Wednesday, August 10, 2016

JE, UNAFAHAMU KUWA WEWE UNAYE PINGA UUNGU WA YESU NI KAFIRI?

JE, UNAFAHAMU KUWA WANAO PINGA WOKOVU KUPITIA YESU KRISTO NI MAKAFIRI?
Ndugu msomaji,
Utawasikia wakisema, Uislam ndio dini ya haki na ya Mwenyezi Mungu. Wanaendelea kusema kuwa, hakuna kuokoka hapa dunia bali Akhera. Hii ndio sifa ya Kafiri, anapinga WOKOVU KUPITIA YESU KRISTO. ZAIDI YA HAPO WANAPINGA UUNGU WA YESU.
KAFIRI SIO TUSI BALI NI WASIFA WA MTU ANAYE PINGA UPENDO WA YEHOVA. KAFIRI NI MTU YEYOTE YULE, AU KIUMBE CHECHOTE KILE KINACHO PINGA UPENDO WA MUNGU KWA BINADAMU WA KUJA KUMUOKOA KATIKA DHAMBI.
NENO KAFIR LINAMAANISHA ASIYE AMINI. Waislamu hawaanini kuwa Yesu Kristo ni Mungu. Waislamu hawaamini kuwa Yesu Kristo anaweza kuponya dhambi za mwanadamu. Waislamu hawaamini kuwa Yesu Kristo yu hai. Hivyo waislamu ni makafiri.
NENO Kāfir INAMAANISHA MTU AMBAYE ANAJIFICHA AU ANAFICHA MABAYA. Waislamu wanaficha ajenda zao kutumia TAQIYYA NA KITMAN. Na kumbuka pia Quran inaruhusu waislamu kudanganya. Wanadanganya kuwa Yesu sio Mwokozi wa Ulimwengu.
UKIMSIKIA MTU ANASEMA MUNGU ATAWEZAJE KUJA DUNIANI KATIKA MWILI, BASI HUYO NI KAFIRI MAANA ANAFIKIRIA MUNGU HANA UWEZO WA KUFANYA ATAKALO NA ANAMLINGANISHA MUNGU NA BINADAMU.
JE, YESU NI NANI KWAKO?

JE, UNAZIFAHAMU KAFARA ZA KIMASHETANI?


Utangulizi:
Kwa akili zawatu zilivyo, wakisikia neno kafala wanakimbilia kwenye waganga wa kienyeji, lakini neno hili kafara kwenye Biblia ndio linaitwa dhabihu kwenye Biblia, kuna maadiko kadhaa yanayo taja kafara kwenye Biblia kama ifuatavyo :- Mambo ya Walawi 2 :2, 9, 16; Mambo ya Walawi 10:13, 14, maandiko haya yanataja neno kafara kwenye Biblia na limeonekana mara nyingi, hii ni kukuonyesha kuwa neno kafala lipo kwenye Biblia na lina maana sahihi, kwahiyo Kafara ni Sadaka inayotolewa kwa ajili ya kupokea jambo fulani kutoka ulimwengu wa roho aidha kwa Mungu au kwa Shetani.
Maana ya Kafara:
KAFARA NI SADAKA INAYOTOLEWA KWA AJILI YA KUPOKEA JAMBO FULANI KUTOKA ULIMWENGU WA ROHO, AIDHA KWA MUNGU AU SHETANI.
KUWA MAKINI NA KAFARA ZILIZOTOLEWA KWA MASHETANI
Kumbe shetani anaweza kutolewa kafaraza aina mbalimbali inaweza kuwa ya vinywaji, uji, nafaka, harufu, watoto au watu wazima; na ni muhimu kuwa makini sana na kuhudhuria sherehe ambazo si za ki Mungu kwasababu waweza kujikuta unashiriki kwenye sadaka hiyo. Kuna watu ambao matatizo yao yamewaanza baada ya kushiriki chakula cha kafara jambo hili Biblia imekataza kwasababu ya madhara yake.
Ufunuo 5:8; 8:3 hapa Biblia inataja Sadaka ya harufu, na ndio maana ukienda kwenye maduka mengi utakuta wameweka vitu vinaitwa ubani; Hii ni Sadaka au Kafala ya kuteketezwa kwa majini, Isaya 43:23; Yeremia 6:20; 17:26, Ubani na Udi ni Sadaka ya kuteketezwa, kimsingi; ile harufu ndiyo inayoifanya iitwe Sadaka ya kuteketezwa, kwahiyo mtu unayemuona anachoma ubani ni anakuwa anatoa kafara ya ubani. Nehemia 13:9. Sadaka za unga na Sadaka za ubani. Kimsingi watu tuliookolewa hatutoi sadaka za ubani kwasababu Biblia inasema maombi ya watakatifu ndio sadaka ya harufu kwa Mungu, Yohana 19:39.

MAPEPO NI NINI? [SEHEMU YA TANO]


Somo:MAPEPO
Mada Ndogo: Njia 8 za kuyashinda mapepo.
Bwana Yesu asifiwe sana,
Ndugu mpendwa, katika sehemu Nne zilizotangulia, tumejifunza maana,asili/ chanzo cha mapepo na dalili kuu za mtu alievamiwa na mapepo. Natumai umebarikiwa sana. Haleluya! Ndugu mpendwa, napenda kukukaribisha katika mwendelezo wa mafundisho yetu juu ya mapepo,ambapo kwasasa tutaangalia kwa kina mbinu/njia za kumshinda pepo.
Ndugu yangu mpendwa, kanisa la leo, liko katika mapambano makubwa sana. Upinzani mkubwa unatoka kwa ibilisi alie shetani, mwenye sifa kuu ya uharibifu.
Hatahivyo, Mungu ameliweka kanisa kwa wakati huu wa mashambulizi kwaajili ya kuukomboa ulimwengu. Amelifanya kanisa kama asikari wa mwamvuli ambaye hushushwa katikati ya eneo ambalo bado liko mikononi mwa adui, ila ikikusudiwa kupambana na hata kushinda. Kwa mantiki hiyo, si hoja tena juu ya kushinda kwa kanisa, bali daima linashinda na litaendelea kushinda.
Katika mwendelezo wa somo letu, leo tutaziangalia njia/uwezo wa kuyashinda mapepo.
Kwanza; Yesu alitoa mamlaka kwa kanisa juu ya mapepo (Marko 16:17). Uweza huu wa ajabu, Mungu ameutoa kwa watu wote wanaomwamini Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wao (Yohana 17:20-23). Ujue, watu wengine wanateseka kwa kuwa hawajui, yule aliye ndani yao. Biblia inasema, aliyeko ndani ya aliyeokoka ni mkubwa mno, maana yake ni kuwa, anayashinda mapepo. Usikubali kuteswa na mapepo, kemea kwa jina la Yesu, lililo jina kuu kupita majina Yote, nawe utakuwa huru.
Pili; Mapepo huamriwa kwa jina la Yesu tu (Marko 16:17). Jina maagano na ahadi ni jina la Yesu tu. Usitumie jina lingine lolote lililo nje ya jina la Yesu. Ni jina la Yesu pekee huweza kuponya,kuokoa na kuhuisha, hata mapepo yanajua hivyo. Kutumia majina mengine ni sawa na kukosea anwani wakati wa kutuma barua, ni kweli barua itaenda ila usitegemee kupokea majibu uliyotarajia kwa kuwa barua haitaenda kwa mlengwa.
Tatu; Yafukuize kwa kutumia mamlaka uliyonayo kama ilivyoelezwa katika hoja ya kwanza. Usiyabembeleze. Tumia amri. Watu wengine hutumia majadiliano, huyafanyia sherehe, huyafukizia uvumba,udi na hata kuyachezea muziki wa asili. Ndugu yangu, waswahili wanasema” ukifanya urafiki na mkia wa fisi,utakufirisi” usikubali kukaa meza moja na mapepo, shetani habembelezwi, yatimue kwa mamlaka ya Jina la Yesu (Mathayo 12:28,Luka 11:20).

SYLVESTER STALLONE MWANA SINEMA MASHUHURI DUNIANI AMEOKOKA NA KUMPOKEA YESU KRISTO KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKE



Sylvester Stallone amesema kuwa ameyasalimisha maisha yake kwa Bwana Yesu Kristo ambaye sasa ndie Bwana na Mwokozi wa Maisha yake.
Bwana Sylvester akizungumza na Pat Robertson kwenye TV ya 700 Club alikiri kuwa katika Yesu kuna raha sana na anamshukuru sana Mungu kwa kumwokoa.

NA UZIMA WA MILELE NDIO HUU, WAKUJUE WEWE ULIYE MUNGU WA PEKEE, WA KWELI NA YESU KRISTO ULIYE MTUMA


Ndugu wasomaji,
Leo nitaielezea aya ya Yohana 17: 3 ambayo Waislam wamekuwa wakiitumia mara nyingi sana kudai kuwa eti, Yesu amekana kuwa yeye ni Mungu.
Waislam kwa kupitia mihadhara ya kidini na kwa kutumia vijarida mbali mbali wanatishia Umma wa Wakristo kuwa, Yesu ameukana Uungu. Je, hayo madai ya Waislam ni kweli? Je, hiyo aya ina la zaidi la kujifunza?
Ili uielewe Biblia vizuri, nilazima usome aya kadhaa ili upate kuelewa nini hasa Mungu anasema kupitia Neno lake. Hivyo basi, nimeweka aya ya 4 na ya 5 ili kufafanua nini hasa Yesu alikuwa anasema katika Yohana 17.
Ngoja niziweke aya zote hapa:
Yohana 17: 3 Nao uzima wa milele ndio huu, wakujue Wewe uliye Mungu wa pekee, wa kweli na Yesu Kristo uliyemtuma.4 Nimekutukuza Wewe duniani kwa kuitimizaile kazi uliyonipa niifanye. 5 Hivyo sasa, Baba, unitukuze mbele Zako kwa ule utukufu niliokuwa nao pamoja na Wewe kabla ulimwengu haujakuwako.
Yesu katika aya ya 5 [Hivyo sasa, Baba, unitukuze mbele Zako kwa ule utukufu niliokuwa nao pamoja na Wewe kabla ulimwengu haujakuwako]
==> YESU anasema kuwa
1. Yeye aliishi kabla ya Ulimwengu kuwepo! Hapo panaanza kukupa mwanga halisi, wa nini Yesu alikuwa anasema na Yesu ni nani. Imani zote zinakiri kuwa aliye kuwepo kabla ya vitu vyote ni Mungu. Lakini katika aya ya 5, Yesu nae anadai kuwepo kabla ya uumbaji.
2. Yesu anaendelea kusema katika aya hiyo hiyo kuwa, yeye alikuwa na adhama ya Mungu -"UTUKUFU". Yesu anamwambia Mungu Baba kuwa, AMTUKUZE YESU KWA UTUKUFU ALIOKUWA NAO KABLA YA ULIMWENGU HAUJAKUWAKO.
Sasa, kama Yesu, sio Mungu na alikuwa Binadamu wa kawaida, aliwezaje kuishi kabla ya ulimwengu kuwepo? Zaidi ya hapo, kwanini Yesu anamwambia BABA YAKE AMTUKUZE? Yesu anatumia mamlaka gani hayo kudai Utukufu ambao sio wake bali ni wa Mungu pekee?

JE, UNAFAHAMU KUWA QURAN NI KITABU KINACHO WAKAFIRISHA WAISLAM?


Ndugu msomaji,
Najua unafikiria kuwa nawasingizia Waislam, la hasha. Bila ya kupoteza muda tuangalie ni kivipi Quran inakafirisha Waislam.
Maana ya Kafiri ni kupinga au pindua maana au ficha ukweli au msingizia Mwenyezi Mungu uongo kwa kutumia vitabu au hadith zilizo kuja baada ya Taurat, Zaburi na Injili. Waislam hawaamini kuwa Biblia ni Neno la Mungu, hivyo basi Waislam wamefanikiwa kunyakua sifa ya KAFIRI.
Kwenye Taurat iliyo kuwepo miaka 2668 kabla ya Quran na Muhammad tunajifunza kuwa Jina la Mwenyezi Mungu ni Yehova au kwa Kiarabu ni YAHUH ( يهوه ) .
Hebu tusome ushahid kutoka Biblia:
Kutoka 6:2-3, Kisha Mungu akasema na Musa, akamwambia, mimi ni YEHOVA; Nami nilimtokea Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kama Mungu Mwenyezi, bali kwa jina langu YEHOVA sikujulikana kwao.
Unaona tofauti ya Allah na Yehova wa kwenye Biblia? Yehova hana kizungumkuti au longa longa kama Allah anaye sema yeye ana majina mazuri mazuri lakini ameshindwa kuthibitisha kuwa YEHOVA ni jina lake.
Mwenyezi Mungu kasema kwa Ibrahimu, Isaka, na Yakobo miaka 2668 kabla ya Muhammad kuwa yeye anaitwa YEHOVA, LAKINI ALLAH hakuwai sema kwenye Quran kuwa Yehova ni Jina lake. KUMBE BASI ALLAH SIO MWENYEZI MUNGU WA IBRAHIM, ISAKA, NA YAKOBO NA QURAN INAKAFIRISHA MPAKA ALLAH WA WAISLAM.
ALLAH ANADAI KUWA QURAN INATHIBITISHA TAURAT, INJIL NA ZABURI. AU SIO,
HEBU TUSOME KWANZA HIYO AYA.
Surat Al Baqara 89. Na kilipo wajia Kitabu kitokacho kwa Mwenyezi Mungu kinacho thibitisha waliyo nayo - na wao walikuwa wakitafutia ushindi kuwashinda makafiri - yalipo wajia yale waliyo kuwa wakiyajua waliyakanusha. Basi laana ya Mwenyezi Mungu juu ya wakanushao!http://www.quranitukufu.net/002.html
Soma ushahid zaidi:

KUMBE ALIYEANDIKA QURAN INAYO WAKAFIRISHA WAISLAM, ALIKUWA NA SHETANI?


Tunaendelea na uthibitisho kuwa Quran INAKAFIRISHA WAISLAM.
Mtu wa Awali, aliyejifundisha kusoma na kuandika katika Mji wa Makka alikuwa Bwana Harb bin Umayya-babu yake Bwana Muawiya. Alijifunza kwa watu wa Yaman, na yeye akaja kuwafundisha waliotaka katika mji wa Makka. Wakati Mtume alipopata utume walikuwako watu 6 tu katika Makka waliokuwa wakijiua kuandika. Wa 4 katika yao waliingia katika Uislamu, wakawa ndiyo waandikaji "Wahyi" (aya za Qur'an), watu hao walikuwa ni Sayyidna Abubakar. Sayydna Umar, Sayyidna Uthman na Sayyidna Ali.
Kitabu cha Maisha ya Nabii Muhammad uk. 8,na Sheiky A.Falsy)
SAYYIDNA ABUBAKAR,
Abubakar, Anasema: "Hakika mimi ninae shetani hunifikia mara kwa mara, basi wakati wowote atakaponifikia muniepuke" (Tabaqatul Kubra, J. 3 Uk. 212)
ETI KORAN IMETEREMSHWA NA ALLAH, THUBUTU
QURAN 2. SURA AL- BAQARA
97. Sema: Aliyekuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwaidhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na niuwongofu na bishara njema kwa Waumini.
SASA KAMA KILIANDIKWA NA MTU ALIYEKUWA NA SHETANI, KWANINI TUSIKUBALI KUWA NI AYA ZA SHETANI NA KITABU KINACHO WAKAFIRISHA WAISLAM?

MAKAFIRI WANASEMA KUWA ALLAH HANA MFANO, LAKINI ALLAH YEYE KAWAKANA TENA KWA AYA ZA QURAN?


1. Allah ana uso kama viumbe
2. Allah ana vaa Nguo kama viumbe
3. Allah ana kaa kwenye Kiti kama viumbe.
4. Allah ana mikono kama viumbe
5. Allah ana Miguu na nyayo kama viumbe
Ndugu zanguni,
Natanguliza kwa kusema huu ni Msiba Mkubwa sana kwa ndugu zetu kwa kupitia Adam wanao pinga kuwa Allah hana mfano. Hawa watu wanamzulia uongo Allah ambaye ni kiumbe. Hakika SIFA KUBWA YA MAKAFIR NI KUSEMA UONGO KWA KUTUMIA QURAN.
Leo nitawawekea mifano kadhaa kama ushahid kuwa Allah ni kiumbe.
Haya, ungana nami moja kwa moja na tujifunze kuhusu huyu Allah kiumbe.
ALLAH ANAKIRI KUWA YEYE ANA USO
1) Allah anasema: "Popote mutapogeukia kuna Uso wa Mwenyezi Mungu". Sura 2, Aya 115.
Kwenye hiyo aya hapo juu, Allah amesha wajibu wanao bisha kuwa Allah hana uso. Je, kuwa na uso si sifa ya binadamu?
2) Allah anasema: "كل شيء هالك إلا وجهه" (Kila kitu kitaangamia isipokuwa Uso wake (Allah)." Sura 28 Aya 88.
Ndugu zanguni, Allah anaendelea kukiri kuwa yeye ana uso kama viumbe.
LAKINI MAKAFARI WA KIISLAM WATAPINGA HILI.
ALLAH ANA-VAA NGUO KAMA VIUMBE, LAKINI MAKAFIRI WA KIISLAM WANAPINGA HILI.
الكبرياء ردائي والعظمة إزاري
Allah ansema katika Hadithi hii Qudsi "Ukuu ndi vazi langu la juu na utukufu ndio vazi langu la chini".
Sasa kama Allah anavaa nguo inamana kuwa Allah ana mwili kama viumbe?

KAMA YESU NI MUNGU, ALIKUWA ANAMWOMBA NANI?


Hili ni moja ya Swali linalo ulizwa sana na Waislam na dini zinazo pinga uungu wa Yesu.
Kama Yesu alikuwa Mungu , ni jinsi gani aliomba kwa Mungu?
Je! Yesu alikuwa akijiomba mwenyewe?"
YESU ALIKUWEPO TOKEA MILELE YOTE
Ili umwuelewe Yesu kama Mungu duniani akiomba kwa Baba yake mbinguni , tunahitaji kutambua kwamba Baba wa milele na Mwana wa milele walikuwa na uhusiano wa milele kabla ya Yesu kuuchukua mwili wa mwanadamu. Tafadhali soma Yohana 5:19-27, hasa mstari wa 23 ambapo Yesu anafundisha kwamba Baba alimtuma Mwana (pia tazama Yohana 15:10). Yesu hakuwa Mwana wa Mungu wakati Yeye alizaliwa katika Bethlehemu. Yeye daima amekuwa Mwana wa Mungu kutoka milele iliyopita, bado ni Mwana wa Mungu, na daima atakuwa.
ISAYA ANAKUJIBU
Isaya 9:6 inatuambia kwamba Mwana alipeanwa na mtoto alizaliwa. Yesu alikuwa daima sehemu ya utatu, pamoja na Roho Mtakatifu. Utatu ulikuwa kila mara, kama, Mungu Baba , Mungu Mwana, na Mungu Roho, si miungu mitatu, lakini Mungu ni mmoja anajidhihirisha kama watu watatu. Yesu alifundisha kwamba Yeye na Baba yake ni kitu kimoja (Yohana 10:30), kumaanisha kwamba Yeye na Baba yake ni wa kiini kimoja na asili moja. Baba, Mwana na Roho ni watu watatu walio na ushirikiano sawa wakiwepo kama Mungu. Hawa watatu walikuwa, na wataendelea kuwa na uhusiano wa milele.
YESU NI MWANA WA MILELE
Wakati Yesu, Mwana wa milele wa Mungu, aliuchukua ule mwili wa mwanadamu usio na dhambi Yeye pia alichukua namna ya mtumwa, kupeana utukufu wake wa mbinguni (Wafilipi 2:5-11). Kama Mungu -mwanadamu, alikua na kujifunza utiifu (Waebrania 5:8) kwa Baba yake hasa wakati wa kujaribiwa na Shetani, mshitakiwa uongo na wanadamu, kukataliwa na watu wake, na hatimaye alisulubiwa. Kuomba kwa Baba yake mbinguni kulikuwa kwa kumwomba nguvu (Yohana 11:41-42) na hekima (Marko 1:35, 6:46). Kuomba kwake kulionyesha utegemezi wake kwa Baba yake katika ubinadamu wake ili atekeleze mpango wa ukombozi wa Baba yake, kama ilivyoshuhudiwa katika Sala ukuhani mkuu ya Kristo katika Yohana 17. Kuomba kwake kulionyesha kwamba Yeye hatimaye alijisalimisha kwa mapenzi ya Baba yake, ambayo ilikuwa kwenda msalabani kulipa adhabu (kifo) kwa kuvunja kwetu sheria Mungu (Mathayo 26:31-46). Bila shaka, Alifufuka katika mwili kutoka kaburini, akishinda msamaha na uzima wa milele kwa wale ambao watatubu dhambi zao na kumwamini kama Mwokozi.
HAKUNA TATIZO KWA UNGU KUWA NA MWANA

ALLAH SIO MWENYEZI MUNGU (SEHEMU YA KWANZA)


Kwanza Qruani inajua kabisa kwamba Allah si mungu na hakuumba Mbingu na Nchi! Ndiyo maana hakuna aya hata moja ndani ya Qruani ambayo Allah wa Qruan anasema kwamba “Mimi ndiye niliyeziumba Mbingu na Nchi” bali utakutana na aya ikisema “Mwenyezi Mungu aliziumba mbingu na nchi”

SASA, kama Allah ni Mungu, kwanini anasema kuwa Mwenyezi Mungu kaumba mbingu na Nchi na HASEMA Mimi nimeumba Mbingu na Nchi?

Pia ijulikane kwamba kila kitu hutambulika kwa majina yake. Hata wanadamu hutambulika kwa majina ndipo mtu utapata kuelewa kwamba anayekusudiwa ni fulani. Mungu wa Biblia anaitwa Niko ambaye Niko, Yehova, Bwana wa Majeshi, Alfa na Omega. Lakini Allah wa Qruani jina lake ni Allah, sasa hoja inakuja hapa, KAMA Allah wa waislam na Mungu wa Wakristo ni mmoja:
1. Ni andiko gani katika Biblia linalosema kwamba Mungu jina lake ni Allah?
2. Pia ni aya gani ndani ya Qruani inayokubali kwamba Allah jina lake ni Yehova?
Lakini katika kufanya utafiti nimegundua kwamba Allah si Mungu wa kweli bali ni Shetani kwamujibu wa Qruani Surat Muhamad aya ya 15. Inasema hivi “Mfano wa pepo aliyowaandalia waja wake mwenyezi Mungu iko hivi, ndani yake kuna mito ya maziwa na mito ya ulevi wenye ladha kwa wanywaji. Humo watapata kuburudishwa kwa matunda ya kila namna na samahani kutoka kwa mola wao.” Lakini ukisoma Qruani hiyo hiyo Sura ya 5 aya ya 90, inasema hivi: “Enyi mlioamini bila shaka ulevi na kamari na kuombwa yeyote asiyekuwa Mwenyezi Mungu ni uchafu na ni kazi ya shetani.”

Ancient Jewish Wedding Ceremony: “No man knows the day or hour, only the Father”

  The Ancient Jewish Marriage Rite: A Detailed Exposition of Betrothal, Preparation, and Consummation Dr. Maxwell Shimba Shimba Theological ...

TRENDING NOW