Tuesday, March 14, 2017

MUNGU ALILINUNUA KANISA KWA DAMU YAKE MWENYEWE

Image may contain: text
''Matendo 20:28 inatuambia, “…Muwe wachungaji wa Kanisa la Mungu, alilolinunua kwa damu yake mwenyewe,”
Ni nani aliyelinunua kanisa kwa damu yake mwenyewe?
Yesu Kristo. Matendo 20:28 inasema ya kwamba Mungu alilinunua Kanisa kwa damu yake mwenyewe. Kwa hivyo Yesu ni Mungu!
Yohana 1:1 inasema “Neno alikuwa Mungu”. Yohana 1:14 inasema “Neno akafanyika mwili.” Hii inaonyesha wazi ya kwamba Yesu ni Mungu katika mwili.
Kumbe basi KANISA NI LA MUNGU .
Shalom
Max Shimba Mtuwa wa Yesu Kristo.

No comments:

THE LIE OF THE ISLAMIC RELIGION

  THE LIE OF THE ISLAMIC RELIGION We believe that when you carefully follow this topic, you will obey the word of the true God, live it, and...

TRENDING NOW