Wednesday, August 10, 2016

JE, UNAFAHAMU KUWA QURAN NI KITABU KINACHO WAKAFIRISHA WAISLAM?


Ndugu msomaji,
Najua unafikiria kuwa nawasingizia Waislam, la hasha. Bila ya kupoteza muda tuangalie ni kivipi Quran inakafirisha Waislam.
Maana ya Kafiri ni kupinga au pindua maana au ficha ukweli au msingizia Mwenyezi Mungu uongo kwa kutumia vitabu au hadith zilizo kuja baada ya Taurat, Zaburi na Injili. Waislam hawaamini kuwa Biblia ni Neno la Mungu, hivyo basi Waislam wamefanikiwa kunyakua sifa ya KAFIRI.
Kwenye Taurat iliyo kuwepo miaka 2668 kabla ya Quran na Muhammad tunajifunza kuwa Jina la Mwenyezi Mungu ni Yehova au kwa Kiarabu ni YAHUH ( يهوه ) .
Hebu tusome ushahid kutoka Biblia:
Kutoka 6:2-3, Kisha Mungu akasema na Musa, akamwambia, mimi ni YEHOVA; Nami nilimtokea Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kama Mungu Mwenyezi, bali kwa jina langu YEHOVA sikujulikana kwao.
Unaona tofauti ya Allah na Yehova wa kwenye Biblia? Yehova hana kizungumkuti au longa longa kama Allah anaye sema yeye ana majina mazuri mazuri lakini ameshindwa kuthibitisha kuwa YEHOVA ni jina lake.
Mwenyezi Mungu kasema kwa Ibrahimu, Isaka, na Yakobo miaka 2668 kabla ya Muhammad kuwa yeye anaitwa YEHOVA, LAKINI ALLAH hakuwai sema kwenye Quran kuwa Yehova ni Jina lake. KUMBE BASI ALLAH SIO MWENYEZI MUNGU WA IBRAHIM, ISAKA, NA YAKOBO NA QURAN INAKAFIRISHA MPAKA ALLAH WA WAISLAM.
ALLAH ANADAI KUWA QURAN INATHIBITISHA TAURAT, INJIL NA ZABURI. AU SIO,
HEBU TUSOME KWANZA HIYO AYA.
Surat Al Baqara 89. Na kilipo wajia Kitabu kitokacho kwa Mwenyezi Mungu kinacho thibitisha waliyo nayo - na wao walikuwa wakitafutia ushindi kuwashinda makafiri - yalipo wajia yale waliyo kuwa wakiyajua waliyakanusha. Basi laana ya Mwenyezi Mungu juu ya wakanushao!http://www.quranitukufu.net/002.html
Soma ushahid zaidi:

Surat Al Maida 48. Na tumekuteremshia wewe, kwa haki, Kitabu hichi kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake katika Vitabu na kuyalinda. Basi hukumu baina yao kwa aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu, wala usifuate matamanio yao ukaacha Haki iliyo kujia. Kila mmoja katika nyinyi tumemwekea sharia yake na njia yake. Na lau kuwa Mwenyezi Mungu angeli taka ange kufanyeni nyote umma mmoja, lakini ni kukujaribuni kwa aliyo kupeni. Basi shindaneni kwa mambo ya kheri. Kwa Mwenyezi Mungu ndio marejeo yenu nyote, na atakuja kuwaambieni yale mliyo kuwa mkikhitalifiana.
SASA, KAMA NI KWELI QURAN INATHIBITISHA TAURAT, ZABURI NA INJIL,
1. Kwanini hakuna Jina la Yehova kwenye Quran?
2. Kwanini Allah hakusema yeye ni Yehova kwa Muhammad?
3. Kwanini Muhammad hakumuuliza Allah, kuhusu hili jina la Yehova lililo tajwa kwenye Taurat, Zaburi na Injili?
NDIO MAANA NASEMA QURAN NI KITABU KINACHO WAKAFIRISHA WAISLAM. BINADAMU YEYOTE YULE ANAYE TUMIA QURAN KUMTAFUTA MWENYEZI MUNGU, HUYO NI KAFIRI MAANA AMESHA FUATA UKAFIRI ULIO NDANI YA QURAN.
Kwa ushahidi uliopo hapo juu, naweza kusema kuwa ALLAH NI KAFIRI, ALLAH SIO YEHOVA, MUHAMMAD NI MTUME BANDIA NA KAFIRI NA QURAN NI KITABU BANDIA KINACHO WAKAFIRISHA WAISLAM.
Kama kuna Muislam anabisha kuwa yeye sio KAFIRI, basi thibitisha yafuatayo:
1. Nionyeshe Jina Yehova kwenye Quran.
2. Nionyeshe Jina Yahuh kwenye Quran.
3. Niletee aya ambayo Allah anathibistihsa kuwa yeye ni Yehova kama alivyo dai kuwa Quran inathibitisha Taurat, Zaburi na Injil Surat Al Maida 48?
Njia pekee ya kutokuwa KAFIRI ni kumpokea Yesu na kuwa Mkristo.
Nawakaribisha Waislam wote kwa Yesu aliye kuja kukukomboa na kukuweka huru.
Ni mimi Max Shimba Mtumwa wa Yesu Kristo

No comments:

FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE

  **URGENT UPDATE**   **FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE** Shimba TV, New York has received distressing news ...

TRENDING NOW