Thursday, July 30, 2015

UONGO WA DINI YA KIISLAM



Tunaamini unapofuata kwa makini mada hii utatii neno la Mungu wa kweli, kuliishi, na kulitenda.
Mkristo wa kweli hatorudi katika ubishi wa ki dini pamoja na wapagani ambao ni miongoni mwa Anti-Kristo waitwao waislamu.
Huu ni utafiti wa ki maandiko tulioufanya tukilinganisha ujumbe wa Qur’an Tukufu pamoja na Biblia Takatifu pamoja na kwamba mimi nimeishi msikitini nikajaliwa neema kuujuwa ukweli. Karibu na twakutakieni usomaji mwema.
MWANZONI KABISA
Tunakusalimu tena katika jina la Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo,
Ni kwa mara ingine Mungu wetu ambaye jina lake ni YEHOVA ametupa neema yake ili tuweze kuchangia pamoja haya maneno ya uzima yaani ‘UKWELI WA NENO LA MUNGU, BIBLIA’
Kwanza kabisa nataka niendelee kukujulisha kama hii wavuti yetu siyo ya kidini bali ni kwa ajili ya kuipiga tarumbeta ili wana wa Mungu wa pekee na wa kweli waweze kuikimbilia kwa mbali ibada kinyume na mapenzi ya Mungu!
Hatujali wewe wa ni dini gani? taifagani? au lugha gani? sisi tunachokifanya ni kujaribu kuyachnguza maandiko matakatifu pamoja na kugundua ukweli wake!
Bwana Mungu akubariki unapokuwa sehemu ya kuitafuta kweli.
JE, SISI NA WAISLAM TWAENDA NJIA MOJA?

Amosi 3:3
‘Je, Watu wawili waweza kutembea pamoja, wasipokuwa wamepatana?’
Yaani hata mtoto wa miaka mitano atakuletea jibu lisemalo APANA!!!

Sababu No.1
WAO NI DINI ILA SISI NI KANISA
Qr. 5 au surat Al Maida 2-3,

Enyi mlioamini! Msivunje hishima ya alama ya dini ya Mwenyezi Mungu wala mwezi mtakatifu, wala wanyama wanaopelekwa Makka kuchinjwa, wala vigwe vyao, wala wanaoelekea kwendea Nyumba Takatifu, wakitafuta fadhila na radhi za Mola wao mlezi. Namkishatoka Hija yenu basi windeni. Wala kuwachukia watu kwa kuwa walikuzuilieni kufika Msikiti mtakatifu kusikupelekeeni kuwafanyia uadui. Na saidianeni katika wema na uchamngu. Wala msisaidiane katika dhambi na uadui. Na mcheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu ni mkali wa kuadhibu.
Mmeharimishiwa nyamafu, na damu, na nyama ya nguruwe, na myama aliyechinjwa si kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, na aliyekufa kwa kunyongeka koo, na aliyekufa kwa kupigwa, na aliyekufa kwa kuanguka, na aliyekufa kwa kupigwa pembe, aliye liwa na mnyama, ila mkimdiriki kumchinja. Na pia ni haramu kula nyama aliyechinjiwa sanamu. Na ni haramu kupiga ramli. Hayo yote ni upotovu.
Leo waliokufuru wamekata tamaa na DINI yenu, na nimekutimizieni neema yangu, na nimekupendeleeni UISLAMU uwe ndiyo Dini. Na mwenye kushurutishwa na njaa, bila ya kupendelea dhambi, basi hakika Mwenyezi Mungu ni msamehevu na Mwenye kurehemu.
Qr. 4 Au surat An Nisaai 171,

Enyi watu wa kitabu! Msipite kiasi katika DINI yenu, wala msiseme Mwenyezi Mungu ila kwa lililo kweli…..
Biblia inasemaje?
Mathayo 16:16, 18,

Simoni Petro akasema akajibu akasema, Wewe ndiwe KRISTO, Mwana wa Mungu aliye hai.
Nami nakwambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
Matendo ya mitume 2:41, 47,

Naowaliolipokea neno lake wakabatizwa; na siku ile wakaongezeka watu wapata elfu tatu.Wakimsifu Mungu, na kuwapendeza watu wote. Bwana akalizidisha KANISA kila siku kwa wale waliokuwa wakiokolewa.
1Wakorintho 3:23, Nanyi ni WAKRISTO, na Kristo ni wa Mungu
Matendo ya itume 11:26Hata alipokwisha kumwona akamleta Antiokia. Ikawa kwa muda wa mwaka mzima wakakusanyika pamoja na kanisa na kuwafundisha watu wengi. Na wanafunzi waliitwa WAKRISTO kwanza hapo Antiokia.

               Sababu NO.2      MUNGU MMOJA

Ukitazama kwa haraka haraka namna wahadhiri hao wa Dini ya Uislamu wanavyolinganisha aya za Qurani na Biblia unaweza ukashawishika kuamini hicho wanachokifundisha, lakini ni vyema tukajifundisha kwa undani kadiri ya Qurani na Biblia na kisha tuone kama kuna ukweli juu ya hayo mafundisho yao, ya kusema Allah Sub-hana Wataala ndiye Yehova.tukumbuke kuwa Mungu tunayeabudu alitutahadhalisha sana Wakristo kwa kusema hivi.

Kutoka 20:1-3
Mungu akanena maneno haya yote akasema Mimi ni BWANA Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa usiwe na Miungu mingine ila mimi.
Tahadhari hii Ya Mungu wetu ya kusema usiwe na Miungu inamaanisha kuwa Miungu mingine yenye kuabundiwa na watu ipo. Kwa sababu katika Biblia neno Mungu Kiebrania“Elohim” Kiyunani "Theos" limetanjwa mara 3979 lakini pia miungu ya uongo imetanjwa mara 271. Baadhi ya miungu hiyo ya uongo ni hii:
mungu Dargoni  Waamuzi16:23
mungu Baal  Wafalme 18:21
mungu mke wa Waefeso aitwae Artemi  Matendo 19:24-28.
Aidha tusomapo Qurani pia imetaja miungu mbalimbali iliyokuwa inaabundiwa kule Makka nayo ni hii;
Qurani 53:19-20,23 Suratul An- Najm (Nyota).
Je, mumewaona Lata na Uzza? Na Manata (mungu wenu) mwingine wa tatu (kuwa ndio waungu hao badala ya mwenyenzi mungu)? ayakuwa haya (majina ya Lata mungu mwanamke na Uzza mungu mwanamke mwenye enzi. Na Manata mungu mwanamke anayeneemesha ila ni majina tu mliowapa nyinyi na baba zenu…..
Hivyo basi tunaona kuwa miungu yenyewe kuabudiwa ni mingi na kila mwenye kuabudu humtegemea huyo mungu wake na kusema ni mmoja. Mfano waliyemuabudu Dagoni walisema ni mungu mmoja, waliyemwabudu Baali walisema ni mungu mmoja, waliyemwabudu Artemi walisema Artemi ndiye mungu mkuu. Kadharika Manabii.walimtumikia Mungu mmoja aitwaye Yehova, naye Muhammad alimwabudu mungu mmoja aitwaye Allah. Ninachotaka kukifundisha kwa jamii ijue je, huyo Allah ndiye Yehova?,

Nabii Musa alivyosema:
Kumbukumbu la Torati 6:4
Sikiza ee Israeli; BWANA Mungu wetu BWANA ndiye mmoja.
Nabii Isaya alisema hivi
Isaya 45:18, 21,
Maana BWANA, aliyeumba mbingu, asema hivi, yeye ni Mungu,ndiye aliyeumba Dunia na kuifanya ….. si mimi BWANA? Wala hapana Mungu zaidi ya mimi. Mungu mwenye haki, mwokozi hapana mwingine zaidi ya mimi.
Nabii Daudi Alisema:
Zaburi 86:10Kwa kuwa ndiwe uliye mkuu, wewe ndiwe mfanya miujiza, ndiwe Mungu peke yako.
Yesu alisema hivi:
Yohana 17:3, Na uzima wa milele ndio huu wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliye mtuma
Paulo naye Alisema hivi
1 Wakorintho 8:4
Basi kwa habari ya kuvila vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanamu; twajua ya kuwa sanamu si kitu katika ulimwengu, na yakuwa hakuna Mungu ila mmoja tu
.
Sababu NO.3
ALLAH WAO SIYE YEHOVA MUNGU



Qr. 15 au  surat Hijr 30-39,
Basi Malaika wote pamoja walimsujududia, Isipokuwa Ibilisi. Yeye alikataa kuwa pamoja na waliosujudu. (Mwenyezi Mungu) akasema: ewe Ibilisi! Una nini hata hukuwa pamoja na waliosujudu?
Akasema: Hiwi mimi nimsujudiemtu uliyemuumba kwa udongo unaotoa sauti! Unaotokana na matope yenye sura.
Mwenyezi Mungu akasema: Basi toka humo, kwani hakika wewe ni maluuni! Na hakika juu yako ipo laana mpaka siku ya malipo.

Akasema (Ibilisi): Mola wangu Mlezi! Nipe muhula mpaka siku watakapofufuliwa.
(Mwenyezi Mungu) akasema: Hakika wewe ni katika waliopewa muhula, mpaka siku maalum.
Akasema: Mola wangu Mlezi! Ilivyokuwa umenitia makosani, basi nahakikisha nitawazaini hapo duniani na nitawapoteza wote
Qr. 51 au Surat Adh-Dhaariyat 56 (sur aya upepo),
Sikuwaumba majini na watu ila wapate kuniabudu

Sababu NO.4
ALLAH NI MUUNGU MDOGO KINYUME NA YEHOVA

Qr.92 au surat Al-Layl 1-3,
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU
Naapa kwa usiku unapofunika! Na mchana unapodhihiri! Na kwa aliyeumba dume na jike! Kuapa kwa Mungu kuhusu viumbe

Qr. 91 au surat Ash-Shams 1-7 (sura ya Jua)
Naapa kwa jua na kwa mwangaza wake. Na kwa mwezi unapoliandama. Na kwa mchana unapolidhihirisha. Na kwa usiku unapolifunika. Na kwa mbingu na kwa Aliyezijenga. Na kwa ardhi na Aliyeitandaza. Na kwa nafsi (roho) na Aliyeitengeneza.

Qr. 92 au surat Al-Layl 1-3 (Usiku),
Naapa kwa usiku ufunikapo (kila kitu). Na kwa mchana uangazapo. Na kwa aliyeumba kiume na kike.
Hapa tunaona Allah Mungu anayeabudiwa na Waislamu anaapa kwa mbingu na kwa aliyezinjenga, kwa ardhi na aliyeitandaza. Je, huyo mtandazi wa ardhi na mjengaji wa mbingu ni nani? Qurani inaendelea kuhadithia hivi…

Qr. 45 au surat AL- Jathiyah 22 (kiyama/ kupiga magoti), Na mwenyenzi Mungu ameziumba mbingu na ardhi kwa haki…
Qr. 44 au surat Ad-Dukhan 7-8 (sura ya moshi)
Mola wa mbingu na ardhi na vilivyomo ndani yake, ikiwa mnayo yakini (basi yakinisheni haya) Hakuna aabudiwaye kwa haki ila yeye anahuisha na kufisha. Mola wetu na ni mola wa wazee wenu (wote) wa mwanzo (na mola wa kila kitu)
Hapa tunaona kuwa Allah kupitia Qurani anasema kuwa mwenyenzi Mungu ameziumba mbingu na ardhi na tena anasema hakuna aabudiwaye ila yeye.
Mjengaji wa mbingu na mtandazaji wa ardhi anajieleza hivi ……
Isaya 44:24

BWANA, mkombozi wako yeye aliyekuumba tumboni, asema hivi, “Mimi ni BWANA, nifanyaye vitu vyote, nizitandaye mbingu peke yangu, niienezaye nchi. Ni nani aliye pamoja nami?”
Mungu wetu Yehova anasema mimi ninafanya vitu vyote.
(Soma Isaya 45:6-711-12Yeremia 27:5) Bila shaka Yehova ndiye muumbaji wa vitu vyote
JE Mungu Yehova aliapia vitu alivyoviumba kama Allah?

Isaya 45:22-23
Niangalieni MIMI mkaokolewe, Enyi ncha zote za dunia. Maana MIMI ni Mungu hapana mwingine. Kwa nafsi yangu nimeapa, neno hili limetoka kinywani mwangu katika haki, wala halitarudi, ya kwamba, mbele zangu kila goti litapigwa, kila ulimi utaapa.

Waebrania 6:13-16
Kwa maana Mungu alipompa Ibrahimu ahadi, Kwa sababu alikuwa hana mkubwa kuliko yeye mwenyewe wa kumwapa, aliapa kwa nafsi yake. Akisema “Hakika yangu kubariki nitakubariki, na kuongeza nitakuongeza, Na hivyo kwa kuvumilia akaipata ile ahadi. Maana wanadamu huapa kwa yeye aliye mkuu kuliko wao na kwao ukomo wa mashindano yote ya maneno ni kiapo kwa kuyathibitisha.
Hapa tunaona Mungu wetu Yehova haapi kwa mtu wala vitu alivyoviumba kama Allah anavyoapa, bali Yehova anasema “Naapa kwa nafsi yangu”.Waweza pia kusoma jinsi Yehova alivyoapa kwa nafsi yake katika aya hizi;
Isaya 14:24 na Mwanzo 22:16
Hapa anayeapa ni Allah,

Hivi mtu anayeapa kwa mwingine anakuwa Mungu au mwanadamu?
Je, nani aliyeumba hapo?
Maana Allah anaapa katika aliyeumba, na kuumba ni moja kati ya sifa zake Yehova Mungu kumbe Allah hakuumba chohote!
Sababu NO.5
MUNGU WAO NI MUONGO!

Tukiyachunguza maandiko matukufu ya kiislamu yaani Quran na maandiko matakatifu yaani Biblia tutawapata hao wanaume wawili kuwa na utofauti wa mbali sana.

Tukianza na Quran hizi hapa kweli za wazi kabisa:
Allah wa quran anamkana na kumkataa Yesu Kristo kama si mwana wa Mungu yaani Yehova,
Qr. 19 au surat Maryam 35

Haiwi kwa Mwenyezi Mungu kuwa na mwana, Subhanau, Yeye ametakasika! Anapolihukumia jambo basi huliambia tu: Kuwa! Likawa.
Qr. 112 au suratAl-Ikhlas 1-4 (sur aya utakaso)
Sema: Yeye ni Mwenyenzi Mungu mmoja (tu) Mwenyenzi Mungu (tu) ndiye anayestahiki kukusudiwa (na viumbe vyake vyote kwa kumuabudu na kumuomba na kumtegemea) Hakuzaa wala hakuzaliwa Wala hana anayefanana naye hata mmoja.
Kadiri ya aya hii Allah asema kuwa mungu hakuzaa wala hakuzaliwa wala hana mfano wa mtu au watu Yehova anasema hivi kuhusu mtu au watu……
Kila wanapoingizwa watu wajinga katika wavu wa huyo Mpinga-Kristoanayeitwa kwa jina ALLAH haya ndiyo maneno ya kukiri kumwabudu na kumtumikia:
Kwa kiarabu:

Ashihadu Allah ilaha inla ilah
Washihadu ana Muhamad rasuruhlah
Kwa kiswahili:
Nashuhudia kwamba hakuna Mungu isipokuwa Allah,

Na nashuhudia kwamba Muhammad (amani na rehema ziwe juu yake) nimtumishi wake na mjumbe
Biblia inasemaje ?
1Yohane 2:22-26,

Ni nani aliye mwongo ila yeye akanaye ya kuwa Yesu ni Kristo? Huyo ndiye mpinga Kristo, yeye amkanaye Baba na Mwana. Kila amkanayeMwana, hanaye Baba; amkiriye Mwana anaye Baba pia. Ninyi basi, hilo mlilolisikia tangu mwanzo na likae ndani yenu. Ikiwa hilo mlilolisikia tangu mwanzo linakaa ndani yenu, ninyi nanyi mtakaa ndani ya Mwana, na ndani ya Baba.
Na hii ndiyo ahadi aliyoyuahidia, yaani, uzima wa milele.
Nimewaandikia haya katika habari za watu wale wanaotaka kuwapoteza.
Wakolosai 1:13-15,
Naye alituokoa katika nguvu za giza, akatuhamisha na kutuingiza katika ufalme wa Mwana wa pendo lake; ambaye katika yeye tuna ukombozi, yaani, msamaha wa dhambi; Naye ni mfano wa Mungu asiyeonekana,mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote.

 Yohane 3:16-17,
Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoaMwanawe pekee, ili kila mtu amwaminie asipotee, bali awe na uzima wa milele.
Kwa maana Mungu hakumtuma Mwana ulimwenguni ili auhukumu ulimwengu, bali ulimwengu uokolewe katika yeye.
Bila shaka Biblia Takatifu inamweka wazi ALLAH wa kila muislamu kama mwongo na Anti-Kristo ambaye waislamu wanamwita Dadjal bila ya wengi wao kujuwa kama ndiye wanaomwabudu
2: Je, jina la Mungu kadiri ya Qurani na Biblia ni moja?
Jambo moja la msingi linalo tambulisha kitu au mtu, mnyama au chochote kile ni jina , hivyo ili tuweze kujua kama Mungu anayeabudiwa na Waislamu ndiye tunayemuabudu Wakristo, ni lazima tuangalie jina. Je, ni moja?

Qr. 17 au surat Bani Israil 110 (Wana wa Israil)
Sema; muombeni (Mwenyenzi Mungu) kwa (jina la) Allah au muombeni (kwa jina la ) Rahman. Kwa jina lolote mnalomwita (katika haya itafaa). Kwani ana majina mazuri mazuri………
Hapa tunaona Allah anafundisha kwa Waislamu kuwa wamuombe kwa jina la Allah au Rahman. Ukisoma Qurani utaona jina Allah limetajwa mara 2,866, kumbuka Qurani ina Juzu 30 Sura 114. hivyo Mungu anaye abudiwa na Waislamu kadiri ya Qurani jina lake anaitwa Allah.
Jina la Mungu anayeabudiwa na Wakristo ni hili;
Kutoka 6:2-3

Kisha Mungu akasema na Musa akamwambiaaa “Mimi ni YEHOVA Nami nalimtokea Ibrahimu, na Isaka na Yakobo, kama Mungu mwenyenzi, bali kwa jina langu YEHOVA sikujulikana kwao. Hapa tunaona Mungu tunayemuabudu Wakristo analitambulisha jina lake kwamba ni Yehova katika Biblia limetumika neno au jina BWANA, kwa Kiingereza wanasema LORD, likimaanisha jina lililo Takatifu sana la Mungu katika Biblia jina hili limetajwa mara 6751. Kumbuka Biblia ina jumla ya vitabu 66 Sura 1189 Aya 31,102.
Sababu NO.6
MUNGU WETU ANA JINA ILA ULE WAO HANALO

Jambo moja la msingi linalo tambulisha kitu au mtu, mnyama au chochote kile ni jina, hivyo ili tuweze kujua kama Mungu anayeabudiwa na Waislamu ndiye tunayemuabudu Wakristo, ni lazima tuangalie jina. Je, ni moja?

Qr. 17 au surat Bani Israil 110 (Wana wa Israil)
Sema; muombeni (Mwenyenzi Mungu) kwa (jina la) Allah au muombeni (kwa jina la ) Rahman. Kwa jina lolote mnalomwita (katika haya itafaa). Kwani ana majina mazuri mazuri………
Hapa tunaona Allah anafundisha kwa Waislamu kuwa wamuombe kwa jina la Allah au Rahman. Ukisoma Qurani utaona jina Allah limetajwa mara 2,866, kumbuka Qurani ina Juzu30 Sura 114. hivyo Mungu anaye abudiwa na Waislamu kadiri ya Qurani jina lake anaitwa Allah.
Jina la Mungu anayeabudiwa na Wakristo ni hili;
Kutoka 6:2-3

Kisha Mungu akasema na Musa akamwambiaaa “Mimi ni YEHOVA Nami nalimtokea Ibrahimu, na Isaka na Yakobo, kama Mungu mwenyenzi, bali kwa jina langu YEHOVA sikujulikana kwao. Hapa tunaona Mungu tunayemuabudu Wakristo analitambulisha jina lake kwamba ni Yehova katika Biblia limetumika neno au jina BWANA, kwa Kiingereza wanasema LORD, likimaanisha jina lililo Takatifu sana la Mungu katika Biblia jina hili limetajwa mara 6751. Kumbuka Biblia ina jumla ya vitabu 66 Sura 1189 Aya 31,102.
Kutoka 6:2-3,
Kisha Mungu akasema na Musa, akamwambia, mimi ni YEHOVA;
Nami nilimtokea Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kama Mungu Mwenyezi, bali kwa jina langu YEHOVA sikujulikana kwao. 
Zaburi 83:18,
Wajuwe ya kuwa Wewe, uitwaye jina lako YEHOVA, ndiwe peke yako uliye juu, juu ya nchi yote.
Zaburi 138:2,
Nitasujudu nikilikabili hekalu lako takatifu, Nitalishukuru jina lako , kwa ajili ya fadhili zako na uaminifu, Kwa maana umeikuza ahadi yako, kuliko jina lako
.
NBUkifanya utafiti kwa umakini, utagundua kwamba neon MUNGU siyo jina bali ni cheo

Neno ALLAH kwa lugha ya kiarabu latafsiriwa kwa lugha yetu ya Kiswahili kama MUNGU.
Bila shaka kulingana na Qurani na Hadith zote za mtume Muhammad pamoja na ma swahab wake Allah hana jina     bali ni cheo!! Ndugu muislam juwa hilo kama ndo kweli ambayo haiwezi kukanushwa hata kidogo.

         Sababu NO.7   UJUMBE NI TOFAUTI
Hapa wachunguzi na wataalam wa Dini ya Uislamu wanasema Manabii wote kadiri ya Biblia wanafundisha kuwa Mungu ni mmoja tu. Je, Muhammad (s.a.w.) alifundisha nini kuhusu Mungu?
 Wanasoma aya hizi za Qurani……..

Qr. 41 au surat Haa Mym Sajdah 6 (Kusujudu)
Sema; bila shaka mimi ni mtu kama nyinyi. Nimeletewa Wahyi (inafunuliwa kwangu)ya kwamba Mungu wenu ni Mungu mmoja tu……
Hapa wahadhiri wanasema kama vile manabii wote walifundisha Mungu mmoja ndivyo ilivyo fundisha Muhammad.

Qr. 29: au surat Al- Ankabuut 46-47 (Buibui),
Wala mshibishane na watu waliopewa kitabu (kabla yenu) ila kwa yale (majadiliano) yaliyo mazuri, isipokuwa wale waliodhulumu miongoni mwao. Na semeni: tunaamini yaliyoteremshwa kwetu, na yaliyoteremshwa kwenu. Na mungu wetu na Mungu wenu ni mmoja: nasi ni wenye kunyenyekea kwake. Na namna hivi tumekuteremshia kitabu (hiki cha Qurani) basi wale tuliowapa kitabu (kabla ya hiki kama taurati na injili) wanakiamini (hiki kitabu ulichoteremshiwa kwani hakipingani na hivyo walivyoteremshiwa). Na miongoni mwa hawa (Waarabu wasiokuwa na Kitabu chochote)wako wanaokiamini. Na hawazikatai aya zetu isipokuwa wale wanaotaka kuficha haki.
Hapa wahadhiri wa kiislamu wakisha soma aya hizi husema vitabu vya Torati na Injili havipingani na Qurani, na vitabu hivyo walipewa Wayahudi na Manasara(yaani Wakristo) na Mungu wa Waislamu na Wakristo ni mmoja tu.

Je, hoja hii ni kweli? Nitaijibu huko mbele.

 Sababu NO.8

 JE MALAIKA MALAIKA MKUU WA YEHOVA NDO YULE YULE WA ALLAH?

Ikiwa Allah ndiye Yehova, basi ni wazi kuwa malaika mkuu atakuwa mmoja pia. Ikiwa si mmoja hata malaika mkuu watakuwa tofauti.
Tuanze kuangalia Allah anavyosimulia katika Qurani naye anasema hivi
Qr. 81 au surat At-Takwyr 19-21 (Kukunja/jua litakapokunjwa)
Kwa hakika hii (Qurani) ni kauli (aliyokuja nayo) mjumbe mtukufu (Jibrili) Mwenye nguvu, mwenye cheo cha hishima kwa mwenyenzi Mungu. Anayetiiwa huko (mbinguni na malaika wenziwe) kisha muaminifu.
Ufafanuzi wa aya hizi. ulio ndani ya Qurani unaelezea aya hizi 19-21, unafundisha hivi…….
Mjumbe mtukufu na mwenye kutiiwa huko mbinguni ni Jibrili, ambaye ndiye mkubwa wa malaika wote
Malaika mkuu wa Mungu Yehova ni huyu;
Yuda 1:9,
Lakini Mikaeli Malaika mkuu, aliposhindana na Ibilisi na kuhojiana naye kwa ajili ya mwili wa Musa, hakuthumbutu kumshitaki kwa kumlaumu bali alisema Bwana na akukemee
hapa tunaona aya zinatufundisha waziwazi kuwa malaika mkubwa wa Mungu aitwae Allah anaitwa Jibril na Malaika mkuu wa Mungu wetu Yehova anaitwa Mikaeli. Swali; Kwa kuwaMalaika hao ni tofauti, je, Allah ndiye Yehova? Kwa kujua zaidi tofauti ya malaika, jipatie nakala ya somo la: Malaika Jibrili na Gabrieli, je ni Malaika mmoja. Somo hilo tunalo, jipatie.
Mwanzo1:26-27
Mungu akasema “Na tufanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu, wakatawale samaki wa baharini, ndege wa angani na wanyama, na nchi yote, pia na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi. Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba mwanamume na mwanamke aliwaumba. Hapa tunaona Mungu wetu Yehova ameumba mtu kwa mfano wake, lakini Allah anasema hana anayefanana naye hata mmoja……Swali kwako mfuatiliaji: Je, Allah ndiye Yehova? Tafadhali usome aya hizi ili kujua zaidi (Mwanzo 5:1-2, 9:61Korintho 11:7Kolosai 1:153:10Matendo 17:28-29,Yakobo 3:9). Pengine waweza kusema Je, Mungu amefanana na mimi kivipi? Jua kwamba Mungu ni Roho (Yohana 4:24) Naye alitupa pumzi (yaani roho ya uhai (Mwanzo 2:7) isitoshe Mungu ndiye Baba wa roho zetu (Waebrania 12:9) Mungu anasema Roho zetu ni mali yake (Ezekieli 18:4Hesabu 16:22)

Sababu NO.9
JE, MJI ALIOUCHAGUA ALLAH NI KAMA NA ALIOUCHAGUA MUNGU WETU WAKRISTO?

Mji wa Allah:


Qr. 27 au surat An-Naml 91 (sisimizi/mchwa/wadudu chungu)
Bila shaka nimeamrishwa nimuabudu mola wa mji huu (wa Makka) ambaye ameutukuza na ni vyake tu (Mwenyezi Mungu) vitu vyote…
Qr. 3 au Surat Aal-Imran 96 (watu wa Imram)
Kwa yakini nyumba ya kwanza iliyowekwa kwa ajili ya watu (kufanya ibada) ni ile iliyo Makka yenye baraka na uwongozi kwa ajili ya walimwengu wote.
Qr.106 au Surat Quraysh 3-4 (Makureshi-kabila)
Basi nawamuabudu Bwana wa nyumba hii (Al-ka'ba) Ambaye anawalisha (wakati Waarabu wenzi wao wamo) katika njaa na anawapa amani wakati wenzi wao wamo katika khofu. Hivyo tunaona kuwa Allah ndiye bwana wa Al-ka'ba kadiri ya aya hii na Al-ka'ba iko katika Makka. Kupitia aya hizi tunaona Allah mungu anayeabudiwa na Waislamu amechagua mji wa Makka kuwa ndio mji wake mtakatifu na tena Muhammad (s.a.w) aliamrishwa amuabudu mola wa mji huo wa Makka ambaye ndiye Allah.

Je, Mungu wetu aitwae Yehova alichagua mji gani? Endelea..

Mji aliouchagua Mungu wetu Yehova ni huu..
2 Nyakati 6:4-6,
Akasema, BWANA, Mungu wa Israeli, ahimidiwe, aliyenena kwa kinywa chake na baba yangu Daudi, akalitimiza kwa mikono yake, akasema, Tangu siku ile nilipowatoa watu wangu katika nchi ya Misri, sikuchagua mji wowote wa kabila zote za Israeli ili kujenga nyumba, jina langu liwe humo; wala sikumchagua mtu yeyote awe mkuu juu ya watu wangu Israeli, lakini nimeuchagua Yerusalemu, jina langu liwe humo, na Daudi nimemchagua awe juu ya watu wangu Israeli.
Maandiko hayaelezi mji mwingine wowote aliouchagua Mungu wetu hapa duniani bali ni mji wa Yerusalemu tu.
2 Nyakati 12:13, Ezra 6:127:15,27; Zaburi 26:8Zakaria 2:12
Kupitia aya hizi tunaona Mungu wetu Yehova, mji wake aliouchagua niYerusalemu. Neno Yerusalemu ni la lugha ya Kiebrania na maana yake ni "chimbuko la amani". Hata Waisraeli walipokuwa mbali na mji wa Yerusalemu bado walipiga magoti na kuelekeza nyuso zao Yerusalemu. (Tazama Danieli 6:10). Mji aliouchagua Yehova ni Yerusalemu, na mji aliouchagua Allah ni Makka. Na hii ndio tofauti ya mji wa Allah na Yehova.
Sababu NO.10
TOFAUTI KATI YA KUJITAKASA  KWA WAISLAM NA WAKRISTO

Allah anavyofundisha kujitakasa nafsi, je ni sawa na Yehova?
Allah anafundisha hivi….

Qr. 53 surat Al-Najm 32 (nyota)
Ambao wanajiepusha na madhambi makuu na vitendo vichafu, isipokuwa makosa hafifu (hakuma aliyesalimika nayo) bila shaka, mola wako ndiye mwenye maghufira mengi yeye ndiye anayekujueni sana tangu alipokuumbeni katika ardhi na mlipokuwa mimba matumboni mwa mama zenu. Basi msizitakase nafsi zenu….
Qr.12 au Surat Yusuf 53
Nami sijitakasi nafsi yangu, kwa hakika (kila) nafsi ni yenye kuamrisha sana maovu isipokuwa ile ambayo mola wangu ameirehemu. Hakika mola wangu ni mwingi wa kusamehe (na) mwingi wa kurehemu.
Kadiri ya Qurani Allah anayo nafsi pia Tazama Qr. 5:116.

Kwa hivyo hapa tunaonaAllah ana agiza watu wasizitakase nafsi zao na tena anasema sijitakasi nafsi yangu. Hii ni ajabu sana!
Mungu wetu Yehova anavyosema kuhusu kujitakasa nafsi, yaani utakatifu

Isaya 43:3

Maana mimi ni BWANA Mungu wako, mtakatifu wa Israeli, mwokozi wako. Nimekutoa Misri kwa ukombozi wako, nimetoa Kushi na Sheba kwa ajili yako.
Hapa tunaona Mungu anasema ‘Mimi ni mtakatifu’, hili pia ni jina la sifa la Mungu wetu Yehova kwa lugha ya Kiebrania husema ‘kadosh’. Nabii Isaya ameandika kuwa Mungu ni Mtakatifu mara 32 kwa ufupi tu soma Isaya 40:25,48:17 na 57:15. Isitoshe kwa kuwa Mungu wetu Yehova ni mtakatifu pia aliagiza kwetu hivi.

Walawi 11:44
Kwa kuwa mimi ni BWANA Mungu wenu takaseni nafsi zenu basi; iweni watakatifu, kwa kuwa mimi ni mtakatifu, wala msitie uchafu nafsi zenu…
Mtume Petro anatuagiza hivi;
1 Petro 1:15-16,

Bali kama yeye aliyewaita alivyo mtakatifu, ninyi nanyi iweni watakatifu katika mwenendo wenu wote.Kwa maana imeandikwa, mtakuwa watakatifu kwa kuwa mimi ni mtakatifu.
Mtume Paulo pia ameagiza kujitakasa nafsi na kuwa watakatifu (2Wakorintho 7:1) waweza pia kusoma agizo hilo la kuwa watakatifu katika Walawi 19:2,20:26.
Kwa hivyo tunaona Yehova anaagiza tujitakase nafsi zetu ili tuwe watakatifu, lakini Allah anaagiza kwa Waislamu kuwa wasizitakase nafsi zao.
Swali kwako mfuatiliaji, Je, Allah ndiye Yehova?

Sababu NO.11
MBINGU YA WAKRISTO NA PEPO YA ALLAH


Je, mbingu ya Yehova ni sawa na pepo (mbingu) ya Allah?
Mbingu ya Yehova:


Luka 20:34-36,
Yesu akawaambia wana wa ulimwengu huu huoa na kuolewa, lakini, wale wahesabiwao kuwa wamestahili kuupata ulimwengu ule. Na kule kufufuka katika wafu hawaoi wala hawaolewi. Wala hawawezi kufa tena. Kwa sababu huwa sawa sawa na malaika, nao ni wana wa Mungu kwa vile walivyo wana wa ufufuo.
Maandiko haya yanatuthimbitishia Wakristo kuwa tutakapofufuliwa na kuingia mbinguni, hakuna mambo ya kuolewa wala kuoa, maana tutakuwa na miili ya kiroho (1 Korintho 15:43-54) Aidha maandiko yanatufundisha kuwa ufalme wa Mungu siyo kula wala kunywa bali ni haki na amani na furaha katika Roho Mtakatifu. (Tazama Warumi 14:17Mungu wetu anafundisha wazi wazi kuwa kule mbinguni katika ufalme hakuna njaa, wala kiu wala jua kutupiga (Ufunuo 7:16-17.)

Mbingu ya Allah na wa fuasi wake

Pepo au Mbingu ya Allah itakuwa hivi:
i). Maghorofa
Qr. 39 au surat Zumar 20 (makundi/vikosi)
Lakini waliomcha mola wao watapata ghorofa zilizojengwa juu ya ghorofa chini (mbele) yake hupita mito. Ndiyo ahadi ya Mwenyenzi Mungu, Mwenyenzi Mungu havunji ahadi yake. ii) mito ya maji, maziwa, ulevi, asali na matunda
Qr. 47 au Surat Muhammad 15

Mfano wa pepo waliyoahidiwa watawa (wacha Mungu itakuwa hivi). Imo mito ya maji yasiyovunda, na mito ya ulevi wenye ladha kwa wanywao na mito ya asali iliyosafishwa. Tena humo watapata matunda ya kila namna, na samahani kutoka kwa mola wao. Basi hao watakuwa sawa na wale wataokaa motoni na kunyweshwa maji yachemkayo yatakayokata chango zao?
Je Matunda hayo ni sawa na ya wapi?
Qr. 2 au surat Al- Baqarah 25 (ngombe jike)

Na wabashirie walioamini na kufanya vitendo vizuri, kwamba watapata mabustani yapitayo mito mbele yake. Kila mara watakapopewa matunda humo kuwa ni chakula watasema “haya ndiyo yale tuliyopewa zamani (ulimwenguni) kwani wataletewa (matunda hayo) hali yatakuwa yamefanana (na yale waliyokuwa wakiyajuwa ulimwenguni wataletewa kwa sura hiyo lakini utamu mwingine kabisa) na humo watapata wake waliotakasika (na kila mabaya na machafu) na watakaa milele humo.
ii). Watapata wanawake aina hizi na nyama za ndege
Qr. 56 au surat Al Waaqiah 15-23 (Tukio)
Nanukuu aya ya 21-23 tu
Na nyama za ndege kama watakavyotamani (wenyewe). Na wanawake wenye macho mazuri na makubwa (ya vikombe). (wanapendeza na safi) kana kwamba ni lulu zilizofichwa (katika machaza yake, ndio kwanza zinapasuliwa)
Qr. 37 au surat As-Saaffat 48-49 (Wapangao mistari)
Na pamoja nao watakuwa wanawake wenye macho mazuri makubwa. (Safi) wanawake hao kama mayai (ya mbuni) yaliyohifadhiwa.

Qr. 37 au surat As-Saaffat 44-46 (Wapangao mistari)
Wako juu ya vitanda (viti vya enzi vya fahari), wamekabiliana (wanazungumza). Wanazungushiwa gilasi zenye (vinywaji) safi.Vyeupe yenye ladha kwa hao wavinywao.

Kupitia aya hizi tumeona kuwa Allah Sub-haana Wataala Mungu anayeabudiwa na Waislamu ametoa ahadi ya kuwaingiza Waislamu peponi (mbingu) na kuwa watapata mito ya maji, mito ya maziwa na ulevi na pia mito ya asali vilevile watapata matunda, nyama ya ndege na pia wataozeshwa na Allah mungu wao wanawake wenye macho makubwa kama mayai ya mbuni. Na wengine makubwa kama vikombe.
Jambo la kushangaza zaidi ni pale tunaposoma kitabu cha Hadithi, maana imani ya Dini ya Uislamu imejengwa pia katika vitabu vya hadithi. Soma

Qr. 42 au Surat Ash-Shuura 10 (sura ya mashauriano)
Mkihitalifiana katika jambo lolote (rejeeni kitabu cha Mwenyenzi Mungu na Hadithi za mtume kwani)…

Tunaposoma kitabu cha Hadithi ya mtume kiitwacho Sunnan Ibn-1- Majah vol 5 ukurasa wa 546 Hadithi No: 4337 kuna maelezo haya:
Imesimuliwa na Abu' Umama ya kuwa mjumbe wa Allah (baraka na amani ya Allah iwe juu yake) alisema:

Allah hatamruhusu yeyote kuingia peponi ila kwa idhini ya Allah, Mwenye nguvu na utukufu naye atamwozesha mwanamume wake sabini na mbili. Wawili watakuwa mabikira (mahurul-ain) yaani wanawake wa peponi wenye macho makubwa, na sabini watakao warithi ambao watu (mabwana zao) wametupwa katika moto wa jahanamu kila mmoja wao (hao wanawake) wana uke wa kupendeza. Na mwanamume, Nguvu ya uume wake katika kujamiana hautapinda (kusinyaa) bali utadumu sana
Hivi ndivyo Allah Mungu wa Waislamu alivyoahidi. Hili ni jambo ambalo kwa Mkristo linamshangaza sana kwani jambo hili linalofundishwa na Allah halipo kabisa kwa Mungu wetu Yehova hapa ulimwenguni ndiko kwenye ulevi, matunda, nyama za ndege, kuoana, maghorofa, magari, mito, bahari na vinginevyo.
Tafakari, je huyo Allah ni nani?

Sababu NO.12
ALLAH NA WOTE WANAOMWABUDU WATAISHIA  JEHANAM
Mwisho wa wanaomwabudu Allah ni wapi? Tunajua kuwa Wakristo tutaishi na Mungu wetu Yehova milele (tazama 1Thesalonike 4:13-17 na Ufunuo 21:3-7) Hivyo Mungu wetu hana mwisho ni wa milele. Lakini tunaposoma Qurani na Hadithi za Muhammad, mtume wa Waislamu tunaona mafundisho haya…
Qr. 51 au Surat Adh-Dhaariyat 56 (sur aya upepo) yasema, Sikuwaumba majini na watu ila wapate kuniabudu
Qr. 6 Surat Al An-Am 128 (Sura ya wanyama)
Na (wakumbushe) siku atakapowakusanya wote (awaambie) "Enyi makundi ya majini! Hakika nyinyi mmechukua wafuasi wengi katika wanaadamu" na marafiki wao katika wanadamu (watawagombania) waseme "mola wetu! Tulinufaishana sisi na wao, na tumefikia muda wetu uliotuwekea" Basi (Mungu) atasema:"moto ndio makazi yenu, mtakaa humo milele.. katika aya hizi tunaona kuwa majini pamoja na watu wote watatupwa motoni. Je Allah naye ni vipi? Tunaposoma kitabu cha hadith za mtume (s.a.w) cha Sahih al-Bukhari Vol: VI Hadithi No: 371.ukurasa wa 353 Kuna maneno haya:
Qr. 50 au Surat Qaf 30 (kuapa)
Siku tutakayoiambia Jahanamu, ‘Je! Umejaa?’ Nayo itasema ‘Je kuna ziada (zaidi? Naije tu!
Imesimuliwa na Anas kuwa: mtume alisema watu watatupwa jahanamu, Naye Allah ataiuliza jahanamu akisema je umejaa nayo jahanamu itasema kwani kuna nyingine zaidi na ije tu? Mpaka Allah atakapo ingiza mguu wake nayo jahanamu itasema inatosha! Inatosha 
Hadithi hii ya Anas inasomeka hivi:
Na Allah atasema Je, kuna wa ziada (kuja)? Nayo Jehanam itamuuliza Mwenyezi mola, wakisema je, kuna waziada (kuja)? hadi Mwenyezi Mungu atakapouweka mguu wake ndani ya moto wa jehanam na kisha moto utasema, YATOSHA!
Katika aya hii tunaona Allah mungu wa Waislamu anaiuliza Jehanamu kama imejaa, nayo Jehanamu itamuuliza Allah je, kuna zaidi. Yaani swali hili linaonyesha kuwa Jahanamu ilikuwa bado haijajaa, Maelezo ya Hadithi hii inadhibitisha kuwa Allah ataingiza mguu katika Jahanamu na ndipo Jahanamu itakaposema kuwa inatosha! Inatosha!, yaani imejaa kwa tendo la Allah kuingiza mguu wake humo. Jambo hili ni tofauti kabisa na ilivyo kwa Mungu wetu Yehova., Mungu wetu ameiweka jahanamu maalum kwa ajili ya watu wabaya, na ibilisi, pamoja na malaika zake. Tafadhali soma aya hizi; Mathayo 25:41,46Ufunuo 20:1021:8.
Aya hizi zote zinaonyesha kuwa mwisho wa wabaya, Ibilisi na malaika zake ni katika ziwa la moto. Swali kwako Ndugu mpendwa, Je, Allah ni nani?
Ni matumaini yangu kuwa umeweza kujua kwa undani kupitia Qurani na Biblia na vitabu vya Hadith za mtume wa Waislamu aitwae Muhammad kuwa Allah Sub-Haana Wataala Mungu anayeabudiwa na Waislamu. Siyo Yehova Mungu tunaye muabudu Wakristo.
Unapoijuwa hii kweli ukiwa Muislamu nakuomba kwa neema yake Kristo Bwana wetu umpokee KRISTO YESU maishani mwako ili uweze kuitoroka ibada ya shetani na kujiokoa nafsi yako na mauti ya milele………

Karibu kwa Yesu Kristo wetu.
Ufunuo 3:30 Yeye anasimama mlangoni kwako anabisha!!! Usichelewe kumfungulia.

Hatuwezi kukosa pia kukualikeni kwenye  nakala itakayofuata yenye kichwa kifuatacho:
JE, ISSA BIN MARYAM WA WAISLAM NDIYE YESU KRISTO? Usikose !!!!!!!!!!!!!
Barikiweni.

No comments:

FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE

  **URGENT UPDATE**   **FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE** Shimba TV, New York has received distressing news ...

TRENDING NOW