Tuesday, June 6, 2017

UKIWA MUISLAMU BASI WEWE PUA YAKO INAKUWA KITANDA CHA SHETANI

Image may contain: drawing and text
Amesimulia Abu Huraira (r.a) Mtume (s.a.w) alisema “Mmoja wenu anapoamka kutoka usingizini, basa atawadhe na apandishe maji puani, na apenge mara tatu, kwa sababu shetani alilala ndani ya tundu za pua yake” (Bukhari, Hadithi na. 516, juzuu ya 4)
Hivi ni Mkristo gani mwenye kujitambua ambaye yupo tayari kuwa muislamu, ili pua yake ikawe godoro la shetani? Bila shaka hakuna, hivyo sisi Wakristo tunaojitamua hatuutaki uislamu.

No comments:

The Qur'anic Cosmology of Stars as Weapons Against Demons

Title: The Qur'anic Cosmology of Stars as Weapons Against Demons: A Theological and Scientific Critique By Dr. Maxwell Shimba | Shimb...

TRENDING NOW