UTHIBITISHO WA KIHISTORIA NA IMANI UNATHIBITISHA KUWA MUHAMMAD HANA UNDUGU NA ISHMAEL ZAIDI YA KUMPAPATIKIA TU.
ALLAH HAKUWAI ONGEA NA ISHMAEL HATA MARA MOJA
WAISLAMU WAMEKUWA WAKIMTETEA ISHMAEL KWA KUTUMIA BIBLIA!
HAKUNA AYA ALLAH ANASEMA KUWA ISHMAEL NI MUISLAM.
KUMBE UISLAM NI DINI YA KUTUNGA TUNGA TU.
Ndugu msomaji,
Waislam wamekuwa na tabia ya kumng'angania Ishmael na kudai eti ni ndugu ya Muhammad wa Waislam. Lakini tukisoma vitabu vya Mungu na historia, hakuna hata sehemu moja tunasoma kuwa Ishmael ambaye Mama yake alikuwa Mwafrika alikuwa na undugu na Muhammad wa Waislam.
Hebu tusome ushahid huu hapa:
Mwanzo 21: 14 Ibrahimu akaamka asubuhi na mapema akatwaa mkate na kiriba cha maji, akampa Hajiri akimtwika begani pake, na kijana, akamruhusu; naye akatoka, akapotea katika jangwa la Beer-sheba.
15 Yale maji yakaisha katika kiriba, akamlaza kijana chini ya kijiti kimoja.
16 Akaenda akakaa akimkabili, mbali naye kadiri ya mtupo wa mshale; maana alisema, Nisimwone kijana akifa; naye akakaa akimkabili, akapaza sauti yake, akalia.
17 Mungu akasikia sauti ya kijana. Malaika wa Mungu akamwita Hajiri kutoka mbinguni, akamwambia, Una nini, Hajiri? Usiogope, maana Mungu amesikia sauti ya kijana huko aliko.
18 Ondoka, ukamwinue kijana, ukamshike mkononi mwako, kwa kuwa nitamfanya kuwa taifa kubwa.
19 Mungu akamfumbua macho, naye akaona kisima cha maji; akaenda akakijaza kiriba maji, akamnywesha kijana.
20 Mungu akawa pamoja na huyo kijana, naye akakua, akakaa katika jangwa, akawa mpiga upinde.
21 Akakaa katika jangwa la Parani; mama yake akamtwalia mke katika nchi ya Misri.

KATIKA AYA YA 21 KITABU CHA MWANZO SURA YA 21, tunajifunza kuwa MKE WA ISHMAELI ALITOKA AFRIKA NA HAKUWA MWARABU.
Ndugu zanguni, UISLAM NI DINI YA KUTUNGWA TUNGWA TU. Haina mbele wala nyuma zaidi ya kuupapatikia Ukristo na Uyahudi.
UISLAM HAUFUNDISHIKI BILA YA UKRISTO. ALLAH HAWEZI KUWEPO BILA YA YEHOVA. MUHAMMAD HAWEZI KUJIITA MTUME BILA YA KUWEPO KWA MUNGU YESU.
ISHMAEL WA WAISLAM HAWEZI KUFUNDISHIKA BILA YA WAISLAM KUIBIA NA KUTUMIA BIBLIA ILIYO KAMILIKA NA KUKOSA SHAKA NDANI YAKE.
ZAIDI YA HAPO, hakuna ushahidi wa kuthibitishika kuwa Ishmael alimuoa Jurhumite, Biblia takatifu imetuthibitishia kuwa Ishmael alimuoa Mwanamke kutoka Misri, Afrika.
SOMA USHAHIDI MWINGINE HAPA:
Mwanzo 25: 12 Hivi ndivyo vizazi vya Ishmaeli, mwana wa Ibrahimu, ambaye Hajiri, Mmisri, mjakazi wa Sara, alimzalia Ibrahimu.
13 Na haya ndiyo majina ya wana wa Ishmaeli, kwa majina yao, na kwa vizazi vyao. Mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, ni Nebayothi, na Kedari, na Abdeeli, na Mibsamu,
14 na Mishma, na Duma, na Masa,
15 na Hadadi, na Tema, na Yeturi, na Nafishi, na Kedema.
16 Hao ndio wana wa Ishmaeli, na hayo ni majina yao, katika miji yao, na katika vituo vyao, maseyidi kumi na wawili kwa kufuata jamaa zao.
17 Na hii ndiyo miaka ya maisha ya Ishmaeli, miaka mia na thelathini na saba. Akakata roho, akafa, akakusanyika kwa watu wake.
18 Wakakaa toka Havila mpaka Shuri, unaoelekea Misri, kwa njia ya kwenda Ashuru. Akakaa katikati ya ndugu zake wote.

Tumesoma kuwa watoto wa Ishmael waliishi mpakani mwa Misri na sio kwenye nchi za Uarabuni au Saudi Arabia.
Sasa kwanini Waislam wanampapatikia Ishmaeli?