Wednesday, June 7, 2017

WARUHUSU MALAIKA WA VITA

Image may contain: text
Katika jina lenye nguvu la Bwana wetu Yesu Kristo wa Nazarethi. Ninaruhusu Malaika wa vita kutoka Ufalme wa Mungu ninawaamuru enyi wote kukaa kwenye nafasi zenu dhidi ya shetani na mapepo yote, sambaeni kila mahali sasa, mjieneze katika Anga, Nchi na Bahari, muangamize nguvu zote za giza katika Anga, Nchi na Bahari, muangamize nguvu za giza katika anga za nchi kavu na baharini mpige shetani bila kukoma, haribuni mipango yote waliyoifanya dhidi yangu. Ninawamuru enyi malaika na Bwana mnizunguke kama wigo sasa. Mnizunguke mimi katika jina la Yesu Kristo-Amen.
Mathayo 26: 53 “Ama wadhani ya kuwa mimi siwezi kumsihi Baba yangu, naye ataniletea sasa hivi zaidi ya majeshi kumi na mawili ya malaika?”
Luka2: 13 “Mara walikuwapo pamoja na huyo malaika, wingi wa jeshi la mbinguni, wakimsifu Mungu, na kusema,”
Mwanzo 32: 1 “1 Yakobo akashika njia yake na malaika wa Mungu wakakutana naye.Naye Yakobo alipowaona, alisema, Hili ni jeshi la Mungu. Akapaita mahali pale, Mahanaimu. Basi, Yakobo akapeleka wajumbe mbele yake kwenda kwa Esau nduguye mpaka nchi ya Seiri katika nyika ya Edomu.”
Zaburi 148: 2 “Msifuni, enyi malaika wake wote; Msifuni, majeshi yake yote.”
Waebrania 12: 22 “Bali ninyi mmeufikilia mlima Sayuni, na mji wa Mungu aliye hai, Yerusalemu wa mbinguni, na majeshi ya malaika elfu nyingi,”
"Ndipo akaniambia, Usiogope, Danieli; kwa maana tangu siku ile ya kwanza ulipotia moyo wako ufahamu, na kujinyenyekeza mbele za Mungu wako, maneno yako yalisikiwa; nami nimekuja kwa ajili ya maneno yako. Lakini mkuu wa ufalme wa Uajemi alinipinga siku ishirini na moja; bali, tazama, huyo Mikaeli, mmoja wa hao wakuu wa mbele, akaja kunisaidia; nami nikamwacha huko pamoja na wafalme wa Uajemi. Sasa nimekuja kukufahamisha mambo yatakayowapata watu wako katika siku za mwisho; maana maono hayo ni ya siku nyingi bado." Daniel 10: 12
USICHOKE KUOMBA KILA SIKU.

FUNGA MAPEPO YOTE YANAYOZUIA MAOMBI YAKO KWA JINA LA YESU

Image may contain: text
Katika jina la Bwana wangu Yesu Kristo ninakemea, ninafunga na kuyaangamiza mapepo yote yanayozuia maombi Angani, katika nchi na Baharini. Pia naharibu kila pepo anayeninginia, kila pepo arukaye na wale walionyimwa chakula. Ninawatuma hadi kuzimu katika jina la Yesu. Ninaharibu vipingamizi vyenu vyote vya maombi yangu, ninawatupa katika giza la milele. Ninawafungia huko hata siku ya Bwana ya hukumu. Pia ninakemea, na kufunga na kuharibu mapepo yote yanayozuia ukombozi wangu, mafanikio yangu na miujiza. Ninaharibu kazi zenu dhidi ya maisha yangu, ninawatupa wote katika giza la milele na kamwe msiweze kuinuka tena hata siku ya hukumu ya Bwana. Ninawatumia moto wa Roho Mtakatifu kuwateketeza wote katika jina la Yesu Kristo, Amen!
UKUNGU WA KIPEPO
Ninatumia moto wa Roho Mtakatifu na Damu ya Yesu kuharibu ukungu wa kipepo unaofunika anga. Ninaharibu kila mfuniko ambao, umenifunika katika jina la Yesu Amen. Ninaharibu kila kifuniko, minyororo, mafundo na uchawi dhidi yangu. Ninauamuru moto wa Roho Mtakatifu kuviteketeza vyote na kuvifanya majivu kabisa. Ninauzimisha moshi wangu shetani dhidi ya maombi yangu. Ninatumia damu ya Yesu kuviharibu vyote, katika jina la Yesu, Amen.
Shetani, imeandikwa katika kitabu cha LUKA 1:13 kusema ''Hakuna lisilo wezekana kwa Mungu.
Shalom
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo.

JE, UNAMFAHAMU MALAIKA ANAYEWEZA KUFUNGUA MILANGO YAKO?

Image may contain: one or more people and text
Malaika wako na hekima (Mathayo 8:29; 2 Wakorintho 11:3; 1 Petero 1:12), inaonyesha hisia (Luka 2:13; Yakobo 2:19; Ufunuo 12:17), na kujaribu kufanya penzi lao (Luka 8:28-31; 2 Timotheo 2:26; Yuda 6). Malaika ni viumbe vya kiroho (Waebrania 1:14) bila na kuwa na mwili. Ingawa hawana mwili, bado wako na hali ya mwili.
Kutoka 23:20-22 "Tazama, mimi namtuma Malaika aende mbele yako, ili akulinde njiani na kukupeleka mpaka mahali pale nilipokutengezea. 21. Jitunzeni mbele yake, mwisikize sauti yake; wala msimtie kasirani; maana, hatawasamehe Makosa yenu; kwa kuwa jina langu limo ndani yake. 22. Lakini ukiisikiza sauti yake kweli, na kuyatenda yote ninenayo mimi; ndipo mimi nitakuwa ni adui wa adui zako, na mtesi wa hao wakutesao."
Matendo ya Mitume 5: 19 “lakini malaika wa Bwana akafungua milango ya gereza usiku, akawatoa, akasema,”
Malaika wanaleta majibu ya maombi (Matendo Ya Mitume 12:5-10).
Huyu Malaika ameenda mpaka gerezani akawatoa watu wa Mungu gerezani. Tunajifunza wakati wa kwenye maombi unaweza kumtuma malaika huyu aende akafungue milango ya biashara iliyofunga, ndoa illiyofunga, kazi, milango ya kupata kiwanja, milango ya kupata visa, milango ya promotion iliyofunga na akaenda kufungua milango uliokwama kwa damu ya Yesu. Watu wa duniani kwenye Ufalme wao huenda kwa waganga wa kienyeji lakini sisi Mungu wa Ufalme wetu anazo nguvu nyingi kuliko mungu wao na tunaweza kutenda mambo makubwa kuliko wao.
Unapowatumia malaika fahamu kwamba wana lugha zao ambazo ni Biblia(katiba) ambayo ni Neno la Mungu na kunena kwa lugha(lugha ya Ufalme), unapomtuma Malaika uwe unataja sheria inayomhusu kwenye Biblia na uombe.
Mfano Unatakiwa useme:-
“Baba Mungu katika jina la Yesu imeandikwa kwenye sheria ya Matendo ya mitume 5:19 sheria ya kumtuma malaika mwenye uwezo wa kufungua milango yeye aliyeifungua milango ya gereza la akina Paulo aende akafungue mlango ya magonjwa ulionishikilia, biashara yangu iliyofunga, milango ya safari iliyofunga ifunguke kwa jina la Yesu Amina.” Unaomba na kutaja maeneo uliyofungwa na Fahamu kuwa malaika huyu atatenda sawasawa na maneno yako.
Shalom
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo.

Tuesday, June 6, 2017

KUMBE QURAN IMEJAA SHAKA NA HAIPO WAZIWAZI

Image may contain: one or more people
Je, madai ya kuwa Quran imekalika na ipo waziwazi ni ya kweli?
Allah ateremsha aya na kudai kuwa, Quran haijakamilika na haipo waziwazi.
Allah asema kuwa aya zingine ndani ya Quran hakuna ajua maana yake isipokuwa Allah.
Ndugu wasomaji;
Leo tutaangalia utata ulio jaa ndani ya Quran ambayo wanadhuoni wengi hudai kuwa imenyooka, huku Allah akiwapinga na kuteremsha aya ambayo inasema kuwa Quran haijanyooka na haipo waziwazi.
Kwanza tuanze kwa kuangalia aya ambayo inasema kuwa Quran ipo wazi na aya zake zimepambanuliwa ni uongofu kwa walio ongoka.
Surat HUD (11:1). Alif Lam Ra. Hiki ni Kitabu ambacho Aya zake zimewekwa wazi, kisha zikapambanuliwa, kilicho toka kwa Mwenye Hikima na Mwenye Khabari
Surat Al Anaam (6:114). Je, nimtafute hakimu ghairi ya Mwenyezi Mungu, naye ndiye aliye kuteremshieni Kitabu kilicho elezwa waziwazi? Na hao tulio wapa Kitabu wanajua ya kwamba kimeteremshwa na Mola wako Mlezi kwa Haki. Basi usiwe katika wanao tia shaka.
Surat An nah’k (16:89). Na (waonye) siku tutakapo wainua mashahidi katika kila umma wakiwashuhudia kwa yanayo tokana na wao, na tutakuleta wewe uwe shahidi juu ya hao. Na tumekuteremshia Kitabu hiki kinacho bainisha kila kitu, na ni uwongofu, na rehema, na bishara kwa Waislamu Surah tulizo ziweka hapo juu, zinasema na kudai kuwa Quran imepambanuliwa na ni kitabu kilizo elezwa waziwazi. Ikimaanisha kuwa, unapoisoma Quran, hautapata maswali au kusoma utata katika aya zilizo teremshwa na Allah.
LAKINI HAYO MADAI, YANAPINGANA NA UTATA KATIKA AYA IFUATAYO INAYO DAI KUWA, NDANI YA KURAN KUNA AYA AMBAZO ALLAH PEKE YAKE NDIE ANAZO ZIFAHAMU
Hebu tuisome hiyo aya:
Surat Al Imra (3:7) Yeye ndiye aliye kuteremshia Kitabu hichi. Ndani yake zimo Aya muhkam, zenye maana wazi. Hizo ndizo msingi wa Kitabu hichi. Na ziko nyengine za mifano. Ama wale ambao nyoyoni mwao umo upotovu wanafuata zile za mifano kwa kutafuta fitna, na kutafuta maana yake; na wala hapana ajuaye maana yake ila Mwenyezi Mungu. Na wale wenye msingi madhubuti katika ilimu husema: Sisi tumeziamini, zote zimetoka kwa Mola wetu Mlezi. Lakini hawakumbuki hayo isipo kuwa wenye akili.
Ndugu zanguni, huu ni msiba mwingine katika Uislam, Allah katika Surat Al Imra iliyoteremka Madina anasema kuwa:
i. Ndani ya Quran kuna Aya mukham, zenye maana wazi,
ii. Zipo aya zenye mifano ambazo wanao zifuata hutafuta fitna na kutafuta maana yake,
iii. Zipo aya ambao hapana ajuaye maana yake ila Allah.
Ndugu zanguni, hii Surat 3 aya 7 inapingana na Surat HUD 11:1, Surat Al Anaam (6:114), na Surat An nah’k (16:89) zinazo dai kuwa aya za kuran zipo waziwazi na zimepambanuliwa.
Sasa, Waislam wafuate kipi?
Je, Waislam wanaamini kipi katika hii Quran inayo jipinga yenyewe na ambayo haipo waziwazi?
Mbona Allah anajipinga mwenyewe katika hizo aya hapo juu?
Au tatizo lilikuwa ni Muhammad ambaye alikuwa hajui kusoma wala kuandika na alishindwa kukariri maelekezo ya Jibril?
ZAIDI YA HAPO, kwanini Allah aliteremsha aya ambazo hakuna azijuaye ila yeye Allah?
Hizo aya zinamsaidia vipi Mwislamu?
Waislam wanapata faida gain wanapo zisoma hizo aya huku ikifahamika kuwa ajuaye maana zake ni Allah peke yake?
MWSIHO, ningependa kufahamu, hawa Waislam wanaelewaje kuwa aya walizo zisoma ndivyo walitakiwa walelewa huku ikifahamika Allah ameweka mtego kwa kusema kuwa, kuna aya ndani ya Quran ambazo ni Allah pekee anaye zifahamu.
Kumbe ndio maana Waislam wana pigana wenyewe kwa wenyewe kama ISIS, Sunni vs Shia, nakadhalika.
Kumbe ndio maana Quran inausaidizi wa Sahih Hadith na Suna za Muhammad.
Huu ni msiba mwingine katika dini ya Allah.
Kwanini Allah aliteremsha aya ambazo anazifahamu yeye mwenye?
Karibuni kwa Yesu aliye hai ambaye ametuletea Roho Mtakatifu kama Kiongozi wetu.
Yohana 16: 3 Lakini yeye atakapokuja, huyo Roho wa kweli, atawaongoza awatie kwenye kweli yote; kwa maana hatanena kwa shauri lake mwenyewe, lakini yote atakayoyasikia atayanena, na mambo yajayo atawapasha habari yake. 14 Yeye atanitukuza mimi, kwa kuwa atatwaa katika yaliyo yangu na kuwapasha habari. 15 Na yote aliyo nayo Baba ni yangu; kwa hiyo nalisema ya kwamba atatwaa katika yaliyo yangu, na kuwapasheni habari.
YOHANA 16: 26 Lakini huyo Msaidizi, huyo Roho Mtakatifu, ambaye Baba atampeleka kwa jina langu, atawafundisha yote, na kuwakumbusha yote niliyowaambia.
1 YOHANA 2: 27 Nanyi, mafuta yale mliyoyapata kwake yanakaa ndani yenu, wala hamna haja ya mtu kuwafundisha; lakini kama mafuta yake yanavyowafundisha habari za mambo yote, tena ni kweli wala si uongo, na kama yalivyowafundisha, kaeni ndani yake.
Ndugu wasomaji, Yesu amesha weka kwa uwazi kuwa, ukimfuate yeye, basi utapokwa kipawa cha Roho Mtakatifu na yeye huyo Roho Mtakatifu ataishi ndani yetu na atatufundisha yote.
Karibuni kwa Yesu.
Mungu awabariki sana
Max Shimba Ministries
@February 9, 2015

KORAN HAIKUTEREMSHWA KUTOKA KWA ALLAH

Image may contain: 1 person, text
Je, ungependa kuwafahamu waandishi wa Koran?
Katika somo letu la leo, tutajifunza kuhusu waandishi wa Koran. Je, ni kweli Koran ilishushwa? Je, kuna ushaidi wa kutosha wa kusaidia madai ya kuteremshwa kwa Koran?
Unaposema kuwa Allah ndie mwandishi wa Qur'ani, ni uongo mkubwa sana na wengi wameukubali huu uongo na udanganyifu kwamba eti Koran ilishushwa wakatia inafahamika kuwa iliandikwa miaka 1400AD.
Mtu mwenye fikra anaweza kusema bila ya wasiwasi kuwa Qur'ani iliandikwa na watu kadhaa ambao wanajulikana kimajina. Waandishi Mashuhuri zaidi miongoni mwao ni hawa hapa:
Imrul Qays-mshairi: wa kale wa Arabia ambaye alifariki miaka michache kabla ya kuzaliwa Muhammad
Zayd b. Amr b. Naufal:-'lililopotoka' wa wakati wake ambaye alihubiri na kupandwa Hanifism
Labid:-mshairi mwingine
Hasan b. Thabit:-mshairi rasmi wa Muhammad
Salman: – Mshauri wa Kiajemi wa Muhammad
Bahira:-Nestoraian Mkristo mtawa wa Kanisa huko Syria
Jabr:-Jirani wa Kikristo wa Muhammad
Ibn Qumta:-Mtumwa wa Kikristo
Khadija:-Mke wa kwanza wa Muhammad
Binamu Waraqa:- Ndugu ya Khadija
Ubay b. Katibu Ka'ab;-Muhammad na Mwandishi wake
Muhammad: – Mwenyewe
Hapa chini, nitaandika historia fupi ya baadhi ya waandishi wa Koran. Nitaanza na Bahira ambaye alikuwa ni Mtawa wa Kikrito.
Bahira
Bahira alikuwa Mtawa wa Kikristo wa Nestorian aliyeishi katika Sham (Syria). Jina lake la Kikristo lilikuwa Sergio Georgius. Inaaminika kwamba alifukuzwa kutoka utawa baada ya makosa.
Katika mji wa Makkah, alikutana na Muhammad, akawa karibu sana na yeye na kukaa pamoja naye. Yeye alikuwa na mazungumzo ya siri na Muhammad, ambayo yeye hakika alimwambia Muhammad mambo mengi ya Ukristo. Aya kadhaa katika Qur'an zinazozungumzia Ukristo zilitoka kwa huyu Mtawa Bahira.
Mfano, aya zote za ndani ya Kuran zinazozungumzia kitabu cha Zaburi zilihaririwa na huyu Mtawa Bahira:
4.163 Hakika Sisi tumekuletea wahyi wewe kama tulivyo wapelekea wahyi Nuhu na Manabii walio kuwa baada yake. Na tulimpelekea wahyi Ibrahim na Ismail na Is-haka na Yaakub na wajukuu zake, na Isa na Ayub na Yunus na Harun na Suleiman, na Daud tukampa Zaburi.
17: 55. Na Mola wako Mlezi anawajua vilivyo waliomo mbinguni na katika ardhi. Na hakika tumewafadhilisha baadhi ya Manabii kuliko wengine; na Daudi tulimpa Zaburi.
21:105. Na hakika tulikwisha andika katika Zaburi baada ya Kumbukumbu, ya kwamba nchi watairithi waja wangu walio wema.
2:113. Na Mayahudi husema: Wakristo hawana lao jambo. Na Wakristo husema: Mayahudi hawana lao jambo. Na ilhali wote wanasoma Kitabu hicho hicho (Biblia). Na kadhaalika walisema wale wasio jua kitu mfano wa kauli yao hii. Basi Mwenyezi Mungu atahukumu baina yao Siku ya Kiyama katika yale waliyo kuwa wakikhitilafiana.
2: 139. Sema: Mnahojiana nasi juu ya Mwenyezi Mungu, naye ni Mola wetu Mlezi na Mola wenu Mlezi, na sisi tuna vitendo vyetu na nyinyi mna vitendo vyenu? Nasi tunamsafia Yeye tu.
3: 23. Huwaoni wale walio pewa sehemu ya Kitabu? Wanaitwa kukiendea Kitabu cha Mwenyezi Mungu ili kiwahukumu baina yao; kisha baadhi yao wanageuka wanakikataa.
*** Quran haina chochote cha zaidi au bora kuliko vitabu vingine. Qur'an, imeandikwa kwa kuibia, kugezea, kupora, kudanganya na / au kupotosha kutoka BIBLIA, kuhalalisha kwamba Watu wa Kitabu wamwamini au kutumia kama mwongozo. ***
Jabr:
Kamusi ya Uislamu (Hughes Kamusi ya Uislamu, p.223) inasema kwamba Jabir alikuwa mmoja wa Ahlu-l-Kitab (Watu wa Kitabu) na alikuwa amesoma vizuri vitabu vya Taurati na Injil (Injili), na hivyo, Muhammad akamtumia sana Jabr katika uandishi wa Quran. Jabr ndiye aliye kuwa anamsomea Taurat na Injil Muhammad kila alipo pita nyumbani kwake. Muhammad alijifunza kutoka kwa Jabr na kuweka Sura katika Quran yenye mahusiano na Wakristo na Wayahudi. Mistari yote inayo mhusu Daudi na Sulemani ilitengenezwa na huyu Jabr. Baadhi ya aya hizo:
Daudi akamuuwa Jaluti ... 2:251
Zaburi alipewa Daudi ... 4:163
Allah ni mbaguzi ; anapendelea baadhi ya Mitume kwa wengine; aliwapa Zaburi Daudi ... 17:55
Allah alishuhudia hukumu ya Daudi na Sulemani ... 21:78
Allah kampa Sulemani uelewo sahihi ; Yeye alifanya milima na ndege kumtumikia Daudi ... 21:79
Allah kamfundisha Daudi ujuzi wa kufanya vita ... 21:80
Kabla ya Qur'an , Mwenyezi ujumbe katika Zaburi ya Daudi ... 21:105
Allahu kampa maarifa ya Daudi na Sulemani ... 27:15
Baba wa Sulemani alikuwa ni Daudi. Sulemani alikuwa mrithi wa Daudi; Suleiman kueleweka hotuba ya ndege wanyama, na mimea ... 27:16
Sulemani alikuwa na mamlaka juu ya majini ; majini na ndege kupigana katika jeshi la Sulemani ... 27:17
Allah kaweka milima chini ya amri ya Daudi; akamfundisha jinsi ya kufanya silaha kutoka chuma ... 34:10-11
Allah alikuwa na kaweka milima , ndege kwa ajili ya huduma ya Daudi na majaliwa yake kwa hekima na mantiki ... 38:18-20
Allah kusamehe dhambi ya Daudi ... 38:25
Allah alimteua Daudi kuwa mtawala juu ya nchi na akampa mamlaka ya kutoa hukumu ya haki na sheria za Mungu na kwa maoni yake binafsi ... 38:26
*** Bila shaka, hadithi/aya zote hapo juu si kutoka BIBLIA lakini walikuwa wamekopia/wamigizia/wameangalizia na kupotosha mafundisho ya baadaye ya Wayahudi na Wakristo ***
Ibn Qumta
Ibn Qumta alikuwa mtumwa wa Kikristo ambaye aliishi katika mji wa Makkah . Muhammad alijifunza kuhusu injili apocryphal ya Ukristo (kama vile : Injili ya Utoto na Injili ya Barnabas ) kutoka kwake. Sura nzima juu ya Maria na kuzaliwa kwa Yesu Kristo (Sura 19) kiliandikwa na mtumwa huyu wa Kikristo.
Vyanzo kutoka Wakidi , Alphonso Mingana , katika insha yake , Maambukizi ya Koran, Chimbuko la Koran, p.103 , anaandika:
' Mwanahistoria wa kale zaidi, Wakidi , ina sentensi zifuatazo ambazo zilipendekeza na ' Abdallah b. Sad b. Abi Sarh , na mtumwa Mkristo, bin Qumta , walikuwa na kitu cha kufanya katika Koran.
Na bin Abi Sarh akarudi na kusema kwa Makureshi : "Ilikuwa tu Mtumwa wa Kikristo ambaye alikuwa akimfundisha yeye ( Muhammad ); Nilikuwa na kazi ya kuandika na kubadili chochote alichoa taka Mtume Muhammad. " '
Tafadhali kumbuka kwamba Abdallah b. Sad b Abi Sarh alikuwa mwandishi mwaminifu wa Muhammad. Wakati Muhammad anahamia Madina Abdallah na yeye alimfuata. Kila Muhammad alipo kuwa katika maono Abdallah ndiye aliye kuwa mwandishi wa hayo maono. Wakati Abdallah alipendekeza baadhi ya mabadiliko ya Muhammad lisping, Muhammad alikubali kirahisi. Mfano ni wakati Muhammad alikuwa anasema hii aya 23:12-14 .
23.12 Na sisi tulimuumba Mtu kutoka Udongo;
23.13 Kisha tukamjaalia awe tone ya mbegu ya uzazi katika kalio madhubuti
23. Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora wa waumbaji.!
Hii hapa ni orodha fupi ya baadhi ya aya katika Qur'an ambazo Muhammad alinakili/ ilibia kutoka vitabu au nakala za Wakristo, Wayahudi, Waarmenia, Wahindu na Majusi (Wazoroastro):
Tayammum ( 04:43 ): Kunakiliwa kutoka kwenye maandiko ya Kiyahudi Talmud.
Kinga ya maisha ndani ya ndege (2:260 , 3:49 , 5:110): Kunakiliwa kutoka vitabu Coptic .
Houris , Azazil (44:54 ): kujifunza kutoka kwa wageni katika Makkah.
Harut amd Marut (2:102 ): Kutoka Muarmeni -vitabu Harut na Marut ni katika udhibiti wa upepo na mvua.
Kiti cha enzi ya Mwenyezi Mungu juu ya maji (11:07 ): Kutoka mapokeo ya Wayahudi
Malik, mtawala wa Jahannamu (43:77): Kutoka Wayahudi. [ Moleki - Mambo ya Walawi 18.21 ; 20.2/3/4/5 , nk]
7 Mbinguni (2:29, 41:12) : Iliyopitishwa kutoka katika maandiko Sanskrit ya Wahindu.
Mariamu kujifungua chini ya shina la mti ( 19:23 ): Kunakiliwa kutoka Injili ya Utoto , apocryphal Mkristo Injili
Mtoto Yesu kuzungumza ( 3:46 , 19:30-31 , 19:33 ): Kunakiliwa kutoka Injili ya Utoto .
Maelezo ya peponi na Kuzimu (kuna aya nyingi - tazama sehemu ya Salman, Kiajemi: Kunakiliwa kutoka Majusi ( Wazoroastro ) na Wahindu.
Yesu si kuuawa , Mwenyezi Mungu akainua Yesu ( 3:55 , 4:157-158 ): Kunakiliwa kutoka Injili ya Barnabas
Hadithi ya Yusufu (Sura 12): Kunakiliwa kutoka Midrash, maandiko ya Kiyahudi.
Hadithi ya Sulemani na Sheba ( 21:78-82 , 27:17-19 , 27:22-23 ): Kunakiliwa kutoka Haggada , Maandiko Wayahudi. [ Wafalme mimi 10.1 ]
Qur'ani ya awali ni agizo katika Mbinguni ( 43:4 , 85:21-22 ): Talmud anasema kuwa Torati ni kibao katika ulinzi wa Mbinguni.
Malaika wa kifo - Azrail au Azazil , Malaku'l Maut ( 6:61 , 7:37, 32:11 ): Iliyopitishwa kutoka Wayahudi na mchawi maandiko ( Zoroastrian ).
WAPAGANI WANASEMA QURAN NI SAWA NA HADITHI ZA KALE
Hapa ni ushahidi wa baadhi ya mistari ya kuchaguliwa kutoka Quran kutuambia kwamba wapagani walikuwa na ufahamu kwamba Muhammad alikuwa anawaambia hadithi ya kale walizokuwa wamesikia kabla ya-Muhammad:
Wasioamini walisema kuwa Quran ni kama hadithi za watu wa kale wa Kipagani ... 08:31
Wasioamini walisema kwamba Aya za Muhammad zilinakiliwa kutoka hadithi za kale ... 16:24
Wapagani wengi walishasiikia hadithi za ufufuo kutoka katika hadithi zamani za Kipagani... 23:83
Makafiri walisema kuwa 'Qur'ani ni hadithi za kale ambazo walisikia kabla ya Muhammad' ... 25:5
Wasioamini walisisitiza kwamba Qur'ani ni hadithi kutoka vitabu vya kale ... 27:68
Wakasema makafiri Quran imejaa visa vya watu wa kale ... 46:17
Wasioamini wanaliziita na kuzifananisha aya za Muhammad na hadithi za kale ... 68:15
HITIMISHO
'Quran' si maandishi ya Mwenyezi Mungu. Mungu mwenye Hekima hawezi kuandika Kitabu chenye Makosa, Utata, kujirudiarudia , makosa ya kimaandiko kama yalivyo jaa kwenye Qur'an yenye muongozo potofu kwa Mwanadamu.
Anomalies zote, utata , MAKOSA YA KIMAANDIKO, upayukaji , KUJIRUDIARUDIA , makosa ya kisarufi na kilugha, Makosa ya Kihistoria, TABIA YA KUPENDEKEZA MAUAJI, HATEMONGERING , WARMONGERING , UBAGUZI , ubaguzi wa rangi na sifa nyingine za mapepo ya Quran kutakufanya kwa urahisi uelewe kuwa Koran si Kitabu cha Mwenyezi Mungu Mtakatifu aliye jaa huruma na rehema angeweza kuandika kitabu cha kishetani kama Qur'an kwa Muhammad .
Inafahamika na wenye Hekima kuwa Muhammad ambaye anadai eti kapewa Koran ni uongo wa wazi kabisa na ndio maana Muhammad akasema alipewa maono na Allah ili kuwafunga Mdomo wale wote ambao wanatia shaka katika Kitabu chake.
Qur'an Nzima ni Maandishi ya Muhammad na imejaa matakwa na fikra zake.
Alter ego
Katika hali halisi, Muhammad, Jibril na Allah ni Mtu mmoja.
Muhammad
Ilikuwa ni Muhammad ndiye aliye anzisha Uislam na baadaye baadhi ya wafuasi wake ambao, 'Kwa jina la Allah' walitengeneza Qur'ani kwa kurekebisha , kurekebisha na kuibia kutoka maandiko mbalimbali na mila ya watu wengine wa wakati huo.
Wafuasi wake waliendelea kutangaza huu udanganyifu wa Muhammad na kuusambaza katika fahamu za binadamu, ili kupata matakwa yao ya kisiasa yenye nia ya kutawala peninsula ya Arabia na baadaye, nchi nyingine za amani.
Koran si Kitabu cha Mungu bali ni maandishi ya Muhammad na marafiki zake.
Katika huduma yake.
Max Shimba
For Max Shimba Ministries
Copyright © Max Shimba Ministries 2013

WAISLAM WANAABUDU MWEZI

No automatic alt text available.
Hivi kati ya Allah na Mwezi ni nani mwenye MAMLAKA?
Ndugu zanguni
Leo ningependa kuwafahamisha kuwa, Allah na Waislam wote wanaabudu Mwezi! Unaweza kuniuliza kivipi hawa Waislam wanaabudu Mwezi.
Ngoja nikujibu kwa fikra pevu.
Hivi kati ya Allah na Mwezi nani mwenye mamlaka? Nafahamu bado hujanipata kuwa nasema nini na ua nauliza nini. Hilo ni swali ambalo wengi wanaweza kukurupuka na kukosa kusema jibu sahihi. Jibu lake ni hili. MWEZI UNA MAMLAKA ZAIDI YA ALLAH.
Ngoja nikufungue macho.
Waislam wanapofunga Saumu/Ramadahani, kabla ya hiyo shughuli ya mfungo wanasubiri mwezi. Hilo ni la kwanza. Cha ajabu hata siku ya kufungua, dini hii ya Allah bado inategemea MWEZI, ni kimaanisha kuwa, ni MWEZI NDIO WENYE MAMLAKA YA MWISHO YA KUSEMA KUWA, HAWA WAISLAM WAFUNGUE MFUNGO. Kama bado hujanipata, basi ngoja nikufungue zaidi macho. Waislam wanafungua na kusherehekea Iddi baada ya MWEZI KUANDAMA.
Sasa kama kufunga ilikuwa ni kwa ajili ya ALLAH, kivipi ALLAH ashindwe kuwapa tarehe ya kufungua? Kwanini Mwezi ndio unakuwa na Mamlaka zaidi ya Allah? Kumbe basi, Mwezi ndio Allah mwenyewe. Wataalam wa dini wanasema kuwa Allah ni Mungu Mwezi (Allah is a God Moon).
Hakika leo tumejifunza kuwa kumbe Mwezi na Allah ni kitu mimoja na au Mwezi Unanguvu kuliko Allah.
Nategemea hili somo fupi limekufumbua macho kuhusu Uislam.
Allah si Mungu bali ni Mwezi.
Katika Huduma yake,
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo.
Max Shimba Ministries 2013

UKIWA MUISLAMU BASI WEWE PUA YAKO INAKUWA KITANDA CHA SHETANI

Image may contain: drawing and text
Amesimulia Abu Huraira (r.a) Mtume (s.a.w) alisema “Mmoja wenu anapoamka kutoka usingizini, basa atawadhe na apandishe maji puani, na apenge mara tatu, kwa sababu shetani alilala ndani ya tundu za pua yake” (Bukhari, Hadithi na. 516, juzuu ya 4)
Hivi ni Mkristo gani mwenye kujitambua ambaye yupo tayari kuwa muislamu, ili pua yake ikawe godoro la shetani? Bila shaka hakuna, hivyo sisi Wakristo tunaojitamua hatuutaki uislamu.

KWENYE UISLAMU NI RUKSA KUOA VITOTO VYAMIAKA SITA NA KUVIINGILIA VIKIWA NA MIAKA TISA

Image may contain: 2 people, meme and text
Hadithi ya Aisha (r.a) amesema, Mtume (s.a.w) amenioa nikiwa binti wa miaka sita, tukaja Madina tukafikia kwa Ban Al-Harith Khazraji nikapatwa na homa kali sana mpaka nywele zangu zikakatika katika baadae zikaja kuwa nyingi, Akanijia mama yangu Ummu Ruuman, akanikuta niko katika pembeya nikiwa na rafiki zangu, akaniita kwa sauti ya ukali, nikamwendea hata nisijue anachoniitia akanishika mkono mpaka akanifikisha mlangoni huku nina hema mpaka zilipotulia pumzi zangu akachukua maji akaanza kunifuta kwa maji hayo uso wangu na kichwa changu kisha akaniingiza ndani nikawakuta wanawake wa kiansari mle ndani wakasema, “uwe juu ya kheri na Baraka na uwe juu ya ndege bora, akanikabidhi kwao wakaniweka vizuri, sikustuka isipokuwa alipofika Mtume (s.a.w) asubuhi mama yangu akanikabidhi kwake, nami siku hiyo nilikuwa ni mschana wa miaka tisa” (BUKHARI, HADITHI NA. 234, Juzuu ya 5)
Sasa kama katika uislamu ufataki ni ruksa yaani mzee wa miaka 54 anaruhusiwa kuoa kitoto cha miaka sita, hivi kuna haja gani ya Mkristo kujiingiza kwenye Ufataki (UISLAMU) na kuanza kuharibu vitoto vya miaka sita? Yaani badala ya kufikiria Elimu kwa mtoto wako, huyo wa miaka sita, unafikiria kumuozesha kwa mzee wa miaka 54, kwa stahili hiyo sisi Wakristo tunaojitambua hatuutaki uslamu.

JE, UNAFAHAMU KWANINI AISHA MKE WA MUHAMMAD ALIZINI NA SAFWAN IBN AL MUATTAL?

Image may contain: 6 people, people standing and wedding
ZAIDI YA HAPO, KWANINI AISHA ALIKATAA KUZAA WATOTO NA MUHAMMAD?
Utasikia Waislam wakijgamba, Aisha ni mama wa waaminio, ikimaanisha ni Mama wa Waislam.
Swahaba wa Muhammad Amr bin Al-Aas alimuuliza Nabii wa Allah (PBUH): O, Nabii wa Allah, ni Mke yupi unampenda zaidi kuliko wake zako wat? Nabii Muhammad akamjibu "Aisha"
Kama tulivyo soma hapo juu, Muhammad alimpenda Aisha zaidi ya wake zake wote.
LAKINI:
AISHA MWANA WA ABU BAKAR ALIFUMANIWA AKIFANYA NGONO NA SAFWAN BIN AL MUATTAL:
Imesimuliwa na Ibn Hisham, na kusimuliwa na Ibn Ishaq, kuwa Aisha alifumaniwa akifanya ZINAA "ngono" na Safwan Ibn Al Muattal, mmoja wa Maswahiba wa Muhammad "Safwan incident". Haya mambo yalifanyika huko Madina na habarii ilitapakaa Madina yote na kumfanya Nabii wa Allah amrudishe Aisha kwa Wazazi wake.
Ali ambaye alikuwa binamu yake wa karibu na Mume wa binti yake Fatimah, alimsihi Muhammad ampe takala Aisha ili kuficha hii aibu kubwa ya fumanizi la KUZINI.
Hii ni siri kubwa sana kwa Waislam na hawataki ifahamike kuwa Aisha alifanya ZINAA na Safwan Ibn Al Muattal na kumfanya Muhammad amrudishe Aisha kwa Wazazi wake.
KAMA AISHA ALIPENDWA SANA NA MUHAMMAD KULIKO WAKE ZAKE WOTE, KWANINI AISHA ALIAMUA KUZINI NA SAFWAN BIN AL MUATTAL?
Huu ni msiba Mkubwa sana kwa Muhammad na Waislam.
LABDA NDIO MAANA AISHA ALIKATAA KUZAA NA MUHAMMAD AU LABDA NI KWASABABU YA TABIA MBAYA YA MUHAMMAD YA KUZINI NA WATUMWA WAKE WA KIKE. http://www.islam-watch.org/…/Muhammad-Juwairiya-Aisha-Adult…
Waislamu wa Madina wakiongozwa na Abdulla bin Ubai, walitangaza kuwa Bibi Aisha (RAAH) amezini na Safwan. Mtume (SAW) aliposikia haya aliwaita maswahaba zake na kushauriana nao nini la kufanya, kuna waliotowa ushauri amuache. Mtume (SAW) alimzuru na akamwambia: “Ukiwa huna makosa basi Mwenyenzi Mungu atakusamehe, la kama sihivyo basi omba maghufira kwa Mola wako.” Aisha alilia na kuomba msamaha kwa wazazi wake kwa kosa la uzinifu alilo fanya na Safwan, lakini wazazi wake hakuwa na la kusema.
References:
1) Ibn Sa’ad, Al Tabakat Al Kubra, vol.8 (Arabic)
2) Ibn Hisham, sira al nabaweyya(Arabic)
3) Dr. Sami Alrabaa, Karen in Saudi Arabia
4) Sahih al Bukhari, chapter of washing, Narrated by Anas. (Arabic)
5) Al Lulu wa Al Marjan fima ittaffaqa alihi al shaikhan: Muslim and Bukhari, hadith No.168; 173 (Arabic)
Maswali ya kujiuliza ni haya, Kwanini AISHA ALIKATAA KUZAAA NA MUHAMMAD NABII WA ALLAH. HUKU IKIFAHAMIKA KUWA, MUHAMMAD ALIMPENDA SANA TENA SANA AISHA?
Natanguliza pole zangu kwa Waislam wote. Hakika hii dini imejaa vituko na viroja kedekede.

SAFARI YA KUSISIMUA YA HANA MAMA YAKE NABII SAMWELI -SEHEMU YA PILI-

Image may contain: 2 people, people standing
Mfano wa Hana unatukumbusha nini kuhusu sala?
Kwa hiyo, Hana ni mfano muzuri sana kwa watumishi wote wa Mungu kuhusiana na sala. Mungua anawaomba wajisikie huru kuzungumza naye, bila kusita, wamtupie mahangaiko ya moyo wao kama vile mutoto anayemutumainia baba yake. (Soma Zaburi 62:8; 1 Wathesalonike 5:17.) Mtume Petro aliongozwa na Roho ya Mungu ili kuandika maneno haya yenye kufariji kuhusu sala zetu kwa Mungu: ‘Mtupe mahangaiko yenu yote juu yake, kwa sababu yeye [anawahangaikia] ninyi.’—1 Petro 5:7.
(a) Namna gani na sababu gani Eli anamuwazia Hana vibaya? (b) Namna gani jibu la Hana kwa Eli ni mufano muzuri sana wa imani?
Kwa kawaida, wanadamu hawawaelewe wengine na hawajitie pa nafasi ya wengine kama Mungu. Ndio sababu, Hana anaposali na kulia, sauti ya mtu fulani inamshitua. Ni sauti ya Eli, kuhani mkubwa, aliyekuwa anamtazama. Kuhani huyo anamuambia hivi: ‘Utaendelea kujiendesha kama mlevi mpaka wakati gani? Iondolee mbali divai yako.’ Eli anaona midomo ya Hana inatetemeka, ni mwenye kulia na mwenye uchungu sana. Kuliko kumuuliza magumu yake ni nini, yeye anawaza mara moja kwamba Hana ni mulevi.—1 Samueli 1:12-14.
Kulaumiwa bila sababu yoyote wakati huu wa taabu yake, zaidi sana na mwanaume aliye na cheo chenye kuheshimika, kunamuumiza Hana zaidi! Hata hivyo, mara hii tena, yeye anatuachia mufano muzuri wa imani. Haache kumuabudu Mungu kwa sababu ya uzaifu wa mtu fulani. Na anamujibu Eli kwa adabu na kumuelezea hali yake. Eli anatambua kwamba alikosea, kwa hiyo, labda ndio sababu anamujibu hivi kwa upole: ‘Nenda kwa amani, naye Mungu wa Israeli akupe ombi lako ambalo umemuomba.’—1 Sam. 1:15-17.
(a) Kwa sababu Hana anamufungulia Mungu moyo, na anaendelea kumuabudu kwenye hema ya ibada, anajisikia namna gani?
(b) Namna gani tunaweza kufuata mufano wa Hana tunapolemewa na magumu ao huzuni?
Matokeo yanakuwa namna gani wakati Hana anamufungulia Mungu moyo na anaendelea kumuabudu kwenye hema ya ibada? Biblia inasema hivi: ‘Mwanamuke huyo akaenda zake, akakula chakula, na uso wake haukuwa tena na huzuni.’ (1 Samueli 1:18, La Sainte Bible en Swahili de la R. D. Congo) Hana anajisikia mwenye kutulizwa. Tunaweza kusema kama alitia uzito wa mhangaiko yake kwenye mabega ya mtu mwenye nguvu sana kuliko yeye, ni kusema, Baba yake wa mbinguni. (Soma Zaburi 55:22.) Je, kuna tatizo lolote linaloweza kumshinda? Hakuna hata kidogo: iwe jana, iwe leo ao kesho!
Tunapojisikia kulemewa, magumu yanatupita ao tuna huzuni kupita kiasi, ni vizuri kufuata mufano wa Hana na kuzungumuza na Mungu ‘Msikiaji wa sala’ bila kusita. (Zab. 65:2) Tukifanya hivyo kwa imani, kuliko kuwa na huzuni, tutakuwa na “amani ya Mungu yenye ubora unaozidi fikira zote.”—Flp. 4:6, 7.
“Hakuna Mwamba Ulio Kama Mungu Wetu”
(a) Ni nini inaonyesha kama Elkana anaunga mukono naziri ya Hana?
(b) Penina hana tena uwezo gani juu ya Hana?
Asubuhi inayofuata, Hana anarudi tena kwenye hema pamoja na Elkana. Hakukosa kumuelezea bwana yake kuhusu ombi na naziri aliyofanya, kwa kuwa Sheria ya Musa inasema kwamba bwana ana haki ya kuvunja naziri ambayo bibi yake alifanya bila kumuuliza bwana yake maoni yake. (Hes. 30:10-15) Lakini, mwanaume huyo mwaminifu havunje naziri hiyo. Kuliko kufanya hivyo, yeye na Hana wanamuabudu Yehova pamoja kwenye hema mbele ya kushika njia yao na kurudi nyumbani.
Ni wakati gani kabisa Penina alitambua kuwa uchokozi wake haumuhuzunishe tena Hana? Biblia haizungumuzie jambo hilo, lakini maneno ‘uso wake haukuwa tena na huzuni,’ yanaonyesha kama kuanzia wakati huo Hana alirudiliwa na furaha yake. Kwa vyovyote, Penina aliona kama mazarau yake hayakuwa na matokeo juu ya Hana. Na Biblia haitaje tena jina la Penina.
Ni baraka gani ambayo Hana anapata, na namna gani anaonyesha kama alijua yule aliyemupatia baraka hiyo?
Miezi inapita, amani ya Hana inaongezeka na anakuwa mwenye furaha sana. Ni mwenye kuwa na mimba! Hana anafurahi sana, lakini hasahau hata kidogo ni nani amemubariki hivyo. Mtoto anapozaliwa, anampatia jina la Samweli, linalomaanisha “Jina la Mungu,” na kwa kweli jina hilo linaonyesha tendo la kuitia jina la Mungu kama Hana alivyofanya. Mwaka huo Hana haende Shilo pamoja na Elkana na jamaa yote. Anabaki nyumbani pamoja na mtoto kwa miaka mitatu mpaka wakati mtoto anaachishwa kunyonya. Sasa anajitayarisha kwa ajili ya siku ambayo ataachana na mwana wake mupendwa.
Namna gani Hana na Elkana wanatimiza mambo waliyomuahidia Mungu?
Si jambo rahisi kwa Hana kuachana na mtoto wake. Bila shaka, Hana anajua kama Samweli atatunzwa vizuri huko Shilo; inaonekana ni wanawake fulani wanaotumika katika hema ya ibada ndio watamtunza. Hata hivyo, kijana Samweli angali bado mutoto sana na tunajua kwamba si vyepesi kwa mama kuachana na mtoto ambaye angali mchanga. Lakini, Hana na Elkana wanampeleka mtoto huko kwenye nyumba ya Mungu, hawafanye hivyo wakiwa na kinyongo, lakini wanafanya hivyo kwa furaha. Wanatoa zabihu na kisha wanamuacha Samweli katika mikono ya Eli, wanamkumbusha Eli naziri ambayo Hana alifanya hapo miaka fulani iliyopita.
Hana alikuwa baraka kabisa kwa Samweli
Namna gani sala ya Hana inaonyesha kwamba alikuwa na imani yenye nguvu?
Kisha Hana anatoa sala ambayo Mungu aliona kama inastahili kutiwa katika Neno lake lililoongozwa na roho. Unaposoma maneno ya Hana katika 1 Samweli 2:1-10, utaona kama kila mustari unaonyesha imani yenye nguvu ya mwanamuke huyo. Anamusifu Mungu namna anavyotumia kwa ajabu nguvu zake na uwezo wake usiolinganishwa ili kuwashusha wenye kujivuna, kuwabariki wanaoonewa, na namna alivyo na uwezo wa kuua na hata wa kuokoa kutoka katika kifo. Anamsifu Baba yake wa mbinguni kwa kuwa ni mtakatifu zaidi, ni mwenye haki, na ni mwaminifu. Hana ana haki ya kusema hivi: “Hakuna mwamba ulio kama Mungu wetu.” Mungu anastahili kabisa kutumainiwa, yeye habadilike, ni kimbilio kabisa kwa wote wanaoonewa na kugandamizwa na ambao wanamuomba musaada.
(a) Sababu gani tuko hakika kwamba Samweli anaendelea kukomaa akiwa mwenye kujua kwamba wazazi wake wanampenda?
Namna gani Mungu anaendelea kumbariki Hana?
Bila shaka, kijana Samweli ana pendeleo kabisa la kuwa na mama aliye na imani kama hiyo kwa Mungu. Hata ikiwa anakomalia mbali naye, hajisikie hata kidogo kuwa anasahauliwa. Kila mwaka, Hana anakuja Shilo; anamletea koti lisilo na mikono ambalo Samweli atavaa anapomutumikia Mungu katika hema. Kumshonea yeye mwenyewe koti hilo kunaonyesha kama anamupenda na kumhangaikia mwana wake. (Soma 1 Samweli 2:19.) Funga macho kidogo: unamuona Hana akimuvalisha kijana wake koti hilo, akilinyoosha, na kumtazama kwa upendo anapomutia moyo na kuzungumza naye kwa fazili? Samweli ni mwenye kubarikiwa kabisa kuwa na mama kama huyo, naye anapoendelea kukomaa, anakuwa baraka kubwa kwa wazazi wake na kwa Waisraeli wote.
Mungu pia hamsahau Hana. Anafungua tumbo lake la uzazi kabisa, na anamuzalia Elkana watoto wengine watano. (1 Samueli 2:21) Hata hivyo, labda baraka kubwa ambayo Hana anapata ni uhusiano wa karibu sana alio nao na Mungu, ambao unaendelea kuwa nguvu kadiri miaka inavyopita. Acha iwe hivyo pia kwako, wakati unapoendelea kuiga imani ya Hana.
USIKOSE SOMO KUHUSU "SAMWELI MTUME BAADA YA MUSA....
Shalom,
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo.

The Angelic Guardianship in Psalm 91:11: A Scholarly and Inspirational Exploration

The Angelic Guardianship in Psalm 91:11: A Scholarly and Inspirational Exploration By Dr. Maxwell Shimba Shimba Theological Institute A...

TRENDING NOW