Friday, November 25, 2016

YESU HAKUWA MUISLAM (SEHEMU YA SITA)


YESU ALISEMA PENDENI ADUI ZENU, WAKATI ALLAH ANASEMA WACHUKIENI WAKRISTO NA WAYAHUDI
Yesu hakuwachukia watu ambao walikuwa wanampinga, lakini aliwapenda na kuwaombea, kinyume na maamrisho ya Allah kwa Waislam wote. Soma Mathayo 5:44. lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi.
Sasa Msome Allah anavyo panda chuki kwa wafuasi wake. Quran 5:51. Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu.
YESU NI MUNGU.

ALLAH SIO MUNGU (SEHEMU YA KWANZA)


Kwanza Qruani inajua kabisa kwamba Allah wake hakuumba Mbingu na Nchi! Kwasababu hii ndiyo maana hakuna aya hata moja ndani ya Qruani ambayo Allah wa Qruan anasema kwamba “Mimi ndiye niliyeziumba Mbingu na Nchi” bali utakutana na aya ikisema “Mwenyezi Mungu aliziumba mbingu na nchi”
SASA, kama Allah ni Mungu, kwanini anasema kuwa Mwenyezi Mungu kaumba mbingu na Nchi na HASEMI Mimi nimeumba Mbingu na Nchi?
Pia ujulikane kwamba kila kitu hutambulika kwa majina yake. Hata wanadamu hutambulika kwa majina ndipo mtu utapata kuelewa kwamba anayekusudiwa ni fulani. Mungu wa Biblia anaitwa Niko ambaye Niko, Yehova, Bwana wa Majeshi, Alfa na Omega. Lakini Allah wa Qruani jina lake ni Allah, sasa hoja inakuja hapa, KAMA Allah wa waislam na Mungu wa Wakristo ni mmoja:
1. Ni andiko gani katika Biblia linalosema kwamba Mungu jina lake ni Allah?
2. Pia ni aya gani ndani ya Qruani inayokubali kwamba Mungu jina lake ni Yehova?
Lakini katika kufanya utafiti nimegundua kwamba Allah si Mungu bali ni Shetani kwamujibu wa Qruani Surat Muhamad aya ya 15. Inasema hivi “Mfano wa pepo aliyowaandalia waja wake mwenyezi Mungu iko hivi, ndani yake kuna mito ya maziwa na mito ya ulevi wenye ladha kwa wanywaji. Humo watapata kuburudishwa kwa matunda ya kila namna na samahani kutoka kwa mola wao.” Lakini ukisoma Qruani hiyo hiyo Sura ya 5 aya ya 90, inasema hivi: “Enyi mlioamini bila shaka ulevi na kamari na kuombwa yeyote asiyekuwa Mwenyezi Mungu ni uchafu na ni kazi ya shetani.”
Sasa rafiki yangu kwa mujibu wa aya hizi hebu fikiria; aya ya kwanza imesema Allah katika pepo yake kuna mito ya ulevi, lakini Qruani hiyo hiyo imesema ulevi ni kazi ya shetani, kama aya zenyewe ndizo hizi hoja yangu inakuja hapa:
Yeye Allah kama siye Shetani amepata wapi ulevi hali yakuwa ulevi ni wa shetani?
Lakini Biblia imesemaje kuhusu ulevi: Walevi na wachawi na wazinzi hawataurithi ufalme wa mbinguni. Mungu anasema katika isaya Ole wao waamkao asubuhi na kufuata ulevi. mpendwa kuwa macho hizi ni nyakati mbaya za Mpinga Kristo.
Leo tumejifunza tena kuwa, Allah sio Mungu bali ni Mpinga Mungu.
Hakika Allah aabudiwe na Waislam sio Mungu.
Katika Hudma yake
Max Shimba Ministries

YESU HAKUWA MUISLAM (SEHEMU YA SABA)


YESU HAKUFUNDISHA KUPIGA WAZINZI MAWE
Yesu hakupiga watu Mawe na wala hakufundisha kuwa Wazinzi wapigwe Mawe kama ambayo inafundishwa kwenye dini ya Uislam. Msome Yesu hapa: Yohana 8: 6 Nao wakasema neno hilo wakimjaribu, ili wapate sababu ya kumshitaki. Lakini Yesu akainama, akaandika kwa kidole chake katika nchi. 7 Nao walipozidi kumhoji, alijiinua, akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza wa kumtupia jiwe.
Lakini katika Uislam tunamsoma Muhammad akitoa amri ya kupigwa mawe mdhinifu: Volume 2, Kitabu 23, Namba 413:
Alisimulia 'Abdullah bin' Umar:
Myahudi kuleta kwa Mtume Muhammad watu wawili Mwanaume na mwanamke ambao walikamatwa wakifanya uzinzi kinyume cha sheria za ngono. Mtume Muhammad aliamrisha wote wawili wapigwe mawe mpaka kifo, karibu na mahali pa sadaka ya sala ya mazishi iliyopo kando ya msikiti.
Hivyo basi Yesu hakuwa Muislam na hakupiga wazinzi mawe lakini tunamsoma Muhammad akipiga watu mawe na akifundisha kupigwa mawe kwa Wazinzi katika Uislam.
YESU NI MUNGU.

ALLAH SIO MUNGU (SEHEMU YA PILI)


JE, MALAIKA MKUU WA YEHOVA NDIO YULE YULE WA ALLAH?
Ikiwa Allah ndiye Yehova, basi ni wazi kuwa malaika mkuu atakuwa mmoja pia. Ikiwa si mmoja hata malaika mkuu watakuwa tofauti.
Tuanze kuangalia Allah anavyosimulia katika Qurani naye anasema hivi
Qr. 81 au surat At-Takwyr 19-21 (Kukunja/jua litakapokunjwa)
Kwa hakika hii (Qurani) ni kauli (aliyokuja nayo) mjumbe mtukufu (Jibrili) Mwenye nguvu, mwenye cheo cha hishima kwa mwenyenzi Mungu. Anayetiiwa huko (mbinguni na malaika wenziwe) kisha muaminifu.
Ufafanuzi wa aya hizi. ulio ndani ya Qurani unaelezea aya hizi 19-21, unafundisha hivi…….
Mjumbe mtukufu na mwenye kutiiwa huko mbinguni ni Jibrili, ambaye ndiye mkubwa wa malaika wote
SASA TUMWANGALIE YEHOVA:
JE, MALAIKA MKUU WA MUNGU YEHOVA NI NANI?
Yuda 1:9,
Lakini Mikaeli Malaika mkuu, aliposhindana na Ibilisi na kuhojiana naye kwa ajili ya mwili wa Musa, hakuthumbutu kumshitaki kwa kumlaumu bali alisema Bwana na akukemee
Hapa tunaona aya zinatufundisha waziwazi kuwa malaika mkubwa wa Mungu aitwae Allah anaitwa Jibril na Malaika mkuu wa Mungu wetu Yehova anaitwa Mikaeli.
Swali; Kwa kuwa Malaika hao ni tofauti, je, Allah ndiye Yehova? Kwa kujua zaidi tofauti ya malaika, jipatie nakala ya somo la: Malaika Jibrili na Gabrieli, je ni Malaika mmoja. Somo hilo tunalo, jipatie. http://www.maxshimbaministries.org/…/malaika-gabriel-wa-bib…
Mwanzo1:26-27
Mungu akasema “Na tufanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu, wakatawale samaki wa baharini, ndege wa angani na wanyama, na nchi yote, pia na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi. Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba mwanamume na mwanamke aliwaumba. Hapa tunaona Mungu wetu Yehova ameumba mtu kwa mfano wake, lakini Allah anasema hana anayefanana naye hata mmoja……Swali kwako mfuatiliaji:
Je, Allah ndiye Yehova?
Tafadhali usome aya hizi ili kujua zaidi (Mwanzo 5:1-2, 9:6, 1Korintho 11:7, Kolosai 1:15, 3:10, Matendo 17:28-29,Yakobo 3:9).
Pengine waweza kusema Je, Mungu amefanana na mimi kivipi? Jua kwamba Mungu ni Roho (Yohana 4:24) Naye alitupa pumzi (yaani roho ya uhai (Mwanzo 2:7) isitoshe Mungu ndiye Baba wa roho zetu (Waebrania 12:9) Mungu anasema Roho zetu ni mali yake (Ezekieli 18:4, Hesabu 16:22)
Leo tumejifunza kuwa Allah sio Mungu wa Biblia ajulikanaye kwa jina la YEHOVA.
FUATILIA SEHEMU YA TATU..................
Shalom
Max Shimba Ministries

Wednesday, November 23, 2016

YESU HAKUWA MUISLAM (SEHEMU YA TANO)


YESU HAKUFANYA JIHAD
Yesu hakufanya Jihad kama ilivyo amri ya kila Muislam kufanya Jihad. Quran 2:216. Mmeandikiwa kupigana vita, navyo vinachusha kwenu. Lakini huenda mkachukia kitu nacho ni kheri kwenu. Na huenda mkapenda kitu nacho ni shari kwenu. Na Mwenyezi Mungu anajua na nyinyi hamjui. Lakini Yesu alisema yafuatayo kuhusu kupigana: Yohana 18: 36 Yesu akajibu, Ufalme wangu sio wa ulimwengu huu. Kama ufalme wangu ungekuwa wa ulimwengu huu, watumishi wangu wangenipigania, nisije nikatiwa mikononi mwa Wayahudi. Lakini ufalme wangu sio wa hapa.
Katika aya hapo juu, Yesu anatufundisha kuwa Ufalme wake si wa hapa Duniani bali Mbinguni, hivyo basi hawezi kufanya Jihad kama Allah alivyo waamrisha Waislam. Yesu hakuwa Muislam na hakufanya Jihad.
YESU NI MUNGU.

Tuesday, November 22, 2016

'CALEXIT': PROPOSAL SUBMITTED FOR CALIFORNIA TO SECEDE FROM US

'Calexit': Proposal submitted for California to secede from US

A group calling for California to secede from the United States submitted a proposed petition Monday seeking a ballot measure that would strip the state constitution of language that says California is an inseparable part of the nation.

The Yes California Independence Campaign hopes to put a question on the November 2018 ballot authorizing a vote on independence in spring 2019.

The group proposed the secession idea more than two years ago, but the so-called "CalExit" movement gained serious traction on social media after Republican Donald Trump won the presidential election.

MORE: 'Calexit' supporters want California to split from United States

Group Vice President Marcus Ruiz Evans said the organization now has 15,000 Twitter followers, 30,000 Facebook followers and 13,000 volunteers who have signed up to collect signatures for the effort.

SHEKHE ALHAJI ALHASSAN MOHAMMAD AOLEWA


HUU NI MSIBA MKUBWA SANA KWA WAISLAM
SASA USHOGA NJE NJE MPAKA MAKKA
Haya shekhe Alhaji Alhassan Mohammed kutoka Mombasa Kenya, aolewa uturuki, ni msiba mkubwa kwa ndugu zetu waislamu, kwa kufungisha ndoa za kishoga.

QURAN YACHANWA CHANWA MALAYSIA


Allah Ni msanii, mbona alisema atailinda Qur'an yake, mbona inachanwachanwa na yeye kushindwa kuilinda? Popote muionapo Qur'an, chaneni chaneni, kwa kuwa sio kitabu cha Mungu, Bali Ni cha Shetani.

KITABU CHA DANIEL (SEHEMU YA TANO)





Mfalme Nebukadreza aliota ndoto ambayo ilimshtusha sana, Usingizi wake ulimwacha, Alipoamka, Akaisahau ile ndoto aliyoiota. Akawaita waganga,na wachawi,na wasirihi,na wakaldayo, wapate kumweleza mfalme ndoto yake. Waganga wote na wenye Hekima wote walishindwa kumtafsiria Mfalme Ile ndoto.Mfalme akakasirika akataka kuwaangamiza wachawi wote,na wenye Hekima wote wa Babeli.

Ndipo Danieli alimwomba mfalme ampe Muda ili Amtafsirie Mfalme Ile ndoto. Danieli na wenzake walimwomba Mungu kuhusu ile ndoto, naye Mungu akamfunulia Danieli Ndoto ya mfalme na Maana yake.Danieli akasimama mbele ya Mfalme na Kumtafsiria ile ndoto akasema,’’ Wewe, Ee Mfalme, uliona, na tazama, sanamu kubwa sana. Sanamu hii, iliyokuwa kubwa sana, na mwangaza wake mwingi sana, ilisimama mbele yako; na umbo lake lilikuwa lenye kutisha.Na sanamu hii kichwa chake kilikuwa ni cha dhahabu safi; kifua chake na mikono yake ni ya fedha; tumbo lake na viuno vyake ni vya shaba;miguu yake ni ya chuma; na nyayo za miguu yake nusu ya chuma na nusu ya udongo.

Nawe ukatazama hata jiwe likachongwa bila kazi ya mikono, nalo jiwe hilo likaipiga sanamu miguu yake, iliyokuwa ya chuma na udongo, likaivunja vipande vipande.Ndipo kile chuma, na ule udongo, na ile shaba, na ile fedha, na ile dhahabu, vilivunjwa vipande vipande pamoja vikawa kama makapi ya viwanja vya kupepetea wakati wa hari; upepo ukavipeperusha hata pasionekane mahali pake; na lile jiwe lililoipiga hiyo sanamu likawa milima mikubwa, likaijaza dunia yote.[DAN2:31-35].

Danieli alitoa tafsiri yake kuwa ile sanamu Huwakilisha falme kuu nne zitakazotawala Dunia [DAN2:36-45]. Alimwambia Mfalme kuwa Kichwa cha Dhahabu kilimaanisha UFALME WA BABELI, chini ya mfalme Nebukadreza. Ufalme Huu ulitawala kuanzia 605BC-539BC.

Baada ya Ufalme wa Babeli, ufalme uliofuata ulikuwa ni ufalme UMEDI NA UAJEMI unaofananishwa na mikono na kifua cha Fedha uliotawala tangu 539BC-331BC.

Baada ya Ufalme wa Umedi na Uajemi,Ufalme uliofuata ulikuwa ni Ufalme wa UYUNANI unaofananishwa na tumbo na kiuno cha shaba ambao ulitawala tangu mwaka 331BC-168BC.

Ufalme wa nne unaofananishwa na Miguu ya Chuma unawakilisha ufalme wa Rumi ambao ulitawala tangu 168BC-476AD.

Nyayo za Miguu zenye mchanganyiko wa chuma na udongo,ni Rumi iliyokuja kugawanyika katika mataifa Kumi ya Ulaya nayo ni Portuguese [suevi], Spanish [Visigoths] Germany [Alamanni], swiss [Burgundians], French[Franks], Italians [Lombards], England [Saxons], na Heruli, vandals, Othtrogoths- [Haya mataifa matatu yalikuja baadaye kung’olewa na upapa]. Haya mataifa, mengine ni Chuma ikimaanisha yana nguvu, na mengine ni Udongo, ikimaanisha kuwa Hayana nguvu.

Mataifa haya hayataweza kushikamana kama chuma kisivyoweza kushikamana na udongo.Wapo waliojaribu kuunganisha Ulaya iwe Taifa moja Kubwa kama Rumi ya zamani,wengine hata kwa kuunda undugu kwa njia ya kuoana kiukoo wa kifalme lakini walishindwa.Mfano wa Watu mashuhuri kihistoria waliojaribu kuunganisha ulaya lakini wakashindwa ni [charlemagne, charlesV, LouisXIV, Kaiser wilhelm, Hitler].

Lile jiwe lililochongwa mlimani bila kazi ya Mikono,na kuvunjavunja ile sanamu vipande vipande,na Kuwa mlima Mkubwa na Kuijaza Dunia yote,ni Ufalme wa Yesu ambao ndio Ufalme wa Mwisho utakaokuja na Kuzishinda falme zote za Dunia, na Kutawala Milele na Milele,wala watu wengine hawataachiwa Enzi yake.

SWALI:
Kwenye Danieli 2, ndoto hii ilitokea lini?

Kwenye Danieli 2, Danieli alichukuliwa mwezi wa sita hadi nane mwaka 605 KK. Tarehe 7 Septemba 605 KK, Mfalme Nebopolasa, baba yake Nebukadneza, alikufa, na Nebukadneza akawa mtawala mkuu wa Babeli. Danieli 2 ilikuwa kwenye mwaka wa pili wa utawala wa Nebukadneza.

Mwaka 604 KK kwa mujibu wa maelezo kwenye NIV Study Bible, uk.1301 na Evangelical Bible Commentary, uk.592.

Mwaka 603 KK kwa mujibu wa New International Bible Commentary, uk. 854 na Daniel: Key to Prophetic Understanding, uk.45-46 cha Walvoord.

Kati ya Aprili 603 na Machi 602 KK The Expositor’s Bible Commentary, juzuu ya 7, uk.39.

Karibu miaka minne baada ya mwaka 605 KK na matukio ya Danieli 1 kwa mujibu wa Lange’s Commentary on Daniel, uk.66 ya zamani (iliyochapishwa mwaka 1901). Aliamini kuwa Nebukadneza hakuwa mtawala pekee hadi miaka kadhaa baada ya kifo cha baba yake.

SWALI:
Kwenye Daniel 2:1, kwa nini aliwasiliana moja kwa moja na Nebukadneza, mtu asiyekuwa anamcha, kwenye ndoto badala ya kuongea na Danieli?

Uovu wa mtu haumzuii Mungu kuwasiliana naye au kumtumia kwa makusudi yake.

SWALI:
Kwenye Daniel 2:2-10; 4:7; 5:7,11, je Wakaldayo walikuwa ni watu gani?

Ingawa Waamori wa Babeli waliitwa Wakaldayo, hivi sivyo inavyomaanisha hapa. Katika jamii ya Kibabeli, Wakaldayo walikuwa ni tabaka la makuhani. Waamori walitokea kaskazini magharibi. Wakaldayo hawakutokea jangwa la Arabuni, licha ya jinsi Asimov’s Guide to the Bible, uk.387 inavyosema.

SWALI:
Kwenye Daniel 2:2-10; 4:7; 5:7, 11, je kuwaita makuhani Wakaldayo kunaonyesha kuwa Kitabu cha Danieli kiliandikwa maiaka ya baadaye kama kitabu cha mwenye kushuku kiitwacho Asimov’s Guide to the Bible, uk.601 kinavyodai?

Hapana. Gleason Archer anayo makala ya kina kwenye Encyclopedia of Bible Difficulties, uk.285-286 inayoongelea jambo hili.

1. Danieli anatumia neno la Kiebrania, Kasdim, si tu kwa makuhani, bali pia kwa Wakaldayo (Wababeli) kwenye Dan 5:30. Kama kutumika kwa neno hili kulionyesha kuwa kitabu hiki kiliandikwa baadaye, basi Dan 5:30 ingeonyesha kuwa kitabu hiki kiliandikwa miaka ya awali.

2. Hata hivyo, kutumika kwake kwa namna mbili kunaonyesha kuwa kitabu hiki kiliandikwa wakati wa uhai wa Danieli. Lugha ya Kiakadi, ambayo Wababeli wa wakati wa Danieli waliiongea, walitumia neno hilohilo Kal-du (litokanalo na neno la Kisumeri Gal-du) kwa makuhani na taifa. Mbao yenye maandiko iliyoandikwa kwenye mwaka wa 14 wa Shamash-shumukin (mwaka 668-648 KK) unatumia neno Gal-du kwa makuhani. Archer anasema Wababeli kabla wa miaka iliyotangulia kuanguka kwa Ashuri walitumia neno Gas’du kwa Wakaldayo. Baada ya kuangukwa kwa Ashuri, walibadilisha konsonanti "s" kwenye maneno mengi kuwa konsonanti "l."

3. Wagiriki, waliokuwa wanawafahamu Wababeli muda mrefu kabla Daniele hajazaliwa, waliliita taifa hili Chaldaioi.

SWALI:
Kwenye Dan 2:3-7, je Mfalme Nebukadneza alikosa busara kuliko wafalme wengine kwa kuwaambia wanajimu na wabashiri kuwa watauawa endapo hawatato tafsiri ya ndoto?

Si lazima iwe hivyo. Kwa mujibu wa Herodotus kwenye History, kitabu cha 14, uk.134, wakati mfalme wa Sinthia alipougua, aliomba watabiri watatu wamwambie mtu aliyemfanya aumwe kwa kuapa kwa uongo kutumia meko ya mfalme. Endapo mtuhumiwa angekiri kufanya hivyo angeuawa. Endapo mtuhumiwa angekana kufanya hivyo, watabiri wengine sita wangeitwa, na endapo wasingemtaja mtu yule yule basi wabashiri watatu wa kwanza wangefungwa na kutupwa kwenye mkokoteni na kichaka kilichowashwa moto.

Hivyi ndivyo inavyoelekea kuwa wakati kazi ilipokuwa na malipo mazuri, lakini bado kukawa na sababu nzuri za kutoifanya. Nafikiri nisingekubali kufanya kazi ya utabiri wa mfalme! Baadhi ya kazi siku hizi, kama kutumikia taasisi za kihalifu, haziwezi kurekebishika na usingetaka kuzifanya. Lakini kazi nyingine zinaweza kuwa zinashinikiza sana, na unaweza kuchoka, lakini Mungu anataka uwepo hapo kumshuhudia. Kwa mfano, tuchukulie kuwa umechaguliwa kuwa kiongozi wa kisiasa ambapo unatakiwa uchague kati ya kuwiwa shukrani na moja ya makundi yenye maslahi maalumu. Unaweza kuchagua kutokuwiwa na kundi lolote lile, ingawa wakatti wa uchaguzi hautapata kiasi kizuri cha hela za kufanyia kampeni, utashindwa vibaya sana kwenye uchaguzi, na utapaswa kutafuta kazi nyingine. Danieli alikuwa anafanya kazi yenye kushinikiza sana. Lakini badala ya kuikimbia kazi hiyo, Danieli alisimama mahali ambapo Mungu alitaka awepo.

SWALI:
Je Daniel 2:4-16 inaeleza nini kuhusu tabia ya Nebukadneza?

Yafuatayo ni mambo matano.

1. Nebukadneza alikuwa na kigeugeu. Aliagiza vijana hawa wanne wa Kiyahudi wafunzwe, na baada ya kufunzwa alikuwa anaenda kuwaua pamoja na watu wengine wenye hekima kwa jambo ambalo mtu yeyote asingeweza kulifanya? Nebukadneza alifurahishwa na Danieli na rafiki zakekwenye Daniel 1:18-20, lakini walikuwa wanakwenda kuuawa pamoja na watu wengine kwenye Daniel 2:17!

2. Alikuwa mtu katili na mkali. Katika sehemu hii ya dunia, kwenye Daniel 2:5 walipokuwa wanabomoa nyumba walivuta mihimili ya mbao hadi vitu vyote vilipoanguka. Wakati wanafanya hivi, familia ilikuwa bado imo ndani ya nyumba.

3. Nebukadneza alikuwa na hasira mbaya.

4. Nebukadneza alikuwa mwenye kiburi na majivuno.

5. Nebukadneza alishangazwa kusikia wanajimu wakimjibu kuwa hakuna mtu aliyeweza kufanya jambo hili kwenye Daniel 2:10-11. Anaelekea kutokuwa na fununu yeyote jinsi maneno yake yanavyoweza kuwafanya watu wengine wajisikie au wafikiri. Au huenda hakujali jambo hili.

USIKOSE SEHEMU YA SITA Kwa nini Daniel 2:4b-7:28 iliandikwa Kiarami wakati Daniel 8:1-12:13 iliandikwa Kiebrania?

Shalom

Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo

YESU HAKUWA MUISLAM (SEHEMU YA NNE)


YESU HAKUFUNGA SWAUMU KILA MWAKA
Yesu hakuwa anafunga Ramadhani/Saumu kila mwaka, jambo ambalo ni sehemu ya Uislam kufunga ramadhani kila Mwaka. Quran 2:183, Enyi mlio amini! Mmeandikiwa Saumu, kama waliyo andikiwa walio kuwa kabla yenu ili mpate kuchamngu.
Hakuna hata sehemu moja katika Biblia ambayo tunasoma kuwa Yesu alitoa amri kwa wafuasi wake kuwa ni lazima wafunge swaumu kila mwaka, lakini tunasoma kuwa Mathayo 6:16-18: Tena mfungapo, msiwe kama wanafiki wenye uso wa kukunjamana; maana hujiumbua nyuso zao, ili waonekane na watu kuwa wanafunga. Amin, nawaambia, wamekwisha kupata thawabu yao. 17 Bali wewe ufungapo, jipake mafuta kichwani, unawe uso;
18 ili usionekane na watu kuwa unafunga, ila na Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi.
YESU NI MUNGU

TRENDING NOW