Monday, June 22, 2015

UONGO WA MTUME MUHAMMAD NA QURAN KUHUSU KUPASUKA KWA MWEZI NA KUTEMBEA KWA JUA

1. Mtume Muhammad adai kuwa alipasua Mwezi
2. Hakuna Ushahid wa wapi vilipo vipande hivyo vya Mwezi
3. Muhammad adai kuwa Jua linatembea.
Ndugu wasomaji, leo naanza kwa kusema, hakika Msingiwa Uilam ni uongo na shaka ambazo hazina Ushahid.
Ungana nami moja kwa moja na tuone huo uongo upo wapi katika dini hii ya Jibril ibn Allah.

KUPASUKA KWA MWEZI"Hitaji la wapagani kwa Nabii kuwa awaonyeshe miujiza. Nabii aliwaonyesha kupasuka kwa mwezi. ‘Abdullah bin Massud alisimulia: Wakati wa maisha ya Nabii mwezi ulipasuliwa vipande viwili na Nabii alisema kuhusiana na hilo, ‘Shuhudia (jambo hili).’" Bukhari juzuu ya 4 kitabu cha 56 sura ya 26 na juzuu ya 4 kitabu cha 56 sura ya 26 na.830, uk.533.

"Anas alisimulia kwamba watu wa Maka walimwomba Mtume wa Allah awaonyeshe muujiza, na kwa ajili hiyo aliwaonyesha mwezi unaopasuka." Bukhari juzuu ya 4 kitabu cha 56 sura ya 26 na.831, uk.533.
"Ibn ‘Abbas alisimulia: Mwezi ulipasuliwa vipande viwili wakti wa uhai wa Nabii." Bukhari juzuu ya 4 kitabu cha 56 sura ya 26 na.832, uk.534.

Mwezi unaopasuka. Bukhari juzuu ya 6 kitabu cha 60 sura ya 225 na.290, uk.273 na rejeo la 1 chini ya uk.273; juzuu ya 6 kitabu cha 60 sura ya 287 na.387-391, uk.365-366; juzuu ya 6 kitabu cha 60 sura ya 261 na.345, 349, uk.331; Bukhari juzuu ya 6 kitabu cha 60 sura ya 265 na.368-370, uk.331, 336.
Kuupasua mwezi Sahih Muslim juzuu ya 4 kitabu cha 37 na.6721, 6724-6730, uk.1467-1468.
Sura 54:1 inasema, "Saa (ya hukumu) imekaribia, na mwezi ulipasuliwa vipande viwili. (toleo lililorekebishwa la Yusuf ‘Ali).

Tambua kuwa kupasuliwa vipande viwili kunamaanisha kuwa mwezi uligawanywa nusu kwa nusu, na kitenzi kilichotumika hapa ni cha wakati uliopita. Hatuna kumbukumbu za watu wengine wowote ulimwenguni, ikiwa ni pamoja na jirani zao wa Misri, Syria, au Uajemi ambao waliuona mwezi uliopasuliwa vipande viwili. Kurani na hadithi hazisemi ni jinsi gani mwezi uliweza kurudi kuwa kitu kimoja tena.
Vile vile Imaam Ahmad amerekodi kuwa Jubayr bin Mutw'im alisema: "Mwezi ulipasuka vipande viwili wakati wa Mjumbe wa Allah na sehemu ya mwezi ulikuwa juu ya mlima na sehemu nyingine kwenye mlima mwingine. Wakasema (makafiri) "Muhammad ametufanyia uchawi". Kisha wakasema: "Angeliweza kututeka kwa uchawi asingeliweza kufanya kwa watu wote" [Imaam Ahmad]
Usimulizi wa 'Abdullaah bin 'Abbaas (Radhiya Allaahu ‘anhuma):

Ibn 'Abbaas alisema: "Mwezi ulipasuka wakati wa Mtume (Swalla Allahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) [Al-Bukhaariy na Muslim]

Ibn Jariyr alirekodi kwamba Ibn 'Abbaas alisema kuhusu kauli ya Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala):
((اقْتَرَبَتِ السَّاعَةُ وَانشَقَّ الْقَمَر))ُ (( وَإِن يَرَوْا آيَةً يُعْرِضُوا وَيَقُولُوا سِحْرٌ مُّسْتَمِرٌّ ))
((Saa imekaribia, na mwezi umepasuka!))
((Na wakiona Ishara hugeuka upande na husema: Huu uchawi tu unazidi kuendelea)) [Al-Qamar:1-2]
MASWALI:
1. Vipo wapi hivyo vipande viwili vya Mwezi ambao Waislam wanadai Muhammad aliupasua?
2. Upo wapi ushahid wa Kihistoria au Kisayansi ambao unasaidia madai ya kupasuliwa kwa Mwezi na Muhammad?

Hatuna kumbukumbu za watu wengine wowote ulimwenguni, ikiwa ni pamoja na jirani zao wa Misri, Syria, au Uajemi ambao waliuona mwezi uliopasuliwa vipande viwili. Kurani na hadithi hazisemi ni jinsi gani mwezi uliweza kurudi kuwa kitu kimoja tena.

MUHAMMADA ANADAI KUWA JUA LINATEMBEA NA LINASUJUDI KWA KITI CHA ENZI CHA ALLAH
"Abu Dhar alisimulia: Nabii aliniuliza wakati wa machweo ya jua, ‘Unafahamu mahali ambako jua linakwenda (wakati wa kuchwa)?’ Nilijibu, ‘Allah na Mtume wake wanafahamu vizuri zaidi.’ Alisema, ‘Linakwenda (yaani linasafiri) hadi linasujudu chini ya kiti cha enzi, na linapata kibali cha kusimama tena, na linaruhusiwa na kisha (muda utakuja ambapo) litakuwa linakaribia kusujudu lakini kusujudu kwake hakutakubaliwa …’" Bukhari juzuu ya 4 kitabu cha 54 sura ya 4 na.441 uk.283.

al-Tabari juzuu ya 1 uk.231 inasema, "Nilimuuliza Mjumbe wa Mungu [Muhammad] ‘[Jua] linazama wapi?’ Alinijibu: ‘Linazama mbinguni na kisha linachomoza kutoka mbingu kwenda mbingu nyingine hadi linachomoza kwenye mbingu ya juu zaidi, mbingu ya saba. Hatimaye, linapokuwa chini ya kiti cha enzi, linaanguka chini na kusujudu, na malaika wanaolisimamia wanasujudu pamoja nalo. Kisha jua linasema, Bwana wangu, ni wapi unakoniamuru nichomozee, ni upande ule nilikozamia au nilikochomozea?’ Aliendelea. Jambo hili ndilo (linalokusudiwa na) neno la Mungu: ‘Na jua: Hukimbilia mahali linapotakiwa kuwepo (usiku)’ linaposhikiliwa chini ya kiti cha enzi – ‘Jambo hilo limeamriwa na Yeye Mwenye Nguvu na Mwenye Kujua’ Bwana kwa mamlaka yake ya kifalme, Bwana ambaye ‘anavijua’ viumbe vyake. Aliendelea, Gabriel alileta kwenye jua vazi lenye kung’aa tokana na mwanga utokao kwenye kiti cha enzi, kwa kufuata vipimo vya saa na siku. Ni refu zaidi wakati wa majira ya joto na fupi zaidi wakati wa majira ya baridi, na lenye urefu wa wastani wakati wa majira ya kupukutisha majani na wakati wa majira ya kuchipua majani. [Mitindo ya majira ya kuchipua majani, kupukutisha majani na majira ya baridi!] Aliendelea. Jua huvaa vazi hio, kama mmoja wenu anavyovaa zavi lake. Kisha, huwa huru kuzunguka kwenye anga la mbinguni mpaka linapochomoza kutokea upande linaochomozea. … Njia hiyo hiyo hufuatwa na mwezi wakati wa kuchomoza kwake … Lakini Gabriel huuletea vazi kutoka kwenye mwanga wa miguunil. Hivi ndivyo neno la Mungu (linavyomaanisha) ‘Amelifanya jua kuwa angavu na mwezi kuwa mwanga.’"

HUYU MUHAMMAD wanaye dai kuwa alipasua Mwezi, anaendelea kusema uongo kuwa eti Jua linazunguka na kufika kwa Allah ili kusujudu?

MASWALI:

ALLAH NI KIUMBE

1. Allah ana uso kama viumbe
2. Allah ana vaa Nguo kama viumbe
3. Allah ana kaa kwenye Kiti kama viumbe.
4. Allah ana mikono kama viumbe
5. Allah ana Miguu na nyayo kama viumbe


Ndugu zanguni, 

Natanguliza kwa kusema huu ni Msiba Mkubwa sana kwa ndugu zetu kwa kupitia Adam wanao pinga kuwa Allah hana mfano. 

Leo nitawawekea mifano kadhaa kama ushahid kuwa Allah ni kiumbe.

Haya, ungana nami moja kwa moja na tujifunze kuhusu huyu Allah kiumbe.

ALLAH ANAKIRI KUWA YEYE ANA USO
1) Allah anasema: "Popote mutapogeukia kuna Uso wa Mwenyezi Mungu". Sura 2, Aya 115.

Kwenye hiyo aya hapo juu, Allah amesha wajibu wanao bisha kuwa Allah hana uso. Je, kuwa na uso si sifa ya binadamu?

2) Allah anasema: "كل شيء هالك إلا وجهه" (Kila kitu kitaangamia isipokuwa Uso wake (Allah)." Sura 28 Aya 88.

Ndugu zanguni, Allah anaendelea kukiri kuwa yeye ana uso kama viumbe.


ALLAH ANA-VAA NGUO KAMA VIUMBE

الكبرياء ردائي والعظمة إزاري

Allah ansema katika Hadithi hii Qudsi "Ukuu ndi vazi langu la juu na utukufu ndio vazi langu la chini".

Sasa kama Allah anavaa nguo inamana kuwa Allah ana mwili kama viumbe?

Msiba huu ni mkubwa sana ndugu wasomaji.

Katika Hadithi nyengine Qudsi, Allah anasema: "….Na mja wangu hajikurubishi kwangu kwa kitu nikipendacho zaidi kuliko yale niliomfaradhishia juu yake. Na mja huwa anaendelea kujikurubisha kwangu kwa nawafil (ibada zisizo za lazima) mpaka nampenda: "فإذا أحببته كنت سمعه الذي يسمع به، وبصره الذي يبصر به ويده التي يبطش بها ورجله)  (التي يمشي بها" Basi nikimpenda nakuwa (Mimi ndio) sikio lake analosikia kwalo, na jicho lake analoonea na mkono wake anaoshikia na mguu wake anaoendea."

Hapo Allah kesha kiri kuwa yeye ana masikio, mikono na macho.



ALLAH ANAKAA KWENYE KITI KAMA VIUMBE

Katika Sura 69:17 Surat al-Haaqqah tunasoma maneno haya:
“Na malaika watakuwa kandoni mwake na malaika wa namna nane watachukua kiti cha enzi cha Mola wako juu ya…”

Tena katika Sura 85:15 Syrat Buruj inamtaja Mungu wa Waislamu aitwaye Allah kuwa yeye ndiye mmiliki wa kiti cha enzi. 

Swali ambalo napenda kuwauliza Waislamu wote Allah kumiliki kiti cha enzi. Je, kiti hicho anakifanyia nini? Huenda watu wakanishangaa. Nasema hivyo nikiwa na maana ya je, Allah naye anakaa katika kiti kama wakaavyo wanadamu? Je, ana miguu kama mwanadamu kama anakaa kama mwanadamu katika kiti cha enzi, basi haikosi hana tofauti na mwanadamu.

Angalia katika Sura ya 69: 44-45 Surat Al-haqqah twasoma.
“Na kama (mtume) angelizuia juu yetu baadhi ya maneno tu bila shaka tungalimshika kwa mkono wa kuume”.

Aya hii inaonesha kuwa Allah ana mkono wa kuume. Na kama Allah ana mkono wa kuume atakosaje mkono wa kushoto? Na kama Allah  anasema atakosaje mdomo? Basi ondoeni dhana ya kwamba Allah hana mfano.



ALLAH ANA MIKONO KAMA VIUMBE

Saturday, June 20, 2015

ALLAH ASEMA MWANAMKE KUVAA NYWELE BANDIA, KUKATA NYUSI NA KUJIPAKA MANUKATO AU UZURI NI LAANA

1. Allah awakataza Wanawake kuvaa Nywele Bandia
2. Allah awakataza Wanawake
kujipaka Manukato.
3. Allah awakataza Wanawake kujipodoa.

Ndugu zanguni,

leo ningependa tujifuze kidogo kuhusu mapenzi ya Allah kwa Wanawake alio waumba.

Hebu twende moja kwa moja kwenye Ushahidi:

Allah Anasema: 
“Wala wasionyeshe uzuri wao isipokuwa unaodhihirika. … Na wala wasionyeshe uzuri wao ila kwa waume zao, au baba zao, au baba wa waume zao, au watoto wao…” (24: 31). 

Pambo la mwanamke linajumlisha sehemu zake za kimaumbile kama uso, nywele na sehemu nyingine za kuvutia za mwili wake na nyongeza za uzuri wa bandia kama nguo, vito vya thamani, vipodozi na mfano wake. Haifai kwa mwanamke yeyote Muislamu kutoka nyumbani kwake akiwa amejipaka vipodozi au manukato.


ALLAH ASEMA WANAWAKE WANAPO TUMIA MANUKATO WANAKUWA NI SAWA NA MALAYA

Mwanamke wa kiislam anapo-tumia manukato mwilini mwake anakuwa Malaya....
Mishkat al-Masabih – vol 2, p. 255

MTUME MUHAMMAD ASEMA KUVAA WIGI AU NYWELE BANDIA NI HARAM
Mtume (s.a.w.w) amewataka Wanawake wazikirimu nywele zao kwa kuzitazama vyema, kuzipata mafuta na hata kuzitia henna na katm (mmea kutoka Yemen). Inafahamika kuwa mafuta, henna na katm zinabadilisha umbile la nywele, kwani zote hizo zina kemikali. Dawa za nywele zinaweza kutumiwa ikiwa zitabaki katika misingi ya Uislamu, miongoni mwayo ni: -

Na Mtume (s.a.w.w.) amesema: “Haifai kudhuru wala kulipana madhara” (Ibn Maajah na ad-Daaraqutniy).

Ikiwa zitamlazimu kutotia maji kichwani, hivyo hutaweza kutawadha wala kuoga na Swalah zitakuwa ni zenye kukupita au kupoteza mda mwingi kuwa katika saloon ili kutiwa hizo dawa badala ya kutekeleza mambo muhimu. Pia jambo hili litakufanya kutoweza kutekeleza haki zako kama mke kwa mume ambayo ni ‘Ibadah na thawabu kubwa.

Na ifahamike kuwa mambo ya mapambo ya nywele ambayo yamekatazwa kabisa na sheria ya Kiislamu. Mfano wake ni kukata au kukatwa nyusi kwani katika hili Mtume (s.a.w.w) amemlaani mwenye kukata na mwenye kukatwa.

ALLAH AMELAA NI WANAWAKE WANAO KATA NYUSI. ALLAH ASEMA HUKO NI KUBADILISHA MAUMBILE ALIYO UMBA ALLAH

((Allah Amemlaani mwanamke anayefanya tatoo (chanjo za kujichora) Na mwenye kuomba kufanyiwa, na anayetoa nyusi na mwenye kuomba kutolewa na anayechonga meno kuweka nafasi (mwanya), kubadilisha maumbile ya Allah kwa ajili ya kupata uzuri)) Al-Bukhariy Imetoka kwa 'Abdullah Ibn Mas'uud (r.a.)

MUHAMMAD ASISITIZA KUWA KUVAA WIGI NI HARAMU NA ALLAH HUTEREMSHA LAANA YAKE KWAKO

SHETANI NA MAJINI MACHAFU YASILIMU NA KUWA WAISLAM

1. Mtume Muhammad akutana na Majini usiku na kuyafundisha Quran.
2. Shetani na yeye aingia msikitini na Kusilimu.

Ndugu zanguni huu ni Msiba kwa ndugu zetu Waislam. Ngoja niweke kwanza Ushahid hapa chini.

SHETANI ASILIMU
Hadith imepokelewa na Israr-e-Muhammad, Ukurasa wa 30 Inasema:

Shetani alifanya kiapo cha kusilimu Msikitini alipo ongozwa kufanya Shahada na Abu Bakr. Abu Bakr anasema kuwa, Shetani akawa Muislam

Wakulu ushaidi ndio huu hapa. Kumbe na Shaytan ni Muislam.
Je, inamaanisha kuwa Uislam ni dini ya Shetani? Kumbe ndio maana Majini yote machafu ni Maislam.

1. Shetani naye Asilimu na kuwa Muislam.
2. Majini nayo yasilimu na kuwa Maislam.
3. Kumbe Uislam ni ndugu za Majini

MTUME MUHAMMAD AKUTANA NA MAJINI USKU
Allah S.W.T. ametuhakikishia wazi kuwa ujumbe aliopewa Mtume S.A.W. ulikuwa kwa Wanadamu na Majini na Mashetani pia. Na katika Qurani na Hadithi za Mtume S.A.W. kuna dalili zilizo wazi zinazoyakinisha kuwa Mtume S.A.W. alikuwa akikutana nao na kuwafundisha dini. Na hata wakati mwingine Majini walikuwa wakitoa majibu mazuri zaidi kuliko Binadamu kwenye masuala ya dini. Na mfano ni wakati waliposomewa Suratir Rahmaan. Hadithi iliyopokelewa na Jaabir bin Abdallah R.A.A. na iliyotolewa na Ttirmidhi kasema, “Wakati ambapo Mtume S.A.W. alipowasomea Majini Suratir Rahmaan, “
لَقَدْ قَرَأْتُهَا ‘‘يعني سُورَةَ الرَّحْمَنِ’’ عَلَى الْجِنِّ …، فَكَانُوا أَحْسَنَ مَرْدُودًا مِنْكُمْ ، كُنْتُ كُلَّمَا أَتَيْتُ عَلَى قَوْلِهِ ]فَبِأَيِّ آلاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ[ قَالُوا: لا بِشَيْءٍ مِنْ نِعَمِكَ رَبَّنَا نُكَذِّبُ ، فَلَكَ الحمد
Maana yake, “Hakika nimewasomea Majini (yaani Suratir Rahmaan)…wamejibu vizuri zaidi kuliko nyinyi. Kila nilipofikia kauli Yake (Mwenyezi Mungu S.W.T.) “Fabiayyi A-alaai Rabikumaa Tukadhibaan.) Maana yake, “Basi ipi katika neema za Mola wenu ambayo mnayoikanusha kuwa si kweli?” (Basi Majini) walijibu “Laa bishaay Min Niamika Rabbana Nukadhibu, Falakal Hamdu.” Maana yake, “Hakuna neema yoyote katika neema Zako Mola wetu tunayoikadhibisha, bali tunashukuru.” Na Mtume S.A.W. alipowasomea Wanadamu hawakujibu chochote, akawaambia, “Ndugu zenu wa Ki-Jini wamejibu jawabu nzuri waliposikia haya.” Na dalili nyingine kuwa Mtume S.AW. pia alikuwa ametumwa kwao ni kisa cha baadhi ya Majini ambao baada ya kuisikiliza Qurani waliiamini na wakarejea kwao na kuanza kuwaita wenzao kwenye dini ya Kiislamu. 

MASWALI:
1. Muhammad alikuwa anakutana na Majini wapi?
2. Kwanini Muhammad alifanya Mkutano na Majini wakati wa Usiku?
3. Wapi kwenye Taurat tumejifunza kuwa Majini yaliumbwa ili kumwabudu Mungu wa Musa na Abrahamu?

ALLAHA ANASEMA KUWA MAJINI YALITUMWA KWA MUHAMMAD ILI KUSIKILIZA QURAN

ALLAH HUYO HUYO ALISEMA KUWA KILA WATU WALIPEWA KITABU CHAO. HAPO TEYARI KUNA SHAKA KWENYE QURAN YA MUHAMMAD AMBAYO SASA INAKABIDHIWA MAJINI MACHAFU.

Allah  kasema katika Suratil Ahqaaf aya ya 29 mpaka 32, “
]وَإِذْ صَرَفْنَا إِلَيْكَ نَفَرًا مِنْ الْجِنِّ يَسْتَمِعُونَ الْقُرْآنَ فَلَمَّا حَضَرُوهُ قَالُوا أَنْصِتُوا فَلَمَّا قُضِيَ وَلَّوْا إِلَى قَوْمِهِمْ مُنْذِرِينَ * قَالُوا يَا قَوْمَنَا إِنَّا سَمِعْنَا كِتَابًا أُنْزِلَ مِنْ بَعْدِ مُوسَى مُصَدِّقًا لِمَا بَيْنَ يَدَيْهِ يَهْدِي إِلَى الْحَقِّ وَإِلَى طَرِيقٍ مُسْتَقِيمٍ * يَا قَوْمَنَا أَجِيبُوا دَاعِي اللَّهِ وَآمِنُوا بِهِ يَغْفِرْ لَكُمْ مِنْ ذُنُوبِكُمْ وَيُجِرْكُمْ مِنْ عَذَابٍ أَلِيمٍ * وَمَنْ لا يُجِبْ دَاعِي اللَّهِ فَلَيْسَ بِمُعْجِزٍ فِي الأرْضِ وَلَيْسَ لَهُ مِنْ دُونِهِ أَولِيَاءُ أُوْلَئِكَ فِي ضَلالٍ مُبِينٍ[ 
Maana yake, “Na (wakumbushe) wakati tulipowaleta kundi la Majini kuja kwako kusikiliza Qurani. Basi walipoihudhuria walisema (kuambiana): “Nyamazeni! (Msikilize maneno ya Mwenyezi Mungu)” Na ilipokwisha somwa walirudi kwa jamaa zao kwenda kuwaonya. Wakasema “Enyi watu wetu! Sisi tumesikia Kitabu kilichoteremshwa baada ya (Nabii) Musa, kinachosadikisha yaliyokuwa kabla yake na kinachoongoza kwenye haki na kwenye njia iliyonyooka. Enyi kaumu yetu! Muitikieni Mlingani, (Muitaji) wa Mwenyezi Mungu na muaminini, atakusameheni (Mwenyezi Mungu) dhambi zenu na atakukingeni na adhabu iumizayo. Na wasiomuitikia Muitaji wa Mwenyezi Mungu, basi hao hawatamshinda (asiwapate) hapa katika ardhi, wala hawatakuwa na walinzi mbele Yake. Hao wamo katika upotofu ulio dhahiri.” 
Na kisa kingine ni cha Majini waliosikia Qurani kutoka kwa Mtume S.A.W wakati alipokuwa akiwasalisha Masahaba wake Sala ya Alfajiri. Na hii ilikuwa bila ya yeye kuwa na habari mpaka Mwenyezi Mungu S.W.T. alipomjulisha. Mwenyezi Mungu S.W.T. kasema katika Suratil Jin aya ya 1 na ya 2, “
]قُلْ أُوحِيَ إِلَيَّ أَنَّهُ اسْتَمَعَ نَفَرٌ مِنْ الْجِنِّ فَقَالُوا إِنَّا سَمِعْنَا قُرْآنًا عَجَبًا * يَهْدِي إِلَى الرُّشْدِ فَآمَنَّا بِهِ وَلَنْ نُشْرِكَ بِرَبِّنَا أَحَدًا[
Maana yake, “Sema: “Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la Majini lilisikiliza (Qurani) likasema: “Hakika sisi tumesikia Qurani ya ajabu. Inaongoza katika uwongofu; kwa hivyo tumeiamini, wala hatutamshirikisha yeyote tena na Mola wetu.”

Makala haya yametolewa katika kitabu changu kiitwacho, "Hakika ya Majini."

MASWALI KUHUSU MAJINI:
1. Wapi katika Taurat tunajifunza kuwa Majini yaliumbwa ili kumwabudu Mungu?
2. Wapi katika Zaburi Tunafundishwa kuwa Majini yaliumbwa ili ya mwabudu Mungu?
3. Wapi katika Injir tunafundishwa kuwa Majini yaliumbwa ili kuwamudu Mungu?


JE, BIBLIA INASEMA NINI KUHUSU MAJINI?

Friday, June 19, 2015

YESU NI MUNGU (Ushaidi Kutoka Biblia) 3





Je, Yesu Kristo Ni Mungu
USHAIDI
Isaya 9: 6
Kwa maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, tumepewa mtoto mwanamume, nao utawala utakuwa mabegani mwake. 

Naye ataitwa: Mshauri wa Ajabu, Mungu Mwenye Nguvu, Baba wa Milele, Mfalme wa Amani.

Huu ni ushaidi unatufahamisha kuwa Yesu atazaliwa na ataitwa Mungu mwenye Nguvu.


Katika Agano Jipya, kuna ushaidi ambao unakiri Umungu wa Yesu Kristo.




USHAIDI
Hebu tusome Wafilipi 2: 5-11
5
Tuweni na nia ile ile aliyokuwa nayo Kristo Yesu. 
6
Yeye ingawa alikuwa sawa na Mungu, hakuona kule kuwa sawa na Mungu ni kitu cha kushikamana nacho, 
7
bali alijifanya si kitu, akajifanya sawa na mtumwa, akazaliwa katika umbo la mwanadamu. 
8
Naye akiwa na umbo la mwanadamu, alijinyenyekeza hata mauti, naam, mauti ya msalaba! 
9
Kwa hiyo, Mungu alimtukuza sana na kumpa Jina lililo kuu kuliko kila jina, 10ili kwa Jina la Yesu, kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, vya duniani na vya chini ya nchi 

11na kila ulimi ukiri ya kwamba YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu Baba.

NENO la "Kwas sawa na Mungu" kwa Kigiriki ni MORPHE-: Ikimanaisha Yesu alikuwa na adhama zote za Kimungu na Mungu. Hivyo basi katika ushaidi huu wa katika kitabu cha Wafilipi tunasoma kuwa Yesu hakuwa mtu wa kawaida bali alikuwa ni Mungu pamoja nasi yaani Imanueli.


UTATA NA SHAKA KUBWA KATIKA QURAN KUHUSU MUSA KUMSHUTUMU HARUN NA MSAMARIA KWA KUTENGENEZA NDAMA WA DHAHABU

Ndugu Msomaji,

Hebu rejea katika Surat Taha iliyo teremka Maka katika aya ya 92 mpaka 95.
92. (Musa) akasema: Ewe Harun! Ni nini kilicho kuzuia, ulipo waona wamepotea, ***
93. Hata usinifuate? Je, umeasi amri yangu? ***
94. Akasema: Ewe mwana wa mama yangu! Usinishike ndevu zangu, wala kichwa changu. Kwa hakika naliogopa usije sema: Umewafarikisha Wana wa Israil, na hukungojea kauli yangu. ***
95. (Musa) akasema: Ewe Msamaria! Unataka nini ? ***

Aya hapo juu zinasema kuwa Musa alimkaripia Harun na “Msamaria Mwema” kwa kutengeneza Ndama wa Dhahabu kwa wana wa Israeli wakati Musa alipo kuwa katika Mlima wa Sinai. Je, haya madai ni kweli?

HEBU TUANGALIE USHAHID WA KIHISTORIA
Wa Assyria waliwashinda Wayahudi wa Ufalme wa Kaskazini katika mwaka 722 BC (Kabla ya kuzaliwa Kristo),  na kuhamia uhamishioni na kuleta watu wengine walio tekwa kutoka falme mbali mbali, ambao baadae waliona na Wayahudi wa kabila la chini ambao waliruhusiwa kukaaa hapo na wa Assyria.

Sasa basi, watoto wao ndio waliitwa “Wasamaria” kwasababu walikaa katika ardhi ya Samaria ambayo iliitwa kutoka mwenye ardhi hiyo aliye julikana kwa jina la “Shermer” (Soma 1 Wafalme 16:24) .
1 Wafalme 16: 24 Alinunua kilima cha Samaria kutoka kwa Shemeri kwa talanta mbilia za fedha na akajenga mji juu ya hicho kilima, akiuita Samaria, kutokana na Shemeri, jina la mmiliki wa kwanza wa kilima hicho.
Wayahudi waliwadharau Wasamaria kwa sababu mbili, moja kwa  mchanganyiko wao damu “mixed race” na kwa ajili ya kuanzisha mahekalu yao wenyewe kushindana dhidi hekalu la Yerusalemu.

MASHAKA NA UTATA UNAANZIA HAPA:
Tukio la Ndama wa Dhahabu lililo tokea karibu na Mlima Sinai kama lilivyo tajwa kwenye Quran Sura 20: 92-95 hapo juu lilitokea miaka 1446 BC (Kabla ya Kristo), ambayo ilikuwa ni miaka 725 kabla ya Msamaria wa kwanza kuzaliwa mwaka wa 721 BC.

Ndugu zanguni,

UTATA NA SHAKA KATIKA QURAN WA MUHAMMAD KWENDA MSIKITI WA AL-AQSA

Ndugu zanguni,
Leo ningependa tujifunze kidogo kuhusu utata na uongo ulio wekwa kwenye Qurana kuhusu safari ya Mtume wa Allah aitwaye Muhammad ya usikU kwenda Msikiti wa Al Aqsa ambao upo Jerusalem. Hebu kwanza angalia aya wanayo itumia kusaidia madai yao.
Sura Al israai 1. SUBHANA, Ametakasika aliye mchukua mja wake usiku mmoja kutoka Msikiti Mtukufu mpaka Msikiti wa Mbali, ambao tumevibariki vilivyo uzunguka, ili tumuonyeshe baadhi ya Ishara zetu. Hakika Yeye ni Mwenye kusikia na Mwenye kuona.
Historia inatuambia kuwa Jeshi la Waislam liliuchukua Mji wa Jerusalem panapo Mwaka 637 AD na Msikiti wa Al Aqsa ulimalizika kujengwa mwaka 705 AD.
Tatizo linaanza namna hii: Inafahamika kuwa Muhammad Mtume wa Allah alifariki Mwaka 632 AD tarehe ya 8 na Mwezi wa 6, ambao ni Miaka 5 kabla ya Jeshi la Waislam kufika Jerusalem na ni miaka 73 kabla huo Msikiti wa Al Aqsa kujengwa. Jamani huu ni uongo wa wazi kabisa unao semwa kila siku na hawa Waislam kwa kupitia Allah wao ambaye sasa tunaweza sema kuwa ndie baba wa uongo.
Ndugu wasomaji, hivi ni kwanini Allah anashindwa kuziweka hesabu zake vyema mpaka asema uongo wa namna hii?
Kama kweli Allah alimtuma Muhammad kwenda Jerusalem katika Msikiti wa Al Aqsa, kwanini alishindwa kuutengeneza huo Msikiti kabla ya kufariki kwa Muhammad?
Hakika kuna sababu nyingi sana ambazo zilimfanya Allah akiri katika Quran kuwa, Wakristo na Wayahudi ni watu wa Kita’ab, akimaanisha kuwa ni watu wenye elimu kuliko Waislam na Waarabu.
Surat Yunus 94. Na ikiwa unayo shaka katika tuliyo kuteremshia, basi waulize wasomao Kitabu kabla yako. Kwa yakini imekwisha kujia Haki kutoka kwa Mola wako Mlezi. Basi usiwe miongoni mwa wenye shaka.
MASWALI:
1.    Kwanini Allah alidanganya kuhusu safari ya Mtume Muhammad ya kwenda Al Aqsa?
2.    Kwanini Waislam wanashindwa kufanya hesabu rahisi za tarehe ulio jengwa huo Msikiti wa Al Aqsa?
Hakika Msingi wa Dini ya Uislam ni Allah ambaye amesha pokea sifa ya kuwa ni Baba wa Uongo. Hebu rejea na soma hii aya kutoka Biblia kitabu cha Mungu:
Yohana 8: 44 Ninyi ni watoto wa baba yenu Ibilisi, nanyi mnataka kutimiza matakwa ya baba yenu. Yeye alikuwa mwuaji tangu mwanzo, wala hakushikana na kweli maana hamna kweli ndani yake. Asemapo uongo husema yaliyo yake mwenyewe kwa maana yeye ni mwongo na baba wa huo uongo.
Biblia imesha kujibu kuwa baba wa Uongo ni Ibilisi na husema yaliyo yake mwenyewe. Kumbe basi, ndio maana Allah wa Waislam nayeye anasema yaliyo yake.
Nakukaribisha kwa Mungu Mkuu ambaye yeye sio Baba wa Uongo bali ndie Muumba wa kila kitu na alikufa kwa ajili ya dhambi zako.
Mpokee Yesu leo na upate Uzima wa Milele.
Mungu awabariki sana.

Max Shimba Ministries Org.
Max Shimba Ministries org ©2015. ALL RIGHTS RESERVED

Everyone is permitted to copy and distribute verbatim copies of this license document, but changing it is not allowed.

Thursday, June 18, 2015

KUMBE QURAN IMEJAA SHAKA NA HAIPO WAZIWAZI

  1. Je, madai ya kuwa Quran imekalika na ipo waziwazi ni ya kweli?
  2. Allah ateremsha aya na kudai kuwa, Quran haijakamilika na haipo waziwazi.
  3. Allah asema kuwa aya zingine ndani ya Quran hakuna ajua maana yake isipokuwa Allah.

Ndugu wasomaji;

Leo tutaangalia utata ulio jaa ndani ya Quran ambayo wanadhuoni wengi hudai kuwa imenyooka, huku Allah akiwapinga na kuteremsha aya ambayo inasema kuwa Quran haijanyooka na haipo waziwazi.

Kwanza tuanze kwa kuangalia aya ambayo inasema kuwa Quran ipo wazi na aya zake zimepambanuliwa ni uongofu kwa walio ongoka.

Surat HUD (11:1). Alif Lam Ra. Hiki ni Kitabu ambacho Aya zake zimewekwa wazi, kisha zikapambanuliwa, kilicho toka kwa Mwenye Hikima na Mwenye Khabari

Surat Al Anaam (6:114). Je, nimtafute hakimu ghairi ya Mwenyezi Mungu, naye ndiye aliye kuteremshieni Kitabu kilicho elezwa waziwazi? Na hao tulio wapa Kitabu wanajua ya kwamba kimeteremshwa na Mola wako Mlezi kwa Haki. Basi usiwe katika wanao tia shaka.
Surat An nah’k (16:89). Na (waonye) siku tutakapo wainua mashahidi katika kila umma wakiwashuhudia kwa yanayo tokana na wao, na tutakuleta wewe uwe shahidi juu ya hao. Na tumekuteremshia Kitabu hiki kinacho bainisha kila kitu, na ni uwongofu, na rehema, na bishara kwa Waislamu
Surah tulizo ziweka hapo juu, zinasema na kudai kuwa Quran  imepambanuliwa na ni kitabu kilizo elezwa waziwazi. Ikimaanisha kuwa, unapoisoma Quran, hautapata maswali au kusoma utata katika aya zilizo teremshwa na Allah.

SAA YA WOKOVU NI SASA!

NINI MAANA YA KUOKOKA?

KUOKOKA ni lugha ya kawaida kabisa, yenye maana ya;
Kunusurika, kusalimika, kupona, kukombolewa, kufunguliwa au kutoka katika janga au hatari fulani.Ambavyo jamii yetu maneno haya tunayatumia sana,

NINI MAANA YA WOKOVU?  

Watu wengi neno hili wamelitafsiri vile wa pendavyo au waonavyo  sasa Swali hili acha lijibiwe na maandiko matakatifu, na maneno haya yasibadilishwe kwamba ni wakati gani wa kuokoka kitendo kikishamalizika cha kukiri kifuatacho ni uwokovu kwa mjibu wa neno, fuatilia hapa chini,
Kwasababu ukimkiri Yesu  Kristo kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, UTAOKOKA. Kwa maana kwa moyo mtu huamini hata kupata haki, na kwa kinywa mtu hukiri hata KUPATA WOKOVU”. (Rum 10:9-10.)

Baada ya kumpokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako, ni muhimu sana kupata mafundisho ya awali, yatakayokusaidia kujua kwa hakika, maana ya KUOKOKA au WOKOVU; “ili tusiwe tena watoto wachanga, tukitupwa huku na huku, na kuchukuliwa na kila upepo wa elimu, kwa hila ya watu, kwa ujanja, tukizifuata njia za udanganyifu.” (Efe 4:14)

 

Lini unatakiwa ufanye uamuzi huu muhimu?

Hebu MUNGU na aseme nawe kupitia maneno yake ambayo ni amina na kweli anasema:
Warumi 13:11 
Naam, tukiujua wakati, kwamba saa ya kuamka katika usingizi imekwisha kuwadia; kwa maana sasa wokovu wetu u karibu nasi kuliko tulipoanza kuamini

2Wakorintho 6:2 
"Kwa maana asema, Wakati uliokubalika nalikusikia, Siku ya wokovu nalikusaidia;tazama,wakati uliokubalika ndiyo sasa; tazama siku ya wokovu ni sasa"

Biblia inaonya kuwa "tazama,wakati uliokubalika ndiyo sasa; tazama siku ya wokovu ni sasa" yaani wakati huu unaposoma hapa ndio wakati wako wa kutubu na kumgeukia Mungu kwa njia ya kristo kama bado haujafanya hivyo kwani huu ni uamuzi ambao kila mwanadamu lazima aufanye.Mungu ana kalenda yenye miaka mingi lakini kwenye swala la kuukiri wokovu wa kristo wakati ni sasa..Ninakuomba umpe kristo maisha yako,ili hata kama ukifa muda wowote akupokee na uishi naye milele.

WOKOVU SIO DINI

MAANA HALISI YA WOKOVU
Wokovu ni mpango wa Mungu mwenyewe wakumtafuta na kumkomboa Mwanadamu.

Baada ya Adam na Hawa wanadamu wa kwanza kutenda dhambi na kuvunja uhusiano wa Mungu na Mwanadamu , bado Mungu aliendelea kumpenda mwanadamu na kutafuta ni kwa namna gani na kwa njia ipi ya kurudisha uhusiano wake na mwanadamu aliyemuumba.

“kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamtoa mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee bali awe na uzima wa milele, Yohana 3:16”

Wednesday, June 17, 2015

WAISLAM WAMELAZIMISHWA KUFUNGA SWAUMU

Quran 2:183 Enyi mlioamini mmelazimishwa kufunga saumu kama walivyolazimishwa waliokuwa kabla yenu ili mpate kumcha mungu.

Aya hapo juu inatuambia kuwa, kumbe kufunga kwa ndugu zetu hawa ni kwa kulazimishwa na sio hiyari yao.

1. Wapi tunasoma katika Taurat kuwa Adam alifunga Ramadhani?
2. Wapi tunasoma katika Taurat kuwa Musa alifunga Ramadani?
3. Wapi tunasoma katika Taurat kuwa Ibrahim alifunga Ramadhani?

Ndugu zanguni, hii dini ni ya kujitungia na si kama wanavyo dai kuwa eti iliteremshwa na Allah. Kama kweli Allah ndie aliye iteremsha hii dini kwa Adam, sasa kwanini Adam hakufunga Ramadhani/Swaumu?

Zaidi ya hapo, kwanini katika mfungo hawa ndugu zetu wanakula Usiku kucha/daku? Wapi katika Taurat panasema kuwa watu wale Daku?

Waislam huwa wanatumia aya ambayo inasema kuwa Yesu alifunga, lakini hawasemi kuwa Yesu alifunga kwa siku ngapi na wala hakuna aya ambazo zinasema kuwa Yesu alikula Daku saa nane/kumi za usiku.

Zaidi ya hapo, hatusomi kuwa Yesu alianza kufunga pale alipo uona Mwezi umeandama, la hasha. Wala hatusomi kuwa Yesu alifungulia/maliza kufunga pale Mwezi ulipo andama, la hasha.

Hii tabia ya kuabudu Mwezi ipo kwenye Uislam peke yake.
Maswali kuhusu Mwezi:
1. Hivi kati ya Allah na Mwezi ni nani mwenye Mamlaka ya kuongoza Waislamu?
2. Hivi kwanini Waislam wafuate maamrisho ya Mwezi?

KUMBE MWEZI NDIYE MOLA MLEZI ANAYEABUDIWA NA WAISLAMU!
Q6:77 SURAT AL - AN-A'AM
Alipo uona mwezi unachomoza alisema: Huyu ndiye Mola Mlezi wangu. Ulipotua asema:Kama Mola Mlezi wangu hakuniongoa, nitakuwa katika kaumu walio potea.
HII NDIYO SIRI YA ILE NYOTA NA MWEZI ILIYO JUU YA KILA MSIKITI!

KULA DAKU ASUBUHI:
Kula Daku saa alfajiri ni jibu tosha kuwa, Waislam wamebalisha masaa ya kula na kuamua kula usiku kucha na kukaa na njaa mchana kutwa.
Kumbe basi, hata Wakristo wanao lala usiku na kula asubuhi wao vile vile wanafuga.

Kumbe basi, ndio maana Wazungu wanaita chakula cha asubuhi "BREAKFAST"
Waislam kwanini kula usiku mnaita kufunga?

Wapi Yesu kasema kwenye Injir kuwa watu wafunge Ramadani?

Hakika Ukristo ndio Njia Pekee ya Kwenda Mbinguni.

Max Shimba

Max Shimba Ministries Org @2015.

The Angelic Guardianship in Psalm 91:11: A Scholarly and Inspirational Exploration

The Angelic Guardianship in Psalm 91:11: A Scholarly and Inspirational Exploration By Dr. Maxwell Shimba Shimba Theological Institute A...

TRENDING NOW