Sunday, August 6, 2017

KUMBE NGURUWE NI HALAL

Image may contain: outdoor
ALLAH AWARUHUSU WAISLAM KULA NYAMA YA NGURUWE
QURAN AL- BAQARA (2:173)
173.Yeye amekuharimishieni mzoga tu na damu na nyama ya Nguruwe na kilicho tajiwa, katika kuchinjwa kwake, jina la asiye kuwa Mwenyezi Mungu. Lakini aliye fikiwa na dharura bila ya kutamani wala kupita kiasi, yeye HANA DHAMBI KULA NGURUWE. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.
Sasa kwenye Surat Al Baqara Allah anasema unaruhusiwa kula Nguruwe kwa dharura.
MASWALI YA KUJIULIZA, Hivi dhambi inakuwa sio DHAMBI wakati wa dharura?
Hivi Haram inakuwa sio HARAMU wakati wa dharura?
ETI KULA NGURUWE WAKATI WA DHARURA NI HALAL, SASA UNAJISI/HARAM WA NGURUWE UNAISHA WAKATI WA DHARURA AU UNABAKIA HAPO HAPO?
Ndio maana nasema Allah sio Yahawe wala sio Mwenyezi Mungu.
Ndio maana nasemaga, UISLAM NI DINI YA KUJITUNGIA TU.
Kula ni kula tu. HARAM NI HARAM TU. HAIJALISHI DHARURA.
Karibuni kwa Yesu Mungu Mkuu.
Max Shimba, mtumwa wa Yesu Kristo.

No comments:

WAS MUHAMMAD PROPHESIED IN THE BIBLE?

SURAH 61:6 Muslims believe that the coming of Muhammad was foretold in the Bible. For centuries, Muslims have tried to find predictions of t...

TRENDING NOW