Friday, July 14, 2017

KWANINI WAISLAM HAWAMWABUDU MWENYEZI MUNGU KATIKA ROHO NA KWELI KAMA WAKRISTO?

Image may contain: one or more people, people standing, text and outdoor


Kuabudu asili yake ni mbinguni, kuabudu kulikuwepo kabla ya Adamu kuumbwa. Maana walikuwepo viumbe kabla ya Adamu huko mbinguni waliomwabudu Mungu. Ibada ina asili katika Mungu mwenyewe, Uungu una asili ya kuabudiwa kwa hiyo chanzo cha ibada ni Mungu. Ayubu 38:4-7, Zaburi 148:2-14.
MUNGU NI ROHO
Mungu ni Roho, na wale wanaomwabudu yeye lazima waabudu kwa roho na kweli.” (Yohana 4:22-24) Maneno hayo yanamaanisha nini?
Maneno hayo yanakamilika kwasababu binadamu sio mwili na nyama kama watu wengi wanavyo fikiria.
WEWE NI MTU; NI ROHO, UNA NAFSI NA UNAISHI NDANI YA MWILI!
Mwanadamu Ni roho, Ana Nafsi na Anakaa Ndani Ya Mwili.
Ukisoma 1Wathesalonike 5:23 Inatusaidia Kuona Maeneo Yote Matatu Ya UTU Wa MTU;
"Mungu wa amani mwenyewe awatakase kabisa; nanyi NAFSI ZENU na ROHO ZENU na MIILI YENU Mhifadhiwe mwe kamili, bila lawama, wakati wa kuja kwake Bwana wetu Yesu Kristo"
Hapa Unaona Nafsi, Roho Na Mwili Vimetajwa.
ROHO YAKO
Hii Ndo Sehemu Ya Uhai Wako Ulipo. Hii Ndiyo Iliyo Chanzo Cha Uhai Wako. Hii Ndiyo Wewe Halisi. Ikitoka Kwenye Mwili Wanakuita MAREHEMU..."MWILI WA MAREHEMU FULANI" Hii Ni Kwa Sababu "ROHO NDIYO ITIAYO UZIMA"
Soma Ayubu 32:8, Ayubu 33:4, Mithali 20:27
NAFSI YAKO
Hii Nayo Imebeba Sehemu Kuu Tatu; NIA/ AKILI (Mind), HISIA (Emotions And Feelings) Na UTASHI (Will).
Soma Mathayo 11:28-29, Zaburi 103:1-2, Mithali 23:7a
MWILI WAKO
Ni Nyumba Yako Inayohifadhi Roho Na Nafsi Yako.
Soma Mwanzo 2:7, Mwanzo 3:19b, Wagalatia 5:17-21, 24, 1Thesalonike 4:4.
Umesha gundua kitu hapo?
Mungu ni Roho.
Wewe ni Roho.
Ndio maana Biblia inasema tuliumbwa kwa mfano wa Mungu, ikimaanisha sisi tunafanana na Mungu katika roho na sio mwili na nyama.
LAKINI WAISLAM WAO SIO ROHO NA WALA ALLAH WAO HAKUWAUMBA KWA MFANO WAKE.
NDIO MAANA WAISLAM HAWAABUDU KATIKA ROHO NA KWELI KAMA WAKRISTO BALI KATIKA MWILI KWA KUTUMIA MAPANGA, VISU NA MABOMU.
Surat Tawba 29. Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu, mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii
Surat Tawba 5. Na ikisha miezi mitukufu basi wauweni washirikina popote mwakutapo, na washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila njia. Lakini wakitubu, wakashika Sala, na wakatoa Zaka, basi waachilieni. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu.
Kabla hajafa, Muhammad alituma majeshi yake kwenda kuwalazima Wapagani wa Kiarabu kujiunga nae, kabila la al Harith. Aliwaambia wamepewa chaguo moja tu kujiunga nae au atawauwa wote kwa upanga. Lakini hilo kabila la kipagani liliogopa na kiunga nae. Baadae Muhammad akawalaani Wakristo wote na Wayahudi. SOMA Sahihi Bukhari 8:427.
Kutoka na al Shafi : "The Ordinances of the Quran", Muhammad alilazimisha watu wajiunge nae au aliwauwa watu walio mkataa. Soma Bukhari 53:386.
Vinyo hivyo, Abu Kabkr, aliye chukua baada ya Muhammad, alifanya Jihad mbaya zaidi katika nchi za jirani kwa watu walio ukataa Uislam. Katika Barua iliyo tumwa kwa Persians, Abu Bakr alisema kuwa "Silimuni na muwe waislam hapo mtakuwa huru na kama mkikataa basi eleweni kuwa nimekuja kwenu na Jeshi la Kiislam ambalo linapenda kuuwa watu, kama jinsi ninyi mnavyo penda maisha/uhai"
Hizi sifa za Muhammad sasa zinaonekana kwa akina Boko Haram, Al Qaeda, Al Shabab.
Ndio maana Yehova ambaye ndie Mwenyezi Mungu hawezi kuwa Allah wa Muhammad na Waislam. Tabia zao ni tofauti na hawalingani.
Swali lakujiuliza, kwanini Waislam hawamwabudu Mwenyezi Mungu katika roho na kweli?
Je, Mungu gani huyu anaye tumia Mapanga kulazimisha watu kujiunga nae?

WEWE NI ROHO, UNA NAFSI NA UNAISHI NDANI YA MWILI

Image may contain: text




Mwanadamu ni Roho, ana Nafsi na anakaa ndani Ya Mwili.

Ukisoma 1Wathesalonike 5:23 Inatusaidia kuona maeneo yote matatu Ya UTU Wa MTU;
"Mungu wa amani mwenyewe awatakase kabisa; nanyi NAFSI ZENU na ROHO ZENU na MIILI YENU Mhifadhiwe mwe kamili, bila lawama, wakati wa kuja kwake Bwana wetu Yesu Kristo"
Hapa Unaona Nafsi, Roho Na Mwili Vimetajwa.
ROHO YAKO
Hii ndio sehemu ya uhai wako ulipo. Hii ndiyo iliyo chanzo cha Uhai Wako. Hii ndiyo wewe halisi. Ikitoka kwenye mwili wanakuita MAREHEMU..."MWILI WA MAREHEMU FULANI" Hii Ni kwa sababu "ROHO NDIYO ITIAYO UZIMA NA WEWE NI ROHO" Soma Ayubu 32:8, Ayubu 33:4, Mithali 20:27
NAFSI YAKO
Hii nayo imebeba sehemu Kuu Tatu; NIA/ AKILI (Mind), HISIA (Emotions And Feelings) Na UTASHI (Will). Soma Mathayo 11:28-29, Zaburi 103:1-2, Mithali 23:7a
MWILI WAKO
Ni nyumba yako inayohifadhi Roho Na Nafsi Yako.
Soma Mwanzo 2:7, Mwanzo 3:19b, Wagalatia 5:17-21, 24, 1Thesalonike 4:4.
Utendaji wako kama mtu unategemea na "UZIMA ULIONAO ROHONI"
Aliyekombolewa kwa Damu Ya Yesu [ALIYEOKOKA] Na Kujaa Neno La Mungu; Huwa anaanza kufanya chochote toka ROHONI- NAFSINI- MWILINI.
Lakini yule ambaye "AMEKUFA ROHONI" Kwa Sababu Ya Dhambi na kutokuwa na Ushirika Na Mungu; Anaishi kinyume chake. Anaishi toka MWILINI- NAFSINI- Na Roho haina kazi maana imekufa "KIUTENDAJI" Imebakiza tu "UHAI WA KUWA NDANI YA MWILI" Lakini haina uwezo wa KUSHIRIKI MICHAKATO YA KIMAAMUZI NA UTENDAJI!
Mtu ambaye HAJAOKOKA "ALIYEKUFA KIROHO" anaweza "KUZINI NA KAHABA" Huku "ANAJUA KABISA NI MWATHIRIKA WA VVU", Hajali maana "ANAENDESHWA TOKA MWILINI" na kwenye NAFSI anachukua tu uamuzi wa Kutenda Hiyo Dhambi.
Mtu ambaye "AMEKUFA KIROHO" anaweza kwenda kumchukua Mme/ Mke wa rafiki yake uu hata ndugu yake wa Damu, japo anajua HAIPENDEZI KWA WANADAMU NA NI DHAMBI KWA MUNGU lakini kwakuwa "ROHO YAKE HAIFANYI KAZI" Bado anajikuta ametenda ingawa anajua ubaya na madhara ya hilo.
Haishangazi kwa Mtu ambaye "ROHO YAKE IMEKUFA" Kufanya dhambi yoyote na wala haoni tatizo... Atavuta Sigara ilhali yeye ni DAKTARI MSOMI NA ANAJUA ATHARI ZAKE... Atakunywa Pombe ilhali anaelewa ATHARI ZAKE... Atatembea [Atazini] na Wanafunzi ambao ni kama wajukumuu zake kwa Umri; Wala haoni tatizo lolote, maana "ROHO YAKE IMEKUFA NA HAINA MAAMUZI KATIKA UTENDAJI" anatumia MWILI TU NA NAFSI YAKE BASI!
Barikiwa sana.
Shalom,
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo.

UKIMWI UMESHAMIRI KATIKA KUNDI LA ISIS - MAGAIDI WA KIISLAM


Image may contain: 1 person, standing and outdoor

AIDS Is Now Running Rampant Amongst ISIS Fighters And Its Getting So Bad That They Even Set Up An AIDS Center
Ugonjwa wa Ukimwi umeshamiri na kushika kasi katika kundi la kigaidi la ISIS. Inasemekana, kuathirika na kukuwa kwa ugonjwa huu kumetokana na tabia mbaya ya wapiganaji hawa wa Kiislam wa kuchangia wanawake na ngono ya wenyewe kwa wenyewe.
Mwandishi wa habari wa kutoka gazeti la Kiarabu alikwenda Shaddadi kusini mwa Hasaka, na kuchunguza ukweli huu wa kuathirika kwa UKIMWI kwa wapiganaji wa ISIS. Habari zainasema kuwa, wengi wa Wapiganaji wa ISIS wameathirika na UKIMWI.

JINSI YA KUOMBA KWA IMANI, SEHEMU YA KWANZA

Image may contain: sky, text, nature and outdoor


Imani si kuamini kwamba Mungu anaweza, ama ataweza, bali imani ya kweli ni kuamini kwamba Mungu ameshatenda.
Je, umewahi kumwomba Mungu kitu kikubwa, na ukiisha sema “Amin,” ukawa na tashwishi kama kweli utapata jibu? Labda ulisema, “Hawezi kujibu ombi hili.”
Hebu sikiliza ahadi ya maandiko kuhusu maombi na imani:
Yesu akajibu, akawaambia:
“Mwamini Mungu. Amin, nawaambia, Ye yote atakayeuambia mlima huu, Ng’oka ukatupwe baharini, wala asione shaka moyoni mwake, ila aamini kwamba hayo asemayo yametukia, yatakuwa yake. Kwa sababu hiyo nawaambia, Yo yote myaombayo mkisali, aminini ya kwamba mnayapokea, nayo yatakuwa yenu.” – Marko 11:22-24
Kwa kuwa Mungu ni Baba yetu, anapendezwa tunapomwamini. Anapenda tuamini neno lake. Hakuna kitu kingine kinachompendeza kuliko imani ndogo kama ya mtoto mdogo. Waebrania inasema kwamba, “lakini pasipo imani haiwezekani kumpendeza” (Waebrania 11:6).
Hii ni haki kabisa tunapomwendea katika maombi. Bwana wetu alitilia jambo hili mkazo katika Marko 11:22-24. Alituamuru tuwe na imani kwa Mungu. Anatuhimiza tuombe tukiwa na imani ili tupate tayari majibu kwa maombi yetu. Maneno hayo yanatuonyesha Mungu alivyo. Anatamani kuwapa wanawe
wanaoamini mahitaji yao!
Imani ya kweli ni kwamba “Mungu tayari” ametimiza matakwa yangu. Hi ni imani yenye maana ambayo imeelezwa katika Waebrania 11: “Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana” (Waebrania 11:1).
Imani si kutumaini, bali ni kuwa nayo. Kiini cha neno “kuwa na hakika” ni halisi, au hali halisi ya kitu, kama vile tunaona katika Waebrania 1:3 kuhusu Kristo kuwa hakika ya Mungu mwenyewe. Nikiwa na imani kwa kitu cha kubainisha, basi kinafanyika kuwa halisi katika maisha yangu. Nikiliamini, basi ninalo!
Si ajabu hilo? Ndio, ni kweli.
Huyu ni Yesu akifundisha katika Marko 11;24: “Yo yote myaombayo mkisali, aminini ya kwamba mnayapokea, nayo yatakuwa yenu.” Wakati ule ninapoamini kwa hakika, jibu li njiani, laja. Lugha iliyotumika katika maandiko pale mwanzoni ina uzito mwingi kwamba tafsiri ya New American Standard Bible inakosoa kwa usawa tafsiri iliyokubalika kutoka kwa “mtapokea” hadi “mmepokea.”
Kwa hivyo, mara tu unapoamini, tayari umepokea (hali ya kale)! Yesu ndiye aliyesema hayo, si mimi.
Imani ni kupokea. Mtu alieleza imani kibibilia hivi, “Imani ni kutenda kama ipo, hata kama haipo, na itakuwepo.” Imani ni kubadilisha bayana kuwa yaliyopo.
USIKOSE SEHEMU YA PILI
Imani Na Mapenzi Ya Mungu Yesu alituambia tuwe na “imani kwa Mungu.” Hi inahusu mpango na kusudi la Mungu kwa maisha yako.........====> SEHEMU YA PILI====>
Shalom
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo.

KWANINI TUNAOMBA KATIKA JINA LA YESU? SEHEMU YA KWANZA

Image may contain: ocean, sky, cloud, text, water, outdoor and nature


Kuomba katika jina la Yesu, kwa Muumini, ni njia ya kumfikia Mungu Baba. Imani yetu katika hilo jina takatifu hutuwezesha kuifikilia chumba cha enzi.
Nilipokuwa kijana mdogo, wazazi wangu walianza kunifundisha dini kwa kuniorodhesha katika shule ya Seminari. Miaka yangu mitatu katika masomo yalitokana na msingi huo wa elimu. Ombi la kwanza ambalo nakumbuka kuomba ni ombi la kukariri "neema” wakati wa chakula nikiwa katika shule hiyo.
Watoto wengi Seminari na Wakatoliki hukariri ombi hili fupi kwa Mungu wakatika wa kwenda kulala, wakisema, “Tubariki, Ee Bwana, kwa vipawa hivi ambavyo tuko tayari kupokea kutoka kwa utajiri wako, kwa Yesu Kristo Bwana wetu. Amin.”
Hilo ndilo lilikuwa ombi langu la kwanza. Ombi hili si baya. Sehemu ya mwisho katika ombi hilo ilinifurahisha sana, “kwa Yesu Kristo Bwana wetu.” Nilipoendelea kuwa mkubwa, nilianza kusikia wengine wakimaliza maombi kwa kusema “Katika jina la Yesu. Amin.” Nikaanza kuwaza na kuwazua “kwa nini” wanaomba “katika jina la Yesu.” Nikawa mtu mzima kabla moyo wangu kukubali ukweli wa maneno hayo.
Ombi Rahisi
Yesu alikuwa akiwapa wanafunzi wake funzo kamili kuhusu utiifu, Roho Mtakatifu na maombi katika Yohana 1:16. Katikati ya mafundisho hayo, mara tatu Yesu aliwaambia wanafunzi wake kuomba Mungu “katika jina langu”: “Amin, amin, nawaambia, mkimwomba Baba neno lo lote atawapa kwa jina langu.
Hata sasa hamkuomba neno kwa jina langu; ombeni, nanyi mtapata; furaha yenu iwe timilifu” (Yohana 16:23,24). Kristo tayari ameshawishi jambo hili katika sura ya 14, na akarudia katika sura ya 15 (Yohana 14:13,14 na Yohana 15:16). Kurudia huku kulimaanisha kutilia mkazo kanuni hii rahisi: kukaribia moyo wa Mungu ni kupitia kwa jina la Mwanawe.
Kukosa Kuomba ni Kukosa kupokea:
Fundisho hili lilikuwa la kipekee, na geni kwa wanafunzi wa Kiyahudi. Katika historia yao, hawakuwahi kumwomba Yehovah Mungu katika jina la mtu! Ndio sababu Yesu alisema, “Hata sasa hamkuomba neno kwa jina langu” (Yohana 16:23). Hili ni fundisho linalobadilisha. Ni kiini cha theologia ya Kikristo. Yesu
anasema kwamba kuna njia jipya ya kufika kitini pa enzi kwa Mungu, ambalo halijapitiwa na mtu mwingine awaye yote. Kuna nambari ya siri ya simu mpya isiyojulikana na yeyote, ya kwenda kwa kiti cha enzi cha Mungu. Hebu piga simu hiyo! “Hata sasa, hamjamwendea Baba kwa jina langu. Sasa fanya hivyo naye Baba yangu atakupa kila hitaji lako,” asema Bwana Yesu.
Hili laonekana kuwa kinyume, lakini sivyo kamwe! Hadi wakati huo, hakuna aliyewahi kumwomba Mungu “kwa jina la Yesu.” Labda hii haikufanywa na wafuasi wa kwanza wa Kristo hadi baada ya Pentekote.
Iligharimu uchochezi wa Roho Mtakatifu, aliyekuwa akiishi ndani yao, kuwafanya kuomba katika jina la Yesu.
Hivi sasa watu wengi wanaomba maombi kila siku, yakiwa maombi ya kukaririwa, na kuyamaliza kwa “jina la Yesu” bila kumaanisha. Kanisa likifahamu uwezo na nguvu iliyoko katika jina la Yesu, basi maombi yetu yataleta Pentekote mara nyingine. Kanisa la kwanza lilichochewa na imani katika hilo jina la Yesu. Jina hilo litaweza kuwasha imani na moto katika moyo wako ikiwa utatambua kwa nini Mungu anaheshimu jina la Yesu.
USIKOSE SEHEMU YA PILI ===>Mbona uombe katika jina la Yesu?
Shalom,
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo.

MUHAMMAD NA ALLAH WAKIRI KUWAKAFIRISHA WAISLAMU


Image may contain: one or more people and closeup


1. Kumbe Makafir ni Waislam
2. Kumbe Allah ni Kafir
3. Kumbe Muhammad ni Kafir
Ndugu msomaji,
Hakuna ubishi katika hili, kuwa Dini inayo thibitisha kuwa wao ni Makafiri ni ya Uislam.
Nini Maana ya Kafiri?
Neno Kafir limetoka katika neno "Kafara" likiwa lina maanisha kupinga Mungu, kuficha , kukataa au kufuru . Kwa hiyo, kaafir ni Mtu au Kiumbe au Roho au Malaika au miungu anaye kufuru, anakataa au anakanusha.
ALLAH KAANDIKWA KAFIR KATI YA MACHO YAKE
Hadithi ya Anas (r.a) amesema, Mtume (s.a.w) amesema, "Hakuna Mtume aliyetumwa, isipokuwa amewahadharisha watu wake na mwenye Jicho moja mrongo. Eleweni kuwa yeye ana jicho moja na hakika Bwana wenu hana Jicho moja kati ya Macho yake pameandikwa neno 'KAFIRI." (Bukhari, Hadithi Na. 245, Juzuu ya 9).
Teyari Waislam wanapata mshtuko baada ya kusoma kuwa, Kumbe Allah ana MHURI kati ya macho yake unao sema yeye ni KAFIR.
USHAHIDI WAKUPINGA MUNGU KATIKA UISLAM
Shahada: LA ILAHA ILLALLAH Muhammadur Rasulullah, Quran 3:18 na soma hapa pia (Sahih Al-Bukhari, Volume 4, Book 56, Number 725)
Hakuna Mungu ila Allah na Muhammad ni Mtume wa Allah. Hii ni Shahada wanayo sema Waislam au mtu anaye taka kuwa Muislam.
Hii Shahada katika Surat Ali Imran inasema kuwa Hakuna Mungu ila Allah. Huu ni mtego ambao Ibilisi anautumia kwa hwa Waislam na wanakanusha kuwepo na au uwepo wa Mungu. Zaidi ya hapo, Waislam wanakanusha na au ficha ukweli kuwa Yesu ni Mungu.
Hivyobasi, kufuatana na ushahid yakinifu hapo juu wa SHAHADA ya LA ILAHA ILLALLAH Muhammadur Rasulullah na maana ya neno kafiri, leo tumejifunza kuwa Allah wa Waislam na Mtume wake na Waislam wote wanapinga uwepo wa Mungu na kufanikiwa kuwa MAKAFIRI kutokana na maana ya KAFIR katika Uislam.
Ngoja niweke maana ya hiyo SHAHADA neno kwa neno:
Maneno hayo manne "lâ ilâha illâ allâh" yana maanisha hivi:
:
lâ = HAKUNA, no, not, none, neither
ilâha = MUNGU, a god, deity, object of worship
illâ = ISIPOKUWA but, except (illâ is a contraction of in-lâ, literally if not)
allâh = ALLAH, allâh
Kama tulivyo soma hapo juu maana ya hayo maneno Manne. Utangundua kuwa Neno ILAHA maana yake ni MUNGU na Neno ALLAH halina Tafsir na kubakia ALLAH (Thibitisha kupitia Al Tafsir Kitengo cha Tafsir cha Serikali ya Saudi Arabia/
http://www.altafsir.com/).
Huo ndio mtego wenyewe. Kumbuka Allah hana wa kufananishwa na au linganishwa. Hivyo Kumfananisha Allah na Mungu wa Buddah, au Mungu wa Rasta Fari au na Mungu wa Wabantu ni KUKUFUR. Allah yeye kasema hana wa kufananishwa wala linganishwa. Kumbe basi Allah sio Mungu.
Allah Anasema:
لَيْسَ كَمِثْلِهِ شَيْءٌ وَهُوَ السَّمِيعُ البَصِيرُ
"Hapana kitu kama mfano wake. Naye ni Mwenye kusikia Mwenye kuona."
Ash-Shuuraa – 11
Hivyo basi, Allah ni Kafir. Muhammad ni Kafir na Waislam wote ni Makafir maana wote wanapinga Uwepo wa Mungu kwa kusema Shahada.''
Tusome Biblia na tuone inasemaje kuhusu mtu anaye sema hakuna Mungu:
Biblia inasema: Zaburi 14: 1; Mpumbavu asema moyoni mwake hakuna Mungu wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo hakuna atendaye mema.
Jibu mmesha pata kuhusu mtu yeyote yule (na/au kiumbe chechote kile) anayesema hakuna Mungu.
Leo tumejifunza kutoka Uislam kuwa, MAKAFIR ni WAISLAM na sio Wakristo wanaokubali Mungu.
Mungu awabariki sana,
Karibu kwa Yesu aliye hai na Mungu Mkuu,
Mungu awabariki sana,
Katika Huduma Yake,
Max Shimba Ministries Org.
MAX SHIMBA MINISTRIES ORG ©2015. ALL RIGHTS RESERVED
Everyone is permitted to copy and distribute verbatim copies of this license document, but changing it is not allowed.
Al Tafsir.com - Tafseer Holy Quran from all Tafseer Schools, Quran Translations, Quran...
Al Tafsir.com - Tafseer Holy Quran from all Tafseer Schools, Quran Translations, Quran Recitations, Quran Interpretation (Tafseer), Quran Syntax, Quran Asbab…
ALTAFSIR.COM|BY INTEGRATED TECHNOLOGY GROUP - ITG

JINSI YA KUOMBA KWA IMANI, SEHEMU YA PILI

Image may contain: one or more people and text


Yesu alituambia tuwe na “imani kwa Mungu.” Hi inahusu mpango na kusudi la Mungu kwa maisha yako.
Yeye ni Mungu Mkuu, mwenye enzi. Imani yote ulimwenguni haiwezi kubadilisha makusudi yake yenye enzi. Watu walio na saratani wameamini kwamba Mungu angeponya magonjwa yao, ijapokuwa walikufa.
Waraka wa Kwanza wa Yohana 5:14 inafaa sana inapoeleza kwamba, “tukiomba kitu sawasawa na mapenzi yake, atusikia.” Kifungu cha 15 kinatuhakikishia kwamba tukiomba (kwa imani) sawasawa na mapenzi yake, “tunazo zile haja tulizomwomba.”
Tunapofahamu mapenzi ya Mungu alivyotufunulia katika maandiko, basi tunaweza kudai hayo kama ahadi zake. Mungu tayari hutimiza mahitaji yetu kabla kutuahidi. Tunaweza kuishi au kufa kwa ahadi za Mungu.
Maombi ni kubadilisha ahadi za Mungu kuwa riziki kila siku.
Siguswi Mimi!
Wakati moja nilikaa Romania kwa majuma mawili. Nilifwatwa na maaskari makachero kila nilipoenda.
Wachungaji niliokuwa nikifanya kazi nao waliishi kwa kuhofia usalama wao. Nilimuuliza mmoja wa hao wachungaji wajasiri jinsi walivyoweza kulala usiku. Je, alihofia maisha yake? Akiwa na tabasamu kama ya malaika, alinijibu, “Mimi siwezi kuguswa. Ikiwa Mungu angali amenipa kazi ya kufanya, askari hawana
uwezo wa kunidhuru.” Nililengwalengwa na machozi. Nilihisi kuwa na aibu na kiburi. Nikakumbuka maneno ya Daudi, “BWANA ni nuru yangu na wokovu wangu, Nimwogope nani? BWANA ni ngome ya uzima wangu, nimhofu nani?” (Zaburi 27:1).
Huyu mtu wa Mungu mpendwa alikuwa kama Danieli katika tundu la simba, lakini moyo wake haukuwa na hofu kwa sababu Mungu aliahidi kufunga midoma ya simba. Hebu tukumbuke hayo tunapoomba.
Tunahitaji kudai yote ambayo Mungu ameahidi katika neno lake kama riziki. Imani ni kumwamini Mungu kwa neno lake, na kumtarajia kutimiza yale amesema atatimiza.
Imani Ni Kutafuta
Je, kuna mambo unayoyatumainia, au kutamani, au kuota? Je, utafanyaje ili ndoto yako ikamilike?
Kwanza, ondoa yale ambayo si mapenzi ya Mungu, bali ni tamaa yako tu. Pili, amini ahadi rahisi kama vile Wafilipi 4:19; “Na Mungu wangu atawajazeni kila mnachohitaji kwa kadiri ya utajiri wake, katika utukufu, ndani ya Kristo Yesu.” Mungu hakuahidi kunipa mahitaji yangu yote; Ameahidi kunijazia kila
ninachohitaji. Waebrania inasema kwamba imani ni “bayana ya mambo yasiyoonekana.” Ikiwa unahitaji lililo la haki, utawezaje “kuona” bayana ya hitaji hilo unalolikusudia kutimizwa?
Riziki ya Mungu, Kimiujiza:
Nilikuwa ningali mgeni katika chuo kimoja, ambapo nilianza kuona Mungu akinipa riziki kwa njia ya miujiza. Nilihitajika kulipa kodi katika chumba nilichokuwa nikikaa pamoja na rafiki yangu mmoja.
Tulikosa hela ya kulipa kodi kwa muda wa mwezi moja. Je, kodi hii ingetoka wapi? Tuliacha kuangaikia jinsi ya kupata fedha hizo. Tukaanza kuomba, kama jaribio la mwisho. Nilikuwa kijana wa miaka 19 ambaye alikuwa na matarajio ya kuwa mhubiri. Nikaomba Baba yangu aliye mbinguni anipe kodi!
Wiki hiyo nilipata barua kutoka kwa Huduma Ya Misitu Ya Amerika. Barua hiyo ilikuwa na hundi ya kulipa kodi! Kwa kweli, hundi hiyo haikuwa ya kodi, bali ilikuwa yangu! Mwaka iliyopita, wakati wa kiangazi, niliitwa kuzima moto kule Oregon.
Tuling’ang’ana kuzima moto usiku na mchana. Sikufahamu
kuwa serikali hulipa watu kwa kuzima moto! Kwa hivyo, miezi mingi baadaye nikapata hundi kupitia posta. Ni juma hilo tu ambalo nilimwomba Mungu anitimizie hitaji ambalo lilikuwa ngumu!
Imani ni kuona mahitaji yako yakitimizwa. Tunapomwamini na kumwomba Mungu, atajiheshimu kwa kutimiza neno lake. Rafiki yangu Mkristo, hatupati kwa sababu hatuombi. Amini na kumwomba Mungu ili akutimizie. Tunaweza kupata yote tunayohitaji ikiwa tutaamini kwamba Mungu ameshatutimizia.
Shalom
USIKOSE SEHEMU YA TATU ====> Kuna vikundi viwili vya watu ambao wana imani aina mbili tofauti. Kikundi cha kwanza ni cha “kuona ni kuamini.”
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo.

ALLAH KAANDIKWA KAFIR KATI YA MACHO YAKE.


Image may contain: 1 person, outdoor

KUMBE UISLAM NI DINI YA MAKAFIRI.
Hadithi ya Anas (r.a) amesema, Mtume (s.a.w) amesema, "Hakuna Mtume aliyetumwa, isipokuwa amewahadharisha watu wake na mwenye Jicho moja mrongo. Eleweni kuwa yeye ana jicho moja na hakika Bwana wenu hana Jicho moja kati ya Macho yake pameandikwa neno 'KAFIRI." (Bukhari, Hadithi Na. 245, Juzuu ya 9).
Teyari Waislam wanapata mshtuko baada ya kusoma kuwa, Kumbe Allah ana MHURI kati ya macho yake unao sema yeye ni KAFIR.
KUMBE UISLAM NI DINI YA MAKAFIRI

KWANINI TUNAOMBA KATIKA JINA LA YESU? SEHEMU YA PILI

Image may contain: cloud, sky, text and outdoor


Mbona uombe katika jina la Yesu?
Mbona si Budha, au Allah, au mwalimu mwingine shupavu wa dini, au nabii au Muhammad?
Kuomba katika jina la Yesu ni kukubali malipo ya dhambi zetu ambazo Kristo alilipa pale msalabani ili tuweze kuifikia uwepo wa Mungu. Kama vile Wayahudi hawangeingia Patakatifu bila gharama ya damu (kwa Yom Kippur), ndivyo mwenye dhambi hawezi kuingia katika uwepo wa Mungu bila damu iliyomwagika ya Yesu Kristo. Ni kupitia kwa kifo chake, kuzikwa kwake, kufufuka kwake, na kupaa kwake mbinguni ndipo tunaweza kuwa na uhusiano wa Baba-Mwana pamoja na Roho Mtakatifu. Mwenye dhambi asiyekuwa na mwokozi hana tumaini la msamaha wa dhambi.
“… Vitu vyote husafishwa kwa damu, na pasipo kumwaga damu hakuna ondoleo…kwa sababu Kristo hakuingia patakatifu palipofanyika kwa mikono, ndio mfano wa patakatifu halisi; bali
aliingia mbinguni hasa, aonekane sasa usoni pa Mungu kwa ajili yetu” (Waebrania 9:22,24), na “Basi, ndugu, kwa kuwa tuna ujasiri wa kupaingia patakatifu kwa damu ya Yesu” (Waebrania
10:19).
Hiyo ndio sababu tunasogelea kiti cha enzi cha Mungu katika jina la Yesu. Tunaomba kwa kuwa yeye ni mwadilifu. Ni kama kumwambia Mungu, “Mungu, siombi kwa sababu ya jinsi nilivyo ama kwa ajili ya uzuri wangu. Naomba kwa sababu Yesu alisema nije kwako na kukuambia amenituma. Alisema utajibu
maombi yangu kwa ajili yake, wala si kwa ajili yangu.”
Ghala La Baba:
Ukienda sokoni na kununua vyakula vyote unavyohitaji nyumbani mwako, na mahitaji mengine. Ukaenda kulipa ukiwa na vikapu kumi vilivyojaa vyakula, na vitu vingine ulivyonunua. Muuzaji akahesabu gharama ya vitu vyote ulivyonunua.
Unagundua kwamba vimegharimu pesa kiasi kikubwa. Muuzaji anakuangalia kwa mshangao na kukosa kukuamini. Tuseme labda kiasi cha pesa unazohitajika kulipa ni $5000. Kisha
unamwambia huyu muuzaji, “Hebu nipe cheti hicho niweke sahihi.” Anapigwa butwaa na kukuuliza, “Uweke sahihi? Kwani unafikiri wewe ni nani, mwenye soko?” Alafu unamjibu, “La hasha, kwa hakika mimi si mwenyewe, lakini baba yangu ndiye mwenye soko. Mimi ni mwanawe wa pekee. Nitaurithi mali
yake yote.”
Yesu alimaanisha hivyo alipotuambia tuombe kwa jina lake. Yote ya Mungu Baba pia ni ya Mwanawe wa pekee. Yesu ndiye mwenye soko, akiwa pamoja na Baba yake. Amemwambia Baba yake kwamba tunaweza kuweka sahihi cheti katika jina lake. Baba anaheshimika kujibu maombi yako katika jina la Yesu, kama vile Kristo mwenyewe angeweza kuomba. Muumini ameshikamanishwa na Kristo kiasi cha kwamba kuomba kwetu ni kuomba kupitia kwa Roho wake aliye ndani yetu. Huu ni ukweli wa ajabu!

Kutumia Fimbo Ya Mungu:
Tumetazama Mwanzo 17, na “fimbo ya Musa ya Mungu.” Tumeona kwamba fimbo yetu ni imani katika jina la Yesu. Katika Marko 16:17, Yesu ametuambia tutumie jina lake hata kwa kuwatorosha mapepo.
Inasisimua kuona wanafunzi wa Yesu wakitenda yale Yesu alihubiri.
Baada ya Pentekote, Petero na Yohana walienda hekaluni kuomba. Yesu amerudi kwa Baba, lakini Roho Wake sasa anakaa ndani yao. Wakiwa nje ya hekalu, Petero na Yohana walikutana na kilema ambaye alikuwa akiomba pesa kutoka kwa wale waliokuwa wakienda hekaluni kusali. Petero aliwaza akiwa
ameshurutishwa na Roho wa Yesu aliyekuwa ndani yake:
“Petero, tumia fimbo yako. Tumia jina langu. Mwombe Baba. Ona muujiza.” Petero, kwa msukumo, akamwambia yule kilema, “Mimi sina fedha, wala dhahabu, lakini nilicho nacho ndicho nikupacho. Kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti, simama uende.”
(Tazama Matendo 3:1)
Kwa hivyo, kwa mara ya kwanza mmoja wa wanafunzi kumi na wawili wa Yesu alifanya kitu. Waliamini maneno ya Yesu na kutumia jina lake. Walisogelea eneo la miujiza. Baadaye Petero na Yohana walipoulizwa na viongozi wa Wayahudi jinsi huyu kilema alivyoponywa, kwa furaha walijibu, “na imani ile iliyo kwake yeye imempatia huyu uzima huu mkamilifu mbele yenu ninyi nyote” (Matendo 3:16). Iweke imani yako katika jina la Yesu na Mungu ataweka jina lake, na nguvu zake, katika imani hiyo.
Barikiwa sana
Ni mimi Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo.

JINSI YA KUOMBA KWA IMANI, SEHEMU YA TATU

Image may contain: one or more people, sky and text


Kuna vikundi viwili vya watu ambao wana imani aina mbili tofauti. Kikundi cha kwanza ni cha “kuona ni kuamini.” Katika Yohana 20:25 Tomaso alisema, “Mimi nisipoziona…mimi sisadiki.” Ilimlazimu kuona Bwana aliyefufuka kabla kusadiki kwamba Bwana alifufuka. Tomaso alikuwa na imani iliyojengwa kwa hisia. Tunasema, “Bwana nipe ushindi, nami nitasadiki kuwa ninayo ushindi huo.” HIYO SI IMANI! Hiyo ilimsababisha Yesu kusema sadiki kwamba tayari umepokea, ndipo utapata.
Yesu hakusema Tomaso alifanya vizuri. Alisema, “wa heri wale wasioona, na hawahitajiki kuona -wakasadiki” (Yohana 20:29, maneno ya mwandishi). Hiyo ni imani iliyo sambamba na maandiko.
Tunahitaji kuondoka katika eneo la hisia, na kuingia katika eneo la Bibilia. Hapa ndipo tunagundua kwamba “imani ni kuona yale ninayotumaini.” Nikiwa na hakika kwamba nimepokea yale nimeahidiwa na Mungu, basi NITAONA ninayoyatumaini! Nasema tena, hii ni imani inayookoa. Hukumwona Yesu akifa
na kufufuka siku ya tatu; uliamini neno tu. Hiyo ndio hakikisho uliyohitaji. Uliliamini neno, alafu ukamwona Yesu na kupata msamaha wake. Imani ni kufanya kama kwamba imetimika, wakati ambapo haijatimika bado, nayo itatimika!
Imani ya Mwenye Ukoma
Katika Luka 17, tunaona wenye ukoma 10 waliomwendea Yesu wakipaaza sauti kwa kusema, “Ee Yesu, Bwana Mkubwa uturehemu! Alipowaona aliwaambia, Enendeni, mkajionyeshe kwa makuhani. Ikawa walipokuwa wakienda walitakasika.” Mwenye ukoma aliyetakasika ni lazima ajionyeshe kwa kuhani ili
ithibitike kwamba ameponywa kweli. Yesu aliwaambia waende kwa kuhani kabla kuponywa kwao. Je, kama wangalisema, “Bwana, hatuwezi kwenda kwa kuhani, kwani hatujaponywa bado”? Yesu, kwa kweli alisema, “fanya kama kwamba imetimika, ijapokuwa haijatimika bado, nayo itatimika.” Waliamini na kuelekea hekaluni, na “walipokuwa wakienda, walitakasika”…Kisha akawaambia, “imani yako imekuponya.”
Ushindi Na Imani
Waraka wa Kwanza wa Yohana 5:4 inafananisha ushindi katika maisha na imani kwa Mungu. “Kwa maana kila kitu kilichozaliwa na Mungu huushinda ulimwengu; na huku ndiko kushinda kuushindako ulimwengu, hiyo imani yetu.” Kwa hivyo, ushindi umepatikana tayari! Unao ushindi kwa kuamini kwamba
Yesu tayari ameshinda (1Yohana 5:5).
Labda utasema, “Je, unamaanisha kwamba nina ushindi dhidi ya kila shida kwa kuamini tu kwamba ninao ushindi?” Hiyo ni kweli! Ni kweli kabisa! Unasema, “Siamini hayo!” La, nawe hutapata ushindi kamwe!
Amini hayo, nawe utapata ushindi! Imani ni ushindi! Yesu Kristo tayari ameshinda adui wote: yaani ulimwengu, mwili, na shetani (Waebrania 2:14; Wakolosae 2:14,15; 1 Yohana 3:8,4:4). Huna vita vingine vya kushinda. Yesu alishinda vyote miaka 2000 iliyopita. Ukiyaamini hayo, kuyasimamia imara, na kuyadai, basi ushindi wake utakuwa wako!
Imani hii ya “Mungu ameshashinda vita” hutupa wokovu. Ni lazima uamini kwamba Mungu ameshatupatia wokovu ndani ya, na kupitia kwa Yesu Kristo. Aliyepotea dhambini lazima amjie Mungu na kupokea yale Mungu ametenda kwa kutubu dhambi, na kusema “Ahsante Yesu, ishatendeka.” Jinsi ulivyopata wokovu ndivyo utakavyopata ushindi na mwongozo wa kila siku. Ukiwa na imani, basi una bayana. Kwa hitaji lolote, amini kwamba ni yako, nawe utapata.
Mungu akuzidishie katika maombi na kuamini kwako.
“Bwana, tufundishe kuomba kwa imani, tukidai yaliyo yetu katika Kristo.”
Michango
1. Tazama Luka 11:9-13
2. Sura ya 4, “Can a Christian Lose His Salvation?” inaongea kuhusua kuwa na hatia na msamaha kwa kinaganaga.
Shalom
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo

Ancient Jewish Wedding Ceremony: “No man knows the day or hour, only the Father”

  The Ancient Jewish Marriage Rite: A Detailed Exposition of Betrothal, Preparation, and Consummation Dr. Maxwell Shimba Shimba Theological ...

TRENDING NOW