Wednesday, October 5, 2016

WAHUKUMIWA KUCHARAZWA VIBOKO 80 KWA KUTUMIA MVINYO KATIKA MEZA YA BWANA


Sasa nayafurahia mateso niliyo nayo kwa ajili yenu, tena nayatimiliza katika mwili wangu yale yaliyopungua ya mateso ya Kristo, kwa ajili ya mwili wake, yaani, kanisa lake….(Wakolosai 1:24)

Na Joseph DeCaro, Tehran, Iran



Mwezi huu mahakama ya Iran mjini Rasht, imewahukumu Wakristo wanne kuchapwa viboko 80 kila mmoja.

“Kosa”  lao ni kukutwa wakitumia mvinyo kukomunika, kitendo ambacho huashiria kumwagika kwa damu ya Yesu msalabani aliposulubiwa.


Lakini  waendesha mashtaka wa Iran wamewatuhumhao Behzad Taalipasand, Mehdi Omidi, Mehdi Dadkhah na Amir Hatemi kuwa waliwakuta wakinywa pombe; Wakristo hao walipatikana na hatia hiyo Jumapili na sasa wana siku kumi tu za kukata rufaa dhidi ya hukumu hiyo, kwa mujibu wa Christian Solidarity Worldwide (CSW), ambayo ni taasisi ya Kikristo ya utetezi wa uhuru wa kuabudu.

"Hukumu iliyotolewa kwa waumini hao wa dini ya Kikristo inaingilia uhuru wao wa kuabudu. Inaingilia uhuru wa kutekeleza matakwa ya imani yao,” alisema Mervyn Thomas, Mtendaji Mkuu wa CSW.

Kwa mujibu wa ripoti ya Umoja wa Mataifa ya Oktoba, mwaka huu vitendo vya kuteswa Wakristo, hasa Waislamu wanaobadili dini na kuwa Wakristo, vinazidi kuongezeka.

"Mamlaka za serikali zimeendelea kuyanyanyasa makanisa hata ambayo yamesajiliwa. Makanisa mengi yamelazimishwa kufungwa…zaidi ya Wakristo 300 wamekamatwa tangu mwaka 2010 na viongozi mbalimbali wa makanisa na waumini wakereketwa wamekamatwa wakihusishwa na kufanya huduma kama vile kufanya maombi na kuhudhuria semina za kiroho nje ya nchi.”

WAISLAMU WAANZISHA DUKA LA KUFUNDISHA KUJAMIIANA KIISLAMU "HALAL SEX"

Na Katherine Weber

WAKATI hapa nchini Waislamu wakianzisha mkakati wa kuhakikisha vyakula na baadhi ya vipodozi vinaandaliwa kwa kufuata miongozo ya imani ya Kiislamu kwa kuanzisha taasisi ijulikanayo kama ‘Halal’, mfanyabiashara wa Uturuki ameanzisha duka la ngono, kupitia mtandaoni,  ambalo pia litafuata utaratibu wa ‘Halal’


Wasichana wa Kiislamu waliovalia hijab wakipita mbele ya duka la kufundisha kujamiiana lililoko katika mji wa Berlin, nchini Ujeruman.


Pamoja na kuuza bidhaa nyingine, duka hilo pia litatumika kutoa ushauri kwa Waislamu, wa jinsi ya ‘kujamiiana kwa kufuata halal’, au kujamiiana kwa kufuata sheria za Kiislamu, yaani Sharia.


Mjasiriamali huyo Haluk Murat Demirel, 38 ameanzisha kinachoitwa “Halal Sex Shop” baada ya rafiki zake kumwambia kuwa wamekuwa wakihangaika kutafuta ushauri kuhusiana na kujamiiana kwa kufuata utaratibu wa Kiislamu lakini hawapati.

WANAWAKE WAKUSANYIKA ARUSHA KUKEMEA MAJINI MAHABA

Na Agness Mayagila, Arusha

Maelfu ya wanawake na mabinti kutoka mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, na maeneo  jirani wamemiminika katika uwanja wa sheikh Amri Abeid mjini Arusha ili kujumuika kwa pamoja kumkataa jini mahaba ambaye wamedai amewatesa wanawake wengi na hivyo kuleta shida katika ndoa zao.
 


Aidha wanawake wengi walimiminika na kujaza uwanja huo mpaka nje  kuonesha namna ambavyo wamechoka na mateso ya mwovu shetani ambapo walipata fursa ya kumwabudu Mungu na kuingia katika maombi ya mzigo ili kumpinga jini anayewatesa

Akifundisha  katika kusanyiko hilo la aina yake Jumamosi iliyopita, Mtumishi wa Mungu Jovin Msuya alisema  kuwa, maneno mengi,kelele na kutotimiza wajibu kwa wanawake  ni chanzo kikubwa cha wanawake wengi kuteswa na jini mahaba jambo ambalo limeleta uharibifu mkubwa katika ndoa za walio wengi na wengine kushindwa kuhimili na kuacha ndoa zao.

Jovin ambaye ni Meneja wa kituo cha redio ya Kikristo cha Safina FM kilichoandaa kusanyiko hilo, alisema kwamba wanawake wengi hawatimizi wajibu wao kwa waume zao na hivyo kutoa mianya ya adui kupenyeza tabia zake katikati yao na hivyo kusababisha faraka na magomvi katika ndoa zao

Alisema kwamba wakati umefika kwa wanawake kuamua kwa dhati kutimiza wajibu wao ndani ya ndoa zao ili kuziba nafasi ambazo adui anaweza  kuzitumia kuzipiga ndoa zao ambapo alibainisha kwamba wanawake wengi hawafanyi wajibuwao ipasavyo na ndio mwanya wa adui shetani


Akinukuu katika maandiko matakatifu kutoka Mithali  7:

11, alisema kuwa wanawake wana maneno mengi ambayo shetani    anayatumia kuyateka maisha yao na kuongeza kwamba wanawake wanabudi kulitambua hilo na kulizingatia ili Mungu aziponye ndoa zao

Mtumishi  Jovin alisema kwamba jini mahaba anapomwingia mtu ni lazima aisome tabia ya wanandoa na kujua yale wanayoyapenda ili awafanyewasiyafanye na kujifanya mshirika (mwili mmoja) kwa kusudi la kuwapata wanandoa kwa urahisi

Katika hatua nyingine aliwataka wanawake kufanya bidii kumwomba mungu ili kurejesha mioyo ya waume zao kwao ikiwa ni pamoja na kuziba mianya ya adui katika ndoa zao

'Wanawake ni lazima mzibe nafasi ambazo adui anazitumia kuwaingia,timizeni wajibu wenu kwa waume zenu,mnasema uchawi unatumika kuwakamata waume zenu someni neno mjua kuishi na waume zenu'alisema jovin


Aliongeza kwamba wanaume hawapendi maneno mengi na kelele za wanawake  ambazo alizitaja kuwa zinawafanya wanaume wengi kuchelewa kurudi majumbani na kuwaasa wanawake kujichunguza upya na kumwomba Mungu awasaidie

Alisema hakuna uchawi wa kumkamata mwanaue bali ni kutimiza yote ayatakayo,kwa wao kuwa wasafi waowenyewe,mazingira,mapishi bora na engine yaliyo wajibu wao na kwamba wataona mabadiriko kwa waume zao

Aidha, kongamano hilo liliongozwa na kichwa kisemacho “Ukweli kuhusu vita ya mwanamke” ambapo lilipambwa na waimbaji mbalimbali wa kike  wa nyimbo za injili.

ALLAH SIO YEHOVA "YAHUH" ( يهوه ) MWENYEZI MUNGU (SEHEMU YA TISA)



JE, MJI ALIOUCHAGUA ALLAH NI KAMA NA ALIOUCHAGUA MUNGU WETU WAKRISTO?
Je, Mji wa Allah unaitwaje?
Quran 27 au surat An-Naml 91 (sisimizi/mchwa/wadudu chungu)
Bila shaka nimeamrishwa nimuabudu mola wa mji huu (wa Makka) ambaye ameutukuza na ni vyake tu (Mwenyezi Mungu) vitu vyote…
Quran 3 au Surat Aal-Imran 96 (watu wa Imram)
Kwa yakini nyumba ya kwanza iliyowekwa kwa ajili ya watu (kufanya ibada) ni ile iliyo Makka yenye baraka na uwongozi kwa ajili ya walimwengu wote.
Quran 106 au Surat Quraysh 3-4 (Makureshi-kabila)
Basi nawamuabudu Bwana wa nyumba hii (Al-ka'ba) Ambaye anawalisha (wakati Waarabu wenzi wao wamo) katika njaa na anawapa amani wakati wenzi wao wamo katika khofu. Hivyo tunaona kuwa Allah ndiye bwana wa Al-ka'ba kadiri ya aya hii na Al-ka'ba iko katika Makka. Kupitia aya hizi tunaona Allah mungu anayeabudiwa na Waislamu amechagua mji wa Makka kuwa ndio mji wake mtakatifu na tena Muhammad (s.a.w) aliamrishwa amuabudu mola wa mji huo wa Makka ambaye ndiye Allah.
Je, Mungu wetu aitwae Yehova alichagua mji gani? Endelea..
Mji aliouchagua Mungu wetu Yehova ni huu..
2 Nyakati 6:4-6,
Akasema, BWANA, Mungu wa Israeli, ahimidiwe, aliyenena kwa kinywa chake na baba yangu Daudi, akalitimiza kwa mikono yake, akasema, Tangu siku ile nilipowatoa watu wangu katika nchi ya Misri, sikuchagua mji wowote wa kabila zote za Israeli ili kujenga nyumba, jina langu liwe humo; wala sikumchagua mtu yeyote awe mkuu juu ya watu wangu Israeli, lakini nimeuchagua Yerusalemu, jina langu liwe humo, na Daudi nimemchagua awe juu ya watu wangu Israeli.
Maandiko hayaelezi mji mwingine wowote aliouchagua Mungu wetu hapa duniani bali ni mji wa Yerusalemu tu.
2 Nyakati 12:13, Ezra 6:12; 7:15,27; Zaburi 26:8; Zakaria 2:12
Kupitia aya hizi tunaona Mungu wetu Yehova, mji wake aliouchagua niYerusalemu. Neno Yerusalemu ni la lugha ya Kiebrania na maana yake ni "chimbuko la amani". Hata Waisraeli walipokuwa mbali na mji wa Yerusalemu bado walipiga magoti na kuelekeza nyuso zao Yerusalemu. (Tazama Danieli 6:10). Mji aliouchagua Yehova ni Yerusalemu, na mji aliouchagua Allah ni Makka. Na hii ndio tofauti ya mji wa Allah na Yehova.
Kumbe Yehova Mwenyezi Mungu sio Allah wa Waislamu.
Max Shimba Ministries Org.

YESU ATABIRI KUHUSU MTUME WA UONGO AMBAYE NI MUHAMMAD


Image result for Muhammad false prophet

Tahadhari ya Bwana Yesu: Bwana Yesu alipokuwa hapa duniani alituonya kuhusu kuwatambua manabii na mitume wa uongo kabla Muhammad hajazaliwa (amezaliwa 570 B.K), wala kabla Uislamu haujaanzishwa na Muhammad mwaka 610 B.K, wala kabla ya kuwepo kitabu kinachoitwa Qur’an. Tunayasoma maonyo hayo ya Bwana Yesu katika
Mathayo 7:15-16 “Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa mwitu wakali, mtawatambua kwa matunda yao”.
Mathayo 24:11-13 “Na manabii wengi wa uongo watatokea na kuwadanganya wengi na kwasababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapoa. Lakini mwenye kuvumilia mpaka mwisho, ndiye atakayeokoka”.
Yesu katika Ufunuo alisema kuwa watakuja Manabii na Mitume wa Uongo.
Ufunuo 2:2 Nayajua matendo yako na taabu yako, subira yako, na kuwa huwezi kuchukuliana na watu wabaya, tena umewajaribu wale wajiitao mitume nao sio, ukawaona kuwa waongo.
Je, Muhammad ni nabii wa Mungu?
Je, Muhammad anasifa za nabii wa Mungu?
Hebu endelea na somo hapa chini:
JINSI YA KUMFAHAMU NABII WA UONGO:
Kwa hivyo Muhammad ni miongoni mwa hao Mitume ambao ni waongo, ambao sisi kama Wakristo yatupasa kuutambua uwepo wao hapa Duniani, kwani tumeshapewa angalizo la kuwatambua hawa wanaojiita Mitume na Manabii, hali ya kuwa ni waongo
1 Yohana 4:1-3
1 Wapenzi msiamni kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu: kwa sababu manabii wengi wa uongo wametokea duniani. 2 Katika hili mwamjua Roho wa Mungu; KILA ROHO IKIRIYO KWAMBA YESU KRISTO AMEKUJA KATIKA MWILI, YATOKANA NA MUNGU, 3 Na Kila roho isiyomkiri Yesu, haitokani na Mungu. Na HII NDIO ROHO YA MPINGA KRISTO ambayo mliskia kwamba yaja; na sasa imekwisha kuwako duniani.
Vigezo hivi tulivyopewa na Biblia Takatifu kuwajua manabii na mitume wa uongo ni muhimu sana tukavichunguza katika maisha ya wale wanaoitwa nabii au mtume

JE, UNAFAHAMU KUWA MAHAKAMA YA KADHI HAIPO KWENYE QURAN?



Ndugu wasomaji.
Leo ningependa kusema kuwa, dai la Waislam wa Tanzania la Mahakama ya Kadhi halina msingi wala usaidizi wa Quran.
Kwa wanao ifahamu Quran, watakubaliana na mimi kuwa HAKUNA AYA HATA MOJA ambayo Allah alisema na au Waamrisha Waislam waende kwenye Mahakama ya Kadhi. Narudia tena hakuna aya.
SASA NDUGU WAISLAM:
1. Who appoints Chief Kadhi and Kadhis?
--Nani na au mnamteuaje Kadhi Mkuu na Kadhi? Leteni aya.
2. What are the qualification for appointment to the office of a Kadhi (including a Chief Kadhi)?
-- Je, mnatumia qualification/elimu zipi kuchagua/kufanya utezi wa Ofisi ya Kadhi na Kadhi mkuu/ Leteni aya.
3. Since the Kadhis are not trained lawyers who understand the Evidence Act and the Civil Procedure Act, how and/or what will they use to administer their Courts?
-- Inafahamika kuwa Kadhi sio Mawakili walio somea ambao wanaelewa ushahid wa keshi ambazo si za jinai na jinai, SASA hawa Kadhi watatumia nini katika kusimamia Mahakama ya Kadhi?
4. Muslims are mainly of two sects in Tanzania - the Sunni and Shia. Majority of the Muslims in Tanzania are Sunni Muslims but there is a significant population of Shia Muslims too and consideration ought to be given to the appointment of Kadhis of the Shia Sect to cater the interest of the Shia Muslims. Will they have two different Courts? For Sunni and Shia?
--- Waislam wapo katika makundi mawili makubwa, Sunni na Shia. Wengi wa Waislam wa Tanzania ni Sunni, ingawa kuna Shia wengi vile vile. JE, Hii Mahakama ya Kadhi itatumia Kadhi wa dhehebu lipi katia ya hayo mawili? Je, watakuwa na Mahakama mbili tofauti za Sunni na Shia?
5. How will Muslim Women be protected since: Muslim law regards women as less than men in matters of both marriage and divorce, as well as devolution of property: Holy Quran Surah 2:228-232, and Surah 65:1-7 (only a man may divorce his wife even if he is required to provide for her); a man may beat his wife, even if lightly, the evidence of two women, is equal to evidence of one man (Surah 2:282). The application of such beliefs of faith are contrary to the Constitution.
---Kivipi Wanawake wa Kiislamu watatetewa kwenye hizi mahakama? Inafahamika kuwa Sheria za Kiislam zinakiri kuwa Mwanamke ni nusu ya Mwanaume, au yupo chini sana ya Mwanaume. Je, katika kesi ya kutoa talaka na mirathi, hii mahakama itawezaje kumtetea Mwanamke ambaye yupo nusu ya Mwaume? Sura 2: 228-232 na Sura 65:1-7 ( zinasema mwenye haki ya kutoa talaka ni Mwaume tu) Mume anahaki ya kumpiga mkewe, Ushahidi wa wanawake wawili ni sawa na ushahid wa mwanaume mmoja, (Sura 2:282). Huu utamaduni wa Kiislam, ni kinyume na sheria za nchi.
Je, Mwanamke atatetewa vipi kwenye hizi Mahakama?
Islamic "Kadhi" courtsis illegal and discriminatory.
Kwanini mnamsaidia Allah kwa kuanzisha Mahakama ya Kadhi?
Waislam, nileteeni aya ambayo Allah anasema kuwa muende kwenye Mahakama ya Kadhi.
Mkiniletea aya kutoka Quran inayo waamrisha kwenda kwenye Mahakama za Kadhi, leo hii nitasilimu na kuwa Muislam.
Haya nasubiri ajibu ya aya na sio matusi.
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo
For Max Shimba Ministries Org.

MTUME MOHAMMAD AWALAANI WAAFRIKA WOTE, AWAFANANISHA NA MASHETANI



1. Awabagua na kuwafanya Watumwa
2. Awaita na kuwafananisha na Shetani
3. Asema Allah anachukia na hawapendi Waafrika Weusi
Hakuna maovu ambayo 'mtume' wa allah hakufanya. Mengi ya haya maovu yamefichwa na uongo kuhusu mazuri aliyoyatenda ndio yamejaa kwenye vitabu vyao vya imani! Ole wenu, asiyeitumia akili aliyempa Mola wake kutafuta ukweli na kubaki tu kudanganywa na propaganda za Waislamu.
Ishaq: 243 ''
Mtume wa Allah akasema: “Anayetaka kumwona Shetani yapaswa amtazame Nabtal.” Alikuwa mtu MWEUSI mwenye miraba minne aliyekuwa na nywele ndefu, macho makali na mashavu mekundu.
Sahih Muslim 5:2334
Nabii akasema, “Kiumbe chenye CHUKIZO miongoni mwa viumbe wa Allah ni mtu mmoja MWEUSI akiwemo Khwarij. Mojawapo ya vidole vyake ni kama chuchu za matiti ya mbuzi.”
Sahih Bukhari 1:11:664
Mtume akamwambia Abu-Dhar, “Msikilize na mtii mkuu, hata kama ni Mhabeshi aliye na kichwa kama zabibu.”
Ishaq: 450’’
Mtume akasema, “tuliwakusanya hapo, WATUMWA WEUSI, watu wasio na asili.”
Al-Tabari, Vol. 2, p. 11, p. 11
Mtume akaswali kwamba rangi ya maumbile ya MWAFRIKA ingebadilika ili kizazi chao kiwe watumwa wa Waarabu na Waturuki.
Ishaq: 374
Mtume wa Allah akasema, “Jeshi na WATUMWA WEUSI wa Makka wakalia na Waislamu wakasema, Allah awaangamize enyi walaghai waovu.”
Sahih Bukhari 9:87:161
Mtume akasema, “ndoto kuhusu WANAWAKE WEUSI ni ishara ya majanga.”
Ishaq:243
Mtume akasema, “Hapa yuaja kukaa nanyi MTU MWEUSI mwenye nyele ndefu, mashavu mekundu na macho mekundu kama vyungu viwili vya shaba. Moyo wake ni mkaidi kuliko wa punda.”
Ibn Musa al-Yahsubi, Qadi ‘Iyad, p.375
Ahmad ibn Abi Sulayman, mwendani wa Sahnun akasema, “yeyote atakayesema kuwa mtume alikuwa MTU MWEUSI yafaa auliwe.”
Kwa taarifa zenu enyi ndugu zangu Waislamu Waafrika, haya sio maneno yangu, maandishi na vitabu vya Kiislamu yamejaa tele kwenye mitandao ikiwemo Google kwa utafiti zaidi.
Inashangaza ni kwanini mtu kama huyu anafuatwa na watu zaidi ya 1.4 billioni duniani pamoja na kuhubiri na kufanya machukizo kama haya. Inashangaza ni kwanini kuna vipofu wengi wa macho na akili.
Kumbe ndio maana Waafrika weusi waliopo katika nchi za Kiarabu wangali wanaishi kama watumwa na Waarabu wakiwa mabwana wao! Watu weusi wanajulikana kama ABDI yaani WATUMWA, kwa kila nchi za Kiarabu.
Hivi wewe Mwafrika unafanya nini kwenye dini ya Kiislamu? Unaona jinsi ambavyo ALLAH NA MUHAMMAD WANAVYO WACHUKIA?
Hakika Muhammad hakuwa mtume wa Mungu na Uislam ni dini ya Waarabu yenye chuki kubwa kubwa kwa Waafrika.
Max Shimba Ministries Org.

YESU KRISTO HAJAWAHI KUWA MUISLAMU NA KAMWE HATOKUJA KUWA MUISLAMU (SEHEMU YA KWANZA)

Image result for JESUS NOT MUSLIM

Na Mtumishi Abel Suleiman Shiliwa.
Pengine unaweza kujiuliza ni kitu gani ambacho kimenipelekea niseme jambo hilo wakati Waislamu wanaamini hivyo? ni kwa sababu Wakristo wengi wamekuwa wakisilimishwa, kwa kuamimishwa kwamba, Yesu Kristo alikuwa muislamu! na vigezo ambavyo waislamu huvitumia kumnasibisha Yesu na Uislamu ni vingi, ila leo nitachambua viwili.
(1) Yesu kusema yeye ni mnyenyekevu.
(2) Yesu Kuingia kwenye Sinagogi
Hivyo ndo vigezo vikubwa kabisa ambavyo waislamu huvitumia, katika kumtangaza kwamba Yesu alikuwa muislamu yaani Kiarabu wanasema:- كان يسوع مسلم
(1) Nikianza na hoja yao ya kwanza, kwamba Yesu alikuwa Mnyenyekevu! nitanukuu andiko hilo walitumialo, nitaeleza hoja zao na majibu ya hoja, kwa mtu asiye mvivu wa kusoma, basi atapata kitu cha kujifuza kupitia somo hili:
Mathayo 11:29 Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu;
Hapo wanakuambia kwamba, Yesu amesema, mimi ni mnyenyekevu, hiyo ni lugha ya Kiswahili, ingekuwa ni Kiarabu angesema, "Ana'a Muslima" (انا مسلم) Kwani wanakuunganishia na moja wapo la andiko ndani ya Quran ambalo limetaja Kusilimu ni kunyenyekea.
Quran 2 Suratul Baqrah
ﺇِﺫْ ﻗَﺎﻝَ ﻟَﻪُ ﺭَﺑُّﻪُ
ﺃَﺳْﻠِﻢْ ﻗَﺎﻝَ ﺃَﺳْﻠَﻤْﺖُ ﻟِﺮَﺏِّ
ﺍﻟْﻌَﺎﻟَﻤِﻴﻦَ
131. (Kumbukeni) Mola
wake alipomwambia:
Nyenyekea! Akasema:
Nimenyenyekea kwa Mola wa
viumbe wote.
Hapo kwenye neno Nyenyekea, katika lugha ya kiarabu imesemwa, ﺃَﺳْﻠَﻤْﺖُ (Aslmatu) Kuonyesha kwamba Uislamu ni kunyenyekea, hivyo husemwa Yesu aliposema Mnyenyekevu, alisema Yesu ni muislamu, wakimaanisha kwamba, kila Mnyenyekevu ni muislamu, ukitaka kujua kwamba, ni wazugaji, walaghai na waongo wakubwa! Waulize kuhusu Mtu huyu.
2 Korintho 10:1 Basi, mimi Paulo mwenyewe nawasihi kwa upole na utaratibu wa Kristo; mimi niliye mnyenyekevu nikiwapo pamoja nanyi, bali nisipokuwapo ni mwenye ujasiri kwenu;
Waulizeni, "Ikiwa Mtu akiitwa Mnyenyekevu ni muislamu, Je! Paulo kusema yeye ni Mnyenyekevu, nae muislamu?" Utawasikia "Huyo ni kafiri mkubwa kabisa"

Monday, October 3, 2016

YESU ALIKUWA 100% MUNGU NA 100% MWANADAMU

Ndugu msomaji,
Tunaendelea kujifunza kuhusu Uungu wa Yesu. Quran, Allah, Muhammad na Jibril kwa mara nyingine tena wanakiri kuwa Yesu ni Mungu.
Hii ni sifa nyingine ya Mungu pekee na wala si ya mwanadamu.
Quran 40:2-3 Uteremsho wa Kitabu umetoka kwa Mwenyezi Mungu Mwenye nguvu, Mwenye kujua. Anaye SAMEHE DHAMBI na anaye pokea toba, Mkali wa kuadhibu, Mwenye ukarimu, hakuna mungu ila Yeye; marejeo ni kwake.
Je, Bwana Yesu alikuwa na sifa hii ya kusamehe dhambi?
Katika tukio moja ambalo Yesu alionesha mamlaka yake ya Uungu kwa kusamehe dhambi na wakuu wa dini walioina hiyo kama kufuru kwani mwenye uwezo wa kusamehe dhambi ni Mungu pekee kwa vile hata wao hawakufahamu mamlaka ya Yesu ni Mungu
Marko.2:5-11 Naye Yesu, alipoiona imani yao, akamwambia yule mwenye kupooza, Mwanangu, UMESAMEHEWA DHAMBI ZAKO.Na baadhi ya waandishi walikuwako huko, wameketi, wakifikiri mioyoni mwao, Mbona huyu anasema hivi? Anakufuru. Ni nani awezaye kusamehe dhambi isipokuwa mmoja, ndiye Mungu? Mara Yesu akafahamu rohoni mwake kwamba wanafikiri hivyo nafsini mwao, akawaambia, Mbona mnafikiri hivi mioyoni mwenu? Vyepesi ni vipi, kumwambia mwenye kupooza, Umesamehewa dhambi zako, au kusema, Ondoka, ujitwike godoro lako, uende? Lakini mpate kujua ya kwamba Mwana wa Adamu anayo amri duniani ya kusamehe dhambi, (hapo amwambia yule mwenye kupooza), Nakuambia, Ondoka, ujitwike godoro lako uende nyumbani kwako.
Hili ni mojawapo ya matendo ya Yesu ***kusamehe dhambi*** aliyotenda kuonesha Uungu wake na mamlaka yake.
Sura ya 4
Ubinadamu wa Yesu na sababu ya kuitwa Mwana wa Mungu toka mamlaka ya Uungu.
Ndugu mpendwa msomaji tutakubaliana kuwa hilo ni moja kati ya maswali nyeti yanayoulizwa na watu wengi wanao hoji na kutafiti mamlaka haswa ya Bwana Yesu.
“Ubinadamu wake”

ALLAH SIO YEHOVA "YAHUH" ( يهوه ) MWENYEZI MUNGU (SEHEMU YA NANE)



JE MALAIKA MKUU WA YEHOVA NDIO YULE YULE WA ALLAH?
Ikiwa Allah ndiye Yehova, basi ni wazi kuwa malaika mkuu atakuwa mmoja pia. Ikiwa si mmoja hata malaika mkuu watakuwa tofauti.
Tuanze kuangalia Allah anavyosimulia katika Qurani naye anasema hivi
Je, Malaika Mkuu wa Allah ni nani?
Quran 81 au surat At-Takwyr 19-21 (Kukunja/jua litakapokunjwa)
Kwa hakika hii (Qurani) ni kauli (aliyokuja nayo) mjumbe mtukufu (Jibrili) Mwenye nguvu, mwenye cheo cha hishima kwa mwenyenzi Mungu. Anayetiiwa huko (mbinguni na malaika wenziwe) kisha muaminifu.
Ufafanuzi wa aya hizi. ulio ndani ya Qurani unaelezea aya hizi 19-21, unafundisha hivi…….
Mjumbe mtukufu na mwenye kutiiwa huko mbinguni ni Jibrili, ambaye ndiye mkubwa wa malaika wote.
Katika Surat At Takwyr tumejifunza kuwa Malaika Mkuu wa Allah ni Jibril.
Je, Malaika Mkuu wa Yehova ni nani?
Malaika mkuu wa Mungu Yehova ni huyu;
Yuda 1:9, Lakini MIKAELI Malaika mkuu, aliposhindana na Ibilisi na kuhojiana naye kwa ajili ya mwili wa Musa, hakuthumbutu kumshitaki kwa kumlaumu bali alisema Bwana na akukemee
Hapa tunaona aya zinatufundisha waziwazi kuwa malaika mkubwa wa Allah anaitwa Jibril na Malaika mkuu wa Menyezi Mungu wetu Yehova anaitwa Mikaeli.
Swali; Kwa kuwa Malaika hao ni tofauti, je, Allah ndiye Yehova? Kwa kujua zaidi tofauti ya malaika, jipatie nakala ya somo la: Malaika Jibrili na Gabrieli, je ni Malaika mmoja. Somo hilo tunalo, jipatiehttp://www.maxshimbaministries.org/…/malaika-gabriel-wa-bib… .
Mwanzo1:26-27
Mungu akasema “Na tufanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu, wakatawale samaki wa baharini, ndege wa angani na wanyama, na nchi yote, pia na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi. Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba mwanamume na mwanamke aliwaumba. Hapa tunaona Mungu wetu Yehova ameumba mtu kwa mfano wake, lakini Allah anasema hana anayefanana naye hata mmoja……
Swali kwako mfuatiliaji:
Je, Allah ndiye Yehova?
Tafadhali usome aya hizi ili kujua zaidi (Mwanzo 5:1-2, 9:6, 1Korintho 11:7, Kolosai 1:15, 3:10, Matendo 17:28-29,Yakobo 3:9). Pengine waweza kusema Je, Mungu amefanana na mimi kivipi? Jua kwamba Mungu ni Roho (Yohana 4:24) Naye alitupa pumzi (yaani roho ya uhai (Mwanzo 2:7) isitoshe Mungu ndiye Baba wa roho zetu (Waebrania 12:9) Mungu anasema Roho zetu ni mali yake (Ezekieli 18:4, Hesabu 16:22)
Nawakaribisha Waislamu wote kwa Mungu wa Kweli anaye itwa YEHOVA.
Mungu awabariki sana.
Ni mimi Max Shimba, mtumwa wa Yesu Kristo,
For Max Shimba Ministries Org,
MAX SHIMBA MINISTRIES ORG ©2016. ALL RIGHTS RESERVED
Everyone is permitted to copy and distribute verbatim copies of this license document, but changing it is not allowed.

Ancient Jewish Wedding Ceremony: “No man knows the day or hour, only the Father”

  The Ancient Jewish Marriage Rite: A Detailed Exposition of Betrothal, Preparation, and Consummation Dr. Maxwell Shimba Shimba Theological ...

TRENDING NOW