Tuesday, March 14, 2017

Kwanini Allah na Muhammad hawapendi wanawake?

Image may contain: one or more people and indoor
Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema:-
“AKIMWITA MMOJA WENU MKEWE KITANDANI KWAKE (KUMUINGILIA), BASI AKIKATAA MKE KWENDA (KUTIMIZA HAJA YA MUMEWE), (BASI YULE MKE) ANALAANIWA NA MALAIKA MPAKA ASUBUHI.”
((Allah Amemlaani mwanamke anayefanya tatoo (chanjo za kujichora), na mwenye kuomba kufanyiwa, anaye paka hina, na anayetoa nyusi na mwenye kuomba kutolewa na anayechonga meno kuweka nafasi (mwanya), kubadilisha maumbile ya Allah kwa ajili ya kupata uzuri )) Al-Bukhaariy Imetoka kwa 'Abdullah Ibn Mas'uud (Radhiya Allaahu 'anhu) (BUKHARI ,HADITH NA.408 ,JUZUU YA 6)
Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema:-
“(MWILI WA) MWANAMKE NI UCHI, AKITOKA (NJE, BASI) SHETANI HUMKALIA MBELE YAKE, NA ANAKUWA KARIBU SANA NA (RADHI ZA) MWENYEZI MUNGU KILA ANAPOKUWA NYUMBANI KWAKE.”
Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema:-
“MWANAMKE YEYOTE YULE AKIINGIA MSALANI (CHOONI) BILA YA SABABU (MUHIMU) WALA UGONJWA (LAKINI KWA AJILI YA) KUJITAZAMA WEUPE (WA PAMBO) LA USO WAKE, BASI MWENYEZI MUNGU ATAUFANYA USO WAKE KUWA MWEUSI SIKU (YA KIYAMA, AMBAYO SIKU HIYO NYUSO ZA WAISLAM) ZITAKAPOFANYWA KUWA NYEUPE.”
Katika Sahih Bukhari, Vol 7, Bk 62, No. 126 Mtume alisema, “Niliangalia jehanamu na kuona kuwa walio wengi ni wanawake.”
Katika Sahih Bukhari, Vol 3, Bk 48, No. 826 Mtume alisema, “Je, ushahidi wa mwanamke si sawa na nusu ya ushahidi wa mwanamume?” Wanawake wakasema, “Ndiyo, ni hivyo.” Mtume akasema, “Hiyo ni kutokana na upungufu wa akili wa mwanamke.”
Katika Mishkat_al-Masabih, Vol. 2, p 105 Mtume alisema, “ Katika siku ya hukumu, mwanamume hataulizwa kwa nini alimpiga mkewe.”
Katika Sahih Muslim, Bk 004, No 1034 Abu Huraira anasema: Mjumbe wa Allah alisema, “Mwanamke, punda na mbwa huvuruga swala.”

WAKATI WA YESU ALIPO KUWA DUNIANI, NANI ALIKUWA MTUME WA UMMAA YA WAARABU?








WAISLAM WANATUMIA HII AYA NA KUDAI KUWA, YESU ALITUMWA KWA WANA WA ISRAEL TU.
Imeandikwa:
Akajibu akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. (Mathayo 15:26).
SASA TUWAULIZENI WAISLAM WOTE DUNIANI AMBAO WANATUMIA HIYO AYA HAPO JUU KAMA IFUATAVYO:
Waislam, kwa kuwa mnasema na kukiri kuwa: Yesu yeye alikuwa Mtume kwa wana wa Israeli tu; Naomba mtueleze kwa uthibitisho wa aya kutoka Quran, wakati huo wa Yesu, nani alikuwa MTUME wa Ummah wa Kiarabu? Kwa lugha rahisi, Mtume wa Waarabu wakati wa Yesu alikuwa ni nani?
Ndugu zetu katika Adam, naomba mtuletee ushahidi wa maandiko wala sio matusi.
Hakika Sisi tumekutuma wewe kwa Haki, kuwa ni mbashiri na mwonyaji. Na hapana umma wowote ila ulipata mwonyaji kati yao." Quran 35:24
Sasa, mnaweza tuambia, WAKATI WA YESU ALIPO KUWA DUNIANI, Nani alikuwa Mtume wa Waarabu?
MKINILETEA AYA BILA YA MATUSI NA JAZBA, LEO HII NITASILIMU NA KUWA MUISLAM?
******
SASA MSOME YESU ANAKUJIBU WEWE MUISLAM:

KUMBE YESU ANA KITI CHA ENZI NA ANAITWA MUNGU NA BABA YAKE

Image may contain: 1 person, text
Waebrania 1:8, Baba asema juu ya Yesu, “Lakini juu ya mwana asema haya, “Na Kiti chako cha enzi, wewe Mungu, Kitadumu milele, na haki itakuwa fimbo ya ufalme wako.”
Huitaji Digrii kuelewa hii aya rahisi kabisa, na wala huitaji kufudhu chekechea kukubali kuwa YESU NI MUNGU.
Teyari Mungu Baba amesha kujibu wewe unaye pinga Uungu wa Yesu, kuwa
1. YESU ANA KITI CHA ENZI.
2. YESU NI MUNGU.
3. YESU ANA UFALME.
Shalom.
Max Shimba Mtumwa wa Yesu Kristo.

MUNGU ALILINUNUA KANISA KWA DAMU YAKE MWENYEWE

Image may contain: text
''Matendo 20:28 inatuambia, “…Muwe wachungaji wa Kanisa la Mungu, alilolinunua kwa damu yake mwenyewe,”
Ni nani aliyelinunua kanisa kwa damu yake mwenyewe?
Yesu Kristo. Matendo 20:28 inasema ya kwamba Mungu alilinunua Kanisa kwa damu yake mwenyewe. Kwa hivyo Yesu ni Mungu!
Yohana 1:1 inasema “Neno alikuwa Mungu”. Yohana 1:14 inasema “Neno akafanyika mwili.” Hii inaonyesha wazi ya kwamba Yesu ni Mungu katika mwili.
Kumbe basi KANISA NI LA MUNGU .
Shalom
Max Shimba Mtuwa wa Yesu Kristo.

MUHAMMAD SIO MTUME KWASABABU HAKUWAI ONGEA NA MUNGU

Image may contain: text
Leo ningependa tujikumbushe mambo machache ambayo labda hatukuyatilia maanani. Mitume wote na manabii wote wa Biblia waliwai ongea na Mungu. Lakini, Mtume wa Allah "Muhammad" hakuwai ongea na Mungu HATA MARA MOJA.
Je, utume wake tutauamini vipi maana hakuwai ongea na aliye mtuma?
Lakini Mitume wote wa Biblia waliongea na Mungu.
1. Musa anoangea na Mungu: Kutoka 3:1-21
2. Elia anaongea na Mungu: 1 Wafalme 19- Soma yote
3. Paulo anaongea na Mungu: Matendo ya Mitume 18:9
Hiyo ni mifano michache kutoka Biblia.
Kama Muhammad alikuwa Mtume wa Mungu, kwanini hakuongea na Mungu?
Shalom,
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo.

NANI ALIKUWA MUISLAM WA KWANZA?

Image may contain: one or more people and text
UTATA MKUBWA KATIKA KORAN
NANI ALIKUWA MUISLAM WA KWANZA?
Ndugu zanguni:
Leo ningependa tuangalie kiundani kidogo kuhusu, “nani alikuwa Muislam wa Kwanza” kutokana na Koran iliyo teremshwa na Allah.
Kwa mujibu wa vifungu kadhaa katika Quran, Muhammad ni Muislamu kwanza :
Quran 6: 14. Sema: Je, nimchukue rafiki mlinzi asiye kuwa Mwenyezi Mungu, ambaye ndiye Muumba mbingu na ardhi, naye ndiye anaye lisha wala halishwi? Sema: Mimi nimeamrishwa niwe wa kwanza wa wenye kusilimu. Na wala kabisa usiwe miongoni wa washirikina. 161. Sema: Kwa hakika mimi Mola wangu Mlezi ameniongoa kwenye Njia Iliyo Nyooka, Dini iliyo sawa kabisa, ambayo ndiyo mila ya Ibrahim aliye kuwa mwongofu, wala hakuwa miongoni mwa washirikina. 162. Sema: Hakika Sala yangu, na ibada zangu, na uhai wangu, na kufa kwangu, ni kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote. 163. Hana mshirika wake. Na hayo ndiyo niliyo amrishwa, na mimi ni wa kwanza wa Waislamu. (Wa ' Ana ' Awwalu Al- Muslimin ). S. 6:161-163
Sema (Ewe Muhammad): Hakika Mimi nimeamrishwa nimuabudu Mwenyezi Mungu, kwa kumsafishia Dini Yeye ( tu ). Na nimeamrishwa niwe wa kwanza wa wale ambao ni Waislamu ( kujisalimisha kwake ). S. 39:11-12 Pickthall
Sura hizo hapo juu na aya hizo ulizo zisoma zinapingana vibaya sana na sura zingine katika Koran hiyo hiyo ambazo ziliteremshwa na Allah huyo huyo na kusema Manabii walio tangulia kabla ya Muhammad ndio walikuwa Waislam wa Kwanza.
 Kuran inadai kwamba Adam, Ibrahim, Nuhu, mababu, makabila kumi na mawili ya Israeli, Musa, Yesu nk, hao wote walikuwa waumini wa Allah na walikuwa Waislam, kumbuka hao wote waliishi kabla ya Muhammad ambaye anadai kuwa yeye ni Muislam wa Kwanza:

MAMILIONI YA WAISLAMU DUNIANI WAMELISHWA KURAN FEKI!

No automatic alt text available.
Mwandishi maarufu wa Kiislamu-Caliph Uthman aliandika Quran na kuchoma aya ambazo hakupendezwa nazo! (Sahih Bukhari 6:61:510)
Hakuchoma tu aya za kuran bali Sura nzima ya kuran ilipotea na kusahaulika. (Sahih Muslim 5:2286)
Vile vile, aya zingine zilifutwa kwa maksudi. (Bukhari 6:61:527).
Mohammad aliwaagiza waislamu kujifunza uislamu kutoka kwa kuran ya Ubai na wala sio ambayo Zayd Ibn Thabit aliandika (ambayo ni ya kisasa) tazama (Bukhari 6:61:521).
Ibn Sad (Kitab al-Tabaqat al-Kabir vol.2 p.444 ) inasema kuwa maandiko ya kuran ya Zayd Ibn Thabit ni tofauti na ya Muhammad. Kwa hivyo waumini wamepotoshwa kwa kukariri kuran hiyo ya kisasa.
Jami At-Tirmidhi 3104 vile vile anasema kuran iliyopo sasa ni feki-ya Zayd Ibn Thabit.
Katika kufanya marekebisho mengi kwenye kuran watu walikuja na nakala tofautitofauti za kuran (Jami at-Tirmidhi 3104) hivyo kulikuwa na mtafaruku miongoni mwa wafuasi wa mohammad kwa sababu zilikuwa tofauti.
Kuran ya Ibn Masood ilikuwa na sura 111, ya Ubay ilikuwa na sura 116 na kuran ya Zayd (ambayo ndio inatumika sasa hivi) ina sura 114. Tazama (Ibn Daud , Kitab al-Masahif).
Hata zile zilizotajwa kuwa feki hazikuhifadhiwa kwa sababu mbuzi alikula sehemu ya aya zake (Sunan Ibn Majah 1934/1944).
Hivyo hamna aliyeandika kuran hadi baadhi ya waliokuwa wanakariri mafunzo ya mohammad kufa na kulikuwa na hofu kuwa aya zilizosalia zingepotea kabisa (Bukhari z6:61:509).
Hivi ndivyo Zayd Ibn Thabit alipata kuandika kuran ambayo tunayo leo hii kutoka kwa shuhuda za wakariri waliobaki (kurasa chache tu kutokana na miaka 23 ya ufunuo).
MASWALI NYETI YAIBUKA HAPA;
1. Je, kwanini historia ya mohammad haikuandikwa kwenye kuran?
2. Je, utajuaje uislamu pasipo kumjua vyema allah na mohammad?
3. Kwanini waislamu wanaficha ukweli kuhusu dini yao?
4. Je, ni kweli kuwa mohammad aliteremshiwa kuran na allah?
5. Je, ni kweli kuwa allah alimtuma mohammad duniani kuwasilimisha watu?
TAFAKARI HAYO NA UCHUKUWE HATUA!
Max Shimba Ministries Org

ISSA A.S : BAADA YA KUONDOKA KWAKE, (KAMA WAISLAMU WANAVYOAMINI), HAJAWAHI KUTOKEA KWA NAMNA YOYOTE ILE.

Image may contain: text
YESU KRISTO: BAADA YA KUONDOKA KWAKE ALIMTOKEA PAUL (SAUL).
Matendo 9:4 “ Akaanguka chini, akasikia sauti ikimwambia, Saul, Saul, mbona waniudhi? Akasema, U nani wewe, Bwana? Naye akasema, Mimi ndimi Yesu unayeniudhi wewe”
Hivi kwanini Issa hajawai ongea tena? Kumbe Issa ni mtume wa kutungwa tungwa tu na hajawai kuwepo.
Shalom,
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo.

ISSA.A.S : YEYE SIYO MWANA WA MUNGU.





Qur’ani Suratul Al An-Am,6:101 “Yeye ndiye Mwumba wa mbingu na ardhi. inamkinikanaje awe na mwana, hali hana mke. Naye ndiye aliye umba kila kitu (sio baadhi yake kavizaa). Naye ni mjuzi wa kila kitu”.

Qurani Suratul At-Tawba (Kutubu), 9:30 “Na Mayahudi wanasema “Uzeri ni mwana wa Mwenyezi Mungu” na “Wakristo wanasema “Masihi ni Mwana wa Mwenyezi Mungu” Haya ndiyo wasemayo kwa vinywa vyao (pasi na kuyapima). Wanayaiga maneno ya wale waliokufuru kabla yao, Mwenyezi Mungu awaangamize. Wanageuzwa namna gani hawa!

Fundisho la Uwana wa Mungu kama Biblia inavyofundisha, halimo katika mafundisho na itikadi ya dini ya Kiislamu kwa hiyo Isa a.s siyo mwana wa Mungu.

YESU KRISTO: YEYE NI MWANA WA MUNGU.
Luka 1:30-31,35
“Malaika akamwambia usiogope Mariamu,kwa maana umepata neema kwa Mungu.Tazama utachukua mimba na kuzaa mtoto mwanamume; na jina lake utamwita Yesu. Malaika akajibu akamwambia,Roho Mtakatifu atakujilia juu yako,na nguvu zake Aliye juu zitakufunika kama kivuli;kwa sababu hiyo hicho kitakachozaliwa kitaitwa kitakatifu Mwana wa Mungu.

Hivyo Isa siyo Mwana Mungu lakini Yesu ni mwana wa Mungu. Kwa hivyo Yesu siyo Isa.

Shalom,

Dr. Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu.

ISSA A.S : JINA LAKE HALINA NGUVU WALA UWEZO WA KUOKOA BALI NI RANGI MBILI


Katika Al-Lu’lu’war-Marjani, Juzuu na1, Hadithi na 104 uk. 64 “ Hadithi ya Ibn Abbas (r.a) kutoka kwa Mtume (s.a.w) amesema, “Nilimuona Musa (a.s) katika usiku wa Al-Isra, niliopelekwa,naye ni mtu mrefu, mwenye nywele za hudhurungi zimejikunjakunja kama mtu wa Shanua.Na nilimuona Isa (a.s), naye ni mtu wa wastani wa umbo, unaelekea kwenye wekundu na weupe, ana nywele zilizonyooka……”

YESU KRISTO: JINA LAKE NI WOKOVU.
Matendo 4:9-10,12 “ kama tukiulizwa leo habari ya jambo jema alilofanyiwa yule mtu dhaifu,jinsi alivyoponywa, jueni nyinyi nyote na watu wote wa Israel ya kuwa kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti, ambaye nyinyi mlimsulubisha, na Mungu alimfufua katika wafu kwa jina hilo mtu huyu anasimama ali mzima mbele yenu…………………….Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote, kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo”

Baadhi ya aya ndani ya Qur’an zinaeleza kuwa Isa a.s aliwaponya wenye upofu. Ni akina nani hao tutajiwe angalau mmoja? Yesu alimponya kipofu Batromayo.

Aya zingine zinasema Isa a.s alifufua wafu. Ni akina nani hao? Yesu alimfufua Lazaro.

Jina tulilopewa ni jina moja tu lenye wokovu la Yesu Kristo. Jina la Isa a.s lisilo na wokovu limehusishwaje na jina la Yesu Kristo wa Nazareth lenye wokovu?

Matendo 16:31 “ Wakamwambia , Mwamini Bwana Yesu, nawe utaokoka wewe pamoja na nyumba yako.”

Shalom, 
Dr. Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu. 

Contradictions in the Quran: A Theological and Textual Examination

Contradictions in the Quran: A Theological and Textual Examination By Dr. Maxwell Shimba, Shimba Theological Institute Introduction Muslims ...

TRENDING NOW