Wednesday, August 10, 2016

IMAMU AKUTANA NA YESU MSIKITINI DAR ES SALAAM




AMTAJA YESU MARA TATU AKIWA KWENYE SWALA
AFUKUZWA, AKIMBILIA KANISANI KUOKOKA
Mavuno ni mengi sana, sasa Yesu anawafuata huko huko Misikitini na Kuwaokoa.
Apewe sifa zote Yesu alie hai
***********************************************************************************************************
Imamu wa msikiti wa Maamuru uliopo Buguruni Malapa jijini Dar, amejikuta akitamka jina la Yesu msikitini kwa mara tatu katika siku mbili tofauti, kisha akachukua uamuzi wa kuachana na dini ya Kiisilamu na kujiunga na dini ya Kikristu katika kanisa la TAG Magomeni

Tukio hilo lilitokea mwezi ulioisha wa Julai, ambapo Imamu huyo alijikuta akitamka maneno 'YESU NISAIDIE' pale alipokuwa akiongoza swala ya alfajiri katika siku ya kwanza ya Jumatatu, ambapo waumini aliowaongoza walimuonya kwa kitendo hicho. Hali hiyo ilimrudia siku hiyo hiyo ya Jumatatu, safari hii alipokuwa akiongoza swala ya alasiri. Waumini walimpa onyo, lakini yeye alijitetea kwamba alikuwa haelewi kama ameyatamka maneno hayo.

Kama vile haitoshi, siku ya pili yake (Jumanne) Imamu huyo alijikuta akirudia kwa mara ya tatu kutamka maneno 'YESU NISAIDIE', jambo ambalo halikuvumiliwa tena na waumini wa msikiti huo ambapo walichukua uamuzi wa kumtimua katika msikiti huo na kumtaka kukabidhi mali alizokuwa amepewa, ikiwemo simu

Baada ya hapo baadhi ya marafiki na ndugu zake walimtenga na kumuona sio mwenzao tena, ambapo alijihifadhi kwa nduguye mmoja huku akiwa na kanzu tu. Ndipo usiku wa Jumamosi kuamkia Jumapili, hamu kubwa ya kumpokea Yesu kwa kwenda kanisani ilimjaa, na alitimiza adhma yake kwa kuhudhuria misa akiwa amevaa kanzu yake katika kanisa hilo la TAG Magomeni, na kupokelewa vizuri na waumini wa Kikristu wa kanisa hilo

Imamu huyo amedai kwamba kuna waumini kadhaa huwa wanapata maono juu ya Yesu Kristu kwa namna tofauti, lakini wamekuwa ni waoga kumpokea Kristu kwa hofu ya kutengwa na jamaa zao


ALLAH SIO MWENYEZI MUNGU (SEHEMU YA NNE)


SABABU 12 ALLAH SIO MUNGU
Leo nitawapa Sababu 12 kwanini Allah sio Mungu.
1. ALLAH HANA JINA KAMILI
Quran 17 au surat Bani Israil 110 (Wana wa Israil)
Sema; muombeni (Mwenyenzi Mungu) kwa (jina la) Allah au muombeni (kwa jina la) Rahman. Kwa jina lolote mnalomwita (katika haya itafaa). Kwani ana majina mazuri mazuri………
2. ALLAH ANAMAADUI AMBAO NI WAKRISTO NA WAYAHUDI Allah wao ana maadui wake ambao ni Wakristo na Wayahudi
Quran. 4:51 na 57 (surat Al Maida)
Enyi mlioamini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika hao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu.
3. ALLAH NA WAISLAM WOTE KUINGIA JEHANNAM
Wafuasi wote wa Allah wanangojea moto wa Jehanam kisha waokolewe waislam baadaye kutoka motoni
Quran. 19:70-72
Tena hakika sisi tunawajuwa vyema Zaidi wanaostahiki kuunguzwa humo Wala hapana yeyote katika nyinyi ila ni mwenye kuifikia.
Hiyo ni hukumu ya Mola wako mlezi ambayo lazima itimizwe. Kisha tutawaokoa wale waliomcha Mungu; na tutawaacha madhalimu humo hali wamepiga magoti motoni.
4. ALLAH ANAINGIA JEHANNAM WAKATI MUNGU WA BIBLIA HATA INGIA JEHANNAM
Allah wao ataionja Jehanamu pia
Quran. 50 au Surat Qaf 30 (kuapa)
Siku tutakayoiambia Jahanamu, ‘Je! Umejaa?’ Nayo itasema ‘Je kuna ziada (zaidi? Naije tu!
Imesimuliwa na Anas kuwa: Mtume alisema watu watatupwa jahanamu, Naye Allah ataiuliza jahanamu akisema je umejaa nayo jahanamu itasema kwani kuna nyingine zaidi na ije tu? Mpaka Allah atakapo ingiza mguu wake nayo jahanamu itasema inatosha! Inatosha
5. ALLAH HANA UWEZO WA KUPONYA MAGONJWA WAKATI MUNGU WA BIBLIA ANAPONYA WAGONJWA!!
Kwanini Allah alipo mtuma Jibril kwenda kumuombea Muhammad ugonjwa uliosababishwa kula sumu, maombi yao hayakufanya kazi?

SHOW ME WHERE IN THE QURAN THAT ALLAH LOVES ME AS THE SINNER THAT I AM, AND I WILL BECOME A MUSLIM



"An 11-year old Arab Christian girl was listening to an Islamic scholar preach about Allah. When he was done, the little girl approached him and said this – “show me where in the Koran that Allah loves me as the sinner that I am, and I will become a Muslim.” The dumbstruck man was silent for a long time, and then walked away. He had no answer to give her. Why?
Because the Allah of the Koran does not love the sinner, or the unrighteous, or the lost, or the struggling, or the backslider. Allah of the Koran displays only a highly-qualified, conditional type of “love”, and it is for Muslims only. The Koran clearly teaches that Allah hates non-Muslims
Qur’an 3:31-32—Say [O Muhammad]: If you love Allah, then follow me, Allah will love you and forgive you your faults, and Allah is Forgiving, Merciful. Say: Obey Allah and the Apostle; but if they turn back, then surely Allah does not love the unbelievers.
Qur’an 30:43-45—Then turn thy face straight to the right religion before there come from Allah the day which cannot be averted; on that day they shall become separated. Whoever disbelieves, he shall be responsible for his disbelief, and whoever does good, they prepare (good) for their own souls, that He may reward those who believe and do good out of His grace; surely He does not love the unbelievers.
This is a startling contrast to the words of Scripture that shows that God offers His love to any and all who will receive it, as a free gift paid in full with no strings attached:

MASHEHE WAFUNGUA MSIKITI WA MASHOGA



Shehe Syde Adnan Hussein amesema kuwa, wamefungua Msikiti wa Mashoga kwasababu wamechoka kuishi wa siri. Zaidi ya hapo, Shehe Syde amesema kuwa hivi sasa Ushoga umeshamiri sana katika Uislam na hakuna haja ya kuwa na siri tena.
...See More

RAHA YA WOKOVU


Ukiwa ndani ya Yesu kuna raha mpendwa asikwambie mtu, yote yanawezekana kwa Bwana hata yale ambayo kwa akili za kibinadamu ni magumu kuwezekana ili maradi tu umwamini. "Biblia inasema hivi, yote yawezekana kwake yeye aminie". Nami na mwamini Mungu nimeuona mkono wake ndani ya maisha yangu, amani niliyonayo leo na furaha vyote nimevipata kutoka kwake yeye. Ananishindia siku hadi siku kila kitu kwangu ni shwari kwani najua ninaye mwenye uweza wote aliye mbele yangu, anayenipenda aliyenishika mkono anayeijua kesho yangu tangu nikiwa tumboni mwa mama yangu Bwana Mungu Yesu Kristo pamoja na Roho wake Mtakatifu naamini hata niacha kamwe, ananikumbatia na kunitia nguvu. Furaha, amani, utulivu, nguvu, na uweza ninavyo leo kwa sababu siku moja niliamua kuwa nataka kuwa na mshauri, mpenzi, mwalimu, kiongozi, baba Yesu Kristo ndani ya maisha yangu naye bila hiyana akanikubali akanivuta karibu nae akaniambia mwanangu karibu nyumbani hapa umefika yale uliyopitia na kuyaona hapo kabla hayatakupata tena kamwe na wala hautayaona. Kama alivyowaambia wana wake wa Israel kuwa hao Wamisri mnaowaona leo hamtawaona tena kamwe na mimi akaniambia kuwa Wamisri waliokuwa katika maisha yangu sitawaona tena kamwe nami nina amini hivyo na zaidi.
Wewe je unataka kuonja furaha na amani hii niliyo nayo mimi leoo?Njoo kwa Yesu leo ndugu yangu mkubali awe Bwana na Mwokozi katika maisha yako nawe utapata penzi la kweli lisilo na mawaa. Yale yote yaliomwiba kwako yatakwisha na hautayapata wala kuyaona tena.
Nampenda Yesu sana na Yeye anakupenda pia karibu upate furaha ya kweli na tufurahi pamoja.

CHINA KUWA TAIFA LENYE WAKRISTO WENGI DUNIANI



By Tom Phillips, Liushi, Zhejiang province
China nchi ya Kikomunisti yenye watu karibia bilioni 1.5 inakaribia kugeuka na kuwa nchi kubwa duniani ya Kikristo baada ya miaka 15.
Bwana Jin Hongxin mwenye umri wa miaka 40 anasema kuwa ni jambo jema kuwa mfuasi wa Yesu Kristo katika nchi ya China huku akiutazama Msalaba wa Dhahabu katika madhabahu ya Liushi.
Hizi ni habari njema sana maana Yesu alisema kuwa Neno lake lihubiriwe duniani kote.
Ukristo unakuwa kwa kasi ya ajabu na kusababisha tetemeko la kidini katika nchi nyingi za Kiislam. Watafiti wengi wanasema kuwa, Uislam unaweza kufutika duniani kwa jinsi Yesu aliye jaa upendo anavyo waokoa watu kutoka giza nene la Shetani.
Kwa habari kamili ingia kwenye hii link hapa chini:

ALLAH SIO MWENYEZI MUNGU (SEHEMU YA TANO)


KUMBE ALLAH ANA MIKONO NA MACHO KAMA VIUMBE
Ndugu msomaji,
Tunaendelea na mada kuhusu Allah ambaye ni kiumbe kama sisi. Leo ninawaletea ushahidi kuwa, Allah ana MIKONO kama binadamu. Haya ungana nami na tuanze kusoma ushahid kutoka vitabu vya Kiislam.
وَمَا قَدَرُوا اللَّهَ حَقَّ قَدْرِهِ وَالْأَرْضُ جَمِيعًا قَبْضَتُهُ يَوْمَ الْقِيَامَةِ وَالسَّمَاوَاتُ مَطْوِيَّاتٌ بِيَمِينِهِ ۚ {67}
“Na hawakumheshimu Mwenyezi Mungu heshima ipasayo, na siku ya Kiyama ardhi yote itakuwa mkononi mwake na mbingu zitakunjwa katika mkono wake wa kulia, …” (Az-Zumar; 39: 67)
“Mikono” Ya Mwenyezi Mungu Kama Ilivyosimuliwa Na Madhehebu Ya Makhalifa.
Wanazuoni wa madhehebu hiyo hapo juu wamesimulia ndani ya vitabu vyao kutoka kwa Abu Huraira ambaye amesimulia kutoka kwa Mtukufu Mtume (s.a.w.w.) kama ifuatavyo:
“Adamu na Musa walikuwa na mazungumzo yafuatayo: Musa alisema: ‘Ewe Adamu! Mwenyezi Mungu alikuumba kwa mikono Yake Mwenyewe… Lakini uliwateremsha wanadamu kutoka kwenye bustani kwa sababu ya dhambi yako.’
Adamu akajibu: ‘Ewe Musa, Mwenyezi Mungu kwa hakika amekutukuza wewe, na akaandika Taurati kwa ajili yako kwa mikono Yake Mwenyewe.’”
KUMBE ALLAH ALIANDIKA TAURATI KWA MIKONO YAKE MWENYEWE.
Katika hadithi nyingine iliyosimuliwa kutoka kwa Abu Huraira, tunakuta:
“Mwenyezi Mungu huwa anashuka mpaka kwenye mbingu ya kwanza, na ananyoosha mikono Yake miwili na anasema…”
Halafu anaendelea kunukuu Ayah zifuatazo kwa ithibati ya madai yake:

JE! NI KWELI KWAMBA TORATI YA MUSA IMEHARIBIWA?


👆 Kwa yule anaependa KUJIFUNZA basi atatumia muda mzuri kufuatilia SOMO hili, japo siyo fupi wala siyo refu!
Waislamu wamekuwa wakiamini kwamba, Torati ya Musa, imeharibiwa, imefanywa kuwa ni UONGO, wakiamini kabisa kuwa kwa sasa haipo, iliyopo siyo yenyewe japo ukijaribu kuwaomba wakuonyeshe Orijino yake, hawathubutu kukuonyesha, SWALI LA KUJIULIZA! "utakijuaje kitu hiki ni feki ikiwa Orijino yake huijui"? andiko ambalo linawafanya WAJAWE na UPOFU juu ya torati, ni hili hapa. 👇👇
Yeremia 8:7 Naam, koikoi angani ajua nyakati zake zilizoamriwa; na hua na mbayuwayu na korongo huangalia wakati wa kuja kwao; bali watu wangu hawazijui amri za BWANA.
8 Mwasemaje, Sisi tuna akili, na torati ya BWANA tunayo pamoja nasi? Lakini, tazama, kalamu yenye uongo ya waandishi imeifanya kuwa uongo.
👆 hiyo aya ya 8 ndiyo muhimili wao mkubwa kusema kwamba TORATI imekuwa uongo, imeharibiwa, na kwa sababu watu wengi ni WAVIVU wa kusoma vema maandiko, basi hata Mkristo anakuwa radhi kumwacha Yesu, kwa kudhani kuwa, ni kweli Torati haipo, MAANDIKO yanasema! imeharibiwa, imefanywa kuwa UONGO.
2 Petro 3:16 vile vile kama katika nyaraka zake zote pia, akitoa humo habari za mambo hayo; katika nyaraka hizo yamo mambo ambayo ni vigumu kuelewa nayo; na mambo hayo watu wasio na elimu, wasio imara, huyapotoa, kama vile wayapotoavyo na maandiko mengine, kwa uvunjifu wao wenyewe.
👆 Maandiko yalishasema, kwamba, kuna watu ambao kazi kubwa! ni kuyapotosha maandiko kwa sababu ni VIGUMU kuyelewa!
nikija katika habari hiyo ya YEREMIA 8:8 mungu aliposema Kalamu! hakuwa na maana ya Penseli, au Bic, kwamba, imetumika kuifanya Torati kuwa, UONGO! Bali alikusudua Mwenendo wa watu ambao wamepewa JUKUMU la kuisimamia TORATI, na kuwafunza watu, wanaenenda ndivyo SIVYO, kile ambacho wanawafundisha watu sicho ambacho wao wenyewe wanakiishi, ndiyo maana Mungu akaanza kwa kusema!
Yeremia 8:7 Naam, koikoi angani ajua nyakati zake zilizoamriwa; na hua na mbayuwayu na korongo huangalia wakati wa kuja kwao; bali watu wangu hawazijui amri za BWANA.
👆👆 Mungu anawashangaa watu wake kwamba wanazidiwa na ndege, ambao hutambua kile ambacho kinawahusu, lakini wao hawazijui Sheria za BWANA, yaani hawajishughulishi na kusoma wenyewe Torati ya MUNGU, kitendo cha wao kutozijua Sheria za BWANA, wanakuwa wanajidanganya kwamba wanazo akili, na Torati ya BWANA wanayo mikononi MWAO, huku Kalamu yenye UONGO inaifanya hiyo Torati ya ambayo wao wanayo ionekane kuwa ya Uongo pindi ambapo wanawaeleza watu! Unaweza KUJIULIZA, hao Waandishi wanaifanyaje kuwa UONGO! Yesu akaja kufafanua Zaidi na kutilia Mkazo kuwa, Torati ni sahihi ila Walio na JUKUMU la kuifundisha TORATI ndiyo ambao wanaifanya kuwa UONGO. YESU alisema! 👇👇
Mathayo 23:1 Kisha Yesu akawaambia makutano na wanafunzi wake, akasema,

UTATA NDANI YA KORAN JE, INJIL ILIKUWEPO WAKATI WA MUSA


Ndugu zanguni,
Leo nitazungumzia makosa na utata ndani ya Koran. Katika somo letu la leo, mtaona utata na makosa kutoka kwa Allah, alipo kuwa anamjibu Musa maombi yake. Allah anamjibu Musa na kumweleza kuwa eti Nabii asiye fahamu kusoma na kuandika yupo ndani ya Injili, huku ikifaamika kuwa Injili ilikuwa bado haikushushwa. Sasa Musa alijuaje Injil na huku ilikuwa bado haijateremshwa na Allah, kama ambavyo Quran inasema? Injili iliteremshwa miaka 1653 baada ya kuzaliwa Musa. Musa alizaliwa 1593 B.C na kufariki akiwa na miaka 120. Hivyo basi Musa alikufa 1473 B.C Soma Kumbukumbu ya Torati 34:5-7.
Aya nyingi katika Qur'ani zipo wazi kwamba Injil ilitolewa kwa Yesu ambaye alizaliwa miaka mia kadhaa [1473] baada ya Musa.
Lakini cha kushangza, eti Musa aliye ishi miaka 1473 kabla ya YESU kuzaliwa na yeye anajibiwa na Allah kuhusu Injili ya Yesu kama vile yeye Musa alizaliwa baada ya Yesu. Soma majibu ya Allah kwa Musa hapa chini.
Quran 7: 155. Na Musa akawateuwa watu sabiini katika kaumu yake kwa miadi yetu. Na ulipo fika mtetemeko mkubwa alisema: Ewe Mola wangu Mlezi! Ungeli taka ungeli wahiliki wao na mimi zamani! Unatuhiliki kwa waliyo yafanya wajinga katika sisi? Haya si chochote ila ni mtihani wako, umpoteze umtakaye na umhidi umtakaye. Wewe ndiye Rafiki Mlinzi wetu. Basi tughufirie na uturehemu. Na Wewe ndiye mbora wa kughufiria. ***
156. Na utuandikie mema katika dunia hii na katika Akhera. Sisi tumerejea kwako. (Mwenyezi Mungu) akasema: Adhabu yangu nitamsibu nayo nimtakaye. Na rehema yangu imeenea kila kitu. Lakini nitawaandikia khasa wanao mchamngu, na wanao toa Zaka, na wale ambao wanaziamini Ishara zetu, ***
157. Ambao kwamba wanamfuata huyo Mtume, Nabii, asiye soma wala kuandika, wanaye mkuta kaandikwa kwao katika Taurati na Injili, anaye waamrisha mema na anawakanya maovu, na anawahalalishia vizuri, na ana waharimishia viovu, na anawaondolea mizigo yao na minyororo iliyo kuwa juu yao. Basi wale walio muamini yeye, na wakamhishimu, na wakamsaidia, na wakaifuata nuru iliyo teremshwa pamoja naye - hao ndio wenye kufanikiwa. ***
Koran imejaa mashaka kila sehemu. Leo tunaona Allah anamjimu Musa kuhusu Injili ambayo ilishushwa miaka 1653 baada ya kifo cha Musa. Hivi huyu Allah alipitiwa na kuanza kuzumguzia Isa Bin Maryama kwa Musa au ni kufichuka kwa siri kwamba Quran si kitabu cha Mungu? Au labda Isa Bin Maryam alikuwa teyari anaishi sehemu fulani "pre existence"
Kama kweli Allah ni Mungu, kwanini afanye makosa makubwa namna hii?
Mungu awabariki sana,
Katika Huduma Yake,
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo
For Max Shimba Ministries Org
Copyright © Max Shimba Ministries 2013

KWANINI ALLAH HAWEZI KUWA NA MWANA BILA YA MKE?

Ndugu msomaji,
Leo nitawaeleza kwa kutumia aya kwanini Allah wa Waislam hana uwezo wa kuwa na Mwana bila ya kufanya tendo la ndoa, nikimaanisha kuwa na mke.
Hebu kwanza tuanze kusoma aya yake kutoka Surat AL An A'am iliyo teremk Makka:
Surat Al An A'am ayat 101. Yeye ndiye Muumbaji wa mbingu na ardhi bila ya ruwaza. Itakuwaje awe na mwana naye hakuwa na mke? Naye ndiye aliye umba kila kitu. Naye ni Mwenye kujua kila kitu.
Allah anaye dai kuumba kila kitu na kudai kuwa ni mjuzi wa kila kitu anatutaarifu katika Surat Al An A'am kuwa hawezi kuwa na mwana bila ya kufanya tendo la ndao kwa Mkewe Allat. Huu ni msiba mkubwa sana, maana iweje Mungu mwenye uwezo wa kufanya atakalo sasa anashindwa kuwa na mwana mpaka afanye tendo la ndoa?
Kama kweli Allah aliumba kila kitu, mbona Miti inaweza kuongezeka bila ya tendo la ndoa? http://www.ncbi.nlm.nih.gov/books/NBK9980/
Mbona Seli zako zinazaana au ongezeka bila ya kuwa na Seli Jike na Seli Dume. Wote tunafahamu hii "Mitosis" na stages zake Nne ambazo ni "Prophase" "Metaphase" "Anaphase" na "Telophase". Sasa Allah yeye anadai ndie aliye umba Seli za zetu tena zinazaliana bila ya kuwa an Seli Dume na Seli Jike, lakini cha kushangaza, Allah yeye hawezi kuwa na Mwana bila ya Mke, je, tunawezaje muamini huyu Allah mwenye udhaifu namna hii? https://ghr.nlm.nih.gov/primer/howgeneswork/cellsdivide
Sasa, tumsome Maryamu, je aliweza kuwa na Mwana bila ya kuwa na Mume?
Maajabu ya dunia, Maryamu anauwezo wa kuwa na Mwana bila ya Mume, lakini Allah hana uwezo wa kuwa na Mwana bila ya Mke. Hakika haya ni maajabu makubwa sana, ingawa Allah atadai eti alimpa yeye huo uwezo.
Kama ni kweli, je , kwanini Allah alishindwa kujipa huo uwezo yeye mwenyewe na aweze kuwa na Mwana bila ya tendo la ndoa?

TRENDING NOW