Friday, January 5, 2018

KUMBE KANZU NI VAZI LA WAKRISTO NA SIO WAİSLAM


Naanza na swali kwa Waislam:
Nileteeni aya kutoka Quran inayo waamrisha kuvaa Kanzu nyeupe vazi la Wakristo.
Mkinipa aya leo hii nitasilimu na kuwa Muislam.
Ama kuhusu kanzu, Agano la Kale linasema:
“Ataoga mwili wote katika maji, kisha atavaa mavazi matakatifu. Ataingia mahali hapo akiwa amevaa mavazi matakatifu: joho la kitani baada ya nguo ya ndani ya suruali ya kitani na akiwa amevaa kanzu ya kitani na kujifunga mkanda wa kitani” (Walawi 16: 4).
(Marko 11:17) Wanadhihirisha imani katika dhabihu ya fidia ya Yesu Kristo, ‘wakifua kanzu zao na kuzifanya nyeupe katika damu ya Mwana-Kondoo.’
(1 Petro 2:9) Unabii wa Malaki unaweza pia kuwatia moyo wale wa “umati mkubwa,” ambao ‘wamesimama mbele ya kiti cha ufalme na mbele ya Mwana-Kondoo, wakiwa wamevikwa kanzu nyeupe.’
LAKINI
Katika sahih hadith tunasoma:
Na amesema Abu Ramthah Rifaa‘ah at-Taymiy (Radhiya Allaahu ‘anhu): Nilimuona Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) akiwa na nguo mbili za kijani (Abu Daawuud na at-Tirmidhiy kwa Isnadi iliyo Sahihi. Pia imenukuliwa na an-Nasaa’iy, na Isnadi yake ni Sahihi).
Kumbe Muhammad alikuwa anavaa mavazi ya kijani na sio Kanzu.
§ Na imepokewa kwa Jaabir (Radhiya Allaahu ‘anhuma) kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) aliingia siku ya kufunguliwa Makkah akiwa na kilemba cheusi (Muslim).
Hata Muhammad hakuvaa kanzu nyeupe bali nguo ya kijani na kilemba cheusi.
Kumbe Uislam ni dini ya kugezea tu tena kwa Wakristo.
1. Leteni aya inayo waamrisha kuvaa Kanzu.
2. Leteni aya inayosema Kanzu sio vazi la Wakristo.
HAKIKA UİSLAM NI DINI YA KUTENGENEZA TU.
Shalom
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu na Mwokozi wetu.

1 comment:

Unknown said...

Hakuna hoja ya msingi hapo ila ni ukosefu wako wa elimu. Kama kanzu ni mavazi ya wakristo mbona hamuzivai bali mnaenmnaenda makanisani na vimini? Uislamu ndio dini ya kale kwa hiyo taurauti, zaburi na injili ni ya waislamu na sio wakristo. Ukristo kitabu chenu ni biblia na ndio Manaa mmepotea na mpo gizani. Kitabu kikichotungwa na watu kwa ajili ya kuwapotezeni milele

FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE

  **URGENT UPDATE**   **FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE** Shimba TV, New York has received distressing news ...

TRENDING NOW