Saturday, March 17, 2018

Kwa Nini Wanasayansi Fulani Humwamini Mungu?

Image result for SCIENTIST BELIVE IN GOD
SAYANSI inaendelea kufunua mambo mapya kuhusu ulimwengu na uhai ulio katika sayari yetu. Hata hivyo, wanasayansi na watu wa kawaida bado wanakabili maswali haya muhimu: Ulimwengu ulitokeaje? Ni nini kilichokuwako kabla ya wakati huo? Kwa nini ulimwengu unaonekana kuwa umebuniwa hasa kwa kusudi la kutegemeza uhai? Uhai ulitokeaje duniani?
Bado sayansi kwa kweli haiwezi kujibu maswali hayo. Watu fulani hawafikiri kwamba itapata kuyajibu maswali hayo. Hivyo, wengi wamelazimika kufikiria upya maoni na imani zao. Hebu tuchunguze mambo matatu yanayowafanya wanasayansi fulani wafikirie kuwapo kwa Muumba.
Je, Ulimwengu Wenye Vipimo Sahihi Ulitokea Wenyewe Tu?
Jambo moja muhimu linahusu vipimo sahihi vya ulimwengu wetu. Kwa nini ulimwengu una sheria za asili zisizobadilika na vipimo visivyobadilika vilivyowekwa kwa usahihi kabisa ili kutegemeza sayari yetu na uhai uliomo?
Tunamaanisha nini tunaposema kwamba ulimwengu wetu una vipimo sahihi? Kwa mfano, fikiria jinsi zile kani nne za msingi zilivyopimwa kwa usahihi: sumaku-umeme, nguvu ya uvutano, kani yenye nguvu ya nyuklia, na kani dhaifu ya nyuklia. Kani hizo huathiri vitu vyote ulimwenguni. Zimepimwa na kusawazishwa kwa usahihi kabisa hivi kwamba mabadiliko madogo tu yanaweza kufanya kusiwe na uhai wowote ulimwenguni.
Watu wengi wanaotumia akili wanaamini kwamba vipimo sahihi vilivyopo ulimwenguni havikutokea tu. John Polkinghorne, aliyekuwa mtaalamu wa fizikia kwenye Chuo Kikuu cha Cambridge, alisema: “Unapotambua kwamba sheria za kiasili zimewekwa kwa usahihi kabisa ili kufanyiza ulimwengu unaoonekana, jambo hilo linakufanya uanze kuamini kwamba ulimwengu haukutokea wenyewe tu, bali ulitokezwa kwa kusudi fulani.”
Mwanafizikia Mwaustralia Paul Davies alikuwa na maoni kama hayo. Anaandika hivi: “Ni wazi kwamba wanasayansi wengi . . . wanadhihaki wazo la kwamba huenda kuna Mungu au hata chanzo fulani kisicho na utu. Mimi sikubaliani nao. . . . Siwezi kuamini kwamba kuwa kwetu ulimwenguni kulitokea tu bila mpango, . . . kupitia tukio kubwa la kiholela lililofanyiza ulimwengu.”
Utata wa Uhai
Tatizo la pili linalowasumbua wanasayansi wa leo linahusu utata wa ulimwengu unaotuzunguka. Mtu anayetumia akili anajua kwamba jambo linapokuwa tata zaidi, ndivyo inavyokuwa vigumu hata zaidi kuamini kwamba limejitokeza lenyewe tu. Hebu fikiria mfano mmoja.
DNA, ambayo ni sehemu muhimu ya uhai, hufanyizwa kutokana na utendaji mwingi wa kemikali ambao hutukia kwa usahihi kabisa. Miongo mitatu iliyopita, Dakt. Frank Salisbury wa Chuo Kikuu cha Jimbo la Utah, Marekani, alipiga hesabu kuona uwezekano wa molekuli ya DNA kutokea yenyewe tu. Hesabu zake zilionyesha kwamba uwezekano huo ni mdogo sana hivi kwamba haiwezekani kisayansi.*
Utata wa uhai unaonekana hasa katika viumbe vilivyo na viungo tata ambavyo vingekuwa bure ikiwa hakungekuwa na viungo vingine tata. Kwa mfano, fikiria uzazi.
Kulingana na nadharia za mageuzi, viumbe viliendelea kuzaa vilipokuwa vikizidi kuwa tata. Hata hivyo, kufikia wakati fulani, viumbe vya kike vya jamii kadhaa vililazimika kutokeza chembe za uzazi zilizohitaji kuunganishwa na chembe za uzazi za kiume. Ili wazao wao wapate idadi kamili ya kromosomu, chembe za uzazi za kila mzazi hugawanyika kwa njia ya ajabu, hivi kwamba chembe zinazotoka kwa kila mzazi hubaki na nusu ya idadi ya kromosomu. Utaratibu huo huwafanya wazao wasiwe na kromosomu nyingi mno.
Bila shaka, jamii nyingine pia za viumbe zingehitaji kupitia utaratibu huohuo. Basi, ilikuwaje hata “mama wa kwanza” katika kila jamii ya viumbe akapata uwezo wa kuzaa na “baba wa kwanza” aliyekomaa? Wote wawili wangewezaje kugawanya idadi ya kromosomu katika chembe zao za uzazi wakati uleule ili kutokeza kiumbe chenye afya kilicho na baadhi ya sifa za kila mzazi? Na ikiwa chembe hizo za uzazi zilisitawi hatua kwa hatua, viumbe vya kiume na vya kike vya kila jamii vingewezaje kuendelea kuwapo wakati ambapo chembe hizo muhimu bado hazikuwa zimesitawi kikamili?
Hata katika jamii moja ya viumbe, uwezekano wa jambo hilo kutokea lenyewe tu ni mdogo sana hivi kwamba hauwezi kukadiriwa. Uwezekano wa kwamba jambo hilo lilitokea katika jamii moja baada ya nyingine, haupatani na akili hata kidogo. Je, nadharia ya mageuzi inaweza kutatua utata huo? Mambo yaliyotokea yenyewe tu, pasipo mpango wowote, na kiholela, yangewezaje kutokeza mifumo hiyo tata inayohusiana? Viumbe vina sifa nyingi zinazoonyesha mpango na utaratibu, hivi kwamba ni lazima kuwe na Mpangaji mwenye akili.
Wasomi wengi wamefikia mkataa huo. Kwa mfano, mwanahisabati William A. Dembski aliandika kwamba “vitu vilivyobuniwa kwa akili” vilivyo katika “ulimwengu unaoonekana . . . vinaweza tu kuwa vilitokana na mtu mwenye akili.” Mtaalamu wa biokemia ya molekuli Michael Behe anakata maneno kwa kusema hivi: “Unaweza kuwa Mkatoliki kwa dhati na bado uamini nadharia ya Darwin. Hata hivyo, biokemia imefanya iwe vigumu zaidi kuwa mwanasayansi mwenye kutumia akili na wakati uleule kuamini nadharia hiyo.”
Rekodi Isiyo Kamili ya Mabaki ya Viumbe vya Kale
Jambo la tatu ambalo limewatatanisha baadhi ya wanasayansi ni rekodi ya mabaki ya viumbe vya kale. Ikiwa mageuzi yaliendelea kwa miaka mingi sana, tungetazamia kupata mabaki mengi ya viumbe vilivyokuwa vikigeuka. Hata hivyo, hakuna mabaki yoyote ya viumbe hivyo ambayo yamefukuliwa tangu wakati wa Darwin.
Kwa hiyo, wanasayansi kadhaa wamekata kauli kwamba uthibitisho wa mageuzi ni duni sana na haupatani hivi kwamba hauwezi kuthibitisha kwamba uhai ulitokana na mageuzi. Luther D. Sutherland, mhandisi wa vyombo vya angani, aliandika hivi katika kitabu chake Darwin’s Enigma: “Uthibitisho wa kisayansi unaonyesha kwamba wakati wowote ule ambapo viumbe vya aina tofauti vilitokea kwa mara ya kwanza Duniani, iwe ni viumbe vyenye chembe moja au mwanadamu, viumbe hivyo vilikuwa kamili, navyo viungo na sehemu zake zote zilikuwa kamili, zikifanya kazi kikamili. Basi, kutokana na jambo hilo la hakika, hatuna budi kukubali kwamba kabla ya uhai kutokea Duniani kwa mara ya kwanza, kulikuwa na mtu fulani mwenye akili.”
Kwa upande mwingine, rekodi ya mabaki ya viumbe vya kale inapatana sana na utaratibu wa kutokea kwa aina za viumbe vinavyotajwa katika kitabu cha Biblia cha Mwanzo. Donald E. Chittick, mwanakemia aliyepata shahada katika Chuo Kikuu cha Jimbo la Oregon, anasema hivi: “Kuchunguza rekodi ya mabaki ya viumbe vya kale kwa makini humfanya mtu afikie mkataa wa kwamba wanyama walizaa kulingana na aina zao, kama vile kitabu cha Mwanzo kinavyosema. Hawakugeuka na kuwa aina nyingine. Uthibitisho uliopo sasa, kama ilivyokuwa wakati wa Darwin, unapatana na rekodi ya kitabu cha Mwanzo ya kwamba viumbe viliumbwa moja kwa moja. Mimea na wanyama wanaendelea kuzaa kulingana na aina zao. Kwa kweli, kuna tofauti kubwa sana kati ya uchunguzi wa mabaki ya viumbe vya kale na nadharia ya Darwin, hivi kwamba wanasayansi fulani wameanza kuamini kwamba mabaki ya viumbe vilivyokuwa vikigeuka hayatapata kuonekana.”
Kuukubali Uthibitisho
Hayo ni machache tu kati ya mambo yanayowatatanisha wale wanaopuuza uthibitisho wa kuwapo kwa Muumba. Wanasayansi fulani wanatambua kwamba kumkataa Mungu hakutokani na uthibitisho unaopatana na akili bali kunatokana na kushikilia makisio na dhana.
Hivyo, baada ya kufanya utafiti na uchunguzi wa kisayansi wenye mafanikio kwa muda mrefu, mtaalamu wa anga Allan Sandage alisema: “Uchunguzi wangu wa kisayansi ndio ulionichochea kufikia mkataa wa kwamba ulimwengu ni tata sana hivi kwamba hauwezi kuelezeka kisayansi. Ninaweza kuelewa chanzo cha vitu vilivyopo kupitia tu chanzo fulani kisicho cha kibinadamu.”
Je, vilitokea vyenyewe tu?
Gazeti National Geographic lilipochapisha jalada linalovutia lenye picha inayoonyesha uhusiano wenye upendo kati ya mama na mtoto, msomaji mmoja aliwaandikia hivi wachapishaji wa gazeti hilo: “Picha hiyo ya mama na mtoto kwenye jalada ni kazi bora ya sanaa. Siwezi kuelewa jinsi mtu anavyoweza kumtazama mtoto huyo mwenye kupendeza ambaye miezi tisa iliyopita alikuwa yai dogo sana linalotoshana na kichwa cha pini ndogo na kusema kwamba alitokea mwenyewe tu.”
Wengi wangekubaliana naye. Dakt. Gerald Schroeder, mwandishi aliyekuwa profesa wa fizikia ya nyuklia, anaulinganisha uwezekano wa ulimwengu na uhai kutokea wenyewe tu na uwezekano wa kushinda mchezo wa kamari mara tatu mfululizo anaposema hivi: “Kabla ya kupokea malipo ya ushindi wako wa tatu, utakuwa ukielekea jela ukishtakiwa kwamba umetumia udanganyifu. Uwezekano wa kushinda mara tatu mfululizo au mara tatu maishani, ni mdogo sana hivi kwamba haiwezekani.”
Alikadiria kwamba ingechukua miaka bilioni nne kwa molekuli moja ya DNA kutokea yenyewe kiasili katika mojawapo ya sayari 100,000,000,000,000,000,000 (1020) zenye “mazingira yanayoweza kutegemeza uhai.” Kuna uwezekano gani kwamba molekuli moja ya DNA ilitokea yenyewe? Alikadiria kwamba uwezekano huo ni sehemu moja kati ya 10415 (moja ikifuatwa na sufuri 415)!

MPINGA MUNGU MAREHEMU STEPHEN HAWKING NA WENZAKE WANAAMINI NINI?

 Image result for stephen hawking
Walidai kwamba wangekuwa na akili, wakawa wajinga. (Warumi 1:22)

 
 Marehemu Stephen Hawking haamini katika Mungu lakini yeye anaamini kwamba "asili ya ulimwengu inaweza kuelezwa na fizikia, bila kipengele chochote cha miujiza au kuingilia Mungu."

Kwa miaka 50 mwanafalsafa muingereza, Anthony Flew, aliheshimiwa sana na Wanasayansi wenzake kuwa mtetezi mkuu wa fundisho kwamba hakuna Mungu. Kichapo chake "Theology and Falsification" yaani Theolojia na uwongo ambacho aliandika mwaka 1950, kilikuwa ndicho kichapo kilichochapishwa mara nyingi sana katika karne yote ya 20. Mnamo mwaka 1986, Flew aliitwa "Mchambuzi mkuu wa fundisho kwamba hakuna Mungu" Kwa hiyo watu wengi walishtuka sana Flew alipotangaza katika mwaka wa 2004 kwamba amebadili maoni yake. 
Kwanini Flew alibadili maoni yake?
Je Sheria za Asili zilitokea namna gani?
Ni kwa sababu ya Sayansi. Alikuja kuamini kwamba, Ulimwengu, Sheria zinazoongoza vitu vya Asili, na Uhai havingeweza kujitokeza vyenyewe. Je wewe unaonaje?

 
Mwanafizikia na Mwandishi Paul Davies anasema kwamba "Sayansi inaeleza vizuri sana matukio ya asili kama mvua. Lakini maswali yanapozuka kama vile, Kwa nini kuna Sheria za Asili? Sayansi haitoi jibu la wazi. Mambo ambayo Wanasayansi wamevumbua hayajajibu maswali kama hayo. Maswali mengi muhimu hayajajibiwa tangu zamani na bado yanatutatanisha leo "

Flew mwenyewe aliandika hivi Mnamo mwaka 2007 " Jambo muhimu si tu kwamba kuna Sheria za Asili, bali pia ni sahihi kabisa Kihisabati , ni za Kweli na zina Uwiano uliokamilika"

Mwanasayansi wa Fizikia, wa karne ya 20, Albert Einstein alisema kwamba" Zinathibitisha kwamba kuna mtu mwenye akili aliyezibuni "

Swali tunalopaswa kujiuliza ni, Sheria hizi za Asili zilitokea jinsi gani? Bila shaka swali hilo liliulizwa pia na Wanasayansi mashuhuri kama Isack Newton, Albert Einstein, na Heisenberg, na jibu lao lilikuwa zilitokezwa na Akili ya Mungu. 

Kwa kweli, wanasayansi wengi wenye kuheshimiwa sana hawaoni kwamba inapingana na sayansi kuamini kwamba kuna Muanzilishi mwenye Akili. Kwa upande mwingine, haipatani na Akili kusema kwamba, Ulimwengu, Sheria zinazouongoza, Uhai pamoja na Ubongo kwamba vilijitokeza tu ghafla vyenyewe. Sisi sote tunajua kwamba, vyombo vyote tunavyoviona, vitu kama, nyumba, magari, Meli au merikebu, ndege au helkopita, hata vifaa kama Komputa, TV au redio kwamba zimetengenezwa na mtu fulani tena mtaalamu zaidi na kwamba ni mtu mjinga tu angeokota Simu Porini, kisha aseme haijaangushwa hapo na mtu. Kwa kweli mtu mwenye utambuzi timamu atazungumza kama Mwandishi wa kitabu cha Waebrania kwamba "Maana kila nyumba imetengenezwa na mtu, lakini aliyevitengeneza vitu vyote ni Mungu" - Waebrania 3:4

Kwa kweli sote pamoja tunaguswa na Miundo tata ya Ulimwengu, na kwa kweli tunapotafakari Maajabu yake twajikuta tumevutwa kusema kama Mtunga Zaburi kwamba "Mbingu zauhubiri utukufu wa Mungu na anga laitangaza kazi ya mikono yake" - Zaburi 19 :1


Friday, March 16, 2018

WAISLAMU WAPIGWA MARUFUKU KUPIGA ADHANA CHUO KIKUU CHA DUKE NCHINI MAREKANI

Image result for WAISLAMU WAPIGWA MARUFUKU KUPIGA ADHANA CHUO KIKUU

Marekani imepiga marufuku adhana katika Chuo Kikuu cha Duke kilichoko Durham, North Carolina nchini humo. Chuo Kikuu cha Duke ambacho hivi karibuni kilikuwa kimetoa ruhusa kwa Waislamu wa chuo hicho kuadhini, kimepiga tena marufuku suala hilo. 


Wiki iliyopita, viongozi wa chuo hicho kilichopo katika jimbo la Carolina kaskazini walitoa taarifa rasmi iliyoruhusu adhana kupitia mnara wa kanisa shuleni hapo. 


Awali Michael Schoenfeld, Naibu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Duke alinukuliwa akisema kuwa, wanafunzi wa Kiislamu wamekuwa na mchango mkubwa katika ustawi wa chuo na kwamba bodi ya shule inakubali watekeleze ibada zao shuleni hapo.


Hata hivyo ghafla viongozi wa chuo hicho wamepiga marufuku adhana bila kutolewa sababu maalumu. 


Baadhi wanamtaja Franklin Graham, kasisi wa Kimarekani kuwa chanzo cha marufuku hiyo, hasa kwa kuzingatia kuwa hivi karibuni alitishia kukata misaada yake kwa chuo hicho ikiwa Waislamu wataruhusiwa kuadhini chuoni hapo.


SHUKRANI KWA KUFUNGUA BLOGU YETU. TUPE MAONI YAKO KUHUSIANA NA HABARI ULIYOISOMA, ISAMBAZE BLOGU HII KWA WAISLAMU WENGI KADRI UWEZAVYO


Kayseri'de imam köpeğe tecavüz ederken yakalandı


Hayvanlara karşı işlenen şiddet, taciz ve tecavüz olaylarının sonu gelmiyor. Caydırıcı olmayan yasal düzenlemeler ve basit para cezaları sapıklar durduramazken, bir iğrenç haber de Kayseri'den geldi.
CNN Türk'ün haberine göre Kayseri'nin Yahyalı ilçesinde, eski imam olduğu iddia edilen yaşlı bir adam boş arazide köpeğe tecavüz ederken görüntülendi.
Görüntüleri çeken kişinin müdahale ettiği olayda imam panikle pantolonunu toplarken, bir yandan da kendisini polise vermemesi için yalvardı.

Thursday, March 15, 2018

63-Year-Old Imam with Three Wives 'Defiles' 2-Year-Old Child…

Musa Mulo, who is married to three wives was also the Imam of Kibubbu mosque in Lugazi Municipal Council.
Lady Justice Margaret Mutonyi of the Mukono High Court has sentenced a 63 year old man to life imprisonment in Luzira prison after he was found guilty of defiling a two year old girl.
Musa Mulo, who is married to three wives was also the Imam of Kibubbu mosque in Lugazi Municipal Council.
He is said to have committed the offense in 2012

Sex starved man rapes donkey to coma [Video]


Police have arrested an unidentified man in Zimbabawe alleged to have raped a donkey to death.

The suspect who interacted in a native tongue reportedly confessed allegations to be true.
Sex starved man rapes donkey to comaplaySex starved man rapes donkey to coma (Press)

In a video circulating social media, the animal lover was heard vocalizing as policemen behind the camera questioned about the incident.
The man who appeared to be middle-aged was seen in the clip making a thrusting movement as if to indicate how he carried out the action.

Imam Who Raped 2-Year-Old Claims Pants Unzipped by Itself…

Musa Mulo, an Imam at a mosque in Uganda, has denied sexually abusing a toddler by his own intentions. He alleged that his trouser opened by itself.

In Mukono, Uganda, an Imam, Musa Mulo, who damaged the private part of a 2-year-old girl, has revealed that his trouser zipper opened by itself.
He mentioned this while giving a testimony at a High Court.

The accused committed the act in the year 2012, according to a police prosecutor, Ms. Janat Kitimbo, who mentioned that the cleric was able to abuse the toddler following a visit to his residence.

play
Imam who damaged 2-yr-old girl's private part says zip opened by itself (kenh14)

The latter reportedly snatched her into a room, sexually assaulted her before making to release the victim.

"I carried that child, put her on my laps and I just saw my zip opening by itself,” says Mulo who was sentenced to a life in prison by Justice Margaret Mutonyi.

The latter, while giving her ruling described the Imam as a danger to the society, one that should be kept away from children.

Father, young son jointly rape little daughter
In Calabar, Cross River State, a man and his young son have been tied with chains based on an allegation of rape of little daughter.

The abominable act was initiated in the absence of victim's mother.play
The abominable act was initiated in the absence of victim's mother. (LIB)
A Facebook user, Kijiejake Jacob Ochang, made this known in a post.

He explained that the shocking sexual abuse occurred when the girl's mother was away from home. The suspects were apprehended and have been delivered to the police according to the Linda Ikeji's Blog (LIB).

Son tied to chain for raping little sister alongside father.play
Son tied to chain for raping little sister alongside father. (LIB)

"A woman and a son join and rape a daughter in the absence of wife," writes Ochang.

play
ALSO READ: Sex starved man rapes donkey to coma

Pictures which accompanied the post showed the pair tied by the wrist with chains clipped to truck-sized tyres.

Neighbours who gathered to watch the culprits of the abominable act wore a look of shock - their responses to the distressful event.

Rwanda bans Kigali mosques from using loudspeakers

Kimironko mosque
Rwanda has banned mosques in the capital, Kigali, from using loudspeakers during the call to prayer.
They say the calls, made five times a day, have been disturbing residents of the Nyarugenge district, home to the capital's biggest mosques.
But an official from a Muslim association criticised it, saying they could instead keep the volume down.
Some 1,500 churches have been closed for not complying with building regulations and noise pollution.
The majority of Rwandans are Christian. Muslims make up around 5% of the population.
The government says the Muslim community has complied with the ban.
http://www.bbc.com/news/world-africa-43413645

Monday, March 12, 2018

Oxford University debate slams Muslims “Islam Is NOT A Religion Of Peace”

Anne Marie Waters breaks out of the politically correct mental/emotional handcuffs and says The truth about Sharia laws. 
Liberals and leftists in the West use the made up term "Islamophobia" to portray anyone who criticizes Islam as a "racist". 
They ignore the fact that Islam is an ideology that has nothing to do with race. 
There is an attempt in the West to impose a sharia-blasphemy law to criminalize criticism of Islam. 
According to the sharia blasphemy law anyone who criticizes Islam or the Prophet Muhammad should be killed. 
Under Sharia blasphemy law in Saudi Arabia and Iran Muslims are executed if they are accused of blasphemy. 
In Pakistan, the situation is even worse, radical Muslims use the blasphemy law to persecute the Christian minority. 
Is this the law the liberals in the West want to adopt? 
If you think Sharia blasphemy law has no place in the West, share this post!
Here's why sharia law should be banned in the West. 
Under Sharia law a woman is considered half of a man, when a woman attests to a Sharia court in countries like Saudi Arabia or Iran, she should bring at least 4 men who support her testimony. 
So in most cases of rape a woman can not prove that she was raped and the court can sentence her to death for adultery, that is what happened to Suraya Menuchari who was stoned to death in Iran on false charges of adultery. 

Under Shari'a laws in the Arab world, almost 90% of women underwent FGM. 
The practice of FGM is banned in most Western countries but some Muslim immigrants are ignoring the law and practicing FGM even in the UK and US. 

Under Sharia law girls can marry at the age of 6, just like the Prophet Muhammad from the Koran did when he married Aisha. 
In Muslim countries like Yemen and Iran, girls are considered "adult" and being sold into forced marriages with grown men by their families. 
There are even some cases of child marriages in Australia and Britain when immigrants brought this tradition into the West. 
According to the Sharia laws An honor killing is the homicide of a member of a family, due to the perpetrators' belief that the victim has brought shame or dishonor upon the family. 
Shari'a honor killing is very common in the Muslim world, but it also happens in the West, in countries such as Britain, the United States and even the Netherlands. 
According to the British media there are 12 honour killings in the UK each year. 

Human rights organizations in the Western world are turning a blind eye to the brutal violation of human rights in the Muslim world under Sharia law. 
Sharia law should be banned in the Western world. 
Share this post if you think Sharia law should be banned in the West.
Liberals and leftists in the West use the made up term "Islamophobia" to portray anyone who criticizes Islam as a "racist". 
They ignore the fact that Islam is an ideology that has nothing to do with race. 
There is an attempt in the West to impose a sharia-blasphemy law to criminalize criticism of Islam. 
It started when Saudi Arabia and Muslim countries tried to pass a UN resolution to force Western states to criminalize criticism of Islam. 
Even The Parliament in Canada passed "Motion M-103" to condemn the so-called "Islamophobia (Fear of Islam)" in a preparation for a blasphemy law in Canada. 
According to the sharia blasphemy law anyone who criticizes Islam or the Prophet Muhammad should be killed. 
Under Sharia blasphemy law in Saudi Arabia and Iran Muslims are executed if they are accused of blasphemy. 
In Pakistan, the situation is even worse, radical Muslims use the blasphemy law to persecute the Christian minority. 
Is this the law the liberals in the West want to adopt? 
If you think Sharia blasphemy law has no place in the West, share this post!

The face of sharia - Afghan girl fled to the United States after her Muslim husband punished her

The husband and father in law brutally punished her under shari'a but she was put in jail and released back to them. 
Her parents gave her away like an object to pay a financial debt. 
Before Muslim men ruled sharia law in Afghanistan, women had human rights. 
Women were free to go out into the street without getting raped, they could vote and get educated. 
All this changed when Muslim men decided to impose Sharia law and take the country back to the Stone Age. 
Today Afghanistan is one of the most dangerous countries for women. 
Sharia is incompatible with Western values. 
The Western world must ban the Sharia laws.
Here's why sharia law should be banned in the West. 
Under Sharia law a woman is considered half of a man, when a woman attests to a Sharia court in countries like Saudi Arabia or Iran, she should bring at least 4 men who support her testimony. 
So in most cases of rape a woman can not prove that she was raped and the court can sentence her to death for adultery, that is what happened to Suraya Menuchari who was stoned to death in Iran on false charges of adultery. 

Under Shari'a laws in the Arab world, almost 90% of women underwent FGM. 
The practice of FGM is banned in most Western countries but some Muslim immigrants are ignoring the law and practicing FGM even in the UK and US. 

Under Sharia law girls can marry at the age of 6, just like the Prophet Muhammad from the Koran did when he married Aisha. 
In Muslim countries like Yemen and Iran, girls are considered "adult" and being sold into forced marriages with grown men by their families. 
There are even some cases of child marriages in Australia and Britain when immigrants brought this tradition into the West. 

According to the Sharia laws An honor killing is the homicide of a member of a family, due to the perpetrators' belief that the victim has brought shame or dishonor upon the family. 
Shari'a honor killing is very common in the Muslim world, but it also happens in the West, in countries such as Britain, the United States and even the Netherlands. According to the British media there are 12 honour killings in the UK each year. 

Human rights organizations in the Western world are turning a blind eye to the brutal violation of human rights in the Muslim world under Sharia law. 
Sharia law should be banned in the Western world. 
Share this post if you think Sharia law should be banned in the West.
Liberals and leftists in the West use the made up term "Islamophobia" to portray anyone who criticizes Islam as a "racist". 
They ignore the fact that Islam is an ideology that has nothing to do with race. 
There is an attempt in the West to impose a sharia-blasphemy law to criminalize criticism of Islam. 
It started when Saudi Arabia and Muslim countries tried to pass a UN resolution to force Western states to criminalize criticism of Islam. 
Even The Parliament in Canada passed "Motion M-103" to condemn the so-called "Islamophobia (Fear of Islam)" in a preparation for a blasphemy law in Canada. 
According to the sharia blasphemy law anyone who criticizes Islam or the Prophet Muhammad should be killed. 
Under Sharia blasphemy law in Saudi Arabia and Iran Muslims are executed if they are accused of blasphemy. 
In Pakistan, the situation is even worse, radical Muslims use the blasphemy law to persecute the Christian minority. 
Is this the law the liberals in the West want to adopt? 
If you think Sharia blasphemy law has no place in the West, share this post!

TRENDING NOW