1. Quran imegezea Biblia kwa asilimia kubwa.
2. Allah hakuteremsha Wahyi kwa Muhammad.
3. Mtume Paulo ni akbar
Huu ni msiba Mkubwa sana.
Ila Biblia ni kitabu cha vitabu ambacho hakija copy wala hakitoi rejea ya vitabu, bali inajisimamia yenyewe.
Quran
Imebeba taarifa zilizo katika Biblia. Mfano
Habari za Yusufu ambaye Biblia inamwongelea miaka 3500 iliyopita. Ktk quran ipo sura yake nzima(sulatul Yusufu)
Habari za familia ya Imran baba yao Musa, Haruni na Miriam, ambayo biblia inawaongelea miaka 3000 iliyopita. Ktk quran ipo sura yake nzima(sulatul imran)
Habari za Yona mwana wa Mittai(Yunus bin Matta), ktk quran ipo sura yake nzima.
Ibrahimu baba wa imani, ambaye biblia inamwongelea miaka zaidi ya 3500 iliyopita. Ktk quran ipo sura inayoitwa sulatul Ibrahimu.
Bikira Maria, mama yake Yesu, ktk quran ipo sura yake inayoitwa sulatul Maryam
Habari za Elisha, Eliya, Daudi, Seleman, Haruni, Musa, Isaac, Yakobo, Ishamael, Enock, Lutu, Nimrod, Yethro, Zakaria, Yohana mbatizaji na Bwana Yesu Kristo.
Wote hao visa vyao vinapatikana katika Quran ingawa havina habari za kina juu yao km ilivyo ktk Biblia.
Waislam wanasema na kudai kuwa habari hizo muhamad alipewa wahyi(ufunuo) ila quran inabainisha kuwa alisimuliwa, maana huwezi pewa ufunuo kwa hbr zilizo bayana.
Quran inasema hivi....
Quran 4:164 Tuliwapelekea wahyi mitume tuliokuhadithia hbr zao zamani na mitume ambao hatukukuhadithia hbr zao na mwenyezi Mungu alimsemeza Musa.