Sunday, February 25, 2018

ALLAH KATEREMSHA AYA NA KUSEMA YEYE NI YESU KRISTO - SEHEMU YA KWANZA



Ndugu msomaji, nakusihi ufuatilie somo hili kwa makini ili ujue ukweli kuhusu Umungu wa Yesu Kristo katika Koran:

Waislam wote wanakiri kuwa Allah ana majina ya kipekee 99, ambayo ni ya Mwenyezi Mungu peke yake. http://www.theonlyquran.com/99names.php?nameid=3

Moja ya majina hayo ni "AL MALIK" ambalo amejiita mara 206 katika Quran iliyo kuja miaka 600 baada ya Yesu kukiri hivyo kwenye Injili Takatifu. ALLAH ANASEMA HII NI SIFA YAKE YA TATU KATI YA 99.

Quran 59: 23 هُوَ اللَّهُ الَّذِى لاَ إِلَـهَ إِلاَّ هُوَ الْمَلِكُ الْقُدُّوسُ السَّلَـمُ
Yeye ndiye Mwenyezi Mungu ambaye hapana Mungu isipo kuwa Yeye tu. MFALME, Mtakatifu, Mwenye salama, Mtoaji wa amani, Mwenye kuyaendesha Mwenyewe mambo yake, Mwenye nguvu, Anaye fanya analo litaka, Mkubwa, Ametakasika Mwenyezi Mungu na hayo wanayo mshirikisha nayo. Nukuu zaidi soma [Quran, 20:114]

Allah amejiita "AL MALIK" HUKU AKIFAHAMU KUWA Yesu Kristo kasema hivyo kwenye Biblia miaka 600 kabla yake. Hivyo basi, Ushahid wa Yesu ambao ni wa kwanza ndio wa kufuatwa na sio wa mkopiaji ambaye ni Allah.

KUMBUKA, YESU NDIE WA KWANZA KUSEMA YEYE NI AL MALIK, LAKINIA ALLAH SASA ANAJIPA SIFA YA YESU KRISTO YA AL MALIK. HUU NI MSIBA MKUBWA SANA.

UTHIBITISHO:

Ufunuo 17:14
Hawa watafanya vita na Mwana Kondoo na Mwana Kondoo atawashinda, kwamaana yeye ni Bwana wa Bwana na MFALME wa Wafalme.

ALLAH AMEIBA JINA LA YESU KRISTO LA AL MALIKI lililo shuhudiwa kwenye Ufunuo 17 aya 14.

Katika aya hii tunasoma kuwa Yesu anaitwa “Mfalme wa Wafalme” ambayo ni adhama ya Mwenyezi Mungu kama ilivyo shaidiwa na Koran Surah ya 59 na aya 23. Hivyo basi , Allah na Koran wamekiri kuwa Yesu ni Mungu kwasababu Biblia imetuthibitishia kuwa Yesu ni Mfalme wa Wafalme katika Ufunuo 17 na aya 14 miaka 600 kabla ya Quran.

KWANINI ALLAH ANAJIITA AL MALIKI YESU KRISTO?

HAKIKA YESU NI MUNGU MKUU AMBAYE NI AL MALIK

Shalom,

Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu na Mwokozi wetu. Tito 2:13.

No comments:

WHY CHRISTIANITY IS BETTER THAN ISLAM?

Has Islam Improved to Become Better Than Christianity? Does Muhammad fulfill and complete the mission and purpose of Christ? Muhammad emphat...

TRENDING NOW