngamia aliye fungwa na Bwana wake, humuachia huru pale anapotaka, ni hawezi kuelewa ni kwa nini alikuwa amefungwa, wala kwa nini ni huru. "
Kitu cha kushangaza, hawa Waislam wanakwenda Hospitali kupata matibabu huku wakifahamu kuwa Allah ndie aliye watupia Magonjwa. Huu ni Msiba katikaa Uislam.
JAMANI KWANINI TUMFUATE ALLAH ANAYE TOA MAGONJWA?
ALLAH ALIUGUA MACHO:
"Wakati mmoja macho ya Allah yalikuwa yanauma, na Malaika walikwenda kumuona, na kwamba Allah alitokwa na Machozi, kwa ajili ya Mafuriko ya Nabii Nuhu mpaka macho yake yakawa mekundu. (Al Milal Wannihal J. 1 uk. 141)
Hapa inaonekana Allah alijisahau na akajitupia Ugonjwa wa Macho, RED EYES. Sasa Mungu gani huyu anaye Umwa kama Viumbe? Hakika Allah si Mungu bali ni kiumbe,
ALLAH HANA UWEZO WA KUPONYA MAGONJWA!!
Kwanini Allah alipo mtuma Jibril kwenda kumuombea Muhammad ugonjwa uliosababishwa kula sumu, maombi yao hayakufanya kazi?
Ibn Sa'd Ukurasa wa 265

QURAN INASEMA KUWA, NABII LAZIMA AFANYE MIUJIZA; MUHAMMAD AKIRI KUWA YEYE NI MTUME BANDIA NA HAKUFANYA MIUJIZA


Qur’an nayo inathibitisha kuwa manabii na mitume ni lazima wafanye miujiza.
Qurani 40:78 Suratul Al-Muumini [Waumini] inasomeka “Na kwa yakini tumewatuma mitume kabla yako wengime katika wao tumekusimulia (majina yao na habari zao) na wengine hatukukusimulia na haikuwa kwa mtume yoyote kuleta muujiza wowote ila kwa idhini ya Mwenyezi Mungu”
Muhammad hakuwai fanya muujiza wowote ule ili kuthibitisha madai ya unabii na utume wake.
Qur’an 29:50 Suratul Al-Ankabuut (Buibui). “Na walisema “Mbona hakuteremshiwa miujiza kutoka kwa Mola wake? Sema miujiza iko kwa Mwenyezi Mungu tu (akitaka atakuteremshieni na kama hataki basi),nami hakika ni mwonyaji mbainishaji (dhahiri tu).” (Taz. Qur,an 6:35-37 13:7,)
Muhammad anakiri kuwa yeye hakuwai fanya miujiza. Hivyo Kutokana na Quran yao wenyewe Muhammad ni mtume bandia.
Zaidi ya hapo Muhammad hakuwai fanya unabii wowote ule. Sasa Nabii bila ya unabii inawezekanaje?
Sifa mojawapo ya Nabii ni kutoa unabii. Muhammad hakuwai toa unabii wowote ule.
KUROGWA KWAKE MUHAMMAD
Zaidi ya hayo tunaona Muhammad alirogwa. Kurogwa ni hali ya mtu kuathirika na nguvu za giza yaani uchawi. Je nabii au mtume wa Mwenyezi Mungu wa Kweli anaweza kurogwa?
Amesema Mwanaisha Mkewe Mtume kuwa "Yahudi Mmoja aitwaye Labiid bin Al'answan alimroga Mtume Muhammad, ikawa Mtume baadhi ya Nyakati huchanganyikiwa na kuanza kuita Ovyo ovyo na kupiga makelele. (Sahih Muslim J. 4 uk. 38-39)
Huu ni uthibitisho mwingine mzito unaoonesha kuwa utume wa Muhammad una utata.
MASWALI:
(a) Hivi, kuna Mtume au Nabii yeyote yule ambaye alikiri kurogwa kama Muhammad?
(b) Hivi Allah alikuwa wapi wakati Muhammad anarogwa? [Ingawa Quran inakiri kuwa aliye teremsha uchawi/urogi ni Allah]
(c) Wapi tunasoma kuwa Muhammad aliombewa na kutoa huo uchawi/urogi aliofanyiwa na Labiid bin Al'answan?
YAANI INA MAANA MUNGU ALIKOSA MTU WA KUTUMA MPAKA ATUME MTU ALIYECHEWA NA MASHETANI KAMA HUYU?
Ndugu msomaji,
Muhammad hakuwa Mtume wa Mungu na wala hana sifa za KITUME.
1. Muhammad hakuwai ongea na Allah aliye mtuma.
2. Muhammad alikuwa na Shetani tokea kuzaliwa kwake.
3. Muhammad alikiri kuchezewa na Shetani wakati wa kusimikwa utume wake Pangoni.
4. Muhammad alikiri kuwa Shetani amechezea akili na nafsi yake.
5. Muhammad alikiri kuwa alirogwa na Labiid bin Al'answan.
SASA WAISLAM, NIONYESHENI, wapi kwenye Taurat, au Zaburi au Injili kama kuna Mtume aliye na sifa za ajabu kama za Muhammad.
Karibuni kwa Yesu ambaye ndie Njia Pekee ya Kwenda Mbinguni.
Mungu awabariki sana.
Ni mimi Max Shimba, mtumwa wa Yesu Kristo,
For Max Shimba Ministries Org,
MAX SHIMBA MINISTRIES ORG ©2016. ALL RIGHTS RESERVED
Everyone is permitted to copy and distribute verbatim copies of this license document, but changing it is not allowed.

UTATA MKUBWA KUHUSU UTUME WA MUHAMMAD


Ndugu msomaji,
Katika Biblia shetani ametajwa kuwa anaweza kujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru.
2 Wakorintho 11:13-15 “Maana watu kama hao ni mitume wa uongo, watendao kazi kwa hila wanaojigeuza wawe mfano wa mitume wa Kristo. Wala si ajabu, maana shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru. Basi si neno kubwa watumishi wake nao wakajigeuza wawe mfano wa watumishi wa haki, ambao mwisho wao utakuwa sawasawa na kazi zao”.
Muhammad akiwa Medina aliulizwa na Wayahudi ikiwa ufunuo wake umetoka kwa Mungu wa Kweli kwa kumtaka atoe sifa za manabii. Akijibu swali hilo alisema:
Mkweli Mwaminifu Juzuu 3-4 Uk.63. Hadithi Na. 880. “Kasema Mtume (s.a.w):- (Mambo) mane ya sheria za mitume (Kuwa na) na haya,na kujipaka mafuta mazuri,na kuowa (wake),na kupiga mswaki.
Hizi si sifa za Ki-Mungu kwa nabii na mtume bali ni za kibinadamu tu.
Manabii na watu mbalimbali katika Biblia hawakuona haya. Soma Isaya 50:7 “ Maana Bwana MUNGU atanisaidia; kwa sababu hiyo sikutahayari, kwa sababu hiyo nimeukaza uso wangu kama gumegume, nami najua ya kuwa sitaona haya”. Zaburi 34:5 “ Wakamwelekea macho wakatiwa nuru, Wala nyuso zao hazitaona haya” Zab 119:46 “ Nitazinena shuhuda zako mbele ya wafalme, Wala sitaona aibu” Warumi 1:16 “ Kwa maana siionei haya Injili; kwa sababu ni uweza wa Mungu uuletao wokovu, kwa kila aaminiye kwa Myahudi kwanza , na kwa Myunani pia” 1Petro 4:16 “ Lakini ikiwa kwa sababu ni Mkristo asione haya, bali amtukuze Mungu katika jina hilo.
Zaidi ya hayo tunaona Muhammad alirogwa. Kurogwa ni hali ya mtu kuathirika na nguvu za giza yaani uchawi.. Je nabii au mtume wa Mwenyezi Mungu wa Kweli anaweza kurogwa?
Katika Qur’an Suratul Ban-Israel, 17:47 “ Tunajua sana, sababu wanayosikiliza, na wanaponong’ona, wanaposema hao madhalimu. Nyinyi hamfuati isipokuwa mtu aliyerogwa”
Pia katika Suratul Falaq, 113:1-5 “ Ninajikinga kwa mola wa ulimwengu wote na shari ya Alivyoviumba, na shari ya giza la usiku liingiapo, na shari ya wale wanaopulizia (vivia) mafundoni (wakavunja) mashikamano yaliyo baina ya watu yaani shari ya mafatani, Na shari ya hasidi anapohusudu”

The Angelic Guardianship in Psalm 91:11: A Scholarly and Inspirational Exploration

The Angelic Guardianship in Psalm 91:11: A Scholarly and Inspirational Exploration By Dr. Maxwell Shimba Shimba Theological Institute A...

TRENDING NOW