Friday, July 14, 2017

KWANINI WAISLAM HAWAMWABUDU MWENYEZI MUNGU KATIKA ROHO NA KWELI KAMA WAKRISTO?

Image may contain: one or more people, people standing, text and outdoor


Kuabudu asili yake ni mbinguni, kuabudu kulikuwepo kabla ya Adamu kuumbwa. Maana walikuwepo viumbe kabla ya Adamu huko mbinguni waliomwabudu Mungu. Ibada ina asili katika Mungu mwenyewe, Uungu una asili ya kuabudiwa kwa hiyo chanzo cha ibada ni Mungu. Ayubu 38:4-7, Zaburi 148:2-14.
MUNGU NI ROHO
Mungu ni Roho, na wale wanaomwabudu yeye lazima waabudu kwa roho na kweli.” (Yohana 4:22-24) Maneno hayo yanamaanisha nini?
Maneno hayo yanakamilika kwasababu binadamu sio mwili na nyama kama watu wengi wanavyo fikiria.
WEWE NI MTU; NI ROHO, UNA NAFSI NA UNAISHI NDANI YA MWILI!
Mwanadamu Ni roho, Ana Nafsi na Anakaa Ndani Ya Mwili.
Ukisoma 1Wathesalonike 5:23 Inatusaidia Kuona Maeneo Yote Matatu Ya UTU Wa MTU;
"Mungu wa amani mwenyewe awatakase kabisa; nanyi NAFSI ZENU na ROHO ZENU na MIILI YENU Mhifadhiwe mwe kamili, bila lawama, wakati wa kuja kwake Bwana wetu Yesu Kristo"
Hapa Unaona Nafsi, Roho Na Mwili Vimetajwa.
ROHO YAKO
Hii Ndo Sehemu Ya Uhai Wako Ulipo. Hii Ndiyo Iliyo Chanzo Cha Uhai Wako. Hii Ndiyo Wewe Halisi. Ikitoka Kwenye Mwili Wanakuita MAREHEMU..."MWILI WA MAREHEMU FULANI" Hii Ni Kwa Sababu "ROHO NDIYO ITIAYO UZIMA"
Soma Ayubu 32:8, Ayubu 33:4, Mithali 20:27
NAFSI YAKO
Hii Nayo Imebeba Sehemu Kuu Tatu; NIA/ AKILI (Mind), HISIA (Emotions And Feelings) Na UTASHI (Will).
Soma Mathayo 11:28-29, Zaburi 103:1-2, Mithali 23:7a
MWILI WAKO
Ni Nyumba Yako Inayohifadhi Roho Na Nafsi Yako.
Soma Mwanzo 2:7, Mwanzo 3:19b, Wagalatia 5:17-21, 24, 1Thesalonike 4:4.
Umesha gundua kitu hapo?
Mungu ni Roho.
Wewe ni Roho.
Ndio maana Biblia inasema tuliumbwa kwa mfano wa Mungu, ikimaanisha sisi tunafanana na Mungu katika roho na sio mwili na nyama.
LAKINI WAISLAM WAO SIO ROHO NA WALA ALLAH WAO HAKUWAUMBA KWA MFANO WAKE.
NDIO MAANA WAISLAM HAWAABUDU KATIKA ROHO NA KWELI KAMA WAKRISTO BALI KATIKA MWILI KWA KUTUMIA MAPANGA, VISU NA MABOMU.
Surat Tawba 29. Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu, mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii
Surat Tawba 5. Na ikisha miezi mitukufu basi wauweni washirikina popote mwakutapo, na washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila njia. Lakini wakitubu, wakashika Sala, na wakatoa Zaka, basi waachilieni. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu.
Kabla hajafa, Muhammad alituma majeshi yake kwenda kuwalazima Wapagani wa Kiarabu kujiunga nae, kabila la al Harith. Aliwaambia wamepewa chaguo moja tu kujiunga nae au atawauwa wote kwa upanga. Lakini hilo kabila la kipagani liliogopa na kiunga nae. Baadae Muhammad akawalaani Wakristo wote na Wayahudi. SOMA Sahihi Bukhari 8:427.
Kutoka na al Shafi : "The Ordinances of the Quran", Muhammad alilazimisha watu wajiunge nae au aliwauwa watu walio mkataa. Soma Bukhari 53:386.
Vinyo hivyo, Abu Kabkr, aliye chukua baada ya Muhammad, alifanya Jihad mbaya zaidi katika nchi za jirani kwa watu walio ukataa Uislam. Katika Barua iliyo tumwa kwa Persians, Abu Bakr alisema kuwa "Silimuni na muwe waislam hapo mtakuwa huru na kama mkikataa basi eleweni kuwa nimekuja kwenu na Jeshi la Kiislam ambalo linapenda kuuwa watu, kama jinsi ninyi mnavyo penda maisha/uhai"
Hizi sifa za Muhammad sasa zinaonekana kwa akina Boko Haram, Al Qaeda, Al Shabab.
Ndio maana Yehova ambaye ndie Mwenyezi Mungu hawezi kuwa Allah wa Muhammad na Waislam. Tabia zao ni tofauti na hawalingani.
Swali lakujiuliza, kwanini Waislam hawamwabudu Mwenyezi Mungu katika roho na kweli?
Je, Mungu gani huyu anaye tumia Mapanga kulazimisha watu kujiunga nae?

No comments:

WAS MUHAMMAD PROPHESIED IN THE BIBLE?

SURAH 61:6 Muslims believe that the coming of Muhammad was foretold in the Bible. For centuries, Muslims have tried to find predictions of t...

TRENDING NOW