Wednesday, September 11, 2013
Tuesday, September 3, 2013
Monday, September 2, 2013
YESU NI MUNGU
Adhama ambazo zina Yahweh
pekee apatiwa Yesu Kristo:
1.
Yesu aliumba Ulimwengu:
Wakolosai 1: 16-17
Inasema: 16 Yeye ndiye aliyeumba vitu vyote mbinguni na duniani; vitu
vinavyoonekana na visivyoonekana; kama ni viti vya enzi au nguvu, au watawala
au milki na mamlaka: vyote viliumbwa na yeye kwa ajili yake. 17 Yeye alikuwapo kabla ya vitu vingine vyote na kwa uwezo wake
vitu vyote vinahusiana kwa mpango.
Jambo hili lauumbaji lazima tuliwekee msisitizo
kwasababu inafahamika kuwa ni Yahweh ndie aliye umba Ulimwengu, lakini katika
kitabu hiki cha Wakolosai tunaona kuwa Yesu nayeye anapewa adhama hiyo ya
uumbaji.
2.
Yesu anapewa adhama ya Umilele ambayo ni sifa pekee ya Mungu.
Yohana 8:58 Inasema: 58 Yesu akawa jibu, “Nawaambia wazi, kabla Abrahamu
hajazaliwa, ‘Mimi nipo.’
Katika hiyo aya, Yesu anadai na kusema kuwa Kabla ya Ibrahimu kuwepo,
yeye Yesu alikuwepo!!! Hii sifa ni ya Kimungu Pekee, kwani Mungu ndie pekee
alikuwepo kabla ya uumbaji.
Na kwababu hiyo, Wayahudi wakashika Mawe ili wampige nayo Yesu.
Sasa tujiulize, je hawa Wayahudi wangetaka kumpiga Mawe Yesu kama
haingekuwa ya kuwa alisikikika akikufuru kwa kusema yeye ni Mungu?
Ngoja tuongeze ushaidi zaidi wa Umilele kutoka
Yohana 17: 5
5 Na sasa Baba nipe mbele yako ule utukufu niliokuwa nao pamoja
na wewe hata kabla dunia haijaumbwa.
Katika hii aya, Yesu anadai kwamba aliishi na Baba kabla ya dunia
kuumbwa. Haya maneno ni ushaidi tosha kuwa kumbe Yesu aliishi kabla ya dunia
kuumbwa na alikuwepo wakati wa uumbaji wa dunia.
3.
Yesu
anapewa sifa ya kuwa kila mahali: (Omnipresent)
Mathay0 18:20, na Mathayo 28:20 Inasema:
20 Kwa maana wanapokutana watu wawili au watatu katika jina
langu, hapo mimi nipo pamoja nao.”
Sifa ya kuwa kila
mahali kwa wakati mmoja ni ya Mungu pekee, lakini Yesu anasema yeye hiyo sifa
ni yake na anayo.
4.
Yesu ana adhama ya kufahamu yote:
Mathayo 16:21
Yesu
Anazungumza Juu Ya Mateso Yake
21 Tangu wakati huo Yesu alianza kuwaeleza
wanafunzi wake kwamba hana budi kwenda Yerusalemu na kupata mateso mengi kutoka
kwa wazee, makuhani wakuu na walimu wa sheria; na kwamba atauawa na siku ya
tatu atafufuliwa.
5.
Yesu anapewa ADHAMA YA Mungu
ya MUWEZA wa Yote:
Yohana 11: 38-44
Yesu
Amfufua Lazaro
38 Yesu akafika penye kaburi akiwa amefadhaika
sana. Kaburi lenyewe lilikuwa katika pango ambalo mlango wake ulikuwa umezibwa
kwa jiwe.39 Akasema, “Ondoeni hilo jiwe.” Dada yake mare
hemu, Martha, akasema, “Bwana, patakuwa na harufu kali kwani siku nne zimepita
tangu azikwe.” 40 Yesu akamjibu, “Sikukuam bia kama
ungeamini ungeuona utukufu wa Mungu?” 41 Kwa hiyo
wakaliondoa lile jiwe. Yesu akaangalia mbinguni akasema, “Baba ninakushukuru
kwa kunisikia.
Sunday, September 1, 2013
Tuesday, August 13, 2013
JE, KUNATOFAUTI KATI YA KUPUNGA PEPO NA KUTOA PEPO?
Katika nyakati hizi za mwisho kumekuwa na roho nyingi zidanganyazo binadamu. Roho hizi za mpinga Kristo zinawadanganya wengi na kuwafanya wengi wajione kana kwamba wako na Mungu, kumbe Mungu hayupo kati yao na/au ndani ya maisha yao.
Katika soma hili, tutajifunza tofauti iliyopo kati ya Kupunga Pepo na Kutoa Pepo kwa ushaidi wa aya takatifu za Biblia.
Katika soma hili, tutajifunza tofauti iliyopo kati ya Kupunga Pepo na Kutoa Pepo kwa ushaidi wa aya takatifu za Biblia.
( TIMOTHEO 4:1 ).
“Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani”. Miongoni mwa mambo ya siku hizi za mwisho ni roho hizo kuwafanya watu wadanganyike na kufuata mafundisho ya uongo. Hao ni wale wanaoikataa ile kweli.
(2 TIMOTHEO 4:3-5 )
“Maana utakuja wakati watakapoyakataa mafundisho yenye uzima; ila kwa kuzifuata nia zao wenyewe watajipatia walimu makundi makundi kwa kuwa wana masikio ya utafiti; nao watajiepusha wasisikie yaliyo kweli, na kuzigeukia hadithi za uongo”.
(2 WATHESALONIKE 2:7-12 )
Watu ambao hawataki mafundisho ya utakatifu lakini wanataka kuona nguvu za Mungu maishani mwao, watadanganywa kwa ishara na ajabu za uongo.
Katika nyakati hizi tunaweza kuona jinsi watu wanavyofanyiwa maombezi kwa kuangushwa chini na hatimaye kusimama bila kupokea muujiza wa uponyaji. Utaweza kuona watu wamejazana madhabahuni wakigaagaa chini na baadaye husimama na kuondoka lakini wakati mwingine huchukua muda mrefu kwao kusimama na kuondoka. Jambo la kushangaza ni siku zote kuonekana watu haohao , mapepo yao hayatoki. Miujiza hii imeenea kote duniani, uatakuta watu wanapiga kelele lakini pepo hawawatoki watu hao. Miujiza ya kimungu huondoa pepo kabisa ndani ya mtu tena kwa mamlaka na kumwacha akiwa mzima. Watu hawa hawafanyi miujiza ya uponyaji bali wanapunga pepo. Ni muhimu kujua kuwa hata wapagani wanaweza kupunga pepo na kuwafanya wapige kelele. Waganga wa kienyeji wanaweza kupunga pepo lakini hawawezi kuwatoa. Tunawaona wapunga pepo wakitaka kutoa pepo lakini wanashindwa ( MATENDO 19:13-16 ). Watu hawa walikuwa wa kawaida lakini leo tungewaita walokole kwa kuwa walikuwa watu wa dini.
Jina jingine linalotumika kwa wapunga pepo ni” wapandisha pepo”. Mungu anasema kila anayepandisha pepo ni chukizo mbele zake ( KUMBUKUMBU LA TORATI 18:9-14 ). Waganga wa kienyeji ni wapandisha pepo au wapunga pepo. Kuna mazingira fulani yanaandaliwa ili pepo wajidhihirishe kwao. Wanaimba na kuchezacheza ili nguvu hiyo ya shetani iwe dhahiri kwa mfano wetu tunavyofanya katika kusifu au kuabudu ili nguvu ya Mungu ionekane au idhihirike. Mfano Paulo na Sila gerezani walimsifu Mungu na nguvu za Mungu zikashuka milango ya gereza ikafunguka.
Kazi tuliyoitiwa ni ya kutoa pepo na siyo kupunga au kupandisha pepo ( MARKO 16:17 ‘Na ishara hizi zitafuatana nao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo”. MATHAYO 12:22-28 ). Kazi ya kupunga pepo ni ya shetani. Yesu aliuliza,” je, wana wenu huwatoa kwa nani?”. Swali hili la Yesu lilielekezwa kwa afarisayo walioishangazwa na mamlaka yake ya kuponya wagonjwa na kutoa pepo. Kimsingi hapo alikuwa akiuliza kuhusiana na wapunga pepo au wapandisha pepo, kwamba wao wanatumia nguvu gain?
Kuna madaraja katika majeshi ya pepo. Katika kutoa kafara tofautitofauti kubwa au ndogo ndipo Mganga anapoweza kupata pepo wa daraja la juu au la chini. Huyo anayelipa leseni kubwa yaani kafara , anapewa uwezo mkubwa wa kipepo. Anakuwa na mamlaka makuu kama kamanda wa Jeshi hivyo anaweza kuwaamuru pepo kumwingia mtu na kunyamanzisha pepo wadogo waliomo ndani ya mtu lakini hatimaye hari ya huyo mtu baadaye inakuwa mbaya zaidi kwa sababu idadi yao ( pepo ) imeongezeka.
Wednesday, July 31, 2013
Islam offers HELL and that is all
Allah Promised hell for his followers:
Sura 3:185, "Every soul shall have a taste of death: And only on the Day of Judgment shall you be paid your full recompense. Only he who is saved far from the Fire and admitted to the Garden will have attained the object (of Life): For the life of this world is but goods and chattels of deception."
This Suras from Quran very clearly says that after death everyone will go to hell fire then judgment.. When a person went to hell fire then how and why it is possible that he/she can come out from hell fire and go to paradise.. no way.. This verse does not say anything about eternal life. This verse very clearly says that every believer in Allah is tasting death means they did not get the life while Jesus promised eternal life and heaven as we read in
John 10:10 "The thief does not come except to steal, and to kill, and to destroy. I have come that they may have life, and that they may have it more abundantly.
And also every soul is going to hell fire till the day of judgment means they are not reaching heaven. So of course Allah promised hell fire for his believers. There is no chance to go to heaven once you go to hell. Jesus can save you when you are still in this world as He said in John 3:15 "that whoever believes in Him should not perish but have eternal life.
John 3:16 "For God so loved the world that He gave His only begotten Son, that whoever believes in Him should not perish but have everlasting life.
How a person can save himself/herself from hell fire when he/she is already in hell fire? And this verse says that they will be there till the time of Day of Judgment. Do you think a person who is already in hell will get a seat in heaven after judgment? Judgment is a day when people get their sentence and verdict.. and there are no second chances to "make it to heaven" once you have been cast into hell.
And he claims all those who don't follow Islam are going to hell..so according to Muhammad, everyone is going to hell...
"If anyone desires a religion other than Islam (Submission to Allah), Never will it be accepted of him; and in the Hereafter he will be in the ranks of those who have lost."(Qur'an 3:85)
Subscribe to:
Comments (Atom)
Contradictions in the Quran: A Theological and Textual Examination
Contradictions in the Quran: A Theological and Textual Examination By Dr. Maxwell Shimba, Shimba Theological Institute Introduction Muslims ...
TRENDING NOW
-
Baba umenipa funguo muhimu katika Mathayo 16:19 za kufunga na kufungua. Ninatumia funguo hizo kufunga na kufungua, kuvunja na kubamiza kil...
-
Kuna watu wanapitia mateso mengi sana, wengine wamefungwa katika vifungo bila wao kujijuwa basi chukua muongozo huu utakusaidia au itasaid...
-
Adui anakuja kuiba, kuua na kuharibu kila kitu chetu, ni lazima kuwa tayari kupambana na maadui, tujue silaha zetu, na kutumia neno la Mun...
-
Twakusalimu kwa mara ingine katika jina tukufu na takatifu la Yesu Kristo Bwana wetu. Twazidi pia kukushukuru kwa ajili ...