Thursday, February 16, 2017

“AUSTRALIANS are fleeing areas housing Muslim migrants so as to protect their daughters (from rape and sexual assault)”


“Self-segregation has become a reality,”  says Senator Malcolm Roberts, with people “fleeing areas of heavy migrant settlement, specifically Islamic settlement.”

Breitbart  “This is not only white flight, it is every kind of flight. Every type of Australian is fleeing these new ghettos” claimed the One Nation populist, citing research on diversity and societal cohesion which suggests the country’s identity and social fabric are beginning to fray.

“Culture and integration matter to Australians,” he told colleagues in the Australian parliament’s upper house, condemning the “coldness and arrogance of [the] political elites” who refused to recognize this.

“In our fraying society, self-segregation has become a reality. We the people are seeking to protect our children, our daughters, our property, our liberty,” stated the Queensland senator to parliament Monday.

“If immigrants are to assimilate we should be choosing those from cultures with a track record of ready assimilation,” argued Senator Roberts, pointing out that Australians had few complaints about “Buddhists, or Sikhs, or Hindus, or Jews or Catholics or Protestants and so on”.

“NOT WITHOUT MY DAUGHTER” 2017 version

If every Western woman could be forced to see the 1991 Sally Field movie, ‘Not Without My Daughter,’ they would NEVER marry a Muslim man. Sadly, history keeps repeating itself. This is the story of Stephanie, a Canadian woman who converted to Islam in her late-teens to marry a Libyan Muslim man. She gave birth to two daughters in Canada.

h/t Christine D

If you haven’t seen the film ‘Not Without My Daughter,’ you can watch it here:



QURAN YAMKIRI YESU KUWA NI MUNGU WA KWELI

No automatic alt text available.
Katika vitu ambavyo waislamu huwasumbua vichwa na akili zao, ni kuhusu Uungu wa Yesu, sema vitu vyote lakini ukifika hapo kwenye Uungu wa Bwana Yesu basi mnapotezana, na kitu ambacho kinawafanya waislamu washindwe kukubali kuwa yeye ni Mungu, ni ukosefu wao wa ROHO MTAKATIFU, maana mtu hawezi kukiri kuwa Yesu ni Bwana (Mungu) kama hana ROHO MTAKATIFU, kama yasemavyo maandiko.
2 Korintho 12: 3 Kwa hiyo nawaarifu, ya kwamba hakuna mtu anenaye katika Roho wa Mungu, kusema, Yesu amelaaniwa; wala hawezi mtu kusema, Yesu ni Bwana, isipokuwa katika Roho Mtakatifu.
Kwa hivyo Ndugu yangu Mkristo unapojadiliana na Muislamu kuhusu Habari za Uungu wa Yesu, kamwe hawezi kukubali mpaka ROHO MTAKATIFU auhusike, kinyume na hapao itakuwa ni sawa na kumpigia mbuzi Gitaa, kwa hivyo hoja zake zote zitaegemea katika hali ya Kuutazama mwili kama ambavyo Elisabeti, alimtazama Yesu kama mtu wa kawaida sana ambaye atazaliwa na Mariam, lakini mara baada ya kujazwa na Roho Matakatifu, ndipo alipokiri kuwa Yesu ni Bwana yaani Mungu wake.
Luka 1: 39 Basi, Mariamu akaondoka siku hizo, akaenda hata nchi ya milimani kwa haraka mpaka mji mmoja wa Yuda,
40 akaingia nyumbani kwa Zakaria akamwamkia Elisabeti.
41 Ikawa Elisabeti aliposikia kule kuamkia kwake Mariamu, kitoto kichanga kikaruka ndani ya tumbo lake; Elisabeti akajazwa Roho Mtakatifu;
42 akapaza sauti kwa nguvu akasema, Umebarikiwa wewe katika wanawake, naye mzao wa tumbo lako amebarikiwa.
43 Limenitokeaje neno hili, hata mama wa Bwana wangu anijilie mimi?
Hapo tumeona ni namna gani Umuhimu wa ROHO MATAKATIFU, katika kumjua Yesu kuwa ni Mungu, kwa kuwa Waislamu hawana Roho Mtakatifu, kazi yao hasa ni kumtaza Yesu alipoutwaa Mwili wa Kibinadamu, na kuwa na asili ya mtu, na kuuficha Uungu wake katika mwili, ndo maana akawa akiijita Mtume, Mwana, Kuhani, na hata Nabii, sasa leo sina lengo hasa la kuueleza Uungu hasa wa Yesu, kiundani kwa Biblia, bali nataka niitazame Quran namna ambavyo imemkiri Yesu kuwa ni Mungu, kwa kueleza Sifa za Mungu, ambazo Yesu anazo, kwa hivyo nitaeleza SIFA 5 NDANI YA QURAN ambazo zinakiri UUngu wa Yesu.

JE, NI NANI ALIYE TOLEWA KAFARA? ISHMAEL AU ISAKA?

Image may contain: text
SWALI KUTOKA KWA WAISLAM KUHUSU ISHMAEL NA ISAKA:
JE, NI NANI ALIYE TOLEWA KAFARA? ISHMAEL AU ISAKA?
Kwenye Mwanzo 22:1-18, 
Je inawezekana kuwa mvulana ambaye Abraham alikaribia kumtoa kafara awe ni Ishmael, siyo Isaka, kama ambavyo Waislam wanadai?
Vinginevyo, inawezekanaje Isaka awe "mtoto pekee wa kiume" wa Abram?
Jibu: Ni Isaka aliyetolewa kafara na si Ishmael kwa sababu angalau tatu:
1. Hata Kurani haisemi kuwa alikuwa ni Ishmael: Mwanzo 22:2 inasema alikuwa ni Isaka. Kwa Waislam, ingawa Kurani ya kiislam inazungumzia jambo hili kwenye Sura 37:99-111, hakuna sehemu yoyote kwenye Kurani nzima inayosema kuwa huenda alikuwa Ishmael au Isaka. Kwa hakika, wanazuoni wengi wa awali wa kiislam walifundisha kuwa alikuwa ni Isaka, wakati wengine walifundisha kuwa alikuwa ni Ishmael. Tazama al-Tabari juzuu ya 2 uk.68. al-Tabari juzuu ya 2 uk.82-97 inasema mabingwa 16 wa kiislam walisema kuwa ni Isaka wakati mabingwa 23 wa kiislam walisema kuwa ni Ishmael.
2. Abram alikuwa na mtoto mmoja tu wa kiume wakati ule: Ishmael alikuwa na miaka 14 wakati Isaka alipozaliwa. Hajiri na Ishamael walifukuzwa na kwenda sehemu nyingine Isaka alipoachishwa kunyonya kwenye Mwanzo 21:8-10. Abraham alijaribiwa "kwa muda mrefu" baada ya hapo kwenye Mwanzo 21:34, na "mtoto wa kiume" alikuwa kwenye meza ya kutolea kafara kwenye Mwanzo 22:12.
3. Mrithi pekee: Isaka alikuwa mrithi pekee, na mtoto pekee wa kiume, pia inamaanisha "mtoto wa kiume mpendwa". Ingawa utamaduni wa wakati ule uliruhusu watu kuwa na masuria kwa ajili ya kupata watoto, urithi na haki ya mzaliwa wa kwanza vilienda kwa watoto wa kiume wa mke halisi, siyo watoto wa kiume wa masuria. Tazama Mambo Magumu kwenye Biblia na Mambo Yanayoonekana Kupingana uk.141 kwa maelezo kamili.
Mwana pekee wa ahadi: Mwanzo 21:12 inasema, "katika Isaka uzao wako utatajwa." Abraham alikuwa na watoto wengine pia wa kiume, lakini walizaliwa baada ya ahadi hii.
Leo nimejibu swali la Waislam, nani aliye tolewa sada/
Shalom,
Max Shimba Mtumwa wa Yesu Kristo.

ALLAH AMESHINDWA KUTUAMBIA AKHERA KUNA BUSTANI NGAPI?

Image may contain: ocean, sky, cloud, tree, outdoor, text and nature
Kwa mara nyingine tena, Allah analeta utata katika Quran yake ambayo sasa naweza kusema imejaa shaka na utata na ni ya kutengenezwa kama vitabu vya aladini.
BUSTANI MOJA:
Katika Surat Al Hadid 21. Kimbilieni msamaha wa Mola wenu Mlezi, na Pepo ambayo upana wake ni kama upana wa mbingu na ardhi, iliyo wekewa walio muamini Mwenyezi Mungu na Mitume wake. Hiyo ndiyo fadhila ya Mwenyezi Mungu, humpa amtakaye. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye fadhila kuu
Kwenye hiyo aya hapo juu inasema "PEPO" Ikimaanisha ipo moja NA AU KUNA PEPO MOJA TU. Soma aya zaidi katika 41:30 [the Garden], 57:21 [a Garden], 79:41 [the Garden]
LAKINI NILIPO ISOMA ZAIDI KURAN, NIKAKUTANA NA HUU UTATA:
BUSATI NYINGI:
Surat Al Kahf 31. Hao watapata Bustani za milele, zinazo pita mito kati yake. Humo watapambwa kwa mavazi ya mikononi ya dhahabu, na watavaa nguo za kijani za hariri na at'ilasi, huku wakiegemea humo juu ya makochi. Ni malipo bora hayo! Na matandiko mazuri mno ya kupumzikia!
Nukuu zaidi 22:23, 35:33, 78:32 [kila mara anatumia wingi, each time: "Gardens"]?
Aya hapo juu inasema Bustani "ZINAZO".... Hapo teyari umesha elewa kuwa sio bustani moja kama alivyo dai kwenye Surat Al Hadid aya ya 21.
Ndugu msomaji, teyari tumesha msambaratisha Allah na Quran yake ya kutengenzwa kama ulivyo tengenezwa Uislam.
Mimi sina la ziada zaidi ya kuwaombea ndugu zetu waje kwa YESU MUNGU MKUU.
Kwa wanao jua ung'eng'e:
How many gardens are there in paradise?
Shalom,
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo.

JE, SIKU MOJA YA ALLAH NI SAWA NA MIAKA 1000 AU 50,000?

Image may contain: text
HUU NI MSIBA MKUBWA SANA.
Katika Surat Hajj 47, allah anasema kuwa siku moja ya Allah ni sawa na miaka elfu moja "1,000".
Surat Hajj 47. Na wanakuhimiza ulete adhabu, lakini Mwenyezi Mungu hatakwenda kinyume na ahadi yake kabisa. Na hakika siku moja kwa Mola wako Mlezi ni kama miaka elfu mnavyo hisabu nyinyi.
Ushaidi zaidi upo katika Surat 32. SURAT ASSAJDAH aya ya 5.
LAKINI NILIPO ISOMA ZAIDI KURAN, NIKAKUTANA NA SHAKA NA UTATA MKUBWA SANA.
Surat Al Maaru 4. Malaika na Roho hupanda kwendea kwake katika siku ambayo kadiri yake ni miaka khamsini elfu!
MSIBA NDIO UMEANZIA HAPA.
Hivi huyu Allah hajui kuhesabu siku zake au ni SHAKA KUBWA KUBWA ZA QURAN ndio zinaleta UTATA HAPA?
NIKISEMA KUWA UISLAM NI DINI YA KUTENGENEZA, WAISLAM WANAPIGA KELELE OOOH UNATUKASHIFU, SASA MIMI NIFANYEJE WAKATI KILA KONA YA QURAN IMEJAA UTATA?
Shalom,
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo.

Tuesday, February 14, 2017

DAMU YA YESU INANENA MEMA

Image may contain: text
Tangia Agano la Kale, kila aina ya kafara iliyofanyika Damu ilitumika. Ndiyo maana hata sasa, wachawi na waganga wa kienyeji wakitaka kufanya kazi zao za uharibifu huhitaji damu, aidha ya wanyama kama kondoo, mbuzi, kuku n.k.
Damu inanena / au ina uwezo wa kuongea. WAEBRANIA 12:24…[na Yesu mjumbe wa agano jipya, na damu ya kunyunyizwa, inenayo mema kuliko ile ya Habili.]
Yesu Kristo alimwaga damu yake kwa ajili ya ukombozi wetu – tumekombolewa na damu ya Yesu. (Waefeso 1:7; Wakol.1:20; 1 Petro 1:19; Ufunuo 5:19; Waebrania 9:12).
TABIA ZA DAMU
Damu ina uhai ndani yake. WALAWI 17:11….[Kwa kuwa uhai wa mwili u katika hiyo damu; nami nimewapa ninyi hiyo damu juu ya madhabahu, ili kufanya upatanisho kwa ajili ya nafsi zenu; kwani ni hiyo damu ifanyayo upatanisho kwa sababu ya nafsi.]….
MWANZO 9:4… [Bali nyama pamoja na uhai, yaani, damu yake, msile. 5 Hakika damu yenu ya uhai wenu nitaitaka; na kwa mkono wa kila mnyama nitaitaka; na kwa mkono wa mwanadamu, kwa mkono wa ndugu ya mtu nitataka uhai wa mwanadamu.]… Hii ina maanisha kwamba, kwa kuwa uhai u ndani ya damu, ndiyo maana wanasayansi wameshindwa kutengeneza damu, la sivyo wangeweza kutengeneza uhai pia.
Damu ina Sauti.
Damu inanena / au ina uwezo wa kuongea. WAEBRANIA 12:24…[na Yesu mjumbe wa agano jipya, na damu ya kunyunyizwa, inenayo mema kuliko ile ya Habili.]

Troglodytes Muhammadans at their best

UK Mirror A video has emerged of a woman being lashed in public with a cane in footage showing Indonesia‘s brutal Sharia law punishment.  The woman can be heard screaming in pain in front of a cheering crowd as she takes her cruel beating before collapsing.

Nur Elita, 20, had to be taken away in an ambulance after being beaten in public outside her mosque under Sharia law. A crowd cheered as a young woman screamed in agony as she was repeatedly caned in punishment for being in ‘close proximity’ to a man she wasn’t married to.

Dozens of civilians can be seen gathering around an elevated stage and film the events on their smartphones. A masked man, whose identity is kept completely hidden, plays to the crowd by wiggling the cane provocatively near the woman’s back.

GERMANY IN CHAOS as Troglodytes Muslims are burning down their own refugee centers


MUSLIM MIGRANTS posing as refugees in Germany have been behind a series of destructive arson attacks on refugee centers where they are housed. Why would Muslims do this to their own shelters? They don’t like the accommodations and want to be placed in nice homes and apartments of their own.

UK Express  Germany has been blighted by a series of devastating fires in recent months, many of which have been blamed on Muslim newly arrived invaders. Now another two blazes have been reported in the last week.

ITALY: 15-year-old schoolgirl raped in broad daylight on commuter team by Muslim invaders


A 15-year-old schoolgirl was allegedly groped and raped by two Muslim migrants on the commuter train from Milan to Mortara Thursday afternoon.

Breitbart  On Saturday morning, the girl was hospitalized with multiple bruises, a concussion and a broken rib, and police have launched a search for the assailants accused of aggravated assault and sexual assault.

According to police reports, after school—around 4:00pm—the girl went to the Milan station of Porta Genova to catch the local commuter train home, sitting with a friend in the last carriage. When the friend got off the train at an earlier stop, the girl was left alone. It was then that two young men wearing jeans and hoodies, whom the girl described as North Africans in their mid-twenties, accosted her with kicks, punches, and “insistent fondling of the crotch.”

The girl screamed and cried for help, but no one came, probably because the train was virtually empty at that hour. The men ended by raping the girl, who eventually managed to break free at the next stop and made it to her home. She kept the incident to herself and said nothing of the attack that day to her mother.

Friday morning at school, however, the girl experienced dizziness, nausea and pain and after confiding what had happened to a couple classmates, was taken to a local clinic around noon. After examining her wounds, doctors alerted the police to the sexual violence.



Though a widescale manhunt has been mobilized, the two assailants are still at large (and probably will remain so).

TRENDING NOW